JE! MAHINDI YANAHITAJI MBOLEA MARA NGAPI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @BerniceAtieno-n4m
    @BerniceAtieno-n4m 9 місяців тому +2

    Nimekuelewa sana,uko vizuri,nikweli kuwa mbolea inachosha ardhi?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 місяців тому

      Asante kwa kunielewa.
      Kuhusu mbolea kuchosha ardhi Iko kotekote ni kweli lakini pia si kweli, ni kweli inachosha iwapo itatumiwa mflulizo bila kuzingatia afya ya udongo hapo ardhi itachoka.
      Ila si kweli iwapo itatumiwa kwa kuzingatia afya ya udongo, unazingatiaje afya ya udongo ni kwa kuimarisha MATUMIZI ya samadi na kuacha masalia yaozee shambani kwa kufanya hivyo ardhi Yako haitakaa ichoke hata kama ukiacha kutumia mbolea za viwandani lakini kama unautaratibu wa MATUMIZI ya samadi shamba litafanya vizuri tuu.
      Nitaandaa video kuhusu jambo hili ili nilizungumze kwa upana wake

  • @ezekielmahalu4224
    @ezekielmahalu4224 11 місяців тому +1

    Asante kwa maelezo mazuri,
    Naomba pia kama utapata mda uelezee pia juu ya kilimo hai na faida zake, pia kati ya kilimo cha kisasa na kilimo hai ni iliyo bora zaidi.
    Asante

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  11 місяців тому

      Nashukuru sana Kwa maoni Yako mazuri nimeyapokea na Kwa Neema ya Mungu nitawaandalia hilo somo

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi Рік тому +1

    Asante snaa minja kilmo kwaa elim nzuri,je ukiweka mbolea ya smandi Kama yakupandia je unaweza kuweka Tena DAP ,, Kama mbolea ya kupandia Tena,,,naomba jibuu

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  Рік тому

      Ndiyo na utaiweka mahindi yakifikisha wiki tatu kwahiyo SAMADI itakusaidia kuepuka kutumia DAP mapema na kama eneo liko vizuri unaweza ukaweka mara Moja tuu na mahindi yakafika vizuri.
      Kwa ufafanuzi TAZAMA video ya kilimo Cha mahindi bila mbolea za viwandani

    • @MteleShadia-lc6gi
      @MteleShadia-lc6gi Рік тому

      @@emanuelminja2023 ahsnt snaaa,,,kwaa elimu yako nzurii

    • @MariethaTarimo
      @MariethaTarimo 7 місяців тому

      Kwa upande wa mkoa wa pwani ni mbegu gani nzur?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  7 місяців тому

      DK 80 31, DK 90 89,AMINIKA 505

  • @TufikeMbwambo
    @TufikeMbwambo 10 місяців тому +1

    Sio nyanya tuu

  • @charlesjaph
    @charlesjaph 2 місяці тому

    naomba no za cm yako nijiulize zaidi

  • @edisonkanolo5240
    @edisonkanolo5240 11 місяців тому +1

    Amazing thanks

  • @afidhually9225
    @afidhually9225 10 місяців тому +1

    Asante sana kwa kisomo

  • @SophiaNkubah
    @SophiaNkubah 6 місяців тому +1

    Je kama shamba jipya shamba pori, kama utaamua kuongezea mbolea za viwandani, itadhuru mazao au.

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 2 місяці тому

    Mbona maelezo mengi kuliko jibu🎉

  • @faustangonyani5100
    @faustangonyani5100 2 місяці тому

    Jaman izo mbolea mbona kwangu ni ngen azina majina mengine

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  2 місяці тому

      Majina mengine tafuta DAP Kwa kupandia na UREA kukuzia

  • @ShabanMohammed-nr2fn
    @ShabanMohammed-nr2fn 9 місяців тому +1

    Swali zangu heka inapaswa niweke mbolea mifuko mingp

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 місяців тому +1

      Mfuko mmoja mpaka mmoja na nusu yaani kilo 50 mpaka 75

  • @shadiayusuph4483
    @shadiayusuph4483 Рік тому +1

    Naomba namba yako ya whatsap ili kujuwa zayyid

  • @TufikeMbwambo
    @TufikeMbwambo 10 місяців тому +1

    Mbegu bora niipi

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  10 місяців тому

      Mbegu nyingi za hybrid ni nzuri

    • @mautamutz5757
      @mautamutz5757 7 місяців тому

      Utaijuaje kuwa Ni hybird?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  7 місяців тому

      Asilimia kubwa ya mbegu za mahindi ni hybrid isipokua STAHA NA STUKA.. ZILIZOSALIA ZOTE NI HYBRID

  • @peacepaul2191
    @peacepaul2191 3 місяці тому

    mbolea gani unatumia

  • @pasteurmardochemwale
    @pasteurmardochemwale 11 місяців тому +1

    Asate Niko Congo RDC 🇨🇩

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  11 місяців тому

      Oooh nimefurahi sana kuona Hadi watu wa congo mmepata Neema ya kujifunza kupitia channel hii. Karibu sana from Congo

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 9 місяців тому +1

    Jee,mkoa pwani inafaa kwa kilimo cha mahindi?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 місяців тому

      Unafaa japo itakugharimu kuandaa samadi kwasababu pwani kichanga sana

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Рік тому +1

    Mbona wengine wanashauri uweke mbole mara 3 ! Wakati yametoka ,wakati yapo juu ya magoti na can mwisho yanapoanza kufunga

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  Рік тому

      Jack kilimo ni sayansi ambayo haijawahi kuwa na jawabu Moja kwahiyo wanaosema uweke mara tatu wanasababu zao na sisi kama minja kilimo tunasema weka mara mbili tuu na itakupa MATOKEO mazuri na lengo haswa ni kupunguza gharama za uzalishaji.
      Mfano hilo SHAMBA unaloliona sisi tumeweka mbolea mara Moja tulianza na SAMADI yalipofika wiki ya tatu tukaweka otesha baada ya hapo hatukuweka mbolea Tena na mahindi yalibeba vizuri kama unavyoyaona yanapendeza

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  Рік тому

      Na pia UWEKAJI WA MBOLEA unaendana na kuitambua LUGHA ya mimea Yako unapaswa uwe na elimu sahihi ya mbolea Ili uweze kujua mmea unapohitaji kuwekewa mbolea si lazima uweke mara mbili au tatu kama ilivyodesturi wakati mwingine ardhi inaweza ikawa na rutuba isihitaji mbolea kwahiyo hilo utaligundua Kwa KUZUNGUMZA na mimea Yako.
      Nakushauri TAZAMA video ya itambue LUGHA ya mimea Yako Kwa uelewa zaidi

  • @PatrickZulu-l5e
    @PatrickZulu-l5e 5 місяців тому

    Wewe ni muongo

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 11 місяців тому +1

    je eti mbolea inahalibu aridhi?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  11 місяців тому

      Inaharibu iwapo itatumiwa mfululizo pasipo kutumia SAMADI ila kama utakua na utaratibu wa kutumia SAMADI haziharibu ardhi

    • @mashakampembela2552
      @mashakampembela2552 10 місяців тому +1

      Mtaalam kvp inaharibu ardhi ikiwa tunaongezea virutubisho vilivyo kosekana?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  10 місяців тому

      @@mashakampembela2552 kwasababu hatuna utaratibu wa kupima afya ya udongo Ili kujua ni virutubishi vipi haswa ambavyo vinapaswa kuongezewa ndo maana tunasisitiza kama huwezi pima afya ya udongo kabla ya kutumia mbolea basi hakikisha unajiwekea utaratibu wa kuweka SAMADI Ili kuweka sawa PH ya udongo

  • @salumzambwi8941
    @salumzambwi8941 Рік тому +2

    Sijajua logic ya kuweka mbolea ya DAP week 3 baada ya mahindi kuota, kama lengo ni kuimarisha mizizi then unaweka week ya 3 how come mtaalam?

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  Рік тому +1

      Somo la mbolea Lina upana wake mkuu tunaweka mbolea kulingana na mmea unatuambia nini hatuweki kwasababu ni utaratibu na pia lengo la kuweka week ya tatu ni kupunguza matumizi ya mbolea badala ya kuweka awamu tatu utaweka awamu mbili na mahindi yanafanya vizuri kama sisi tulivyofanya.
      Pia DAP Haina kazi ya kuimarisha mizizi peke yake Ina majukumu mengi kuhakikisha ustawi wa mmea unakua wa tija.

    • @salumzambwi8941
      @salumzambwi8941 Рік тому +1

      Sawa, ila mi naamini hata usipoweka kabisa hiyo DAP na ukaweka ya kukuzia tu kuna baadhi ya maeneo bado mahindi yanafanya vizuri kiasi, ila yangefanya vzr zaidi kama angetumia DAP na kwa wakati sahihi yaan wakati wa kupanda

    • @salumzambwi8941
      @salumzambwi8941 Рік тому

      Nachokifshamu DAP inatumika wakati wa kupnda, ikitokea kwa sababu moja au nyingine hukutumia DAP wakati wa kupanda basi unaweza kuitumia DAP ndani ya siku 7 baada ya mahindi kuota, "Naruhusu kunikosoa"

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  Рік тому +1

      Unafahamu hivyo kulingana na ulivyosoma ila tulioko SHAMBA DAP tunaweza itumia ndani siku Saba kama unavyosema kutegemeana na zao Kwa zao kama mahindi hatuna haja ya kuitumia mapema hivyo ilihali mhindi unauwezo wa kupambana na tukaitumia siku ya 21 na ikatusaidia kusave gharama za mbolea zisizo za lazima.
      Itakua ngumu kunielewa ila ukiingia field ukafanyia kazi hizo theory mbili utapata jibu.

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  Рік тому +2

      Alafu mambo Yako wazi achana na matumizi ya mbolea kulingana na desturi tumia mbolea pale inapohitajika sisi tumevunja utaratibu uliozoeleka na wengi kwamba DAP lazima iwekwe ndani ya siku Saba sisi tumeweka week ya tatu na mahindi hayo hapo unayaona yamefanya vizuri kwahiyo nakushauri ingia SHAMBA FANYA utafiti mdogo kuhusu mbolea utakuja na MATOKEO mengi na yatofauti kabisa na ilivyo mazoea