Inaumiza sana, mzee alikua hajui chochote lakini amesota na ikabidi akubaliane na hali hiyo.Maandiko yanasema miaka yako iliyoliwa na madu madu na nzige Mungu atarudisha.Pole sana mzee
Mahakim muwe na mungu nn maana ya kusomea shelia huyu mzee wamemfunga kosa la mpangaji tu isee kama kweli kwa mungu kuna azabu basi kuna watu ndo atafanywa kuni 😢😢 inasikitisha sana
mzee omba mungu tu myezimungu atakusaidia kwa maana ulizulumiwa mda wako usichoke kumbuka ulika gela miaka 35 na mungu aka kuona kwa hiyo komaa tu na madai hayo usichoke atatokea mtu atakusaidia tu inshalla
Pole mzee japo unaonesha ulihusika ktk mauaji maana hukuwa kijana mzuri kwakuwa miaaka 34 bado hujaoa na ulikuwa unamiliki nyumba na wapangaji mjini, hukutaka kuoa mkeo asijue mambo yako.
Miaka mingi imepita lakini mzee ana kumbukumbu vizuri kabisa! Inaumiza sana zaidi ya miaka 30 mtu anakaa jela hana hatia anaachiwa huru bila kiinua mgongo daah😢
polisi wamekosa Nini. polisi anakamata watuhumiwa. mtoa hukumu ni mahakama. yeye alikamatwa kama kusaidia ushahidi kwa sababu nyumba yake ilimuhifadhi mtuhumiwa. Sasa kama ushahidi uliendelea kuonyesha kesi inamhusu sasa polisi wangefanya nini
@@bundaman8542huenda nawe ni police ndio maana Sheria za kijingajinga sasa yeye mwenye nyumba ni wanini kosa kumpangisha msipo mpata mhusika afungwe yeye
Mwandishi wa habar mpuuzi sana yaan hajui kufanya interview yaani lipolipo tu hajui kuuliza maswali yaani adi muhusika anajiongeza kujibu baadhi ya vitu ata ambavyo ajaulizwa
Naona kuna kila sababu ya Seikali kuangalia upya sheria ya kesi za mauaji , kuhakikisha km ni kweli mtuhumiwa ametenda la sivyo kwa mtuhumiwa km huyu mzee alistahili kulipwa fidia endapo inabainika kuwa alihukumiwa kimakosa
Miaka hiyo ya 80 watu wengi sana walidhulumiwa sana na walinyanyaswa na askari polisi kulikuwa na kesi nyingi sana za kubandikizwa kwa mfano askari ana kisasi na wewe anakuliza chaguwa kesi unataka ipi ya kijenge au ngarnaro na zote ni za mauwaji na wewe huzijui unachaguwa inakulamba hapo
Maelezo haya hayana kiin muuwaji walimkamata nawanamjuwa namwenye nyumba yeye alimpangisha upelelez kwa maelezo yake walimwambia kwanini wamemkamata mpangaj wake lakin yeye mbona hakuwambiwa kwanini anakatwa maelezo hayaja nyooka Leo askal aje nyumban kwako uwambiwe mpangaj wako huyu nimwiz halaf tena kwenye kec nawe uhukumiwe mmm misielew
Kinachooneka hapo alibambikiziwa kesi, aidha askari walikula rushwa na mmoja wa wahusika wakuu hvyo ikabidi kesi hiyo apewe yeye hivyo hata mzee hapo hawezi jua kwa nini alifungwa ukizingatia hawakuwa na mawakili!
mimi ananikumbusha Mbali sana mwaka huo anaosema nilikuwa mfanyakazi wa shirika la ugawaji nakumbuka kulifanyika ujambazi maoneo keko tameko njia panda Barbara kutoka temeke na uwanja wa uhuru gari ya ugawaji ikaporwa pesa na kuuwa mlinzi aitwae hamisi ninamuomba amshukuru mungu
Tanzania huwa polisi wanajidai kusema wanachunguza sasa kuchunguza gani namna hivi mtu huna hata hatia yoyote wala kidhibiti hawana kusema mpangaji kosa nawewe twende. daah nchi yeti hii uonevu mtupu hamna investigation yoyote kujidaigi hawana chochote Ila mungu anawaona jinsi wanavyowabambikia watu kesi na kuwaweka hatiani hizi polisi sijui darasa la pili wamemaluza maana sioni kama kuna haki ama watu wanaelewa kazi zao
Mtu anapoachiliwa kwa msamaha haina maana kwamba alikuwa hana hatia bali ni huruma ya Rais tu. Kuna watu unakuta ni wauaji wabaya kabisa lakini inapompendeza Rais anatoa msamaha. Kwa hao ambao wanaachiwa kwa kushinda rufaa ndio wanakuwa wanatafsiriwa kuwa hawakuwa na hatia japo kuna wengine wanashinda kutokana na mapungufu ya waandaa mashitaka
Tuna waomba wanasheria wa kujitolea kufuatilia hukumu alipewa huyo mzee kama ilikua ni uwonevu alipwe fidia maana kapotezewa mda wake bure si zambi wala sio kosa kuishitaki serikali kama awajakutendea haki maana kuna watu wamepewa zamana na serikali ila wanatumia vibaya zamana walizo pewa kwa hiyo tukiwa tunadai haki serikali ndio watakua makini katika kuwateuwa viongozi watateuwa watu wenye uwadilifu na wenye hofu ya mungu
pia aende hospital huyo hyo ni pressure ikasababisga stroke,aanze dawa haraka za pressure ,sababu asipotumia dawa huwa inarudia,aachane na imani zingine..aende kumuona daktari
Mbona maelezo yao yote, hawagusi walifungwaje? Kwa ushahidi upi wa kuua mtu? Kweli wamesamehewa, je walihusikaje? Wasikwepe maana yakale hayanuki. Yaelekea hao jamaa walihusika kuua. Sibure. Nawapa pole wamwombe Mungu naye awasamehe, wasifurahiye msamaha wa Marais tu
PROGRAM YA ZUNGU D2 YA ARUSHA KASEME AKUNA MTU ALIYONYONGWA TOKA WAKATI WA NYELELE SASA AKIONA HII PROGRAM NDIO ATAMINI TANZANIA BADO UKUMU YA KINYONGO IPO😭😭😭
Pole cn babaa mngu alikuepusha nauko na akuepusha na Shari mbalimbali ,nakila aliye kudhulumu mngu atakulipia inshaallah .zidisha tu ibada inshaallah
Pole sana mzee wangu , ndio maisha yalivo 😢weka jitihada kwa mungu wako ili upate hatma njema
Inaumiza sana, mzee alikua hajui chochote lakini amesota na ikabidi akubaliane na hali hiyo.Maandiko yanasema miaka yako iliyoliwa na madu madu na nzige Mungu atarudisha.Pole sana mzee
😭😭mashaallah Allah awajaalie.upendo ilahakiyamtu. Haipotei bule. Amekeni usiku mswali mstakieni Allah atawajibutu bihidhnillah
Mungu atakulipa kabla haujazimia Roho, Anae Amini Aweje Like Hapa.
Pole kaka mungu atakulipia muombe mungu akusaidie
Angeachana nazo akatafuta zake mungu atakulipia nimeingia huruma nachozi kunitoka
Mzee Mungu anakupenda ndo maana umekuwa mzma, naamini waliokusingizia kesi nadhani watakuwa walitangulia mbele za haki
Subhana Allah dah Dunia hii allahu akbar..mngu akulipe KHeri
Mzee huo ni mtihani muombe mungu kwa dhati ya moyo wako uciku na mchana haki yako itarudi inshallah
Sheria duniani haki mbinguni mungu atalipa tu
Dogo kwa adhabu hiyo ya kulazimishiwa umesamehewa mpaka mbinguni kwa jina la YESU sema Ameni
Mahakim muwe na mungu nn maana ya kusomea shelia huyu mzee wamemfunga kosa la mpangaji tu isee kama kweli kwa mungu kuna azabu basi kuna watu ndo atafanywa kuni 😢😢 inasikitisha sana
MashaaAllah baba zangu msiogope Haki ya mtu haipotei mtapata tuuu Haki enu jamani
Pole baba
Pole sana baba angu Allah atakulipa kesho ahera
Haki ya mtu haipotei ni dunia tu ndiyo inatubabaisha.
Polee Sana baba usichoke kumuomba Mungu yeye ndio kila kitu
mzee omba mungu tu myezimungu atakusaidia kwa maana ulizulumiwa mda wako usichoke kumbuka ulika gela miaka 35 na mungu aka kuona kwa hiyo komaa tu na madai hayo usichoke atatokea mtu atakusaidia tu inshalla
8:49 😊
Ila mahakimu asee hii kazi ngumu ya lawama sana,mnyongaji anaishi uraiani kweli?!!😢
Pole mzee japo unaonesha ulihusika ktk mauaji maana hukuwa kijana mzuri kwakuwa miaaka 34 bado hujaoa na ulikuwa unamiliki nyumba na wapangaji mjini, hukutaka kuoa mkeo asijue mambo yako.
Umetumia kiungo gani kufikiri?
Kwa mungu kuna viongozi wengi watachomwa na gesi hasa mahakimu.
Kuna kesi ukisikiliza inauma sanaaaa
Mungu ndio anajua baba angu...
Pole sana Mzee SaSa Okokeni Mmalize na MUNGU muingie Mbinguni hii ni Dhuluma tupu ila Mshukuruni MUNGU kwakila jambo.
Huu nao msiba mwingne
Waokoke ndo nini Kwan umewaona wanafanya mambo yalaana
Huezi Kuta mtu kaokoka akawa na akili timamu
Umefundiahwa vzr kujinasua,
Asante sana
Mungu yu mwema mzee pole sana
Pole kaka
Allahu Akbar kweli sio wanaokwenda jela wote wana hatia nimeamini pole babu Allah atahukumu kwa haki kesho Akhera😢
Pole sana
Allahmdulillah
Pole nimitihani yaduniy
Miaka mingi imepita lakini mzee ana kumbukumbu vizuri kabisa! Inaumiza sana zaidi ya miaka 30 mtu anakaa jela hana hatia anaachiwa huru bila kiinua mgongo daah😢
Yani bila ata fidia yoyote na uku maisha yake yameharibiwa kwa kusingiziwa jamani
Yaan unaweza omba ubaki TU jera Sasa anaenda kuanzia wap inauma
Inauma sana..naiomba serikali iwasaidie watu hawa iwapatie kifuta jasho.
duuh poleni sana wazee wangu kwani suko suko mungu azidi kuwa Linda inshallah
Na familia Hana yaani MAISHA haya niyakusikitisha mno😢😢
Pole sana mzee.Ila hatujajua mlikua washukiwa 6 na kilamoja alijitetea vipi . naupande wa Asikari ushahidi wao mpaka kubaini nyinyi mlio baki?
Babu pole ndo dunia
Wekeni namba ikiwezeka tumchangie
Nikweli kabisa inatia huruma muno yaani hajaifurahia dunia kamwe😢😢
Mzee muungwana. Nimempenda bure tu.
Pole na mitihani Allah atakulipia inshallah
Mnyongaji watu watamviziaaa na yeye😅😅😅
Serekariii jamaniii watuuu kamaaaa awaaa muafikilie jamaniii
Yote Yan wezekan kwa iman
Mdumu katika ibada msiogope binadamu
Imaumiza sana hii hadithi😢
Poleni sana ,,,wazee
Pole san bba. Nimapito aya
Mzee asaidiwe apate haki yake inafuzunisha sana
Hakuna chenu mbinguni police mukamata watu wasio na hatia mnashindwa kunyonga wanaoteka watu 😢😢😢😢 pole sana baba
Mipango ya Allah sio mwanadam
Hii ni mipango ya shetani
Wahukumiwa wengi jera hawana hatia lkn hawana mtetezi,lkn mwisho ukweli ujulikana wakati mda umeenda
Nimekusikiliza saba Babu pooole ila wauwaji nao ki ukweli hawatendi haki kwa binaadam wenzao kuuwa kwa makusudi sio sawa
Duuu ilikuwa bonge la uonevu
Alwah swamad
kwa kweli ni kuwapa pole kea mungu alshaanika yawake jao. lakuwaombrea wawe salama na mungu awape uzima na afya njems
Amiim
Uyu baba akipata mke ataoa atapata mtoto bado ajazeeka apati mke mwenye kizazi tu bas😢😢
Subuhanallah. Polesana. Jamani zambi polic angalieni madalaka yatawatia motoni kuwafunga watu bilaahatia
polisi wamekosa Nini. polisi anakamata watuhumiwa. mtoa hukumu ni mahakama. yeye alikamatwa kama kusaidia ushahidi kwa sababu nyumba yake ilimuhifadhi mtuhumiwa. Sasa kama ushahidi uliendelea kuonyesha kesi inamhusu sasa polisi wangefanya nini
@bundaman8542 ila nikweri. Allahu yaalam siri yayo maana tunasikitiswa kwa kaulizao
@@bundaman8542huenda nawe ni police ndio maana Sheria za kijingajinga sasa yeye mwenye nyumba ni wanini kosa kumpangisha msipo mpata mhusika afungwe yeye
Mwandishi wa habar mpuuzi sana yaan hajui kufanya interview yaani lipolipo tu hajui kuuliza maswali yaani adi muhusika anajiongeza kujibu baadhi ya vitu ata ambavyo ajaulizwa
We kichwa Maji kweli,Huelewi nini Hapo?
kama mzee anaongea Unataka Amkatishe katishe?
@@Mentalixtv
Maswali gan ya msingi kauliza hapo? We mbona kichwa maji
Watu wanaona tu Fanny za watu hawataki kusoma. Kila mtu akiwa na Mic tu basi nayeye kesha kuwa mtangazaji. Masuala feki
We acha ushamba hii ni story mzee ndo anaeleza
@@Mbewevunjabei aulize maswali na mzee anafunguka,wewe kilaza huelewi ndio maana,pole sana
Naona kuna kila sababu ya Seikali kuangalia upya sheria ya kesi za mauaji , kuhakikisha km ni kweli mtuhumiwa ametenda la sivyo kwa mtuhumiwa km huyu mzee alistahili kulipwa fidia endapo inabainika kuwa alihukumiwa kimakosa
Kuna kitu cha kujifunza hapa
Miaka hiyo ya 80 watu wengi sana walidhulumiwa sana na walinyanyaswa na askari polisi kulikuwa na kesi nyingi sana za kubandikizwa kwa mfano askari ana kisasi na wewe anakuliza chaguwa kesi unataka ipi ya kijenge au ngarnaro na zote ni za mauwaji na wewe huzijui unachaguwa inakulamba hapo
Ratiba za kunyogwa wange Fanya kwa sasa sheria za za zamani Nzuri wahalifu wabakaji wanyanya saji wange nyongwa tu mambo yange Pungua kwa sasa
ukumu kwa ala zulma
Maelezo haya hayana kiin muuwaji walimkamata nawanamjuwa namwenye nyumba yeye alimpangisha upelelez kwa maelezo yake walimwambia kwanini wamemkamata mpangaj wake lakin yeye mbona hakuwambiwa kwanini anakatwa maelezo hayaja nyooka Leo askal aje nyumban kwako uwambiwe mpangaj wako huyu nimwiz halaf tena kwenye kec nawe uhukumiwe mmm misielew
Mdogooo wanguuu sheriaaa zazamaniii irikuaaa ivooo shauriii yako
Kinachooneka hapo alibambikiziwa kesi, aidha askari walikula rushwa na mmoja wa wahusika wakuu hvyo ikabidi kesi hiyo apewe yeye hivyo hata mzee hapo hawezi jua kwa nini alifungwa ukizingatia hawakuwa na mawakili!
Kwaiyo apa nimeona watu wengi wario nyongwa ni watu wa Mtwara
Yakikukuta utajua
Ukisikia sheria ya kiislamu hakuna upuuzi kama huo lazima uadilifu uzingatiwe
Dah kulikua hakuna wana sheria wa kumtetea aisee noma sana. Huyu anaweza kudai fidia kabisa yaan
❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🙏🙏🙏😭😭
Kina watu wana comet upuuzi lakini msifurahie likiwakuta mtajua kuwa serikali haina haki
mimi ananikumbusha Mbali sana mwaka huo anaosema nilikuwa mfanyakazi wa shirika la ugawaji nakumbuka kulifanyika ujambazi maoneo keko tameko njia panda Barbara kutoka temeke na uwanja wa uhuru gari ya ugawaji ikaporwa pesa na kuuwa mlinzi aitwae hamisi ninamuomba amshukuru mungu
Bwana Mangi mpoze kidogo jamaa, ametoka kwenye shida.Usigombane nae.
Toa namba tukuchangie hata kidogo tulichonacho.
Duu kabla hujafa hujaumbika
Huyu mzee tatizo ni stress kubwa.katoka katika balaa kaja kukuta balaa jingine
Mie nazaliwa1983 nina 42 na yeye alikuwa na 34 jumla 76.. Mmmh mungu mkubwa
Tanzania huwa polisi wanajidai kusema wanachunguza sasa kuchunguza gani namna hivi mtu huna hata hatia yoyote wala kidhibiti hawana kusema mpangaji kosa nawewe twende. daah nchi yeti hii uonevu mtupu hamna investigation yoyote kujidaigi hawana chochote Ila mungu anawaona jinsi wanavyowabambikia watu kesi na kuwaweka hatiani hizi polisi sijui darasa la pili wamemaluza maana sioni kama kuna haki ama watu wanaelewa kazi zao
Hakuna mtuhumiwa atakwambia alitenda kosa
Wataalamu WA sheria tuelezeni, inapogundulika umeteswa bure hiyo je hakuna haki ya judai fidia?
Mtu anapoachiliwa kwa msamaha haina maana kwamba alikuwa hana hatia bali ni huruma ya Rais tu. Kuna watu unakuta ni wauaji wabaya kabisa lakini inapompendeza Rais anatoa msamaha. Kwa hao ambao wanaachiwa kwa kushinda rufaa ndio wanakuwa wanatafsiriwa kuwa hawakuwa na hatia japo kuna wengine wanashinda kutokana na mapungufu ya waandaa mashitaka
@@paschalmasakae5314hapo sio Rais ni haohao afisa magereza baada ya kuangalia mazingira ya kesi hupendekeza kuachiliwa
Tuna waomba wanasheria wa kujitolea kufuatilia hukumu alipewa huyo mzee kama ilikua ni uwonevu alipwe fidia maana kapotezewa mda wake bure si zambi wala sio kosa kuishitaki serikali kama awajakutendea haki maana kuna watu wamepewa zamana na serikali ila wanatumia vibaya zamana walizo pewa kwa hiyo tukiwa tunadai haki serikali ndio watakua makini katika kuwateuwa viongozi watateuwa watu wenye uwadilifu na wenye hofu ya mungu
Tz bado wananyonga watu?😢
JESHI ASILI YAKE KAANZISHA FIRAUN HERI KWA HAWA WATU ITATOKA WAPI
Jeshi la polisi kuweni makini katika upelelezi msikamate wasiohusika.Mtuhumiwa ni mpangaji halafu mnakamata na mwenye nyumba?.
Lakini anaye muhua mwenzake mpaka akapelekwa jela ulivo muhua mwenzio sasa utaogopaje kitanzi auaye kwa upanga atakufa kwa upanga
Miaka 34 hujaoa huna mtoto haukuwa chuo ulikuwa unachachua tuu, mtoto marga
Polisi walio wa singizia hio kesi watakua walishakufa
WACHAGA KWA KESI ZA VIWANJA VYA DHULMA.
Hakika mungu hatakulipia.
Apewe haki yake bilakujali nani kanunuwe
mshsuri apate mwanasheria atapsta haki yake
pia aende hospital huyo hyo ni pressure ikasababisga stroke,aanze dawa haraka za pressure ,sababu asipotumia dawa huwa inarudia,aachane na imani zingine..aende kumuona daktari
toivo1234
Kitila akili kubwa uwezi kulinganisha na huyu mtabir
Mmezowea kuonesha na kulaani wachinjaji kule saudi Arabia sasa hapo vipi?
Kwa hiyo unawatetea Waarabu wa Saudia.
Ina maana walifungwa bila makosa au wamesamehe lakini walikuwa na makosa. Maana kama walifungwa kinyume na sheria. Serikali inatakiwa kuwalipa
Kitengo cha Haki za binadamu wanasemaje kyk kumsaidia mzee huyu kupata haki yake ilominywa? Watetezi wa haki za binadamu ingilieni kati jamani.
Waende tls watasaidika.
Hawa walionyongwa rais si alitia Saini kuhalisha kunyongwa kama ndo hivyo duu urais noma
Kwendaa.huyu anaonekana kabsa n muongo muongo hanyooshi maelezo hats sura yaonesha n jambazi
Muongo mama kenge wewe
Jambazi mama,angalia matamshi yako yatakuponza
Mzee, adhabu ya kifo haiwezi kufutwa kwa sababu uhalifu wa kuua kwa kukusudia bado unaendelea. Period!
Wauwaji wanasimuliya hisitoria muliwaza ninibkuuwa washenzi nyiye
Mbona maelezo yao yote, hawagusi walifungwaje? Kwa ushahidi upi wa kuua mtu? Kweli wamesamehewa, je walihusikaje? Wasikwepe maana yakale hayanuki. Yaelekea hao jamaa walihusika kuua. Sibure. Nawapa pole wamwombe Mungu naye awasamehe, wasifurahiye msamaha wa Marais tu
Huyu Mzee simuelewi ,yaani mpangaji afanye mauaji,yeye afungwe
Ayajakukuta ndugu Yang kuna watu wanafungwa Awana hatia Ila mwandish awazi kuhoji maswali 😢
Kweli kabisa
PROGRAM YA ZUNGU D2 YA ARUSHA KASEME AKUNA MTU ALIYONYONGWA TOKA WAKATI WA NYELELE SASA AKIONA HII PROGRAM NDIO ATAMINI TANZANIA BADO UKUMU YA KINYONGO IPO😭😭😭
Alipoingia Magufuli kua Rais aliifuta wanafungwa maisha tu
Huyo Mzee mwaka 82 kulikuwa na tukio la upolaji wa pesa za ugawaji na kumpiga risasi Askari wa ugawaji na kufariki
Dunia palepale
😅😅 miminawajuwa vizuri hao wazee ila yashaapita
Kwa hiyo aliuua?