Kwamda sasa nimekua nikifuatilia simrizi zako hakika umekua wakipekee sana ktk industry hii natamanisana kukutana na ww japo nikupongeze kwauhodari wakusimria hadithi namatukio kwauhodari wakipekee nauliotukuka mungu nimwaminifu iko sku nitapata nafasi yakukueleza ukweli uliko ndan yamoyo wangu kuhusu uwezo wako naamini utafika mbali kuyafikia Marengo yako
Alisahau jambo moja tu, bata kuku umaharufu na vyote ni vya muda mchache sana hapa duniani. Hakukumbuka kama siku moja ataondoka kama alivyozaliwa na kuacha kila kitu. Hakutengeneza maisha yake na Mungu akajiona yeye ndyo yeye kiburi cha uzima kikaingilia kati. Aliyoyakuta huko anatamani arudi duniani ahanze tena upya majuto kilio na kusaga meno!
Historia nzuri na yenye mafunzo kwa watawala wa sasa. Dunia hii imetawaliwa na watawala wenye ukatili wa kila aina ila leo hawapo. Walikusanya mali za kila aina lakin walikufa wameziacha. Tuishi kwa upendo na kusaidia wengine
Mmefanya kazi nzuri. Ila marekebisho. Sio kwamba 'historia hii imeandikwa' bali 'kutayarishwa. Kuandikwa ilishaandikwa sehemu mbalimbali kilichofanyika ni kutayarisha. Pongezi GlobalTv
acheni uongo 1.mobutu hakwenda ufaransa kwa ajili ya kunyoa nywele then arudi zaire bali alienda huko kupumzika alikua na nyumba yake ya mapumziko huko iliitwa villa del mare 2.hakuzikwa na watu 6 walikua ni wanafamilia yake japo hawakua wengi ila wanazidi 6,familia yake ilikataa watu msibani hata waandishi walifukuzwa 3.haijasibitishwa popote kuwa alimuua mkewe bali sababu iliyotolewa ni kuwa alipata tatizo la moyo,japo mobutu alikua akimpiga sababu ya wivu 4.wakati kina mulele wanauliwa mobutu hakuepo kinshasa,afu mnadai eti mobutu kaua mtu kumtoa vidole ,mobutu aliogopa hata kupanda ndege hakulala kwenye ndege afu ndio aue mtu ? msijikute mnakosoa vifo vya watu, hata sisi tutakufa hatujui tutakufaje,japo mobutu kafa ila kafa na pesa nyingi
Historia hizi zafaa kutumiwa kwenye shule za East Africa..,zitafaa sana kwani si kusikiza na kutazama ni rahisi kuelewa kuliko kusoma tu kila wakati.Maoni yangu kutoka hpa kenya.
21. Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu-Kristo, Nafikiri nimewapa ninyi shauri yote ya Mungu, katika kizazi hiki, kuhusu haya mapepo za udanganyifu ambazo watu wanaita « roho mtakatifu » ndani ya makanisa haya ya kikatoliki, kiprotestanti, kiinjili na kibranhamisti pamoja na makanisa yote yanayoitwa yenye kufunuliwa au kuwekwa upya kama vile wametodisti, wabaptisti, wa furskare, waanglikani, wanazirea, anabaptist, wamormoni, wapentekoste… na makanisa yote yanayo jitokeza popote mbali na kile Mungu iko anafanya kupitia nabii mjumbe aliye hai wa kizazi kile. Ijapokuwa mafundisho yao ni tofauti, Shetani, ambaye ni mungu wao, iko sasa akiwakusanya katika baraza na shirikisho za makanisa… lakini Fahamu kwamba kuchukuliwa ao paradiso haiwahusu wao. Na kwa hesabu yao inafaa kuongeza sasa wabranhamisti kwa jumla.
Pamoja nakumkejeli Lakini Kongo bado haijapata Kama Mobutu na Leo wanamkumbuka kimoyo moyo.Mobutu na mabaya yake alikuwa jembe ..Pamoja nakusema aliuua sana je vifo vimeisha kongo.Niwakati Sasa Wakongomani au Wazairwa waanze kumkumbuka Mobutu kwa Mazuri yake ...
We are happy to know what's going on in this world, the mind of people and leaders, the stories that inspire and discourage. It's well to be informed to be able to inform and live....God bless
Tunaomba kukushauli mtoa historia usitumie vitabu vya dini katika historia zako NA ukifanya ivyo basi soma historia toka vitabu vyotee vya Imani zoteee....
nabii kacou Philippe 32. Nilitumwa kwa kuhukumu, na niliona iliandikwa katika mbingu maneno haya ya hukumu juu ya kizazi kikaidi kinacho pendelea teolojia badala ya Neno la Mungu, kinacho pendelea udanganyifu badala ya Ukweli, kinacho pendelea Barabasi badala ya Yesu-Kristo, kinacho pendelea mauti badala ya uzima. Tunaishi nyakati za mwisho za kuchukuliwa, baragumu za shetani zinapiga kwa kukusanya watoto wake na makanisa zake kulingana na Matayo 13:24-30 lakini Kelele ya Mungu ya kuamuru inakusanya wateule. [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. 33. Ndugu zangu, namna gani watu waliyo na mafundisho tofauti wanaweza kuungana ? Tazama gazeti “Fraternité matin’’ ya halamisi tarehe 22 Agosti 2002 ukurasa 3. Wasimamizi wa makanisa mbalimbali wakijiweka pamoja mbele ya wapichaji. Kichwa cha sanamu ya joka. Ndugu zngu, mumekwisha kuona [wapi] zizi ambamo kuna mbuzi, ngombe, mbwa, nguruwe na kuku?... Ni mfano wa hizo miungano na shirikisho za makanisa duniani. Na ni nani anaweza kuwa mchungaji wa zizi hilo? Hakika ni Shetani! Kila mnyama anatoa mlio wake ijapokuwa wote ni katika shirikisho moja. Ngombe wanalia ouuuuhh! Mbwa wanalalamika woouuh! Woouuh! Nguruwe wananguruma grrrrhh! Grrrhh! Na mbuzi, na kuku…na kazalika. Mnaona? Kichwa moja inayonena kwa lugha ya kibaptisti, kichwa ingine inayosema kwa lugha ya kipentekosti, kichwa ingine inayosema kwa lugha ya kimetodisti, na vivi hivi... Mnaona? Huyu ana mafundisho fulani, yule ana mafundisho fulani... Mnaona? Matayo 13:24-30 inasema nini? Nitaisoma: « Na akawaambia: “…muyaache yakomae yote pamoja hadi mavuno; na wakati wa mavuno, nitawaambia wavunaji: okoteni kwanza magugu, na muyafunge matita-matita kwa kuyachoma, lakini kusanyeni ngano katika gala langu ». Matita ni miganda za aina tofauti. Kanisa la wabaptisti ni mganda, lakini wakati wabatisti, wamethodisti, na makanisa nyingine wanajiunga pamoja, ni matita. Kila muungano au shirikisho la makanisa ni matita. Na Biblia inasema zitakuwa nyingi na ya kwamba ni kwa kuchomwa. [Ndl: kusanyiko linasema: amina!].
Mobutus first wife died of heart failure on 22/October /1977 in hospital in Switzerland 🇨🇭 wacheni kudanganya. Mobutu alikufa na cancer September 1997 alikuwa mugonjwa muda mreffu.
Ubarikiwe Sana Annanias Edgar
Nataman sana nikuone brother nakupenda mno kwa story zako hongera sana kwa kipaji Mwenyez Mungu akujaalie uishi miaka mingi uendereze kipaji chako
Hizi ndio story za maana kama na ww unakubali acha like na comments yako
Hakika
Unajiua broo
Namkubr sana huyu jamaa
Wakwako. Bona huwasimi unasima yawezio na. Kwako kwaporomaka. Bona. Ya huko kwenu. Bukoba Bona huwasemi.
Nice brother
Huyu ndo aliyeiaribu Congo na kuwafanya wacongo wateseke mpaka Leo kwa Kumuua Patrice Lumumba!!
Kwamda sasa nimekua nikifuatilia simrizi zako hakika umekua wakipekee sana ktk industry hii natamanisana kukutana na ww japo nikupongeze kwauhodari wakusimria hadithi namatukio kwauhodari wakipekee nauliotukuka mungu nimwaminifu iko sku nitapata nafasi yakukueleza ukweli uliko ndan yamoyo wangu kuhusu uwezo wako naamini utafika mbali kuyafikia Marengo yako
Ameen, asante sana Robiny.Karibu.
robiny clement
mpo vizuri kwa kweli!!!
Great work
Voice over 👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante global tv pamoja na Edgar & mpangaze kwa kutujulisha historia yenye kutuelimisha
Kwakweli nimeipenda sana hii story natamani muendlee kutuletea mambo mazuri
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥☔🇪🇹 twaikubali sauti yako sana
kama unamkubali Ananias Edgar acha link yako apa twende sawa
Yuko vizuri
Kazi nzuri bro... Ananias Edgar
...Allah akujaaLie one day utimize yo dreams
Asante sana Danii,kazi njema.
Alisahau jambo moja tu, bata kuku umaharufu na vyote ni vya muda mchache sana hapa duniani. Hakukumbuka kama siku moja ataondoka kama alivyozaliwa na kuacha kila kitu. Hakutengeneza maisha yake na Mungu akajiona yeye ndyo yeye kiburi cha uzima kikaingilia kati. Aliyoyakuta huko anatamani arudi duniani ahanze tena upya majuto kilio na kusaga meno!
Acha Bata aitwe Bata
Haya ndo yanatufundisha historia kwa tuliofel somo hilo japo ni maisha halisi ya rais uyu ., alitsha sana
Historia nzuri na yenye mafunzo kwa watawala wa sasa.
Dunia hii imetawaliwa na watawala wenye ukatili wa kila aina ila leo hawapo.
Walikusanya mali za kila aina lakin walikufa wameziacha.
Tuishi kwa upendo na kusaidia wengine
safi sana bro mm ushauri wangu kwann usiandike vitabu alafu vikawa vinaonyeshwa mashuleni big up bro 💤
Mmefanya kazi nzuri. Ila marekebisho. Sio kwamba 'historia hii imeandikwa' bali 'kutayarishwa. Kuandikwa ilishaandikwa sehemu mbalimbali kilichofanyika ni kutayarisha. Pongezi GlobalTv
Asante sana Edwin, kazi njema.
Edwin Ndaki Asante😍
umesema vyema sana brother umerekebisha vyema saana na kwa busara kazi nzuriii
Ahsante kwa huduma pia hongera kwa kazi ngumu mungu akusaidie upate elimu zaidi ya hii
Hizi ndo documentary za kifanya. Mkitupa documentaries kama hizi mtakuwa mtajenga sana. Thank you kwa waandaaji wote
Thank you
I love this.
Ananias Edgar bro salute kwako
Hadihti nzuri zana
Heeeee Jmn uko alikooo cjui anahali gan jmn.....Mungu mrehemu mwanao😘😘
Nakushukuru Edgar kwa simulizi nzuri
Uko vizuri brother
Lakini huo wimbo wa Candidat na Biso ni wimbo mkali hadi wa leo..it was so sweet
Amani ya kweli inatoka kwa Yesu tu hapa duniani ndomana anaitwa mfalme wa amani
I
AMEN
Broo umeweza sana
Safi bro sitory yako nzuri sana
Hatari sana
Yani brwoo ww unjwa kusimulia goood
Hii ni kazi nzuri ,Bw.Ananias Edgar ,zidi kutuelimisha ,
Shukran kaka
Dah alitisha sana
Hadhi nzuri sana
Napenda unavyosimulia, tafadhali toa documentary mzima kwa kiswahili
Men the only thing I love from Tanzania is wasafi and king kiba,you guys yani mbona UA-cam videos zenyu huudhi hivi gooosh
@@georgephilip8220 nigaah You guys think this is a radio or what,always talking and sliding images...take of primitivity
acheni uongo
1.mobutu hakwenda ufaransa kwa ajili ya kunyoa nywele then arudi zaire bali alienda huko kupumzika alikua na nyumba yake ya mapumziko huko iliitwa villa del mare
2.hakuzikwa na watu 6 walikua ni wanafamilia yake japo hawakua wengi ila wanazidi 6,familia yake ilikataa watu msibani hata waandishi walifukuzwa
3.haijasibitishwa popote kuwa alimuua mkewe bali sababu iliyotolewa ni kuwa alipata tatizo la moyo,japo mobutu alikua akimpiga sababu ya wivu
4.wakati kina mulele wanauliwa mobutu hakuepo kinshasa,afu mnadai eti mobutu kaua mtu kumtoa vidole ,mobutu aliogopa hata kupanda ndege hakulala kwenye ndege afu ndio aue mtu ?
msijikute mnakosoa vifo vya watu, hata sisi tutakufa hatujui tutakufaje,japo mobutu kafa ila kafa na pesa nyingi
Mbona hajasema,,, unangoja wa2 waseme alafu UKOSOE,,,,,,, SHETANI WW
Acha kutetea viongozi wajinga ww au na ww ndio wale wale nn
Kweli wa Africa siwazuli raisi wetu mobdu kwendahuko urifanya Congo ikakuwa masikini sana
Hahaha hahaha raha za ulimwengu huu jmn zimemmaliza mbabe!! Pole sana!!
Historia hizi zafaa kutumiwa kwenye shule za East Africa..,zitafaa sana kwani si kusikiza na kutazama ni rahisi kuelewa kuliko kusoma tu kila wakati.Maoni yangu kutoka hpa kenya.
Kweli kabisa
Asante
Hatari
Best narrative
well researched . Pongezi
All the best
21. Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu-Kristo, Nafikiri nimewapa ninyi shauri yote ya Mungu, katika kizazi hiki, kuhusu haya mapepo za udanganyifu ambazo watu wanaita « roho mtakatifu » ndani ya makanisa haya ya kikatoliki, kiprotestanti, kiinjili na kibranhamisti pamoja na makanisa yote yanayoitwa yenye kufunuliwa au kuwekwa upya kama vile wametodisti, wabaptisti, wa furskare, waanglikani, wanazirea, anabaptist, wamormoni, wapentekoste… na makanisa yote yanayo jitokeza popote mbali na kile Mungu iko anafanya kupitia nabii mjumbe aliye hai wa kizazi kile. Ijapokuwa mafundisho yao ni tofauti, Shetani, ambaye ni mungu wao, iko sasa akiwakusanya katika baraza na shirikisho za makanisa… lakini Fahamu kwamba kuchukuliwa ao paradiso haiwahusu wao. Na kwa hesabu yao inafaa kuongeza sasa wabranhamisti kwa jumla.
duniani hapa tunapita tu hivyo viongozi wote wa africa mjue hilo
Huyo jamaa ni noma
Kifo haina huruma.tafuta salama na watu wote dunia tuna pita
Nimeipenda hii story. Mumeiandaa vema...
Hatuta kusahau Mobutu pamoja na Magufuli 🙏🙏🙏
Oh Kukungwendu wazabanga mwana ya zaïre R.I.P 😘😘😘
Ohooh sasaiv tunaye huku kwetu anakula misele hatari
I Love ur voice
Hatari hii
Kainjoi sana
aisee
Dar kweli brother ww ninakukubali sana Kwenye hizi story mtu wangu
Mungu amlipe Kwa matokeo yake
Great work bro.
Duh uyu father alikula bata kinoma noma
Pamoja nakumkejeli Lakini Kongo bado haijapata Kama Mobutu na Leo wanamkumbuka kimoyo moyo.Mobutu na mabaya yake alikuwa jembe ..Pamoja nakusema aliuua sana je vifo vimeisha kongo.Niwakati Sasa Wakongomani au Wazairwa waanze kumkumbuka Mobutu kwa Mazuri yake ...
Good storys
Good broo
Mimi ni mcongo ila simfahamu vizuri mobutu kama ananias edgar huyu jamaa nakukubali wewe nibabalao 💪.
kipaji brother 💪
Mobutu alikuwa umbwa coco, mupenda raha,nakutesa wandugu zake ,new generation We wll change africa for better future
We are happy to know what's going on in this world, the mind of people and leaders, the stories that inspire and discourage. It's well to be informed to be able to inform and live....God bless
EDGAR,, WALLAIH NAKUOMBA UANDAE KINA EDGAR WENGINE WENGI UKISTAAFU WASHIKILIE DORIA.........MAANA HII SAUTI NI NOMA YAANI 2NAIKUBALI SANAA 😃
Pongezi wee bwana kazi yako nzuri
Goood
Joseph Kabila ndiye muaji zaidi kuliko Desire Joseph Mobutu. kwa utawala wake hatukujuwa rebellions.
Nikweli
Tunaomba kukushauli mtoa historia usitumie vitabu vya dini katika historia zako NA ukifanya ivyo basi soma historia toka vitabu vyotee vya Imani zoteee....
Aibu ya Viongozi wa Africa !
Hii midia ipewe heshima maana naipenda haina mambo zamashoga hii chaneli mungu aibarki
hiii story nikahisi ni mwendazake naye alikuwa dikteta ivo ivo
nabii kacou Philippe
32. Nilitumwa kwa kuhukumu, na niliona iliandikwa katika mbingu maneno haya ya hukumu juu ya kizazi kikaidi kinacho pendelea teolojia badala ya Neno la Mungu, kinacho pendelea udanganyifu badala ya Ukweli, kinacho pendelea Barabasi badala ya Yesu-Kristo, kinacho pendelea mauti badala ya uzima. Tunaishi nyakati za mwisho za kuchukuliwa, baragumu za shetani zinapiga kwa kukusanya watoto wake na makanisa zake kulingana na Matayo 13:24-30 lakini Kelele ya Mungu ya kuamuru inakusanya wateule. [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
33. Ndugu zangu, namna gani watu waliyo na mafundisho tofauti wanaweza kuungana ? Tazama gazeti “Fraternité matin’’ ya halamisi tarehe 22 Agosti 2002 ukurasa 3. Wasimamizi wa makanisa mbalimbali wakijiweka pamoja mbele ya wapichaji. Kichwa cha sanamu ya joka. Ndugu zngu, mumekwisha kuona [wapi] zizi ambamo kuna mbuzi, ngombe, mbwa, nguruwe na kuku?... Ni mfano wa hizo miungano na shirikisho za makanisa duniani. Na ni nani anaweza kuwa mchungaji wa zizi hilo? Hakika ni Shetani! Kila mnyama anatoa mlio wake ijapokuwa wote ni katika shirikisho moja. Ngombe wanalia ouuuuhh! Mbwa wanalalamika woouuh! Woouuh! Nguruwe wananguruma grrrrhh! Grrrhh! Na mbuzi, na kuku…na kazalika. Mnaona? Kichwa moja inayonena kwa lugha ya kibaptisti, kichwa ingine inayosema kwa lugha ya kipentekosti, kichwa ingine inayosema kwa lugha ya kimetodisti, na vivi hivi... Mnaona? Huyu ana mafundisho fulani, yule ana mafundisho fulani... Mnaona? Matayo 13:24-30 inasema nini? Nitaisoma: « Na akawaambia: “…muyaache yakomae yote pamoja hadi mavuno; na wakati wa mavuno, nitawaambia wavunaji: okoteni kwanza magugu, na muyafunge matita-matita kwa kuyachoma, lakini kusanyeni ngano katika gala langu ». Matita ni miganda za aina tofauti. Kanisa la wabaptisti ni mganda, lakini wakati wabatisti, wamethodisti, na makanisa nyingine wanajiunga pamoja, ni matita. Kila muungano au shirikisho la makanisa ni matita. Na Biblia inasema zitakuwa nyingi na ya kwamba ni kwa kuchomwa. [Ndl: kusanyiko linasema: amina!].
Sika Sika TV niambie hicho kitabu
Ama kweli, dunia ina mambo😯😯🤔🤔🤔
Unanikosha Sana Aiseee
Huyo ameharibu sana huyo jama
Tupe historia ya salmin wa Zanzibar
Duh hy People alikuw mbwa hapa duniani
Huyu msomaji kiboko......he has a style
Hongera unajua kuhistoria
Huyu jamaa yupo vizuri kwa simulizi
Huyu jama hakua poa
Alikua akibadilisha pesa kila mwaka
Yup nawakubali sana . Wekeni kuhusu wafalme wa zanzibar
Ajala Bata kama john, wewe ujui tu
Ama kweli OAU ilikua ni club ya madikteta
Noma sana
Good job
Uyo jama ni mkali sana
Hivi huyu mtu alikuwa mtu wa namna gani?? Hivi unajua wakati mwingine nacheka afu nalia kidogo, kwa kumshangaa huyu mtu dahhhh kweli nashangaa sanaaa
Mobutus first wife died of heart failure on 22/October /1977 in hospital in Switzerland 🇨🇭 wacheni kudanganya. Mobutu alikufa na cancer September 1997 alikuwa mugonjwa muda mreffu.
Wewe kichaa sans
Stop creating inaccurate information what exactly do you know about Congo?
Siku hiz bata zinamla yeye huko aliko
Dunia mapitoo
Sasahivi anajutia
We appreciate the history ❤❤🙏🙏🙏
Sasa yupo wapi?
Saf sana
Anania nakupenda
Wekeni kuhusu wafalme wa zanzibar
Gaaah