Jambo saana, Mimi naitwa Samson kutoka Burundi; na fuata bipindi vyenu kupitia mtandao nashukulu saana kwa mafundisho yenu. mimi ni na mladhi wa kufuga kuku wa kisasa lakini ninacho itaji ni uwonozaji na ushauli wenu wa kujenga banda la kuku. Asante Mungu awabaliki
Sasa nimekwmbia nitasoma vp? Mm nipo nje sipo Tanzania lkn naitaji kusoma kw njia wsap, ,nimeona kujiunga elfu 5 ,ok, utaniunga kivipi? Ww unataji namba za Tanzania ili kijua namba na jina
Ujenzi wa banda bora la kuku chotara 👉 ua-cam.com/video/0XmXo-8o5DY/v-deo.html
Asante kwa somo zuri.
Nitajenga banda bora kupunguza changamoto
Tom
Good
Jambo saana,
Mimi naitwa Samson kutoka Burundi; na fuata bipindi vyenu kupitia mtandao nashukulu saana kwa mafundisho yenu.
mimi ni na mladhi wa kufuga kuku wa kisasa lakini ninacho itaji ni uwonozaji na ushauli wenu wa kujenga banda la kuku. Asante Mungu awabaliki
Arusha mnapatikana wapi
Hapo nimeelewa
Asanti kwa somo nzuri sasa hio bada linatumia hela ngapi Kenya shillings
hela ya kawaida2 km laki tatu
Imenifurahisha nemeipenda sana
great information i am researching in order to start it in kiambu county thika kenya. yuur help will be highly appreciated you have all i need
Nitumie no ako nashida na vifaranga
Asante sana kwa kutoa elimu
Naomba nione ujenz wa Banda bola LA kuku wa kienyeji
Good advice
Inagharimu shi ngap ad banda LA kuku likamilike
Nice and Cheap👏
Majaliwa
salum
Somo zuri
Niko dar nitapataje vifarsnga wa bata mzinga
Nahitaji kutengenezewa Banda naomba namba zenu
Saafi sana je Dodoma tuihesabu ni kwenye joto au baridi?
Hi I am from Kenya. Pls demonstrate a chicken structure ya gorofa tafadhali
Ni lazima kuziweka hizo wavu ndani ya banda
Asante
You are located where in kakamega watching
🇧🇮🇧🇮💯💯🙏👌🇹🇿🇹🇿
Sa ukiweka hizo nyavu unaenda vp kusafisha hko chini
tupatie contacts zako ili tukutafute
Kwahiyo usafi wa Banda ni Mara ngapi kwa mwezi?
Ok
Sjandika contact rudia tena
Nimependa jinsi mnavyotengeneza mabanda mazuri na ya gharama nafuu. Ni namna gani naweza kipata huduma yenu?
How do you clean the chicken house floor?
Samahani kujenga Banda la kuku kumi linagari shigapi Kuna mtu kaniambia 937,000 nisaidie please
Thankyou
Pamoja ndugu
kwa mkoa wa mwanza wataalamu wa ufugaji wa kuku wa mayai wanapatikana wapi
hongereni sana
Asante
Habari wanachangamkia fursa, nahitaji mchanganuo au gharama za ujenzi wa Banda lakuku wakienyeji au kroila 100 mpaka 150 .
Yeah nahitaji plse nko mwanza
T what stages are gumboro and newcastle administered pls.new farmer
Newcastle is administered in day 7 and day 21
Wile Gumboro Is administered day 14 and 28 in the normal schedule
Danrod
Sasa nimekwmbia nitasoma vp? Mm nipo nje sipo Tanzania lkn naitaji kusoma kw njia wsap, ,nimeona kujiunga elfu 5 ,ok, utaniunga kivipi? Ww unataji namba za Tanzania ili kijua namba na jina
Wasiliana na ndugu yako ambaye yuko Tanzania, afanye malipo yako kwenye namba hii 0656528455, kisha anitume namba yako ya what's app
Ok, nimekupata,
Kuna kitu sijaele, sqr mt 1 ni kwa upana, au kwa urefu?
Yani upana 1m na urefu 1m
Nashukuru sana kwa kunielewesha. Hapo nimeelewa.
Upepo huwa unabadilika vp utaweza kukinzana nao
Ukijenga banda la namna hiyo lazima ufunge nailones ambazo utakuwa unazishusha na kuzipandisha kulingana na hali ya hewa
Nahitaji kujenga banda la Kuku 10 kama kianzia natakiwa nijenge mita ngap na ni Kuku Wa mayai? Niko Dodoma
hata mita kumi na tano
Ujenzi huu hauitaji kuweka nyavu za mbu? maana mbu wanara magonjwa kwa kuku.(ndui).
Jamaani nimefugaa kuchi natafutaa sokoo lakee kwa anae waitaji wasiliana nami kwa simu namba0620430052
rweikiza adrian bei gan
Uko wapi mie nahitaji kuchi
Unapatikana mkoa gani wewe me nawahitaji pia
Nipo shy mjini nahitaji kujenga bada0785634247
Asante
Naomba kuelimishwa kuhusu Mambo yakuzingatia ktk ujenz wa Banda,hasa kipengele chakuangali muelekeo was jua na upepo
Asante