UTATA MAUAJI YA MTOTO WA CHIEF GODLOVE| MAMA NA DEREVA BODABODA CHINI YA ULINZI WA POLISI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 335

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani 15 годин тому +35

    Hamjui huu ni mwisho wa mwaka watu wanatekeleza maagano ya kishetani😢

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 години тому

      Wanajua sana lakini wanajifanya hawajui na baadhi yao hapo ni illuminati member hasa uyo mwenye kipara nae anatoa kafara

  • @healthytips-s7v
    @healthytips-s7v 9 годин тому +17

    kwa mala ya kwanza naona kifo cha mtu kinaongelewa kwa furaha na bashasha

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 4 години тому

      Hata mimi nashangaa😢😢😢

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 2 години тому

      Haya sijui yana nini haya😢😢😢😢

  • @josephmpagike2481
    @josephmpagike2481 15 годин тому +18

    Huyo mama ake na mpezi wake wote sukuma ndani

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 16 годин тому +18

    Kuna Siri nyuma ya pasia wamemutoa kafala mwaka huu umefka watu wanaitaji kuwongezewa miaka

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 12 годин тому +6

    Inauma sana mama yake ni mshtakiwa namba (1) mwanaume aliekuanae huo usiku mshtakiwa na (2) bodaboda mshtakiwa na (3) wakamatwe wapewe mateso ukweli tutaujua haraka sana

  • @omariselemani6578
    @omariselemani6578 12 годин тому +13

    Kafara hiyo tayari ya godlove

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 5 годин тому +2

    Huyo godlove ni tajiri ana magari ya kifahari halafu anapanda bodaboda du inashangaza sana hiyo ni mafala zahir

  • @DareAziz-g3s
    @DareAziz-g3s 9 годин тому +2

    Mmeuliza kitu cha msingi sana kwamba kwaakili ya kawaida unamuachiaje mtoto. Wa miaka 6dereva wa boda boda???

  • @RashidAli-rn3ro
    @RashidAli-rn3ro 8 годин тому +4

    Dah Zembwela hilo vazi limekufaa sana yani limekutoa sana

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 11 годин тому +2

    Sasa huyo chifu good love anajinasibu ana fedha za kutosha na ndio baba mlezi ninavyojua Mimi baba mlezi ni baba wakambo yani umemuoa mwanamke na mtoto wake yani wote utawatunza MTOTO anakua chini ya ungalizi wako sasa kivipi Wewe chifu good love unashindwa kumuwekea mkeo ,msaidizi wa kutunza MTOTO??( Wewe chifu good love ni mgumu sana wakutoa fedha. , jifunze kumtunza MTOTO kama baba mlezi ,baba wa kambo.

  • @KADILO-i3e
    @KADILO-i3e 15 годин тому +33

    Huyo huyo chif god love ndio anaejua kifo Cha huyo mtoto akamatwe ahojiwe😮😮😮

    • @modekaijames
      @modekaijames 14 годин тому +2

      @@KADILO-i3e tumia akili akuna anae tafuta sifa mtandaoni ukichukuliwa ukatoe ushahidi utatoa au unalopoka kama umekatika kichwa
      Mambo mengi achia serikali ndio itajua nani kafanya hivyo

    • @BabuDikwela
      @BabuDikwela 14 годин тому +1

      Utarawitiwa acha usenge kwenye vitu vya serious

    • @KADILO-i3e
      @KADILO-i3e 14 годин тому +2

      @BabuDikwela watakulawiti wewe unae watetea

    • @BabuDikwela
      @BabuDikwela 14 годин тому +5

      @@KADILO-i3e mi siwatetei ila nakupa codi ZA kiume kutokana wanaume wakweli hawana habari za Mambo ya watu ukiona Jambo unapita tu . Ila wewe uta rawitiwa achana na maisha ya watu au we Juma lokole

    • @KADILO-i3e
      @KADILO-i3e 14 годин тому +1

      @BabuDikwela we chizi kweli yani hata kwa mazingila huoni kwani we kulawitiwa Sina Imani kama ndio itakua ya kwanza

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 8 годин тому +2

    Huyo God love haaminiki kabisa, mambo yake ya kishetan washamtoa kafara huyo mtoto,, kilio ni kizugio tu😂

  • @frankminja2343
    @frankminja2343 14 годин тому +20

    Hiki kifo kimekua cha utata.Ila Cheef Godlove alitabiri kua Kuna ishu inakuja,vyombo vyote vya habari vitamzugumzia yeye.
    Nazani ndio hili tukio.

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 12 годин тому +1

      Duh huendaa hebue tusubirie kam hakuna lingine basi itakuwa kweli

    • @gracemtonga3263
      @gracemtonga3263 10 годин тому +1

      NAMI Niko na wewe kufatilia Hilo jambo litakalofanya azungumziwe .

    • @mnuwi
      @mnuwi 10 годин тому +2

      Kamata Na Huyo Godlove

    • @fatumahapesamohamedfatumah4633
      @fatumahapesamohamedfatumah4633 3 години тому +1

      Huyo mwanamke anayedate na huyo Godlove awe makini sana.

  • @barakasamweli9115
    @barakasamweli9115 18 годин тому +22

    Wanatumiya watoto wadogo kitoa kafala zayo wana sema wanawapenda mbaka wegine wana fika mbali wanachukuwa watoto ya tima wana fanyia selee zao zakisetani wana seme wana wa sahidia watoto mimi na wambia awajama wana fanya ayo mambo apa duniani wanonekana wajanja sahiz lakini kwanyezi mungu tutaonana pesa2 maneno megi mungu atalipia

    • @lukakalinga5990
      @lukakalinga5990 14 годин тому

      Nenda shule kwanza

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 14 годин тому

      Fikira potofu

    • @nizzarzaver1046
      @nizzarzaver1046 8 годин тому

      Kweli nenda shule hujui kuandika sijaelewa comment yako manina ww

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 15 годин тому +6

    Police kumshikilia mama imefanya viziri sana inaonyesha ndie muuwaji wa kwanza

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 8 годин тому +2

    Zembwela kwenye jua Kali nacheka kwenye radio nacheka nikikusikiliza tu nacheka eti kwa zama hizi watu wanakunywa uji wa mgonjwa akiwa anakata roho wewe kiboko😂😂😂

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 годин тому +2

    Hawaa Siku hizii wanavyopamba Maneno Uwiii 🙆

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 17 годин тому +10

    Tutalaumu na kuhisi vingi ambavyo tunalazimisha vile ambavyo tunafikili sisi, maskini akifiwa lawama huwa ni ndogo sana ila mtu mwenye uwezo akifiwa mzigo wote unamwangukia yeye maana jamii inayo mzunguka inaumia na mafanilio yake kiasi kwamba wanataman Kila baya limuhusu ila kwa kuwa alie mmpa ni Mungu mwanadam utazidi kuteseka tu na loho yako mbaya, Mungu ulie shahidi wa kifo Cha huyu dogo kawape falaja wale wote walio umizwa na hili maana wew ndo mtoa falaja ya kweli Amin

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 16 годин тому +1

      Nikwabie kakangu si vyote vitokavyo kwa mungu siku hizi wanadamu Wana mambo nikujuze tu kidogo huku kwetu Munda sio wa miezi mingi iliyo pita mbweni la wafurana liliugua moto naunajua nini watoto ishilini na mmja waliugua moto huyo naye kweli ni mungu?aaaah watu wajitadhimini kwa Imani zao shetani anawinda watoto wafurana Kila kuchao watu waweke Imani zao kwa mungu wakweli na yesu kristo.

    • @AminaTanzania
      @AminaTanzania 15 годин тому

      Hiyo Ni firimasoni kabisa huyo chifuu MHH sikwetu yaani hiyo kesi wanambambikiza hayo bodaboda IRA huyo mama anajua mipangoyao wariyokua wamejipanga na chifu wake

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 12 годин тому +1

      Upo sawa lakin wewe unaweza kufanya alichofanya mama wa huyo mtoto?
      Utoke usiku kwenda kula raha mwanao ukamkabidhi boda boda?kwann usiende naye kama ulitaka akale raha pia au kumwacha kwa ndugu zako wewe?

  • @rogoyassin5
    @rogoyassin5 17 годин тому +9

    NYIE WATANGZAJI NIWAHOVYO KABISA TAARIFA YA KUHUZUNISHA NYIE MNAITANGAZA KWA SHANGWE KAMA NITAARIFA YENYE KUFURAHISHA,, KUWENI WASTAARABU, 😢

    • @salamabakari8384
      @salamabakari8384 16 годин тому +3

      Kabisa mimi wananishangaza

    • @annafredinandmatandiko8438
      @annafredinandmatandiko8438 16 годин тому +2

      Can imagine yaan watu wengine bwana sijui wakoje

    • @othmanshahib1115
      @othmanshahib1115 16 годин тому

      Kila mtu anaumia unge sikiliza wavyo chambua sijui ungeelewa zaid

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 16 годин тому +1

      Hivi vichawa vinatangaza Kama vilivyokuwa vikitangaza kupiga debe kuuza Bandari za Tanganyika kwa waarabu! Hovyoooo kabisa!

    • @japhetjonathan-l8n
      @japhetjonathan-l8n 15 годин тому +2

      Shida sio watangazaji shida ukatili umezidi saivi mpaka watu wanaona kama ni kitu cha kawaida tu

  • @Herloveseen_Tz
    @Herloveseen_Tz 15 хвилин тому

    Wasafi Media ❤

  • @SimbaNgenula-j8y
    @SimbaNgenula-j8y 5 годин тому +1

    mi nafanyakaz jilan hapa dodoma royal kwel msiba ulitokea

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 6 годин тому +1

    Uyu mama nimdangaji et anaenda saa6 anarudi asubuh yaani wanawake bhana duh ndomaana tuliambiwa na tunda man kuwa starehe gharama

  • @AliKhamis-l1x
    @AliKhamis-l1x 6 годин тому +1

    Gazet uongo na tarifa ya wenyewe alimueka pahala kwenye numba

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 годин тому +1

    Ujana moshi Jamani ,huyo Bint ni mdogo Mnoo,Halafu Jamani Tukumbuke Sisi Watanzania huwa tunawaamini Watu kuliko kuwajua walipotokea na makuz Yao,

  • @vero57
    @vero57 8 годин тому +1

    Huyo kenyenye ukute mme wa mtu, kazii kweli kweli.
    HATA WANYAMA WANA NAFUU KULIKO BINADAMU WENGINE

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 7 годин тому +1

    mwanamke halisia angemwacha mwanaye kwa mama yake mzazi kwanza halafu ndio aende kwenye starehe zake anajua hata akizima huko mtoto wake yuko kwenye mikono salama

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 16 годин тому +3

    😢huyo mama akapigwe kisawasawa aseme ukweli huyo mama anajua kila kitu,huyo boda wanataka kumuuzia case,hapo alipokutwa mtoto n nyumban Kwa nani? Huyo mwenye hiyo nyumba akamatwe,dah mamae wallahi inauma

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 16 годин тому +12

    Ila wazee wangu taarifa ya huzuni mnabashasha kubwaa kama mnatangaza sherehe 😢

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 14 годин тому +6

    Awa watoto wadogo wenye tamaa ya kuishi kwenye magorofa kumbe pesa,nyuma yake Kuna Siri kubwa,apo ndo watazidi kufanikiwa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 11 годин тому

      Nawengine wanaingia tena kwakumbembeleza niunge mm hawajui mazalayake wanadanganywa. Matokeoya jicho la 3 ndiyo hayo

  • @gabrielmwambogo3891
    @gabrielmwambogo3891 7 годин тому +3

    tukio linavyoendeshwa utafikiri sikukuu dah kwel WASAFI MEDIA hii sio sawa kabisa 😭😭😭😭

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 8 годин тому +1

    Yaan na mm niliposikiya hii Habari yaan Mama Huyo na boda boda na ma.,mhh

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 10 годин тому +1

    Wakifinywa vizuri mama na boda boda watasema ukweli nn kiliendelea kwa mtoto 😢😢😢😢

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 8 годин тому +1

    Mbona huyu mtoto anasura ya Godlove..ukitoa rangi tuu..pua , macho ni Godlove mtupu

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 7 годин тому +1

    Tunawapongeza jeshi kwa kuanza na mama

  • @deobabula1268
    @deobabula1268 12 годин тому +1

    Mzee Kibao aliuwawa akatupwa ktk fukwe ya ununio dar es salaam. Mnajua serikali alisemaje na taarifa zake zikoje? Haya mambo bana acheni tu ukiamka salama mshukuru mungu tu. Hii inchi ina siasa nyingi nyingi

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 7 годин тому +1

    goodlove mwenyewe kwa kinywa chake alisema yeye ni freemason"tgoodlove mwenyewe akamatwe

  • @AngelMatelu-s5w
    @AngelMatelu-s5w 14 годин тому +2

    Hata kumpatoto boda wakat gari yashule imemuacha tunajifikiria sana we unamwachia mtoto boda amlee we unaenda pasipo na msingi mhh mnahusika

  • @HassanOmari-f1e
    @HassanOmari-f1e 4 години тому +1

    Sasa nyinyi munacheka kwa furaha au

  • @jacqueisaac8155
    @jacqueisaac8155 6 годин тому +1

    Kafara hiyo

  • @mantissakiboko1880
    @mantissakiboko1880 5 годин тому +1

    Kafala hyo sema wameshndwa kutumia akil

  • @jayputini2731
    @jayputini2731 10 годин тому +1

    Huyo chief,anatafuta utajili,kaz ndo hiyo

  • @DonaldWenga
    @DonaldWenga 8 годин тому +1

    Logical reasoning!

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 10 годин тому +1

    Mtoto huwezi muacha we ukasherekee huko inje unaachia mtu mtoto unambiwa kwa hii dunia usiamin rafiki wala ndugu

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 9 годин тому +1

    Kwa nn hii taarifa inafichaambo mengi?kuna nn apa? Au mwisho wa mwaka?

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 15 годин тому +2

    Gold love kajiingiza kwenye mtego wa panya kwa sbb ya kutamania uziuri wa mama mtt na mali alio nayo

  • @anthoniamaji3671
    @anthoniamaji3671 17 годин тому +3

    Lakini wa mama sisi😢. Atajilaumu kila siku

  • @Joppa555
    @Joppa555 13 годин тому +4

    Utata gani hapo wazee..si ni sadaka hiyo imeshatolewa au😢😢😢😢😢😢

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 18 годин тому +5

    Jamani binadamu wanapitiwa jojo ni binadamu m mungu mtie nguvu uyu binti kwa hiki kipindi

    • @MohamedMiyombo
      @MohamedMiyombo 17 годин тому

      Hamna kitu hapo starehe mbele,kuliko malezi yaaan wewe umuache mtoto mdogo wewe ukale maisha halafu useme binadam

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 годин тому

      ​@@MohamedMiyombohujasikia habari kamili, acha kuwasikia hawa wajinga. Hata ndugu siku hizi hawaaminiki

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 16 годин тому +13

    Msimlaum mama siku ikifika imefika, kuna yale mazoea ya kila siku huwez kujua huyo mama na huyo bidaboda walikua wanaish vip na wamezoeana vipi

    • @hawarajabu4130
      @hawarajabu4130 13 годин тому +1

      Ndo tuache kuishi kwa mazoea tusitetee upuuzi, Bora angekuwa na safari ya dharura lakini MTU Kenda kula Raha.. kama hajamaliza mambo yake alizalia Nini?

  • @saidomary7930
    @saidomary7930 16 годин тому +5

    Inawezekana amezoea kumuachia uyo mtoto boda ninavyo hisi

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 11 годин тому +1

    Maelezo yana utata sana ,sipendi kusema mama anatatizo au muendesha tukutuku anatatizo , Lakini chombo cha dola kianzie kwa mommy na huyo muendesha tukutuku 😭😭

  • @EriasSaid
    @EriasSaid 6 годин тому +1

    hy mama hana hakili afungwe ili wengine wajifinze

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 9 годин тому +1

    Ila mama mtoto ana makosa sana sasaivi hata kulawitiwa watoto sasaivi huwezi acha mtoto ovyo😢

  • @bushiringamba6971
    @bushiringamba6971 11 годин тому +1

    Sasa ninaanza kupata picha,inawezekana walipata ajali,na bodaboda kachanganyikiwa.lkn kwanza tujue bodaboda iko wapi

  • @DesertTears
    @DesertTears 11 годин тому +3

    Kafara ndio ishaenda hivo au??

  • @Jux02Elihadlinus
    @Jux02Elihadlinus 11 годин тому +3

    Wakiwambia ishi maisha yako ya afu tatu hatutak ,nyingine kafara tu

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 17 годин тому +9

    From #EconomicallyGrowthMusicians Guys mnachambua tukio la simanzi utahisi mnachambua michezo au muziki kweliii😢😢😢😢
    Sio kila Magezeti huchambuliwa kwa Mzaha Guys Guys guys😢

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 15 годин тому +2

      Hawa hawajielewi, wapuuzi kabisa, watu wazima hovyo

    • @balozimkali1337
      @balozimkali1337 15 годин тому +2

      Yule kitenge wa radio one alikuwa mzuri zaid kuliko wa sasa comedy sana Kila taarifa uchale mwingi sio poa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 15 годин тому +1

      Wapuuzi sana hawa wazee, watu wazima hovyoooo

    • @EGM-TZ
      @EGM-TZ 13 годин тому +1

      @MsAggie5 😄 🤣 😂 Kitenge ndo Mchochea Kuni ana mharibu huyu mzee wa Busara aliye vaa baraghashia

    • @EGM-TZ
      @EGM-TZ 13 годин тому +1

      @@balozimkali1337 duh wanakuwa kama story za michambo kumbe simanzi 😢

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 7 годин тому +1

    Yaani godlove namatambo yote hana ata mtoto analea wawenzake hahahahaaaaa😂😂😂😅

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 17 годин тому +2

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah hayoooo muaji ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana mama aliendaaa kustaarehee hiyooo yote ni stareheee wanawake wajinga sanaaa hapo ni muaji wa ukatili mkubwa huyooo mama naeee anajua vizuri piaa landa wanaugomvi Au boda boda kaonaa wivu kamkosa mama akee kuzini naeee piaaa siongoi sana anaejua mungu na inshalhaah inshalhaah inshalhaah serikali itajua vizuri jeshi la polisi lá Tanzânia liko imaraaa alhaamdulilaah

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 17 годин тому

      kwan waislam huwa hawafany stareh hembu kwenda huko bana ,mlaum mama alieach mtoto na muhun usiingize mambo ya dini

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 16 годин тому +1

    kw Andiko la chief gd Love.. kunaonekana km anakitu anachokifahamu lkn anajaribu kukwepa jambo..nae atazamwe.
    Andiko lake ni km linaonesha kua kuna watu wana ugomvi na mtu lkn kisasi chao wamekipeleka kwa mtoto asie na hatia. hivyo anayo yakueleza kw mujibu w andiko lake.
    kiakili ilitegemewa aguswe na tukio bila kuonyesha viashiria vya sabab lkn kataja kiashiria kua mtoto hana ugomvi na yoyote bali huenda ni ugomvi w wazeee akiwemo yeye.
    Tafakuri za ndani zinahitajika..hilo sio tukio la bure lina mpango nyuma yake

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 7 годин тому

    Huyo Chief Hua anapenda Sana kuwawekea boda boda mafuta bure😢 Sasa boda boda kapatikana kwenye mauaji ya mtoto wake hii Dunia Ina mambo watu wangu😢

  • @TravellersTv1
    @TravellersTv1 12 годин тому

    Wanawake Bwana ..Akili Ndogo sana

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 15 годин тому +8

    Mara hii godlove si atanunua ndege sasa,

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 13 годин тому +3

    Mimi nawasiwasi na godlove mwenyew inawezekana ni kafara hi

  • @abdulwahidhaji3245
    @abdulwahidhaji3245 5 годин тому

    Ohhh tayari kwa God love sasa heeee kuwa makini God love aoo wazeee wa Minyama ni hatari sana isee

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 11 годин тому

    Taamaa.ya pesaa njaaa mbaya.watu tutamalizana.unamuuza mtu kwa ajili ya pesa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 15 годин тому +7

    Hii inaonyesha wazi mama ni mmoja wa wauwaji vipi amuache kwa watu wasio muhusu mtt na wajomba na mashangazi wapo na jirani wenye familia wapo

    • @JolieNome
      @JolieNome 10 годин тому

      tatizo ni pale mama kumpa mtt godlove km mlezi na inaonekana pesa zake za ki freemason...mmmh

  • @abdallahathumani4012
    @abdallahathumani4012 17 годин тому +3

    Kumbee godlove oh

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 18 годин тому +3

    Huyu mimi sioni kama kamuacha bahati mbaya uonimchongo wanajua wa walipanga hata nafsi zao zina wasuta hiyo nitarehe yakumtoa kafara mtoto

  • @mustafaxhaka8800
    @mustafaxhaka8800 9 годин тому +1

    Utajiri wote mtoto wke anampandish bodaboda kweli😂

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 12 годин тому +2

    Hata mama awajbishwe iwe fundsho kwa Wazazi hata kama mama ana maumivu makali

  • @MonahAbdull
    @MonahAbdull 5 годин тому

    Kamla nyama mtoto sai anatupigia kelele tuu hapa kesho atakuja na vimbaombao tele😢😢😢😢 mtoto mdogo jamani

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 15 годин тому +5

    Sasa mtoto wakitajiri mama hana ata mtu wakumuachia mwanawe

  • @vero57
    @vero57 8 годин тому +6

    Sasa huyo mama ake alikua tajiri alafu kwanini sasa asitafute baby sitter??¿? Inasikitisha sana sana

  • @PerryMj
    @PerryMj 11 годин тому +1

    Duh hii ni atari sasa

  • @LaurianFaida
    @LaurianFaida 14 годин тому +1

    Mama nae nazani ajibu vzr😢

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 13 годин тому +1

    Wanawake wapenda starehe huwa wako hivyo...kuacha Mtoto Kwa Jirani na kwenda Kwa Mwanaume mbona kitu cga kawaida?

  • @anthoniamaji3671
    @anthoniamaji3671 17 годин тому +7

    Alitegemea kabisa boda asiende kufanya kazi abaki kumuangalia mtoto wake?? Mama atuambie vizuri

  • @maxwalsh1724
    @maxwalsh1724 Годину тому

    Huyo wamemtoa kafara, ni mpango wa Mama mzazi na Bodaboda. Ili afanikiwe vizuri katika biashara zake.

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 13 годин тому +1

    Miye naona Bodaboda, Jojo, Baba Mzazi, Baba mlezi, wawakamate wote wawaulize au wachunguze lazima mmoja wapo atapatikana tu

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 16 годин тому +2

    godlove ashatoa kafara.yale machozi ya mamba tu majini wake washashiba,Mnaachaje mtoto kiholela

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 16 годин тому +2

    Hawana uchungu watangazaji wanafuraha ilioje subhallah watangazaji waovyo ingekua ni mtoto je mngefanya hivyo furahailioje

    • @MeryJonh
      @MeryJonh 16 годин тому

      Ata.mi.awa watangazaji.siwaelewagi.kabisa kelele nyingi sana ovyo too

  • @abdulwahidhaji3245
    @abdulwahidhaji3245 5 годин тому

    iseee nyie wazee wa Minyama ni makahakama tosha heee mukipewa mamlaka sijui itakuwaje hapo jinsi mutakavyo nyanyatika kwa minyama 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @salimomari150
    @salimomari150 11 годин тому +1

    huyo itakuwa sio mamake seriously

  • @FmYiu-vx2cs
    @FmYiu-vx2cs 5 годин тому

    Mama ahojiwe vzr Kuna kitu hapo

  • @peacermaria2045
    @peacermaria2045 12 годин тому +1

    Eti isome ndani😂😂

  • @SalumuRamadhani-y4y
    @SalumuRamadhani-y4y 4 години тому

    Uyo mama ashikiliwe kuna jambo hapo mama unaenda kufanya umalaya unaacha mtoto wako kwa boda boda kweli mnatoa makafala

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 5 годин тому

    Haya mambo ya pesa ina siri nyingi bora mm nife masikini, ukute na hapa ndo yale yale ya utajili una siri nyingi.

  • @Frdy-wns
    @Frdy-wns Годину тому

    Labda kiswahili ajui vzur ilah kunaugomvi apo mpaka mtoto kuuliwa wachukuliwe hao wote wanaomzunguka mtoto

  • @EtiminSadallah
    @EtiminSadallah 16 годин тому +2

    Huyo dada mwenye mtoto hana akili panajambo

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 годин тому

    Bora mumueleweshe Mr misifa,Mkuki kwa Nguruwe,Asijitoecakili tafuteni walikuwa huyo mtoto,Achen Maneno Maneno ya kutokuamin

  • @AlbertoEmmanuel-z2i
    @AlbertoEmmanuel-z2i 7 годин тому

    Utajiri huu jamani mnakatisha maisha kisa pesa ndomana urikuwa unatamba tayari umetoa kafara frahia maisha hayo

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 10 годин тому +1

    Huyu mama angekuwa ndg yangu kabla haijafika police ningempiga kwanza panga la kichwa

  • @YouTuber-r4u
    @YouTuber-r4u 6 годин тому

    Mara aliachiwa bodaboda, mara mwili umekutwa kwa rafiki wa mama, mauzauza

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 13 годин тому

    Mim najiuliza kwanini mtoto aachwe boda boda zama hizi zilizojaa ukatili wa kijinsia kwa watoto?
    Najaribu kuwaza ni mateso kiasi gani mtoto aliyapata mpk kufikia mauti 😢😢Naumia Moyo Sana
    Najaribu kumuwaza huyo mama aliyejaribu kumuacha mtoto na derava boda boda halafu yeye arudi asubuhi ni malezi ya kikatili namna gani mtoto huyo alikuwa anaelewa? 😢 😢

  • @Thekidsknowledger
    @Thekidsknowledger 14 годин тому +1

    Hivyo nyumba Haina CCTV camera?

  • @BlessPranks
    @BlessPranks 10 годин тому

    😭😭 uyo mama wa mtoto apigwe mawe uyo

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 8 годин тому

    Nilikuwa naona uvivu kwenda clinic na watoto wote wawili, wa kwanza miaka 6 wa pili ana miezi3, imebidi niende nao wote maana hakuna wakumuamini siku hizi.

  • @FatmahAnwar-fp9wq
    @FatmahAnwar-fp9wq 2 години тому

    Musifanye watu watoto huyo baba ni luminati ashamtoa kafara mtoto na nyinyi hamuna akili 😔

  • @AntonyGenon
    @AntonyGenon 7 годин тому

    Kamata God love Hugo ndiye mtekelezaji wa tukio maana huyo ndiye anachezeaga mahela bila kufanya kazi halali