JIFUNZE NAMNA YA KUTUNZA ZAO LA MAHINDI UPATE MAVUNO MENGI # dk 777 @ sua.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 бер 2024
  • mahindi zao ambalo linalimwa saana Tanzania , lakini matunzo ,na uchaguzi wa mbegu bora na sahihi, umwagiliaji, kupambana na magonjwa ni changamoto inayokumba wakulima wadogo, video hoi italisaidia kukupa elimu ulime kibiashara, kilimo cha mahindi ya kisasa na ulime kilimo tija # kilimo sua . tupigie simu namba 0620511969 kwa maelezo zaidi

КОМЕНТАРІ • 13

  • @Agrostem-Vet_Irrigation
    @Agrostem-Vet_Irrigation 4 місяці тому +1

    Very nice

  • @macotv2197
    @macotv2197  4 місяці тому +1

    Habari, kama una swali, maoni au mapendekezo, comment hapa na kama umependa , like pia.

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 2 місяці тому +1

    Pia ungeweza kutumia mtiririko wa DAP kwa Kupandia+(Urea+CAN) kwa kukuzia ni nzuri pia

  • @user-bk6ue5zl5t
    @user-bk6ue5zl5t 3 місяці тому +1

    Je nikitumia mbolea ya samadi na nikakuzia mbolea ya kiwandani je inaezekana

    • @macotv2197
      @macotv2197  3 місяці тому +1

      Inawezekana mkuu, lakini huu akikisha mbolea hyo imeandaliwa vizuri usije ukaunguza mbegu

  • @user-jm5xs2mj3s
    @user-jm5xs2mj3s Місяць тому +1

    JE HII MBEGU INASITAWI KWENYE HALI YA AINA GANI

    • @macotv2197
      @macotv2197  Місяць тому

      Mahindi yanahitaji mazingira maalum ili kustawi vizuri. Hapa kuna mambo muhimu kuhusu hali inayofaa kwa ustawi wa mahindi:
      1. **Hali ya hewa**: Mahindi yanahitaji hali ya joto kwa ajili ya kukua vizuri. Hali bora ni kati ya nyuzi joto 18°C hadi 27°C. Mahindi yanaweza kuathirika na baridi kali na ukame.
      2. **Udongo**: Mahindi yanapendelea udongo wenye rutuba, wenye madini na mboji. Udongo wa mfinyanzi mchanga wenye uwezo mzuri wa kupitisha maji ni bora zaidi. pH ya udongo inapaswa kuwa kati ya 5.8 na 7.0.
      3. **Maji**: Mahindi yanahitaji maji ya kutosha hasa wakati wa kukua na wakati wa kutunga punje. Umwagiliaji au mvua ya kutosha ni muhimu.
      4. **Nuru ya Jua**: Mahindi yanahitaji mwanga wa kutosha wa jua kwa saa 6 hadi 8 kila siku. Sehemu yenye mwanga wa kutosha wa jua itasaidia mimea kukua vizuri.
      5. **Mbolea**: Mahindi yanahitaji virutubisho vingi kutoka kwenye udongo. Mbolea za Nitrojeni, Fosforasi, na Potasiamu (NPK) zinahitajika kwa kiasi kikubwa. Ni muhimu kutumia mbolea wakati wa kupanda na wakati wa ukuaji.
      Kwa kuzingatia mambo haya, mahindi yatakuwa na nafasi nzuri ya kustawi na kutoa mavuno mazuri.

  • @Innocente1994
    @Innocente1994 4 місяці тому +1

    Mi nina swali kuhusu palizi kwenye mfumo wa Drip irrigation

    • @macotv2197
      @macotv2197  4 місяці тому

      Hapo mkuu, kwenye parizi huwa tunatoaga hzo drip lines (laterals) , huku mwishoni ambapo kuna endcap kuna kamba tunaichomoa , then tunapalilia.

  • @user-dd1rs8ym3e
    @user-dd1rs8ym3e 4 місяці тому

    Nataka kujuwa mbolea IP inafaha kwenye mahind

    • @macotv2197
      @macotv2197  4 місяці тому

      Kupandia , kuna dap, yarmila otesha, yarmila cereal,
      Kukuzuia kuna UREA, Amnadas, yaramira creal, NPK,
      Kubebeshea kuna can, amidas ,

  • @unknownbutterfly6310
    @unknownbutterfly6310 3 місяці тому

    Kufunga hizo irrigation pipes kwa heka moja ni bei gani?

    • @macotv2197
      @macotv2197  3 місяці тому

      Inategemeana na jinsi shamba lako lilivyo, yaani landscape, kwenye mwinuko, au mteremko, chanzo cha maji n.k , unaweza piga simu 0620516919 kwa maelezo zaid