Huwa nikisiliza simulizi hizi, naona jinsi waigizaji wetu tz wanavokosa ubunifu, kwao maigizo yote ni visa vya mapenzi tu, wakati kuna mashujaa wengi wenye matukio ya kufundisha na kufurahisha kuliko hizo hadithi zao za mapenzi
Kaka unasimulia vzr sana lakini siku ivi umetoa hii background rhythm kwenye bahadhi ya simulizi za siku za Karibuni ushauri Wang kaka naomba uirudishe
Ananias usituletee wale watu Hawajui ata kusimulia sisi twakutaka wewe sauti 😋😋 sio ao wenzio sauti kama mtoto wa 7 sisi twataka wewe laa sivyo tutafanya maandamo hum hum UA-cam 😂😂😂
@@gracemsigwa2876 aah wapi..! Hawa ndivo walivo mama, full kutuharibia Lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Yaani ndo kamaliza voo..! Kama ni kuchapia basi asingelirejea neno hilo mara mbili. Ukitaka kupima na kujua ni jinsi gani lugha imeharibiwa; tembelea media zote ulizo na access nazo, then check comments za watu; Utaona jinsi wanavojitahidi KUTUHARIBIA Lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Yaani utadhani ni Warundi au waganda..! Wanakera sana kwa kweli
Daaaaa!!!! Umenikumbusha mbaliii... Kipindi Milambo na Tabora boys wakikutana kucheza mpira ilikuwa ni vita vikali.
Nakukubali sana kiongozi. unajua hadi unakera asee
Kila m2 anakipaji chake yan wewe dah uko talented sana ktk fani yako
da mjomba kanikumbusha mbali sana ni kweli uyui tuliongoza kwa utukutu na utoro
Kazi nzuri Edgar. Katengeneze filamu ya historia yake jenerali daniel opande na kazi yake safi ya amani
moja ya kazi adhimu kabisa kaka Denis
From Congo Brazzaville
Gonga like zakutosha kama unamkubali Mpagaze na Ananius
Pro tip : you can watch series on flixzone. Me and my gf have been using them for watching loads of movies during the lockdown.
@Ralph Paxton definitely, I've been using Flixzone} for since november myself =)
@Ralph Paxton definitely, I have been watching on Flixzone} for years myself :D
@Ralph Paxton yea, I've been watching on flixzone} for years myself =)
Nakukubali mpagaze
Napoleon wa Afrika✊
Proudly of ome... Tabora
Brother up vizuri sans
Gonga like zakutosha kwa huyu jamaa🔥🔥🔥
Huwa nikisiliza simulizi hizi, naona jinsi waigizaji wetu tz wanavokosa ubunifu, kwao maigizo yote ni visa vya mapenzi tu, wakati kuna mashujaa wengi wenye matukio ya kufundisha na kufurahisha kuliko hizo hadithi zao za mapenzi
Oya broo unaweza kututaftia chifu wa kigoma
Wanyamwezi mpo?
Kaka unasimulia vzr sana lakini siku ivi umetoa hii background rhythm kwenye bahadhi ya simulizi za siku za Karibuni ushauri Wang kaka naomba uirudishe
Ulivosema "bahadhi" umemaanisha nini?
Samahani umeniacha kidgo hapa mkuu..!
Nice
Nakukubal bro upo vzr
Ananias is back💪
Bora tuta zuru Urambo hivi karibuni.Asante sana Ananias.
Nice story
Ok
Along waited Channel ....i salute you Bro. Ananias .....i have been following you through other channels. Big up
Unatutenga Sana mkuu wangu
daaaaah
Mtangazaji una sauti ya mamlaka
Good story
Gonga like kama umesoma milambo
Ulikua wapi mbona sauti zilikua mbovu
Viva Milambo Vivaaaa
Wanyamwez tunafel wap ety
Ki kulacho.....
Kaka....Nina makala zako nying Sana napenda saut yako..
👌🏾
Napogeza vipindi venu
Edgar nitapata namba yako kivipi
Please 🙏
Huyu jamaa nilimkubali zamu zile. Simulizi safi kabisa
Kujitawaza kwenye gogo kama nyani
paka na panya zubaa nikumeze 😂😂😂😍😍😍😍😍😍
Ananias naomba utuletee story ya chifu mangungo historia yake
Ni shidah!!!!
Ananias usituletee wale watu Hawajui ata kusimulia sisi twakutaka wewe sauti 😋😋 sio ao wenzio sauti kama mtoto wa 7 sisi twataka wewe laa sivyo tutafanya maandamo hum hum UA-cam 😂😂😂
Aabiwe tumeizoea sauti yake
Kabsaaaaaa
Sio poa na vipaji vengine viende wapi
Mama Kuna Tulosoma ikonongo tujuane
Kwahiyo jamaa ni Kirikou original
Mirambo alikuwa Bandit kumbe
Bro mi nakukubal San na iki nikipaj chako siyo masisla
duu hatari
mhhh
Tulio soma Milambo secondary school tujuane hapa
Translate to English
😂😂😂😂 Kweli kuoa maskini mfano wako ni tabu tu
Walambo tujuane apo
Napoleon
Tunaomba history ya Napoleon bonaparte
Nimejikuta nimeikumbuka mitaaa yangu ya ng’ambo rehani
Mwamba
Sauti ya zege sio Yule anaadisia Kama anaadisia watoto wa shule
Ulivosema "anaadisia" umemaanisha nini?
Samahani umeniacha kidgo hapa mkuu..!
@@chiefmahucha6847 kachapia alitaka aseme anahadithia
@@gracemsigwa2876 aah wapi..!
Hawa ndivo walivo mama, full kutuharibia Lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Yaani ndo kamaliza voo..! Kama ni kuchapia basi asingelirejea neno hilo mara mbili.
Ukitaka kupima na kujua ni jinsi gani lugha imeharibiwa; tembelea media zote ulizo na access nazo, then check comments za watu; Utaona jinsi wanavojitahidi KUTUHARIBIA Lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Yaani utadhani ni Warundi au waganda..! Wanakera sana kwa kweli