Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Hongera sana sana saaaana, Mwenyezimungu akuepushe na husda na hasada Kila la heri katika ndoa yako. Inshaalah Mungu akulinde na akusimamie ili yote yapite na kuisha Salama.
Gabriel nasubiri part4 Wanaosema hakuna nyumba ghorofa 3 ni wachawi roho mbaya mm nimekaaa nyumba ghorofa 3 peke yng mfanyakazi kupika usafi nguo za pass watt 7 baba na mama, mshahara waligoma kuniongezea wakija wagenii nipike peke yangu niligoma nikiondoka zanguu weeeeeee, Dada Zann mm sikujui wla kwenye magroup sipo ila weng wanakuonea wivu uliolewa kwa mamilion wakati wao wanazitesekea izoo pesaaa🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊🔥🔥🔥🔥🔥
Nipo hapa seeb maghorofa yapo na mfanyakz ni 1 kuna watt 3 wa kiume kila mtt na mke na watt 2 au 1 maana wameona mwaka ule wa corona hya kuna baba / mama na watt 3 sasa hpo c familiya 4 ? Halafu et oman hakuna ghorofa 3 anesema hivyo ujue yuko bremi kule kwenye nyumba za wazee waliojengewa na qaboos ndio nyumba ya chin au ghorofa 1
Kwel aunt me nakubaliana na wew kutokana na maisha tunayoishi Oman tunadhalilika na istoshe hatupewi mshahara ambao unahitajika kiukwel me inaniuma sn pia pole kwa changamoto ulizopitia 😢ambaye hajapitia haya hawezi kujuwa chcht Hadi upitie haya tunayopitia pole sn dada angu mung akufanyie wepes inshallah😢
mwaya Allah akubarikie ndoa yako .....usiendelee kujielezea kwa kutaka kuwaridhisha binaadamu ni jambo haliwezekani hata ck moja.....muhimu Allah hajakataza kuolewa na mtu mzima bari wewe zidisha ibada na dua sana maana Hassad ni nyied na hv ulivoweka wazi wengi wetu tunaumia .....hatutakiani kheri ndoa ni baraka haijalishi umeolewa wapi muhimu ni dini tu .....kama utasima hii comment yangu nataman sana ukae kimya usijbu wala kuongea chochote tena kuhusu ndoa yako.....wasiliana tu na mumeo na familia yake bas neema yako wewe kaa nayo kimya Inshaa Allah utarud kwa mumeo lkn hv ukiendlea kusema hata hao maadui nawpa na sya uendlea kukukomoa kwa kukufanyia uzito kwenye mambo ya Hcho kibali cha ndoa....KUNA USHINDI KATIKA KUKAA KIMYA habibty
Hakuna ukiwa ww mfany kazi hujiheshimu lkn Kwa mweny kujihemu mpaka anamaliza mkataba. Unarud hom hujawahi kuingiliwa na mwanaume wowot tukiacha bosi nnaushahid Mimi mweny mmoja wapo
Jmn sio wote mi nipo muda tu alhmdulillah napokea mia 30 nilipo naishi vzur tu nyumba sio kubwa na familia yao pia sio kubwa alhmdulillah siwezi kkubishia lkn sio wote
Dada nikweli wapo wanolipwa mpk 130 rkn sie wengine tunaishia 80 na ukingalia nimeingia makubaliano 90 hila Mungu yupo atanilipia changamoto zipo km kwangu ndo siongei wapo wasio na changamoto asilimia ndg sana sema atuna namna
1.Dada mazungumzo yako yanagongana, unasema mujibu wa majibu yako kwa watu wa oman km hamna mazuri na watu wote wabaya, apoapo unasifia police ni mahodari, watoto wa mume wamekupokea vizuri,kweli ingekua waoman ni watu wabaya wangee kaa na wewe kwa wema na wewe ni mke wa baba yao na hawakujui na ni mfanya kazi!? na mume ni mtu mzuri, wakati wote hao ni waomani?? 2. Unaonesha pia roho yako km ao watu wa ubalozini ambao ni watanzinia wenzako hutaki mtu apate, kwasababu unataka ukatie watu rizki zao, unasema eti hufanikiwi, km hamna mafanikio kweli watu wangekuja uku kila siku makundikwamakundi? Unataka kuniambia wanakuja kujitolea uku... Mimi ni mtanzania na nawafaham watanzania wengi wamekuja na wamafanikiwa malengo yao makubwa makubwa, muhimu kufata ulicho kijia.. Popote duniani kuna watu wema na wabaya, lazma uwe mkweli na muadilifu ktk mazungumzo yako, na cha mwisho kila kwenye rizki lazma kuwe na ugumu, ingekua ni rahisi kupata wote tungekua matajari, uko tz hamna changamoto makazini!!!?
@@RitbayRitbay Mmmmh ndoa yake ajiombee mwenyewe na kutengeneza na kuzidisha ibada chaajabu kabila hilo hilo aliloolewa nalo anawananga km mbilimbi. Apunguze maneno ulimi unaumba
@@AlHamra-k4u wallah hyu binaadam wa ajabu ndio maana nikasema tumuombee maaneno yke ni ya uwongo mtupu unabaki kusikiliza kumuombea tu maana kma zimepingua akili zke.
Wa oman ni watu wawema sana katika nchi za kiyarabu nusu ya wazanzibari wako huko oman kwa miyaka ishirini wanafanya kazi NA wanakwenda tanzania wanajenga ma nyumba
Dada hongera kwa doa mungu akubariki watu hawana wivu isipokuwa ww maelezo Yako yanagongana unavosema wafanyakazi wa omani hawatoboi hapo nakataa mbona watu wengi tu wametoboa nasiyo kwamba ww ukipitia changamoto siyo nawezako diyo changamoto zipo hata dar es salaam watu wanateseka tu
Ujatikiaha ubatozi bali imefunga ndoa kinyume na shelia kwani ata ubarozi wako aujui je upo kwenye ndoa ukija kupata tatizo utakimbilia wapi acha kujigamba ujanga
Wanawake wa Ki-Tanzania hawawezi kufanya kazi za ndani uarabu kazi wanazo weza kufanya hizo ni wanawake wa ki-Filiphino sio Wanawake wa Ki-Tanzania hawawezi hizo kazi .
Dada zanini sijui kama utaingia tena mpaka kusindikizwa na polis kunashida hapo ninae kueleza yalimkutajamaa yangu hayo hata pas ubadilishe jina haitofaa
Nasoma koment zote nimeona watu wanawivu kama umalaya kafanya yeye kaolewa yeye babu wake yeye haya munatesekanini afazali yeye kaolewa ameshakua mtumzima hao warabu waswahili wameolewa na vizee wakiwa wadogo na mpakawanajiona wao ndio waoman kupitia wazeehaohao
Ungepata taabu ungekuwa hivyo tumbo limekutoka toa siri yako mwenyewe ulivyo fanya usitukane wa omani na ubalozi wako ubalozini walishindw kukusaidia na kesi zako naona huyo akirudi oman hawo watoto wa huyo mume mungu awasaidie biro kaa huko utafute mzee mwezio uisho huko kweny amani usijikere na Oman haikuhusu
Haaaaa wastafu piga kelele haaa kumbe umeolewa kwa masirahi ya watoto Ila Sio kupenda Babu yangu WA miaka 66 Aya pambana bongo kwanza maana saivi watu WA embassy wataka Sana mikataba Sio izo njia za Panya
Alaf unapokaa kusema watu wa oman si watu wazuri unakosea Kwasababu kosa la mtu mmoja unawatia kasoro waomani woote Kwani Muhindi mmoja akiwa mlevi wahindi wote ni walevi? Haya matatizo hata nyumbani yapo
Matatizo ni mengi kuliko raha bana kadama fanya mchezo nn😂😂 hakuna kuishi kama home kazi tu ni tatizo yani kabla ya kusemeshwa maneno ila kazi ni tatizo ww ku enjoy sasa madam ajiwezi hata kufanya kitu yani hawa warabu wa ovyo sana mm kuna mda na fanya massage baba eti mama yupo tu kajikalia yani bwana eeeh tupamnane tu pesa haiji kirahisi pesa ngumu ukuina mtu ana kula pesa take tulia ujui kaipaje team strong 2025 tujuane wallh nimechoka mwakani nijiludie zangu miaka miwili inatosha mtaji nikiendelea nitakufa nitatumia pesa yote hospital 😂😂😂😂😂 sometimes na lala naota nafanya kazi yan ivi hakuna huko connection za kazi za nje jaman tusaidianeni
Shoga angu Kaz zipo ila uwe na Viza yako ndio utapiga pesa sana ,pole kwa majukumu ya kazi tupambane TU Mimi nilikuwa ndani na tulikuwa wawili ila nikamaliza nikatoka nje kwa viza yangu madukan ,so Kaz ziko ila uwe na Viza yako ili usije pata matatizo kama wakimbiz,au wazurulaji
Mmmmhhhh natamaa yakuolewa umangani tuache Mimi walinibembeleza niolewe na mzee wakimanga nikawakatalia kabisa bora nifanye kazi siku ukigeukwa utakuta mungu akujaalie ndoa yako idumu bi dada
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH NAKUSIKIZA DADA ZANINI ALLAH ÀKUFANYIE WEPESI KWA KILA JAMBO LAKO NINA HISTORY YANGU PIA NIKIJA NITAKUPA FULL HISTORY KIPENZI
Kwahiyo hujui kiarabu babu akitaka kukutomba mnaongea lugha gani hahahaha mbavu zangu mie jinga kwel hili kila kitu nje nje eboooo huna sir ama hujapata kungwi😂😂😂😂😂😏😏😏
Sass mbona mkifungiwa kuja oman mnapiga makelele mfunguliwe kuigia oman na wengine wanakuja mpaka kwa magendo aah ata hatuelewi kweli uko wapi sie wantanzania khasa kulalamika ni mila na utamaduni watu hatufahamiki
Zanini ndg pambana km utapata hiyo hiqama ya ndoa sawa usipopata sawa ongea na mumeo awe anakuja tz na kurud oman fanya biashara endeleza wanao kusoma wanaosema ni muongo / mdangaji / tapeli umefata pesa kwa babu wapambane na wao wafike ulipofika ww km rahis 😂😂wajue kabisa nyota yako iko juu wapambane na wao wafike ulipofikia ili waache kaz ya kusugua hammam😂😂
Wee zann mwogope mungu ww kama hukufanikiwa ni wewe usitufanye wote tuonekane tumekuja kudanga omani et uwezi toboa kwa pesa ya halali ww ndo ulikuwa na pigo hizo sema yanayo kuhusu usituvunjie heshima sie tuna ishi na upwilu afu unasema kutembea na maboss unakosea Sana ebu weka maneno mengine akiba mana utaaribu
Ubalozini mbona wana ongea kiarabu kina haro joha kina mzee suleiman kina mzee ally jaman au mm sijaelewa na ubaloz na passport kuzuia ina usisna nini mmmh au ulikuwa tayar una kesi za kazi na mashitaka yakawa ubalizini maana na wazo kitabu chako walikioataje na kitabu anakuwa nacho boss au mm ndo sielewi vizur maana hadi ubaloz kupata kitabu haya ngoja
@@hawamafuru6791 kutoboa na pesa ya ukadama nilizima uandae nusu ya pesa kujitibia 😂😂 ila nilivyo muelewa watu wengi huisintynao Toka njee ni lazima kutoboa bila kujuwa katika utafutaji Kuna kufel pia Oman niliingia ila nilifel nililudi nyumbani kama nime ludishwa na kimbunga hidaya Yani ngija ngija Sina hata mia na ubalozin nikikaa miez mitatu nauli yakunutoa airport nilikuwa na kielf kumi changu nilisafiri nacho na mzee ally wa ubalozini nae akania elf 20 ikawa 30 ndo pesa nilivyo ludi nayo ila siwez ongea vibaya coz nimoja ya utafutaji Kuna ku fel na kufanikiwa hata kidogo now nipo iraq mm siwez wazungumzia warabu vibaya sana japo mmh maana najuwa umasikini wangu ndo unanitesa
globaltv basi tena jaman ina tosha maana uko tunapo endea atatupiwa majini adi kwenye saaaleko 🤣🤣 maana roho zinavo wauma kila wanavo comment wanaona aitoshi,
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Nashukuru mungu nyumba yangu alihamdulilah na Nina miaka mitano sasa Sina shida na mabos wangu yaan ninaamani zote❤❤❤❤
Maa Shaa Allah tabarakha Allah
Uko wapi
Mie pia nimekaa nyumb 3 oman ila hii nashukur sana san
NIMEKUKUBARI AUNA SHOW MBOVU,MUME WAKISHASHU UNATAMBANAE💕💕💕💕
Allah akusimamie kwenye kila hatua ya maisha yako tunakuombea uludi omani
Harusi oyeee hongera Allah akubarik
Oyeeee amin
Hongera sana sana saaaana, Mwenyezimungu akuepushe na husda na hasada
Kila la heri katika ndoa yako.
Inshaalah Mungu akulinde na akusimamie ili yote yapite na kuisha Salama.
Umenichekesha mume Ninae mume natamba naye ❤❤❤
DAAH💔💔💔UMEONGEA POINT SANAAAA HUKOO MWISHONI MPAKA NINESIKIA UCHUNGU,MUNGU AKUBARIKI SANA❤❤❤🙏
Imefanya maaumuzi mazuri sana Allah azidi akubariki
amin nime mpenda sana huyu dada ni mpambanaji. mwenyezi Mungu amstirie ndoa yake
Shem tunaye na tunatamba naye ❤❤❤
Gabriel nasubiri part4 Wanaosema hakuna nyumba ghorofa 3 ni wachawi roho mbaya mm nimekaaa nyumba ghorofa 3 peke yng mfanyakazi kupika usafi nguo za pass watt 7 baba na mama, mshahara waligoma kuniongezea wakija wagenii nipike peke yangu niligoma nikiondoka zanguu weeeeeee, Dada Zann mm sikujui wla kwenye magroup sipo ila weng wanakuonea wivu uliolewa kwa mamilion wakati wao wanazitesekea izoo pesaaa🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊🔥🔥🔥🔥🔥
Tena hao ni wachawi waliorithi kutoka kwa wazazi wao 😂
@@ruqaiamohammed345Oman et hukuna gharama 3 weee nimekaaa mie unadeki had mikono unweka marengerege jumba kubwa
Nipo hapa seeb maghorofa yapo na mfanyakz ni 1 kuna watt 3 wa kiume kila mtt na mke na watt 2 au 1 maana wameona mwaka ule wa corona hya kuna baba / mama na watt 3 sasa hpo c familiya 4 ? Halafu et oman hakuna ghorofa 3 anesema hivyo ujue yuko bremi kule kwenye nyumba za wazee waliojengewa na qaboos ndio nyumba ya chin au ghorofa 1
labda waseme mengine oman maghorofa yapo tu na vikubwa
Ewaa watu wanawivu sana
Bahati zipo tupo wengi tulopata ndoa kutokea oman😂😂❤❤
Na mm nipe connection basi nipate kazee kangu😂😂
@@QUEENBEEOGUkipata nambie mpenz wng namie nipo ila nasikia kuna maagent sipesho wa kunganisha vibabu😂😂😂
Kuuuumbe baas itakua wanalipwa pesa nyingi kweli@@dorcaskidoti249
Mnawapata wap
@@dorcaskidoti249 sasa vipi tuungane tutafute hao ma agent 😂😂 pesa ya usumbufu tuta lipa au nene dayday
Kwel aunt me nakubaliana na wew kutokana na maisha tunayoishi Oman tunadhalilika na istoshe hatupewi mshahara ambao unahitajika kiukwel me inaniuma sn pia pole kwa changamoto ulizopitia 😢ambaye hajapitia haya hawezi kujuwa chcht Hadi upitie haya tunayopitia pole sn dada angu mung akufanyie wepes inshallah😢
Bora urudi tu dadaangu ukafanye kazı za ndani Tz
Ongera dada kwandoa onandoa yako usiwasikirize wakosaji msikirize mumeo mme anataka marezi mree mumeo❤❤❤❤❤
Hongera mwaya niliona vidio zake za ndoa umeupiga mwingi❤❤❤
Aweeeeeh shoga yangu sema sema 😄🙌🤣 mume mwenyewe wa kishashi jamaniiii 🥰😍
Hongera 🎉mwaya mungu amekupa hitaji la moyo
mwaya Allah akubarikie ndoa yako .....usiendelee kujielezea kwa kutaka kuwaridhisha binaadamu ni jambo haliwezekani hata ck moja.....muhimu Allah hajakataza kuolewa na mtu mzima bari wewe zidisha ibada na dua sana maana Hassad ni nyied na hv ulivoweka wazi wengi wetu tunaumia .....hatutakiani kheri ndoa ni baraka haijalishi umeolewa wapi muhimu ni dini tu .....kama utasima hii comment yangu nataman sana ukae kimya usijbu wala kuongea chochote tena kuhusu ndoa yako.....wasiliana tu na mumeo na familia yake bas neema yako wewe kaa nayo kimya Inshaa Allah utarud kwa mumeo lkn hv ukiendlea kusema hata hao maadui nawpa na sya uendlea kukukomoa kwa kukufanyia uzito kwenye mambo ya Hcho kibali cha ndoa....KUNA USHINDI KATIKA KUKAA KIMYA habibty
Ewaaaaa
Wallah umemushauli vizuli San ndugu yangu ❤
Masha dada mungu akutunze kwenye ndoa yako akuepushe na jivho ya khusda
Kama sojakosea huyu ni mzaramo😂😂maana dah km charahani yakudarizi
Mshenzi sana hamtaki kuambiwa ukweli
@@MariamMarco-z7r mshenzi mwenyewe
@@MariamMarco-z7r tena ww mshenzi ulie kubuhu na umeota nabu mbwa kamili na nguruwe mchanganyiko
Yani mdomo hasa
Kaza buti ....pambana mwanangu...gia ni hi0 hio .usiitoe no 1 ...panda mlima utafika omani ....saluti 😅@@FathiyaAlshidhani
Hakuna ukiwa ww mfany kazi hujiheshimu lkn Kwa mweny kujihemu mpaka anamaliza mkataba. Unarud hom hujawahi kuingiliwa na mwanaume wowot tukiacha bosi nnaushahid Mimi mweny mmoja wapo
Mashaallah Dada angu Allah akuongoze
Na mjuwa zanini huwataki ujinga simtu mbaya msema kweli mara nyingi anaonekana mjuaji maana watu wanapenda kufumbia macho
Parfect
Hongera zako dada zanini mungu akufanyie wepesi inshallah na ndoa yako Allah aitie nuuru ndoa yako muenzi shemeji yetu kiroho safi ujilie vyako wee wanosema na was waseme muhimu yako yakuendee
Khaaaa hiyo nzuli nzuli mwenzangu kweli wewe jitu la mbangala kukaa kote oman ht Kiswahili bado kinakushinda badala ya nzuri unasema nzuli😢
Jmn sio wote mi nipo muda tu alhmdulillah napokea mia 30 nilipo naishi vzur tu nyumba sio kubwa na familia yao pia sio kubwa alhmdulillah siwezi kkubishia lkn sio wote
Dada ufanyekazi kujifungulia na jujijengea maisha yenu.lkiwa ana yatima ufunguo ni KAZI
Allah akujalie ufanikiwe utud tena kujatunza ndoa yako kipen
Namshukuru mungu nina miaka saba nipo na maboss vizuri kabisaaa
Kwa kweli huku 2mechoka kusugua hammam😂😂😂😂😂😂
Changamoto zipo nyingi sana nahatuna misaada kutoka ubalozi
Semagaa wewe
pale wanasaidia kwakujuana hasa utoe utelezi😅😅nilisota pale na kaz nikajitafutia mwenyew ila pesa ya boss walikuula
Ubalozi hausadii nishidatu pale
Dada nikweli wapo wanolipwa mpk 130 rkn sie wengine tunaishia 80 na ukingalia nimeingia makubaliano 90 hila Mungu yupo atanilipia changamoto zipo km kwangu ndo siongei wapo wasio na changamoto asilimia ndg sana sema atuna namna
Acha tu kumbe kama Mimi ndugu yangu
Kma shangingi lik hap hap ulip nyew shanging mnatama san tamaa za mali za waarab 😂😂😂😂😂😂😂
Shoga angu mie chanja mbuga niko nyuma yako, sema yote nikija namalizia❤❤❤
🤣 🤣 🤣 Mke wa mzee mushashi hongera sana 😅😅😅😅
Na wewe tuonyeshe huyo kijana wako
@@mishigwan6598 😃amekufa 🤭😆👏
@@mishigwan6598 ana mtaka uyo mzee ndo ndo ndo na hampati 😂
poleni sana dada akirudi omani mutufahamishe na , tunaomba Ubalozi umusaidiye uyu dada plz
1.Dada mazungumzo yako yanagongana, unasema mujibu wa majibu yako kwa watu wa oman km hamna mazuri na watu wote wabaya, apoapo unasifia police ni mahodari, watoto wa mume wamekupokea vizuri,kweli ingekua waoman ni watu wabaya wangee kaa na wewe kwa wema na wewe ni mke wa baba yao na hawakujui na ni mfanya kazi!? na mume ni mtu mzuri, wakati wote hao ni waomani?? 2. Unaonesha pia roho yako km ao watu wa ubalozini ambao ni watanzinia wenzako hutaki mtu apate, kwasababu unataka ukatie watu rizki zao, unasema eti hufanikiwi, km hamna mafanikio kweli watu wangekuja uku kila siku makundikwamakundi? Unataka kuniambia wanakuja kujitolea uku... Mimi ni mtanzania na nawafaham watanzania wengi wamekuja na wamafanikiwa malengo yao makubwa makubwa, muhimu kufata ulicho kijia.. Popote duniani kuna watu wema na wabaya, lazma uwe mkweli na muadilifu ktk mazungumzo yako, na cha mwisho kila kwenye rizki lazma kuwe na ugumu, ingekua ni rahisi kupata wote tungekua matajari, uko tz hamna changamoto makazini!!!?
Wtz Roho mbaya sn, Hawapendi mwenzao afanikiwe, dada wa watu Yuko vizuri na katulia anajiamini.
😅😅😅😅😅😅😅Ww uliolewa kwa maslai ya watoto wako. Umetapeli Ndiyomaana ukaswekwa ndani 😅😅😅😅 njoo bibi Oman uje ulee kazee ka watu
😂😂😂😂 jaman wabongo
Sijui kama paspot yake awezatena India Oman mpaka kusindikizwa na polis
Hta kam kizee ni wake jaman Alhamdulillah kaolewa hta kma ana vituko vyake tumuombee kheri tu.
@@RitbayRitbay Mmmmh ndoa yake ajiombee mwenyewe na kutengeneza na kuzidisha ibada chaajabu kabila hilo hilo aliloolewa nalo anawananga km mbilimbi. Apunguze maneno ulimi unaumba
@@AlHamra-k4u wallah hyu binaadam wa ajabu ndio maana nikasema tumuombee maaneno yke ni ya uwongo mtupu unabaki kusikiliza kumuombea tu maana kma zimepingua akili zke.
Maashaallah
Umenichekesha neno kuzichapa 😂😂😂😂 jmn
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mix kuchimba nyumba bila jembe
Huyu dada limbukeni kweli wangap wanaolewa ugaibuni na hawajitangazi mitandaoni ushamba kazi kweli kwelo
Ww ndio mshamba mambo ya ughaibuni huyajui
Manshallah allah azidishe upendo
Asante kwakutufikishia ujumbe ktk nchi yetu
Wa oman ni watu wawema sana katika nchi za kiyarabu nusu ya wazanzibari wako huko oman kwa miyaka ishirini wanafanya kazi NA wanakwenda tanzania wanajenga ma nyumba
Haswaaaa mie mwenyew nipo huku na nimeweka maisha vizuri tuy
Bora useme ww mm nipo mwaka wa 7 huuu cjawahi pigwa ata kijiti shd nyengn tunazitak wenyew tukifik huku tunajitoa akili
@@Salhiya96 kabsa mie nina miaka 7 hiv sijawah teswa
Bhaaaan we dad zanin umeupiga mwing achn nao wenye majung sis tutawap masufuria kutoka TZ Mambo pambe tu
Ongera sana dear kwa ndoa ubarikiwe❤
Wewe dada pambana tu
Wanaosema mungo waende wao
Dada hongera kwa doa mungu akubariki watu hawana wivu isipokuwa ww maelezo Yako yanagongana unavosema wafanyakazi wa omani hawatoboi hapo nakataa mbona watu wengi tu wametoboa nasiyo kwamba ww ukipitia changamoto siyo nawezako diyo changamoto zipo hata dar es salaam watu wanateseka tu
Ujamuwelewa wewe
Ujatikiaha ubatozi bali imefunga ndoa kinyume na shelia kwani ata ubarozi wako aujui je upo kwenye ndoa ukija kupata tatizo utakimbilia wapi acha kujigamba ujanga
Kama mnamuona mungo nenda na wewe ukajaribu
Nasemajeeee nasemajeeee Mume anae Na anatamba nae tukaneni ad mchoke Hakuna tusi jipya Kama umebahatika kupata maboss wazur mshukuru mungu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉
Umenichekesha ww eti Ndo a imetikisa mm ckuisikia Asa Ndo a yko 😂😂😂
Kwanza nikupe hongera dada. Na pole kwa ulioyapitia. Anaongea ukweli kuhusu ubalozi tunakandamizwa sana kifupi hawana msaada
Mwandish naomba siku ufanye safari uje ututembelee Oman ili ujue kama ukweli tunanyanyasika
Wanawake wa Ki-Tanzania hawawezi kufanya kazi za ndani uarabu kazi wanazo weza kufanya hizo ni wanawake wa ki-Filiphino sio Wanawake wa Ki-Tanzania hawawezi hizo kazi .
Mungu akufanyie wepesi
Dada zanini sijui kama utaingia tena mpaka kusindikizwa na polis kunashida hapo ninae kueleza yalimkutajamaa yangu hayo hata pas ubadilishe jina haitofaa
Nakuerewa sana huyu ali overstay aliishi kwenye nchi yawatu kinyume nasheria ndimaana mume akutaka kujiingiza
@@jasminetesha8225 hukubwana fuata kilicho kuleta ukimchanganya boss ukae ukilijua paspot wanakuwekea wino mwekundu nahuwezi uona ikingizwa kwenye kompta mudahuohuo ndani polis
@@jasminetesha8225tulia ujui kitu
Aitaleta shida ni powa tuu
Kikubwa nikumuombea Dua tumwebxetu aludi ajekuwatafutia watoto maitaji bihidhinillah
Nasoma koment zote nimeona watu wanawivu kama umalaya kafanya yeye kaolewa yeye babu wake yeye haya munatesekanini afazali yeye kaolewa ameshakua mtumzima hao warabu waswahili wameolewa na vizee wakiwa wadogo na mpakawanajiona wao ndio waoman kupitia wazeehaohao
Waeleze maana wana wivu balaa na chuki 😂😂
Ungepata taabu ungekuwa hivyo tumbo limekutoka toa siri yako mwenyewe ulivyo fanya usitukane wa omani na ubalozi wako ubalozini walishindw kukusaidia na kesi zako naona huyo akirudi oman hawo watoto wa huyo mume mungu awasaidie biro kaa huko utafute mzee mwezio uisho huko kweny amani usijikere na Oman haikuhusu
😂😂😂dah haiwezekani ngoja utumiwe marohani na family ya alokuwa mke mwenza wako😂😂
Atarud tz bila kupenda warab wanaroho ya kipekee sana
Achen wivu mashaghala mwenzenu kapata
Na kama ulijua huku Oman tatizo mashaghala wivu juu wake na mwenzao kapata ndoa basi mtihani maneno tele, hivyooo mtu Bora ufiche kher zako
Hakika
Dada napenda maneno yako kikubwa duwa tu mungu akufa Nye wepes kw sababu syo kawaida yasimba kuwa jibu mbwa
Kwa domo hilo si Oman si Tz hakuna atakaeliweza
Kabisa
Haaaaa wastafu piga kelele haaa kumbe umeolewa kwa masirahi ya watoto Ila Sio kupenda Babu yangu WA miaka 66 Aya pambana bongo kwanza maana saivi watu WA embassy wataka Sana mikataba Sio izo njia za Panya
Alaf unapokaa kusema watu wa oman si watu wazuri unakosea
Kwasababu kosa la mtu mmoja unawatia kasoro waomani woote
Kwani Muhindi mmoja akiwa mlevi wahindi wote ni walevi?
Haya matatizo hata nyumbani yapo
Matatizo ni mengi kuliko raha bana kadama fanya mchezo nn😂😂 hakuna kuishi kama home kazi tu ni tatizo yani kabla ya kusemeshwa maneno ila kazi ni tatizo ww ku enjoy sasa madam ajiwezi hata kufanya kitu yani hawa warabu wa ovyo sana mm kuna mda na fanya massage baba eti mama yupo tu kajikalia yani bwana eeeh tupamnane tu pesa haiji kirahisi pesa ngumu ukuina mtu ana kula pesa take tulia ujui kaipaje team strong 2025 tujuane wallh nimechoka mwakani nijiludie zangu miaka miwili inatosha mtaji nikiendelea nitakufa nitatumia pesa yote hospital 😂😂😂😂😂 sometimes na lala naota nafanya kazi yan ivi hakuna huko connection za kazi za nje jaman tusaidianeni
😂😂😂😂😂😂
Shoga angu Kaz zipo ila uwe na Viza yako ndio utapiga pesa sana ,pole kwa majukumu ya kazi tupambane TU Mimi nilikuwa ndani na tulikuwa wawili ila nikamaliza nikatoka nje kwa viza yangu madukan ,so Kaz ziko ila uwe na Viza yako ili usije pata matatizo kama wakimbiz,au wazurulaji
@@mariamkibindo1741 uko nchi Gani bby nikutafute mm namaliza mkataba mda simrefu siwez endelea nitakufa 😂😂😂
@@QUEENBEEOG Oman
@@mariamkibindo1741 connection sasa unayo ya kazi za nje visa siyo tabu na visa bei Gani
Tatizo lako stori ya mwanzo haiendani na unayoongea ss😂😂
KWELI KABISA NENO MUME HALIKUWEPO WALA NDOWA YY KATAJA MABOSI NA MAAJENTI 2 HAELEWEKI HUYU DADA VP MKE WA MTU APIGWE BLOC NA MTU MWINGINE????
@@salimmalaka256 Ubalozini wako sawa kumkatalia yeye anajisifu bure hajui waarbu huyo
Tatizo wanaingia nchi za watu halafu huendi kwenye balozi yako wakakutambua uwepo wako, sasa unakaa ukipata shida balozi inakukataa...
Mmmmhhhh natamaa yakuolewa umangani tuache Mimi walinibembeleza niolewe na mzee wakimanga nikawakatalia kabisa bora nifanye kazi siku ukigeukwa utakuta mungu akujaalie ndoa yako idumu bi dada
Halafu si yaya si mke hakuna atakae muweza
Gume gume limeshindana na mitume
Watanzania acheni umalaya huku omani
Koma so wote
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH NAKUSIKIZA DADA ZANINI ALLAH ÀKUFANYIE WEPESI KWA KILA JAMBO LAKO NINA HISTORY YANGU PIA NIKIJA NITAKUPA FULL HISTORY KIPENZI
Kwahiyo hujui kiarabu babu akitaka kukutomba mnaongea lugha gani hahahaha mbavu zangu mie jinga kwel hili kila kitu nje nje eboooo huna sir ama hujapata kungwi😂😂😂😂😂😏😏😏
Unawaonya wasitake pesa zawatu mbona ww umetaka pesa za kibabu😂😂
😂😂😂amenichosha huyu dada aisee
Kwa hiyo ulitaka aolewe bure ?😮
Rejesha miguu kwa mumeo. Wacha kutingisha miguu
Hongera sana dada😊
Asante kwaniaba 🙏
Oman sehemu gan mimi niko Muscat
Oman Ndiyo Nchi Muscat ni Wilaya kama Unavyoona Tanzania kuna kinondoni Magomeni
Kwahiyo Wewe upo ndani ya Oman kitongoji cha Muscat
@@mishigwan6598😂😂😂
Khaaa dada una mdomo sanaaa yani sijui ushamba sikujua kama utaongea tena mtandaoni mambo yako
Mshamba ni ww pia ww unatumia kinyeo kusema? Hasidi nari fisad wa moton mkubwa wee
Muacheni aseme ukweli watanzania wanaitaji msaada
@@MariamMarco-z7rASAIDIWE KIVIPI WAKATI KAMTOROKA BOSI WAKE ALIE MFANYIA VISA NA GHARAMA ZOTE KUMPELEKA HUKO?????
Alikuwa akitamba sana huyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Katambee naww huna nyota hata yakuolewa na bangele kwa rial 50 tu wivu wivu ni sumu utakumalizaaa
@@dorcaskidoti249😂😂😂😂mbona Bangali 😂
Katambe na ww km rahisi 😮
Sass mbona mkifungiwa kuja oman mnapiga makelele mfunguliwe kuigia oman na wengine wanakuja mpaka kwa magendo aah ata hatuelewi kweli uko wapi sie wantanzania khasa kulalamika ni mila na utamaduni watu hatufahamiki
Asntee da zanen kpnz Allah akusimamieee tuteteee mpenz
Hongera sana mama na watoto wake
Uko sawa dada madam
Mengine unasema uongo watu wanakuja wanafanya kazi wanajenga wanasomesha watoto wao wana miaka 20 huku
Ila mm nilifanikiwa kuonana na balozi ila nilipata tabu aisee ila mzee ally na mzee Suleiman na haro juha ndo walinisaidia nukakutana na baloz
MashaAllah bi joha anamsaidia sana watu pale ubalozin Allah amtunze sana
Bi joha anasifa nzuri kila sehemu
Tunao soma coment like hapa tujuane mashaghala oyeeeeh😂😂😂
Dada muongo ww looooh eti huwezi kufanikiwa kwa njia halali acha unafki watu tunajenga kwa kaz halali dada mnafki wewe 😢
Punguza mdomo mbona unapenda sana kuweka mambo yako wazi au unalipwa huko mitandaoni
😂😂😂Wewe sijui ndio ulimtilia fujo au ajent mchongo😂😂😂😂
Sio kwa roho mbaya hiyo
No pain no gain
Ebu acheni mambo ya kimbea, angaliani mbele. Anaonekana kashiba lakini hana shukran.
Zanini ndg pambana km utapata hiyo hiqama ya ndoa sawa usipopata sawa ongea na mumeo awe anakuja tz na kurud oman fanya biashara endeleza wanao kusoma wanaosema ni muongo / mdangaji / tapeli umefata pesa kwa babu wapambane na wao wafike ulipofika ww km rahis 😂😂wajue kabisa nyota yako iko juu wapambane na wao wafike ulipofikia ili waache kaz ya kusugua hammam😂😂
Wee zann mwogope mungu ww kama hukufanikiwa ni wewe usitufanye wote tuonekane tumekuja kudanga omani et uwezi toboa kwa pesa ya halali ww ndo ulikuwa na pigo hizo sema yanayo kuhusu usituvunjie heshima sie tuna ishi na upwilu afu unasema kutembea na maboss unakosea Sana ebu weka maneno mengine akiba mana utaaribu
Mshenzi tu huyu bibi na Minyama yake ya shingo Isha legea mdangaji mkubwa huyu na domo lake refuuu kama mamba😂😂😂😏😏
Uko sahihi dada tunapitia mengi sana
Ubalozini mbona wana ongea kiarabu kina haro joha kina mzee suleiman kina mzee ally jaman au mm sijaelewa na ubaloz na passport kuzuia ina usisna nini mmmh au ulikuwa tayar una kesi za kazi na mashitaka yakawa ubalizini maana na wazo kitabu chako walikioataje na kitabu anakuwa nacho boss au mm ndo sielewi vizur maana hadi ubaloz kupata kitabu haya ngoja
Huyu ajent wake bi joha na ndiobalokuwa na pasport yake ndio maana
Mbona bi joha anamsaidia sana watu labda huyu alikuwa tayar Kuna makosa fulan labda ndio maana passport yake ikawa huko balozin na hakupata msadaa
Kiukweli huyu dada ana boa et huwez toboa kwa pesa ya Alali Ina Mana wote tuonekane huku tunadanga kama yy ?😢
@@hawamafuru6791 kutoboa na pesa ya ukadama nilizima uandae nusu ya pesa kujitibia 😂😂 ila nilivyo muelewa watu wengi huisintynao Toka njee ni lazima kutoboa bila kujuwa katika utafutaji Kuna kufel pia Oman niliingia ila nilifel nililudi nyumbani kama nime ludishwa na kimbunga hidaya Yani ngija ngija Sina hata mia na ubalozin nikikaa miez mitatu nauli yakunutoa airport nilikuwa na kielf kumi changu nilisafiri nacho na mzee ally wa ubalozini nae akania elf 20 ikawa 30 ndo pesa nilivyo ludi nayo ila siwez ongea vibaya coz nimoja ya utafutaji Kuna ku fel na kufanikiwa hata kidogo now nipo iraq mm siwez wazungumzia warabu vibaya sana japo mmh maana najuwa umasikini wangu ndo unanitesa
@@mariamkibindo1741 wale nao hawatabitiki bana Yani watu wa ubalozini bana kwa majungu sasa Yani tabu tupu
Kwani ukifanya kazi uezi kusomesha mpaka uolewe
Tunawait wazee wenye visukari maan wazee wa kiarab weng wanaugua moyo,sukari😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani dada angu umenifurahisha kueleza ukweli yaani endelea kuedili na ubalozi wanatukandamiza km hawatujui nini tunapitia majumbani
globaltv basi tena jaman ina tosha maana uko tunapo endea atatupiwa majini adi kwenye saaaleko 🤣🤣 maana roho zinavo wauma kila wanavo comment wanaona aitoshi,
😂
😅😅😅😅
Wewe ni muongo ndiomana ukawa mwizi kazi imekushinda mwizi mkubwa wewe umemuibia mume wako ukasafirishwa wewe kwenda huko huingii tena huko
😂😂😂😂 kumbe mwizi ameiba Tena 😂😂😂😂😂
Mhhj! Acha uongoo