WAZIRI MKUU AMFOKEA MKURUGENZI, MADUDU SUMBAWANGA - ''UNATAKA KUMHARIBIA MKUU WA NCHI? ''...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 200

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 роки тому +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali Місяць тому +1

    Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR. ALLAH Kareem baba majaliwa

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali Місяць тому +1

    ❤❤❤ my almighty ALLAH guide you

  • @alexlipili9343
    @alexlipili9343 2 роки тому +21

    We baba unafanya kazi sana ya kizalendo,,, hongera sana Mheshimiwa daaa one day tutaona matunda ya kazi zako,,Mungu tu akusimamie Waziri Mkuu!!

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 2 роки тому +1

      Uyo mwenyewe kapiga pesa mpk zamabehewa kama kuna wazir mkuu mwizi huyu namba moja Mpk akimaliza Miaka Yake atakuwa tajir namba 2 Kwa viongoz WA serekali wa Kwanza kikwete

    • @mohamedkigwehe3561
      @mohamedkigwehe3561 2 роки тому

      @@wadhhasuleiman2621 unauhakika na unacho kisema? andaa nyaraka zako jisalimishe mwenyewe kituo Cha police chochote unachokijua kabla ya tarehe 20 ikifika tarehe 20 hujariport kituwo Cha police tunakutafuta popote ulipo ndani ya hii inchi.

    • @vivianvivian8585
      @vivianvivian8585 2 роки тому

      Sana aise nampenda anafanya kazi sana

    • @marymsele1743
      @marymsele1743 2 роки тому

      Sio uyu mama ana magumashi

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali Місяць тому +1

    Good baba

  • @siwadaaali5681
    @siwadaaali5681 2 роки тому +1

    Ndiyo Tanzania yetu hiyo chukuwa chako mapema angamiza nchi.

  • @CharlsLusambo
    @CharlsLusambo 7 місяців тому +1

    Kazi nzuri mheshimiwa waziri mkuu hata wakikuchukia lazima wasimamie majukumu yao

  • @mustaphabussinescenter4127
    @mustaphabussinescenter4127 2 роки тому +1

    Kuna wehu wanapiga pesa serekarini nyie 😀😀😀😀😀 aya ila waziri jitaidi huenda tukafikia lengo

  • @OPERATORSGARDAWORLD
    @OPERATORSGARDAWORLD 2 роки тому +1

    MH waziri takukuru nae mla rushwa

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 2 роки тому +1

    Huyu Mkurugenzi hafai hata kuwa balozi hovyo kabisa Profesa Asad alisema asilimia 80 ya waajiri wa serekali Hawana uwezo nchi ina laana hii

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 Рік тому +1

    Lakini baadhi yetu Watanzania ni ukatili mkubwa sana mbona ufisadi unakuwa km ndio sera ya kuajiriwa na Serekali?

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +9

    Tumerudi kule kule😭😭😭🇹🇿
    Watalamba asali, mpaka watakula na nyuki wenyewe 😢

    • @yudanziku6030
      @yudanziku6030 2 роки тому

      Kweli kabisa

    • @nelsonjonathan7660
      @nelsonjonathan7660 2 роки тому

      @Emmaculate Kasinsa yule mama kusema kila mtu ale urefu wa kama hakua na maana waibe ila alimaanisha kila mtu alidhike na mshahara wake😂😂sasa kwa kinachoonekana hapa ni kwamba watu wamekata kamba wanakula hadi kwa jiran😲

  • @davidkimaro1860
    @davidkimaro1860 2 роки тому +1

    Asante mh waziri.mkurugenzi huyo anatia mashaka na ufanyaji wake wa kazi.kamanda takukuru wajitathimini kwa hakika wanashindwa kumsaidia mh rais kusimamia utendaji wa watumishi waovu

  • @yustiniKilumile
    @yustiniKilumile Місяць тому

    Kweli waziri mkuu jembe kweli unatujali kazi yako inaonekana mungu akubariki

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 2 роки тому +3

    Sijapata kuona waziri mkuu kama huyu masha Allah 'Allah akuondeshee husda waziri Mkuu wa Tanzania 🇹🇿

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 2 роки тому +4

    Wew ni maguful na nusu mzee nakupa hongera sana

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 2 роки тому +1

    Nyie GlobalTv wapi huyo, mkurugenzi alipofokewa??

  • @petromwashusa9948
    @petromwashusa9948 2 роки тому +2

    Huyu mchapakazi za watu. Safi sana anajua kazi yake.

  • @mwigafarajakawageme2155
    @mwigafarajakawageme2155 2 роки тому +3

    Wazili mkuu mungu akubariki sanaaaaa

  • @anangisyejoseph925
    @anangisyejoseph925 2 роки тому +6

    Daaaah hiiii nchi ina watu wa hovyo san ukiwa kiongoz wawez kuf mapem

  • @rishedkhalid50
    @rishedkhalid50 2 роки тому +7

    Hii nchi ina watumishi wengi wa hovyo sana kwakweli

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 2 роки тому +4

    Inasikitisha sana. Hakuna kabisa value for money. Magufuli alikuwa nasema yeye sio mkali lakini kwa hali hii ilibidi awe mkali. Mimi nimeumia sana kuona kodi za wananchi zinatumika ovyo. Imefika wakati sasa nafasi za wakurugenzi ziwe zinatangazwa.

  • @tumbwenekilale6962
    @tumbwenekilale6962 2 роки тому +3

    Ahsante Samia Raisi wa jamhuli ya Muungano wa Tz.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 роки тому +3

    Mungu akubariki sana BABA majaliwa

  • @jovitusjonas985
    @jovitusjonas985 2 роки тому +7

    Mambo ya hovyo sana yaan mnazungushana na mtu mmoja nafadi yenyewe ya uteuzi si atenguliwe mara moja tu arudi uraiani shida iko wapi. Mambo mengine mnayasababisha wenyewe acha wavurunde tu

  • @TECHTZTV
    @TECHTZTV 2 роки тому +12

    Namuombea kwa mungu siku moja awe raii wa nchi

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 роки тому

      Yan mm 2025 bor asimame huy tutapat faid hanag maneno maneno 😏ni kazi

  • @adeliphinusgabone7431
    @adeliphinusgabone7431 2 роки тому +1

    Yani na viongozi wengine wangekuwa kama Majaliwa hii nchi ingekuwa mbali sana piga kazi mkuu Mungu akusimamie.

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 роки тому +1

    hongera saan majaliwa PM kwa kazi nzurr

  • @imaima9181
    @imaima9181 2 роки тому +1

    Anacho kifanya Mh Waziri Mkuu kinawakera wapiga hela lakn ni faida ya watanzania wote. Eeh Mwenyezi Mungu ikikupendeza huyu Majariwa aje kua Raisi wa Nchi yetu Amina

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 2 роки тому +2

    Mm sina Mashaka na Kassim Majaaliwa unafuata nyao mbona wengine hawatumbui why🤔 Mkuuu endelea mm mtu wachini huku ninakufuatilia vzr saaaanaa big up 💪🏽🙏🏼 Mm nataka watu kama ww mtu akifanya vzr mpatiae heko yake na akiharibu toa out Baaaaaasi 🤗

  • @saadyahaya5896
    @saadyahaya5896 2 роки тому +3

    Yes kazi iendelee,ila mheshimiwa njoo na huku dar maeneo ya chanika kumeoza sana sana kama umesikia kilio changu nitakushukuru sana,mungu akuongoze inshaallah

  • @ismailmasanilo7018
    @ismailmasanilo7018 2 роки тому +1

    Mawaziri wanao chaguliwa awafanyi kazi vzr mpaka wazir mkuu aende kujua changamoto sehem wenyewe wapo kimya

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 2 роки тому +3

    Sukuma ndani huyoo!!,,
    Inaumiza Sana Kwa kweli 😭

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому +2

    Hongera mh

  • @HamisiDale
    @HamisiDale 9 місяців тому

    Long live John Pombe Magufuli through Kasim Majaliwa,wewe Kasim waziri Mkuu bila kufikicha macho nafasi unayostaili ni ya Dr lsdore Mpango"

  • @johnmizunguofficial
    @johnmizunguofficial 2 роки тому +2

    Huyo mkurugenzi ni mwizi saana alituzurumu pesa ya post code

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 2 роки тому +3

    Hata Hao takukuru ni wapigaji kama wao

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 роки тому +3

    Safi sana waiti wetu wa Tanzania tunajivunia Mungu akulinde

  • @willymwasakyeni4393
    @willymwasakyeni4393 2 роки тому +5

    Daaah kwa kweli nchi yetu balaa na tunasafari ndefu sana kufika yaaan kwa namna hii sijui laana gani iliyoachwa kwenye nchi hii

  • @rashidkalabi8212
    @rashidkalabi8212 2 роки тому +3

    Katibu mkuu yupo na good representation skills

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 2 роки тому +2

    Safi sana waziri mkuu wetu

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 2 роки тому +2

    TAKUKURU nao yani daah!!!

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 2 роки тому +1

    Unamsaidia sana mama mheshimiwa kassim...waziru mkuu ndio anatakiwa kuwa hivi sio rais

  • @stefanontandu2041
    @stefanontandu2041 2 роки тому +1

    Kopi ya mwenda zake mh. Majaliwa anafanya kazi yake iliyotukuka mwenyezi mungu amsimamie

  • @evancetarimo1310
    @evancetarimo1310 2 роки тому +1

    Ee mungu wangu Siku kasimu majaliwa akigombea urais kwa tiketi ya chama chochote Mimi nampa kura yangu😭😭

  • @richardgervas2310
    @richardgervas2310 2 роки тому +3

    Tozo zetu zote wanakula wao ,,,maisha kwetu magumu wanakula wao

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 2 роки тому +3

    Nchi hii imesha shindikans kilasehem madudu Daaaah watu wanatafuna sana pesa

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 роки тому +1

    Pole waziri mkuu unapambana kweli binaadam ni mtihani

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 2 роки тому +5

    Kuna haja ya kutembea na fimbo kama hayati waziri mdogo na dc pia ktk awamu ya kwanza mh John nzunda ,NI kutandika tu

  • @omarmnungu5364
    @omarmnungu5364 2 роки тому +1

    Pole muheshimiwa Waziri Mkuu na Morogoro usiiche Kuna madudu ya ardhi

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 роки тому +3

    Uzuri Mama yupo zake marekani

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 2 роки тому +1

    @Baba waziri mkuu nakuombea sana piga kazi Mkuu dhawabu yako ipo

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 2 роки тому +3

    Takukuru hapo wamehusika kula

  • @muhenasaid1319
    @muhenasaid1319 2 роки тому +3

    Kwanza hapo wameweka mradi wakukamatia ng'ombe

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 2 роки тому +4

    Waliweka kitambaa cha nembo ya taifa kumbe ndani madudu

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 2 роки тому +3

    Upigaji hoyeeeeeee!!!!!!

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +3

    Wazuri hawafii 😭😭😭

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 2 роки тому

      Hii kauli kweli sijui alikuwa anamaanisha nn yule mzee ila tulimuelewa yani wazuri kama hawa wanaopiga Hela hawafi!!!

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 2 роки тому +2

    So sad aki😔😏

  • @annamfinanga3944
    @annamfinanga3944 2 роки тому +3

    Matatizo ya upigaji!!! Paying without evaluation/certificate. Mh. Majaliwa unda team ya kufuatilia hizi kazi nchi nzima! Wakurugenzi hawako serious!

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 роки тому

      Afukuz tu ukikutwa mrad haujatimia kaz hun na mshahar na kiinua mgong hupat wangenyook kuach wiz mrad wa million 500 unaib million 200 utatimia vip mrad million 500 iba million 2 au 3 sasa unaib nus ya mrad

  • @rukiamwinyihija7849
    @rukiamwinyihija7849 2 роки тому +3

    😭😭😭😭fedha za umma.

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 роки тому

      Ndo maan kil siku shid haziishi hii kaz mag aliiwez angekuwep miak 10 tungeneemeka san

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 роки тому +1

    Viongozi wote kutoa mama kama wangekua wanafanya kama kaka mkuu mambo yangesonga sana.

  • @OPERATORSGARDAWORLD
    @OPERATORSGARDAWORLD 2 роки тому

    RITA temeke shida sana mama hafanyi kazi vyeti vina kaa mwezi na compyuta zote zimezimwa wanatumia compyuta za mitaani

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 роки тому +3

    Uwiii watu wanajua kujaza matumbo yao loh hilo jengo lenyewe sasa mmmh jamani jamani mkila na kipofu usimahike mkono hata kama kuiba ibeni kwa akili

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 роки тому +1

    SUKUMA NDANI WOTE HAO MUESHIMIWA MAJALIWA 🙏

  • @ramsdenjames9782
    @ramsdenjames9782 2 роки тому

    Safi sana wazir kazi nzuri

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 роки тому +3

    This is a disciplinary issue ma HR na wakili wa serikali mko wapi?? Msaidieni Mheshimwa Waziri Mkuu kuterminate hawa vilazaa. Walikosababisha hasara kwa mwajiri mkubaliane watakavyo fidia au kurejesha fedha...tuna wasomi kila kona but hamtumii elimu mliopata ipasavyo!

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 роки тому

      Elimu gani hiyo unayosema kumbuka mitaara yetu yote ni ile ile ya MKOLONI ndio maana hata usome mpaka chuo kikuu huwezi kugundua au kutengeneza hata saa ya mkononi 🤣🤣😳😳 na kama unabisha jaribu kuchunguza kwa undani utakubaliana na mm kwa mfano watoto wetu mashuleni chekechea wanafundishwa jinsi ya kuchora CHURA,MENDE,JONGOO na SIAFU wakati watoto wa KICHINA wanafundishwa jinsi ya kuwa injinia wa ufundi wowote ule ndio maana namkubali MAGUFULI kwa kila kitu maana alikuwa na mipango ya kuifuta mitaara ya MKOLONI isiokua na maana yoyote RIP mzee baba Magufuli 😭🙏

  • @mankajuddy9856
    @mankajuddy9856 2 роки тому +1

    Aiseee. Hayaaa.

  • @aloycefrancis6003
    @aloycefrancis6003 2 роки тому +4

    Mbadala wa mzee wetu anafanya Kaz Sana mtetezi wawanyonge tusaidie baba na mikoa mingine Ni uozo unaendelea. Rip magufuri

    • @magrthmakandi7224
      @magrthmakandi7224 Рік тому

      Sumbaeanga tu akuna docta vifaa vipo ilaawajui kufvitumia hosp tu ya mkoa ni zito watu wanakufa bila uduma jamani sumbawanga kweli😢😢😢tunadhukuru hosp za watu binafsi napo uwe na kipato

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 2 роки тому +1

    Sosiri nchii hiii 😳🤭😢🇹🇿

  • @alexykalhimosile3439
    @alexykalhimosile3439 2 роки тому

    Mr majaliwa huwenda ukajakuwa president kwasa babu moto wa JPM ukondaniyako 🤞🤞🤞

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 роки тому

    Hatat

  • @theophilojohn7331
    @theophilojohn7331 2 роки тому

    Sema vimeumana sumbawanga na mkurugenzi

  • @Mzawa12
    @Mzawa12 2 роки тому +1

    Mtalitinya kayakanyagaaaaaa🤣🤣🤣🤣🙌

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 2 роки тому +2

    lakin alisema mwenywe kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake sasa iyo sasa

  • @abelmkayala1573
    @abelmkayala1573 2 роки тому +1

    Aliye sikia unaijua asilimia 91 wewe agonge like

  • @amirimadagala8967
    @amirimadagala8967 2 роки тому

    Kiufupi Rukwa pameozaaa....na hakuna siku huu mkoa utaendelea

  • @varelianmwajombe4417
    @varelianmwajombe4417 2 роки тому

    Kwenye hii miradi kiukweli kabisa watumishi wanazipiga hela hizi ninyi cna hama.

  • @jeremiamaduhu2127
    @jeremiamaduhu2127 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 9 місяців тому

    Tatizo ni kuteua nje ya mfumo wakiutumishi nao wateule kutopata induction course

  • @officialmkerewe
    @officialmkerewe 2 роки тому +2

    Wazembe wote 😂😂😂😂 hawa fukuza wote

  • @josephchilongani2057
    @josephchilongani2057 2 роки тому

    Kwakweli Waziri Mkuu anafanyakazi kubwa Sana. watendaji mumuunge mkono Kwa kutimiza wajibu wenu. Haiwezekani mtu mmoja apambane na uozo wooote nchi nzima!!!!

  • @SalimDahungamshahara
    @SalimDahungamshahara 9 місяців тому

    Wanahujumu uchumi wawekwe ndani tunatoa kodi mshahara wanalipwa bado wanatuibia wawekwe ndani wapishe uchunguzi

  • @georgemwakalindile687
    @georgemwakalindile687 Рік тому

    Hii mijitu bana,inapewa jukumu la kusimamia tu wala sio kutafuta pesa....alafu inaboronga....aibu!!

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 роки тому

    Jengo zima na vifaa vyote humo havina ubora, mkandarasi gani huyu jengo limekaa hovyo hovyo,tiles si za viwango,kuta haziridhishi, na frem za milango hazina umadhubuti, rangi pia haina ubora,sijui mafundi niwa mitaani🤔

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 2 роки тому

    Kwenye huo mkoa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, kamanda wa mkoa wa TAKUKURU na kamanda wa TAKUKURU wa Wilaya wote ni majipu.

  • @mlekwalulinda6551
    @mlekwalulinda6551 2 роки тому +3

    Hata nyumba yangu siwezi kuluhusu fundi anijengee hivyo

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 2 роки тому

    Kweli mh waziri mkuu anafanya kazi yake sawa sawa lakini mama samia hayaoni haya?????? Ina maana waziri mkuu hamwambii rais juu ya wateuliwa wa rais madudu wanayoyafanya?? Au mama yupo upande wa Hawa wafujaji ??? Inaboa Sana aisee

  • @kassimukipingu7917
    @kassimukipingu7917 2 роки тому +1

    Inatia hasira mkuu wangu mpaka hapo maamuzi ninayaona

  • @simonfrancisjr6591
    @simonfrancisjr6591 2 роки тому

    Wallai ktk viongoz wa siasa uyu ndo anaeupga mwingi kwel na wat hawasemi Wala kumwambia kma yy ndy mpgaji mwngi

  • @daudpatrick1173
    @daudpatrick1173 9 місяців тому

    Yaan hao baada ya JPM kuondoka tutaliwa mpaka mwisho.

  • @almujibually
    @almujibually 2 роки тому

    Hao ndio wanaangusha jitihada za serikali majaliwa dili nao hao mashubamiti

  • @daud405
    @daud405 2 роки тому

    Product of Rais Pombe Magufuli.Waziri mkuu endelea kukaza buti tupo nyuma yako na Mungu atakutangulia. CCM itabakia madarakani milele. hatutaki katiba mpya. Mhe .Majaliwa pambania wanyonge sasa kama Magu.hawa watu walifurahia sana kifo cha Magu wetu ila Allah yupo halali

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 2 роки тому

    Hivi hawa wakuu wa mikoa wakuregenzi plus mkuu wa wilaya wanafanya nni!!!! Jmani kzi kitenge Lea mav8 tu na kujaza matumbo

  • @abdallahtupa2208
    @abdallahtupa2208 2 роки тому

    Waziri yeye anajisumbua wakti mama mwenyewe hana ukali

  • @paulthomas2748
    @paulthomas2748 2 роки тому +1

    Hivi hawa huwa wanapataje hizi kazi jamanii,,,,

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 2 роки тому

    Duuh🤔🤔🤔mmh

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 2 роки тому

    Kiukweli namuonea huruma sana waziri mkuu hao watumishi hawana wered ni bora wapishe wawekwe watu wenye uchungu na nchi yao

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 2 роки тому

    Kazi ya waziri mkuu ni ipi naona Kama mauzauza vile waziri mkuu anatakiwa apate taarifa ilio sahihi sio mapichapiicha hayo yanashusha hadhi ya cheo hicho

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 роки тому

    Hii nchi ni ngumu kuiongoza yani Rais anakazi kubwa kuongoza watu yani serikali inania njema na wananchi ila watendaji wa serikali sio waadilifu!!!

  • @tezuramziray8700
    @tezuramziray8700 2 роки тому

    Mh. Waziri Mkuu kama nakumbuka ushawacharaza viboko watu fulani. Hivi mbona umepoa sana siku hizi au fimbo za mlawa huna nikuletee toka upareni