Hongr sana Anthony nimekufuatilia sana toka mwanzo mpk umefika drs la saba Hongera sana kwa kupata A zote 6 Mungu akuwezeshe ufikie ndoto zako Zaidi naomba Serikali ikuwezeshe ukasome kwenye shule za vipaji maalumu
Masha Allah, ALLAH azidi kukusimamia mwanangu Antony,na wewe kaka uliyemchukua Antony kama mwanayo,mungu akubariki na chochote utakacho kifanya iwe ni baraka ,ulipotoa mungu akuzidishiye x 100
Hii ndo kazi ya wandishi kama Milad online tv good Job Cause ulimtambulisha akatoboa na Dogo Anazidi kutambulika Hongerini Sana Mlio nyuma yake Kumsaidia Athony.
Barikiwa sana brother we na taasisi yako pamoja na wote wenye nia njema na watoto wa Watanzania wenzao. Nakosa maneno ya kusema. So harmonic brother Mungu akipenda haya mema kwa uzazi wako. Amina.
That One small thinh that can change a life for ever... God bless the boy and the sponser. Mwenyezi mungu atupatie mioya ya kusaidia walio na haja ya kusaidiwa. Ameen
Millard Tv we are the best. Mnamfatilia uyo mtoto kwakweli Mungu awabariki. Tuonyesheni na yule mtoto muuza ndizi vipi nyumba ashajengewa na matukio yake ya shule yapo vipi
Hakika mungu ni mkuu mungu akubariki mfadhili uliye muwezesha , ndugu isack msuya neema ya mungu iwe juu yako na uzidi kufanikiwa katika KAZI zako maana upendo ulio ufanya kwa Anthony umegusa mboni ya jicho la mungu naye hatakuacha abadani kwenye uzao wako.
Nimefurahi sana kusikia matokeo mazuri ya Antony mungu amlinde sana amfunike kwa mbawa zake za ulinzi pia baba mlezi msuya mungu akutunze ulipotoa kwa moyo mungu akuongezee mara dufu
Mwenyezimungu awabaliki sana wote mlio mkunjulia mikono Anthony mungu awazidishie mpaka mshangae jamani nawewe Godfrey mungu akubaliki sana kwa kutuletea habari za Anthony nimeflai sana❤❤❤
Da mungu amembaliki tu huyu mtoto ubalikiwe sana baba mlezi kwa moyo wako mwema kabisa Yani natamani hata mimi ungechukuwa hata mwanangu ukamlee Yani unaonekana ni mtu mwenye loho ya kibinadamu mwenyezi mungu akupe maisha malefu pia aubaliki na uzao wako ote mungu azidi kukupa wepesi azidi kukufungulia liziki kutoa ni moyo ubalikiwe baba
Daaa eee Mungu nakushukuru kwa ajili ya huyu mtoto, pia Mungu akubariki ww uliyejitoa kwaajili ya huyu mtoto Mungu akufungulie neema kwenye tumbo lako pia usipungukiwe kamweee mjini, Wala shambani
Wengine wetu tunafeli sababu umaskini ila wengii wangepata fursa kwakweli hakuna mjinga duniani umaskini n kutopata support ndio hufelisha wengii kutimiza ndoto, Mufadhili w Antoni ubarikiwe pamoja n kizazii chako ❤
Mungu akubarik sn kwa kujitoa kwako lkn pia tumpongeze mkeo kwa kukubali msaidiane kumlea pia mtoto huyu . Mungu akumbuke hili na hakika baraka zake zisiwapungukie
Mungu akubarik mtangazaji kwa kumfuatilia hatua by hatua pia Mungu ambarik sana Msuya
Mungu akubariki sana baba una roho nzuri sana sana machozi yamenitoka baba na wewe unastahili zawadi baba.
We baba mungu wa mbinguni akuongezee ulipotoa mungu baba akutunze kwa wema uliomfayia Antony kwani ni Wachache sana wenye roho kama yako baba angu
Bravo dogo,Mungu namyukuza Mungu kwa ajili yako keep it up
Mungu azidi kumuinua aliyejitoa kwa ajili ya mtoto huyu
Unamtaja sana Mungu hongera,Mungu mwema akusaidie katika masomo yako,amlinde huyo anayekusomesha ampe uzima na afya njema.
Ameen
Hongr sana Anthony nimekufuatilia sana toka mwanzo mpk umefika drs la saba
Hongera sana kwa kupata A zote 6
Mungu akuwezeshe ufikie ndoto zako
Zaidi naomba Serikali ikuwezeshe ukasome kwenye shule za vipaji maalumu
Huyu aliemsaodia Antony ,has very special place to the heaven,aliona mbali sana.
Uyu mzee Mungu ,sijui niseme neno gani zur najikuta nashindwa ubarikiwe
The secrets of living is giving. Kudos to Isack Msuya🙏🏽
Jamani huyu mtoto kakua duuuh Mungu ni mwema🎉🎉🎉hongera antony
Sio kakua ni wewe umezeeka
Miaka inaenda juzi tu hapa alikuwa mtoto mdogo sasa hivi nikijana wetu mungu akuzidishie we baba ulie msaidia huyo Antony❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nacheka sana, yaani Antony alivo na sifa. Anapiga kiingereza safi sana. Mungu akufungulie kila la kheri
Antony mhaya,, ila Mungu wa ajabu mnooo ,,nmefurah sana
Antony sio muhaya, ni mhangaza, jamii ya watu kutoka ngara, yaani wanafahamika wanyangara.
Alafu kuna mm hapa nauzee huu hata salamu yakinge sijui😂😂
Hongera Anthony nimefurahi kukuona milady ahsante kutuonyesha Anthony Mungu akubariki sanaa mtoto mzuri❤❤❤
MashaALLAH..Antoni namkumbuka mdoigo na Ile stori yake na baba ake.saiv amekua na Kawa jodari mungu awabarik nyote
Masha Allah, ALLAH azidi kukusimamia mwanangu Antony,na wewe kaka uliyemchukua Antony kama mwanayo,mungu akubariki na chochote utakacho kifanya iwe ni baraka ,ulipotoa mungu akuzidishiye x 100
Hii ndo kazi ya wandishi kama Milad online tv good Job Cause ulimtambulisha akatoboa na Dogo Anazidi kutambulika Hongerini Sana Mlio nyuma yake Kumsaidia Athony.
Jamani mpaka nalia 😢😢😢😢😢Mungu amlinde na hasadi aje kua mtetezi wa wengine
Tunalia weng my maan ukisikiliza historia yake inaumiza
Masha'allah mngu amlinde na macho ya hasadi ..afikie ndoto yake,..❤️🙏. MNGU akuzidishie BABA ulie weka furaha kwenye moyo wa huyu mtoto Anton🙏
Dogo upo vizuri mungu akutangulie pia na mfadhili wako mungu amzidishie hongera sana mzee
Hakika Mungu akutunze sana Mr Msuya kweli umenigusa sana ,mungu akulinde sana
Baba uliye mchukua antony Mungu azidi kukuzidishia mahali unpo toa paongezeke mara mia
Ameen
Kweli kabisa☝🙏
Ameen
Hakika
Amen
Daah.. miaka inaenda asee.. nijuzi2 hapa taharifa zake zilitrend
Nimeshangaa kamaliza!
Barikiwa sana brother we na taasisi yako pamoja na wote wenye nia njema na watoto wa Watanzania wenzao. Nakosa maneno ya kusema. So harmonic brother Mungu akipenda haya mema kwa uzazi wako. Amina.
Amiin
Amen ❤ 🙏
Ubarikiwe Mr.Isack, u mfano Bora❤️
Mash Shaa Allah ❤❤ Mwenyezi Mungu ameonyesha miujiza yake. Hongera sanaa kwa baba mlezi.
hongera sana baba Isack msuya mungu akubariki
Antony, raisi wetu wa baadae , vizuri sana, hongera sana mzazi mlezi 👏🙏🏾💐
This dogo ni genius, speaking adultery 🎉
Wewe baba Allah akubarki na akuzidishie katika mali zako na familia yako
❤❤❤❤Hongera sana Baba ulieguswa na maisha ya huyu mtoto Antony mungu atakulipa zaidi kwa msaada wako❤❤❤❤
Huyu ni mwamba kabisa ❤❤😢
He is genius he is very bright😘
Indeed
Hakika njia za Mungu hazichunguziki.barikiwa mno kaka Msuya hakika hiyo ndo sadaka zinazompendeza Mungu
Waoh hongera Sana Antony na huyo baba aliemsaidia MUNGU azidi kumbariki amen🙏
Hongera mtoto Antony hakika miaka inaenda kama utani
Hongera sana mwanangu Anton
Safi sana mtoto mnzuri ww ni kichwa utafika mbali mnooo
Mashallah amekuwa maerefuka na hongera sana kwako mtt nzuri na hongera sana baba mrezi wa Antony Mungu akubariki zaidi na zaidi lnshallah
Hongera sana Anthony Mungu ana makusudi nawe.. ubarikiwe mfadhili kwa moyo huo
hongera sana kaka msuya ,umekomboa hiyo familia na mungu akubariki sana vizuri vipo mavumbini na wewe ulimuona.
Hongera zake jaman Mungu azdi kumuinua zaid😇😇😇
That One small thinh that can change a life for ever... God bless the boy and the sponser. Mwenyezi mungu atupatie mioya ya kusaidia walio na haja ya kusaidiwa. Ameen
Mtihani siku zote unakuwa mtihani, lakini umekuwa wa kawaida kwake, hii kauli ni ya kielimu sana💪
Mwenyez mung akulind mdog wang na akujaalie kila hitaji la moyo wako,,, ya allha naomb amjaalie na mwanagu awe na uelewa kam wa huyo mtoto 🙏❤️
Mungu n mwemaa kila wakati mashalaah ♥️🙏🇹🇿
Ee Mungu wabariki wahisani wote wanao saidia watu wenye uhitaji 🙏
Millard Tv we are the best. Mnamfatilia uyo mtoto kwakweli Mungu awabariki. Tuonyesheni na yule mtoto muuza ndizi vipi nyumba ashajengewa na matukio yake ya shule yapo vipi
Weldone Antony for being the top score
Kongele zako utafika mbali
Na miladayo Mungu awabariki Kwa sabb bila ya ayo tv asingeonekana
The best thing you should have in your life is confidence. Antony is very confident❤❤
Ee mungu hakika umtendaji wa maajabu huyu mtoto amekuwa hivi ee mungu nakuomba tubadilishiye nawengine pia ❤❤❤🎉🎉🎉hongera sana Antony
Hongera Kwa Mr. Msuya Mungu azidi kukubariki wewe na familia yako, Anthony hongera sana Mungu azidi kukubariki.
Hakika mungu ni mkuu mungu akubariki mfadhili uliye muwezesha , ndugu isack msuya neema ya mungu iwe juu yako na uzidi kufanikiwa katika KAZI zako maana upendo ulio ufanya kwa Anthony umegusa mboni ya jicho la mungu naye hatakuacha abadani kwenye uzao wako.
Hongera mfadhili wa Antony na hongera Anthony Kwa kuitendea haki hakika Allah anakupigania katika safari Yako nakuombea Allah akulinde Anthony
Aminaa sana mungu akubariki muno akabariki kazi ya mikono yako
Wahangaza tukiwezeshwa tunaweza safi sana muhangaza mwenzangu 👏👏
Niuyo tu waangaza kazi zao nikwenda karagwe kuchunga ng’ombe😊
Be blessed Mzee wa upendo👏🏻❤️
Wewe Baba!! MUNGU akuinue sana ktk maisha yako.
Nimefurahi sana kusikia matokeo mazuri ya Antony mungu amlinde sana amfunike kwa mbawa zake za ulinzi pia baba mlezi msuya mungu akutunze ulipotoa kwa moyo mungu akuongezee mara dufu
Tokea mwanzo nilinza na huyo mtoto ayse sasahivi amebadilika sanaa kweli penye Nia Pana njia hongera sanaa antoni
Kiukweli Mungu yupo,nimeona hongera kijana wangu
Antony nakufatilia hatua kwa hatua Toka 2018 mpaka Sasa mungu atuele nije nione maisha yako ya nje mdogoangu❤
mashaAllah tabaraqallah mungu ni mwema uyo alemchukuwa mungu ampe umri na afya🎉🎉❤
Mwenyezimungu awabaliki sana wote mlio mkunjulia mikono Anthony mungu awazidishie mpaka mshangae jamani nawewe Godfrey mungu akubaliki sana kwa kutuletea habari za Anthony nimeflai sana❤❤❤
Safiii sana Anton uko vizuri
Mungu ni mwema pia wote mbarikiwe kwa kumsapoti Anthony🙏🙏
Mungu Akubariki Boss Uzidi Kua Na Moyo Huo Huo
Mungu akubariki na kukuzidishia wingi wa Baraka wewe na familia yako Kaka Mfadhili mwema.🎉🎉
Safi sana Antony
Mr. Msuya Mungu akubariki sana wewe na kizazi chako kwa mfano huu.
❤❤hongera sana usiache kumshukru mungu 👏
Da mungu amembaliki tu huyu mtoto ubalikiwe sana baba mlezi kwa moyo wako mwema kabisa Yani natamani hata mimi ungechukuwa hata mwanangu ukamlee Yani unaonekana ni mtu mwenye loho ya kibinadamu mwenyezi mungu akupe maisha malefu pia aubaliki na uzao wako ote mungu azidi kukupa wepesi azidi kukufungulia liziki kutoa ni moyo ubalikiwe baba
Hongera sana pia wewe mwandishi wa habari umemfatilia hadi muda huu safi sana sana
Mheshimiwa Msuya hongera Sana kwa kazi nzuri ya BARAKA Sana.😢❤
Dady Bigg Up,Msuya God bless You.
Daaa eee Mungu nakushukuru kwa ajili ya huyu mtoto, pia Mungu akubariki ww uliyejitoa kwaajili ya huyu mtoto Mungu akufungulie neema kwenye tumbo lako pia usipungukiwe kamweee mjini, Wala shambani
Wewe baba uliye msaidia Anton mungu akutunze baba .mungu akupe zaidi pesa namaisha marefu.
Mungu akubariki sana mwalimu uliyemchukua Antoni
Huyu baba aliye msadia nyumba yake na family isiishiwe na kitu kwa jina la yesu
MashaaAllah amebalehe sasa❤❤
Waaa mungu ni mwema, God is great shalom
Wengine wetu tunafeli sababu umaskini ila wengii wangepata fursa kwakweli hakuna mjinga duniani umaskini n kutopata support ndio hufelisha wengii kutimiza ndoto, Mufadhili w Antoni ubarikiwe pamoja n kizazii chako ❤
Mungu akubariki sana aliyefanikisha ufadhilii huu
Babaangu ubarikiwe sana🤲🤝🌹🌹🌹🌹❤️
Ongera sana mtoto❤❤❤ mungu akuongze kwenye masomo yako
Alhamdulillah nimefurahi toka mdogo mwenyezi mungu azidi kukuwezesha mtoto wangu
Maashallah ❤🎉
I salute oyo kwa highlight antony na huyu alimsaidia na kalo na muombea mungu ashante sana
Miaka inaenda kasi sana aise! Huyu juzi tu alikua dogo!
Mungu Amjaarie Anthon .
Mungu ananjia ngumu sana kukutoa sehem ngumu njia zake hazichunguziki
Huyu baba mungu ambariki kumsomesha na kumjali mtoto ambaye siyo damu yake
Mungu akubarik sn kwa kujitoa kwako lkn pia tumpongeze mkeo kwa kukubali msaidiane kumlea pia mtoto huyu . Mungu akumbuke hili na hakika baraka zake zisiwapungukie
Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao ❤
Mungu akubark mzee msuya
Mzee Msuya hakika umetoa sadaka ya kweli. Mungu ataendelea kukuona kwa kuwajali wahitaji
Hongera kwa Mungu hongera kwa mlezi hakika kafanyika baraka sana
Wewe baba Mungu atakubariki wewe na kizazi chako daima
Mungu akubariki mtangazaji
Mungu ni mwema sana, mtoto amekua sana, na anaonekana ana hofu ya Mungu, Mungu ambariki aliyejitolea kumlea na kumsomesha huyo mtt
Mashaalah MUNGU amtangulie daima