"Kijana anaweza kuwa na mbio, lkn hajui njia Kwa usahihi" Mafanikio yetu sisi kama vijana zinategemea uhusiano wetu na wazazi wetu. Ni kweli wazazi wetu wanaweza kuwa na udhaifu wao, lkn huo sisi watoto hatupaswa kuhukumu matendo Yao, bali tunapaswa kuwaheshimu tu.
Big up sana Mpagaze kwa kuendelea kutukumbusha,kweli wazazi ni Mungu wa pili hata vitabu vya dini vimesisitiza mara nyingi zaidi kutii wazazi 整挺好👍👍👍
Una maneno mengi ya busala mpagaze
Amina
Fact kabsa
Kwel mungu akubarki brother kweli nimeskilza had moyo wangu umeshutka xn
(1)Ahsante sana broo big up sana 👍🏻👍🏻👍🏻(1)
Kama dingi mwenye mkolofi nifanyeje
@@gabrielcna8201Ni kuona namna ya kumkwepa pasipo kumkwaza.
Asante kk ubarikiwe
Yaani wewe ni msaada Kwa Taifa na jamii ya vijana wenzio. Msaada wako ni mkubwa na Muhimu Kwa jamii. Endelea usiache hiki unachofanya. Just do it.
"Kijana anaweza kuwa na mbio, lkn hajui njia Kwa usahihi"
Mafanikio yetu sisi kama vijana zinategemea uhusiano wetu na wazazi wetu.
Ni kweli wazazi wetu wanaweza kuwa na udhaifu wao, lkn huo sisi watoto hatupaswa kuhukumu matendo Yao, bali tunapaswa kuwaheshimu tu.
Ahsante nashukuru Kiongozi Kwa kutukumbusha
Wow kaka shukrani brother nimesikia yamenigusa sana
Asante sana brother ukweli mtupu
Rest in peace baba na mamangu😭🙏 wenye masikio tumesikia!
🎉🎉🎉🎉🎉🎉