Wanafunzi wa Sua watengeneza kifaa Cha kupima afya ya Udogo.|Automatic soil testing device. @sua
Вставка
- Опубліковано 16 чер 2024
- hiki kifaa jinafanya kazi ya kupima pH, moisture, humidity, NPK levels kwenye udongo, kinaweza kutumia kwenye maabala za udongo, taasisi za utafiti na mashambani,
Kwa maoni, na nahitaji tupigie 0750406919
Hawa ndio watu tunaowataka,hongereni sana sana,Sasa mashamba yataongea ,safi saaaana,mungu wabariki Hawa jamaaaaaa
Congratulations engineer
🔥🔥
Excellent Engineer 😮
well done engn.
Ongera brother
Uko vzr je hiki kifaa kinauzwa au😊
Bado ni prototype, hazijaingia sokon Bado Kuna ishu za usajiri , IP then kitaizwa mkuu
Guys hawa watu wapo sua@ epal laboratory kama ungenda kujionea ama kujaribubkifaa unaweza fika sua morogoro , au piga simu 0750406919
Nzuri Sana hii