EXCLUSIVE: MJUE RIDHIWANI KIKWETE -MTOTO wa RAIS ALIYEPEWA KASHFA ya MADAWA CHINA na KUMILIKI SHELL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @danielmadale
    @danielmadale 7 місяців тому +12

    OK, MMEAMUA KUMSAFISHA. HATA JIK HAIWEZI

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +3

      Kumbe simulizi inaendana na kumsafisha mtu?

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 7 місяців тому +5

    Hatuhusu

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 28 днів тому +3

    Mwamba kutoka chalinze huyo..
    Alopewa kapewa tu huwezi kubadili alichopanga MUNGU

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 29 днів тому +3

    Kiukweli kabisa ninaweza kumtetea kwa madawa sio yeye watu wakisikia mtoto wa JK wa kiume wanamtaja Ridhiwani kikwete hapana sio yeye kabisa kuna mtoto mwingine anayeitwa Miraji kikwete no mkubwa tu ana mke na watoto lkn Riz hahusiki kabisa na biashara ya madawa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 7 місяців тому +9

    Mfikishie na hizi comment aliekutuma

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 7 місяців тому +10

    Umelipwa shilingi ngapi

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +2

      Tuendelee kuipenda Nchi yetu!!!!!!

  • @maase2023
    @maase2023 28 днів тому +1

    Toeni taarifa za kweli !

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 6 місяців тому +2

    Mkoani RINDI au LINDI,jifunze kwa kiswahili ndio ufanye hii kazi,RIDHIWANI sio LIZIWANI.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +2

      Sawa mkuu nitabadilika natumai video zijazo sitokuangusha💥📌

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 5 місяців тому

      Wanaokota mananga yasiyojua kitu hata kiswahili ndiyo yawasafishe maana mweye akil😅. timamu hawezi kufanyahii kazi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 місяців тому +5

    Haloooo ya Ccm hamna kitu hapo wewe simulia tu ufanye kazi ya kumsifia wala hana nyota ya kupendwa ila upambe tu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Ndugu wewe ni Mtanzania kweli???

  • @snakekobra6943
    @snakekobra6943 3 місяці тому +1

    Msafisho

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 7 місяців тому +5

    Sijui utatumia lugha gani ili watu wakuelewe

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 5 місяців тому +1

    Jamani hebu mwogopeni Mungu,haonekani kwa macho ya nyama lkn yupo

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 7 місяців тому +4

    Kwann unamsifia kwann et Kuna nn et

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Mtu anasifiwa kutokana na uhodari wake ,Ikitokea amefanya kitu chanya Kwa jamii sifa zake Atapewa Tu kwaiyo nawewe jitahidi Uje usifiwe kama Mhs;

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 місяці тому

    Upuuzi, Umekosa habari za maana.

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 6 місяців тому +1

    Jamani huyu bibisikumoja nitienda kwake na bibiangu kimsrimia arikuwa hivi hivi na kanga hii irijitanda arikuwa mkarimi sana na mpendawatu mungu iraze roho yake mahar pema peponi amina kubwa pia tunamshuru mungu kwa kutuzaria mtu huyu mwamba wa charinze mungu mrinde mbunge wetu kwani nichaguo retu

    • @aishamtaula1959
      @aishamtaula1959 6 місяців тому +1

      Pia mumewe nirimkuta barazani umri huuu anasuka jamvi hawana makuu wazee Hawa wawir mtu na mumewe bibiangu bitirajabu msakamar armuita bibi Goya na mumewe arimwita murisho Asante kuturetea makara hii naitwa Aisha mtaura wa charinze miono huna baya aropewa kapewa cheo kinamruhusu kufanya biashara afanye tuu ajira zinaongrzeka Kwa vijana wetu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +1

      🇹🇿🤝

  • @JumaSafari-x5l
    @JumaSafari-x5l 7 місяців тому +2

    Upofu wetu atujui unajua wewe ayo tusimulie wtz mazombi wote. Ata majani ya mpapai yanafua nguo

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 7 місяців тому +2

    Ili iweje kwa maelezo haya

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 7 місяців тому +2

    Mtajua wenyewe huko

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 7 місяців тому +1

    Huyo mwandishi kahongwa! Ridhiwani Ni Kweli Ni muuza unga na alishikwa China! Pumbavu anajisafisha saa hizi!

  • @mugyabusolwehabura
    @mugyabusolwehabura 4 місяці тому +1

    Mbona mama yake hatajwi?

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 29 днів тому +1

    Hayatuhusu

  • @kwelimohamedtrueman1282
    @kwelimohamedtrueman1282 4 місяці тому +2

    Anamiliki sheli, sheli ndio Nini? Mbona hata kwenye kamusi yetu ya kiswahili hakuna?.. Usituharibie lugha, naona hata matumaizi ya R na L hayako sawa unatamka Rindi badala ya Lindi. Sahihisha makala yako kabla hujatoa jamii

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 6 місяців тому +2

    Mwamba flani ivi kutoka chalinze.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 місяців тому +2

    Tafuta cha kuongelea😮uache uchawa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Unadhani kuzungumzia Maisha ya mtu Kwa wasiomfahamu ni uchawa !!!!!???🥺🥺🥺

  • @maase2023
    @maase2023 28 днів тому +1

    ??????

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 7 місяців тому +1

    Kumbe siku hizi hamna simulizi zaid ya kumsafisha mtu . Huku anawalipa bei ghali inaonekana

  • @ibrahimmussa1775
    @ibrahimmussa1775 4 місяці тому +1

    Yaylyagayagaglyaylylyagqyqyayqyayl

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi 5 місяців тому +1

    Muuza madawa ya kulevya ni nani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 місяців тому +1

    Baba ,mama na mtoto wote wanakula nchi.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Ukiongea jaribu kuwa na Fact kidogo 😥

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 7 місяців тому +1

    Yote ya Nini maneno hayo

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 7 місяців тому +1

    Siwezi kumjua,bora watoto wa nyerere,huyo ni kibaraka wa wazungu, Rip JPM

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 7 місяців тому +2

    Njaa mbaya. Na democrasia ni ushetani

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Tuendelee kufanya kazi Kwa bidii "Njaa Hakuna

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 22 дні тому +1

    Ukimjua ww inatosha

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 2 місяці тому +1

    Muuza unga ni muuza unga tu. Hakuna usiri.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 місяців тому +1

    Mwandishi unatumia fagio gani mbona unasafisha sana atajuana huko mbinguni au motoni

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi 5 місяців тому +1

    Hahahah😮

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs 6 місяців тому

    Huyu ni birionea mkubwa sanaa

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 7 місяців тому +2

    Umepewa shilingi ngapi ndugu mwandishi kwa hii propaganda uliyoitoa?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Kwani wewe sio Mtanzania 🤓

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 7 місяців тому +1

    Hivi nani alisababisha bandari ya bagamoyo apewe mchina kwa miaka 132? Kwa maslahi yake na family yake?🤔🤔

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Embu Tujiulize wote sasa!!!🤔🤔

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 5 місяців тому

      Ndivyo walivofanya ?Jamani watu walirogwa
      JPM baba hebu rudi kwa namna ya kiMungu ushuhudie viroja vya watanzania

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 5 місяців тому

      Ndivyo walivofanya ?

  • @theopisterchalle7059
    @theopisterchalle7059 6 місяців тому +1

    Na wewe mwiz

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 місяців тому +1

    HUU NI MPANGO WA WATU MAHASIDI!!
    RIDHIWANI ANATABIA NZURI KAMA ZA BABA YAKE,HANA MAJIVUNO WALA MAJITAMBO!!HILO LINAWAKERA WALE WENYE UHASIDI MNO!!
    ANAFAA KUWA RAISI WETU MIAKA IJAYO!!