HOUSE GIRL OMAN ASIMULIA MACHUNGU WANAYOPITIA BAADHI YA WATANZANIA "SASA NAFANYA BIASHARA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 919

  • @gilbertmichael9130
    @gilbertmichael9130 3 роки тому +22

    Safi sana dada, ulienda kufanya kazi kwa malengo ..nidhamu yapesa imekufikisha hapo ulipo..

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 3 роки тому +47

    Hongera sana inaonyesha wazi mwanamke mwenye uelewa wa kina na ujasiri wa pekee...allah akusimamiye kwa kila hatuwa

    • @Hassan-vn6nn
      @Hassan-vn6nn 3 роки тому +1

      You are The one in millions....

  • @gagagracia4150
    @gagagracia4150 3 роки тому +21

    Nakupenda sana dada yani umeongea vizuri kabisa umeweka wazi kila kitu

  • @jamaljimmy
    @jamaljimmy 3 роки тому +9

    Masha Allah dadangu mola akuzidishie tujifunze kuwa hamna pesa ndogo ni ukubwa tuu wa kufikiria ...keep it up dadangu

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 роки тому +9

    Hongera dada muelewa wa maisha mwenyezi mungu akufungulie kila lenye kheri na wewe Amin

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому +7

    She is beautiful 😍
    Badala mngemtangazia biashara yake ilipo, ni maswali yasiyo na mshiko tu.

  • @mohamedkikale7241
    @mohamedkikale7241 3 роки тому +6

    IQ ni mhimu sana katika maisha ya yeyote, safi sana bint kwa kuwa na marengo nakuyasimamia 👊

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +6

    Hongera dada yetu Allah akubariki ktk biashara zako

  • @jimmyjumasufijimmyjumasufi3873
    @jimmyjumasufijimmyjumasufi3873 3 роки тому +4

    Wow mwanamkee wakibusara kwakweli unarizisha sana big up dally Allah akuzidishie.

  • @asianfadhil4282
    @asianfadhil4282 3 роки тому +5

    Matokeo oman yapo mm nipo omani yamenikuta ila kwasasa Alhamdulilah

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      huku kikubwa uvumilivu yataka moyo wengine hurudi home kutokana na dhiki

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому +6

    Hongera sana Dada kwa kufanya kazi kwa malengo Mungu azibariki biashara zako zote ulizozifungua na pia akuletee wateja wa kutosha🙏

  • @nshimirimana.ibrahim9566
    @nshimirimana.ibrahim9566 3 роки тому +9

    Umefanya vyema dada kwa sasa inajitegemea siyo kuwategemea wengine Mungu akujalie kwa hayo

  • @khalidtv6200
    @khalidtv6200 3 роки тому +10

    Pole Sana dada mshahara mdogo Sana.Ila umepambana Sana, MASHAALLAH ALLAH AKUJAALIE

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 3 роки тому +1

      Mshahara sio mdogo piga laki mbili mara miezi 24 aliokaa oman ni ngapi alipata? Mshahara unaendana na maisha sasa hivi yaya wa ndani ni laki 4 na 60 elfu!
      Ukiwa na malengo utafanikiwa.

    • @danielyohana7271
      @danielyohana7271 3 роки тому

      Mshahala mkubwa Sana kibongobongo hata laki haifiki mtu analipwa 50000 kwa mwezi unategemea malengoyake yatatimia kwa miaka mingapi daaaa bongo bado sana tuko nyuma ya tivii

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 3 роки тому +18

    Jaman kabint aka ni brit...sanaaaaaa

  • @axiommirgab882
    @axiommirgab882 3 роки тому +10

    mimi nakaa na bos wangu yan sio mkorofiki sana anakaukali flan lakin ninkarim mnoo nina miaka 6 sasa nipo nae manina mpngo wa kuonheza mkataba hakuna binadam alie kamili na hakuna sehem ukakuta wote niwazur lazima wapo na wabaya mbona Tz kwetu wapo wengi tu wenyerohombaya wanayesa dada wakaz mshahara wenyewe elf 30 matezo ndio mateso sasa sibora kwa mwarabu nalipwa laki 5 kwamwez

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 3 роки тому

      Haswaa deer watuache waanze kwanza kasoro za kwetu ndio ije kwa watu sasa hivi mpaka laki 8 watu wanapata mshahara
      Lakin mtu anaongea pumba mtu akishindwa rudi kwenu khalas sio maneno kibao mfyuuu

    • @hawaissah8069
      @hawaissah8069 3 роки тому

      Jamani nutafutieni na mm kazi 0656485831

  • @kimarohuba7441
    @kimarohuba7441 3 роки тому +7

    Nakupendeaga hapo tu naswiat brembo huongeagi uongo huyo Dada yako hakutaka kukumiza wala kukukwaza pesa yako umeiyona Maa shaa Allaah
    Mimi ndoto yangu sio biashara kweli nikumalizia nyumba ndyo Biashara baadae

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 3 роки тому +16

    Upo sahihi dadangu ,safi sana kwa kutoa shuhuda nzuri...hongera kwa kurejea inchini🇹🇿 wenzio bado tunakomaa

    • @marthadaudi3340
      @marthadaudi3340 3 роки тому

      Namimi nataka kuja huko

    • @marianapatrick5993
      @marianapatrick5993 3 роки тому +3

      Sophia mambo jaman nisaidie na mimi jaman na tafuta kazi huko pia Nina passport tayar

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 2 роки тому

      @@marianapatrick5993 zipo

    • @luciadaud9298
      @luciadaud9298 Рік тому

      Sofia please naitaji mpenz

    • @RoseStephano-sh9mg
      @RoseStephano-sh9mg 11 місяців тому

      ​@@marthadaudi3340Mbon vip umefanikiwa kwenda Oman kufanya kaz

  • @maxwellking9399
    @maxwellking9399 3 роки тому +10

    Hebu waandishi kuweni professional kidogo si jambo sahihi kulazimisha mtu ajue ana mtaji kiasi gani au anaingiza shilingi ngapi kwenye biashara zake...hilo ni jambo private...akiamua kusema ni sawa lakini kama mtu hayupo tayari usilazimishe...Katika kulijibu suala hilo linaweza sababisha matatizo makubwa kwa agencies nyingine za kiserikali na mtu kuanza kuwa "targeted"....Hivyo jifunzeni kufanya kazi zenu kwa weledi...badala ya mambo ya Kibongobongo....Kwa mfano pamoja na mzuri yote ulimuuliza huyu dada interview yako imengia dosari katika kulazimisha suala hilo...hujamtendea haki mteja wako...Ni hayo tu

  • @innocentjoseph9121
    @innocentjoseph9121 3 роки тому +2

    Waooo uko vizuri unajielewa sana. Na Mungu azidi kukubariki

  • @alleoo273
    @alleoo273 3 роки тому +2

    Mashaaa Allah umeongea vizuri sn mabrook habipt

  • @husseintayar699
    @husseintayar699 3 роки тому +7

    Allah akubariki zaid .umeongea point nzur

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 роки тому +8

    Urembo wake tu 😍
    Mash'Allah
    ✊🏾🇧🇮

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 3 роки тому +6

    umefanya vizuri sana dada yng...🤗🤗🤗🤗

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 3 роки тому +4

    Mashaallah. Allah akuzidishie

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 3 роки тому +24

    Mtoto wa dada angu kachezea fimbo kisa hajavaa glove ,watu wananya nyasika sana ,ukijaaliwa sehemu nzuri sema alihamdulilah

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому +1

      🤣🤣mpe pole sana daaaa

    • @vumiliahamisi7046
      @vumiliahamisi7046 3 роки тому +2

      @@mdzainb3722 haya asante kashapoa alibadili nyumba mana ilikua balaa mwishowe alimbiwa atamwagiwa mafuta ya moto,ikabidi nikazi yalumuambia kimbilia ubalozi mana hapo nimtihani tena alie mleta anamwambia wee kaatu vumilia ,vumilia unatanfikwa kama mtoto mdogo kisa glove kuvaa ukikanda ngano ,tujikaze tu na kusema ukweri sio mtu akurupuke uko nakuja wee uje napakukimbilia ukishachapwa makofii

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 3 роки тому +3

      Nikweli tupo huku tunayaona mengi

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 роки тому

      😅😁😅😁😁😁😁😅😅😁😁duuh uyo mabuja wake nibala

    • @sophiamfikwa7340
      @sophiamfikwa7340 3 роки тому

      Ni kweli nyumba zinatofautiana

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +12

    Kazi yeyote inachangamoto na pesa za uhalali lazima upitie changamoto kwa hiyo ww mwanamke achana na mambo ya kuzungumza hizi habari za oman ww fanya mambo yako usipende kuongea hivi vitu ndo maana tunaambiwa watanzania tuna midomo sana

  • @zainaalmahlruqy5829
    @zainaalmahlruqy5829 3 місяці тому

    Nimependa ulivyoelezea vizuri NA haujaeleza uongo wowote . . Mashaallah sio wanaozungumza uongo mtupu NA kulazimishwa kulala NA mbwa Oman ni uongo mtupu hakuna muoman anaweka mbwa ni najis

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 3 роки тому +20

    Dada yupo sawa habu tuwekee no ya simu ili tupate hiyo huduma yako

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 3 роки тому +7

    Nashukulu nin mungu nimejenga nyumb yngu

    • @jacklinekiria6452
      @jacklinekiria6452 2 роки тому

      Dada natamani sana kuja oman naomba nitumie namba zako plz tuwasiliane vizur

    • @grationmartin
      @grationmartin 2 місяці тому

      Dada naweza kupata kazi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 роки тому +59

    Acheni ujinga matatizo yanayotokea huko nikama hata hapa yanatokea kama hayo ila mnataka kuyakuza nyie wenyewe mtakuta mnawanyanyasa wafanyakazi wenu saana tu.

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 роки тому +6

      Sana. Kuna watoto wengi tu wanateseka kwenye nyumba nyingi tu. Wengine hutesa yatima wa ndugu zao

    • @axiommirgab882
      @axiommirgab882 3 роки тому +6

      kweli kabisa nakuunga mkono Tena Tz na kipigo juu

    • @mariamelias1915
      @mariamelias1915 3 роки тому

      Ni kweli

    • @husnaiyasulesh4687
      @husnaiyasulesh4687 3 роки тому +1

      Wala sio uwongo ila tuu waarab wanawachukia kutokan labd nazil stor za zaman hatakam yap lakin kwan tz hakun mabos waain iyo ten wanapigwa wengin wanachomw mot had kuuliw namshahar mdog hat lakimbil haufik lakin hawasemw vibay naukiangalia wa tz wamekomaa mdom mtu akiend kule anajyw kaend kufany kaz lakin anakuw mshenz akiambiw analet jeur ndiy iko kinawaponz anaach kusem mim nimekun huk kutafut nanikikisea uwez kurud nyumbn sio rahis niwemnyenyekev hatak analet mdog mtu anachukia anakudhul ten hat bong ndiy imejaa kibao

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 роки тому +3

      @@husnaiyasulesh4687 . Unasema laki mbili wakati wanao tolewa nje ya mikoa wanalipwa 15000 au 20000 na mshahara wenyewe hapewi kila mwezi na kazi anazifanya hadi usiku wa manane. Kuna wanton jiita wa Islam nyakati za Ramadhani huwapigisha kazi hadi saa tisa usiku mda wa kula daku na bado ata takiwa kuamka saa 5.00 kuandaa watoto wa shule.

  • @AashaAli-wf9bf
    @AashaAli-wf9bf 2 місяці тому

    Safi sana dada wengi wao tunainjoy omani

  • @wm9669
    @wm9669 3 роки тому +2

    Mashallah. Huyu msichana ni mzuri na mkweli

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 3 роки тому +66

    Mwaka wa 11 niko oman 🇴🇲 na nina enjoy alhamdulillah

    • @UladaTv
      @UladaTv 3 роки тому +1

      MIGUU YA BINADAMU INAOKOTWA IKIWA PEMBEZONI MWA BAHARI 👇👇
      ua-cam.com/video/TQ8iipHhCr4/v-deo.html

    • @stevenhassan269
      @stevenhassan269 3 роки тому +2

      Hivi huko Oman wanafanya kazi ni wadada tu naomba kujua

    • @sabrinasab2910
      @sabrinasab2910 3 роки тому

      Duuuu

    • @stevehiraly9127
      @stevehiraly9127 3 роки тому

      Unafumuliw tu acha kutudanganya hapa

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 роки тому +1

      @@stevenhassan269 hata wewe kaka unaweza kufanya kazi zipo kazi za wakaka

  • @feisalmohamed7863
    @feisalmohamed7863 3 роки тому +5

    Ila dada umekoroga kusema. Oman hakuna matukio kushinda falme nyengine za kiarabu unyanyaji sana hutokea saudia na Oman na hizi nchi huchangia pia kutokosa sheria na ubaguz pia umo katika jeshi la police zao ila Dubai hukuti ubaguz ndani ya jeshi la police kwasababu Dubai police ata kama hujui kiswahili ukipata tatizo atakuja police wa hiyo nchi yako ata kusaidia Mana police wa Dubai ni mchanganyiko wa nchi nyingi wakiwemo watanzania

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 роки тому

    Hongera sana dada, dah umejitahidi kwa hela hiyo umeweza kubana bacheti

  • @111dudi
    @111dudi 2 роки тому +1

    Hata sisi tukija Tanzania, tunanyanyaswa sana,rangu uwanja wa ndege,acha njiani kama unaendesha gari. Unasimamishwa bila kosa na unatetemeshwa mpaka uwape pesa.

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 роки тому +5

    Mm niko omani naelekea mwaka wa sita ss na naishi kama home madam wangu anashida muhimu kuheshimiana basi na wala sijawai sikia kwenye family yao kuna mtu kateswa nashukuru kwa ili angarau wapo wanao kutana na matatizo makubwa lakini siyo nyumba zote ziko hivyo kama ilivyo kuwa nchi nyengine lazima kutakuwa na watu wa aina tofauti mm sm mda wote kazi zangu najipangia na mpaka ss na viwanja vitatu ambavyo bado sijajenga na kimoja nimeshaamka ujezi na nimefungua biashara ya ges mwaka huu alhamdullha lnshallha mwakani narudi tz likizo zeni nakuja kukaa miaka yangu miwili ya mwisho Mungu alitupa uzima lnshallha ongera sana bi dd kwa ulipo fikia

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 3 роки тому +6

    Duh umenikumbusha mbali ndugu yangu hongera sana una akili sana, Mshahara ulikuwa mdogo sana, lkn umeufanyia maarfa,

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 3 роки тому +2

    Hongera sana dada. Nimekukubali saaaana!

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 роки тому +1

    Hufahamiki mara waikashifu omn mara wasifu.Tatizo hujaelimika.upuuzi mtupu.Mungu anakuona lembukeni.

    • @salimhemed3321
      @salimhemed3321 3 роки тому +2

      Itakuwa we hufahamu kiswahili vzr maana alichoongea kimeeleweka vzr na Wala hakukashifu omani naona ww ndo hufahamiki

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +5

    We nae. Au Ulikuwa Huna mtaka. Boss wako!? Wache wenzio wafanye kazi acha Hunafi. Watu wana ENJOY 💃💃💃💃💃 OMANI 👌🏽

  • @charleschanai601
    @charleschanai601 3 роки тому +23

    Mtangazaji anasound km millad....!

    • @Aggrey2107
      @Aggrey2107 3 роки тому

      Nisingemuona Hapo Ningedhani Ni Millard

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 3 роки тому +2

    Dada nimekupenda bure sio tajiri wote wabaya hata nami nko hapa na pambana na hali yangu 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @adamzdamz6592
    @adamzdamz6592 3 роки тому

    That's is good bussuness, good lady very active and so durable for ambitious in life actually,she so accurate, anafanya biashara very good system,coz most of the lady wakienda gulf hurudi kapa, lakini uyu actually she so wanferfull delicious lady, kila la kheri sana Madam

  • @shuubinty1447
    @shuubinty1447 3 роки тому +8

    😂😂Apo kwenye msosi na me tulishindwana na boss wa kwanza 😑😏

    • @edinaisaya6229
      @edinaisaya6229 3 роки тому +2

      Wee,,, mbele ya chakula hakuna kuwezana😂😂

    • @shuubinty1447
      @shuubinty1447 3 роки тому +2

      @@edinaisaya6229 🤣🤣🤣🤣Yaan unakuta watu wachoyo km nn yaan mfyuu

    • @edinaisaya6229
      @edinaisaya6229 3 роки тому +1

      @@shuubinty1447 😂😂😂

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 роки тому +4

    Tatizo dada zetu wa kibongo bwana, wakienda ng'ambo au wakifanya kazi sehemu za maana basi wanakuwa na ulimbukeni wa kujifanya hawajui kuongea vizuri lugha ya kiswahili,lazima wachanganye maneno ya kiingereza, hata matamshi ya herufii "r" wanaitmka kizungu. Yaani swaga za kiswanglish kwenda mbele lkn walio wengi hawawezi hata kumaliza sentensi yote kwa kiingereza

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir4490 3 роки тому +1

    Uyu mwanamke nina mengi niliopenda kwake. Ni jembe na ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Huyu ndo mwanamke anapaswa kudai haki zake sio awa kucha ndefu. Dah JESHI KAKUBALI KUA BEKI 3 KWA MALENGO YAKE.
    BADILISHA TITTLE IO WEWE MUANDISHI HAPO HAKUNA MACHUNGU NI KUTUTIA MOYO TU

  • @adamzdamz6592
    @adamzdamz6592 3 роки тому +1

    Amejaribu sana sana all the best Madam,you delivered very nice advice to the others lady wajaribu wao pia wape faida,

  • @estermuna6802
    @estermuna6802 3 роки тому +14

    Bado nipo Oman nakaza💪

    • @genovevalaurent6393
      @genovevalaurent6393 3 роки тому +1

      Tupo pamoj mpenziiii

    • @rahmanassor2652
      @rahmanassor2652 3 роки тому +1

      Nakutakia kila la kheri naamini hamna kibaya kwani maneno kila mtu na lake kazi buti dear waarabu tofauti na hawa waafrika wee

    • @rahmanassor2652
      @rahmanassor2652 3 роки тому

      @@genovevalaurent6393 nakutakia kila la kheri never give up dear stay there with a lot of steps of successful

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 роки тому

      @@rahmanassor2652 👌👌

    • @khadijaahmed7455
      @khadijaahmed7455 3 роки тому

      Yani ukiwa na ngongingo wana bugza huku kila nguo unayovaa kosa

  • @mwanaishakiribiti9848
    @mwanaishakiribiti9848 3 роки тому +5

    Ww Dada wadanganya wenzako Oman na Saudi ndio nchi mbaya zaidi kuliko Dubai na Qatar haina hata usaidizi hata kwa embassy kupata usaidizi ni shida kama ulipata sehemu nzuri shukuru

    • @fikirinijr6807
      @fikirinijr6807 3 роки тому

      Have you been there before?? Au unaongea kwa kuhadithiwa

    • @musasabu6969
      @musasabu6969 3 роки тому

      Duu kazi mnayo poleni

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому

    Umejieleza vizuri ukhty nimependa sana shukran

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому +8

    Kama ni mateso hata humu nchini mwetu wako watu wenye roho chafu wenye kutesa watoto wa watu na Hakuna anae wachukulia hatua

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 3 роки тому

      Tofauti ni nyumbani na nje ya nchi.....
      Hata ukitaka kumueleza mtu akusaidie lugha hujui.... Acha tu

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 роки тому

      Wanachukuliwa hatua cku hizi

    • @magdalenamagdalena8263
      @magdalenamagdalena8263 3 роки тому

      Hata tanzania shida zipo tena kibao mm niliwahi kufanya kazi huko Dar es yaani Boss wangu alitaka kunibaka yaani hata bongo watu waroho mbaya

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 3 роки тому +3

    KWA NINI MWAMTUKANA?
    SI KILA KILICHOKUPATA WEWE BASI NA WENGINE WAPATE
    NDIYO MAANA KILA MTU ATSKUFA KWA SIKU YAKE MSIWAKISHE TAMAA WA DADA AMBAO WANATAKA KUJARIBU KILA MTU NA BAHATI YAKE ALLAH ASEMA UTALIPWA KWA NIA YAKO😎

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 3 роки тому

    Asante my tumesikia aisee inatupasa tutafute mitaji tuludi makwetu

  • @saudismailbkri1894
    @saudismailbkri1894 3 роки тому +3

    Nipo Oman mwaka wanane nashukur nimejenga japo cjamalia ila alhamdulillah nyumba moja cjabadilisha

    • @sharifaali3795
      @sharifaali3795 3 роки тому +1

      Miaka 8 nyumba haijaisha

    • @saudismailbkri1894
      @saudismailbkri1894 3 роки тому

      Ndio haijaisha kwasababu ninafamilia inanitegemea bila ivo ningekuwa mbali tatizo nikuwa mother single hahahaa

  • @zezezeze8408
    @zezezeze8408 3 роки тому +10

    mashaAllah....

  • @AashaAli-wf9bf
    @AashaAli-wf9bf 2 місяці тому

    Kuna wengine wanakatisha watu nia ya kuja omani kwa uchizi wao dada angu mi nakupongeza sana sana mi nipo oman tena naishi vizuri tu na madam wangu tena ananidekeza kama mtoto wake

  • @buuwahiid2898
    @buuwahiid2898 2 роки тому +2

    Hongera Sana kw kweli wanawake munajituma Mungu awabariki wengine hudhulumiwa na familia mtu analeta pesa kujengewa nyumba watu wanakula kw kweli inasukitisha

  • @mangapineema7652
    @mangapineema7652 3 роки тому +9

    Msichana weeeeee nmekupenda bure aiseeeeeee

  • @mdmahammed2852
    @mdmahammed2852 3 роки тому +4

    Mie niko oman miaka 4 sasa na naongeza inakuwa 6 alhamdulilah niko powa

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 3 роки тому +1

    Safi sana ulienda kufanya kazi kwa malengo

  • @al-tanas
    @al-tanas Рік тому +1

    Umefanya k2 muhimu katika Misha yk 💗💗💗💗💗💗🧛

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 роки тому +9

    tanks inavyo oneshea kama unao muelekeo wa maisha,mimi nimezaliwa katika bussines family,lakini acha nikufundishe siri moja ya wafanya biashara wa kikweli siri zao za mambo ya biashara wanakua hawamwambii mtu sawa¿ukimuona mfanya biashara anaropokwa ropokwa basi huyo sio mfanya biashara sawa¿tanks

    • @rahmanassor2652
      @rahmanassor2652 3 роки тому

      true maana waarabu & wahindi hawasemi biashara yao hata jinsi ya kufanya lolote maana tunajua ujuzi hautoki bure

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 3 роки тому +6

    Tupo oman miaka 8 hio pesa alosem Nikweli tulokuja oman miaka 2012 mishahara ilikua laki 250,000 tofaut na sasahiv nahuku unatkiwa ukae kwa akili namie nashkur sikuwahi badilisha nyumba lkn wengine tunajionea kwa macho kabisa mtu anatumishwa kma mtumwaa haswaa sio mfanyakaz sikumoja ntaongelea hili watu wajue huyu ajajua kiundani zaid

    • @jacksonswai8090
      @jacksonswai8090 3 роки тому

      Mm n mwaandishi wa habar, embu nitafute

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 3 роки тому

      Nyumba ziko tofauti mbona bongo wanauliwa uiiwahi ongelea
      Kila mtu anabahati yake acheni wenzenu watafte risiki kama umeteseka wewe wengine hawajateseka na wanasomesha watoto na Nyumba wamejenga

    • @swaiseif2989
      @swaiseif2989 3 роки тому

      @@zaudatmakula3454 unakurupuka kujibu wee dada alokwambia nimesema wasitafte risk nani punguza kulopoka soma nilichoandika engine tunataka haki itendeke kwa wengine huyo mwenyewe amehojiwa nimfanyakaz wa 2015 malenged tupo natunapambana kunamtu anazibiwa riski kwani umeona uwarabuni hawakuja kucheza wala kumshobokea mtu nikaz na pesa mbele

    • @swaiseif2989
      @swaiseif2989 3 роки тому +1

      @@zaudatmakula3454 watu Wenye roho mbaya wapo kila sehem kikubwa usiishi kwa woga muamini mungu katk kila jambo

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 3 роки тому

      @@swaiseif2989 hili ndio jibu sasa

  • @mariaalsaid3690
    @mariaalsaid3690 3 роки тому

    Asante sana Mungu akupe kila la kheir.

  • @MgeniAkilimali
    @MgeniAkilimali 2 місяці тому

    Mashaallah na mimi nataka nije huko nisaidie mydear

  • @mattarmuhammed1330
    @mattarmuhammed1330 3 роки тому +5

    Millard naomba mtafute mdada ambae anafanya kazi yuko oman mpka sasa ufanye mahojiano kama ni kweli

    • @shadyasalumu8757
      @shadyasalumu8757 3 роки тому +1

      Mimi nipo OMAN 🇴🇲 🇴🇲 miaka 5⃣ mpaka leo nipo napambana maisha mazuri yaaani naishi kama nyumbani na ukofanya vibaya lazima aseme ili kesho ulekebishe siajabu kusewa ata mama nyumbani ata kusema tuuu mimi naomba kila nifanikiwe kwenye maisha yangu inshaaaaalllaah 🙏 🙏 🙏

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому +3

    Msiwe mnauliza mtu eti unapata faida ngapi kwa siku au mwezi, huku vibaka wanamuona wanaskia afu wamtime wamuibie wamfanyie vitu vibaya kumbe chanzo ni nyinyi mlivyo muuliza kiwango cha pesa 🤔🤔🤔

  • @dennismapunda8033
    @dennismapunda8033 2 роки тому

    Sema kama umefilwa simnaona arabuni sehemu tukufu mtabakwa.sana

  • @rukiamboka5867
    @rukiamboka5867 Рік тому

    Nimeipenda hiyo hitafvuu ya huyo dada naomba mnisaidie number yak na mm aniunganishe na maswal ya kazi passport ninayo na Nina mtoto mmoj naitaji niende nikafany kazi hili nipate pesa nitimize malengo yangu

  • @hidayamakuka5819
    @hidayamakuka5819 3 роки тому +4

    Hongeera Dada umefany Kaz kwa malengo.

  • @kakosokigassu3211
    @kakosokigassu3211 3 роки тому +5

    Asante sana dada.
    Halafu waandishi kuweni waungwana. Mtu anapokupa nafasi nyumbani kwake, akakukaribu sebuleni, yanini kutamani kuingia hadi chumbani?

  • @rumesibarka5312
    @rumesibarka5312 3 роки тому +1

    Dada nakupongeza kwa juhudi zako. Umeweza kutimiza lengo lako la kijtegemea

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 роки тому

    Pole sana daah milion mbili umerud nao lkn naamini kila ulicho rudi nacho kimeandikwa my inshaallah utadhid kufungukani yaan unanifunza meng bora ya hilo kuliko kua huna amani ya maisha maana huna amani lkn sasa upo huru

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 3 роки тому +3

    Ww Dada unajierewa sana safi MUMGU akusimamie inshaalah

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 роки тому +16

    Hivi mnalazimishaga watu waseme wanaingiza sh ngapi ili iweje?

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому +2

    Nimesikiliza hii interview mbk mwisho sijaelewa zaid ya kutangaza biashara yake kuhusu mateso hata hapa tz yapo tena sna sema wanakuwa mengine awewek waz utasikia kidg oman mwez auishi oman ebu muipumzishe kidg oman na wao wanamoyo jmn wanavyosikia matukio kama haya kusemwa mitandao 🙌

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +2

    Ukiwa mvumilivu utaweza ishi popote ni nipo mwaka wa 8 huu nalipwa nalala nakula ila changamoto nakutana nazo nyingi boss ana gubu kila wakati kuongea malalamiko mwingi wa dhana mbaya halafu ukikosea kitu watahadithiwa ukoo mzima na si msaidizi wa kazi hata ukiumwa ni mshindani some time kam nakaa na mke mwenza ila mm naangalia malengo yangu changamoto nazipuuza

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 роки тому

      Mashaalah habit mungu akufanyie wepes mm niko hp maaber nilikuwa al mawal yul bos wa mala kwanz kidgo alikuwa na matatiz ss iv niko maber nashukul mungu nadany kz zangu akun mtu wa kuni pigia makelel wal nn

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 роки тому +7

    mdada mzur maashaallah cheko hilo

  • @lm6373
    @lm6373 3 роки тому +3

    Huyo mwanamke ni muongo sana aliwahi kutukana sana wa omani na omani shakula wanatupa ndo wewe ulikuwa una gombana juu ya msosi????

  • @hijaabdalah9235
    @hijaabdalah9235 2 роки тому

    Hongera sana good inspiration

  • @wardmohamood5845
    @wardmohamood5845 2 роки тому

    Sio wote wabay mm nilipat changamot ila nillimaliza Salam miak miwili Nika badilii bosi Sas ivi Allamdulih 🙏

  • @shadyasalumu8757
    @shadyasalumu8757 3 роки тому +4

    Nipo OMAN 🇴🇲🇴🇲🇴🇲sasa miaka 5⃣ bado nipo napambana lakini sio wooote wanaroho mimi wooote kwangu wapo safi jamanii tupambane tuuu

    • @najmaaniry8431
      @najmaaniry8431 3 роки тому

      Natak na Mimi kufanykaz niunganishe please +255686083806

    • @shadyasalumu8757
      @shadyasalumu8757 3 роки тому

      @@najmaaniry8431 upo wapi wewe

    • @najmaaniry8431
      @najmaaniry8431 3 роки тому

      @@shadyasalumu8757 dar es salam

    • @najmaaniry8431
      @najmaaniry8431 3 роки тому

      @@shadyasalumu8757 tunaweza kuwasilian kawaida na WhatsApp-+255686083806

    • @pendolazaro4686
      @pendolazaro4686 3 роки тому

      Kabisa wengine ni wazuri sana

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 3 роки тому +8

    Mashaallha si kwa lips hizo

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 роки тому

    Ogopa kukutana na tubibi twa oman,yaani ninako kamoja hapa kananipa shida kanaswali halafu kaongo.Mungu anipe shufaa nimalize

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 3 роки тому +2

    Msilete watu waliokuwa hawajui kuishi na watu mtaharibu mausiano wazuri baina ya hizi nchi oman na Tanzania ndugu wa wa miaka tangu 1500 Sultan said said

  • @majidalimussa5198
    @majidalimussa5198 3 роки тому +7

    iyo heading sio ya kwl inayohusiana na oman maan huyu mtangazaji km analazimish kutaja matukio mabaya ya oman wkt hakun ukwl huo

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 3 роки тому +4

    dada sio nyumba yote inawatu wabaya kwa ju na huko tanzania unaweza kutumikia mtu mbaya mimi nipo saudia ninamyaka4 mimi unazani ni nyumbani vingine wengine wanakuja huku umalaya tu bingine kama ufata kazi huwezi kupata mazara

    • @abdullahhaji8779
      @abdullahhaji8779 3 роки тому

      Hongera

    • @jasminyiddysulaiman9807
      @jasminyiddysulaiman9807 3 роки тому

      Jamany mi saud naipendaaa ila napaogopa😂..huko wana roho za kibabe sn..bora na oman

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 роки тому

      Umalaya nani ulimuona anajiuza nchi za kifalme za kiarabu au umeamua kuchekesha walio nuna tu chefuuu kweli nipo Oman mwaka 6 huu sijaona mwanamke anajiuza hata moja sasa huo umalaya umetoka wapi

    • @janatahmad7048
      @janatahmad7048 3 роки тому

      @@user-rd7jt1vi5x kama hubijui nyamanza upoo

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 роки тому

      @@janatahmad7048 kuandika kwenyewe hujui kwenda kule

  • @azizasikalwanda7663
    @azizasikalwanda7663 3 роки тому +1

    MashaAllah mdogo Wang naomba no yako unisaidiee nitumiee sclub gani kwa ngozi Yang

  • @rehemakiswago4843
    @rehemakiswago4843 3 роки тому +2

    Dada upo sawa mm np uko naiona changamoto

  • @zainabmohammed1305
    @zainabmohammed1305 3 роки тому +4

    Tupo huku kwa malengo sio kuishi milele

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 3 роки тому +3

    Mashaallaah

  • @fadiajunjuwithmyfamily580
    @fadiajunjuwithmyfamily580 3 роки тому +1

    Jamani mm niko omani sasa nina miaka 4 kasoro miez 2 Allah niko sawa sawa nime pata nyumba iko salama ipia huku ni kila boss na roho yake afu wengi wako na roho mbaya wana tuona sisi wa afurika ni kama vili hatupumzikagi kazi yetu ni kufanya kazi tu hio nisha shuhudia kwa mama ake na boss wangu ame badiki wafanya kazi 6 ila sasa kapata mfanya kazi wa naijeria na ame mpokonya sm daaa

    • @hamidangitu227
      @hamidangitu227 3 роки тому

      Yani mimi ninashida lakini kuja kukaa uko siwezi kwakweri

  • @sheddybhulji8196
    @sheddybhulji8196 3 роки тому +1

    You must teach me Swahili beautiful young lady

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 роки тому +5

    Nimependa Lugha Mashaallah

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 роки тому +4

    NA nyie pia kama mwataka kujua ukweli njoni kama flora nitetee kaja kaona na kajua ukweli

  • @rumesibarka5312
    @rumesibarka5312 Рік тому

    Hongera dada ulikuwa una malengo madhubuti

  • @EnaraMfwango
    @EnaraMfwango Місяць тому

    Nice

  • @maryamalhajri4306
    @maryamalhajri4306 3 роки тому +7

    Laki mbili na nusu huko tz mwisho wa mwezi kampuni inakulipa laki au isikulipe ,we dada usitharau ulipo toka

  • @ajikanyenje1017
    @ajikanyenje1017 3 роки тому +3

    Ni kweli wasicHana wengi wanashindwa kutofautisha mazingira ya nyumbani na ya kwa mtu baki iyo ndio shida kubwa. Me boss wangu anachoyo lakini MI najua kumsoma mtu ivyo sijawai kugombana nae huu mwaka wa Sita niko nae nikienda nyumbani ananirudisha tena kwake niponae naenda narudi.