DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA SANKARA/ RAIS ALIYELALA GEREZANI NA KUAMKIA IKULU/KIFO CHAKE CHATISHA!
Вставка
- Опубліковано 31 гру 2024
- DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA SANKARA/ RAIS ALIYELALA GEREZANI NA KUAMKIA IKULU/KIFO CHAKE CHATISHA!
Thomas Sankara alizaliwa katika familia ya kishua, Baba yake alikuwa Miltary Police. Hakukulia kwenye zile nyumba za kulala na kuku,mbuzi na viroboto. Alikulia kwenye nyumba ya tofali labda ndo maana alikubali kufa kwa ajili ya maskini. Hakuwa limbukeni wa maisha kama Kamuzu Banda na Mobutu Sese Seko. Sijui kwa nini watu wengi waliokulia kwenye maisha ya kimaskini huwa hawana huruma? Angalia wazazi wengi waliosoma kwa shida kama baba yako mkubwa wanavyotamani watoto wao wasome kwa shida na wakati Mungu kawabariki utajiri wa kutupa. Ndo hawa wanamilikia magari lakini mwiko mtoto kuligusa na mke hajui kuendesha. Ndiyo maana mjomba wangu alipenda kusema umaskini siyo mzuri. Umaskini unashambulia ubongo wa upendo na kupandikiza chuki. Maskini akipata matajiri jiandaeni!
JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV?
WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724
EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com
Follow Us On Instagram
/ ananiasedgartz
/ ananiasedgartv
SUBSCRIBE
bit.ly/2ZWGBXo
Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
______________________________________________________________________________________________
SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m
Mpagaze you are so inspirational. Tafadhali tungefurahia ifanye historia ya Putin wa Urusi
Please tuandalie ya Kim wa North Korea ..mimi fan wako kutoka Kenya
From Congo Kinshasa watching now
Un héros de l'Afrique vraiment que son âme reposé a paix. Suis congolais
Ananias waambie watu vizuri someni historia, Nyerere ilimshinda na hata mwinyi hakuwa na namna zaidi ya kukubaliana tu wale, hali ya watanzania ilikuwa mbaya mno maisha kipindi cha miaka ya 1975s ilikuwa mbaya mno
Outstanding,mpagaze
Thomas sankara was a real hearo
Fanya historia ya Rais Uhuru kenyatta wa Kenya na jinsi anavyo tuzamisha sisi wakenya kwenye lindi la madeni...🤐🤐
Yahni
Historia yake ni fupi
@@mwakawangu9780 wewe ni fala
Asante sana
Thank GOD You Are Back Ananias...........Dont Ever Left us Hanging Again With all due respect The Guy you left us with he was Cool but not as Good us You.......You Are The King in your Own Channel. You have a Million Dollar African Voice That am Proud to Listen to .Lots Of Love From Your Kenyan Fan in Braamfontein, Johannesburg, South Africa. Keep it Up Dude!
I totally agree, he has a oerfecr narration voice,,, ma Allah guides him, he is given a rare talent, love from Muscat🇴🇲♥️👍
Waaah!!! wazungu Kweli ndio maana Mungu akaweka bahari ndio tusikutane nao lkñ kiburu chetu kinatukula Legends sankra and magu
Ata kenya 2na watch iki2 tupunguze advert plizz..
Pumzika kwa Amani Thomas Sinkala 😭😭😭
My president forever Captain Sankara
I too
Ukweli rest in peace.
Nakupata vyema kaka
Napenda sn mungu amlinde
Nakubali sana
Out of point brother
Africa is our continent , but we don't have a good leaders . We still in colonies. But when we are united Africa will be a good place to live.
Tuletee history ya mapinduzi ya kisoviet na kichina
You and your team are the best brother Ananias
Thomas Sankara kubali sana
kiongoz shujaa sana daima tutamkumbuka
JAMBO NDUGU FROM GUYANA S, AMERICA.SANKARA, SANKARA. SANKARA YOUR BLOOD CRIES OUT FOR JUSTICE .
Gretest of all time rip
nitanunua kitabu broo,but story ya laurent nkunda tunaihitaji
Hakika alikuwa mtu muhimu sana Africa
Loh kweli Hayati Hon. John P. Magufuli angeifufua shilingi ya baba wa Taifa na tungefika Nchi ya ahadi
Alikuwa noma kbs
Thomas Sankara 🙏🙏🙏🙏 RIP
Rais wa ukweli kama tulonae sasa tumtunze na Kumuombea sana Amina
Sankala alitoa ajila alifundisha watu wafanye nn yeye mwenyewe akawa front line husimulinganishe
Mungu awape nguvu
Nakubal
Thomas Sankara the Legend RIP
Kazi poa bro
Iko good sanaa
Nasubiri historia ya black panther
Historia🖤🌍
Jamaa nimemsoma Kwny kitabu Cha major events of African leaders
Bro nmekubali saana
Baada ya JPM kuodoka nikaja hapa kumsoma huyu mwamba
Dah ! Watu wachache ndio wanatuaibisha sisi Wa Afrika R.I.P. Sankara
🙏🙏🙏🙏
Good work kaka mkubwaa
channel inauzwa ina 50k subscribers na ipo monetized kwa bei ya milion 2 maelewano yapo just replay comment hii
R I P Thomas Sankara
You are the best My Brother 👏👏👏👏👏
Daaaaa jmn watu kma Sankara tupo wachache SIASA NI KILIMO lkn saiz ona wanachofnya wajinga huko
Napenda sana kufatilia simulizi zako ila tatizo mimi sifahamu Kiswahili kwaio sielewi unachosimulia
Pole sana broo
How do you write in Swahili?just asking
@@gitaumugo9111 different speaking and writing
Broo unajua kupangialia simuliz zko
R I P pumzika salaam
Nais sn
Okay
R.I.P Thomas Sankara 😭😭😭ulikuja Tanzania na kumuita Mwalimu Nyerere Baba dah!maana ulikuwa unamkubali sana..
Very sad
@@mpagazedenis8395 Story ya Laurent Nkunda broo story yake
@@sindabahabwoyaanacret660 umeongea bro
Siku ipo Africa itasimama ila sio Enzi Hii ya Karne ya ishirini Simulizi Konki Sana
Na wamepindua tena dha jaman
Yani sijui lini Africa tutaamka na kujitegemea tuache kuomba kwa wazungu
Wish you really
Jeshi kuota kitambi duuh! Nalo neno
JOHN JOSEPH MAGUFULI
THOMAS SANKARA
TRUE LEADERS MASHUJAA WA AFRIKA
MUNGU ALAZE ROHO ZENU
MAHALI PEMA PEPONI.
ALUTA CONTINUA
MAPAMBANO BADO YANAENDELEA
Tuna penda story ya black panther tafazari
R I p thomas sankara the world wide
Rip shujaa
Nahitaji hicho kitabu lakini siko tz
Naweza kukipata je
Unaweza kukipata ktk PDF
Mpagaze Denis nikutumie hela na zakupost kitanifikia?
Kama utakua ready just Nitumie namba yako ya mpesa na uniambie garama yakukitowa hapo mpaka hap
Wengi hawatasikiza hii juu hawatakangi kuongea ukweli
Safi ananiasi ediga
Andika kuusu Agaton Rwasa mwanasiasa kutoka Burundi
U back bro
R i p simba
Hakika huyu bingwa sankara alikuwa mzalendo. wangekuwepo kumi hapa Africa tungeuna na tungekuwa Africa moja
Huku jeshi kwa ajili ya chama na si wananchi
Wajina.
Thomas sankara kiongoz bora kuwahi kutokea Africa
Hakika
piga sasa story ya hugo chavez rais wa venezuela
🌹👉Inaumiza Sana Pale Unapo Gundua Kuwa Uliwakataa Wengi Kwa Sababu Ya Mtu Mmoja Ambaye Amekupotezea Muda Wako,,Mbaya Zaidi Ulikuwa Mwaminifu Kwa Mtu Ambaye Hana Hata Fadhila,Hii Kitu Inauma Sana👈🌹
Sana
Mfano Bora kwa viongozi wetu wasfisadi tena wabaguzi wa sasa .....R.I.P Thomas Sankara
Wazungu ni watu wabaya Sana wameuwa miamba yetu ya
Afrika wakaacha vibaraka wao tu ila ipo siku wa
Afrika tutakomboka kifikira
Kweli nawachukia sana wazungu sana
Navyenye wametawala uku afrika, wameuziwa viwanja,wamejenga makampuni nakibaya zaidi wanaendelea Kuoa mabinti wakiafrika kila siku🤔 wachina, wahindi, waarabu kila mahali wapo🙆♀️
Laaah kuna watu na viatu nikweli ao wasaliti walianza toka enzi za mababu
Ivi viongoz wa afrika uwa hawasomi hizi makala!!!
Blaza tunaisubiri historia ya karume
💪
Ananias huyu ni magufuli wa tanzanini magufuli kama sankala r i p sankara
Hivi akili ipo wapi sankala amekaa jela kwa 7babu ya kukataa ufisadi,sankala aliruhusu mabinti wanao pata Mimba kuendelea na shule, sankala aliingia shambani kulima kwa vitendo mwenyewe alishinda shambani nakuwapa watu pembejeo bure na alitumia baiskeli na hakua na walinzi sasa unamulinganisha na nani tumia akili
R.I.P Sankara😭😭😭🫶
Alikuwa kiongozi huyu Wala haikuwa mwanasiasa,
Ibrahim traore ndio Sankara wa Sasa,tumpe ushirikiano na kumuunga mkono
🤣🤣🤣🤣🤣hayo maombi surely 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 hata malaika wanacheka
No African leader can match Tomas Sankara, Who?
John JOSEPH MAGUFULI
Uyo chuma ananiingia sana hadi ubongoni. ni l'anima nifanya kitu angalau cha kufanana udo Mwamba.
kutoka USA
2lioskiliza kwa umakn tumegundua unapinga binti kuludi shule baada ya kujifungua😀😀
😀😀😀
Waafrica ni nani Alie tuloga?wanapo tokea viongozi wazuri hawadumu kwenye madaraka tunauwana sisi kwa sisi hii ni laana kubwa sana
Mbn km magufuli alimuiga hyu asee
Ili upate mkopo baba ako ni lazima awe peasant
Ndiyo maana huwa napata shida na hao wataka madaraka, maana hawasomi historia za viongozi kama hawa wakajua mbinu walizotumia kuletea wananchi wao na nchi maendeleo, bali wao nikutuletea historia za Belgium na maendeleo yao. Wajinga nyinyi
Hiyo sala ya kisela nimecheka tu
Broo eti Mandela wa kweli alikufa 1985
Yeah I heard that story but am I sure if it is true
Kwa movie zilizo tafsiliwa KISWAHILI na dj mack pamoja na dj afro gusa link usisahaukulike kusubscribe na kwa muendelezo ua-cam.com/video/4njom0ay54E/v-deo.html
Wee n simba
Andele kupumzika kwa mani
Morogoro mkuu umetusahahu
Naaam