MWANAMKE ALIYELIMA EKA MOJA YA VIAZI NA KUPATA FAIDA MILIONI 8 AHOJIWA, DC NJOMBE AWAPELEKA BBT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 95

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 місяці тому +2

    MashaAllah 🙏🙏🙏🙏ukimtanguliza Mungu atakuinua in the most unexpected way.

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 2 місяці тому +4

    Hiyo kazi inafaa sana.
    Asante.

  • @user-mw7xl2zc8f
    @user-mw7xl2zc8f 2 місяці тому +1

    Huyu ndo DC Sasa sio yule tunamuona ktk mbio za mwenge tu👏👏🤝

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 2 місяці тому +3

    Jaman simuwaambie wabunge na mawazir walime jaman..akat mm nmelima Mara tatu Njombe nanimekula hasar

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 20 днів тому

    Hongereni kina mama na vijana kwa juhudi ya mnao zifanya kwa kutafuta hela kwa uhalali najasho kuliko kufuatilia mashetani ya maframason kwa kutafuta. utajiri washetani bila kutoka jasho

  • @johson575
    @johson575 2 місяці тому +1

    😊😊😊

  • @flaviankiria8251
    @flaviankiria8251 6 днів тому

    Nnaeneolangu hekamoja hapa kisarawe pwani mnaweza kunisaidiaje kulima hivyo viazi?

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 15 днів тому

    Tunapataje namba za wausika amcosi au madame hapo

  • @Chuma-vk4jg
    @Chuma-vk4jg 2 місяці тому

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 місяці тому +1

    kaeni tu mjini na kupiga mizinga ya MB kufuatilia Umbea mitandaoni, fursa ziko nyingi huku shambani

  • @ezrakiduko6135
    @ezrakiduko6135 8 днів тому

    Wanaofeli wanakurupuka bila kutumia watalaam

  • @user-uu6pg2pi2p
    @user-uu6pg2pi2p 2 місяці тому

    Hyo ni kwelii jamanii ukikifuatilia vemaa inatoa Sana hyoo

  • @salmabasil385
    @salmabasil385 2 місяці тому +3

    Na hiyo fursa Unaingiaje je lazima uwe ni mkazi wa njombe au?

    • @Zanga93
      @Zanga93 2 місяці тому

      Amna ni wewe tu kuwekeza

  • @hekimaluvanda5337
    @hekimaluvanda5337 2 місяці тому

    Kumekucha 🎉🎉🎉🎉

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 22 дні тому

    Dada Utasaidiaje nyumbani kwenu uliko toka -Rungwe,Wewe ni mkuu wa wilaya wa mfano,Kwanini usipate Uwaziri?

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 2 місяці тому

    Hhaaaa haya 😂😂😂

  • @AishaBethod
    @AishaBethod 2 місяці тому

    Mm hilo nimeliona nikweli

  • @joyceKingu
    @joyceKingu 2 місяці тому

    Dada umefanya la maana kufanya hiyo project.

  • @aminiajabiri2949
    @aminiajabiri2949 2 місяці тому

    Na mimi nataka naomba namba ya sim

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le 2 місяці тому +1

    Rorya BBT mumefika wajameni wengine tuko tayari.ugumu ni mkuu wetu wa wilaya usani umezidi mama president mbadilishe hakumfai huku mpereke mjini

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 2 місяці тому

      Mkuu wenu wa wilaya ni nani

    • @sharifamsuri
      @sharifamsuri 2 місяці тому

      hicho kiazi kinachukua muda gani kuanzia kupandwa hadi kuvuna?

  • @justice607
    @justice607 2 місяці тому

    Ingia shambani huitengeneze hiyo mill. 8😅😅

  • @jacobmichael1896
    @jacobmichael1896 2 місяці тому

    Mbengu inapatikana wapi?

  • @mariamsemwa226
    @mariamsemwa226 2 місяці тому +1

    Hapa tumepigwa nakitu kizito kwa eka moja milion 8 😂🙌nabei zenyewe hazielewekagi

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 2 місяці тому

      Labda Mungu alitaka tu kumuinua kiumbe wake angalau kidogo kwa hiyo akamuonyesha hiyo neema

    • @mamodelmam
      @mamodelmam 2 місяці тому +2

      Jaribu kuwa na mawazo chanya. mwenyew kashakwambia faida yake ndo iyo! ww ulokaa nyumbn kwako unataka ubishane nae. Aya endelea kusema wamekupiga

    • @OchoaHomeDecor_
      @OchoaHomeDecor_ Місяць тому +1

      Hayo ni mawazo mgando
      Mtu alie shambani anakwambia uhalisia na unakataa
      Unataka tukuamini wewe uliekuwa youtube...
      Hilo ni tatizo
      Hata ukipata milioni 3 kwa hekari moja kama ukilima hekari 10 tayari una milioni 30
      Shida iko wapi?

    • @MwanjiNzala-mo5ni
      @MwanjiNzala-mo5ni 21 день тому

      Sijui.hiyo.ekari. imetoa. Gunia.300 labda

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 місяці тому +2

    Siyo kweli

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      Kwa Hela Moja Nina mashaka

    • @trueman9641
      @trueman9641 2 місяці тому

      Kwanini?

    • @OchoaHomeDecor_
      @OchoaHomeDecor_ Місяць тому

      Watu wanafanya wanafanikiwa nyie mmekaa mnapiga porojo hapa
      Ndiomaana watanzania na waafrika wengi ni masikini haswaa

  • @MagrethNjavike-hy2en
    @MagrethNjavike-hy2en 2 місяці тому

    Inawezekana sangita inazaa sana

  • @JumaMigezo
    @JumaMigezo Місяць тому

    DC kasema heka 1 inatoa gunia 180 adi 200 uyu mama ambae ni mkulima anasema heka 1 inatoa gunia 120 mpaka 130 😂😂

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 2 місяці тому +1

    Tatizo ra africa hiri uongo mwingii jpm ndio arikuwa ananyooshaa sasa wewe kopa jichanganye ire kwako waone wenyeji utapata ukweli

  • @omarymkwizu9366
    @omarymkwizu9366 2 місяці тому

    Hii kitu imekua na upendeleo Sana wengi tumeachwa.

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 2 місяці тому

    Viazi vyenyewe ni vitamu, vina unga???

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 місяці тому +3

    Nipo mkoa wa Njombe mimi ni ngumu saana kuamini

  • @celestinermantenga2463
    @celestinermantenga2463 2 місяці тому

    Hata hivyo kwa mkuu wa wilaya umepata hasara, aliye nacho huongezewa.

  • @KisendiNyanda93
    @KisendiNyanda93 2 місяці тому +1

    Millard nawe umefikia huku???

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 2 місяці тому

    Wakilima wote ivo gunia itafika 50,000

  • @devothakassimu8289
    @devothakassimu8289 2 місяці тому

    Tunaomba mtufikie mkoa wa songwe, wilaya ya ileje, umalila

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 2 місяці тому +1

    Inawezekana ama isiwezekane kupata faida ya million nane,ikiwa bei ikawa juu elfu hamsni ni kweli ila ikiwa elfu 30.ni faida kidogo.ikiwa elfu 20 kipeto umepigwa.

    • @veromwanji
      @veromwanji 2 місяці тому

      Niulizeni Mimi

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 2 місяці тому

      @@veromwanji haya nakuuliza nambie ndugu

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 2 місяці тому

      @@veromwanji Au nipe namba unielezee vizuri

    • @MwanjiNzala-mo5ni
      @MwanjiNzala-mo5ni 21 день тому

      Hat kama.bei 50 labda angesema matzo jumla.m8.ila sio.faida.

    • @RenaldaMunishi509
      @RenaldaMunishi509 14 днів тому

      ​@@MwanjiNzala-mo5nimbona hata huyo mama kasema faida mil 8 hadi9? Kwahyo na yeye anatudanganya?

  • @gogozitodumelannzi5
    @gogozitodumelannzi5 2 місяці тому

    huyu mama napafahamu kwake nitamuuliza

  • @KeisiMwasanyika
    @KeisiMwasanyika 2 місяці тому

    Tuhungeni na sisi tupo njombe msanyo uku lugalawa

  • @tatujamadary8028
    @tatujamadary8028 2 місяці тому

    Je nilitaka mbegu nitaipataje

  • @CasmirKiwale
    @CasmirKiwale 2 місяці тому

    Watu walime

  • @alextercisio
    @alextercisio 2 місяці тому

    Hii viazi Kenya ndio tunalima na uwa na pesa sana uku huitwa shagi ..but hiyo bei yenu eti sijui millioni ngapi sijui pesa ya Tz iko aje labda niabiwe ..
    Kenya hii ngunia moja ni 4000ksh ~35dollars

    • @Soon815
      @Soon815 2 місяці тому

      Huku ni 20 dollars

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 2 місяці тому

      Sasa nyie huko kwenu bei ndio ipo juu huku gunia moja ni 15 mpaka 20 dollars

  • @user-uu6pg2pi2p
    @user-uu6pg2pi2p 2 місяці тому +1

    Sio porojo au uongoo ni UKWELIII,, nipo niombee hapa

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 2 місяці тому

      Mungu wangu nipe namba tutafutane huko njombe tulime wallah

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      ​@@omanoman2044unadanganywa kwa heka moja yaani mita sabini kwa sabini hapana

    • @saidimwanyiro5147
      @saidimwanyiro5147 2 місяці тому

      Unalima??

    • @maishabakari2919
      @maishabakari2919 2 місяці тому

      Naomba namba yako ya simu

  • @ZawadiKazungu-qp8uw
    @ZawadiKazungu-qp8uw Місяць тому +1

    Na Kenya Je

  • @DANYMHEMA-zo3cq
    @DANYMHEMA-zo3cq 2 місяці тому

    Kipimo vp au

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 місяці тому

    🥴🥴🥴🥴🥴🤐🤐😷😷

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 2 місяці тому +2

    Acheni porojo hizo jmn kaah

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      Kwa heka moja faida milioni 8 hapana tumepigwa na nondo kichwani

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 2 місяці тому +1

      @@MiriamAbdallah umeona ee😂😂

    • @ayoubmwangonji2357
      @ayoubmwangonji2357 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂 matapeli

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      @@anoldjose7793 kwa mimi mkulima haingii akilini, kwa heka moja yaani mita sabini Kwa sabini sio kweli

  • @gabriellaizer9925
    @gabriellaizer9925 2 місяці тому

    Acha uongo Mheshimiwa tafadhali

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      Mita sabini kwa sabini jamani au zaidi hii si kweli

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky 2 місяці тому +1

    Wapeni Vijana mikopo ya kuanzia

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 2 місяці тому

    Naijua hii😂😂😂

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 місяці тому

    Hivyo viazi ndani ni vya njano au vyeupe???

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 місяці тому

      Vyeupe

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 2 місяці тому

      @@EddahBure-te7ft Hivyo wala chipsi hawavipendi sana.Wanapenda viazi vya njano ndani.

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 місяці тому

      @@shyfettymtunda4619 eti eeh bas mm bora kiazi nione kikubwa tu ndo napenda sijui kama vina njano au laa ngoja ntaanza kuchunguza

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 2 місяці тому

    Mm nlichogundua hapa ni kua huyo mkuu hiyo ml 8 hivyo viazi hakuuzia hapa Tz ameenda kuuza nje na ndio mana wakulima wenyeji wanakataa kama sio kweli kwasbb wao wanauzi hapa hapa ✍️

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 2 місяці тому +1

    Panya kweli nyie

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 2 місяці тому +1

    Hizo Bei ni nyundoo 🤣🤣🤣🤣 mnajitangazia biashara

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 2 місяці тому

    Jaman simuwaambie wabunge na mawazir walime jaman..akat mm nmelima Mara tatu Njombe nanimekula hasar

    • @CasmirKiwale
      @CasmirKiwale 2 місяці тому

      Ilikuaje bro..niandikie mawasiliano yako

    • @CasmirKiwale
      @CasmirKiwale 2 місяці тому

      Ilikuaje kaka.. niandikie mawasiliano yako

    • @CasmirKiwale
      @CasmirKiwale 2 місяці тому

      Niandikie mawasiliano yako

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 2 місяці тому +1

    Jaman simuwaambie wabunge na mawazir walime jaman..akat mm nmelima Mara tatu Njombe nanimekula hasar

    • @bina2557
      @bina2557 2 місяці тому

      Kupata hasara haimanishi kwamba hautafanikiwa kwa. Mara nyingine

    • @japhetlinus3891
      @japhetlinus3891 2 місяці тому +1

      @@bina2557 . Shida iliyopo hapo Ni kwamb huyo aliehojiwa kahojiwa wakat Bei ya kiaz imepanda,naakat mwez uliopita tumeuza viaz 35 had 30 ..unasemaje Kuna faid na kuwashaur klwatu wawekeze kwa wing na wakat unajua chakul kikiwa king lazima kishuke Bei..

    • @celestinermantenga2463
      @celestinermantenga2463 2 місяці тому +1

      8mil. Inapendeza sana.