Je Vanilla inauzwa Milioni 1 kwa kilo? WAZIRI BASHE afichua ukweli wote, ataja kilimo cha Whatsapp

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 вер 2023
  • ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 39

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 11 місяців тому +4

    Hawa waandishi wa habari wapotoshaji mbona hawachukuliwi hatua za kinidhamu? Wanatupotosha sana.

    • @kakuruchiganga507
      @kakuruchiganga507 11 місяців тому

      Mbaya sana na ni mambo yanasikitisha, yaani unakuta Mtangazaji anahubiri mambo yasiyokuwepo na kuawatia umaskini Wananchi wengi kwa kuwaingiza kwenye utapeli alafu anaachwa tu na hicho chombo cha habari kinaachwa tu bila kuchukuliwa hatua.
      Jaribu kufikilia watu wametiwa umaskini kiasi gani kwa kutapeliwa na uwekezeji wa kitapeli kwenye vannila? Na sasa ivi wameibuka na Utapeli mwingine wa kitu inaitwa sijuwi BRAZUKA, eti watu wanatafuta vipaji lakini wanataka kiingilio cha elfu 10 kwamba watafika Wilaya zote, lini Taasisi itafute vipaji alafu kuwe na kiingilio? Wahusika wanakaa kimya juunya utapeli huu alafu baadaye wanajitokeza baada ya watu kuumizwa kuwa ulikuwa ni utapeli.

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 11 місяців тому +1

    Mimi naomba mbegu ili nizalishe na mm nipo kiteto manyara Tanzania 🇹🇿

  • @Dr_hamal_kihwele
    @Dr_hamal_kihwele 8 днів тому

    Sasa kumbe mambo yanajilikana lakini mbona yule tapeli hachukuliwi hatua yule jamaa wa vinalla village

  • @user-qr5ev9nt2n
    @user-qr5ev9nt2n 11 місяців тому +3

    Kuna kampuni inaitwa vanilla international ltd bila shaka watanzania 2natapeliwa wazidi tunaomb utusaidie uyo saimon mkondiya mbona anatuamisha kuwa bei ni milion1 na kwanini asichukuliwe atuwa 9:13

    • @filbertnashon7160
      @filbertnashon7160 7 місяців тому

      Nmewahi kuwahoji wanasema laki na nusu😊

    • @J_Pabloescobar0806
      @J_Pabloescobar0806 2 місяці тому

      Serikali ipo kutupotosha vanilla bei ya hali ya juu kwenye mataifa ya njee ulaya
      Serikal inahongwa pesa na mataifa ya njee ili wawabane wakulima kwenye bei ya chini au hao hao viongozi ndio wanawabana wakulima ili wao wa take over chance za kwenda kuuza uko njee yanii ni
      Kwa vile ni serikali tuiaminie tuu sio kweli vanilla duniani ndio inatengenezea pafyumu na vitu vingi vya marashi lazima iwe gali sana
      The higher the demand the hi the price
      Hii imekaa kijanja sana ila ni iweje duniani iwe finyu then duniani wanataka pafyumu alafu Vanila iwe bei rahisi
      Yani ni kama madini ya gold bei
      Vanilla ni commodity maana linahitajika duniani sana
      Fanya reseach embu usibishe tuu bisha kwa hoja

  • @charlestogolai1407
    @charlestogolai1407 7 місяців тому

    Waziri wetu bashe tunakukubali sana nauko makini sana ombi kwako mazao ya Kilimo bei elekezi zitolewe mapema

  • @lucassalvatory7251
    @lucassalvatory7251 11 місяців тому

    Genius

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 11 місяців тому +1

    Kuwapa ardhi wawekezaji kunaongeza umasikini kwa mtz WA Sasa na bdy,nisawa viwanda vilivyouzwa tukidhani tutapata maendeleo badala yake matatizo ya ajira,ni hatari kwa maendeleo na uhuru WA nchi kutegemea wawekezaji kwamba mtaongeza mapato hao wapo kibiashara sio kuendeleza nchi,state capitalism ndio njia ya uchumi pekee ya kututoa sio wawekezaji(private capitalism).

  • @jonasjohn3176
    @jonasjohn3176 11 місяців тому +1

    jamani sirikari tafta soko ravanira

  • @user-uj7kj3fh7n
    @user-uj7kj3fh7n 2 місяці тому

    Mimi lwangu huyu waziri haeleweki anazungukazunguka tu, hatoi mwongozo nini kifanyike kwa wakulima wa Tanzania walio wakubwa na wadogo

  • @user-uj9zn6mj5b
    @user-uj9zn6mj5b 6 місяців тому

    MAJIBU YA MH.WAZIRI KUHUSU BEI YAKE HAJALIWEKA WAZI NA HAIELEWEKI INASTAAJABISHA WAKULIMA WAZIRI WA KILIMO KUTOKUWA NA BEI ELEKEZI INASHANGAZA NA KUSTAAJABISHA SANA. WATANZANIA WAKULIMA WA VANILLA JAMANI JAMANI..... MWENYE UFAHAMU NA AELEWE

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 11 місяців тому

    Akhsante waziri wa kilimo

  • @user-ny2bi8yj1o
    @user-ny2bi8yj1o 11 місяців тому +2

    Sasa bei kamiri ya vanilla ni sh ngapi mbona husemi bei

  • @aljabery.binruz
    @aljabery.binruz 11 місяців тому

    Mfugaji wapewe eneo ya kufuga wanyama. Wanainchi wapate kulima. Zambia wafugaji kila moja Ana ranch ya kufuga wanyama na ikingia barabara I au shamba la mwananchi inataifishwa au fine. Je sisi wabongo tumekwama wapi au fikra hizo hatuna?

  • @jonasjohn3176
    @jonasjohn3176 11 місяців тому

    sema behi kamiri ya vanita

  • @mwombekipaul9531
    @mwombekipaul9531 11 місяців тому +1

    You deserve to be where you are brother

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 7 місяців тому

    Wakamateni hao watu wa media, wenye kampuni feki za vanilla pia radio,tv,zinarusha matangazo wakati mwingine hata zbc na tbc

  • @user-ez6ko4mm5d
    @user-ez6ko4mm5d 11 місяців тому

    Hunger bashe

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt 11 місяців тому

    Bora umewafungua masikio watu wanapaparika namauongo kwenye vyombo vya habari.

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 11 місяців тому

    Bashi ni kiongoz

  • @user-xn6jz6qj6h
    @user-xn6jz6qj6h 11 місяців тому

    Hapo umehama bila kusema vanira ni bei gani?

  • @deogratiuslauwo8460
    @deogratiuslauwo8460 7 місяців тому

    Huwo ndio ukweli

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 11 місяців тому

    Hivi kiongozi kama waziri anashindwaje kujiamini kuwa ana elimu ya kutosha! Unasimama unasema jonalist,hujui kuwa kiswahili chake mwanndishi wa habari. Tupunguze ulimbukeni jmn!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 11 місяців тому

      Huna hoja kaa kimya "Jounerist" ni pana na kubwa kuliko Mwandishi wa habari.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 11 місяців тому +1

    Mara utasikia huyu amehamishiwa Wizara ya Afya! Mipango yake yote inakufa na mpya à naanza na yake mapya. Huyu pengine ndiye Waziri pekee aliyesomea anachokifanya. Tatizo la rais kuamua atakacho hata usingizini, ndio linalokwamisha maendeleo. Angalia mkuu wa Mkoa wa Dar wa zamani. Aliwachukua wafanyakazi hadi Rwanda kwa lengo la kuwafanya waje walete mbinu zile zile za usafi wa Kigali. Waliporudi tu kabla ya ku implement mipango yake, rais amhamisha kwenda Mwanza sijui wapi huko. Mipango yake ikafa!
    Briefly speaking: Tanzania ina tatizo kubwa la uongozi. Hadi uongozi wenye weledi, nidhamu na kujitambua, maendeleo ya kweli Tanzania itakuwa ndoto.

  • @user-qr5ev9nt2n
    @user-qr5ev9nt2n 11 місяців тому

    Kuna kampuni inaitwa vanilla international ltd bila shaka watanzania 2natapeliwa wazidi tunaomb utusaidie uyo saimon mkondiya mbona anatuamisha kuwa bei ni milion1 na kwanini asichukuliwe atuwa

    • @user-oe8ee5tw7l
      @user-oe8ee5tw7l 11 місяців тому

      Haaaa aise
      Kwanza huyo Saymon Mkondya anaye amasisha kiwa vanila ni tsh Ml1 na zaidi we unaona huyo mtu akiri yake iko timamu??!! Sio naona ata review zake ana upongufu wa akri
      Aya ndio tuseme ni Ml1
      Sia gekuwa bilionea mkubwa
      Angaliaga ata mwonekano wa mtu anaye kuhamasishwa k2
      Zaid ni katika jitiada za kuvutia akutapeli

  • @altamyanfane9850
    @altamyanfane9850 6 місяців тому

    Kwanini msiwakamate

  • @Oswamsmjaka
    @Oswamsmjaka 9 місяців тому

    Sasa inakuaje tunapigwa na wewe unaona huu Zaid ya mwaka wa pili

  • @fredrickmapunda3110
    @fredrickmapunda3110 11 місяців тому

    Sasa bashe huyo mtu anafahamika anaitwa saimoni mkondya na anatumia radio wapo mission kwani wasichukuliwe hatua? Nahuyo saimoni nitapeli

  • @user-qr5ev9nt2n
    @user-qr5ev9nt2n 11 місяців тому

    Kuna kampuni inaitwa vanilla international ltd bila shaka watanzania 2natapeliwa wazidi tunaomb utusaidie uyo saimon mkondiya mbona anatuamisha kuwa bei ni milion1 na kwanini asichukuliwe atuwa 9:13

  • @user-qr5ev9nt2n
    @user-qr5ev9nt2n 11 місяців тому

    Kuna kampuni inaitwa vanilla international ltd bila shaka watanzania 2natapeliwa wazidi tunaomb utusaidie uyo saimon mkondiya mbona anatuamisha kuwa bei ni milion1 na kwanini asichukuliwe atuwa

    • @user-oe8ee5tw7l
      @user-oe8ee5tw7l 11 місяців тому

      😂😂😂😂😂 haaaaah wee jmn hata mimi nilikuwa Nisha amasika