Waziri Mkuu: Kamanda ondoka naye huyu | Wanachoma moto ofisi za serikali | mtulie tunyooshane vizuri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 225

  • @shafiiomarali6984
    @shafiiomarali6984 Рік тому +15

    Asante sana Waziri mkuu kassimu majaliwa MWENYENZI MUNGU akupe afya NJEMA. ✍🇹🇿

  • @hidayausanga382
    @hidayausanga382 Рік тому +32

    Nakuhurumia sana PM. Hawa watu sijui utawatokomezaje maana wametapakaa nchi nzima. Nchi ilivyokua kubwa hivi.
    Nakuombea Mungu akupe wepesi katika hili.

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 Рік тому +11

    Mama Samia Rais wetu, jembe unalo. Kazi iendelee mheshimiwa Waziri Mkuu, Mungu akupe maisha marefu tunakutegemea boss wetu

  • @saadyahaya5896
    @saadyahaya5896 Рік тому +14

    Safi sana mheshimiwa wazir mkuu kwa kazi kubwa unayofanya kwenye taifa hili,mungu akusimamie popote unapopita inshaallah

  • @stevembaigwa7078
    @stevembaigwa7078 Рік тому +6

    Mungu akubariki kwa kazi njema nakuombea kwa Mungu uwe rais wetu

  • @Frolianagabito3000
    @Frolianagabito3000 Рік тому +6

    Uyu mwamba namkubali sana mungu akupe maisha marefu waziri

  • @mariamyusuph3262
    @mariamyusuph3262 15 днів тому

    Mawaziri nawapenda.waziri mkuu na wa maji nawapenda sana kwa kazi zenu

  • @alfredlucas972
    @alfredlucas972 Рік тому +1

    Waziri mkuu Mungu yupo pamoja na wewe fanya kazi kwaajili ya watanzania Mungu atakusimamia hongera kwa kusimalia lasilimali na pesa za nchi

  • @ejidemaswalikinoja5643
    @ejidemaswalikinoja5643 Рік тому +2

    Asante sana Mungu kwa kutupa huyu mtu, hakika hii ndiyo maana ya Waziri Mkuu naamini Kuna baraka zote Toka kwa Mungu na kwa Rais

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому +1

    Majaaliwa Baba etu Waziri wetu mungu akulinde, ukiwa Rais ao mafisadi watanyooka

  • @jonathanmwakabuku4714
    @jonathanmwakabuku4714 Рік тому +1

    Waziri mkuu wewe ndio kiongozi. Mungu akubariki ufike mbali

  • @NuruBene
    @NuruBene 7 місяців тому

    Mhe waziri mkuu akika ni mchapa kzi sana mungu akurinde mhe waziri mkuu wtuu akika tunaona kzi zako na matunda yako na ni mfano tosha wa kuigwa na viongizi wengine lakin mmebaki wachache sana wazarondo, wtu awna uhruma,

  • @hasani565
    @hasani565 Рік тому

    Da haki ya mungu kunawatu sijui vipi hao takukuru ..mapolisi wote wamekula hela...da mungu akuongoze mkuu ..miss pombe magufuli

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 Рік тому +2

    Hongera kwa utendaji Mhe. Waziri Mkuu.

  • @WillyMashaka
    @WillyMashaka 11 місяців тому +1

    Unyamaa mwingi waziri

  • @JAIROSMLIMILA-cl1wp
    @JAIROSMLIMILA-cl1wp Рік тому

    Vizuri sana mh waziri mkuu.

  • @adirhoregilitu6507
    @adirhoregilitu6507 Рік тому

    Hongera waziri mkuu

  • @rafaelpaschal2245
    @rafaelpaschal2245 Рік тому

    Mhw.waziri mkuu saluuti kwako

  • @kabwikaibrahim-up3vg
    @kabwikaibrahim-up3vg Рік тому

    You are doing very well Hon. Prime Minister. God bless you!!

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 Рік тому

    Mh Majariwa Hongera sana kwa kazi kubwa tunaombwa mchi nzima. Wafutwe kazi na kurudisha pesa. Mkuu wa Mkoa na Mkurungeze wote walipe

  • @williamjamanda8892
    @williamjamanda8892 Рік тому

    Kazi nzuri sana Mr Kassim Mungu akuzidishie utendaji kazi huo

  • @williamjamanda8892
    @williamjamanda8892 Рік тому +1

    Mungu ameingiza roho ya Dr. Magufuli kwake

  • @othumantabai
    @othumantabai Рік тому

    Weka ndani wote mkuu

  • @idrissaissa5607
    @idrissaissa5607 Рік тому

    Sawa big kazi iendeleeeee

  • @ayoublamesi6347
    @ayoublamesi6347 11 місяців тому

    Wazili mungu akulinde kwa kazi unazofanya

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Рік тому

    Ww ni msaidizi sahihi wa raisi nakupenda sana mkuu wangu

  • @WinifledyMbugi-ur1hq
    @WinifledyMbugi-ur1hq Рік тому

    Unaeleweka waziri mkuu

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Рік тому

    Sikuizi wana zarau wanajuwa makufuli hayopo allah amrehm president wetu kazi kaz I love u Kasim 💖😢😢👏👏👏👏👏

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 Рік тому +1

    Fanya kazi mh waziri mkuu, tupo nyuma yake

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 Рік тому

    Mungu akulinde sana mh waziri mkuu

  • @Lizzleboy
    @Lizzleboy Рік тому

    Asante Mkuuuuuu

  • @MmadiJuma-is2kz
    @MmadiJuma-is2kz Рік тому

    Honngela munguakubaliki akupeuwepesi afya njema amin

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Рік тому

    Uyo kamanda Sura nzuri sana

  • @abelshaursshauris9810
    @abelshaursshauris9810 Рік тому +2

    Mungu akulinde mzee wangu

  • @Solace577
    @Solace577 10 місяців тому

    Yaan wazir mkuu nakuonea huruma sana pole sana ndgu, hawa watu ni hovyo sana, yaan wakikuta barabarani na migari yao mikubwa wewe na ki passo chako weweee utapigiwa hon 😂

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 Рік тому +1

    Safi sana mkuu tunakipenda mnooo

  • @kyambarungwe6960
    @kyambarungwe6960 Рік тому

    Nakupnd Sana kipenzi Cha roho yangu majaliwa ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @lawrencechacha7863
    @lawrencechacha7863 Рік тому

    Mh.waziri mkuu wewe ni wapekee.hata mungu anavutiwa na utumishi wako.futa wapuuzi hao.

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 Рік тому +1

    Ee Mungu cjui niseme nini kuhusu huyu PM Mungu ambariki

  • @MajaliwaAssenga-ev9jg
    @MajaliwaAssenga-ev9jg Рік тому +1

    Magufuli si huyu hapa

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 Рік тому +5

    Nchi imeoza hii.... Karibu kila halmashauri imeoza kwa ufisadi

  • @hassann4209
    @hassann4209 Рік тому

    Wanyoshe sana. Namukumbuka JPM🇧🇮

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 Рік тому +1

    Tia ndanii,,,, soma iyooo... tutajuwa mbelee

  • @kulengwamabula9508
    @kulengwamabula9508 Рік тому +9

    majaliwa ndo magufuli watakiona moto

  • @rizionesegeza9742
    @rizionesegeza9742 Рік тому

    Asntee wazirii mkuu bt naona kama unawachelewesha hao duuh sisi tnasumbuka na kodi jaman kwa jpm hao walikuwa na kipengele jamaaaaa jpm 🙏🙏🙏👈

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Рік тому

    ILA hii nchi ukiwa mkweli unakuwa mbaya. Majaliwa mungu akupe nguvu usimame kwenye haki tu na mungu karim atakunyanyua inshallah utashika uraia nambari moja utetee nchi yako.

  • @yustahyera4288
    @yustahyera4288 Рік тому

    Duuuuh we baba nakuombea maisha mengi mbali ufike pia uje uwe rais wa nchi yetyu

  • @jofreymsigwa85
    @jofreymsigwa85 Рік тому

    Safi mkuu wetu

  • @ramambaga5561
    @ramambaga5561 Рік тому +1

    Hapa tunarudi nyuma tena kaulimbiu yetu hapa kazi tu😋🙏

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 Рік тому

    Mipango yuko wapi ?

  • @wiltonexon6003
    @wiltonexon6003 Рік тому

    Nakubali muheshimiwa 👏🏽

  • @edosichilengwe3150
    @edosichilengwe3150 Рік тому

    Eeeeeeh, hapo sawa chuma

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Рік тому

    Majaliwa my lovely PM nakupenda mnooooo

  • @gabumremi4876
    @gabumremi4876 Рік тому

    sweka ndani

  • @fatumanamwe5877
    @fatumanamwe5877 Рік тому

    Mungu akupe umri mlefu baba ninakuombea umli mlefu uje tusaidia baadae

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 Рік тому

    Wew nijembe safi sana.

  • @Petro.John.
    @Petro.John. 4 місяці тому

    Ase nchi hii ngumu sana,usikute huyu jamaa hawamtaki halafu wakamazunguka.

  • @priscabonifas7037
    @priscabonifas7037 Рік тому +1

    Tunashukuru mheshimiwa Ila Mimi Kama mzalendo napendekeza pia huyo mkuu wa chuo Kama mwenyekiti wa kamati za ujenzi awajibishwe vikali maana anajua Kila kitu kilichokuwa kinaendelea katika chuo chake

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Рік тому

    Wazili piga kazi wametapakaa sana hao

  • @shinemakenzi8101
    @shinemakenzi8101 Рік тому

    Hii nchi watu wajipigia pesa za walipa kodi wa nchi hii kama za familia zao tu. Tatizo mfumo mbovu wa uongozi kuanzia ngazi za juu vigogo wanachota pesa bila hata soni tuoneeni huruma jamani ss walipa kodi wenu tumechoka ipo siku tutakinukisha bora mtuue tu wote mbaki na nchi yenu mtumbue vizuri

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Bravo muheshiwa majaliwa🙏🙏🙏

  • @iddykanani3311
    @iddykanani3311 Рік тому

    Ukweli kabsa kutoka moyon hua nakukubali sana. Sema tu unakwamishwa na watu wachache.

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Рік тому

    Waziri Mkuu✅

  • @yunislemnhe9560
    @yunislemnhe9560 Рік тому

    Waziri mkuu wetu namkumbuka baba jamani enzi zake

  • @Christopher-ns6cq
    @Christopher-ns6cq Рік тому +2

    Ee mungu mlinde huyu baba ndiye aliebaki tumaini la watanzania

  • @rahabuahimas7410
    @rahabuahimas7410 Рік тому

    Baba Asante kwakututia moyo

  • @huseinikhamiskibwa2545
    @huseinikhamiskibwa2545 Рік тому

    Powa

  • @kilalaurio9922
    @kilalaurio9922 Рік тому

    Hawezi kuwamaliza kwani wanawekwa na watu ambao hana mamlaka ya kuwafukuza. Njia pekee ya kutokomeza hao ni kufukuza viongozi wao. Kwa kifupi kuwajibisha kuanzia na mawaziri, wakuu wa mikoa nk. Kuwafukuza hawa ni sawa . MUNGU AZIDI KUKUBARIKI MH. MAJALIWA

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Рік тому

    JPM part 2 kazi nzuri

  • @manning979
    @manning979 Рік тому +2

    Tumechelewa sana kuendelea kwasababu kama hizi nchi ni maskini kila siku kumbe watu wanapiga tu

  • @fredmashauri210
    @fredmashauri210 Рік тому +6

    Rais wetu ndio huyuu

    • @yassinshamte4172
      @yassinshamte4172 Рік тому

      We unadhani anafanya kwa maelekezo ya nani....

    • @jessegodson8575
      @jessegodson8575 Рік тому

      @@yassinshamte4172 wewe pimbi unadhani huyo Samia kazi hio anaweza yaani ni mtu wa kukaa ofisi na kusubiria mshahara mwisho wa mwezi na ndizo Kodi zetu😂😂 ila mwaka 2025 wajipigie wenyewe kura ila wananchi wa Tz hawatopiga kura labda akigombea majaliwa hapo sawa

    • @nsanyarasheeed8693
      @nsanyarasheeed8693 Рік тому

      Inamaana hujui kuwa huyu ni Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania .

    • @fredmashauri210
      @fredmashauri210 Рік тому

      Wampe kijiti 20225 anatufaa kabisaa

  • @chemstry409
    @chemstry409 Рік тому

    Tatizo kizuri hakidumu....😢😢😢

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 Рік тому

    Kwani Waziri Mkuu Haluhusiwi Kugombea Uraisi?
    Maana........

  • @MarewaSaid
    @MarewaSaid Рік тому

    Waziri mkuu mafia 0:59

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 Рік тому

    Ashkuru Sana maana ingekuwa ni raisi mwenyewe basi angemfukuza kazi hapo hapo na pesa angezitoa

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому +4

    Ukiwa kiongozi Tanzania ni pasua kichwa ofisi imeungua nyaraka tu hii ndiyo bongo

    • @ndayishimiyeelias9692
      @ndayishimiyeelias9692 Рік тому

      Amini usiamini akiwa kiongozi atakua busy na yangine, hata Suluh alkua hivo

  • @allynditi3492
    @allynditi3492 Рік тому

    Tengeneza Hiyooo!!!!!!

  • @JamalSaid-z2q
    @JamalSaid-z2q Рік тому

    MH. WAZIRI MKUU WW. ALIE KUA WAZIRI MKUU. AMBA SASA NI MREHEMU NI BABA MMOJA KATIKA. KUCHAPA. KAZI

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 Рік тому

    Inatia uchungu watu wanavyopiga hela,wako kitu kimoja hao mkuuu

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Рік тому

    Majaliwa Qassim majaliwa mwenyez MUNGU akujaalie Baba uje kuwa mkuu wa nchi yetu ifikapo 2030

  • @mwimbeatilio707
    @mwimbeatilio707 Рік тому

    Majaliwa wew ni mfano jaman ifike hatua tumuogope Mungu tukienda tukimuona tutamjibu majibu gani?Ikiwa shetani anamuogooa Mungu sisi ni akina nani wizi umejaa watu hawana huruma Mungu anawaona

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 Рік тому +5

    Nchi haiongozwi na mwanamke ikawa salama

    • @hubimogela9167
      @hubimogela9167 Рік тому +1

      Anaongoza sahivi ni nani ,na umeskia wapi kumevamiwa,acha ushamba

    • @uwembatvonline
      @uwembatvonline Рік тому

      @@hubimogela9167 Sasa hivi anaongoza baba ako au

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 Рік тому

      Dini zote zinajua hilo,lakini mapadre na masheikh kwa ajili ya njaa zao,wanafumbia macho vitabu vya Mungu,kwa mwenendo huu,nchi haitakuwa salama.

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 Рік тому

      @@aminimushi6945 ww mwnyw haupo salama 😆😆😆😆

  • @gotfriedmwesiga4234
    @gotfriedmwesiga4234 Рік тому

    Mmm! Hiyo takukuru hiyo daaah! Hizo kazi si mgetupa sisi vijana ? Hao wezi piga chini hawapendi nchi yao

  • @saidimgawe6548
    @saidimgawe6548 Рік тому

    Ndio👏

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Рік тому +1

    Bilioni 7? Kweli nchi ina mambo mengi kwakweli!
    Ila PM MAJALIWA ulitakiwa wewe ndio uwe rais wa nchi hii, lkn chakushangaza 2025 hutokua Waziri mkuu tena,

  • @swalehembich2247
    @swalehembich2247 Рік тому

    Mheshimiwa waziri mkuu wote hao ni wahusika hata hao takukuru kwa nini hawaku chukua hatua na wao ndio chombo cha sheria

  • @yassinshamte4172
    @yassinshamte4172 Рік тому +2

    Hivi mpango yupo wapi jamani.

  • @yekoniakusiluka469
    @yekoniakusiluka469 Рік тому

    Raisi Hana pesa waziri mkuu pesa niza wanachii walipa Kodi zimeibwa pesa za wananchi zinaibwa Kodi zetu

  • @abhambomihambo6754
    @abhambomihambo6754 Рік тому

    Imefika wakati Takukuru nayo ichunguzwe na ifumuliwe upya na kuangalia mwenendo mzima wa utendaji wake na uwezo au uweledi wa watendaji wake!Cheo ni dhamana na inaonesha elimu zao hazitusaidii tena,tunahitaji"people of integrated,Responsible,seriously and willingness to do the job"I started to doubt even their religion faith isn't an issue anymore....we should think differently now

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 Рік тому

    Hao wakurugenzi ndio mlio wafundishaga wizi mpaka wakaibaga uchaguzi wa 2020 hivyo wanaendeleza yale mafunzo ya wizi wa uchaguzi hivyo sioni kipyaa hapo. Uchaguzi mwingine unakuja hahahahahha

  • @alexsambia3046
    @alexsambia3046 Рік тому

    Wwe ndo tegemez la wa Tanzania tunakuombea Mkuu

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 Рік тому

    Piga kazi comrade

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому +3

    Mama samia ikikupendeza nenda navmajaliwa miaka5 tena

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 Рік тому +1

      Samia anatoka katiba ya ccm Rais anatoka bara samia alipata zari la mentaly tu, majariwa ndo Rais wa 25

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 Рік тому

    Safii

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Рік тому

    Kosa lipo lakini ni kinyume na utaratibu kiongozi yoyote kuipa amri Polisi kumkamata mhalifu,

  • @amoscharz5606
    @amoscharz5606 Рік тому

    Majaliwa for president 2025

  • @velonicayohana
    @velonicayohana Рік тому

    Waziri wanyooshe

  • @mauricempinga935
    @mauricempinga935 Рік тому

    Njoo korogwe mkuu

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 Рік тому +1

    Piga chini Rc Rs Dc na vikolombeezo vyote hawafai wote

  • @doraliana6253
    @doraliana6253 Рік тому

    Kwa hiyo auliwe?