KIMEUMANA! WATUMISHI WAKATAANA MBELE YA WAZIRI MKUU, PESA ZAPOTEA - "NANI ALIWATUMA MTOE PESA?"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • KIMEUMANA KIGOMA! WATUMISHI WAKATAANA MBELE YA WAZIRI MKUU, PESA ZAPOTEA "NANI ALIWATUMA MTOE PESA?"
    Waziri Mkuu amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma, Steven Mafiga afanye haraka kuwachunguza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bi. Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Wilaya hiyo, Bw. Majjid Mabanga ili kubaini ni kwa nini miradi haiendi wakati fedha zilishatolewa kitambo.

КОМЕНТАРІ • 323

  • @EmanuelFesto-nm8fu
    @EmanuelFesto-nm8fu 6 місяців тому +3

    Waziri mkuu nakupa ongera kwa kazi nzuri pia enderea kutetea wanyoge pia nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu pia akujalie nguvu na afy

  • @godsson5954
    @godsson5954 Рік тому +4

    bravo mh Waziri mkuu your the best hongera kwa Mh dr mama Samia your the best lakini ni heri kusiwe na wateule bali nafasi za wakurugenzi na wakuu wa wilaya na mikoa ziwe nafas zinazotangazwa na watu wa apply kama kaz zingine kisha tunaomba wafanyiwe vetting wapimwe na akili vizur pamoja na shule zao na uraia wao kisha wajadiliwe bungeni then waapishwe naona ikiwa hv ndo wataheshim mali na heshima ya serikali

  • @SimonKitaly
    @SimonKitaly Рік тому +2

    Mkuu wangu waziri mkuu Mungu akubarii sana,siamni masikio yangu ninayoyaona na kuyasikia Mungu ameanza kujibu usiogope Mungu anakulinda

  • @BashiruKibabi
    @BashiruKibabi Рік тому +1

    Hongera sanaa waziri mkuu kwa kutetea kodi za wananchi

  • @SensaManzagata-tv7ds
    @SensaManzagata-tv7ds 9 місяців тому +1

    Tunakuamini sana waziri mkuu wetu hakika wewe ni jembe letu ahsante Mungu akujaze daima AMEN

  • @cathyrwiza
    @cathyrwiza 6 місяців тому +2

    Baba, Majaliwa Mungu akulinde,unanifanya nimkumbuke MAGUFULI it ko vizuri, wewe, makonda mko vzr

  • @FakiSalum-n8y
    @FakiSalum-n8y 10 місяців тому +1

    Asante baba

  • @Makenge-b5t
    @Makenge-b5t Рік тому +1

    Mhs,waziri mkuu,pole na majukumu,pia hongera kwa kazi unazo zifanya tunazojua,njoo tarime nikero tanesco hasa pale hitirafu zaumeme zinapotea jitokeza,mfano mita kutoka peleka umeme kwenye nyumba ya mtena,unaomba msaada kulekebishiwa,inakuchukua ha wiki hata mbili mteja ukiwa ngiza,sasa wateja ndio wapande kwenye nguzo kulekebisha tatazo tusaidie tarime kweli nishida

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg Рік тому +3

    Mungu atusaidie jaman

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 7 місяців тому +4

    Yaani hao watu hawana upendo kutoka moyoni wala hofu ya Allah hiyo ndio shida kubwa inayotokea.

  • @raulnassor5761
    @raulnassor5761 Рік тому +5

    Uwe raisi nakuchaguwa km magu daah!unatukumbusha mtu wetu,mungu alaze mahalo pema peponi Amin.

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 4 місяці тому

    My hero Allah hakupe maisha marefu Ameen

  • @jamesyegera5918
    @jamesyegera5918 10 місяців тому +1

    Magufuli wangu ,Majaliwa wangu raisi wangu, ❤❤❤

  • @LeahAlbinus-og9by
    @LeahAlbinus-og9by 10 місяців тому +1

    This is too hot,, Mwenyezi Mungu awasimamie viongozi wetu waaminifu, mna kazi ngumu sana

    • @nehemia397
      @nehemia397 7 місяців тому

      kazi ngumu si wamejipa wenyewe.
      mfumo wa CCM ni mbovu .

  • @hajinjuku-be7iq
    @hajinjuku-be7iq Рік тому +1

    Asanti sana waziri kwa kazi mzuri ni wachache wanaofanya hivo

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 7 днів тому

    Pole Mheshimiwa Waziri Mkuu.Kwani mkuu wa mkoa yuko wapi ???

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 7 місяців тому

    Hongera waziri mkuu hao ndio wanaotugombanisha na wananchi na kuwapanguvu wapizani

  • @jonesbrighton2874
    @jonesbrighton2874 6 місяців тому

    Ongeren sana kiongoz tfikie na kwetu Bukoba Vijjn muone

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 Рік тому +2

    Mh ,hata bukoba mjini
    Sehemu ya kyabitembe block A majambazi yamezidi watu wanavamiwa nakubakwa,na hawaogopilolote maana hakuna msaada wowote kuwasaidia wa wananchi

  • @roseshirima3168
    @roseshirima3168 10 місяців тому

    Baba hongera kwa kufichua kuna uozo mwingi upo umejificha

  • @KishokaMrumakishoka
    @KishokaMrumakishoka 5 місяців тому

    Yani viongozi kama waziri mkuu mi nawapenda sana tena sana

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 Рік тому +1

    Tumbua hao sasa hivi.washenzi sana hao. Mh. Majaliwa tunakuamini.

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 9 місяців тому +1

    Sio ukweli ni kneels tu

  • @georgevalilanga7412
    @georgevalilanga7412 Рік тому +3

    Hongera wew ndio raisi wa ichi hii

  • @KiduoMasimba
    @KiduoMasimba Рік тому

    Mlikua wp wote kumbe n wazur ivo ❤❤❤❤ majaliwa

  • @sylvestermitanda3502
    @sylvestermitanda3502 7 місяців тому

    Serikali yetu Tukufu ya Chama chetu cha Mapinduzi,inatekeleza ilani ya Chama sawa sawa.Na inalekeza fedha kwenye miradi mbali mbali Nchini,yenye dira ya kuleta mabadiliko ya Nchi yetu.shida ni kama hao watendaji wasio waadilifu kwenye hizo Halmashauri.Mheshiwa Waziri Mkuu wabane hao.Na Hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuwafuatilia.

  • @emanuelkatambi6902
    @emanuelkatambi6902 Рік тому +9

    Huyu ndiye MAJALIWA niliyemfahamu kipindi cha Mzee MAGU ameanza kurejea tena

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому +1

      Siku hizi nimeishiwa na uwaminifu wake RIP mzee baba Magufuli hii awamu ni pacha na ile ya awamu ya 4 yaani fuulu MAJANGA lakini kwa mbali naona kama wanajilipa kiana kutokana na machungu ya msiba wa mzee baba MAGUFULI usiokuwa na maelezo ya kutosha kwa watanzania #etianaupigamwingi 🤣🤣

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 Рік тому +2

    Hawa wote ni chukota na Kusukuma Ndani. 😢😢😢 Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanry

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 8 місяців тому +1

    Mungu azidi kukulinda baba...
    Mhshmw Majaliwa na Makonda majembe ya mama yetu Samia

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 7 місяців тому

    Wallah wanatia
    hasira

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 7 місяців тому

    Baba Mheshimiwa kazi unaifanya kweli

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 3 місяці тому

    Ipo haja ya kuongeza uwezo wa kiutendaji katika Tasisi ya TAKUKURU ili kurahisisha kasi ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zinazokasimiwa kwa ajili ya miradi mbalimbali nchini.

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Рік тому

    Imeshaliwa hyo

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Рік тому

    Hela zinaliwa Tu Ila sisi wanannch tukiiba kwenye Mirad huku tunafungwa jela mbona nyinyi munaleana Tu jamani

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 Рік тому +1

    Fanya kazi mh waziri mkuu,tunakupenda sana ,juhudi zako tunaziona

    • @edwinmbelle4207
      @edwinmbelle4207 Рік тому

      Msingi tofali mnasimamisha badala ya kukaza ? Hospitali ya serikali ?

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 7 місяців тому

    Pesa ya Miradi inaliwa na Watendaji waliochaguliwa na Serikali yake pia Fedha ya kutoka kwa Wafadhili zinawekwa Mifukoni mwao sababu ya ukosefu wa uaminifu wa Watendaji wafanya kazi pole sana Serikali iliyoko Madarakani

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Рік тому +1

    Hafai hasimamii na Wala hafuatilii huo ni uzembe

  • @razackXheby
    @razackXheby Рік тому

    Kiongoz wng uliobak wa muda wte love dady

  • @abdillahhassan6271
    @abdillahhassan6271 Рік тому +2

    Hawa munawalea sana pesa wanajikopesha wanafanyia biashara kama ukisinzia kama alivo sinzia mama wanazila

  • @mathiasmanonga3939
    @mathiasmanonga3939 Рік тому +1

    Wamejichanganya sana wangekuwa uniform wangetoboa hapo

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 Рік тому

    Kasimu anafanya kazi sana tatizo wakurugenz njaa nyingi

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 9 місяців тому +1

    Mtupe sisi huku tunataka kazi tutalitumikia Taifa ipasavyo!!

  • @courtesyHealthservices-bg8we

    Kongole,Tua Mama Ndoo Kichwani.

  • @IssaKimonje
    @IssaKimonje 9 місяців тому +1

    Hamnaaa kitu hapo mkuu viongozi hawa naona waka risti

  • @MakoleMakoye-v7i
    @MakoleMakoye-v7i 8 місяців тому +1

    Hawa watu wanapokutwa na makosa wawe wanawekwe ndani kwanza, kisha wafilisiwe,shida ya nchi yetu imekuwa ikiwahamisha na kuwapangia maeneo mengine ya kazi utafikili uko waendako hawata iba tena,suluhisho la kukomesha wizi ni kuwafilisi na kuwafunga ili wenye tabia izo wajifunze kuwa waadilifu

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Рік тому +1

    Ndo mfumo wa ccm mliojijengea wa kuacha fedha za serikali maofisn Ili mgawane IPO ck Mungu aliyehai atawalipa tu rushwa tu

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 Рік тому

    waziri mkuu oyeeeeeee

  • @FrankAngolwisye-mr1nc
    @FrankAngolwisye-mr1nc 9 місяців тому

    KWA KAZI NZURI YA WAZIRI MKUU KAMA HII UOVU KAMA KAMA HUU UNAWEZA KUKOMA KABISA. HONGERA WAZIRI MKUU KWA KAZI NZIRI SANA!!!

  • @FaustinZacharia-b6z
    @FaustinZacharia-b6z 9 місяців тому +1

    Kelele zote hizo tunataka utekelezaji wa atua wanao chelewesha acheni siasa kuwapanga watu

  • @IssaKimonje
    @IssaKimonje 9 місяців тому

    Hvii huyo nikiongozi kweliii mbona mwamchosha waziri wetuuuu

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Рік тому

    Majaliwa Khasim...
    Kiongozi .

  • @JohnPaulo-n7s
    @JohnPaulo-n7s 7 місяців тому

    Waziri mkuu njoo na huku nkasi ututembelee baba

  • @MeckChaz-e2e
    @MeckChaz-e2e Рік тому

    Endelea na kazi

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Рік тому

    Mheshima tunakuomba uchukue formu 2024 tunakuomba wewe ni Raisi wa wanyonge

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 7 місяців тому +1

    Tatizo ni mfumo wa uteuzi.kujuana,acha waibe tuu .mama anawachekea,

  • @AngelHamad-d6q
    @AngelHamad-d6q 7 місяців тому

    Nataman mwaka mmoja uwe Rais wa nchi hii

  • @JaphalyMbena
    @JaphalyMbena 5 місяців тому

    Majariwa oyoooooooooooooooo lete chomboooo ayo ndo maamuzi ya kiume hapa kwa hapa

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 Рік тому

    Mhe waziri mkuu futa kazi hao hata Mungu alimfukuza adamu baada ya kushindwa kutii maagizo ya Mungu wafuteni kazi hawajui wajibu wao

  • @NdageKitahama
    @NdageKitahama 7 місяців тому

    Hao ni wezi hata maelezo hayatoshelezi kamata hao hela wameshakula hapo hakuna hela hela za umma zinaliwa tu

  • @NdageKitahama
    @NdageKitahama 7 місяців тому

    Maelezo waliotoa ni ushahidi tosha hela zimeshatafunwa jaman hivi nchi hii tutafika kweli watu hawaogopi pesa ya umma wanazitafuna Kama zao yaani ningekuwa mm waziri mkuu nikukamata tu na kuwaweka ndani Kwanza alafu maelezo badae hapo hela zimetafunwa

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Рік тому

    Huyu Mkurugenzi mmemtoa wapi ? Uzoefu wake ? Daaaaah!

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 7 місяців тому +1

    Wamejazana tu maofisini kaxi haxiendi hivi kweli wilaya moja wafanyakazi tele wanacho kifanya hakionekani ukweli hii ni shida kubwa mno.

  • @alisaidi2620
    @alisaidi2620 5 місяців тому

    Shida ni nyinyi viongozi wa juu hizi pesa mukitowa munatosa kisiri bila cc kujua

  • @mchomvutv2426
    @mchomvutv2426 7 місяців тому

    Tatizo wanaogopa kupitisha madokezo kwa sababu hawaaminiani kila mtu anahisi anapigwa😢😢😂

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 Рік тому

    Hií si aina bora ya uongozi. Si uongozi bora. Huu ni unanyasaji Magufuli style. Mbaya!!!!!!!!!!!

  • @MrsmadoshiSalum-go9pe
    @MrsmadoshiSalum-go9pe Рік тому +1

    WAZIR MAJALIWA NAWEW NIMSANII MTU UNAONA KOSA ALAFU UNASEMA ACHUGUZWE NAWEWE JITASIMINI

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому +1

    Mhe.hawa watu wezi na wazembe sana jaman duh.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 місяців тому

      Tatizo wengi mpaka baadhi ya Mawaziri ni mizigo wanabebana na kulindana

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 8 місяців тому

    Kuhusu Fedha za Miradi ya kujenga Shule Miradi nyingi sana Fedha hazitumiki inavyotakiwa

  • @Samweli-vw8ji
    @Samweli-vw8ji Рік тому

    Wazuri mkuu na matehemu magufuli ww jembe kama Mzee maguu bc unastahilu kuwa kiongozi Bora ndani ya nchi yetuu

  • @JaphalyMbena
    @JaphalyMbena 5 місяців тому

    Majariwa makonda mmepikwa mmeiva.. vizuri. Bado kwenye maamuzi toa uyo weka mwingine

  • @saidsalum423
    @saidsalum423 Рік тому

    Fukuza wote hao unasubili nini pm

  • @Mezd-g8g
    @Mezd-g8g 7 місяців тому

    Wetu wanailaumu serikali kumbe kuna watendaji wazembe wanaiba vibaya mno miradi haikamiliki aisee 😢hii ni hatari 😮

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому +1

    Kukamilika ujenzi hapo hakuna.Mhe.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Рік тому +3

    Hivi angela kairuki alikuwa anafanya nini hapo Tamisemi haya mama kampeleka utalii kwaniblazima awe waziri? Ndo mana wanaboronga wanahamishwa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 місяців тому

      Shida hiyo ndio inayofanya nchi hii haiwezekani kupiga hatua kuna Mawaziri mizigo ila wanabebana sijui kunasiri gani humo?.Watanzania wengi wamehitimu hawana kazi ila hichi chama kina Recycling hao hao mtu hafanyi kazi haoneshi maendeleo mazuri lakini atatolewa pale aletwe hapo sijui maana yake ni nini.Ndio maana hali ya nchi mbaya mbaya mno

  • @userwalterreal
    @userwalterreal Рік тому +1

    Inchi imeliwa Sana watupishe tuu

  • @venturejackson6357
    @venturejackson6357 Рік тому

    My president 🙏🙏🙏💕

  • @Ambwene
    @Ambwene Рік тому +5

    Walishaambiwa na mamaenu samiah kwamba kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake lakini asivimbiwe

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c Рік тому

    Waziri mkuu hapopanashidaaaaa

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 10 місяців тому

    MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE WEPESI WA KILA JAMBO LAKO LIWE JEMA AMINA FANYA KAZI NA UJE VIKAWE WILAYA KIBAHA MKOA WA PWANI KARIBU SANA KUNA MAUJENZI UYAANGALIE HUKU NAKUOMBA

  • @williamngalla1068
    @williamngalla1068 Рік тому

    Daaaah

  • @geraldmaleko8390
    @geraldmaleko8390 Рік тому +1

    Maigizo tuuu😢

  • @KinundaAlex
    @KinundaAlex Рік тому

    Muheshimiwa waziri Mkuu piga kazi kusaidia Raia wako .Hawa watumishi ndio unao wafanya wananchi kulalamikia serikali .muheshimiwa waziri Mkuu awo usiwaonee huruma ,W aziri wapo Watanzania ni wengi sana ambao.wangeiweka serikali Katika maendeleo.Waziri Mkuu naomba wasikuzingue Watanzania ninawafahamu sana tu wanalamba tu fedha .Je muheshimiwa sentiment ziko ngapi .wangine fedha zipo wengine hazipo.Waziri nakuomba usipoteza na sauti yako muheshimiwa .piga kazi muheshimiwa nimekupongeza sana juhudi zako.ujumbe utoka nje ya Tz

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 Рік тому +2

    Tatizo hakuna hatua inayochukuliwa,fanyeni Kama China,kipindi cha Magu wanatumbuliwa hadharani haki za binadamu walikuja juu,lakini hela zinavyoibiwa wako kimya Kama vile hawapo

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому +1

      Haki za BINADAMU ni Magenge yenye ufadhili wa wazungu kutuvuruga tu

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 7 місяців тому +1

    Wapigaji wengi Tzd kwakweli na Serekali mnawaachia tu hamuwachukulii hatua mnawalea saana tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 місяців тому

      Sasa kama Panya road wavaa suti ni karibu darasa lote nani atamtoa mwenzie nje ya darasa ?😅

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому +4

    Wizi wowote unaofanyika kwenye harlimashauri zetu ni zao la wizi unaoyokana na serikali kuu.Kama mawaziri wanaiba mabilioni na hakuna aliyesjtakiwa na kirudisha hizo pesa unadhani huku chini hawapendi hizo pesa?

  • @IssaKimonje
    @IssaKimonje 9 місяців тому

    Waziri mkuu wajichosha tu babaaa

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu Рік тому

    Mzee ongera sana ila mtwara madudu mawilayani hususani masasi Mzee plz

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Рік тому

    Walitoa hela ya Halmashauri kwenda Shuleni alifuatilia lakini kuna shida

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 9 місяців тому

    Tutamkumbuka sn Magu watu wanajilia tu vya wananchi huku mishahara wanapata kubembelezana kwingi sn hamna kitu hapo Waziri mkuu komaa nao mbele hao niwapigaji

  • @sawackoswald9322
    @sawackoswald9322 Рік тому +1

    Mzee wanawaona wananchi ni manyani mkuu pesa za walipakodi zanaliwa tu

  • @dicksonexavery726
    @dicksonexavery726 Рік тому +1

    Ccm mmeshindwa kuendesha nchi u must go.

  • @AloyceKiria
    @AloyceKiria Рік тому

    Hii Nchii ngumu sana

  • @LUCASCHOBIKEKA
    @LUCASCHOBIKEKA 9 місяців тому

    Nyie wachambuzi si kweli ule mpira haujaguswa na mchezaji wa singida saido alipiga ukatoka na hata mwenyekiti wa kamati ya waamuzi amekubali ilikuwa goli kiki ila Bado anamulinda refali aliyeongeza dakika 2 wakati dakika za nyongeza zilikuwa 6 na ndani ya dakika za nyongeza hakukuwa na tukio lililopoteza dakika Tena kama Kuna tukio likitokea ndani ya dk 6 za nyongeza la kuchukua dk 2 nilipo litajeni.

  • @JohnAntony-i7u
    @JohnAntony-i7u Рік тому +1

    Huuuyuuu mzeee🙏🙏🤦🙏🙏

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 Рік тому +1

    Katiba mpya ni sasa

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 7 місяців тому

    Unajua tatizo linakuwa hawachukuliwi sheria ndiyo sababu wanafanya wanavyotaka😮

  • @GabrieliKitindi
    @GabrieliKitindi Рік тому

    Usimamizi huu ndioulitakiwa uwendelezwe tokakipindi chamagufuli watuwalishazoeakuchapakazi ila milijisahau watumishi wakarudia haliyazamani ubadhilifu.kuwarudishatena wazoekuchapakazi inaitajijuuditena komaa baba kama upivyokaza kipindi kilichopita watu wafanyekazi pongezi kwako waziri.

  • @nicksonpontion7105
    @nicksonpontion7105 6 місяців тому

    Kupitisha Dokezo ni kikwazo yaan halmashauri wanasumbua hatari ndo maana mtu hadi unachoka ase

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 Рік тому

    Daaah jamani jamani hawa washenzi watoe hao wanarudisha nyuma maendeleo ya Taifa letu wananchi wataseka kupata huduma za zahanati pamoja na shule maji ndo usisime umeme ndo mamaaaa yangu hata wananchi wamechoka sasa mkowapo viongozi

  • @rashidyardo7929
    @rashidyardo7929 Рік тому

    Natamani mama Samia 2025 angeacha huyu mwamba agombee, sio Sheria lakini huu ni mtazamo wangu tuu.