14 Kwa BaMkwe Tena

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2016
  • Aman Thani Fairuz anaelezea yaliompata baada ya kukimbia Abdulaziz Twala na Idris Majura kutoka jela ya Langoni. Aman alijua na yeye atingia matatani kwa sibabu ya urafiki wake nao.
    Kachukuliwa kutoka Langoni akapelekwa gereza ya Kiinuamiguu akatiwa condemn cell.
    Baada ya masiku akahamishwa akapelekwa kwa Bamkwe (Mandera).

КОМЕНТАРІ • 43

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому +2

    ameen ameen ameen ya rab l-alameen wazee wetu wote waliotangulia mola awajaalie makaazi mema peponi

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 років тому +1

    Safi sana kwa kutujuza dhulma kubwa imepita ndo mana maendeleo hakuna

  • @MalikAlKindy
    @MalikAlKindy 4 роки тому +2

    Wanaofananya dhulma ni makafiri wanaokanusha siku ya hisabu; siku ambayo watatamani wangelikuwa ndio waliodhulumiwa. Lakini majuto ni mjukuu maana wakati walio dhulumiwa wanafunguliwa milango ya pepo, wao wanafunguliwa milango jahanam. Humo Ba Mkwe atakiona cha mtema kuni. Baraza litakutania huko kupanganga ya kutoroka humo. Lakini ya guju!

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому +1

    ina lillah waina ilayhi rajioon ya rab mpokee mja wako hali ya kuwa umemridhia ameen

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 4 роки тому +1

    Huyu mandera alikuwa mtu mbaya sana.

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 8 років тому +1

    Ahh!! Wako wapi wote walofanya dhulma hiyo?? Moto wa jahannam unawachoma miili yao usiku na mchana!!!

  • @adilafadhil3389
    @adilafadhil3389 8 років тому

    Allah atuzidishie subra
    Ameen

  • @salehalkindi7028
    @salehalkindi7028 8 років тому

    Shukran kwa kutuarifu kuwa hapo ndipo yalipoeshia mazungumzo.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Saleh Al Kindi Sasa part 15 mpaka 26 ipo kwenye mtandao.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 місяців тому

    👊✌️👍.

  • @hafidhshafidh
    @hafidhshafidh 8 років тому

    Yer very interesting story....tunaweza kupata parts zilizobaki???....shukran.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Hafidh Hafidh Mpaka sasa mazungumzo yameishia hapa.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Hafidh Hafidh Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Hafidh Hafidh Part 15-26 zipo kwenye mtandao.

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 8 років тому

    Mzee Barwani weka parts zilizobakia!

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +saif Sharji Mpaka sasa mazungumzo yameishia hapa.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +saif Sharji Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 8 років тому

      Duh!! Nilikuwa na hamu kusikia mwisho wa mzee wetu Amani hadi kufika UAE aliko kimbilia...asante kwa kutupatia mwangaza wa historia kwa hizi clip..

  • @ibrahimmohamed9836
    @ibrahimmohamed9836 8 років тому

    innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun.hiyo part ya 15 ikipatikana tutajuaje inshaallah?

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Ibrahim Mohamed Part 15 mpaka 26 ipo kwenye mtandao.

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому

    ya rab ghfrilahu wa rhamhu

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому

    shame wallah

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому

    if I can get your email I will send you my address. I can't wait to read my history subhanallah. all we know is AZIMIO la ARUSHA as our history.

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому

    we can contact then I will give you my address to send me the books inshaallah

  • @samidau
    @samidau 8 років тому

    Tunaomba part ya 15 ipo ??

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Sami Haji Mpaka sasa mazungumzo yameishia hapa.

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 8 років тому

    pls parts zilizibakia

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +hudaa saalim Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +hudaa saalim Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @hudaasaalim1333
      @hudaasaalim1333 8 років тому

      +MzeeBarwani in shaa Allah I can't wait wallah. kumbe dhulma ilipita kwenye visiwa hivi. subhanallah. babu yetu hakutueleza haya. mm ni mjukuu wa maalim salim Kombo. Na yy alifungwa miaka 10

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +hudaa saalim Nilimjua Babu yako MaalimSalim Kombo. Mwenyezi Mungu amlaze pahala pema na amlipe alivo dhulumiwa bure kwa pepo ya firdaus.
      Halaumiki Sheikh Salim Kombo kua hakukuelezea yaliomkuta yeye na wenziwe kwenye magereza ya Nyerere, kwani khfu iliokuweko kwenye nchi ilikua kubwa sana.
      Ukunipatia address yako nitakutumia kitabu cha Sheikh Ali Muhsin barwani aliekuwa mwalimu wa babu yake halafu akawa mwenziwe katika serekali ya kidemokrasia ilyopiduliwa hapo ilipovamiwa Zanzibar na waBara. Pia soma kitabu cha Dr. Harith Ghassani "Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru".

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +hudaa saalim Pia msome Prefesa Ibrahim Noor kwenye kitabu chake "Tanzania na Propaganda za Udini".

  • @salehalkindi7028
    @salehalkindi7028 8 років тому

    Tunaomba part zilizobakia 15 na nyenginezo kama zipo.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Saleh Al Kindi Mpaka sasa mazungumzo yameishia hapa

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Saleh Al Kindi Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Saleh Al Kindi Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Saleh Al Kindi Part 15 - 26 zipo kwenye mtandao.

  • @salmaalharthy223
    @salmaalharthy223 8 років тому

    part ya 15 haipo?

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Salma Alharthy Mpaka sasa mazungumzo yameishia hapa.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Salma Alharthy Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

    • @MzeeBarwani
      @MzeeBarwani  8 років тому

      +Salma Alharthy Sasa part 15 - 26 zipo kwenye mtandao.