KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • Moja ya matukio muhimu ya kihistoria yaliyowahi kutokea ndani ya Zanzibar ambayo hata mtoto wa darasa la kwanza anatambua ni kifo cha Mzee Abeid Amani Karume ambaye aliuawa Aprili 7, 1972, siku ambayo sio rahisi kuisahau.
    Jina lake ukamilifu ni Abeid Amani Karume. Alizaliwa Agosti 4, 1905 katika kitongoji cha Pongwe huko Mwera Wilaya ya Magharibi “A” Zanzibar.

КОМЕНТАРІ • 262

  • @mariselilekibalunye5933
    @mariselilekibalunye5933 Рік тому +1

    Poleni sana mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

  • @alicegitau2942
    @alicegitau2942 3 роки тому +4

    I don't know why but I love love history and I am just an 11 years old girl please tell me if you love history I feel alone guys

  • @mohamedboya5227
    @mohamedboya5227 4 роки тому +2

    Asante kwa makala hii inatukumbusha mbali nawengene hatuwepo duniani

  • @alshaqsi1369
    @alshaqsi1369 4 роки тому +6

    Ukidhulumu na ww utadhulumiwa
    Mzee Abeid karume hakuzaliwa zanzibar

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому +1

      Alizaliwa Tanganyika.

    • @pendooscar9322
      @pendooscar9322 3 роки тому +2

      Warabu wako mbioni kuwatawala Tena

    • @khadijarajab8383
      @khadijarajab8383 3 роки тому +1

      @@pendooscar9322 Umeona eeh..hila haitatokea sababu Tz tupo na tunaamua

  • @b.3940
    @b.3940 2 роки тому +7

    Karume hakuwa mzanzibari ni mzaliwa wa Lagos Nigeria jina lake halisi ni Prince Oyenusi Oga.

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 місяці тому

      We ndio ulimzaaa au

    • @b.3940
      @b.3940 3 місяці тому

      @@RomanMwinyi sina uke wa kuzaa mie lakini najuwa wewe unao. Si unikopeshe Mroma Mwinyi.

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 місяці тому

      @@b.3940 njoo uchukue nakufungia sasa ivi ndan adi asubuh mimb ya mapacha

    • @b.3940
      @b.3940 3 місяці тому

      @@RomanMwinyi 🤣🤣🤣🤣

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 місяці тому

      @@b.3940 njoo ujionee kama uwaminii

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 13 днів тому

    Znz hakupinduliwa sultan alipinduliwa mzanziba huo niongo

  • @alimohd8427
    @alimohd8427 2 роки тому +2

    Nyerere ndo alomuua

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 роки тому +8

    mola akuremu sote ndio safar yt allah atupe kheri

  • @hashimmohamed3215
    @hashimmohamed3215 2 роки тому +1

    Ndugu zangu. Tutambie kuwa hoja siku zote huvunjwa na hoja na wala si matusi na kashfa. Watanganyika na Wazanzibar ni ndugu na wengi wetu hatujawahi kuishi kabla ya Tanzania. Sintofahamu zitakuwepo na njia bora ya kuzimaliza ni kujadiliana kwa heshima, hoja na hekima. Mungu ibariki Tanzania.

  • @musawenkosigroup7962
    @musawenkosigroup7962 3 роки тому +2

    Mbona amusemi kwamba John Okello kutoka Uganda ndo alieongoza mapinduzi...?

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 3 роки тому +3

    Usaliti ni hatari sana. Wapinga maendeleo ni watu hatari sana. Kila wakati nasema dunia aiwezi kua salama wakati silaha zipo na zinatumika na wasiyo penda amani. Mungu mkuu aturehem sote. Amen.

    • @ahally61
      @ahally61 2 роки тому

      Huyo okelo alzaliwa wapi na ilikuwaje akaongoza mauwaji Zanzibar na alipomaliza alibakia wapi na ameishia wapi mbina tunamuona kwenye mwanzo wa historia za zanzibar tu lakini alivyoishia haelezewi na wala hamtwambii kama alikuwa nani wakati na baada ya mapinduzi

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 роки тому +11

    Acheni upotoshaji,Karume hakuzaliwa Zanzibar,ni mhamiaji kutoka Malawi enzi hizoo

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 роки тому +2

    Aliua kwarisasi watu wengi.nayy akauliwa kwarisasi.jmn ubaya ukowapi hii ndo sifa Allah.amuonei mjawake.

  • @AllenSimon-rz8ye
    @AllenSimon-rz8ye 4 місяці тому

    Naipenda sana

  • @alikabeya138
    @alikabeya138 2 роки тому +3

    Historia ya uanzishaji wa ASP umechapia walianza na AA kabla ya kuunganisha AA na Shiraz Association. Toa Uongo ndugu

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому

    Watsfutenii wanataka kumuuwa kijana wakee abireddd karumee plz mumewaonaa wahuthuria

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 2 роки тому +3

    Mimi ni mkenya nimesoma msg zenu na naona kumbe hamko pamoja wazanzibari wao wajiona ni waarabu lkn utaka kujua wewe si mwarabu bali ni mwafrika nenda warabuni

    • @abdillahijalalkhan2128
      @abdillahijalalkhan2128 2 роки тому

      Hapana haja!
      Tazama kiyoo!

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      Nenda kakunywe cangaa kule madhare huna akili ww
      Kwani hapa kwenye comment kunarangi ati huyu mwarabu ama yule black???

  • @IBRAHIM-eh9vw
    @IBRAHIM-eh9vw 2 місяці тому

    Hatutosahau maishayetu yote😢😢😢

  • @okellonjaramba6759
    @okellonjaramba6759 2 роки тому +7

    Please regnise Field Marshal John Okello as the true leader of the revolution of Zanzibar

    • @dianadenis7557
      @dianadenis7557 2 роки тому

      They will never do that and its true John Okello rest in peace Amen!

  • @harounbuzohera4797
    @harounbuzohera4797 2 роки тому +3

    There is a hidden story of Field Marshal John Okelo ,the man who masterminded the Revolution in ZANZIBAR.

  • @fredelias5176
    @fredelias5176 3 роки тому +2

    History is the past,present and future events

  • @xinyingmiao4996
    @xinyingmiao4996 4 роки тому +7

    duuh karume alikuwa ni mkubwa sana kiumri zaidi ya nyerere

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Lakini kiakili nyerere mjanja NA ana akili mkubwa kaweza kuimeza zanzibari milele

    • @tariquexplore
      @tariquexplore Рік тому

      ​@@alialamoudi9729 heheh dhulma huwa inarudi tu Zanzibar one day tutawala tanganyika yenu fuck you ....mtu ambaye hana akili utajenga magorofa na shilingi 1 yetu ilikuw dola mbili za kimarekani na 5 paundi

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 7 місяців тому

      Ndio alikua mkubwa Ila kicwa maji

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 5 місяців тому

      ​@@sammarley1413kwanini 😂😂😂😂

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      ​@@fasterwalker1464 angelikua na akili japo kidogo angalitazama mzee julias nyerere yy kule bara anao warabu kibao nawahindi namakabila mengi tu yawatu weupe hajawauwa Bali amewarahisishia wafanye biashara nakuongeza ucumi wataifa
      Sasa huyu karume ambye nimuislam yy Alikuja nakarata isio nahekim yoyote hiv kuwauwa warabu nakupora Mali mashamba majumba yawazanzibar kama yy alitaraji nini? Matokeo ndio kama hivi kula risasi yakicwa fujo kwisha

  • @faridimohammed4823
    @faridimohammed4823 3 роки тому +4

    Yeye kauwa wanga, munasahau mwaka 64

  • @rajakhamis8902
    @rajakhamis8902 2 роки тому +1

    Watanganyika wameanza zamani kujipndekeza kwetu Zanzibar na hadi sasa sanazaliana tu hku

  • @abdulazizislam1261
    @abdulazizislam1261 10 місяців тому +1

    Kama alivyo uwa na yeye ameuwawa hiyo ni hukumu ya mungu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 4 роки тому +6

    Baraka Shilumba: hebu tupe kwa ueleo wako hao uliowataja ni nani?

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 3 роки тому +3

    RIP Mkombozi wa wanyonge, may Allah shower His mercy on him and all Zanzibar fallen heroes. Mapinduzi daima.

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 роки тому

      mkombozi kweli maana hapo ulipo ww una njaa wale walofukuzwa wakauliwa na wengine wakarudi kwao sasa iangalie nchi yao

    • @salimabdillah1623
      @salimabdillah1623 3 роки тому

      @@imash04tv20 alhamdulillah nipo vizuri, kilichowaleta Zanzibar nini? Si wanakie makwao, Zanzibar ni ya waafrika sio wamanga

    • @salimabdillah1623
      @salimabdillah1623 3 роки тому

      Si wengebakia kwy majangwa yao wakati huo, wao ndo walokuwa na waya mkali zaidi wa njaa.

    • @salimabdillah1623
      @salimabdillah1623 3 роки тому

      @@imash04tv20 Zanzibar itabakia ya waafrika daima, wananga hadi leo mate yanawadondoka, mapinduzi daima, usultani kwisha zake

    • @salimabdillah1623
      @salimabdillah1623 3 роки тому

      @@imash04tv20 heri ya njaa kuliko utumwa na kutawaliwa, na hata dini, wapi na wapi eti ibadhi, khawareej, wazanzibari ni sunni muslims, wakome kuharibu dini za watu

  • @shaabansabour1214
    @shaabansabour1214 Рік тому +1

    Watanzania bara, munapotosha ukweli. Yuko wapi hapa Fidel Mashal John Okello. Watu nyinyi wacheni uongo.

  • @rajakhamis8902
    @rajakhamis8902 2 роки тому +1

    Huyo nyerere si ndio alie muwa karume ili watanganyika wapate kujipendekeza vzur hku zanzibar na kushobokea wazanzibar

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 3 роки тому +3

    Chanzo cha kifo cha mzee karume ni nyerere mshenzi halafu karume hajazaliwa zanzibar jutaahid kuulizia kwanza kabla kutoa makala brother

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 роки тому

      Tofauti na mkewe,
      Nani mwingine atakupa ukweli...!

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 роки тому +1

    SEMA UKWELI NANI,ALIEMUUA USIFICHE,

  • @dullaomar3610
    @dullaomar3610 3 роки тому +2

    Kauwa na yeye kauliwa ukweli unajulikana na alie muuwa ni shemegi yake hakuna cha ukombozi ni mauwaji tu.

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 2 роки тому

    Hakuzaliwa Zanzibar huyu jamani hamuijui historia

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 роки тому

    Hivi karume hajawahi kuuzwa sokoni ?

  • @halidhamaad177
    @halidhamaad177 2 роки тому +1

    Bro hujui historia ya karume tuache

    • @AhmedSEIF-w8w
      @AhmedSEIF-w8w 2 місяці тому

      😂😂eti linasem karume kazaliwa mwera ety 😂😂

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 3 роки тому +2

    Ndani ya ofisi si hadharani km title yako inavodai though your description is ok.Pia hakuna nchi inayotwa Zanzibari, it's Zanzibar ( pronounced Zanziba ) in Swahili.

    • @salimabdillah1623
      @salimabdillah1623 3 роки тому

      Inayoitwa ( correction)

    • @dolldoll8483
      @dolldoll8483 3 роки тому +1

      Lol we sijui wa wapi. Kiswahili ni Zanzibari english ndo Zanzibar(zanziba)

  • @SalehToli-n1x
    @SalehToli-n1x Рік тому

    Waafrica ni sawa na binadamu wote ubaguzi ni shida,m bora wetu ni mchamungu.

  • @goldenboy7504
    @goldenboy7504 2 роки тому +1

    Hao waaasisi na watoto wao wote mumewadharau awamu hii na ndio maana munakosa radhi siku zote unayemkuta muheshimu

  • @abdhihariabdhallah760
    @abdhihariabdhallah760 4 роки тому +11

    Karume aliuwa wangapi mbona hakuzaliwa unguja alizaliwa Malawi Zanzibar alikua hana ndugu yoyote alitokea Kenya na meli akafika unguja kama baharia waongo historia ya uongo

    • @milleniyahmohamedy8787
      @milleniyahmohamedy8787 4 роки тому

      Abdhihari Abdhallah acha upumbavu wewe

    • @abdhihariabdhallah760
      @abdhihariabdhallah760 4 роки тому +1

      Mpumbavu.ni.wewe.semeni.kweli.karume.hakuzaliwa.Zanzibar.iko sauti yake alivosema unguja hana MTU isipokua mkewe na wanawe alitumiwa na nyerere kuuwa watu 64 kwa chuki aliyokua nayo kwa wazanziba nenda ukalitafute kaburi LA MAMAKE kama utaliona karume ni mmalawi alikua Kenya alifika Zanzibar na melj kama baharia acheni kupotosha watu ukweli tunaujua

    • @maikosaga3632
      @maikosaga3632 4 роки тому

      Pole sana ndugu yangu kwa hasira zako ila fahamu huu mchezo hauhitaji hasira ndugu

    • @abdhihariabdhallah760
      @abdhihariabdhallah760 4 роки тому

      Sjna hasira broo maoni ya MTU atakama huyapendi unatulia usiingilie MTU moja kwa moja

    • @nassormohammed1743
      @nassormohammed1743 4 роки тому

      story yako nusu yake uongo

  • @riffayahmad2021
    @riffayahmad2021 4 роки тому +6

    huna unalo jua....

  • @tecnof1232
    @tecnof1232 4 роки тому +4

    Msitubabaishe, Karume hakuzaliwa Zanzibar

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 3 роки тому +10

    Mm nataka niwaambie watanganyika au watanzania bara kwanza kabisa acheni kujipendekeza kwa wazanzibar,mbona ss hatuna shobo na nyinyi,pili km munataka kuandika makala ya viongozi wa Zanzibar na historian ya nchi basi anzeni kuandika historia ya nchi yenu ya Tanganyika na Kiongozi wenu km munashahu nyinyi mjnapensda kujipndekeza kwetu ss Kiongozi karume mungu amrehemu ameshatueleza kuwa Zanzibar itaongozwa na wa Zanzibar wenyewe na s vyenginevyo na haitoongozwa na watu kutoka kwenu
    Andikeni historian ya kwenu Tanganyika inawashinda mutawezaje kuandika ya Zanzibar ambayo tayar ni ambyo imewatangulia kwa mda mrefu sana

    • @gracekikula6279
      @gracekikula6279 3 роки тому +2

      Hovyoooo

    • @pendooscar9322
      @pendooscar9322 3 роки тому +9

      Haha yani ndomana warabu wanakula bata nyie mnatoa vyombo arafu Zanzibar ndio nini kwamfano huyo abed mlimuuwa nyie wenyewe yaani ata nyerere hausiki natena ipo siku tutavunja muungano atakae shinda vita ndio atakua mtawala loho mbaya mwajidayi mumeshika dini wakat mnafilana mumeambukiza paka tanganyika tuliokua hatuna mambo hayo nyooo

    • @eliaslazaro2809
      @eliaslazaro2809 2 роки тому +8

      Mmekalia kuvaa misuri kilaktu kwenu niuvivu tu mmeishia kupangusa miguu ya waarabu tu.Inakuuma nn kuungana?

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 роки тому +4

      Nyinyi bado hamjawa na akili ya kujiongoza wajinga ninyi lazima tuwaendeshe kama ng'ombe bila hivyo mtatawaliwa tena na waarabu. Maana hampendi kujituma katika kazi zaid ya uvuvi wa samaki na kufirana2 mbwa nyie mtafanya mungu aichome tanganyika kama sodoma kwa ajili yenu

    • @nurumvungi2210
      @nurumvungi2210 2 роки тому +9

      Acha hasira...jipangeni upya muikomboe nchi yenu... maana kwa Sasa ni mkoa tu wa Tanganyika huo..
      Sioni njia ya nyie kujikomboa maana hamna jeshi, hamna polisi,hamna benki kuu,hamna sarafu...Sasa hiyo ni nchi au mkoa tu?

  • @aby21111
    @aby21111 2 роки тому +6

    A criminal who killed innocent great grandfathers and grandfathers .What goes around comes around. 💃💃💃💃💃❤

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp 3 роки тому +4

    Rest in peace

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 роки тому +3

    HISTORIA ZINGINE KAMA HAMJUI MSIWE MNASIMULIA

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 5 місяців тому

    itakua john okero naliamua kulipiza kisasi nini

  • @johnrimoy370
    @johnrimoy370 4 роки тому +3

    Kichwa cha habari kinatakiwa kiwe History ya Karume.

  • @talisajoo3355
    @talisajoo3355 2 роки тому +1

    Rip

  • @ahmedkhamis1167
    @ahmedkhamis1167 4 роки тому +2

    Uongo karume hajazaliwa Zanzibar zama hizi za uwazi na ukweli cjui kwann bado mnangangania uongo

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому

      Ndio maana mnatawaliwa na Dodoma.

    • @teacherchundu4062
      @teacherchundu4062 3 роки тому

      @@uledimtumwa2406 Ninyi mlitawaliwa na mmalawi.

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому

      @@teacherchundu4062 Na sasa tunatawaliwa na mmakunduchi,watanganyika hatuna ubaguzi kama nyie waoman.

  • @robertkasike4061
    @robertkasike4061 4 роки тому +14

    Aliye muua karume aliuawa na dereva wa karume wakati ule ule msifiche ukweli mtafuteni dereva wake bado yuko hai

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +1

      Yeah wanajaribu kupindisha ukweli wanatufanya watanzania ni mazokwa wakati ukweli tunaujua

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 роки тому

      Aisee kumbe iko hivo. Ndo tatizo la africa . Huyo dreva wamempoteza ili kupindisha historia pia ni ili asipewe heshima yake na kutunzwa

    • @dottoamos2902
      @dottoamos2902 2 роки тому

      Bro uko wapi unisimulie

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 місяці тому

      sasa wakamuulize kabuli au wap

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 4 роки тому +16

    Kumbe wasiojulikana walikuwepo tangu mwanzo 😭

    • @marcusraina3682
      @marcusraina3682 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @jamesponeca8912
      @jamesponeca8912 2 роки тому

      Wanajua

    • @shaabansabour1214
      @shaabansabour1214 Рік тому

      Innocent mashauri huwezi kuwa muandishi na msemaji wa Historian wakati wenyewe, wazanzibari bado wapo. Na ni wasomi.

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 роки тому +3

    Walale pema peponi viongozi waasisi wa taifa letu tukufu hayati mwl.julius k nyerere na hayati Abeid Aman Karume

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 роки тому +5

    Aliye tumana kuuwawa kwa karume ni shetani nyerere

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому +1

      Ili iweje!!??? Tatizo nyie mnautamani utawala wa kisultan.

    • @makenakendi282
      @makenakendi282 3 роки тому

      Ukweli ni huo ama uko Na jengine?

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому

      @@makenakendi282 Tanganyika itatawala Zanzibar daima.

    • @makenakendi282
      @makenakendi282 3 роки тому

      Mpanda ngazi hushuka itafika wakati ndio utajua kachumbari hakipashwi moto....

    • @verostaherman4952
      @verostaherman4952 3 роки тому

      Makena kendi shetani mwenyewe nijonge kama una hasira

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 роки тому +2

    Hawaachi kusema uwongo wamezoweya bado wanazidi kudanganya watu duuuu

  • @allymwazoa6301
    @allymwazoa6301 4 роки тому +1

    Hivi kanali mahfudh ni nani?

    • @skywalkercool6788
      @skywalkercool6788 4 роки тому

      free.facebook.com/WatanzaniaMashuhuri/photos/a.454736727904699/475211132523925/?type=3&_rdc=1&_rdr

  • @saeedaltae2169
    @saeedaltae2169 4 роки тому +3

    Uongo hy amezaliwa 1902 sio 1905

    • @philbertcelestin2702
      @philbertcelestin2702 3 роки тому

      Mwaka wake wa kuzaliwa haufahamiki sana.kakini 1905 ndiyo unatambuliwa!

    • @mauadaud4447
      @mauadaud4447 3 роки тому

      Kweny historia uwo ndo mwaka aliozaliwa 1905

  • @godblessminja3380
    @godblessminja3380 3 роки тому +3

    Kumbe hakuwa na elimu huyo mzee

  • @rahimasalim26
    @rahimasalim26 2 роки тому +1

    Kama kulikua na ukoloni kabla ya mapinduzi
    Jee? hawa wasomi wote kina Nyerere
    , Karume, Aboud Jumbe, Ali Hassan Mwinyi etc walusomeshwa na nani?
    Kwa ajili wote ni wasomi na very smart wala huwezi kuwalinganisha na wasomi wa sasa

  • @pascarmwatosya6815
    @pascarmwatosya6815 3 роки тому +1

    R,I,P.

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 3 роки тому +1

    Mbna mauwazi ya maraisi ni africa tu na sio continent zengine africa sisi ni matajiri sanaa tukiacha kuaibudu dollar tujisisimamie wenyewe watakuja wao kutuabudu sisi

  • @khadijavassardanis3178
    @khadijavassardanis3178 3 роки тому +1

    Pumzika kwa amani

  • @dogracfalijala3051
    @dogracfalijala3051 3 роки тому +1

    Mmmh makubwa kw nn wat atupendan APA dunian in njia t yakupta

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 2 роки тому

    Karume alikuwa mkulima na mawaziri wakwezi

  • @petermunanka3827
    @petermunanka3827 2 роки тому +1

    Wewe muongo zamani darasa la 7 halikuwepo

  • @asmanmoha6679
    @asmanmoha6679 2 роки тому +1

    Half baked information ....do research of karume death at length

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 6 місяців тому

    Hato iona hata haruf ya pepo

  • @issahajiday4398
    @issahajiday4398 4 роки тому +4

    Kiswahili chogo hukijui ....nenda kafatilie history ya wenzako sio kwetu .

  • @saidaly8201
    @saidaly8201 2 роки тому

    Mbona husemi uhuru wa zanzbr mana mpnduz yamefnyka bada uhur

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 2 роки тому

    Waongo

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 2 роки тому

    Kila mtu anajua nyerere ndio alie muua Abedi amani karume na chanzo cha kifo cha karume nimuungano na ushahidi upo kabsa German

  • @AminaHassanKhamis
    @AminaHassanKhamis 7 місяців тому

    Naomba kuu liza kwni kuna alo zaliwa zanzi bar au sote niwaha miaji tu

  • @saadnahoda707
    @saadnahoda707 4 роки тому +6

    Allah amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi

    • @abdhihariabdhallah760
      @abdhihariabdhallah760 4 роки тому +3

      Allha amlipe makosa yake kama vile alivouwa watu ambao hawana makosa yoyote

    • @abdallahjuma8168
      @abdallahjuma8168 4 роки тому

      @@abdhihariabdhallah760 ndio pahala pake ndio hukumu yake ukiua na ww utauliwa 2 kwa njia yoyote hle

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 роки тому

      Abdhihari Abdhallah unaushahidi wowote? au unaropoka tu

    • @abdhihariabdhallah760
      @abdhihariabdhallah760 4 роки тому

      Ushahidi wa mini mirambo

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 роки тому +1

      Abdhihari Abdhallah ushahidi wa kuwa aliuwa la kwanza,tumefundishwa kuwa tusiwe wenye kuongea mabaya ya marehemu wetu,swali ulishawahi kuwasikia Wakristu wakiongelea mabaya ya Mwl Julias Kambarage Nyerere?

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 2 роки тому

    Anaepinga histaria hii na kuchukia huyo sio mzanzibari na tunahasira nae sisi wazanzibari

  • @rajakhamis8902
    @rajakhamis8902 2 роки тому

    Wanaharamu wa tanganyika hatumutaki hku zanzibar kwa nn hmkai kwenu

  • @nassorhabdalla1734
    @nassorhabdalla1734 3 роки тому +3

    Nenda kasome vitabu kabla makala. Ktk makala yako Kuna Mambo sio sahihi. Chama cha ASP hakikutoka na chama cha mabaharia. Kilitokana na muungano wa African Association na Shirazzy Association. Afro ( African) Shirazzy ( Shirazzy) party

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 місяці тому

    Nahisi huyu wanamsifia tu lkn ukifatilia alikua mtu mbaya

  • @jojininga1780
    @jojininga1780 3 роки тому +1

    Walimuuwa kalume niwatu wasiojulikana

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 4 роки тому +9

    Aliye muuwa karume naye alikufa na musijifanye hamumjui , chogo tu

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +1

      Wanajaribu kupindisha ukweli wakat aliuawa na akajulikana vzur kbs wanatufanya sisi ni mazoba ila wajue tu ukweli halisi tunaufahamu tena kitambo sana hvyo imekula kwao labda wakawadanganye mataifa ya jiran tena kuzaz kipya maana cha zaman chote kinajua

    • @bableeyzabdalla531
      @bableeyzabdalla531 3 роки тому +1

      @@lirastanley390 hakuna anaejuwa alizaliwa lini hao ndugu zake waliotajwa hapo ni uongo sikweli karume alikuja zanzibar akitokea mombasa na meli ni mnyasa hii stori niyauongo kwa kauli yake karume alisema zanzibar hana mtu isipokuwa mke na watoto wake hao wengine walitokea wapi hakuna hata kaburi lililooneshwa kuwa ni la bbke au mmke

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 2 роки тому +1

    Mungo karame hakuza liwa unguja

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 2 роки тому

    NIKISKIA ZANZIBAR NAONA NIPITE TU

  • @ahmedrashid2037
    @ahmedrashid2037 2 роки тому

    Wacheni upotoshaji nyie kenge hakuna asie jua kwamba karume hakuzaliwa Unguja ni mzaliwa wa Malawi ni wa kuja kuuwa watu na kuchukuwa Zanzibar akushiriyana na nyerere pamoja na watanganyika hamuwezi kutupotosha tunajuwa kila kitu.

  • @halidihemed1006
    @halidihemed1006 4 роки тому +2

    Alie sababisha kifo chake na kashaa tanguria mbere ya haki

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 3 роки тому

    ZANZIBAR sio zanzibari usiliharbu jina letu

  • @allyhemed2434
    @allyhemed2434 3 роки тому

    Mtangazaji sio Zanzibari ni Zanzibar nenda shule kwanza

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 3 роки тому

    Du!! Kumbe Fatma Aka Shangazi kafanana na bibi yake 100%

  • @halidihemed1006
    @halidihemed1006 4 роки тому +4

    Wasio jurikana walikuwepo kitambo tu!

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 2 роки тому

    Fatuma karume asili yake kumbaro yaani mpakistani

  • @davidmwita3008
    @davidmwita3008 2 роки тому

    Miaka mitatu madarasa Saba

  • @kaimuulongo6004
    @kaimuulongo6004 4 роки тому +6

    Sio kama ajajulikan kajulikan mbon naye kauliwa apo apo

  • @siasapolitiks5624
    @siasapolitiks5624 2 роки тому

    Because History is written by the winners videio depicts a false verse History of Zanzibar's revolution by omitting he truth that Field Marshall John Gideon Okello of Uganda was real force behind of Zanzibar's revolution. But when Karume took power to be President, he expelled John Gedion Okelo from Zanzibar maybe to Glorify himself as the architect of the revolution.

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 роки тому +1

    Story yako ya uongo dogo njoo Unguja tukujuze kabla kutoa habari potoshi dogo

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 2 роки тому

    ALAFU HAYO YOTE ALIPOTELEA WAPI MELI ZILIZOFIKA BANDARINI

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 роки тому +3

    Wewe unae sema stori ya kurume huijui mulize mzazibari atakueleza stori ya karume wewe ni mtanganyika hujui chochote yote unayo sema niya uwongo au unapalilia kitumbua chako

  • @lordnicky
    @lordnicky 4 роки тому +1

    John okello

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 4 роки тому +1

      Waafrika wengi akili zenu huwa IPO matakoni kwasabsbu huwa hamtaki kuukubali ukweli
      Mnasena karume alizaliwa Malawi.acheni uongo
      Karume alizaliwa Zanzibar ila asili yake ilikuwa nchi ya Malawi na Malawi hakukuwa kwao kwani Malawi alipita njia tu akitokea nchi ya Botswana.
      Mbona nyerere asili yake in Ethiopia lakini hamjawahi kusema.
      Viongozi wengi wa kiafrika wanaongoza nchi ambazo siyo asili yao japo wamezaliwa humo.
      Hata Obama asili yake siyo Kenya kama tunavyodanganywa
      Obama asili yake in nchi ya Ghana. Kenya walipitia tu enzi za utumwaaa ndiyooo maana wanasema Kenya ndiyo nchi ya Obama

    • @fugameza6011
      @fugameza6011 4 роки тому

      @@mosesmzakwe7774 ebo wewe una matope nini wa Zanzibar wanajuwana hata kwa bahati mbaya wee vipi

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 роки тому

      Moses mzakwe kwahiyo nawazazi wako akili zao zipo matakoni,wape pole wazazi wako kwa kuzaa mtoto habithi kama wewe

    • @nurdinmihumbi6487
      @nurdinmihumbi6487 4 роки тому

      Hata asiyesoma anajua kama wazanzbar wametoka bara haya wayafanyayo ni kukosa uelevu

    • @fugameza6011
      @fugameza6011 4 роки тому

      @@nurdinmihumbi6487 wee usha wahi auu tukuulize suwala gani uridhike usije ukasema umetukanwa

  • @amraniramadhani7412
    @amraniramadhani7412 3 роки тому +2

    Acha uongo rais wa kwanza wa za nzibar, alikuwa ni Mohamed shamte,ndie alieshinda Kwa kura,alimshinda abeid,

    • @philbertcelestin2702
      @philbertcelestin2702 3 роки тому

      Mohamed Shamte alikuwa waziri mkuu(Kiongozi mkuu wa serikali)mkuu wa nchi alikuwa Sultan Jamshid Hadi napinduzi ya Jan .12 1964 ndipo Karume akawa Rais.Kwa hiyo Karume ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar lakini ni mkuu wa pili wa serikali ya Zanzibar.

  • @barakashilumba1103
    @barakashilumba1103 4 роки тому +3

    Hakika mema yake yanakumbukwa.milele namilele zote ni hila za watu weupe

  • @himidomarhimid7759
    @himidomarhimid7759 4 роки тому

    safi kwa makala

    • @tecnof1232
      @tecnof1232 4 роки тому

      Hapana lolote, historia feki, Karume ni Mmalawi au Congo

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 3 роки тому

    Ukisoma comments utagundua wapemba ndio waliopanga kuuawa Jemadari Karume.Wapemba wanaamini Karume sio mzawa wa Zanzibar ila ni Mmalawi.Ndio
    maana wanachuki na Mapinduzi matukufu.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 роки тому

      Unauweleo mkubwa wa kujua nani Mpemba nani MuUnguja kwa kusoma hoja.
      Kama huijui historia ya Zanzibar bora usichangia maana naona hapa unataka kuzidi kuwachafua WaZanzibari kwa kuleta "Upemba na Uunguja"

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 роки тому

      @@ahmedalbalooshi8518 Wewe muOman

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 роки тому

      @@uledimtumwa2406 sijakuuliza wewe kwenu wapi.Ardhi ya Allah ni kwa ajili yetu sote.

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 роки тому

      @@ahmedalbalooshi8518 Zanzibar ni ya Wazanzibar Wanyamwezi hatuna fursa.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 роки тому

      @@uledimtumwa2406 Wanyamwezi nao pia wako miongoni mwa WaZanzibari toka enzi

  • @dkt.mohammedsaid8337
    @dkt.mohammedsaid8337 3 роки тому +1

    Waongo : hamjafanya utafiti . Mmekurupuka . Zanzibar hakuna Kijiji Cha pongwe.

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 роки тому

    Dah