Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Pole sana jamni,, kweli changamoto zipo ,, na ukipata nyumba nzur kwelii shukuru san mabos hawafanani,,, ila mmi nasema Alhmdullillah 🤲nyumba niliyopo n nzur nainjoy
Ukiwa hujapitia shida huwez amini shida ya mwenzio kun dada hapa mzanzibar anateswa na wazanzibar wenzie kila siku anaambiwa ananuka asisishike kikombe asitumie atumie vile plastiki ndiyo vikombe vyake 😭 Ramadan amipika sambusa anapewa mbili tu tena hiyo mpaka daku au hamna kitu kabisa wanakula wao Tu tena wanamwambia hasa mpka umelize kazi mbwa hawa mungu atawalipa @zaninikikumbi
Nasoma comment tu nikicheka SubhanaAllah nina mwaka wa 17 nimefanya nyumba tatu ya kwanza sauadia miaka 6 nyumba moja ,dubai nyumba ya kwanza miaka9 nikarud nyumbani nyumba ya mwisho yakuaga kazi miaka miwili alhamdulillah sijwahi kupata misuko suko hata kidogo
Alhamdulillah nimejijenga vzr wanangu wapo makazini Dubai Sio kazi za nyumbani alhamdulillah na kikubwa Zaid sijawahi kupata kazi ya mateso ,kama nimteso singekua nimekaa hivyo ,kazi zagulf ukipata pabaya huez kukaa zaida ya contack
Tatizo lenu mnataka kufanya kazi za deiwaka kuzulula kwa sana. Hamtaki kutulia mfanye kilichowaleta. Mimi nina miaka 8 sina shida na boss wangu sijawai kubadilixha nyumba. Tamaa zimekuponza uliolewa iliumfilisi mzee wa watu tuxhawajua sana.
Eeeh ndo ivyo kiukweli anachokiongea yupo sahihi kwenye upande wa wafanyakazi kutokupata haki zao baadhi Yao wanaishi vzr tuu lakini wengine wanapata tabu sana Hadi kupigwa wanapigwa😭
Kila mtu na bahati yake kama umejaliwa ma boss wazuri sio wote na kingin sio kila mwenye kufanya kazi za day works eti niwazururaji wengin wamekimbia kwasababu ya manyanyaso na mateso wengi wapo kwa kazi za inje ili kuokopa kurudi nyumbn na wengin hufanya kazi za halali wanapambana 😞🙏 sio kila mwenye kufanya kazi za inje eti ni mzururaji
Pole Sana kipenzi mungu akulinde Kwanza nakupa pole mwanamke shujaa napia nakupatia ongera Sana kwakuolewa uko urudi kwa mumewe ukiwa alali kitaifa Mimi mwenye nilipita uko jera omani lra nili kaa siku mojatu nililala vizuri nakula kizuri adinikarudi Tanzania
Sio oman tuu kila nchi ilo lipo ila ukidakwa una bahati na bora uko mageton kuliko ubaloz ila sasa hakikisha kila unapoenda umebeba kibunda chako mana ukidakwa safari sasa ole wako ela ziwe mageton zitakuwa sadaka😁😁
Tatizo baadhi yao wana shindwa kuheshimu mamlaka ya watu, na kufanya wapendavyo, kuishi na binadamu wenye yahitaji uelewa wakina, ukijitya mjuwaji utajuta
ATA KAMA UYU DADA ANA MAPUNGUFU YAKE ILA YOTE NI SAWA LAKIN KIUHALISIA UBALOZ WA OMAN WOTE UNAIHITAJI MSASA SEREKAL UANGALIE KWA JICHO LA PILI KIUKWELI SHIDA YAKO WANAIGEUZA FULSA NA USIPOENDA NAO SAWA WAKALA CHOCHOTE LAZIMA USOTE😢😢
Watu weusi ivi lini utumwa na umaskini utaisha maishani kwa wa africa ni binti wausi njo wanao sumbuka duniani wala sii wazungu sii wa arabu kila kona ya dunia ni wausi tu.hadi huruma.
Polee kipenz Mungu halali wala hazinzii,,,,,,na utambue huwezi pendwa na wote na huwez chkiwa na wote. Atakama ufanye nn so jiamn mwanamke shujaaa, hateteleshwi songa mbele😘
Watu kama nyinyi ndio mnafanya tuonekane wa Afrika hatupendan hivi ni kweli mtu mzima alieacha Familia yake aje kuzifata shida??? Umepata sehemu nzur Sema Alhamdulillah hata mm niko Oman nashukuru Alhamdulillah lkn usiseme uongo kama huku watu hawanyanyasiki wanashindwa kujisimamia. So Hali zote zipo tusijikwezwe
Uongo hayo unayosema sio wote wabaya mm hapa nipo na watu wazuri TU kama wazazi wangu nanikobvizuri sana moaka muda huu nyamafu ww usiwatie ila wwatu burewa Oman
Mimi nipo sehemu nzur naishi kama kwangu ilo uyo anachoongea yupo sahii oman ukipata sehem nzur shukur usione mwezio anangaika ukajion wew ndio mwenye akili mwenzio ataki kazi
Ubalozini hauna msaada kabsa mimi niliugua niliishiwa damu boss akakataa kunitibu akasema gharama ubalozini ni katuma msg hawa kujibu Mpaka wiki 2 hapo nimesha jipigania mwenyewe
@@omanoman2044 kulala na mbuzi washaangaa. Nini? Kuna agent alinitumia video nimeona kwa macho yangu mdada kitanda chake wanalala na mbuzi hayo mambo yako kama hamujapitia kaaa kimya usibishe usiyoyapitia nashangaaa muna paniki au ndio mushazoea utumwa WA ukoloni hata mukiteswa munaona sawa?
@@mamasalhat sasa utumwa wa nin na kat hata TZ MBAFANYA HIZO KAZ TEN MSHAHAR MDOG ANALAL NA MBUZI HUYO KAYATAKA MWENYE UKION HIVO NI MTUY AMBAE HAJIELEW KABSA MBUZ KWELI MBUZI HAWHAW AM MBUZI GAN JAMAN OMAN HII MIE SIJAWAHI ONA
Nilicho jinsia watanzania waoga sana mtu akitokea kusema ukwel mnapinga atukatai wengine mnakaa vizuri lakin kwa kuvumilia tu 😢 maisha ya Tanzania n magumu na akuna tegemez ata mpinge vip ukwel utabak ukwel tu
Huyu dada I tried to critique her! Mimi ni mzuri sana to find untrusted stories! But her story, I believe 99.00% ni mkweli mtupu! My advice be a good wife and work hard to go back to Oman with your children and forget where you come from! God bless you!
Jala nikawaida kwa yeyote alifanya kazi za nje kinyume na boss wake ukitoroka kwabosi lazima upitie jela Ambayo inaitwa leba ila hukai sana ata Mimi nilipitia kwasababu nilimtora bosi wang kwaiyo ukitaka kurudi lazima upitie huko jela
ISHALLAH KHER MUNGU ATAKUSIMAMIA KILA KITU KITAKUWA SAWA NA UTAPATA HAKI ZAKO UWE KM MKE WA MUOMANI NA KWA YYTE ALIESHIRIKI KUKUZALIKISHA ISHALLAH MUNGU ATAMZALIKISHA N YY APA DUNIANI NA FAMILIA YKE MPKA KESHO MBELE YA HAKI. NA PIA NA SS TULIOKO HUKU MUNGU ATUSIMAMIE DAIMA. ILA TUNALIA SANA NA UBALOZI. HILI JAMBO SERIKALI LILIANGALIE SANA
Siku zote mungu huku onyesha njia sahihi kwa kupitia magumu utakayokutana nayo inshalah Allah atakusimamia haki zako zote na utapata kwa uwezo wa allah kulli khaki walaukana muraa ni siku zote dhuluma haidumu kwa kweli
Huyo balozi wa Tanzania nchini Oman na wafanyakazi was ubalozi hawafai wanawadhalilisha Watanzania Oman. Wanakula rushwa na urasimu. Hiyo economic diplomacy iko wapi
Huyo ni muwengo. Kama kweli alipata shida kwa nini asirudi Tanzania. Na watu wa ubalozi. Wamemuona muongo. Vp ukodi nyumba. Wengi wanakuja kufanya uhuni. Kesi nyingi ,zipo ubalozi .huyo mzee namuonea huruma huyo mwanamke tapeli kaolewa. Kwa pesa tu. Hata ukimsikiliza kwa makini unamjua muonngo. Wengi wanatoroka kwa mabosi wao ili wafanye uhuni.
Ushauri wangu roga 😂😂 iyo ndoa inaweza ijafa mune akaona mambo mengi aka amua kupotezea roga dada 😂😂😂 pole sana aiseee ndugu yangu najuwa uliyo ongea ni yakweli coz na mm nipo iraq
Anameremeta chea Oman na Waarabu ww watu na raha zao. Tupo kwetu tz twanuka njaa😂😂😂. Kanifurahisha hilo neno. Bitwaka yy anasema bataka.😂😂. Nchi zilizo endelea msilete ujuaji ni full respect.
Hana haya huyu dada atakidogo yani hawa ndowanao tusababishia sisi huku tuonekane wahalifu yani anasema kabisa hataki kurudi kwao anataka ikama yandoa mh hana haya🙄
Gabriel huyo kasepa wametapeli cargo za watu na Pesa za Tigo pesa na Dullayo mwenzie anapostiwa kila group matapeli hao ushakuwa na block unatakiwa urudi Tz .Hivi ukamatwe na umeolewa ulishindwa kutoa namba za mumeo ajulishwe km upo police na umerudi ht wiki 2 bado mara huduma mumeo anatoa jaman Mzalamo unajua kuyabananga
Pole Sana mdada Zanini Sasa ivyo unavyosema uko kwenye hio ndoa kimaslahi si watajua wenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 sema nmekupenda Sana umejua kuongea Kila kitu 😘 😘 😘 na kusema ukwel ubalozi wa Tanzania nchini Oman Kila mtu analalamika sijui Kwann hawajirekebishi
@@africanfood_zanzibar4863 Yan sijui wamewekwa embassy kufanya nn wallah mtihan tujitahid tu kutokufanya mabaya ktk nnchi za watu kama baloz zenyewe ndio hizi
😂😂😂😂😂😂😂😂 dada umenichekesha etiiii nimeenda kulipoti police kwenye kituo chake cha kazi😂😂😂😂😂😂 Hongeraa mpenzi ww nimpambanaji mwanamke wa shokaaaaa 💪💪💪💪
Kwa bikra gani aliokua nayo ad apewe pesa hiyo wenyewe wanapeana pesa nyingi kwa xbb ya kuolewa na bikra yy kashazaa wtt 4 kisha kibabu cha watu kitoe pesa hiyo kwan si alikua amejipost huyu ck ya ndoa yake kule tiktok 😂😂😂
@@ZenaKambi-d6nWana bikra za mbele tu nyuma wanaliwa na wakaka zao kama ulikuwa huijui hii siri Leo ndo nakupa tena wanaishi mascat mjini wanajiuza hata za mbele hawana
@@ZenaKambi-d6n nishakaa na mabinti wameshamaliza kusoma na wameshaajiriwa walipanga nyumba kila siku walikuwa wanaleta wanaume tofautitofauti na akiwa na ijaza basi mtoko ni saa sita usiku akirudi mchana kachoka hata kutembea anashindwa
Kuna watu hamjaelewa lkn omba dua ubaki ulipo muarabu asijekugeuka lkn waliomfanyia c waarabu ni ubalozi unahusik km ubalozi upo kwann hauhitaji hasira sbb pale wapo kwa ajili ya wafanyakaz
Asilimia kubwa ambao wanakucoment ni ambao awamjuw zanin ila kwa mtu ambaye anamjuwa vizur awez kucoment usengeuseng.zanin pole akuna mwanadam ambaye anapenda mafanikio ya mwenzake
Hawa wingi wao unawakuta washajenga na wana majumba kwa pesa izo izo za awo watu wanaowaponda,istoshe wingi wao hawaendei swala la kazi wanaenda kujiuza,unamkuta tajir au mzamin ashatoa pesa na kumleta mfanya kazi, halafu mfanya kazi ashafika nchi husika hatak kufanya kazi .Kiufupi hawandei kilichowapeleka
We dada mjuaji sana ulivofika oman ukajikuta raia wa huko tena nikujuze tuu nchi za wenzetu ukiwa na matukio unafungiwa kuingia kama unategemea kurudi oman sahau pambana na jua la bongo
Muongo huyo kila kitu kipo kwenye system na hata ukitaka kuolewa ipo system ruwi sio jela muongo huyo unawekwa mahabusi tu kwa ajili ya maswali duuuu uongo jamani mbaharibia nchi yenu kwa yo go mlo nao
Hao waarabu wenyewe huku tanzania wanafukuzwa wanakamatwa hovyo na kuuliwa kisingizio ugaidi alafu mnategemea mazuri😅😅sultani majidi aloijenga dar salam kipindi hicho ilikuwapo paliitwa mzizima sasahivi wanasema majengo ya mjerumani hata zanzibar pia ilijengwa na waoman leo wako wapi
Huyu dada mimi namjuwa sana anamdomo sana alivyo olewa alikuwa anawachamba watanzania kwenye magroup hadi huruma tena alivyo waaibisha waomani hivyo asahau kurudi Oman eti anasema kaolewa kwa masilahi 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hawa ndo wanaofanya umalaya baladala ya kufanya kilichowapeleka omani, tena wanawakatisha tamaa watu wengine wasiende kutafuta maisha, mpuuzi huyo watu Wana miaka kibao uko na hakuna kilichowakuta
Yani tangu alivyo kuja huyu mama ubarozi umezidi kuiza tulijuwa tumepata mama kumbe tumeletewa mtihani hana faida yeyote ile Bora arudi akalee wajukuuzake2
Polesana ndugu mimwenyewe nishapandaga ndege n'a dada wa singida kapingwa nakasindikizwa kamaunavyosema polisindio walimsidikiza mshahala hakupewa upo sahihi waeleze jazikama zote
@@MiriamAbdallah yaani usione mtu kaunda oman kafanikiwa ukasema nami niende huko utumie bahati tu lakini kunamambo aiza kwa boss au kwamfanyakazi misiwatetei ila yotenisha yaona changamoto
@@MiriamAbdallah nakingine huyu dada aweza sema kaipata paspot yake je anajua kama inaweza wekewa wino mwekundu asinine tena omani hayo yapo nahawezi uwona akingia tu akienda maigresheniharudi anasindikizwa tena napolis
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mwez ujao nakuja kutetea tunao ishu vizuri maana kila siku wanakujaga wenye matatizo
Shukurumung nasi tumeshashindwa
Kumina tatu ndogo mbona kunawengine wapo mwaka
Hajasema wote😢
Kilamtu nabahati yake
Pole sana jamni,, kweli changamoto zipo ,, na ukipata nyumba nzur kwelii shukuru san mabos hawafanani,,, ila mmi nasema Alhmdullillah 🤲nyumba niliyopo n nzur nainjoy
Ukiwa hujapitia shida huwez amini shida ya mwenzio kun dada hapa mzanzibar anateswa na wazanzibar wenzie kila siku anaambiwa ananuka asisishike kikombe asitumie atumie vile plastiki ndiyo vikombe vyake 😭 Ramadan amipika sambusa anapewa mbili tu tena hiyo mpaka daku au hamna kitu kabisa wanakula wao Tu tena wanamwambia hasa mpka umelize kazi mbwa hawa mungu atawalipa @zaninikikumbi
Nasoma comment tu nikicheka SubhanaAllah nina mwaka wa 17 nimefanya nyumba tatu ya kwanza sauadia miaka 6 nyumba moja ,dubai nyumba ya kwanza miaka9 nikarud nyumbani nyumba ya mwisho yakuaga kazi miaka miwili alhamdulillah sijwahi kupata misuko suko hata kidogo
Duh myaka yote hujafanikiwa siitakuwa umeisha zeeka sasa😂😂😂
Alhamdulillah nimejijenga vzr wanangu wapo makazini Dubai Sio kazi za nyumbani alhamdulillah na kikubwa Zaid sijawahi kupata kazi ya mateso ,kama nimteso singekua nimekaa hivyo ,kazi zagulf ukipata pabaya huez kukaa zaida ya contack
@@pillyseleman8090hongera na mshukuru MOLA wako wengi wamishia kunyanyasika na wengine kufanywa vile hata vifo
Khulka, maadili msimamo wako, dhamira yako ndiyo tafsiri ya maisha yako....hongera sana ukhuty, miaka 8 sijawahi badili nyumba allihamndulillah
@@fatmafatu1128Nami nilitaka kuuliza miaka yotee hiyoooo khaa kweli kunawatu washazoea kutumwa
Tatizo lenu mnataka kufanya kazi za deiwaka kuzulula kwa sana. Hamtaki kutulia mfanye kilichowaleta. Mimi nina miaka 8 sina shida na boss wangu sijawai kubadilixha nyumba. Tamaa zimekuponza uliolewa iliumfilisi mzee wa watu tuxhawajua sana.
Wewe kwa sababu ulipokaa hupati shida hivyo huwezi kujua shida ni nini na hufikirii kwamba Kuna watu wapo na wanapata shida sio vzr
Sasa sishasema wako sio wawote
Eeeh ndo ivyo kiukweli anachokiongea yupo sahihi kwenye upande wa wafanyakazi kutokupata haki zao baadhi Yao wanaishi vzr tuu lakini wengine wanapata tabu sana Hadi kupigwa wanapigwa😭
Kila mtu na bahati yake kama umejaliwa ma boss wazuri sio wote na kingin sio kila mwenye kufanya kazi za day works eti niwazururaji wengin wamekimbia kwasababu ya manyanyaso na mateso wengi wapo kwa kazi za inje ili kuokopa kurudi nyumbn na wengin hufanya kazi za halali wanapambana 😞🙏 sio kila mwenye kufanya kazi za inje eti ni mzururaji
@@belyseirakoze5371 kabisa hujakosea na watu wanakosa haki zao jaman nawashangaa watu wanawatetea waarabu kama ndugu zao khaa
Pole Sana kipenzi mungu akulinde Kwanza nakupa pole mwanamke shujaa napia nakupatia ongera Sana kwakuolewa uko urudi kwa mumewe ukiwa alali kitaifa Mimi mwenye nilipita uko jera omani lra nili kaa siku mojatu nililala vizuri nakula kizuri adinikarudi Tanzania
Pooe sna dadaetu allah akuoe subra 😩 n sisi tuombe mungu aturidhishe n kidogo chetu n tuwe n wenye subra❤
Mtangazaji unasauti ya mamlaka Mungu akubariki Sana
Kabisa
Mashallah
Duh Mungu anipe moyo wakuridhika na vidogo nnavyopewa na mme wangu amiin ya Allah
Omani ni nchi nzuri sana watu wanatoroka wanaishi magetoni 😂😂😂😂
Mmmmh
Sio oman tuu kila nchi ilo lipo ila ukidakwa una bahati na bora uko mageton kuliko ubaloz ila sasa hakikisha kila unapoenda umebeba kibunda chako mana ukidakwa safari sasa ole wako ela ziwe mageton zitakuwa sadaka😁😁
Tena wengi wanaishi tu kwenye mageto 😂😂
Ayajakukuta tulia ww
Sio wote lkn wengine wanavumiliya lkn wanapata shida tu
Jamani hyu hajatesw oman kateswa na waafrika wezake wenye njaa zao kama kawaida yenu afrika pesa mnaipenda kuliko ubinadamu.
Kwani wewe sio mwafirica ni mwarabu koko au nani
Wee nae na kiswahili chote hichi utatumbia mwarabu aaah kudadeqi zako😅😅
Ww mzungu hodari mzungu unajua kiswahili vzuri
Asalaam alykum sisi
@@Rizikialiamechannel763 snaa shukran
Mkienda nchi za watu muwe na adabu
Hana ADABU babako mbwa wewe
Cjui nacheka nini wewe ni mwehu kwakweli😂
Tatizo baadhi yao wana shindwa kuheshimu mamlaka ya watu, na kufanya wapendavyo, kuishi na binadamu wenye yahitaji uelewa wakina, ukijitya mjuwaji utajuta
😂😂
Aliokwambia awana adabu nani kama ujawai kutoka kutafuta uwez kuelew na kama upo uko na unaishi vizur shukur mungu
ATA KAMA UYU DADA ANA MAPUNGUFU YAKE ILA YOTE NI SAWA LAKIN KIUHALISIA UBALOZ WA OMAN WOTE UNAIHITAJI MSASA SEREKAL UANGALIE KWA JICHO LA PILI KIUKWELI SHIDA YAKO WANAIGEUZA FULSA NA USIPOENDA NAO SAWA WAKALA CHOCHOTE LAZIMA USOTE😢😢
Hili nalo neno
Jiran yangu umesema kweli
Wewe ndio umeongea la MAANA kuhusu ubalozi
Ndugu zangu mlioko huko MUNGU awasimamie waarabu wengi ni makatili hawana utu
@@MiriamAbdallahwaafirika na waarabu na mayahudi wapi makatili zaidi ?
Mnao msema huyu dada vibaya hamuna bahati, mwenzenu aliolewa ndoa kabisaaaaaaa 😊😊😊
Na akalamba mln 10 na ushehe
Kaush basi😂😂😂
Watu weusi ivi lini utumwa na umaskini utaisha maishani kwa wa africa ni binti wausi njo wanao sumbuka duniani wala sii wazungu sii wa arabu kila kona ya dunia ni wausi tu.hadi huruma.
Waphilipine niweusi?
Maelezo yamenyooka kama rula akuna kona kona kama una uelewa kuna kitu cha kujifunza mungu akufanyie wepesi katika alakat zako
Kwamimi binafsi sikuona baya uloongea umeongea ukweri. Yaliyokutokea. .polesana. nduguyangu. Wengine wanakutolea maneno machafu ni Dongetu. Mungu atakulipia hayaya Dunianitu yanapita
Ndugiangu humjui hyu mtu vzr uliza uwambiwe alioyoyafanya muangalie macho yke tu atukana hyu mpk wazee waliokufa ana matus mpk aibu na voice zke zpo hyu na yy voice zke anatka kuja oman bdo anasema yy mazali kaolewa ataingia tu Oman hyo
Kabisa yani watu wanahukumu bila kusikiliza
@@RitbayRitbay😂😂😂😂😂😂huyu hatukani bila sababu ukimchefua anakuchafuaa
@user-dx6d😂😂😂sasa ukimtukana unataka akuchekee mie pia namjua miaka mi3 nasijawahi tukanwa nae tena mtu powa😎😎m6lh1i
@@RahmaKasawa-cn2dt wambiye bwana mtu pec sanaa
Polee kipenz Mungu halali wala hazinzii,,,,,,na utambue huwezi pendwa na wote na huwez chkiwa na wote. Atakama ufanye nn so jiamn mwanamke shujaaa, hateteleshwi songa mbele😘
Shida kazitaka mwenyewe watu wapo miaka 12 hawana shida na kujenga wamejenga
Akuna mtu ana taka shida swaiba kama aujapata shida shukuru.
Hakika ten tumejenga haswaaaa huyu ni mam mjinga san
Watu kama nyinyi ndio mnafanya tuonekane wa Afrika hatupendan hivi ni kweli mtu mzima alieacha Familia yake aje kuzifata shida??? Umepata sehemu nzur Sema Alhamdulillah hata mm niko Oman nashukuru Alhamdulillah lkn usiseme uongo kama huku watu hawanyanyasiki wanashindwa kujisimamia. So Hali zote zipo tusijikwezwe
Kimbembe kinaanzia pale ulipotaka kubadil nyumb na kutaka 120 wakat watu wapo had leo na wanalipwa 90 na wanazaid ya miaka 2
@@Zainab-sq1tc we ukikubali kulipwa ela yyote ukiona ina kufaa kubari usitake na mwngne akubari wakat miaka ina enda na mmbo yana badirika
Pole sana dada ila usipende kushindana na watu kuna muda ukijishusha utafanikiwa sana
Huyu si mtu wa kazi ni jambazi
Hujasikiliza wew kitakuramba😂😂
😂😂😂😂mmmmm
Muogopeni mungu mwizi kakuibia nini
Jambaz ni wew na roho yako mbaya
😂😂😂😂😂😂
Jamani....madhila ju ya madhila.... subhannallah
Uongo hayo unayosema sio wote wabaya mm hapa nipo na watu wazuri TU kama wazazi wangu nanikobvizuri sana moaka muda huu nyamafu ww usiwatie ila wwatu burewa Oman
Umeandika manini sasa havisomeki😂😂😂
Hayajakufika ndo maana
Umeandika pumba na nyamaza hayajakikuta
Hayajakufika ndo maana unabwabwaja ww siku wakikubadilikia ndo utajua kumbe karanga inaliwaga na ugali
Mimi nipo sehemu nzur naishi kama kwangu ilo uyo anachoongea yupo sahii oman ukipata sehem nzur shukur usione mwezio anangaika ukajion wew ndio mwenye akili mwenzio ataki kazi
Ubalozini hauna msaada kabsa mimi niliugua niliishiwa damu boss akakataa kunitibu akasema gharama ubalozini ni katuma msg hawa kujibu Mpaka wiki 2 hapo nimesha jipigania mwenyewe
Pole tunayaona hayo kwenye mitandao inaumiza xn yule wa Uganda alitolewa figo na kumpatia ukilema na hakika huko muda refu
Huku niwewe na Mungu wako ata wakala anakusaliti😭
Pole san dada zanin mim nimekuelewa san ❤❤
Alhamdulillah
Mtu anselezea yalio mkuta sasa muna msakamia nini ?? Kwani oman mateso hayapo?? Yapo sana tena yapo
Hatujakata kam oman hakuna mateso lakin kulala na mbuzi huu sii uongo kwan africa hamtes mnateswa kila siku na wahindi na mpo kwenye Nchi yenu
@@omanoman2044 kulala na mbuzi washaangaa. Nini? Kuna agent alinitumia video nimeona kwa macho yangu mdada kitanda chake wanalala na mbuzi hayo mambo yako kama hamujapitia kaaa kimya usibishe usiyoyapitia nashangaaa muna paniki au ndio mushazoea utumwa WA ukoloni hata mukiteswa munaona sawa?
@@mamasalhat sasa utumwa wa nin na kat hata TZ MBAFANYA HIZO KAZ TEN MSHAHAR MDOG ANALAL NA MBUZI HUYO KAYATAKA MWENYE UKION HIVO NI MTUY AMBAE HAJIELEW KABSA MBUZ KWELI MBUZI HAWHAW AM MBUZI GAN JAMAN OMAN HII MIE SIJAWAHI ONA
@@mamasalhat ni bora nitumike oman miaka miwili kuliko kutumika kwa wahindi na mshahara wa 90 na matusi juu
Mbona Oman
Tu
Hakuna kwengine
Story ni Oman tu
Nilicho jinsia watanzania waoga sana mtu akitokea kusema ukwel mnapinga atukatai wengine mnakaa vizuri lakin kwa kuvumilia tu 😢 maisha ya Tanzania n magumu na akuna tegemez ata mpinge vip ukwel utabak ukwel tu
Huyu dada I tried to critique her! Mimi ni mzuri sana to find untrusted stories! But her story, I believe 99.00% ni mkweli mtupu! My advice be a good wife and work hard to go back to Oman with your children and forget where you come from! God bless you!
Jala nikawaida kwa yeyote alifanya kazi za nje kinyume na boss wake ukitoroka kwabosi lazima upitie jela Ambayo inaitwa leba ila hukai sana ata Mimi nilipitia kwasababu nilimtora bosi wang kwaiyo ukitaka kurudi lazima upitie huko jela
Pole sana dada yetu mapito hayo ya dunia naomba namba yake
Nyie ambao mnaembishia huyu dada hayajawakuta pole mpenzi Inshaallah Mungu atakufanyia wepesi utakudi kwa mume wako
Yaaan comments za humu zahiri wa makadam ,mashaghala maana kali.aswaaaaa ,pole sana mama mwalabu wa oman ndoa tunayo na tunatamba nayo😂
😂😂😂 aipate wp😂😂
Aaah vzuri yule mzee anajua kunienzi
ISHALLAH KHER MUNGU ATAKUSIMAMIA KILA KITU KITAKUWA SAWA NA UTAPATA HAKI ZAKO UWE KM MKE WA MUOMANI NA KWA YYTE ALIESHIRIKI KUKUZALIKISHA ISHALLAH MUNGU ATAMZALIKISHA N YY APA DUNIANI NA FAMILIA YKE MPKA KESHO MBELE YA HAKI. NA PIA NA SS TULIOKO HUKU MUNGU ATUSIMAMIE DAIMA. ILA TUNALIA SANA NA UBALOZI. HILI JAMBO SERIKALI LILIANGALIE SANA
Unafafanana nawao hongera sana kupata mme😂😂
Watanzania tutafute maisha apa apa kwetu tuache tamaa na ela nyingi pole ila koma
Mm nipo Oman nyumba 3 nimekaa nabado nipo has kataka kukaa poke yao nyumba zakupanga
Pole sana wi❤
DAAH💔💔💔💔POLE SANAAA YANI UMEONDOKA WEWE KAMA WEWEEEE🙆
Mashallah mdada mzur Allah atakufungulia njia mitihan tumeumbiwa binadamu 😢
Amin inshaallah
حسبنا الله و نعم الوكيل لا حول ولا قوة إلا بالله
👏👏👏👏👏👏
Siku zote mungu huku onyesha njia sahihi kwa kupitia magumu utakayokutana nayo inshalah Allah atakusimamia haki zako zote na utapata kwa uwezo wa allah kulli khaki walaukana muraa ni siku zote dhuluma haidumu kwa kweli
Jamani huyu mdada namjuwa tumefanya kazi katika familiy moja alikuwa anafanya kazi kwa bibi jonha ❤
Na nikweli ameteseka km sio kweli jmn
😂😂😂😂😂sasa Si ndio yy amemfanyia useng
Namimi pia namjua tulikuawote kwakoha. Nimemuacha kalipwapesazake kwa. Joha anatafutiwanyumba ingine
Ndio😂😂😂tujuwane upo omani sehemu gani
Anaefanya day worker kakodi chumba nataka nije naomba namba
Huyo balozi wa Tanzania nchini Oman na wafanyakazi was ubalozi hawafai wanawadhalilisha Watanzania Oman. Wanakula rushwa na urasimu. Hiyo economic diplomacy iko wapi
Pole sana dada kwenye maisha lazima upitie changamoto
100%it is true 👍
Huyo ni muwengo. Kama kweli alipata shida kwa nini asirudi Tanzania. Na watu wa ubalozi. Wamemuona muongo. Vp ukodi nyumba. Wengi wanakuja kufanya uhuni. Kesi nyingi ,zipo ubalozi
.huyo mzee namuonea huruma huyo mwanamke tapeli kaolewa. Kwa pesa tu. Hata ukimsikiliza kwa makini unamjua muonngo. Wengi wanatoroka kwa mabosi wao ili wafanye uhuni.
Mbona wapo wengi tu wafanyakazi wamepanga nyumba?
Omba mungu yakukute Ata kidog tu alafu utajua kwann ajarud
Ahsante
@@morogor90
Huyu alitaka kushindana na nchi ya watu alitaka kuishi kama yupo nchini kwake jaman kila nchi zinataratibu zake
Ushauri wangu roga 😂😂 iyo ndoa inaweza ijafa mune akaona mambo mengi aka amua kupotezea roga dada 😂😂😂 pole sana aiseee ndugu yangu najuwa uliyo ongea ni yakweli coz na mm nipo iraq
Nyie wanafki tuachieni my wetu acheni kucoment pumba wakati oman munajua ni mambo ya bahati nasibu ukikanyaga mdudu mbaya utajuta😎😎😎
😊😊😊🎉🎉 mauwa yako my warabu ubahatishe ila weng wao mashetwani aswaaa, Huyu dada simjui sbb sina group la Oman, Anayoyaongea weng wanayapitia
Nikweri nashangq hawa mashaghhqla wanamponda yote Dongetu
Kwl Oman n bahat n sib s wote wazr n s wote wabay
😍😍😍😍😍 kabisa
Mm nyumb y kwnz walla sijamlz mwez nisharud nikapew nyengn n nikimlz vzr tu miaka miwl
Pole mpendwa watu ndio wana roho mbaya ila Allah atakusimamia
Kwa ambae hajapitia majanga hawezi muelewa huyu dada ila mie namuelewa sana tu
Pole sana ; Mungu azidi kupe nguvu.
Ndoa ya maslahi na anasema bila aibu. Mscheeew ndo mana ukakutana na madhila 😢
Pole cna ndugu yangu
Mungu atakufanyia wepesi
Anameremeta chea Oman na Waarabu ww watu na raha zao. Tupo kwetu tz twanuka njaa😂😂😂.
Kanifurahisha hilo neno. Bitwaka yy anasema bataka.😂😂. Nchi zilizo endelea msilete ujuaji ni full respect.
Pole sana dada😢😢😢
Pole sana
Siyo mzee sana hata ivyo bado mzagamuano ipo😂😂
Lahaullah😢😢😢😢😢😢😢😢 hadi machozi yananitoka jaman
Mabalozi wetu wa kitz ni shida nchi nyingi sana
Pole sana dada
Kweli kweli about what she is saying some of the theme 95% evils they don't have heart😢😢😢
Hana haya huyu dada atakidogo yani hawa ndowanao tusababishia sisi huku tuonekane wahalifu yani anasema kabisa hataki kurudi kwao anataka ikama yandoa mh hana haya🙄
Kuomba iqama ya ndoa ni dhambi 😅😅
Kwa hiyo kama kaolewa abaki na bataka ya shaghala ama ulitakaje???
Atabadilishiwa kama muoman
Giornalist uko vizuri sana
Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 oman hauna msaada na wa Tanzania wa oman wanashilikiana na hao waoman sana mm nime kaa miez mitatu sana aisee pale mmmh
Gabriel huyo kasepa wametapeli cargo za watu na Pesa za Tigo pesa na Dullayo mwenzie anapostiwa kila group matapeli hao ushakuwa na block unatakiwa urudi Tz .Hivi ukamatwe na umeolewa ulishindwa kutoa namba za mumeo ajulishwe km upo police na umerudi ht wiki 2 bado mara huduma mumeo anatoa jaman Mzalamo unajua kuyabananga
@$_Officia yani Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣 Utapeli umemponza
😂😂😂 hahahaha 🤣🤣🤣
We kumbe uyu tapeli pamoja na dullayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@sikudhanimoshi6967 Ndy hd ndoa nahisi kafungia kwa Dullayo maana picha yao inatembea kwenye magroup kakaa sana kwa Dullayo huyo
Tatzo ndugu zetu munafikaga kwa nchi za watu munajifanya wenyeji.lakini Warabu watu wazur sana Ukiwaheshimu
Kuolewa na mubabu wa kiarabu ni ndoto ya kila mwanamke mvivu😂😂😂 af hakuna kitu mtanifanya😂😂😂😂 pegeni kazi wanang
I've ninavyo Onqea nipo Oman mambo mnakua na mambo menqi huyo dada Ana mambo menqi mtazame chenille kuchukua waume za watu nani atakubali
Iloooo ovyooo
Cha mtu huliwa na mtu😂
Pole Sana mdada Zanini Sasa ivyo unavyosema uko kwenye hio ndoa kimaslahi si watajua wenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 sema nmekupenda Sana umejua kuongea Kila kitu 😘 😘 😘 na kusema ukwel ubalozi wa Tanzania nchini Oman Kila mtu analalamika sijui Kwann hawajirekebishi
Yani upo kama ubarozi wa omani tabia zao za kiarabu arabu
Sijui wapoje hawaelewe kilichowapeleka hapo badala ya kutusimamia sie wao wanasimama na mabos ovyo kabisaaa hawana faida@@africanfood_zanzibar4863
@@africanfood_zanzibar4863 Yan sijui wamewekwa embassy kufanya nn wallah mtihan tujitahid tu kutokufanya mabaya ktk nnchi za watu kama baloz zenyewe ndio hizi
Yaaanii maelezo yako vizurii kabisaa tatizo ubalozi wetu walioko Omani wananjaa na roho mbaya na wivu
Wee dada wee so wote lakini
hongera sana kwakuolewa uzuri waarabu wanajua kutunza hahaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 dada umenichekesha etiiii nimeenda kulipoti police kwenye kituo chake cha kazi😂😂😂😂😂😂 Hongeraa mpenzi ww nimpambanaji mwanamke wa shokaaaaa 💪💪💪💪
😂😂😂huyu ngumi mkononi kabisa 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Labda uyo mme wake anafanya kazi kwenye icho kituo cha police labda mme wake ni police
Muongo mtz huolewi kwa pesa hiyo kupewa nyingi Miya 4😂😂
Amebahatika
Kwa bikra gani aliokua nayo ad apewe pesa hiyo wenyewe wanapeana pesa nyingi kwa xbb ya kuolewa na bikra yy kashazaa wtt 4 kisha kibabu cha watu kitoe pesa hiyo kwan si alikua amejipost huyu ck ya ndoa yake kule tiktok 😂😂😂
@@ZenaKambi-d6nWana bikra za mbele tu nyuma wanaliwa na wakaka zao kama ulikuwa huijui hii siri Leo ndo nakupa tena wanaishi mascat mjini wanajiuza hata za mbele hawana
@@ZenaKambi-d6n nishakaa na mabinti wameshamaliza kusoma na wameshaajiriwa walipanga nyumba kila siku walikuwa wanaleta wanaume tofautitofauti na akiwa na ijaza basi mtoko ni saa sita usiku akirudi mchana kachoka hata kutembea anashindwa
pole Sana mweyezi
Mbuzi iyo mweee,,,imani kwa askar ipo sahihi dada
Kuna watu hamjaelewa lkn omba dua ubaki ulipo muarabu asijekugeuka lkn waliomfanyia c waarabu ni ubalozi unahusik km ubalozi upo kwann hauhitaji hasira sbb pale wapo kwa ajili ya wafanyakaz
Tatizo lenu mnaenda na mawilimawili Umalaya mbona sisi tupo Oman mnakwenda kufanya Umalaya From Oman
Wew ukikaa sehemu ukatulia shukuru saana Mungu wapo watu wanatabika huko bora unyamaze
@@khadijamasoud3936kwakwe watu wanateseka sana uku ukipata sehemu nzuri nikushukuru
Tema mate chini we shagal usiombe ya kukute na ndio mana mbaroz auwajar kwa sababu mnamsimamo na kumbuka dunia duara
Allha akufanyie wepesi akusimamie na aidumishe ndoa yenu
Asilimia kubwa ambao wanakucoment ni ambao awamjuw zanin ila kwa mtu ambaye anamjuwa vizur awez kucoment usengeuseng.zanin pole akuna mwanadam ambaye anapenda mafanikio ya mwenzake
Shidah siyo kumjua maelezo yake anayotoa hayajanyooka kuelesha watu tumuelewe
Utakuta Ata Oman awaijuwi vizuri
Pole sana zanini wangu
Hawa wingi wao unawakuta washajenga na wana majumba kwa pesa izo izo za awo watu wanaowaponda,istoshe wingi wao hawaendei swala la kazi wanaenda kujiuza,unamkuta tajir au mzamin ashatoa pesa na kumleta mfanya kazi, halafu mfanya kazi ashafika nchi husika hatak kufanya kazi .Kiufupi hawandei kilichowapeleka
Pole dada angu
Mtangazaji unanvotoa toa pole Sasa kama zinamsaidia vile 😬😬
We dada mjuaji sana ulivofika oman ukajikuta raia wa huko tena nikujuze tuu nchi za wenzetu ukiwa na matukio unafungiwa kuingia kama unategemea kurudi oman sahau pambana na jua la bongo
Nikweli kabas yaarb tupe Mwisho mwema
Si kweli aliyosema, mbona anataka rudi huku oman? Please usituchafuwe
Huhu nimuongo kupita kiasi duuuu !!!
Ww unamjua huyu mpk unasema muongo?? Km uyajui bora ufunge domo lk majnuni wahad
Saaana muongo 😊
Shida inaweza kuwepo ila SIyo wote wabaya maana hata hapa kwetu Kuna matajiri wabaya hivyo roho mbaya ni mtu siyo watu wote acheni kuogopesha watu
Ubalozi waoman wanapenda lushwa hatar😂😂
Mateso mapo.lakini ni ya kawaida hata Tanzania tapo kwahiyo hakuna kazi rahisi ni uvumilivu tuu
Hawa sio watu wa kuwaleta oman. Fanyeni kAzi huko bongo Kwa elf 50
Muongo huyo kila kitu kipo kwenye system na hata ukitaka kuolewa ipo system ruwi sio jela muongo huyo unawekwa mahabusi tu kwa ajili ya maswali duuuu uongo jamani mbaharibia nchi yenu kwa yo go mlo nao
Unamsemeaje mtu sasa watu wengi wana wekwa jela
Ujuaji mbele yalomkuta alistahili
Hao waarabu wenyewe huku tanzania wanafukuzwa wanakamatwa hovyo na kuuliwa kisingizio ugaidi alafu mnategemea mazuri😅😅sultani majidi aloijenga dar salam kipindi hicho ilikuwapo paliitwa mzizima sasahivi wanasema majengo ya mjerumani hata zanzibar pia ilijengwa na waoman leo wako wapi
Huyu dada mimi namjuwa sana anamdomo sana alivyo olewa alikuwa anawachamba watanzania kwenye magroup hadi huruma tena alivyo waaibisha waomani hivyo asahau kurudi Oman eti anasema kaolewa kwa masilahi 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Yaniiii anamdomo kinoma
Miriam wajinga vip aliwachamba nanyie mkamfanyia vigisu sio😂😂😂😂😂😂😂
@@MiriamAbdallah huyu kiboko kwa mdomo wallah duuuh nawapa pole majirani zake
@@vovobi2379 ila si mpaka achokozwe au
Duh mtihani kwa kweli...
Hawa ndo wanaofanya umalaya baladala ya kufanya kilichowapeleka omani, tena wanawakatisha tamaa watu wengine wasiende kutafuta maisha, mpuuzi huyo watu Wana miaka kibao uko na hakuna kilichowakuta
Yani tangu alivyo kuja huyu mama ubarozi umezidi kuiza tulijuwa tumepata mama kumbe tumeletewa mtihani hana faida yeyote ile Bora arudi akalee wajukuuzake2
Yaani una majanga arafu unaenda kuolewa tena jmn 😢😢
Polesana ndugu mimwenyewe nishapandaga ndege n'a dada wa singida kapingwa nakasindikizwa kamaunavyosema polisindio walimsidikiza mshahala hakupewa upo sahihi waeleze jazikama zote
Mwenyezi Mungu ndio ata wa laani kwa roho zao mbaya
Jamani raiya wa Oman asilimia kubwa ni makatili sana poleni
@@MiriamAbdallah yaani usione mtu kaunda oman kafanikiwa ukasema nami niende huko utumie bahati tu lakini kunamambo aiza kwa boss au kwamfanyakazi misiwatetei ila yotenisha yaona changamoto
@@MiriamAbdallah nakingine huyu dada aweza sema kaipata paspot yake je anajua kama inaweza wekewa wino mwekundu asinine tena omani hayo yapo nahawezi uwona akingia tu akienda maigresheniharudi anasindikizwa tena napolis
@@OmanOman-dd5qk MOLA wenu awa nusuru tuu mrudi nyumbani salama, ninayokutana nayo huku mitandaoni kwa wafanyakazi wa Oman inaumiza mwenyezi MUNGU awalinde mmenda kutafuta riski sio kupenda
Ila kama hujapitia magumu ukiwa huku uwarabuni mshukuru sana Allah jaman😢😢