SHEIK KINYOGORI AKIPANGUA HOJA ZA MCH. NDACHA; KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI TUMFUATE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 244

  • @ibrahimadab9151
    @ibrahimadab9151 Місяць тому +2

    Sheikhe Kinyogoli Mwenyezi Mungu apee umri mrefu Maa shaa Allah Mungu akubariki

  • @HadidjaAlly
    @HadidjaAlly 3 місяці тому +14

    Wahubiri wa Kiislam wako vizuri very smart! Allah akuupeni umri mrefu

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 3 місяці тому +7

    Sheikh Juma k.umenenepa maa Shaa Allah ........Allah awahifadhi saana nawapenda wahadhiri wetu

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 3 місяці тому +9

    Allah awalinde wahadhili wote hakika mnafanya kazi nzuri sana na Allah awalipe kheri

  • @PaladinInsurance
    @PaladinInsurance 4 місяці тому +8

    Asslaam aleikum masheikh Allah awape elimu ya ziyanda kazi mnayo fanya malipo yake Ni kwa Allah. Huyu ndacha Hana elimu yeyote amekuja kutafuta elimu kwenu

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому +2

    Very Fantastic (Kinyogori,) Allah akulipe malipo mema ww na wadhiri wengineo wa kiislam dunian na akhera!!!

  • @YusuphKaongolima
    @YusuphKaongolima Місяць тому +2

    Allah awalipe sana masheikh wetu

  • @Khalifaathumani-cy5om
    @Khalifaathumani-cy5om 3 місяці тому +5

    Kutoka Nairobi Kenya nasema Allahu akbar ❤❤.

  • @feisaldesign4156
    @feisaldesign4156 3 місяці тому +2

    Sheikh said ww fundi mashallah jazakallah lkheiry Allah azidi kukuzidahia elimu

  • @khamisshaib9901
    @khamisshaib9901 3 місяці тому +3

    Sheh kinyogoli M/mungu akulinde wewe nifundi na Quran ndiokitabu sahihi Najivunia kua Muslim ☪️ ❤

  • @MesaidiBambaulo
    @MesaidiBambaulo 3 місяці тому +1

    Mashaaallah tabarakkallah Mungu awape nguvu kupambania nguvu ya uislam

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 4 місяці тому +4

    Wow maashaAllah FUNDI KINYOGLE

  • @ChatirDadeDade
    @ChatirDadeDade 4 місяці тому +5

    AL-HAMDULILLAH Kwakutipa elimu nzuri sana.

  • @omarymrisho582
    @omarymrisho582 3 місяці тому +2

    Shekh upo vizuri maashallah

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 місяці тому +11

    ALLAHUMMA SWALLI WASALLIM ALAA SAYYIDNA MUHAMAD WAALAALIHI

  • @AbeidJaji
    @AbeidJaji 2 місяці тому +2

    ❤❤❤ uislamu ndo dini ya mungu

  • @hassanounAbdul
    @hassanounAbdul Місяць тому +1

    Mashaallah Ost Juma Kinyogoli

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому +9

    Hoja ust saidi juma kinyogoli kagusa kipande cha yesu kubebwa na shetani juu akamuweka katika kinara cha hekalu akasema mpaka mwisho wa dunia hakuna mkristo anaweza kujibu mpaka mdahalo umeisha ndacha hajagusa wala hakuna mkrsito aliegusa mathay 4:5

  • @YasinJuma-kl3fj
    @YasinJuma-kl3fj 3 місяці тому +1

    Said juma mwenyizi mungu akupe maisha malef isahr

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 місяці тому +8

    Aise ni kweli ukisoma maneno ya Yesu kwenye biblia ni tosha kuwa muislamu najickia vibaya kwa wakristo kuwa na imani yao na upotuvu kwenye miyoni yao na kipovu kwenye macho yao

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 місяці тому +4

    MashaLLAH SHEKH WANGU HUYO KINOGOLI

  • @MwadawaSaidi
    @MwadawaSaidi 4 місяці тому +2

    Nampenda sana shekh kinyogori anabusara sana mashaallah Allah akupe umri mrefu kakaangu ,

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 4 місяці тому +3

    Manshaallah tabarakallah alhamdulila alanemal islam 🎉❤❤❤❤

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 3 місяці тому +3

    WaIslamu wamechanganyikiwa MATAYO 28: YESU KRISTO ANASEMA ENENDENI ULIMWENGU WOTE MUKAWAFANYE MATAIFA YOTE WOTE MUKAWAFANYE MATAIFA YOTE WANAFUNZI WANGU.
    MARKO 15:16 ENENDENI ULIMWENGU WOTE KUWABATIZA KWAJINA LABABA MWA NA ROHO MTAKATIFU . KWAHIVYIO YESU AMEKUJA KWAULIMWENGU WOTE

    • @YunisnafulaTaabu
      @YunisnafulaTaabu 13 днів тому

      Kbs rohoo ya dalila dio bado inafanya kazi kwao ili kuangusha watumishi wa mungu vita vyetu sio mwili na nyama amukeni wakirsto roho ya delila imeludi tena

  • @ChatirDadeDade
    @ChatirDadeDade 4 місяці тому +24

    Wakristo wanamkataa Mtume (S.A.W) kwasababu ni mwarabu na hanahadithiya maisha mazuri ya kumtii ALLAH (SW): kukataza maovu (kunywa pombe, kufanha umalaya na vyenginavyo), na kufanya mema (kusali, kuowa,sadaka, zakah,kuwajali wazazi) ndiyonana wazungu wampiga vita ili kur'ani isitawale.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 4 місяці тому +1

      @@ChatirDadeDade rekebisha kiswahili chako ili ulichokisema kiwe na maana

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому +3

      Mbona hayo yote hata Biblia imekataza? Au hujui kama hayo yote yalishaandikwa katika Biblia hata kabla quran kuwepo? Ishu hapo ni kuwa Mohamad hana sifa ya utume kuanzia alivyoupata, matendo yake n mpaka kufa kwake ila nyie tatizo mnajifanya hamuoni.
      Na kama ni hayo maandiko ya quran ni kwamba yalikuwepo katika Biblia hata kabla mohamad hajazaliwa hivyo hakuna kipya hapo, shida hamuambiwi ukweli kuwa hayo maandiko mohamad alikiwa anayapata wapi ila mtaambiwa alishushiwa na malaika ila ukweli unajulikana aliyekuwa anayaandika na alipokuwa akiyatoa, eti mnaambiwa ni maono, yani unaandika kilekile kilichoandikwa katika Biblia halafu unasema ni maono, jiongezeni.

    • @davidedward6053
      @davidedward6053 4 місяці тому +1

      Sio sababu ya mwarabu,sababu ni mtume wa kujifanyia mwenyewe na ndugu zake

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 4 місяці тому

      ​@@mobutu3884Mayahud walitoa mambo mengi ndani ya Injili ya Yesu,kilichobaki ndani ya Bible ni mabaki ya Injili na Taurat na kama unapata Injili OG ya Yesu kuna mfanano mkubwa na Quran

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 4 місяці тому +2

      Tatizo mavi munayo lishwa kanisani yame wavuruga akili na ufahamu ndio mana haelewi na hata elewa na ikiwa ni bubilia yenu inatosha ku wachapa nayo wenyewe😂😂😂😂

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 3 місяці тому +1

    Mashaalah Allah waislam ss tushukuru allah

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 3 місяці тому +1

    Mashaallah ❤

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 4 місяці тому +1

    Asalam Alykum warhmatullah wabarakat mashekh wetu Allah awajaze kheri awalinde na hasad za watu mafundisho ya dini yetu Yani uislamu matamu sana

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 місяці тому +1

    Masha Allah 💖💖💖

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 4 місяці тому +3

    Sheikh Upo vzr

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 4 місяці тому +2

    Ndacha yuko juuu NI MHUBIRI waislamu wanamhara AFRIKA MASHARIKI. Waislamu wamekibali.....hadi shafi leo amekubali kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.

    • @mrishojuma4695
      @mrishojuma4695 4 місяці тому

      @@ernestbensonmwamengo1642 unapongeza bila kufuata ukweli wa maandiko kipi chaajabu kakisema Hadi Afrika mashariki Hadi wamuogope?

  • @RehemaRehemaJosephbaraka
    @RehemaRehemaJosephbaraka 6 днів тому +1

    Shida waislamu ni wabishi sana washa jua hawana dini nzuri ko hawataki ukweli kwasababu wanakwepa aibu

  • @omysule7118
    @omysule7118 2 місяці тому

    الله اكبر Waisilamu hawawez kushindwa kwa hoja za kidini maana dini yetu ipo wazi saana kila kitu kimebainishwa

  • @AbdulRahim-rl2df
    @AbdulRahim-rl2df 3 місяці тому

    Mungu awajaalie ndugu zetu katika ADAM waijue iliyo kweli

  • @mamurealman4859
    @mamurealman4859 4 місяці тому +4

    Takbirrrrr

  • @Rimaaivotuu
    @Rimaaivotuu 2 місяці тому

    Allah awaongoze😢

  • @HusseinKibega
    @HusseinKibega 4 місяці тому +1

    Mashallah 🤲 kinyogoli

  • @harunichambo4658
    @harunichambo4658 4 місяці тому +2

    Sheikh said juma kinyogoriii🫡🔥🔥🤲🤲

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 14 днів тому

    Najvunia Kua Muislam Alhamdullah Allah Anijalie kua muislam had Mwsho Wa uhai,Wakristo Fanyen Search ya Kujua Ukwel Din ya Hak N Ipi,some tabu Uzur mckubal Mapadri Wakupotoshen kw mana Kuna badh ya Ayaa Hamdomew Makansani za Ukwel

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 5 днів тому

      Tunaijua biblia kuliko unavoweza kuzan hawo wanawapotosha kwakuwasomea vipande vipande vinavyounga mkono hoja zao

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Місяць тому +2

    Huyu muhubiri wa kiislamu kweli " alikuwa anafanya comedy " inashangaza kwamba,ktk mambo nyeti kama haya,huyu mtu anafanya comedy." Lakini siku inakuja,mtakuja kulia,kuomboleza na kusaga meno,na hakutakuwa na muda Tena wa kutengeneza " nyinyi endeleeni tu kufanya comedy.

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 місяці тому

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM

  • @georgeachiengrestinpeacebr7215
    @georgeachiengrestinpeacebr7215 2 місяці тому +1

    Mtu hawezi m'baka mtoto mdogo wa miaka sita Kisha ajiite mtume wa Mungu... Mohammed Hana sifa kuwa mtume wa Mungu ni kiongozi wa ugaidi duniani

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому +1

      Kiongozi wa ugaidi Mungu wako wa bandia ndoa maana akala kibano kisha akasulubiwa .....na kama kubakwa basi ata mama ake yesu naye alibakwa maana aliolewa akiwa na miaka 12

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      Halafu uwo uthibitisho wa kuwa Muhammed Kabaka uko wapi? Wakati aliooa na wazee wa bibi Aisha waliridhia....wewe utakuwa na makasiriko ya baba ako alivombaka mama ako alivyokuwa na miaka 12 unapatikana wewe😂😂😂😂

  • @chiefbenardos6459
    @chiefbenardos6459 8 днів тому +1

    Bibilia soma yote uelewe si quotes nusu nusu.. Yesu ni bwana na njia ya ukweli na uzima wa milele hao mengine ni watu tu wangoja hukumu kama wengine.

  • @cassimtonui5332
    @cassimtonui5332 4 місяці тому +1

    Mashaallah sheikh ❤❤❤

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 місяці тому +1

    ALLAHU AKBAR ❤

  • @عبدالصمدعبدالله-ف8س
    @عبدالصمدعبدالله-ف8س 4 місяці тому +1

    Ndacha kweli wewe unasema muhammadi si mtume wa mwenyezi mungu

  • @ImaniPeter-r6r
    @ImaniPeter-r6r 3 місяці тому +1

    Yesu wakatiule amekuja nikweli hakuja kuhukumu,nandomaana alikaa nawenyedhambi,lengonikuwaokoa,ila siku yaparapanda ndoatakuja kuhukumu,

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 4 місяці тому +2

    WAKRISTO WASHAZOWEA HAWOO KUDANGANYA WENZEWAO AU WATU WAO KISWAHILI CHENYEWE AJUWE NICHAMAGUMASHI

  • @BashiruSalumu
    @BashiruSalumu 3 місяці тому

    Allahu akbar

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 4 місяці тому +7

    Ndacha elimu yake ni finyu sana hawezi kujadiliana na waaziri wa kislam Ndacha hoja zake ni zakitoto

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j 5 днів тому +1

    HAWANA HOJA ZAMSINGI ISIPOKUA WANACHEKESHA WAMEKUA CHEKA TU

  • @hafidhisadiki279
    @hafidhisadiki279 4 місяці тому +1

    Kinyogoli the best

  • @TomasMujema-k7j
    @TomasMujema-k7j 4 дні тому

    Yani Axis of resistance imejengwa mpaka TZ 😢

  • @Sidejuma-sh9sj
    @Sidejuma-sh9sj 3 місяці тому

    Dini zipo nyingi lkn Dini ya M/Mungu ni uislamu2

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 5 днів тому

      Sawa lakini Yesu ndio njia yakweli nauzima huwezi kwenda mbingun kama humusmin Yesu kristo

  • @NestoryNgonga-m9r
    @NestoryNgonga-m9r 26 днів тому

    Tunasikiliza upande umoja hapa waislam walipogwa

  • @saumusaid7825
    @saumusaid7825 4 місяці тому +5

    Me najiuliza swali Kwan hawa wakrst hawasomi hivi vitabu vyao

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому

      Tuwaulize nyie mnasoma kweli vitabu vyenu maana tukihoji mohamad alivyopata utume hamjibu, yeye kaja kasema anahisi kuchezewa na mashetani sababu yeye ndie aliyekua eneo la tukio ila waraq na bi khadija wanasema ni malaika sasa nani asikilizwe kati ya mohamad na mkewe na shemeji yake?
      Nakukumbusha tu malaika hawezi kutumwa kwenye tukio kubwa kama hilo na asijitambulishe na hapo ndipo mlianzia kupigwa ila ukweli mtaukwepa milele 😂

    • @evansmogusu8113
      @evansmogusu8113 4 місяці тому

      Ninyi hamvielewi hivyo vitabu vya kikristo..

    • @saumusaid7825
      @saumusaid7825 4 місяці тому

      @@evansmogusu8113 tunavielewa na ndo maana majibu yanatoka humo humo kwenye vitabu vyenu

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 4 місяці тому

      nyie waislam mnavisoma ila sie tunavisoma na kuvielewa kuna tofauti hapo

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 3 місяці тому

      Huwa wanasomewa na padri wao.. kuangalia sio lazima km padri anasoma

  • @edymoney5895
    @edymoney5895 3 місяці тому +1

    Uwislamu niupotofuu mkubwa sanaaa

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 4 місяці тому +3

    { ۞ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوۤا۟ إِنَّ كَثِیرࣰا مِّنَ ٱلۡأَحۡبَارِ وَٱلرُّهۡبَانِ لَیَأۡكُلُونَ أَمۡوَ ٰ⁠لَ ٱلنَّاسِ بِٱلۡبَـٰطِلِ وَیَصُدُّونَ عَن سَبِیلِ ٱللَّهِۗ وَٱلَّذِینَ یَكۡنِزُونَ ٱلذَّهَبَ وَٱلۡفِضَّةَ وَلَا یُنفِقُونَهَا فِی سَبِیلِ ٱللَّهِ فَبَشِّرۡهُم بِعَذَابٍ أَلِیمࣲ }
    [Surah At-Tawbah: 34]

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 4 місяці тому +3

    Wakristo na mayahudi wanakataa mtume kwa sababu ya husda tu

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 5 днів тому

      Huna hoja hatumkubali kwakua hajatajwa kwenye maandiko matakatifu

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 2 місяці тому +1

    Mim siez amiñ din8 ya mashetani wala kizazi changu kisiwai jikuta huko .

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 Місяць тому

      Hata hiyo ulionayo nidini yawazungu wakoloni siyamungu😂

  • @Josephmkutu13-zo7qd
    @Josephmkutu13-zo7qd 4 місяці тому +2

    WAKIRISTO WANABISHA BILA HOJA YYTE😂 YA MSINGI

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому +1

      Shida yenu anapopanda ndacha hamumsikilizi ila wakipanda walimu wenu na kufanya comedy ndio mnasikiliza na kucheka, hapo kuna ndacha upande wa kiislamu kuna comedian wanageuza mijadala ya dini kuwa cheka tu 😂

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 4 місяці тому

      ​​@@mobutu3884iwe comedy iwe muvi njoo na hoja sisi tunataka hoja namna ya wewe kushinda ni hoja acha bla blaa sawa ndugu? japo ni comedy lakini ujumbe unafika kazi kwenu sasa wazee wa kukurupuka😂😂

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n 3 місяці тому

      ​@@mobutu3884shida ndacha anakataa bible alafu bible imejichanganya yenyewe ila qur-an ikitoa hoja inanyooka moja kwa moja inayoeleweka

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 3 місяці тому

    Waislamu giza sana yaani yesu arudi kuwa mfuasi wa mtu sliyekufa 😂😂😂😂 afu ahukumu kwa sheria za Mohamed,mohamed anasubirii kufufuliwa afu huyo aliyefufuliwa awe mkubwa zaidi ya anayefufuka😂😂😂
    Ahsante Yesu kunifanya kuwa msabato

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 Місяць тому

      @@charlesboniphace2249 wazungu wakoloni ndio waliokufanya mkristo sio mungu

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 4 місяці тому

    Mitume wote waliotumwa na Mungu walikua warabu.natoa challenge kama kuna mtume aliekua mzungu au muafirika mkristo yoyote amutaje.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 4 місяці тому +1

    Kinyogori kidume!

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 4 місяці тому

    Shafii shetani maana yake ni muongo. Hata sasa kila muongo ni shetani...

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 4 місяці тому +1

    Kinyogori nakukubali sana

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 місяці тому

    Kwanza kichwa chako cha habari kina upande mmoja. Hufai kuwa mwandishi wa habari. Ungesema Kinyogoli akijubu hoja za Ndacha. Na majibu yanaweza yasiwe majawabu

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 4 місяці тому

    Kwani Muhammad hako Na sheria zake

  • @SaidUwesu-n1x
    @SaidUwesu-n1x 4 місяці тому

    12:46 yohana

  • @leomika8473
    @leomika8473 4 місяці тому

    Waislam msipo mkubari yesu Amna pakwenda

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 4 місяці тому

      Tutakuja kwako

    • @mussachichajr
      @mussachichajr 4 місяці тому

      Ww kichwa chako kibovu kwa sababu hata huo ukristo huujuwi unafuata upepo tu.

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 4 місяці тому

      @@leomika8473 Kwa taarifa yako WAISLAM wote wanamkubal YESU na wanamtambua kama Nabii wa Mwenyez Mungu,, Na anahesabika kama manabii watano katika utukufu daraja.

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 4 місяці тому

      Cjui mna akil gan,hakuna Muislam asie mpenda Nabii ISSA(Yesu) Waislam wote tunampenda saaaaana ila km Mtume wa Mwenyez Mungu

    • @PaladinInsurance
      @PaladinInsurance 4 місяці тому

      Huelewi bibilia Rudi shule

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 3 місяці тому

    WaIslamu hushangaza sana yaani munaamini eti Yesu atarudi KUMUA NGURWE KWANI MUNYAMA NGURWE ANAMAANAGANI ?

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n 3 місяці тому

      Tukuulize wewe nguruwe ana maana gani kwako ama kweli wingi wa mvi kichwani si wingi wa busara unaonekana ni mtu mzima lakini huwezi kufikiri na unahoja ambazo akili yako inajua ukweli wake lakini unajizima data

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 4 місяці тому +2

    Waislam ni wasomi basi wKristo jiokoeni nafisi Zenu kwa moto wa jahanam,

  • @عبدالصمدعبدالله-ف8س
    @عبدالصمدعبدالله-ف8س 4 місяці тому

    Ndacha acha kuzungumzia muhammadi kwa ubaya😅

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 4 місяці тому +1

    Kinyagilii kiboko

  • @edymoney5895
    @edymoney5895 3 місяці тому

    Nyie waislamu hamna elimu yakushindana nandacha kafugeni majini tu

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      Majini yapo kanisani ndo maana kila tukipita utasikia pepo toka 😂😂😂😂 na hayatoki maana kiti cha enzi kipo kanisani

  • @katerelomkuyati6764
    @katerelomkuyati6764 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Makafiri kwisha habari yao

  • @SurprisedBreadLoaf-bo3ze
    @SurprisedBreadLoaf-bo3ze 3 місяці тому

    Jesus is lord

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 3 місяці тому

    Wanaaoma ila wao hawataki uisilam leongo lao ni kuimaeisha ukristo ili wakaijaze jahannam

  • @clewis520
    @clewis520 4 місяці тому +1


    Allah ni mwarabu haelewi lugha zingine.

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi 4 місяці тому +2

      Akili yako ndio ulipo fika apo tatizo lugha Moja inamana ata ulienda china utaswali ukienda India utaswari kwa sababu lugha ya kuabudu ni Moja inaleta maelewano ukiwa kwa msikiti nenda we china kama utaswali

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 місяці тому

      Allah ndie aliyemuumba yesu

    • @clewis520
      @clewis520 4 місяці тому

      @@mohdkhatib223 …Allah hata hajui mtoto uzaliwa aje….

    • @mussachichajr
      @mussachichajr 4 місяці тому

      Nenda katembelee 3: 9 zefania

    • @AbuuShuraimAl-Shirazy
      @AbuuShuraimAl-Shirazy 4 місяці тому

      Astakhfirullah

  • @justinkasongo5508
    @justinkasongo5508 4 місяці тому

    Waisilamu munakuelewa kudogo Sana alafu shetani anawaziba macho man kusikia ili musielewi pole sana

    • @mohammedndune6495
      @mohammedndune6495 4 місяці тому

      Wewe sikiliza vizuri maandiko wacha chuki utaelewa ukweli wa taarifa

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 місяці тому +2

    Ndacha ni bwege tu

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому

    Kibano kibano ust said juma kinyogoli wakristo hichi kibano hamtakisahau 😅

  • @BernardChesoli-rj3nw
    @BernardChesoli-rj3nw 4 місяці тому

    Kuna tofauti ya isa na yesu. Yesu alisulubishwa msalabani bali isa hakusulubishwa

    • @sungitatv9887
      @sungitatv9887 4 місяці тому

      @@BernardChesoli-rj3nw ikiwezekana baba kikombe hiki kiniepuke si kwa mapenzi yangu Bali mapenzi yako kwaiyo hii dua mungu hakumkubalia

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 4 місяці тому

      hadi leo hakuna ushahidi Yesu alisulubiwa

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 4 місяці тому

      Kwa maelezo yako ni wazi Yesu hana chochote mbele ya Mungu,sasa km Yesu alikesha ucku kucha na kulia machoz akimuomba Mungu ili kikombe kimuepuke,sasa km Mungu hakumsikiliza Yesu ww utasikilizwa...?acha ujinga Yesu hakuwekwa msaraban Mungu alimnyanyua kiumbe chake

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 4 місяці тому

      Kichwa umebeba kama pambo kumbe

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 Місяць тому

      Yesu ndio yule mzungu alipigiliwa misumari kwenye mbao
      Nabii issa rehma za Allah zimuendeye yeye ni mtume mtukufu nahana mahudiamo yeyote na yule mzungu wamsalabani

  • @mussachichajr
    @mussachichajr 4 місяці тому

    Yaani nimegundua kitu maandiko hayo hayo ya kwenye bible yakisomwa na waislamu wanayakataa wakati yanatoka kwenye kitabu wanachokiamin wao

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 4 місяці тому

      Tatizo bable inachangamoto ya uwalibifu pili maneno mengi akusema yesu bali watu waliokuja nyuma yake kwaiyo kunamandiko mengine yapo sawa mengine watu wameyalibu kwa maono yangu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 місяці тому

    At hivi kuweka vipande vyote tusikie uislam kweli ni dini ya kujisifia sifia hakuna ukweli na uwe shabiki kama msemaji wa vitalo zidi ya young africa

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому +3

    Ndacha kapatikana anapinda sana ulimi anatoa tafsiri ana badilisha maandiko ust kinyogoli na shafii wamemnyoosha

  • @manigatz5271
    @manigatz5271 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂 naamia katika uislam

    • @mohdseif2593
      @mohdseif2593 4 місяці тому

      @@manigatz5271 karibu sana huko ndiko kwenye ukweli nasio wakupinda pinda nikweli mtupu

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 3 місяці тому

    HAYO MANENO YAMETOKA KWENYE BIBLIA LAKINI NDACHA ATAKAA KABISA AMEZOWEA KUPOTOSHA WATU . NDACHA ACHA UWONGO UWONGO KWENYE DINI AYAFAI KAMA WEWE MCHUGAJI UNAFUNDISHA NINI KWA WAUMINI WAKO

  • @jumaali8596
    @jumaali8596 3 місяці тому

    NDIO UKRISTO SIO DINI

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 4 місяці тому

    Amesema hakuja kuhukumu,lakini ndiye atakaye hukumu (maana yake mwisho wa Dunia yeye ndiye atakaye wahukumu watu wote kwakuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho) tatizo ninyi waislamu hamtaki kujifunza bali mnakuja kutetea Imani yenu tu. Sasa,hiyo sentesi mbona imekaa sawa kabisa. Waislamu haina hoja.

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 4 місяці тому

      Kila dhama na nabii wake Yesu alitumwa kwa wana wa Israel @ siku ya hukumu Yesu atawashangaa wakristo watakapokwenda kwake na atasema mbona nyinyi siwajui

    • @QualityBrand-cc2fn
      @QualityBrand-cc2fn 4 місяці тому +2

      Kikubwa weka andiko alosema atahukumu watu wanaosoma biblia wakapitie

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 місяці тому

      @@josephmusagasa huna lolote waislam ni maandiko ww kaa na umwehu wko tu

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 3 місяці тому

      @@HemedSerious sasa suala la wehu linatoka wapi? Ndiyo tatizo la waislamu,temper kibao. Eti hiyo nayo dini ya uzima wa milele. Umeona wapi mimi nimekutusi? Mbinguni hawaingii watukanaji,hawaingii wasiokiri kuwa Kristo ndiyo njia kweli na uzima. Yaani umekaa kama mtu wa kisasi. So,nimekukosea nini? Pole sana.

  • @TembeleIdialimasi
    @TembeleIdialimasi Місяць тому

    Sasa nyiye waislam mbona mwa weka vipande?

  • @ayubkiundawale4582
    @ayubkiundawale4582 3 місяці тому

    Usipo elewa hapa huwe elawa tena

  • @edymoney5895
    @edymoney5895 3 місяці тому

    Wew mwalimu kama ungekua unaelimu yakushindana nandacha unge posti na alipo ingea ndacha uwone uwislam unavo zalilika nyie dini hamna mkafuge majini tu huko misikitini namajumbani kwenu

  • @leomika8473
    @leomika8473 4 місяці тому

    Maana ya isilaer nidunia nzima mnakariri

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому

      Ndio maana unafumba macho ukiomba umekua kipofu

    • @mussakhalifah1233
      @mussakhalifah1233 4 місяці тому

      @@leomika8473 Amani ya Mungu iwe pamoja nawe. Naomba maana ya Israel kuwa ni dunia nzima kwa mujibu wa andiko au sherehe yoyote ya andiko iwe agano jipya au la kale ili nami nijifunze tafsiri hiyo. Ahsante.

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 4 місяці тому

    Ndacha ameelezea vizuri hakuna alipomtambua mhamadi kama nabii waislam mbona mmepotea hata leo?

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 4 місяці тому +1

    Isa siyo yesu

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi 4 місяці тому

      Kwani wayahudi walimuita yesu yesu ni kiswaili ww elim zilo

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 4 місяці тому

      Ili ijulikane sio yesu kwani kazaliwa wapi? Huo mji aliozaliwa wanamwitaje?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 місяці тому

      ​@@ndukulusudikucho_ukiamini hivyo, basi Yesu sio Jesus au masih

  • @sadiqkivunjor5698
    @sadiqkivunjor5698 3 місяці тому

    Sikutumwa ila kwa kondoo wa nyumba ya israel

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 3 місяці тому +1

    Ndacha ana kitu zozote Bure kabisha

  • @leomika8473
    @leomika8473 4 місяці тому

    Arisema hivyo akuimanisha watenda dhambi Kama nyinyi waislam na wakirstu wakiwemo

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 4 місяці тому

    Mtume anafaida gani kwa watu wa ulimwengu

    • @khalidhashim6082
      @khalidhashim6082 4 місяці тому

      @@samwelingasa1638 waulize USA kwa kile kipindi walipopata ugonjwa wa black town unaosababishwa na panya ndio waliona ukweli wa Muhammad tafuta hiyo