MUMAMA ALETA BARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @MerryElias
    @MerryElias 10 місяців тому +66

    Uyo dada ana ukubwan wowote SEMA ana mwili TU safi sana kibonge mwenzangu naiyo ndio dawa Yao wanaume kama awa wanaopenda kulelewa

    • @kingdavid5605
      @kingdavid5605 8 місяців тому +3

      Vibonge mnavyojikubali sasa

    • @hottrending1030
      @hottrending1030 8 місяців тому +1

      Unamtetea mshangazi mwenzio 😂😂😂😂😂

    • @MamaShalon-n2c
      @MamaShalon-n2c 8 місяців тому +3

      Sio mkubwa ni bonge tu kama Mimi 😅😅

    • @Sedddysteward
      @Sedddysteward 6 місяців тому +1

      Saf sanaaa yan alchofanya

    • @WinnifridaMbise
      @WinnifridaMbise 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂 apo sawa

  • @najmahashiri-fb1kl
    @najmahashiri-fb1kl 10 місяців тому +31

    Dada bonge kaz nzuriii🔥🔥

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 8 місяців тому +3

      Kweli mwanaune hata umhonge roho kama hakipendi ni hakupendi looooh😢😢😢😢

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 8 місяців тому +1

      Hamna cha kazi nzuri mjinga anahonga kisa mapenzi bogasi mmoja

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 5 місяців тому

      Naleo Alex waend lal wapi

  • @ThomasKibutwa
    @ThomasKibutwa 10 місяців тому +4

    Hii Kali kinomanoma. Nimempenda Bure dada kibonge. Hayo ndo maamuzi ya busara. Mi ningevunja mtu nywele.

  • @jameskiokote
    @jameskiokote 3 дні тому

    Hongera shangazi uko vzuri nimependa sana

  • @SashaSanjay-x9e
    @SashaSanjay-x9e 6 місяців тому +4

    Makofi Kwa huyu dada kibonge fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kitagabriel6418
    @kitagabriel6418 День тому

    Kibonge mwenzangu very nice😂😂

  • @jacksonpeter8629
    @jacksonpeter8629 10 місяців тому +14

    This script gonna be best ever
    Ooh brilliant!

  • @yeazdavidginos9098
    @yeazdavidginos9098 6 днів тому

    Na mtaka uyo mdada mnene ❤ ni mchukuwe

  • @PhilipoEdson
    @PhilipoEdson 10 місяців тому +3

    Nakubali mr uky huyo jamaaa mwambie atafute kazi asileleweee

  • @DededeMusa
    @DededeMusa 2 місяці тому

    Walio pewa neema waliikata ningempata mimi kama uyo mdada mweusi singe muacha kweli mimi nataka mwanamuke mwenye pesa zake ila isiwe tu na ukimwi☝️

  • @AllyMgawe
    @AllyMgawe 10 місяців тому +8

    Dah , kulelewa kubaya wanaume wenzangu tufanyeni kz , tuache hayo mambo sio mazuri , mtazalilika vibaya sn

  • @bonifacethomas4762
    @bonifacethomas4762 8 місяців тому +14

    Jaman hyu dada mweusi she is good woman.kwa haraka Karaka nilivyo mtizama,hana bayaa kabisa,na akipenda anapendaa kweli

  • @isackkimath8471
    @isackkimath8471 10 місяців тому +3

    Daa Baharia kaumbuka kinoma😮

  • @eddswidu7941
    @eddswidu7941 10 місяців тому +6

    Oy oy oy....UKY umetisha kinoma chali wetu, afu huyo mshkaji ni ndondocha kikuzi, anachukua huku anapeleka kule, Mr UKY mshaur mshkaj afanye kazi aache ufala

  • @KuluMsangi
    @KuluMsangi 7 місяців тому +15

    Nimempenda mumama kafanya vzr nyng'anya CIM zote na line pia ni zake😂😂😂😂😂😂😂😂vijana tafuteni pesa muishi na mueapendao

    • @anuaryyusuph9705
      @anuaryyusuph9705 6 місяців тому

      sema mchizi kazingua anaukataa utajiri kisa huyo kiswaswadu brother kweli mwenye bahati habahatiki

  • @TinaZawqdi
    @TinaZawqdi 6 місяців тому

    Jamani nimecheka kama mazuri,, hongera zake kibonge,, kwann wanaume umnawaziba sura wakati wao ndio washenz

  • @ollenshamba
    @ollenshamba 10 місяців тому +23

    😅😅😅dada umeyakanyaga rudisha simu alfu pambana na arex wako mwanaume mjinga huyo hapendeki analelewa akatafute kazi,😅😅

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 місяців тому

    Dada safi sana. Yaan huyu kama yule wa oman yalivyomkuta❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @eddazakariasulusi2884
    @eddazakariasulusi2884 8 місяців тому +15

    Jaman msitufanyie ivyo sisi wamama, asante mmewngu mzee mwenzangu kwa kunisitir

    • @HappyBrown-gq7oe
      @HappyBrown-gq7oe 8 місяців тому

      Mshukuri Mungu Kama huyo mzee katulia nao wanatafuta vibint

  • @lucas-n6l3g
    @lucas-n6l3g 6 місяців тому

    Haaaaaa 😮😮😮😮😮😮😮 hadi boksa uwiiiiiii jirani uku kwa mumama

  • @faudhiaadam6773
    @faudhiaadam6773 8 місяців тому +9

    Huyu dada itakuwa mhaya alafu ni black cute kazuri sana ila wanaume shikamoooooo

    • @anuaryyusuph9705
      @anuaryyusuph9705 6 місяців тому

      mchizi kazingua sana mimi nakubali wote afu nachagua wakubaki nae siwezi piga fuko lahela teke yani hapo ntamuambia aunganishe kabisa mawasiliano yake na yangu nikipiwa ajue naongea nanani kisha naomba pesa ndefu yamtaji nanzisha bishara yangu mwenyewe nahalalisha pesa haram kua halali

  • @Zlfa-y2p
    @Zlfa-y2p 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂Nimependa sana hii et simjui hahaha alf unapokonywa vitu vyote😅😅😅😅

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 7 місяців тому +6

    Mmh huyo dada so mkubwa ila mwili tu she is so beautiful ❤️

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 5 місяців тому +1

    Dada mweusi nimempeeeendraaaaa❤❤❤😂😂😂

  • @HosianaOlotu
    @HosianaOlotu 5 місяців тому +7

    Hana umama wowote chibonge wangu

  • @EsterVuriva-bl6mb
    @EsterVuriva-bl6mb 6 місяців тому

    Kijana Alex katafte kazi achana na mashangaziii......kumbe unalelewa jamn wakaka katafteni kadhiiiii....

  • @JanethNathan
    @JanethNathan 8 місяців тому +5

    Mdada mweusi ni mzuri kinoma

  • @GIPSONURASSA-xl7cr
    @GIPSONURASSA-xl7cr 10 місяців тому +2

    Daaaah mnaambiwag fanyn Kaz analet usenge ona sas daaa mwana kazingua atr

  • @SabrahamiduNassoro
    @SabrahamiduNassoro 6 місяців тому +4

    Mambo ya aibu sana ayaa😅😅😅

  • @anuaryyusuph9705
    @anuaryyusuph9705 6 місяців тому

    daaa mwana kazingua kichizi angemkataa kiswaswadu aende abaki na mshangazi mchizi kavu kinoma

  • @johnsonjoseph6544
    @johnsonjoseph6544 9 місяців тому +5

    Mwamba mshamba sana mie ningekuchek Mr Uk umekaaje alafu nakupa shit naondoka zangu ili Kila mmoja anitafte Kwa muda wake akuna mwanaume wa mwanamke mmoja duniani

  • @ArleyJr
    @ArleyJr 5 місяців тому +2

    Mu mama nimekupenda ❤❤❤

  • @anoldmajivuno684
    @anoldmajivuno684 10 місяців тому +2

    Mwamba mjinga sana ,kwanza unakubali vipi kukaa ukimuona mr uk

  • @annastaziaibrahim3711
    @annastaziaibrahim3711 10 місяців тому +1

    Dah ! mbyaa San Bora umeona mshika mawlii Moja uponyoookaa ilaa kwakoo wew naon kma mawilii yotee yanakuponyookaaa😢

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 8 місяців тому +4

    Kwanzaaaa hatuaaaa ya kwanzaaa ogopaaa mwanaumee anaevaaa cheniii

  • @AnzeraniSalee
    @AnzeraniSalee 4 місяці тому

    Hujachelewa dada Katoe kwa mayatima MUNGU atakulipa kah wanaume hawa jmn 😢

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 10 місяців тому +20

    Najiamini nipo pekeyangu ndo maan natambaa😂😂😂

  • @Emmanuel-r1h7e
    @Emmanuel-r1h7e 10 місяців тому

    Mmmh 😢 jaman hili limenigusa wakina Alex shikamoniiiii,,,, Pole Tyna coz ni aibu unaweza zimia mtu anakuja anakuhudumia kumbe anahongwa Hana chake duuuuuh noma sanaaaaaaa

  • @hawaeliguard3835
    @hawaeliguard3835 7 місяців тому +7

    Mi nashangaa wadada mnawaonesha ila wanaume hamuonyeshi… naomba waonekane wote bwana

  • @gracemtaki2476
    @gracemtaki2476 7 місяців тому +1

    Mungu nibariki Hela km huyu dada ntambe mjini

    • @RealProffesiona
      @RealProffesiona 7 місяців тому

      Usijali tupambane ndo maana virus vinazid kuenea kwaujinga huu

  • @MiddyTuesday-on8jp
    @MiddyTuesday-on8jp 10 місяців тому +22

    Movie kabisa hii yan mtoe simu bila lain😂

    • @RamadhanyKhamis
      @RamadhanyKhamis 10 місяців тому

      Kama kwel ivi

    • @hunterboytz2124
      @hunterboytz2124 10 місяців тому

      Tena unajuaje hio cm ni yako mdada mwenyewe hafanani na pesa

    • @neemaneychricious6493
      @neemaneychricious6493 8 місяців тому +1

      kuan watu wanapesa na hawajionyesh kumbuka ckila mtu mpak avae vzr ndio anapesa

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 8 місяців тому

      Hasira hukumbuki kutoa lain unakwenda kuikatia mbele ya safari huko

    • @EliechiKimario
      @EliechiKimario 5 місяців тому

      Hpo kwenye kadi ya benk

  • @HamiduMlula
    @HamiduMlula 5 місяців тому

    😂😂😂😂alex kafeliiii 😂😂😂😂mumama ange mnunulia gali alex jau ahahaha dah

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 10 місяців тому +22

    safi sana kazi nzuri mwanaume malaya wacha adhalilike

    • @ManyemaCollection
      @ManyemaCollection 10 місяців тому

      Kabisa wanaume hawaridhik kabisa

    • @Mdenya
      @Mdenya 9 місяців тому

      Sasa apo kadhalilika au ndo kaonekana n kidume alicho zingua n kulelewa tu lkn kuhusu kuchapa izo mama enyew n uhakika Acha azirarue kmk

  • @MfaumeNgare
    @MfaumeNgare 8 місяців тому +1

    Daaa inaumiza saana aisee.pole Maria

  • @FloraRichard-mq2gv
    @FloraRichard-mq2gv 10 місяців тому +3

    😂😂
    Nacheka Lkn Sijui Nacheka nn😂

  • @JeyscarPrincesy
    @JeyscarPrincesy 5 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂vibonge hoyeeeeeeeeeee kumanina zawad alinpa beb jinga weeee

  • @manboempakulo7876
    @manboempakulo7876 10 місяців тому +4

    Dunia ina mengi hii nilijuwa nimeona vyote kumbe bado yapo mengi sijayaona 😅😅😅😅

    • @Munayya-g2p
      @Munayya-g2p 5 місяців тому

      Kaa kwa kutulia kiasi yapo mengi tungekwambia ila utayazagaaaa 😂😂❤

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 5 місяців тому

      ​@@Munayya-g2p😅😅😅😅😅

  • @FestoMzola-v5h
    @FestoMzola-v5h 2 місяці тому

    Daaah huyo mshangazi nimemuelewa

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 10 місяців тому +90

    Nikimuona mtu anasema anaitwa alex nakimbia 😂😂😂

  • @officialtenendejr360
    @officialtenendejr360 10 місяців тому

    Daaaaaah mwamba alex big up ila.umezngua

  • @mdududebst8933
    @mdududebst8933 10 місяців тому +4

    Mbn line hazijatolewa punguzeni uongo

  • @PrettyNoura-p5p
    @PrettyNoura-p5p 10 днів тому

    Hii movie kari sana maan haiendani na uasilia😂

  • @sevinkagisa7073
    @sevinkagisa7073 10 місяців тому +4

    Hizi movie mii nshakupiga

  • @GillyKaran
    @GillyKaran 2 місяці тому

    Af we jamaa mgombanishi kinoma kazi nzur😂

  • @AgnesLubida
    @AgnesLubida 3 місяці тому

    😂😂😂yaan nimecheka kama mjinga hahhahahaha nikimsikia Alex mabibo nakimbia naviatu nitashika mkononi 😂😂😂😂😂😂

  • @hottrending1030
    @hottrending1030 8 місяців тому +1

    Kibonge anauchu maana akuna atakae mtaka 😂😂😂😂😂 mumamaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 3 дні тому

    😂😂 vijana wanapenda mserereko

  • @ZaiduZaidu-f1j
    @ZaiduZaidu-f1j 6 місяців тому +1

    Uyo Dada Cheuc Mangala alieitwa Mumama Namtaka mm Jamani tuleanee

  • @AllySalim-w9l
    @AllySalim-w9l 5 місяців тому

    Mme act vzur sema mmesahau kudai LINE😂😂😂😂😂

  • @EmmySiwale
    @EmmySiwale 6 місяців тому

    safisan dada ugekuwa kalibu ningekupa zawadi Kevin jooo nakwetuu hiyo tabiya ipoo mijana umekama iyooo imejaa jooo mbeya kak yangu jamni joooo mim

  • @NeemamzavaMzavaneema
    @NeemamzavaMzavaneema 5 місяців тому

    Wew mfany challenges naomba ukujeeee tumfanyie wa kwangu

  • @elenlazaro3192
    @elenlazaro3192 8 місяців тому

    Jmn kina Emmanuel...kevo....Alex....juma....Kuna muda mtakosa wake😂😂😂😂😂

  • @munyagile
    @munyagile 10 місяців тому +1

    Nimekkubali, sanaa. Ila hii mbona imekaa kama scriptured😂😂

  • @dafrozamashaka
    @dafrozamashaka 10 місяців тому

    Ukipata limama likomoe, likupe pesa huu mwaka utoboe😅😅 Alex well done huu mwaka ni mwaka wa kuforce😂

    • @Sharifa_Fashion_21
      @Sharifa_Fashion_21 10 місяців тому

      😂😂😂😂watafute pesa huko vijana wanapenda mtelezo

  • @SabrahamiduNassoro
    @SabrahamiduNassoro 6 місяців тому +1

    Kupenda vya mteremko ivi balaa😅😅 zaliliko ili

  • @SharifuAlbughuli
    @SharifuAlbughuli 5 місяців тому +1

    Kwan wamaama kam Hawa bdo wapo mpk kod wanalipa. Me. Mbn napat wasio na el na nawakoleza kinoum an😢😢

  • @reymah1194
    @reymah1194 4 місяці тому +1

    Mwana kulitafuta mwana kulipata 😂😂

  • @ephraimmuhozya9311
    @ephraimmuhozya9311 4 місяці тому

    Mshikaji hajielewi kabsa unapendwa af unachit sehem sahihi ungetuliza wenge mkajenga maisha bora

  • @Ney255Anania
    @Ney255Anania 10 місяців тому +1

    Hapa Mzee umetupanga so kweli hiyo clp haina ukwel wowote hiyo ni movie

    • @ZalhathamohdSaid-qn4jj
      @ZalhathamohdSaid-qn4jj 10 місяців тому +1

      nilikuwa naitafuta hii coment kiukwel hyo clip ni sanaaa 😂😂😂😂😂

  • @zaynananxoury6924
    @zaynananxoury6924 10 місяців тому

    🤣😂ilskika sauti ya dayoo eti huu mwaka wa kuforce ona Sasa kamponza Alex na Tina(tyna) wake🤣😅😂

  • @Joanitajohn-h8w
    @Joanitajohn-h8w 7 місяців тому

    Mumama hahahaha uwiiiii dunia.nikubwa jamniii

  • @EsterVuriva-bl6mb
    @EsterVuriva-bl6mb 6 місяців тому

    Mbona hamuoneshii suraa za wakaka bnaaa haki sawaa waoneshenii tuwaoneee ili wakimbiweeee banaa

  • @zahrasaid2622
    @zahrasaid2622 7 місяців тому

    Heheheeee mumama Safi Sana kukomesha vijana wano penda kulelewa

  • @BennyJumah-hd8yf
    @BennyJumah-hd8yf 7 місяців тому

    Ninacho jua mm hapo kunavijana wapo kumtafuta mumama wapoe hapo kam Alex 😂😂😂😂

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 місяців тому

    Mimi nimefkiri mishangazi haisumbui kumbe nao wanacharukaga 😂😂😂😂😂

  • @ombeniefata2239
    @ombeniefata2239 10 місяців тому

    Da pole sana dada kweli mapenzi noma

  • @dainesszuber7404
    @dainesszuber7404 8 місяців тому +1

    Kakusevu jimama kwasababu unamuhudumia 😂😂😂😂😂Jimama tafuta mzee mwenzio achana na given ten

  • @PriscaMgata
    @PriscaMgata 4 місяці тому

    Ng'ombe ya masikini uwa hazai kipenzi😂😂😂😂🎉

  • @ManyemaCollection
    @ManyemaCollection 10 місяців тому

    😢😢😢😢jaman dada pole Sana wanaume hawafi hata kidogo yaliwah kunikut kukataliwa mbele ya mwanamke mwingin 😢😢😢

  • @PriscaMgata
    @PriscaMgata 3 місяці тому

    Ngo'mbe ya masikini😅😅😅

  • @emmatryphone6921
    @emmatryphone6921 6 місяців тому

    Mumama nimekupendaaaa

  • @HusnaMtitiko
    @HusnaMtitiko 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂 jaman huyo mdada bora asingetaka huko ukweli ona sasa kimemlamba

  • @Mwanatanga
    @Mwanatanga 5 місяців тому +1

    Eti pesa zngu Bora niwape mayatima ndio unakumbuka xx mshamba ww wa mpnz😂😂

  • @HosianaOlotu
    @HosianaOlotu 5 місяців тому

    Daaa Alex mpuuzi Sana eti mumama dada WA watu mdogo jamani

  • @sophiemtitu9921
    @sophiemtitu9921 8 місяців тому +1

    Nimeipenda pokonya hadi wembe kam ulimnunulia anyoe mbwa hawa

  • @rahabumengi9305
    @rahabumengi9305 6 місяців тому

    We dada kwani huko kwenu hauna ht wajomba zako ukawapa hizo pesa mpk ukamlee watoto wa wanawake wenzio hongera sana, jamani sisi wanawake tuamke kutoka kwenye usingizi

  • @adidjastamili6389
    @adidjastamili6389 10 місяців тому

    Ivi jamani nataka ukweli kwanza ivi iyo inakuwaga kweli ao nimaigizotu munijibu ukweli kwawale ambao wanaishi uko mimi naishi Congo

  • @MerryJastin-u7u
    @MerryJastin-u7u 10 місяців тому

    Dada unanifanya mweupe nyoooooo unapata mabwana vibenteny hahahahaha pole xhogilee lakooo ilooooooo😂😂😂😂

  • @elizabethngowi6184
    @elizabethngowi6184 10 місяців тому +1

    😢kwa hiyo sasa nampenda mumama atar safiiiii

  • @sophiarajab5476
    @sophiarajab5476 8 місяців тому

    Mi nadhani Alex amefanya vizuri kumkana huyo Mumama🤣🤣,bhana wee Mumama kajipendeza Sasa Lex boy afenyeje??we dada mrembo endelea na Lex wako Mumama kashaachwaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 9 місяців тому +2

    Hongera dada kibonge nimekupenta

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 8 місяців тому

    😂😂😂Muoneshe huyo mwamba huenda kuna mwingine humuu😂😂😂😂

  • @lawrenciamkolwe796
    @lawrenciamkolwe796 5 місяців тому

    Mmama safi sana kipenzi chatu ila usirudie kuhonga tena

  • @PendoPeter-n2u
    @PendoPeter-n2u 5 місяців тому

    Mbona mnafichaga sura za hao wanaume achen tuwajue jmn

  • @Mercy-i5g
    @Mercy-i5g 10 місяців тому

    Hahahahaaaa Alex umepgaje hapoooo ombaa msamah Kwa mumamaa

  • @AugustinoKanga
    @AugustinoKanga 6 місяців тому

    Nakuunga mkono dada bonge,mtu mwenye dharau dawa yke ni hyo

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 8 місяців тому

    Duuu!! Yan kuna mijinga inalelewa inapewa kila kitu hadi kadi ya bank alafu unamsaliti ona sasa amekosa vyote haha😂😂😂😂😂😂😂 katafute zako mbwa wew unapendwa hupendeki manina wew 😂😂😂😂😂😂😂

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 10 місяців тому

    Tatizo shangazi mwenzangu mnapenda kulea 😂😂😂hawa vijana wanataka wamama wakuwalea 😂😂😂😂he hadi cadi ya bank

  • @Husna-pn5gg
    @Husna-pn5gg 5 місяців тому

    ivi hawa wanao wahudumia wanaume wanapata ujasir gan jamnii😂😂😂

  • @LoperwizzyNickboy-bk7tv
    @LoperwizzyNickboy-bk7tv 5 місяців тому

    Alex huyuu nani akoo humjui na umemsave mumama wako😅😅