LISSAH NA JACKLIN NANI NI EX WA NED!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 256

  • @Chakulachakiroho
    @Chakulachakiroho 4 місяці тому +15

    Team Jackie Tujuane 😅 I CAN’T WAIT 😹

  • @AgnesDavid-et3zn
    @AgnesDavid-et3zn 4 місяці тому +22

    Hawa wanamgombania nedi,, kumbe nedi yupo kwangu😂😂😂😂

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 4 місяці тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiii wee nawe muongo na wakati ned ninae mimi hapa tumelala🤸‍♀🤸‍♀🤸‍♀🤸‍♀🤸‍♀

    • @LatifaKinanay
      @LatifaKinanay 4 місяці тому +1

      Chizi kalogwa tena 🤣🤣🤣 mume wetu ameleta balaa

    • @LatifaKinanay
      @LatifaKinanay 4 місяці тому

      Kumbe lisa wa rapcha🤣🤣

    • @gidoalfred8460
      @gidoalfred8460 4 місяці тому

      Nedi anaupiga mwingiiii😂😂

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn 4 місяці тому +1

      @@nuruabraham3769 aweee hahaaaa kwahiyo nedi chawote😂😂😂 tutafte hela

  • @LilmmyCrazyfficial
    @LilmmyCrazyfficial 4 місяці тому +10

    Lil Ømmÿ Cräzÿ Øffïciål seen it
    Kubababakeeh? 😂😂😂

  • @zamaradhassan
    @zamaradhassan 4 місяці тому +7

    Mr uk pole aiseee unaumiza kichwa sana bro

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 4 місяці тому +59

    Achen kujiaibisha jamani.... Ivi hamjajua wanaume nyie.... Anaweza sema anakupenda adi akalia mbele za watu million na kumbe anakung'onga..... 😂 Mabint tafuteni pesa pendezeni muwalize hawa wapuuzi achen kujiaibisha

    • @HusnaMm-h3v
      @HusnaMm-h3v 4 місяці тому +3

      Umeonaeeee 😂😂😂😂😂

    • @LightnessAlfred-u6b
      @LightnessAlfred-u6b 4 місяці тому +2

      Kwakweli

    • @NasrahHasan-s5x
      @NasrahHasan-s5x 4 місяці тому +5

      Kweli kabisa 😆😆😆ulicho sema mi binafsi siwezi kugombana na mwanamke kisa mwanaume

    • @MariamAlly-c4f
      @MariamAlly-c4f 4 місяці тому +6

      Jmn nyie haya mapenzi mm acheni nitafute hela mm nilikua na mahusiano km haya mm nikaamua kujitoa huu ni upuuuz watt wakike tunavofanyiwa dada tafuta hela

    • @RachelMalekela
      @RachelMalekela 4 місяці тому

      Bora itafutwr hela tu

  • @omarynelson-uq3qj
    @omarynelson-uq3qj 2 місяці тому +1

    daa afu walivo wapumbavu wanaanza na neno baby wote😅😅

  • @Jenniferchambulikasi
    @Jenniferchambulikasi 4 місяці тому +7

    Akinipenda baba inatosha

  • @ibumajaamillah3195
    @ibumajaamillah3195 4 місяці тому +14

    Na utuoneshe uso safari hiii usitufichie tena huyo Ned

    • @AkxaEdwin
      @AkxaEdwin Місяць тому

      Wakuda mpo makini 😂😂😂

  • @Aisha-qd2rg
    @Aisha-qd2rg 4 місяці тому +8

    Kwa haraka haraka Jack anadanganywa mbona kwa Lisa mwanaume kashindwa kuongea na kusema tutakuja kuyaongea picha halisi anampenda neli

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 4 місяці тому

      Umeonaeee

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Місяць тому

      😂😂ata anavoongea nae tu unajua lisa anapendwa

  • @BeatricePaul-z4b
    @BeatricePaul-z4b 4 місяці тому +3

    Lisa Hamna kitu mwezio hamgandi ila nedy ndo changanoto wew na jackie wote mainnoncent

  • @FatmahAnwar-fp9wq
    @FatmahAnwar-fp9wq 4 місяці тому +1

    Mr uk mm nakupenda ww I love you🇰🇪

  • @Adijatz
    @Adijatz 4 місяці тому +1

    Kahaa tutafute hela mapenzi hakuna

  • @FatmahAnwar-fp9wq
    @FatmahAnwar-fp9wq 4 місяці тому

    I love you Mr uk 🇰🇪

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 4 місяці тому +6

    Hv nyie hamna wazazi au walezi mbona mnajishusha thaman hvy jmn

  • @Mamunabeel-hh9kb
    @Mamunabeel-hh9kb 4 місяці тому +3

    mapenz shikamoo 🙌🙌🙌

  • @reinakamgisha2558
    @reinakamgisha2558 4 місяці тому

    Akinipenda Mungu Mwenyezi inanitosha kabisaaa

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 4 місяці тому +7

    Wacha niendelee kusota oman mapezi kubabakoo viumbe kama wanaume sitaki kuwasikia😢😢😢

    • @amuckytz
      @amuckytz 4 місяці тому

      Useme hivyo jamn ni nitakuwa royal kwakk

    • @HappyNicholas-be2yn
      @HappyNicholas-be2yn 4 місяці тому

      Uuuuiiiii kudadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @chrismasiakidasi4300
      @chrismasiakidasi4300 2 місяці тому

      Tujisotee zetu mwezangu na hivi tusha zoea kukaa bila nanii 😅aka

  • @AaAa-lq7mr
    @AaAa-lq7mr 4 місяці тому +6

    Nyie wadada hamna akili... Wazazi wenu wanajisikiaje mnagombania mwanaume.. Acheni ujinga tafuteni pesa mpendeze kama ipo ipo tu hao mwanaume watakuja mnamgombania huyo mmoja hamuoni hata haya... 😮

    • @AgnethaIgnath
      @AgnethaIgnath 4 місяці тому

      Alafu mwanaume anaoa anaetakaaaa😂😂😂😂

    • @AaAa-lq7mr
      @AaAa-lq7mr 4 місяці тому

      @@AgnethaIgnath 😀😀 wanaume hawa kama kinyonga...utakuta wanaemgombania anamtu mwingine kabisa 😁😁

  • @AnnaBukuku
    @AnnaBukuku 4 місяці тому

    Wanawake waking kabisa hawa.

  • @AlexNswila-g1q
    @AlexNswila-g1q 2 місяці тому

    Mr uky mbona unazikata kata izi fanya ziwe zinaisha kabisa

  • @DeborahEmanuel-br7hq
    @DeborahEmanuel-br7hq 4 місяці тому +2

    Yani mi nkishaona mwanaume anamtu mwngne cwezi Kuanz kumtafta cjui uyo Ex nmfahamu na move on sitaki maelezo mengi 😃

  • @DarmaIgiranezahappy
    @DarmaIgiranezahappy 4 місяці тому +1

    Munakosa byakugombania bashenzi nyi

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 4 місяці тому +2

    Mmmh wanaume aisee

  • @VennieFrances
    @VennieFrances 4 місяці тому

    Jamnii uyo Nedy hajapatikana tu @mr uky

  • @DoreenRubisi-ue5im
    @DoreenRubisi-ue5im 4 місяці тому +1

    Duh wanaume na hapo ukute kuna wengine zaidi ya lisa na jack na kuna mpenz wakeee wa kumuoa

    • @AgnethaIgnath
      @AgnethaIgnath 4 місяці тому

      Yaaaani,Wanaoa wanaemtakaaa😂😂😂😂😂

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 2 місяці тому

    Hapo mwanaume ndio wa kuamua anatakia kuishi na nani😂

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 4 місяці тому

    Leta next hiyo kaka, una chelewa sana kupost story.... Tunashauku huku, uwe km wakenya wanafanya kazi mpk usiku.

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 4 місяці тому

    Jamani tunaomba pati 2 plz

  • @SarshNishael
    @SarshNishael 20 днів тому

    Ni icho kinyama tu ndo kinagombaniwa hivi😂

  • @PetronellahKashomba
    @PetronellahKashomba 4 місяці тому

    Daah,ila wadada Kuna mahali tunafeli

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 4 місяці тому

    Mbona huwaleti sasa

  • @aminamollel3571
    @aminamollel3571 2 місяці тому

    Mwenzio akinyolewa we tia maji wanaumeeee

  • @FaridaKizenga
    @FaridaKizenga 4 місяці тому

    Yani huyo mwanaume hashtuk tu!!😢😢😢

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 3 місяці тому

    Jack anadanganywaa

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 4 місяці тому

    Mr uk usiachi iyikazi hata ufanyiwe nini maana unatusaidia sana sisi wanawake🤣🤣🤣

  • @AssOii
    @AssOii 3 місяці тому

    Acheni ujinga na uyo akimpigia cm atasema ivy ivy

  • @gloryprotas1043
    @gloryprotas1043 4 місяці тому +2

    Aibu naona mimi😂

  • @festokasongi4537
    @festokasongi4537 4 місяці тому

    au wafanye both team to scole

  • @BurhanSuna
    @BurhanSuna 4 місяці тому

    Chapekeako kaburi jamani pray part yako

  • @FatmaHamadi-ly8gq
    @FatmaHamadi-ly8gq 2 місяці тому

    😂😂😂 mapenzi nyoko

  • @Eddahtz
    @Eddahtz 4 місяці тому +5

    ILa ivi viumbe Atar shikam wanaume

  • @faridakidoti6734
    @faridakidoti6734 3 місяці тому

    Hao mademu wote wanachanganywa tu

  • @miriammtaki1495
    @miriammtaki1495 4 місяці тому

    Kama.majinga hv

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 4 місяці тому +6

    Huyo mwingine si ndo anaitwa Christian yuko Mr right 😳😳 mbona sielewi hizi game 😮 huyo dada mweusi yupo pale Mr right

    • @RolooKaleme
      @RolooKaleme 4 місяці тому +3

      Ni kwel uyu mr uky mbona hatumuelewi

    • @RolooKaleme
      @RolooKaleme 4 місяці тому +2

      Kule anaitwa christina vp uku anaitwa Jack Lynn

    • @philemonlasway2721
      @philemonlasway2721 4 місяці тому +1

      Awa wahuni tu wanaigiza

    • @IRENEKOMANYA
      @IRENEKOMANYA 4 місяці тому

      Wanaigiza washenz hawa😂😂😂😂

    • @asmahmwingiro61
      @asmahmwingiro61 4 місяці тому +1

      Yann hz content za kutengeneza na huyo lisa ni happy nmesoma nae secondary dar sec😂

  • @EstherEsamaMagero
    @EstherEsamaMagero Місяць тому

    Mr Uk huwa ni dukani tu jmn😂😅

  • @فاطمهال-ص7ت
    @فاطمهال-ص7ت 4 місяці тому

    Mm siwezi pigana kisa mwanaume

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy 3 місяці тому

    Jamani Mimi binafsi sigobaii mwanaume ni namaliza shida yangu napita ivi watu wa chuga hatunaga kumngangania

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 4 місяці тому

    Hao wadada wote niwarembo

  • @SesiliaMkude
    @SesiliaMkude 3 місяці тому

    Nakuunga mkono tutafute pesa tupendeze sokoni wateja kibao wewogopi

  • @getrudamsigwa2776
    @getrudamsigwa2776 4 місяці тому

    Nyie wanaume 😢😢😢

  • @NeemaIbrahimu-c2l
    @NeemaIbrahimu-c2l 2 місяці тому

    Mweeeh! Ushamba tyu mnagombania mwanaume kwani ana maajabu Gani au ana muone Kano nzur kuliko mwanaume gani

  • @WitnessMtasima-i9s
    @WitnessMtasima-i9s 3 місяці тому

    Wanamumeeee guyyyyyyyy😂😂😂😂😂😂😂mapensiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂

  • @MwajabuMtitu-co6wx
    @MwajabuMtitu-co6wx 4 місяці тому

    Mmh makubwa

  • @FadhilaSalim-uy6jq
    @FadhilaSalim-uy6jq 4 місяці тому

    Wadada wenzangu nendeni taratibu jamaniiii wanaume ndo walivyoooo

  • @Jamila96_juma
    @Jamila96_juma 4 місяці тому +1

    Ukifatilia sana,wanaume hua wanachagua wanawake wanaofananiana

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 4 місяці тому +1

    ila wanaume Mmmhhh

  • @RACHELFESTO-pt6fv
    @RACHELFESTO-pt6fv 4 місяці тому

    Hiv nkiamzisha ufugaji wa mende unalipa,, maana mapenzi siyaelewi kabisa😂😂😂😂 nishauliwe

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 4 місяці тому +2

    Mwenye t,shet ht akichaguliwa bado ataachwa tu kashachokwa ye ndo kigaga

  • @meryorotha671
    @meryorotha671 4 місяці тому

    Lissa anamuona mwezie kituko yey ajafikia levo ya x duh nauyo ned kimchakua jack lisa atazima 😂😂

  • @debbykasitu6990
    @debbykasitu6990 4 місяці тому

    Sasa huyo Chistina au Jack si angerudiana na ex wake aliyemfuata kwenye kipindi cha Mr Right anaitwa Chriss

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 4 місяці тому

    Do that bro

  • @innocentcareen818
    @innocentcareen818 4 місяці тому +1

    YANI HUYU WANGU ASIJARIBU ATAONDOKA NA BOKSA TU😅😅😅WAKAISHI HUKO😅

  • @Goldenbutterfly-hk1hp
    @Goldenbutterfly-hk1hp 4 місяці тому +2

    Yaan wanawake wa skuhz sjui wapoje...badala mwanamke ndo ugombaniwe et ww ndo unagombania😂😂😂n ajabu sana hii

    • @AgnethaIgnath
      @AgnethaIgnath 4 місяці тому

      Kabsaa😂😂😂

    • @FurahaPeter-iz7ef
      @FurahaPeter-iz7ef 4 місяці тому

      Sensa imeonesha wanaume wako wachache😂

    • @AminaBakari-pf6up
      @AminaBakari-pf6up 4 місяці тому

      Wallah nawashangaa sana mm Sina mda uwo ila nashukur Allah mm ndio nagombaniwa wallah alfu mm nawaona kama mafala vile watoto wa Mama mkwe

    • @Goldenbutterfly-hk1hp
      @Goldenbutterfly-hk1hp 4 місяці тому

      @@AminaBakari-pf6up yan alaf tukiambiwa hatujielewi tunasema tunatukanwa

  • @deelinus3080
    @deelinus3080 4 місяці тому

    Wote ni bby , umu tu💔😂😂🙌🏾

  • @naomipaul8984
    @naomipaul8984 4 місяці тому +2

    kwani ned ndo mwanaume pekeakee 😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому

    Wa dad a tafuten kaz achen kugombania mwanaume

  • @josephinelucian9699
    @josephinelucian9699 4 місяці тому

    Wanaume shikamooo

  • @SoohiedavidMasika
    @SoohiedavidMasika 4 місяці тому

    Mje mnifanyie challenge mim na hela kwann inanisalitii😢😢😢

  • @BestonMfikwa
    @BestonMfikwa 4 місяці тому

    Kila demu ana mtu

  • @LightnessTety
    @LightnessTety 4 місяці тому +1

    Embu tusubir kumuona huyo kaka mwenyewe kwamana ni vituko😅😅😅

  • @AkimanarehemaAkimanarehe-nh1qr
    @AkimanarehemaAkimanarehe-nh1qr 4 місяці тому

    😂😂tafuteni pesa nyiye wana wake acheni ujiga

  • @angelmsalilwa517
    @angelmsalilwa517 4 місяці тому

    Wazazi Huwa hawazionii hizi interview jamanii

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 4 місяці тому

    my best reaction kutoka Lisa ni dakika ya 1:20 mpaka 1:30 hahaha aliposikia ned wamerudiana na huyo mwingine na wana kama mwezi

  • @TasmiaDulla
    @TasmiaDulla 4 місяці тому +1

    Mapenziiiiii🙌🙌🙌

  • @prettykidoti9775
    @prettykidoti9775 4 місяці тому

    Jamani wanawake X harudiwi

    • @DM.2200
      @DM.2200 4 місяці тому

      Akirudiwa ni ndoa inafuata

  • @DynessYahaya
    @DynessYahaya 4 місяці тому

    Hicho chenye nguo ya mistar Mr right kimeshndwa kinarud kwa ex

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 4 місяці тому +1

    Nyinyi wanawake washezi sana tafuteni pesa wachen ujinga

  • @officialtenendejr360
    @officialtenendejr360 4 місяці тому +3

    Part 2 ya happy na mama yake unaitoa lin

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 4 місяці тому

      Amezingua sana kwenye hii, ameipotezea sanaa aisee

    • @zenaahmadebwa5910
      @zenaahmadebwa5910 4 місяці тому

      Ety Jaman

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 4 місяці тому

      @@zenaahmadebwa5910 kumbe wengi tunaisubiri

  • @Sophlizzy21
    @Sophlizzy21 4 місяці тому +3

    Kumbe bado watu wanawaamini wanaume???

    • @precious.1101
      @precious.1101 4 місяці тому

      Hata mimi nashangaa km mtoto

    • @ZuwenaMohammed-fp4yv
      @ZuwenaMohammed-fp4yv 4 місяці тому

      Yaan mapenzi ya siku hizi utakavyo kuja ndoivo utapokelewa😂😂 lakin siyo nikuamin ilo sahau

    • @LucyCornery
      @LucyCornery 4 місяці тому

      In suzibale's voice😂😂😂😂😂😂​@@ZuwenaMohammed-fp4yv

    • @maimunaulotu2075
      @maimunaulotu2075 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂wanaume ndo nini kwani......

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому

    Mwanaume mwenyew ndo huyo ifike mda mj8tambui

  • @Salma-ho6wx
    @Salma-ho6wx 4 місяці тому

    Ila lissah anaforce na akiitwa akija mm naamin atamchagua ex

  • @EvelinaRwabuhaya
    @EvelinaRwabuhaya 4 місяці тому

    Shida Yako huonyeshi miendelezo

  • @Amollahedrissa
    @Amollahedrissa 4 місяці тому

    Hyo nguvu ya kugombania mwanaume naitoa wap kwanza khaaa😅😅😅😅😅

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 4 місяці тому

    Muda wakuwagombea wanaume mnautoga wapi tafuten kazi muwe bz acheni na mstapeli waiyo miili yenu

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 4 місяці тому

    Nyote vinganga

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 4 місяці тому

    Jack anaforce kupendwa aisee
    Ex ndio anapendwa hvyo jack atulize komwe 😂

  • @julithahonesti
    @julithahonesti 4 місяці тому

    Tunataka tuone sura za hao wanaume visiran uky

  • @davidsarya9950
    @davidsarya9950 4 місяці тому

    Mnasema michezo ni afya endeleeni kuchezewa

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 4 місяці тому

    I am very beautiful but I decided to be single,hizi. Pimbi. Zitatuua na. UKIMWI

  • @debbykasitu6990
    @debbykasitu6990 4 місяці тому

    Huyo mwenye nguo ya mistari si Christina alikuwa kwenye season 5 ya Hello Mr Right iliyoisha wiki tatu zilizopita mbona maigizo haya.🙄

  • @AkxaEdwin
    @AkxaEdwin Місяць тому

    Wanaume ni NYOKO 😂

  • @kuruthumumussa
    @kuruthumumussa 4 місяці тому

    Nyie nyieeee achen tu hela ngumu sio pow ila nashindw kuelew jamn kumbe wat wako seriously kias hiki kupambana na dume mhhhhh simooo mm mtoto wa mama😂

  • @blancacredo681
    @blancacredo681 4 місяці тому

    Duh 😢

  • @elisifagabriel3116
    @elisifagabriel3116 4 місяці тому

    muwe wawili tu

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 4 місяці тому

    Ila lisah nakuonea huruma

  • @elinekileo6229
    @elinekileo6229 4 місяці тому

    Mtu anakuchiti halafu bado upo nae tu

  • @AshaMminge
    @AshaMminge 4 місяці тому

    Hivi hii inakuaga kwel au maigizo😅

  • @stellamayagi3387
    @stellamayagi3387 4 місяці тому

    Duh

  • @DianaMhule
    @DianaMhule 4 місяці тому

    Nyie wadada mtapumzika mkifa😂

  • @MagrethMahembe
    @MagrethMahembe 4 місяці тому

    jamn mwanaume ndo walivyo jmn hivo ni kujidhakilisha mi huo upuzi sifanyi kikubwa ananihudumiaa sihangaiki