DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI
    Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani Mrithi wa Aliyelaaniwa, Asombo akakua katika kimo na akili, akasoma, akajielewa, akabadili jina lake na kujiita Patrice Lumumba, akafanya kazi sehemu mbalimbali nchini, akaingia kwenye siasa kuikomboa Kongo kutoka kwenye makucha ya Wakoloni wa Ubeligiji, Mabeberu wakamuua na kisha kumkatakata vipande na kumyeyusha kwenye pipa la tindikali, Lumumba akapotea Duniani lakini fikra zake zikabaki zikiwasumbua watu wanaoamini Afrika haiwezi kujilisha bila kuomba nje!
    JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV?
    WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724
    EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com
    Follow Us On Instagram
    / ananiasedgartz
    / ananiasedgartv
    SUBSCRIBE
    bit.ly/2ZWGBXo
    Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
    ______________________________________________________________________________________________
    SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
    HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
    ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m

КОМЕНТАРІ • 240

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 10 місяців тому +2

    Alikua kiongozi mkubwa aliyepitia mambo mengi magumu, Patrice Lumumba angeongoza nchi vizuri sana,pan Africanist original.

  • @vincentmaloba2290
    @vincentmaloba2290 4 роки тому +49

    Pumuzika salama Patrice Lumumba.Afrika tunajulikana kuangamiza fikira nzuli.
    Nimefurahiya historia nikiwa Kenya..🇰🇪

    • @morangaqatar8963
      @morangaqatar8963 4 роки тому +2

      Africa murdered Africa, that is how cheap we are

    • @mamacikuu
      @mamacikuu 4 роки тому +1

      We've been brainwashed by the system since they brought it in form of edu..., Religion, politics way of life, the white lifestyle, for ages upon ages but we are awaking now we are getting out of the system out of the matrix💪🙏TUKO PAMOJA!!

    • @edwinkimani4557
      @edwinkimani4557 4 роки тому +3

      It's very sad, to hear about people who sacrificed n gave their lives for the sake of us, the freedom that I enjoy this day came about through sacrifice. yet even to this day we don't learn anything from them. Mtu Mweusi Nikama alilaaniwa. Ni kuomba omba na kukopa Kopa toka nje. Kaangalie Congo umaskini umewavaa kama Nguo. Africa tumebarikiwa lakini hatuoni maana mzungu ametupofisha kwa ushenzi wetu.

  • @elizabethalphonce1081
    @elizabethalphonce1081 3 роки тому +12

    Hakika Mungu akulaze maala pema kwa Mambo uliyotaka kuifanyia Congo ingawa mabeberu na wanyonyaji wakaikatisha kazi yako ila damu yako itanena mema kwa nchi ya Congo

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 роки тому +3

    I admired your memorial music...Lumumba wa Baba👍
    "Na kwa Afrika nzimaa muziki wake unabaki siku zotee👊👏👏👏

  • @Elfuego257
    @Elfuego257 2 роки тому +12

    Nafurahia sana usimuliaji wako, Endelea kutukumbusha tumetoka wapi!!

  • @stevek8318
    @stevek8318 4 роки тому +6

    Yeees, Ananias na Dennis mko wazee wa maana sana. Kutoka hapa marekani, wakenya wawavulia kofia! Edgar the gifted voice. Elimu ya hali ya juu sisi hupata hapa kutokana na kazi na utafiti nzuuri sana!

  •  4 роки тому +7

    Ubarikiwe sana denis yaani nimejawa na furaha kubwa kusikia historia zako

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 роки тому +3

    Ananias Edgar pongezi👍
    Kazi safi
    Mungu akuzidishie uvumbuzi🙏🏽

  • @babugsafari281
    @babugsafari281 4 роки тому +30

    Ndungu Denis leo una nifikisha saana I love my country DRC

    • @mariekapongo2041
      @mariekapongo2041 4 роки тому +1

      Congo 🇨🇩 my beautiful home land ❤ 💕

    • @alfayeedbuya603
      @alfayeedbuya603 3 роки тому

      Nchi ya vita

    • @geofreysenka7091
      @geofreysenka7091 2 роки тому

      Wazungu wauuji wachonganishi Hasa hao wamerekani Ni mbwa

    • @geofreysenka7091
      @geofreysenka7091 2 роки тому

      Bora Urusi awabuluze tu hao wamerekani washenzi tu

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 2 роки тому

      @@geofreysenka7091 Hawa ni mambwa ila sisi tunawakumbatia tu wakina kwetu

  • @enockcheruiyot5919
    @enockcheruiyot5919 3 роки тому +10

    Wamarekani ni wahofu sana,haya makala yamenitia machonzi 😢,pumzika kwa amani PL 🙏

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 роки тому +2

    Napenda sana sauti yako na utafiti wako mpagaze👊👍

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 роки тому +17

    Lumumba alikuwa mzuri jamaniii handsome wa zamani😋😋😘😘hata ingekuwa mm ni mke wake nisingeolewa tena 😊😊

  • @tygertz181
    @tygertz181 4 роки тому +45

    Kma unamkubal ananiasi Edgar gonga like

  • @zigashaneadvice3977
    @zigashaneadvice3977 3 роки тому +3

    Nashukuru kwakunikumbusha tareki ya 30.06.1960 #listening u from S.A@blood Congolese

  • @PrémicesMumbere-r9n
    @PrémicesMumbere-r9n 2 місяці тому +1

    Asante sana mwalimu iyi historia wa kokomani hawana faamu

  • @mrbweichum
    @mrbweichum 4 роки тому +83

    KAMA UNAMMPENDA MSIMULIZI ACHIA LIKE YAKO TAFADHARI

    • @daytonlennon9487
      @daytonlennon9487 3 роки тому

      not sure if anyone cares but if you are bored like me atm you can stream all of the latest series on instaflixxer. Have been streaming with my brother these days xD

    • @arijohan3511
      @arijohan3511 3 роки тому

      @Dayton Lennon Yea, I have been using instaflixxer for years myself :)

  • @nellymwangilwa4288
    @nellymwangilwa4288 4 роки тому +27

    Forever you live long Mr.Patrice Lumumba,may you rest in peace

    • @manirihotheigenedelphine6027
      @manirihotheigenedelphine6027 2 роки тому

      Jama kazungumuza sana ila maskio kama hatuna hivi wewe comment zakingereza hapa kunazungumuzwa kingereza au wewe nimwingereza?.

  • @joaoonesmocumaio2362
    @joaoonesmocumaio2362 Рік тому +2

    The legacy of this man is immensurable, the true pan africanist. He suffered a lot to make Congo free of Begium domain. My his soul rest forever.

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 роки тому +17

    Laaaah kunawatu walipigwa mishale kwenye iyi dunia Allah awalipe mashuja wetu kwayote walio pigania

  • @byishimoobednday779
    @byishimoobednday779 4 роки тому +38

    As a Congolese, I really honor the sacrifice of Emery Patrice Lumumba

  • @farukiabass5020
    @farukiabass5020 2 роки тому +5

    Afrika yetu Ina paswa kua na watu hao namini katika maisha napia kutekeleza haya anayo ya fanya nami naichukia zarau na ubaguzi katika maisha yangu nanyi mulie itafsiri hii stori munaweza vijana Mimi ni faruok abass haji mtoto ninayo itaka historian ya afrika Nina umri was miaka12

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 4 роки тому +3

    Msimuliaji bora kwangu wa simulizi kuwahi tokea hawa wengine wanaiga tu Asante bro Ananias Edgar

    • @OmanOman-nz2bg
      @OmanOman-nz2bg 2 роки тому

      Inauma sana kweri iyi story 😪😪😪😪

  • @zawadimbusa3472
    @zawadimbusa3472 2 роки тому +4

    Vraiment nous sommes contents de vous, que Dieu vous bénisse

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 4 роки тому +11

    Mpagaze tunaomba historia ya laurent nkunda na yuko wapi mpaka sasa

  • @LawyerKalikumbi
    @LawyerKalikumbi 2 місяці тому

    Well done Dennis Mpagaze and Anannias Edgar

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 4 роки тому +3

    Asante kwa Makala....Nzuri hapa Elimu bora aisee,⚡👏

  • @fahadfaraj1822
    @fahadfaraj1822 4 роки тому +7

    Ni stori ambayo muda wote nashindwa kuiskiliza, inakuaje mzalendo kama lumumba, wabelgiji na cia katika hili hawastahili msamaha wa wana congo

  • @abdallahmgotto7474
    @abdallahmgotto7474 4 роки тому +17

    Ulipo tupo 😍

  • @nathanaelshombana645
    @nathanaelshombana645 4 роки тому +9

    The Hero never die✊✊

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +5

    Well done once again Mpagaze Denis Ananias Edgar you are the best guys👏👏👏👏👏👏

    • @OmanOman-nz2bg
      @OmanOman-nz2bg 2 роки тому

      👏👏👏👏👏👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @danielmacharia9603
    @danielmacharia9603 Місяць тому

    Kazi safi naitwa Karis Karis kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @wataifab.7790
    @wataifab.7790 4 роки тому +9

    Siyo ww tu pamoja na mm apa baba uyo jama lumumba na mwalimu nyerere walikuwa ni zawadi pekehe kabisa kutoka kwa Mungu watu wa haki akika wakumbukwe milele

  • @themagnet4236
    @themagnet4236 2 роки тому +1

    Asanteni sana,tutafutiye na Habari za Hayati Gregoire Kayibanda wa Rwanda!!!nitakushukuru sana!!

  • @tanzanianchiyangu8984
    @tanzanianchiyangu8984 4 роки тому +4

    Safi sana mpagaze

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 2 роки тому +2

    Kwa kweli uzarendo ni Imani ngumu Sana inatakiwa kujitoa sadaka Kwa kweli 😭😭😭😭😭

  • @lulu8206
    @lulu8206 2 роки тому +6

    Thank you so much ananias u helped me a lot with what to write on my essay we were doing an project about people who helped black people out of the hands of slavery from white people I dint want to write a essay about martin Luther because it is a famous story about slavery so I came here because I know u had this video and ya it helped me so much thank u and God bless u

  • @situsengadiego3662
    @situsengadiego3662 4 роки тому +11

    Vraiment nous sommes heureux de vous que Dieu vous bénisse✌✌✌✌

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 роки тому +11

    I found myself speaking in tongues while listening to your story bro Congratulations SIR

  • @Unkown30476
    @Unkown30476 11 місяців тому

    Ipo siku MWENYEZI MUNGU MTUKUFU MWENYE HAKI ata iinua AFRICA IN SHAA ALLAH

  • @anthonywilliamjohn6696
    @anthonywilliamjohn6696 4 роки тому +3

    Yaani unanikoshaga Sana br,,, stay blessed

  • @malakoasaniasani2249
    @malakoasaniasani2249 4 роки тому +2

    Mpagaze umeniacha hoiii kwakupachika kibao iile🙏

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 4 роки тому +2

    Asante sana, kwetu Lumumba sio tu hero ila pia ni prophet.

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 роки тому +2

    Ahsante sana na kalimanzira alikuwa nani imenikumbusha kuma mwendazimu miaka ya utoto wetu alikuwa akijiita hili jina na maana yake sijui.
    Shukran kwa historia Kwa kweli lazima tusome ili tujue.

  • @bugumalondonlondon
    @bugumalondonlondon 8 місяців тому

    Napenda sana iyi

  • @mbayomaikoakzahi9400
    @mbayomaikoakzahi9400 4 роки тому +13

    Nilikuwa kazini nikato roka kwa dakika kadhaa ili kuisikiliza hili 💪💪

    • @stevek8318
      @stevek8318 4 роки тому +2

      I'm your new manager na nimesoma hii!!

    • @rhodarichard4366
      @rhodarichard4366 4 роки тому +2

      Big dod nakushtak kwa bos wako😣

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 роки тому +13

    I love your voice vocalist bro Congratulations Excellent content keep them coming brother worth it Greetings from Santa Monica's California USA

  • @kakozialbert2482
    @kakozialbert2482 3 роки тому +2

    Thank you for this history

  • @alainonge7752
    @alainonge7752 4 роки тому +1

    Big up saana mpagaze na Ananias

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 2 роки тому +1

    Asante 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @charo.mukarebugo5778
    @charo.mukarebugo5778 2 роки тому +2

    Rest in peace,wazalendo wa Africa, lala salama duguyangu lumumba

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 4 роки тому +15

    Ulipo tupo ....sauti ya utangazaji yaani mpaka nikiwa nakula roho tuliii umenifanya kujua historia za Africa

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 4 роки тому +1

      Sijaona hata Jamal Mustafa hampati huyu jamaa fundi

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 4 роки тому +1

      @@fasterwalker1464 kaka Jamal ,mtiga wote wanatulia

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 4 роки тому +1

      @@abuusufian6506 nachomkubali anaongelea reality

  • @mosesharerimana278
    @mosesharerimana278 4 роки тому +4

    Tunakulewa sn
    Kaka much lov

  • @hassanmsuya6692
    @hassanmsuya6692 4 роки тому +5

    Simba wa Afrika🙏🏿🙏🏿

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 2 роки тому +1

    Mabeberu ni mbwa Sana Tena mbwa kweli kweli wanamuua ndugu yetu halafu wanakuleteeni jino mbwa Hawa sisi hapa mabeberu tunaikumbatia tu pumbavu

  • @josephatraymond4902
    @josephatraymond4902 4 роки тому +2

    Hapo sawa kbc kuwa mwana harakati lkn usijiingiz kwenye siasa

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 4 роки тому

    Asante kwastory zamaana

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому +2

    Hakika wasio ma unafiki hawaishi maisha marefu.lazima kum.parura parura na kumuua

  • @MustafaMusa-m2h
    @MustafaMusa-m2h 20 днів тому

    Asante kumuomba alikufa naamini sunja sana

  • @bernardmukinji3065
    @bernardmukinji3065 3 роки тому +6

    Like nyingi kweny comment hiyi ajili ya Lumumba

  • @bugumalondonlondon
    @bugumalondonlondon 8 місяців тому

    Naipenda

  • @osm721
    @osm721 4 роки тому +6

    Sauti yako bro☆MOTO☆

  • @manirihotheigenedelphine6027
    @manirihotheigenedelphine6027 2 роки тому +1

    Jama alikua shuja wa Africa kweli, nazikubali fikra zake huu kigogo haswa, japo nimarehemu, Mungu kamupumuzishe kwa amani, shuja wa Africa, Africa tunaria machoji yadamu😭😭😭😭😭, ila chakufurahisha, naye mubutu kafa km ubwa, bwege mtu, Ananias ukatusimulie muzoga wake kama uko wap.

  • @toweman6484
    @toweman6484 3 роки тому +1

    Nakubal mkuu

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 роки тому +7

    Voice of Ananias 🔥🔥

  • @ZadokAsaph
    @ZadokAsaph 4 місяці тому +1

    Bigup

  • @nyotadjuma5172
    @nyotadjuma5172 5 місяців тому

    god bless you

  • @monikasteven3064
    @monikasteven3064 4 роки тому +3

    Be blessed bro

  • @Nuyama1
    @Nuyama1 4 роки тому +8

    ananias edgar & denis mpagaze.

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 2 роки тому +1

    Nakweli malkom
    X!!" Anafanana na Lumumba aiseee!!"

  • @emmanuelbawili2104
    @emmanuelbawili2104 4 роки тому +4

    Lumumba R I P Brother

  • @babamarc4325
    @babamarc4325 4 роки тому +4

    R.I.P. lumumba,from USA

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 роки тому +1

    Mobutu msenge Sana 😥

  • @nimrodsigulu2053
    @nimrodsigulu2053 4 роки тому +3

    Kumbe hizi kesi za uchochezi waanzilishi ni mabeberu?

  • @laurentzacharia1563
    @laurentzacharia1563 4 роки тому +4

    Limumba forever

  • @tresorsamson9200
    @tresorsamson9200 4 роки тому +9

    Notre lidere reste en paix

  • @ناديهترتوب
    @ناديهترتوب 3 роки тому +4

    Maskini lumumba,Allah akurehemu

  • @fredialfredi202
    @fredialfredi202 4 роки тому

    Hongera sana best.

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 4 роки тому +3

    Atr sana

  • @mikomomalombi2987
    @mikomomalombi2987 4 роки тому +4

    asante ndugu kwa kutu kumbusha sisi wa congo drc

  • @hancepopessau2527
    @hancepopessau2527 4 роки тому +1

    He was the hero

  • @Topnews6148
    @Topnews6148 4 роки тому +6

    RIP my leader Patrice

    • @samsonhumbe8220
      @samsonhumbe8220 Рік тому

      Hongera sana ndugu Denis na Ananies Edger. Mungu awabariki.

  • @erickrichard4292
    @erickrichard4292 4 роки тому

    Nzuri sanaaa

  • @estherawa1885
    @estherawa1885 4 роки тому +3

    Rip lumumba

  • @bedatv5634
    @bedatv5634 Рік тому

    Safi

  • @mkobelwaprosper5832
    @mkobelwaprosper5832 4 роки тому +5

    Nikiskia story kama hizi uwa natamani sana niende ikulu siku moja aice ila tena nikiskiliza mangoma ndo nasaau kbs 🤔🤔🤔

  • @emanuelstanley1710
    @emanuelstanley1710 3 роки тому +1

    Salut xana ndugu pamoja xana

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 роки тому +1

    "Emery wa Mama Lumumba wa Babaa"👍

  • @marcelin_hd
    @marcelin_hd 4 роки тому +2

    A hero

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 4 роки тому +2

    Dah. Binadamu sio watu believe me.

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +3

    Eti alivunja yai la kiswahili 😂😂😂😂😂😂😂we jamaa nakupenda

  • @mkuuhapingwi
    @mkuuhapingwi 4 роки тому

    Dah!hii sauti hii

  • @dicksonmwangi5499
    @dicksonmwangi5499 4 роки тому +2

    Big up sana

  • @albertmuchiri9840
    @albertmuchiri9840 2 роки тому

    Good

  • @tryphonet.sagilo-vm1gs
    @tryphonet.sagilo-vm1gs 4 місяці тому

    Big up

  • @MajaliwaEnyonyi-bz9ss
    @MajaliwaEnyonyi-bz9ss 9 місяців тому

    Habari ya mkewakehinahumiza sana 😢

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 4 роки тому

    Hongera

  • @juliuskulokhoma8020
    @juliuskulokhoma8020 4 роки тому +2

    Hawa wanakuja ku dislike Wana akili timamu kweli

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 4 роки тому +7

    It's very dangerous to be right when you're government is wrong!! 🙏

    • @robartkasusula7968
      @robartkasusula7968 4 роки тому +2

      Umenifuraisha sana kaka ediga kwa istoria za zamani kuhusu viongozi walio itetea Afrika wakati wa uhai wao asante sana kaka Mungu akupemaisha marefu

  • @kondosaid216
    @kondosaid216 2 роки тому +1

    R.i.p Magufuli

  • @jenny20254
    @jenny20254 3 роки тому +1

    Lumumba nilimpenda sana lakini wendawazimu wakamuuwa ndomana cogo inarudinyuma