Zijue mbolea na viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 кві 2024
  • mboleakwa ajiri ya soil nutrients na viwatilifu kwa ajiri ya wadudu waharibifu na magonjwa kwenye kilimo cha mahindi ni changamoto kubwa na hivyo kuathiri uzalishaji kwenye kilimo, video hizi zinakusaidia kutambua aina za mbolea zinafanya vizuri na kuongeza uzalishaji shambani kwako, kwa maelezo zaidi tupigie kwenye namba 0750406919
    mbolea za mahindi # viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi. # magonjwa ya mahindi .

КОМЕНТАРІ • 7

  • @PrinceKelvin-ht2hm
    @PrinceKelvin-ht2hm 7 днів тому +1

    Hongera sana ndugu kiongozi

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 2 місяці тому +1

    Haya madawa ndio naitaji niyajue mkuu

  • @RuthRenatus
    @RuthRenatus 21 день тому +1

    Safi sana Kwa kutupa elimu hiyo,naomba uniandikie biambata vya viwatilifu ulivyovitaja tafadhali

    • @macotv2197
      @macotv2197  17 днів тому

      Hapa kuna orodha ya viwatilifu na majina:
      1. Herbiside:
      - Glyphosate: Hii ni herbisidi inayotumika kuua magugu na hutumika sana katika kilimo cha mahindi.
      - Atrazine: Hii ni herbisidi inayotumika kudhibiti magugu katika mashamba ya mahindi.
      2. Insecticide:
      - Permethrin: Hii ni insektisidi inayotumika kudhibiti wadudu mbalimbali wanaoshambulia mahindi.
      - Chlorpyrifos: Hii ni insektisidi inayotumika sana kudhibiti wadudu wa majani na mizizi ya mahindi.
      3. Fungisidi:
      - Mancozeb: Hii ni fungisidi inayotumika kudhibiti magonjwa yanayosababishwa na fangasi kwenye mahindi.
      - Propiconazole: Hii ni fungisidi inayotumika kudhibiti magonjwa ya majani na mashina ya mahindi.
      4. Nematicide:
      - Carbofuran: Hii ni nematicide inayotumika kudhibiti nematodi katika udongo ambao unaweza kuathiri mizizi ya mahindi.
      - Fenamiphos: Hii ni nematicide inayotumika kudhibiti nematodi katika udongo.
      kwa ufupi vipo viwatilifu vingi lakini hivi vitakusaidia

  • @jacksonmiyumo4201
    @jacksonmiyumo4201 2 місяці тому +1

    Naomba kujua kilimo cha mahindi ktk mafuta shambani.

    • @macotv2197
      @macotv2197  2 місяці тому

      Habari, swali lako ungeliweka vizuri , cjalielewa

    • @jacksonmiyumo4201
      @jacksonmiyumo4201 2 місяці тому

      Matuta km ya mihogo kwa mahindi yaweje ?