MTANZANIA ALIYEPEWA KESI na BOSI WAKE OMANI - AJIKUTA KWENYE MIKONO HATARI ya 'AGENT' WANAOSAKWA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 тра 2024
  • MTANZANIA ALIYEPEWA KESI na BOSI WAKE OMANI - AJIKUTA KWENYE MIKONO HATARI ya 'AGENT' WANAOSAKWA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 529

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  20 днів тому +5

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @SANJA0693
      @SANJA0693 20 днів тому +2

      mtafteni na agent hawa waongo sana madem 😂😂

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 19 днів тому +1

      Global tafadhali muwe mnatuletea watu wenye shida na uhitaji kweli na si huyu dada, tafadhali muwe mnachuja watu KABLA hamjawaleta hewani.

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 19 днів тому

      Kwahayo aloelezea ni kweri mm nilikuwepo ila muendelexo ndiyo nausubili na mm nipohuku huku na pambana Ajenti wetu mmoja ​@@SANJA0693

    • @usher_bambi9413
      @usher_bambi9413 19 днів тому +1

      Haswa huyo mdada jaman hapan Oman hakun asomfham kwa ukorof na kuwachamba watu😂😂😂😂😂😂

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 19 днів тому

      @@SANJA0693 kwaaliongeahapo kuhusu Ajenti nikweri mm nilikuanae pale ajentiwetu mmoja ilatu. Nasikiaaliolewa huku na babu kwakujitzmba sijuikimemkuta nini kurudi tz. Naalikua anauza mikirim huku

  • @hashilalkharusi4680
    @hashilalkharusi4680 20 днів тому +19

    Kinachoshangaza mkija Omani mnateswa sasa mnakuja kufata nini haaaa bakieni makwenu msichafue miji ya watu

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n 19 днів тому +2

      Yaani kwakweli hata aibu hatuja

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 19 днів тому +4

      Sikilizenikwanza mjue anaitajinini msimlaumutu. Kwani. Wabaya si wote na waxuri siwote Dunianzima.

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 18 днів тому +2

      😊😊😊😊😊 ata mtume kasema today ukatafute ww kama mwarabu usingejuwa kiswahili imeisha iyo

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 18 днів тому +4

      Wabaya kote wapo kuna wabaya na wazuri ninamiaka uku lakini kwa mwarabu mswahili sitaki

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 18 днів тому +1

      ​@@HanifaOman-oo4plyanajiropokea tu

  • @abdulwahidalismaili8836
    @abdulwahidalismaili8836 19 днів тому +6

    Huyo ana matatizo mengi sana na muongo.

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 20 днів тому +7

    Pole Sana dadangu hata mm Niko uwarabuni NI kweli anacho sima sister
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @b52saif96
    @b52saif96 17 днів тому +3

    Ukimsikiliza tu unajua shida ipo wapi, naona hata reporter amekuwa confused. Story haina mwanzo wala mwisho

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 16 днів тому +2

      Huyu dada ukimsikiliza ni pumba tu na ni mswahili mno

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 11 днів тому +1

    Pole mama Allah akuhifadhi.

  • @user-wm1ly8qb8j
    @user-wm1ly8qb8j 17 днів тому +3

    wee sematu upwiruuu ulikuzidi acha kutuharibia wenzako 🤐

  • @usher_bambi9413
    @usher_bambi9413 19 днів тому +9

    Cha ajabu anatamba anasema anataka kwend had kwa dida kuanika ubaya wa ubarozin eti watz walokuw Oman anaend kutusemea tunayopitia huku...TUMEKUTUMA????😂😂😂😂 mnaotoroka kwa maboss zenu ndio mnaotesekq sabb ya kwend kukaa magheto na kufny umalaya mbon tunaotulia kweny mikataba hatuna hizo mambo😂😂😂😂shame on you😂😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 17 днів тому

      Una hasira na huyu kwani alikubebea mume uko au 😂😂😂😂? Acha kila mtu ajisemeee nafsi yake, kwani akijigamba ww kinakukeraa nn kwa mfano? Naww nenda kwa Didah ukatoa ushuhuda wa uzuri wa warabuuuu mpenz tuache chuki za ovyooo apo unajikuta mzawaaaa wa Oman

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 17 днів тому

      ​@@dorcaskidoti249Kwanza ungelinyamaza tu maaan hyo unaesema hpa ana ndoa na muarabu. Aseme ukweli wke lakn si apange uwongo

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 14 днів тому

      Pumbavuzake ana lolote mnafikitu amemaliza mkataba kwa jashola Meno eti nikitakakuogeza mkataba ukiona mwazo mambosio manzuri ludi kwenu sio kukimbilia ubarozi wakupe nini au mimba 😂😂😂 ukatabikenayo

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 14 днів тому

      @@morjanoman5181 angalia part,3

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 14 днів тому

      @@user-dx6dm6lh1i poa

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 20 днів тому +3

    Dada Mkubwa umebarikiwa, umeshafika home Allahamdulilah

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 15 днів тому +2

    Poroja sis tunapig kaz tunainhiz kila mwez😂😂😂

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 16 днів тому +3

    Mwandishi nitafute dm nikupe habari njema huyu dada mnafiki

  • @rahmangurupi2917
    @rahmangurupi2917 16 днів тому +3

    malaya tena fisadi mkubwa huyu kama alikuja kufanya umalaya hayo yaliomkuta ni madaogo mnafiki mkubwa domo lomekishuka kwa unafik na limi limekupolomoka kwa uongo mbwa wewe acha kuongelea mambo yasiokuepo unatafuta kk vua chupi utembee uchi utakua maarufu nyoozako uso umekupaukaaa kwa uwongo

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 15 днів тому +3

    Wew sindoulokuwa ukijishauwa ulipochukuliwa mzig ukajirikod inahashukw ww usituharibie jiongelee pek yak sis tupo tunasak rial ww tafut umaaruf 😂

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 20 днів тому +2

    Pole zanini far kumbe umesharud bongo pole sana

  • @Ashsultana
    @Ashsultana 17 днів тому +2

    Nchi za watu ukienda hakikisha unafata kilichokupeleka, ikitokea mmepishana tu na kilichokupeleka, mateso ndo huanza, hivyo tamaa wakati mwengine si ya kufuata
    Na wengi wanatoka kwenye maboss walio na mikataba nao kwa kufuata au kusikiliza maneno ya walioko nje kuwa huku kunamshahara mkubwa

  • @user-wm1ly8qb8j
    @user-wm1ly8qb8j 17 днів тому +1

    ngoja nilicheke kwanza hili limalaya la mbagala 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @kilungumsabaha3891
    @kilungumsabaha3891 17 днів тому +1

    Aweeeeeh mzaramo wangu pole mpambanaji mwenzetu tupo Pamoja!

  • @flowerqq1280
    @flowerqq1280 18 днів тому +1

    Dah pole sana zanin

  • @user-jr3mo3je3k
    @user-jr3mo3je3k 20 днів тому +10

    Mzunguko mrefuuuuu point no😮 sijaelewa chochote yaan....

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 20 днів тому

      Apo uwezi kuelewa mpaka uwe na A mbili

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 19 днів тому

      😂😂😂😂 sijaelewa anataka nn

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 19 днів тому

      ​@@faumarley5707😂😂😂😂😂😂

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      @@auntmakochela4202 utaelewa tu sibado upo

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 18 днів тому +2

      ​@@faumarley5707hayajamfika ataelewa nn😅

  • @hafsa05adil32
    @hafsa05adil32 16 днів тому +1

    Umenishindaaa tabiyaa

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 20 днів тому +2

    Pole tupo pamoja zanini ❤❤❤

  • @user-tq5di6mv9c
    @user-tq5di6mv9c 20 днів тому +7

    Mm nilikuja mwaka huo nampaka leo nipo 😅😅oman oyeeeeeee

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 19 днів тому

      Na mm yaan cjarud hata bongo

    • @zainabchumu8559
      @zainabchumu8559 19 днів тому +2

      Na mimi mwaka huohuo nimebadilisha boss lkn home sijarudi

    • @user-tq5di6mv9c
      @user-tq5di6mv9c 19 днів тому

      @@zainabchumu8559 mm sasa sijabadiliaha hata nyumba navyoogopa nimetulia hapa

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 18 днів тому

      ​@@zainabchumu8559wajina nenda kasalimie

    • @user-pk8bp7th9e
      @user-pk8bp7th9e 17 днів тому

      Oyeeee

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 16 днів тому +1

    Hamna fadhila wala shukran kazi zenu hizo kuchafua nchi za watu

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 20 днів тому +1

    Pole sana udugu wangu

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 17 днів тому +2

    Mjengoni ndo ulikuwa ukijiuza Mungu akushinde Kwa kusema uongo mtupu

  • @user-wm1ly8qb8j
    @user-wm1ly8qb8j 17 днів тому +2

    Oman hamuna mateso huyo anataka 2 sifa mitandaoni iliajulikane mushenzi sana nakomwe lake kama la mangekimambi

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 18 днів тому +2

    Huyu bibi jisura lake tu linaosha la uongo na la kichawi unazuwa tu kwani alikwita aende kule nani mjinga tu

  • @usher_bambi9413
    @usher_bambi9413 20 днів тому +4

    Cjui nicheke ana vip kifup kimekuramba 😂😂😂😂

    • @user-uq2zm2mi6s
      @user-uq2zm2mi6s 20 днів тому +2

      Dyadyaaah mbaya weuweeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂

    • @usher_bambi9413
      @usher_bambi9413 19 днів тому

      ​@@user-uq2zm2mi6swho are you my wang😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 19 днів тому +1

      😂😂😂😂

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      Roho zaifuu ndomana utoki na usipo badiriaka umaskini unaenda kukutesa adi uzeeeni kwako

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly 19 днів тому +1

      Wanaocoment ujinga hawamjui vizur huyu mdada

  • @GharibAlrasdy
    @GharibAlrasdy 18 днів тому +3

    Huyo muongo namjuwa vizuri sana na Ana haribu ndowa za watu na mchawi mkubwa

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 18 днів тому

      Kwanza upemba si kabila pumbavu huyu

    • @user-df6ui9ro8s
      @user-df6ui9ro8s 16 днів тому +1

      Kwel kabisa me nimeon sehem hap kwenye vissa 😂😂😂 me sio mgen hap ndo nimeona muong na unga wake aliojimwqgia uso kma tope😂😂😂

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 19 днів тому +4

    😂😂😂😂😂sema mapenzi yamekushinda usipige zogo na pia umependeza shukuru

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому +2

      Punguza chuki ufanikiwe ukizembea unaenda kufa na umaskini wako 🥴

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 18 днів тому +1

      ​@@faumarley5707😅umeniwahi vijitu vingine vinaropokwa kwa kuwa havijapatwa na matatizo

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 18 днів тому

      Ungeliskia matus aliyonayo huyu mwanamke na hpo anapolia ndio utamjua alivo

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 18 днів тому

      @@user-dx6dm6lh1i af atukani uyo anahofu kubwa ya mungu sio kama wwe mnafki mnafki

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 18 днів тому +1

      @@faumarley5707 hofu ya mungu na zle voice zinazosambaa ni nan kwanza ww ndio hyo mwenyewe watu wameshakujua

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 15 днів тому +2

    Kama kweli hamna kheri hata kidogo mpaka mchanga wa kaburi. Omani mmefungiwa viza kwa mambo yenu ya uongo na kutukana wenzenu. Balozi pia wamemichoka wanaofanya kazi Vizuri wamejenga kwao sio nyinyi wambea mnayosema uongo. Bibi usidanganyike wenzako kivipi upate ajeti mpya bila kupelekwa police. Nakama kweli ulipata tabu vipi unataka kurudi. Viza brock

  • @rayaabdul-gm3hc
    @rayaabdul-gm3hc 18 днів тому +2

    Kaka sisi wenyewe .wafanyakazi ndio wakorofi..wewe umekuja kufanya kazi za ndani ..unafika huku unaharibu ndoa za watu .yani mijitu kama hiii wapo wengi oman ..yakiwakuta .wanasema .ohoo.bosi kanipiga.bosi kanimwagia maji ya moto..uwongo tu .muache umalaya wenu .huko huko tz

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 20 днів тому

    Pole sana Dada angu ❤️

  • @AminaSendekwa
    @AminaSendekwa 19 днів тому +4

    Mimi ni mtanzania ila watu wako tofaut hivyo asizungumzie wingi awake umoja katika historia yake

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 16 днів тому +2

    Wamama wazima miziwa mpaka kitovuni hukute niwake zawatu hafu wamelewa kaka hawa musiwahoji nimalaya hua wanajua omn ukifika kulalatu kumbe nikufanya kazi

  • @SarahSarah-jj6us
    @SarahSarah-jj6us 19 днів тому +1

    😂😂😂😂acha nicheke tu

  • @DafettyOg
    @DafettyOg 16 днів тому +1

    Kama na wew umesikia anasiku 3 tu toka atoke Omwan gonga like apa tuendelee na kipnd 😂😂😂

  • @user-jl4xl3xn8u
    @user-jl4xl3xn8u 13 днів тому

    Mkija kufanya kaz fanyen kazi achen tamaa yakiwashinda mnalaumu pole

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 15 днів тому

    Pole sana sana saaana mdogo wangu

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 17 днів тому

    Pole zanin nakupenda dada

  • @zubedamohammed1777
    @zubedamohammed1777 20 днів тому

    Umewenza.sana.udugu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 19 днів тому +3

    Uongo mtupu subhanallah halafu mwataka kuja jamani msiharibie wenzenu

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому +1

      Aongope ili apate afaida gani kwa vile wwe muongo unazani kila mtu na weza kuongopaa,uo ndo ukweli tulia subili party 2 ili uelewe vizur

    • @MissabubakarMhina
      @MissabubakarMhina 19 днів тому +2

      Kweli asituharibiye kabisa

    • @HabibaHussein-vb1ir
      @HabibaHussein-vb1ir 19 днів тому +1

      Unaujua uongo wake km haumjui nyamaza sie tunaejua tunaelewa nn kimetokea

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      @@HabibaHussein-vb1ir ujui kitu tulia wanao jua na wana uwezo wa walumbano wamenyama usijifanye unamjua kumbe ujui chochote tenaa ujui kitu tulia kama una nyolewaa kipala

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 18 днів тому

      ​@@faumarley5707siku yakimkuta atajua huyu dada anamaanisha nn

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 20 днів тому +1

    Pole dada ndo maisha

  • @sabrahnibuka1211
    @sabrahnibuka1211 20 днів тому +1

    Daah weee nakukubari imeisha hiyoooooo

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 15 днів тому +1

    Mdomo ndounaponz kichw 😂😂😂😂😂😂😂

  • @zubedamohammed1777
    @zubedamohammed1777 20 днів тому +1

    Nimekupenda.dada.zanni

  • @user-pm3wy2rk1c
    @user-pm3wy2rk1c 20 днів тому

    Pole ndugu yangu kwa mitiani

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 18 днів тому

    Pole San my

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 16 днів тому +1

    Huyu inatakiwa kupelekwa police akahojiwe vzuri tumewachoka watu kama hawa tena kwasasa anae sema omn wanateswa kuna kamati tunaiunda sisi viongozi waaze kukamatwa ukishindwa wewe wezio wanaweza

  • @Suley-OnlineTV
    @Suley-OnlineTV 20 днів тому +6

    Tunaomba upande wa pili wa story..
    Tunaomba atafutwe Agent na pia kwa sababu alipitia Ubalozini pia watafutwe desk la malalamiko la Ubalozi .. mtatusaidia sana..
    Kisha pia tupate information zaidi za kwa nini asafirie kupitia South Africa na asisubirie mpaka wafubguliwe.. na utaratibu uliotumika hadi kufika Oman kupitia njia za panya..

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 17 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 mnachuki watanzania ndg yangu Magufuli alifunga Airport haruhusiwe kusafirisha watu kwenye ughaibuni, Wengi tulipitia South Africa nilifikka Oman nikapelekwa obalozi kuandikishwaaa, Nimerud Tz nimepita Airport Tz vzr wakati narudi

  • @maryamshija566
    @maryamshija566 19 днів тому +1

    kazi ambao siiwezi ni.kutoroka kwa Boss

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 19 днів тому +2

      Hayajakukuta kaakimya

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому +1

      C ndo nyie wazeee wa kubuluzwaa kama mizoga

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 18 днів тому

      ​@@HanifaOman-oo4pl😅😅kabisa

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 16 днів тому +1

      ​@@faumarley5707😅jamn sasa tuki toroka.. Passport je mi nawaza had na umwa 😢😢

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 15 днів тому +1

      ​@@faumarley5707BASI YUPO KWAO SASA HATABURUZWA TENA

  • @LeylatHemed-bb9di
    @LeylatHemed-bb9di 19 днів тому +1

    Udugu adi interview 😊atar sna nimekumis ludi oman bn❤🎉

  • @omantimes9699
    @omantimes9699 15 днів тому +1

    Wewe Dada Acha uwongo utafanya tufungiwe Kwenda Omani tunalisha family Natunajenga Kama ulikutana Namshashi Mbaya niwewe Ebu Tuache Tufanye Kaz Mashaara Milioni Kwa Mwenyewe Tz Tutaipata wapi Kidhaba Mkubwa wewe

  • @sabrahnibuka1211
    @sabrahnibuka1211 20 днів тому

    Pole sana udugu wng

  • @user-zx1og2uj8b
    @user-zx1og2uj8b 19 днів тому

    Sorry sorry my iron lady am still here in oman because of you you are the one who you were encouraged me when was in difficulties times in oman be blessed my sweetheart

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      Then the are people who bring hatred to the truth.

  • @AishaJuma-yu6yq
    @AishaJuma-yu6yq 19 днів тому +2

    Pole sana zanini.undg wangu..lkn sikihiz block hazina nguvu...kaaa mwez tu kama unahitaji kurud rud ru mama hakuna kipingamiz...na waliataka kukomoaaaaa sana

  • @user-ds5tf9xx1d
    @user-ds5tf9xx1d 16 днів тому +1

    Ushafika home aza upya maisha popote ndugu yng ukiona mpk umeshindwa kwenda tena omani kwa huyo mumeo jua kabisa sio ridhiki yako

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h 16 днів тому

    Daa pol san mtian kwakwel yan oman uwe na moy wa subrat nauvumilivu mm nip uk ila najitaid kua mvumiliv kwannay pitia namuomb mung kil mda anafanyie wepes nitimiz maleng yang nirud tz nikiwa salam

  • @S__Official24
    @S__Official24 20 днів тому +1

    Kimekucha huku jaman Team Strong mukuje mukuje Mama kakaribishwa mjengo mpya watorokaji mtajiju🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HabibaHussein-vb1ir
    @HabibaHussein-vb1ir 19 днів тому +1

    Zanin km zanin😂😂😂ushindwi kitu

  • @shakiraissa2874
    @shakiraissa2874 20 днів тому +17

    Sasa kama unasema hivyo unawaongelea wenzako vby na bado unataka kwenda unahangaika kuomba tena visa acha ufisadi . Wewe dada uliolewa na úkawa unajitamba uwanja ulikuwa wako ahahah weeee embu tupishe ulivofumwa sasa hivi unasema ooh ulitupwa jela jela ya nyooo

    • @bikeymmaka2589
      @bikeymmaka2589 20 днів тому +6

      N kweli uy alijion kafikia wangapi Wana olewa ila hawakufany Kam yy

    • @SANJA0693
      @SANJA0693 20 днів тому +5

      ilikuaje nilisikia aliolewa leo namuona bongo😂😂😂

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 20 днів тому +1

      Umetumwa eeeh we umekatazwa kujigamba ovyoooo

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 20 днів тому

      ​@@bikeymmaka2589kajiona kafika au wwe ndo ulikua unamuona kafika wivu tuuuu na roho mbayaa

    • @usher_bambi9413
      @usher_bambi9413 19 днів тому +4

      Mm nacheka tu kungekuw na option ya kupost picha ningewatumia picha zake za harus 😂😂😂😂😂😂

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 19 днів тому +4

    Hamkulazimishwa kuja oman msichafue nchi ya watu

    • @user-rl5qu4zj9b
      @user-rl5qu4zj9b 18 днів тому

      Acha kujitoa ufaham ukishawahi kuona wao wanaokuja kwetu wanafanyiwa vitu vibaya tulia huko kama huwez kuwa namaneno yahekima

    • @ayoubmwamwaja
      @ayoubmwamwaja 18 днів тому

      Mkisha pewa majina ya walabu Bax nanyie mnajikuta walabu koko kiasi kwamba mpo tayari kusimama kama machawa pare wanapo halibu mbwa nyie

  • @user-ti1ol3ti9j
    @user-ti1ol3ti9j 13 днів тому

    We mama mwogo hunayibu unatafuta Kiki 😮😮😮

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 16 днів тому +1

    Hawa wanarogana wakifika nje ya Africa ndio wanarushiana mikosi kisha wanasema kuna mateso ughaibuni

  • @user-ok4qd7wg7c
    @user-ok4qd7wg7c 20 днів тому

    mtihani

  • @user-kc9pg1sf5p
    @user-kc9pg1sf5p 20 днів тому +2

    Mkwe wangu wee MZARAMO HALIS MUKE YA MUSHASHI❤❤

    • @usher_bambi9413
      @usher_bambi9413 19 днів тому

      Mshashi yupi?????? Watu mnapend kukuza mambo

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      ​@@usher_bambi9413wwe ndo kama ujui ulizaaa uambiwee

    • @user-sq6mw4yf2v
      @user-sq6mw4yf2v 19 днів тому

      ​@@usher_bambi9413mwanasheria sijapenda 😅😅😅😅😅😅

  • @user-ew3zj8ig4n
    @user-ew3zj8ig4n 17 днів тому +1

    Sasa visa ukatiwe na mwingine na uwende kwingine😮😮

  • @user-eb8cj9zs6c
    @user-eb8cj9zs6c 13 днів тому

    Nyooooooo 120 mpka 150 kwa lipi ulikuwa nalo? We umenunuliwa mnawahoji hao mnaowapa pesa....we unaenda obalozi wakati ulipita njia za panya? Msiwachafulie wenzenu..we Rudi uendelee na maisha yetu tz

  • @doryomary732
    @doryomary732 19 днів тому

    😢

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 16 днів тому +1

    Acheni kushashadia mambo musoyajua anae teseka asiende ugaibuni tuacheni sisi tufanye kazi malaya ndo huhalibu nchi zawenzao mtu kajichubua hivo unategemea kunamfanya kazi hapo acheni ujinga mimi nimekaa omn miaka 7 changamoto zipo natu nazipitia lkn tuna angalia maokoto maokoto

  • @user-cd8pq6bu8q
    @user-cd8pq6bu8q 19 днів тому

    2019 tulikuwa wote South Africa

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 17 днів тому +1

    Muwongo huyo anaongea uwongo katoroka kwa boss wake tunamjuwa kila kitu wakishafika nchi za kiarabu

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 20 днів тому

    Allah kareem

  • @bibiejuma5094
    @bibiejuma5094 19 днів тому +3

    Mimi nauliza swali huyu si aliolewa na mwarabu ata miezi mitatu bado ndoa iyo vipi tamaa mbele mauti nyuma

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      Tulia uangalie muendelezo af njoo sawa usihemkwee tuu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 15 днів тому +1

      ​@@faumarley5707WATU WANAMJUWA USIKAE KUTETEA UJINGA FALA WEWE.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 20 днів тому +1

    GABI PLEASE TUNAOMBA MUENDELEZO MAANA WENGINE TUMEKAA SANA UKO OMAN ZAID YA MIAK 6 so tuna experience sana nasubilia part tu ndio nije kikucomment vizul

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 17 днів тому +1

    Wadada wasiotulia kwa mabosi zao ndio wanaoteseka wanataka pesa nyingi za nje na ndio zinazowaponza wanajikura wamefiiika poleni sana

    • @user-pk8bp7th9e
      @user-pk8bp7th9e 17 днів тому

      We usimalize maneno hakuna mtu anataka kuhangaika funika kombe mwanaharam apite omba mungu ivoivo apo ulipo uishi kwa amani ndio lakuomba

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 16 днів тому +1

    Wapo wa mama wanne yani wanavuta sigara huku wana chokonowana wanagombea mwanaume mmoja jaman semeni hiyo nihaki wale wanapo kosanatu kidogo na boss wake wanatoroka wanaenda kupanga mageto wanachukua waume zawatu wewe umepelekwa kufanya kazi au kufanya umalaya tuwe tunajiuliza ndugu zangu tunao fanya kazi tumetulia wale wamagetoni ndo wanatuhalibia

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 19 днів тому +2

    Huyu anaonekana anamdomo na mjuwaji ndomana umeshindw na wamekushindwa .hata kama nimme atashindwa hapo pagumu .mbele yakulaumu mabos labda mjichunguze na nyiye tatizo lenu .

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 19 днів тому

      😂😂😂

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 19 днів тому +1

      Jeur sio kidgaesana ty tunamjua huyu 😂😂

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      Ndo mana mna buluzwa kwa kuogopa kuongea mtaonekana mna midomo na wajuaji una buluzwa leo adi kwa mungu uba buluziwa kwenye moto kwa ajili ya nizamu ya uoga

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      ​@@Muslim-gs6rnimeeekuumaa eeh poleee ndo ukubwa uo itapoa

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 19 днів тому

      @@faumarley5707 mie iniume nini sasa umeelewa lakini

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 18 днів тому +1

    Kwanza kusema kulifugwa kuja nchi zan kiarabu muogo 😂😂😂😂mbakuja njia za panya

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 17 днів тому

      Magufuli alikataaa baada ya video kusambaa wtt wanateswa ughaibuni kote sio Oman tu, Kwahiyo lazima upitie south Africa nasio yeye tu watu wengi walipitiswa uko

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 17 днів тому +1

      @@dorcaskidoti249 sio kweli bwN mm naoge nikiwa middle east tuache kudanganyana bwana labda kama mnapitaga njia za panya 2019 nlikuw bongo ma nikapota hapo Airport na 2020 niakrudi na nikapita na 2022 nilikaja tena 2024 iddi nimekula tz nanapita hap hapo mbona sijawah zuiliwa nyy tatzo lenu mnadangaywa na kuoitishwa bila kujua mnakuja wapi huku

  • @mimahnywage9245
    @mimahnywage9245 20 днів тому

    Jamaniii 🤣🙌

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 20 днів тому +1

    Hayo ndo ninayopitia bongo kwa sasa pole

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 19 днів тому +2

    Mbona siekewi kinacho ogelewa au mimi ndo sielewi

    • @usher_bambi9413
      @usher_bambi9413 19 днів тому +2

      Kifup haelewek manen meng😂😂😂😂

    • @erinestangowi7785
      @erinestangowi7785 19 днів тому

      @@usher_bambi9413 Huyo kayatimba leo mashaghala watamchamba hatari maana hallikuwa hodari uku kuchamba watu sasa zamu yake imefika

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      ​@@usher_bambi9413 kichwan kukiwa amana kitu uwezi kumuelewaaa,umelala Usingizi wa pono wwe

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 16 днів тому +1

      Haswa

  • @FatimahMohammed-dp6pn
    @FatimahMohammed-dp6pn 19 днів тому +2

    Muongo kwa mwaka huo uliyokuja mshaara ulikua stini sabini mbaka tisini mzoefu tisini mbak mia usiongopee watu miaka hii yakaribuni ndia mia ishilini kwenda mbele kwa mzoefu

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 19 днів тому

      Na yye kazungumzia alipo maliza mkataba mwaka 2021 usiseme muongo elewaa kwanzaa

    • @user-fo5ii9tl3g
      @user-fo5ii9tl3g 19 днів тому +2

      Mm ni. Nimekuja 2018na mkatb ulisema 80 na ndo nilianza na hiyo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 15 днів тому +1

      ​@@faumarley5707NAKUONA UNAPINGANA NA WATU WENGI VP HAO WOTE WANA CHUKI NAE?? AU

  • @RayyaSaid-ez5rh
    @RayyaSaid-ez5rh 15 днів тому +1

    Kwani lzm ufanye kazi nchi za kiarabu???uongo mtupu!!!!

  • @UmmyAliy
    @UmmyAliy 10 днів тому

    Jaman acheni maneno makali kwa mwezenu kila mtu ana matatizo yake kama halija kukuta ww bas sema alhamdulilah so kwa kumsakata mwezenu kwa uzushi na kumtukana mujielewe bwana mbona munapenda unafiki yie kama huwezi comment tulia tu punguzen jaman unafiki na yy binadamu anaogea yalio mkuta ulikuwepo unapo muogelea kuweni na adabu haiuzwi

  • @saidmarjibi6130
    @saidmarjibi6130 15 днів тому

    Please please please

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 18 днів тому

    Mimi mama Angu Alifariki mwaka uouo nanilirudi kumzika Ilikua mwezi wa 4 mwe ziwa 6 nikwarudi nanipepita hapo hapo tatizo lenu nyinyi mliokua wengi Munapenda Kuja kwa njia za panya nazima muzuiliwe

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 17 днів тому

      Nd hat mm nashanga

    • @rqiyaabdallah840
      @rqiyaabdallah840 17 днів тому

      @@prettynayally2177 uyu simanyaji Kwakazi ukimuonatu unapata jibu macho yapo juuyautosi Amijichuna mpaka anatisha Ana taka Ashindane rangi na wala u watu dizaini kama hii lazima wapate tabu sana maana Awajaja na jambo Moja sisi wafnyakazi wachuku ndo tunajua

  • @zoab2699
    @zoab2699 15 днів тому +1

    Hakuna cha 150 wa fanyakazi wa tz

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 17 днів тому +1

    utulivu kwenye kazi kwako ilikuwa ziro plus usitake kutia watu hofu

  • @user-lr8kg8yu7s
    @user-lr8kg8yu7s 6 днів тому

    Muongo uyo alikuja kudanga sisi tupo nnamiaka 6 Sasa m muongo Omani safiii

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 20 днів тому +3

    Zanini maashaallah nakukumbuka kipenzi tulikua wote kwa joha. Kumbe umerudi Bongo. ❤❤

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl 19 днів тому +1

    Tangu lini mnapewa 120 huku mnanzGa rial 80

    • @user-fo5ii9tl3g
      @user-fo5ii9tl3g 19 днів тому

      We mkataba mpya 120 kwa Mtz msikariri maisha

  • @user-xg9cs9xc3o
    @user-xg9cs9xc3o 6 днів тому

    Uyu dada namjua nimekaaa nae mjengon

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 5 днів тому

    Unasema saanna
    WALA hayaeleweki

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 17 днів тому

    Naomba kujua dada umepitia agent wangapi 😢

  • @saidmarjibi6130
    @saidmarjibi6130 15 днів тому

    Naomba huyu kaka aliye fanya hii interview aje kututembelea Oman,, na atakuwa mgeni wangu siku 5 , tkt na hoteli

  • @neemakungule8633
    @neemakungule8633 18 днів тому

    Huyu mama muongo kwanza ma ajent kibao .mara atake kupigan muongo tu hana lolote😅

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 10 днів тому

    Hayo majungu si mnayapeleka wenyewe waTz ndo kwa maana nchi nyingi watu wanaogopa midomo mirefu na roho mbaya ila kazi hampendi wavivu sana na wahuni

  • @user-df6ui9ro8s
    @user-df6ui9ro8s 16 днів тому

    😂😂😂😂😂 kublockiwa wanaejua njooo hapa eti kujivua 😂😂😂 kublockiw uwezi ingia oman na uwezi kufanya kaz hap oman😂😂

  • @OmAn-we8ly
    @OmAn-we8ly 18 днів тому +1

    Acha upuz usharudi tulia itaviu za nini