HII NDIO HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 772 281 879
    +255 773 071 409
    Zinjibartv Journalists
    cc: Safia Hussein
    cc: Swaleh Watamaama
    cc: Nusra Khamis
    cc: Sidrat Khamis
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Ali Seif
    Rukaiya Vuai
    Abdillah Said
    Editors:
    Rukaiya Vuai
    Abdillahi Said
    Dereva
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

КОМЕНТАРІ • 60

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 7 місяців тому

    Mwenyezi Mungu HAKUGHAFILIKA na watu WEZI WANAFIKI WAONGO MADHALIM HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 Рік тому +5

    Mapinduzi yalikuwa mauwaji tu na hii ni dhulma ambayo Allah humlipa dhalim hapa hapa duniani kabla ya akhera

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      Na ndo maana Mungu aliwalipa kupinduliwa waarab waliowauza waafrika kipindi cha biashara ya utumwa

    • @asilclub
      @asilclub Рік тому

      WAONGO KARUME NA MKE WAKE

    • @binseif2216
      @binseif2216 10 місяців тому +1

      ​@ladislausngoyinde4384 History iligeuzwa ili muwachukie warabu,chapter zote ziliwekwa uongo ndani yke,maana mwarabu kitabu chake kinakataza utumwa,wazungu wengi ni freemason kwahiyo wa ndo walikuwa wananunua watumwa ndomana uingereza na marekani Black wengi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 9 місяців тому +1

      ​@@binseif2216Hata zinaa kitabu kinakataza lakini mbona mnazini,kukataza kitabu utumwa haimaanishi hakafanya utumwa

    • @binseif2216
      @binseif2216 9 місяців тому +1

      @@FridayMwassa kwahiyo unakataa kuwa wazungu hawakufanya utumwa?

  • @khairakhamis874
    @khairakhamis874 Рік тому +4

    Acheni unafiki zanzibar hakukua na mapinduz mana zanzibar ilikua inajitawala ila mapinduz ni mauwaji makubwa sana awo munao wasifu watajua ya kujibu siku ya kiama

    • @spitfiremusicproducer9623
      @spitfiremusicproducer9623 Рік тому

      Acha usenge we mtumwa wa waarabu

    • @asilclub
      @asilclub Рік тому

      Kwa nini mlienda Uingreza kuomba uhuru Sasa mabinduzu yalikuwa juu ya nani

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 7 місяців тому

      ​@@spitfiremusicproducer9623sikuelewa uhuru ilitoka kwa mwengerza kwa zanzibari ina maana aliyetawala ni mwengerza sasa mapinduzi ya nini wakati wazanzibari walifanya uchaguzi mpya kwa dola la zanzibari sasa majeshi yaliotokea bara NA okelo wa uganda ya nini NA hao wazanzibari wenye asili wa oman si wazaliwa zanzibari tu NA wamechaguliwa kwa uchaguzi halali ya wazanzibari wenyewe sasa nchi ni kama emerudi katika koloni ya tanganika tena NA hana cha uhuru si sawa

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому +4

    Historia ya kiza ya zanzibar... Hasbiyallah waneemal wakeel

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      Tupe historia ya sultan alivyouza waafrika Zanzibar

    • @aqmmsm55
      @aqmmsm55 Рік тому +1

      @@ladislausngoyinde4384 historia inavosema muarabu ndie alieleta dini ya kiislamu Afrika
      na mzungu ndie alieleta ukristo Afrika
      suali langu lipo hapa kama muarabu ndie aliekuwa akiuza watumwa kwanini soko la watumwa likawa liko kanisani lisiwe msikitiniu ???

    • @muhammadjuma8457
      @muhammadjuma8457 Рік тому +1

      Biashara ya utumwa ilimilikiwa na wazungu Sio warabu

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      @@muhammadjuma8457 wazungu ilikuwa Africa magharibi, je soko la watumwa Zanzibar na vituo vya kukusanyia watumwa vya kilwa na bagamoyo vilikuwa vinasimamiwa na nani?

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 8 місяців тому

      ​@@ladislausngoyinde4384kila jamii wazungu waarabu wahindi waafrika wote walihusika na utumwa huo ndio ukweli japo mchungu

  • @khamiszahor3293
    @khamiszahor3293 3 місяці тому

    Nyinyi munasumbuliwa ugonjwa wa UCHAWA. Hio makala yenu yote inamaelezo yakutunga tu sio ya uhalisia. Wacheni UCHAWA.

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Muongo kumamayo mulipanga karume na nyerere muwauwe masheikh na waarabu kwa roho mby mmeona znzibar twenge faidi hivi leo waznzbr kuwa watumwa na muarabu ni bora kutumwa na mtngnyika mwnye njaa nmkumbuka nyerere aliwahi kusema nawachukia wznznbr na akasema anachukia tujifny waislamu karume kumamayo huko uliko mbwa ww

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Місяць тому

    Nyie weusi mushapata uhuru mutawale kwa uadilifu ,mbona utawala umejaa rushwa na uadilfu hakuna sasa bora nani ukoloni mwarabu au ukoloni mweusi wa sasa?

  • @نجمة-خ3د
    @نجمة-خ3د Рік тому

    اللهم انتقم من الظالم شر انتقام

  • @AmisseSulemane-sb4re
    @AmisseSulemane-sb4re Рік тому

    Zanzbar hakupinduliwa muarab Bali wazanzibar na kutawaliwa na Tanganyika huo ni unafik

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому +3

    Wameiuza zanzibar kwa bei ndogo... inasikitisha mpaka leo hawajaamka

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      Mbona waarab mna hasira sana Zanzibar kuwa huru wakat sio kwenu?

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 Рік тому

      @@ladislausngoyinde4384 yap hakukuwa kwao na ndo maana walipotimuliwa walikuwa na pakukimbilia wote walirudi makwao japo Hadi Leo hii bado wanaitaka Zanzibar yetu lakin sie hatuwataki tubaki Tu kuwa ndugu lkn kwetu wasirudi Zanzibar njema atakae aje

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      @@machetebogota4218 waafrika wanatakiwa wajiulize maswali mengi, hivi kwa nn watu wasio waafrika wanafikiria zaidi kututawala sisi? Na kwa nn pale tunapokaa wasitutawale wanakasirika? Mbona sisi hatuna fikra za kuwatawala wao? Yaani hata hapahapa tz tu, hakuna muhindi, mwarabu, mchina wala mzungu aliye tayar kutumikishwa na mwafrika tajiri hata kama ni masikini kias gani

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      @@machetebogota4218 hapo namaanisha tukatae kutawaliwa kifikra kwa kuaminishwa kuwa wasio waafrika ni bora kuliko sisi, kwa sabab wao tayar walishajiaminisha kuwa wao ni bora kuliko sisi, na tayar hizo fikra wanakuwa nazo kutoka utotoni mpaka wanakuwa wakubwa, kwa ukomboz wetu unatakiwa kuanzia kweny fikra zetu

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 Рік тому

      @@ladislausngoyinde4384 wewe Zanzibar inakuhusu nini mnyalukole kafiri

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 7 місяців тому

    😢😢Hayo mauwaji na mavamizi 😮😮😮😮

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 Місяць тому

    Hakuna historia hapo bali kamba tu hizo

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 10 місяців тому

    Sio Mapinduzi mulimpinduwa mpemba Mohd Shamte Sultan alikuwa ameshakabidhi nchi zamani husituzuge tunayajua yote na huu uliopo ni utawala wa kisultan kwani Karume amemridhi baba yake na Hussein Mwinyi amemridhi baba yake Ali Hassan historian inajirejea

  • @feisalomar-hr3hq
    @feisalomar-hr3hq 7 місяців тому

    Mjicho imemtoka mumeuwa waislamu revaluation of Zanzibar mukiangalia unaona movie Ile wakati ndo ukweli muliuwa waislamu wanaomiliki mashamba na majumba wakati hakuna ata mwenye silaha acheni unafki mumeuwa watu kibao mbwa nyinyi IPO sku yenu kama sioleo bas ata kama sisi tutakua makaburini IPO sku mutaongelea damu kama mulivyo uwa watu wasio na hatia

  • @lazaromagaho8604
    @lazaromagaho8604 Рік тому

    Asante

  • @aqmmsm55
    @aqmmsm55 Рік тому +1

    mapinduzi ya Zanzibar hajapinduliwa Sultan
    Sultan alikuwa kashamkabidhi nchi mzanzibar (Mpemba)

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      Mwarabu alimkabidhi madaraka sultan mwarabu mwenzake ili kuendelea kuwatawala na kuwanyanyasa waafrika, angekuwa mpemba asingepinduliwa na wananchi

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 Рік тому

      Kiukwel waarabu walikuwa wavamizi Tu ktk nchi yetu lakn pia wall chokifanya kuwaua haikuwa Sawa na aliyekabidhiwa nchi hakuwa mpemba Bali ni mswahili wa Zanzibar n Rwanda

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 Рік тому

      @@ladislausngoyinde4384 wewe Kafiri Musitusemee zungumza kwenu Tanganyika

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому

      @@ahmedzahor2975 rudi kwenu Oman wewe, acha makasiriko, Zanzibar sio kwenu

    • @aqmmsm55
      @aqmmsm55 Рік тому +1

      @@machetebogota4218 mwanangu nenda ukisome tena historia ya Zanzibar kiundani kabisa utajua kama desemba 1963 Sultan Jemshid aliondoka Zanzibar na nchi alikuwa nayo Muhammed Shamte ni Mpemba ndie aliepinduliwa baada ya kupinduliwa ndio nchi akakabidhiwa Karume na Karume kaja Zanzibar mgongoni mwa mama ake hajazaliwa Zanzibar ni mtu wa Malawi

  • @jumaseifjuma4185
    @jumaseifjuma4185 7 місяців тому

    Msikurupuke na maoni yasiyokuwa mashiko, someni historia ya dunia jinsi watu walivyohama na kuhamia au kuanzisha maskani yao. Kitu ambacho mpaka leo Watanganyika hawakijui ni kwamba wanashindwa kutofautisha baina ya Waarabu na Wazanzibari wenye asili ya Kiarabu, kwao wao kila mweupe ni Muarabu. Someni kule UK kuna Waziri Mkuu ana asili ya Kihindi lkn si Muhindi, kule USA keshakuwa rais asili yake Mkenya lkn alikuwa Mmarekani siyo Mkenya. Hii ndo historia ya dunia watu walivyohama na kuhamia au kuanzisha maskani yao. La muhimu hapa nani katangulia babu yako wewe au babu yake yeye.

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 7 місяців тому

    Imepinduliwa zanzibar maana uhuru ulukua usha parikana dhulma kubwa iliyofanywa

  • @ferouzferouz6046
    @ferouzferouz6046 10 місяців тому

    Wewe. Acha. Kutoa. Historia. Ya. Kuunganisha. Unganisha. Mambo. Ya. Ukweli. Na. Uongo

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 8 місяців тому

    Nalaumu waswahili na waafrika waliowapa hizi watu ardhi na kubaliana kuwapa utawala juu yao.. mwafrika ni lazime hairudi kwenye hio umaskini ya akili aanze kujenga inchi yake

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 Рік тому

    Tatizo wengi wanauhisisha uarabu na uislam hapo mnakosea

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 9 місяців тому

    Hao waengereza ndio waloanda mapinduzi

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 9 місяців тому

    Borauwo ukoloni ulio pita hatahu nikoloni mkubwa wameuwa watu wasokuanahatia