Tazama Gari La Laki Saba Lilivyompa Sheikh Walid Gari Aina Ya V8 Na ZX Asimulia Mwanzo Mwisho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @abdullakhalfan31
    @abdullakhalfan31 Місяць тому +11

    Nakukubali Sheikh Walid Mashaa Allah.

  • @mrishoali1755
    @mrishoali1755 22 дні тому +1

    MasshaAllah Shegh Walid Usichoke na sisi InshaAllah hatutochoka kufatlia na kuijua dini yet wanazuon wanapungua na sisi tulionyuma yao tunapaswa kukamat ufmbo mkono kwa mkono hadi pepon InshaAllah

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Місяць тому +7

    Mufti Allah akulipe kwa kumuona Shekh Walid Hakika tunanufaika na ndio Bakwata yetu inatakiwa ielekee

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa Місяць тому +3

    Ma Sha Allah
    Mollah akuzidishie umri,kweli wewe ni kichwa kwa hesabu hizo na tukiamua kwa yakini waislam tunaweza fika mbali

  • @MAIMUNAABDALA-m4u
    @MAIMUNAABDALA-m4u 18 днів тому

    Nakupenda San shekh waldy

  • @user-hk4ub8sy3z
    @user-hk4ub8sy3z Місяць тому +2

    Mashallah shekh Walid mola akulinde na hasad za watu na majini.

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 Місяць тому +1

    Mashaallah Sheikh Walid, sio yule mtu wa michapo ya kinadada

  • @abbasmungia266
    @abbasmungia266 18 днів тому

    Hikma kubwa Masha Allah

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Місяць тому +1

    Mashaa Allah Allha akulipe tutumie mda vzr fursa zipo ilituendelez dini na maisha kwaujumla.

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Місяць тому +1

    MASHALAH
    SHEKH WALIDI NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk Місяць тому +1

    Maashaallah lazima tuwe na uchumi wetu

  • @athumansaid796
    @athumansaid796 Місяць тому +5

    Walid wamuache kabsaaaa

  • @kapayaone748
    @kapayaone748 27 днів тому

    My role model -Masha Allah

  • @shabanmohamed7071
    @shabanmohamed7071 Місяць тому

    Daaahu hyu sheikh Allah amemjaalia hekma mno,uwezo mkubwa wa kuzungumza

  • @marijanmussa
    @marijanmussa 28 днів тому +1

    Mashaallah

  • @salimabdul4424
    @salimabdul4424 Місяць тому

    Mashaallah masheikh zetu kwa kikao kizuri....

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Місяць тому

    Allah azid kkuhifadhi kwa kheri alhamdulilah nakupenda kwa ajili ya Allah. Na ssi yuko tayari kuchangia kwa ajili ya maendeleo ya uslam daima

  • @KhalidMzala
    @KhalidMzala Місяць тому

    Mashaallah Allah awape kiongozi wetu wadini umri mrefu wenye manufaa na afya njema

  • @user-cr4th9lr6b
    @user-cr4th9lr6b Місяць тому

    Mabadiliko ya ante na kuwalipa Mishawaka mizuri waalimu wa vyuo na masheikh kazi kubwa sana wanaifanya. Itapunguza kuombaomba na majungu. Wendi siku hizi wamekuwa waganga

  • @jemrezeejemrezee9451
    @jemrezeejemrezee9451 Місяць тому +1

    Huyu jamaaa nifaswaha sana kwenye kuongea mashaAllha

  • @AmriMzeru
    @AmriMzeru Місяць тому +1

    Hili somo nimelipenda

  • @athumanzanangwa4477
    @athumanzanangwa4477 Місяць тому +1

    Nasaha nzuri sana.
    Tuunge mkono kivitendo katika maeneo yetu kwa fursa zilizopo!

    • @allykama3352
      @allykama3352 Місяць тому

      Jitambuwe.+badilika+ aca mazoweya=mafanikiyo😊

  • @abdallahferouz9238
    @abdallahferouz9238 Місяць тому

    ماشاء الله وجزاك الله خيرا 🤲❤

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Місяць тому

    Safi sana shekh umeongea kweli sisi waisilam tumejaa majungu sana

  • @mussabendera1751
    @mussabendera1751 Місяць тому

    Mashaallah umepataja kwetu lusanga.

  • @user-tj5bf4yy3e
    @user-tj5bf4yy3e Місяць тому

    Imenisisimua sana Shekh hongera

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 Місяць тому +2

    Mashaallah, Allah akuhifadhi kipenzi chetu shekh Walid Alhad Omar Kawambwa Kinyamkinda😀, hakika wewe ndiyo mtoto wa mjini hasa, tunawaombea na wale ndugu zetu waliokuja mjini awaondoshee husda na roho mbaya tuwe nao pamoja mjini

  • @ladooladoo1285
    @ladooladoo1285 Місяць тому

    Huyu shekhe Maa shaa Allaah napenda uongeaji wake ni mtu simple ukimuona, uongeaji wake taratibu na mwingi wa hekima kuongea kwa mifano halisi kunafahamika zaidi wala hana usabii Allaah Akuhifadhi na Aturuzuku na sisi
    Lakini niwaambie siri ya mafanikio mnajua ni nini? Kumpa mtoto elimu ya kumtambua Mungu kwanza kwa hiyo safari inayobakia inakuwa nyepesi Allaah Atupe hekima ya ulezi kwa vizazi vyetu

  • @SulumaSwaleh
    @SulumaSwaleh Місяць тому

    MASHALLAH BIN GHAMMY , ALLAH AKUPE PEPO KWA HURUMA ZAKE.

  • @athumanzanangwa4477
    @athumanzanangwa4477 Місяць тому +1

    Mashaallah.
    Shukran sana Sheikh.
    Tuingie kwenye utekelezaji!

  • @seifusengondo9170
    @seifusengondo9170 Місяць тому +4

    mufti ajaye Shekh Walid

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 Місяць тому

      inafaa tupate mtu mwenyebmaarifa mengi sana. ya dunia na dini ... hawa wanafaa kuwa washauri wa mufti katika maeneo fulani fulani....., kwa uelewa wao kuhusu dunia na mambi hayo ndio maana hauwaoni bakwata wakiwa katika shuguli za maendeleo zaidi ya kufungisha ndoa

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 Місяць тому +2

    Uchumi, uchumi wa waislam uanzie kwenye madrasa/misikiti . wakati watoto wanasoma dini basi wafundishwe pia namna ya kujipatia kipato. Hii inawezekana kama madrasa ikiwa na maeneo ya adhi wakatumia kufuga( kuku, mbuzi, ngombe,) ama kufanya kilimo kwa mazao ya chakula na biashara (mahindi alizeti, maharage,nk) . Vilevile wafundishwe ujuzi wa computer, mechanics, umeme nk. Hii inawezekana ikiwa watawatumia/kuwaalika wataalam mbalimbali wa Kiislam hata wasio waislam. Kupelekwe mafungu ya fedha kila madrasa iweze kufanya mradi wake, ili wanafunzi wakihitimu wasiwe tegemezi na kudhalilika mtaani ama kujiingiza kwenye mikopo yenye riba, kamati na kujiuza. Inshaallah kila kitu kinawezekana tukitafakari na kuja na fikra za kujiinua kiuchumi.
    Allah awabariki, na Awatimizie malengo haya mazuri masheikh wangu.

  • @gharibsomali4595
    @gharibsomali4595 Місяць тому +2

    Hapo umeongea ukweli kutafakari muhim na nyinyi mjitambue munaendeshwa kwa misingi gani au munaenda tu kwa vile mumepata sehem ya kula ongea ukweli yasiyo faa

  • @user-zj2xq1od5l
    @user-zj2xq1od5l Місяць тому

    Mashaallah man'jan'da wajadah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Місяць тому

    Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚

  • @nuhubashiramubashira7233
    @nuhubashiramubashira7233 Місяць тому

    Maashalaah maashalaah

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 Місяць тому

    Maasha allah

  • @mohamedimuhinga9064
    @mohamedimuhinga9064 Місяць тому +2

    Maneno ya shekh Wald kama kila kiongozi wa kiislamu atayafata waislamu tutakua mbali sana duh!! Ameongea vizuri sana

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 Місяць тому +1

    Alhamdulillah

  • @hawa6052
    @hawa6052 Місяць тому

    Baraka llahu fik

  • @muhsinchambega
    @muhsinchambega Місяць тому

    Jazakallah kheir

  • @SelemaniSelemani-bw4ps
    @SelemaniSelemani-bw4ps Місяць тому

    Mashaa allah

  • @shabanmohamed7071
    @shabanmohamed7071 Місяць тому

    Masha Allah

  • @Munatiyahilwa
    @Munatiyahilwa Місяць тому

    ALLAHUMA BAARIK❤

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 Місяць тому +1

    Yaani huyu Sheikh ni hazina hasa

  • @hashimrwegasira3790
    @hashimrwegasira3790 Місяць тому +1

    Ta sheikh walid okugamba amazima omukama akubele edini ogishomile nefaida ntugipata kulaba aliwe

  • @shabanikitogo6613
    @shabanikitogo6613 Місяць тому +1

    Hiki kichwa sio yule aliyekuwa kila siku ikulu kuomba msaada .

  • @GiftKivevele
    @GiftKivevele Місяць тому

    Mashallah

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Місяць тому +1

    Umenijenga

  • @user-ow6fw2lw7n
    @user-ow6fw2lw7n Місяць тому +1

    Soini ata nn nachangia kwa furaha allh akbar jambo ambalo ni kiu yetu siku nyingi

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 Місяць тому

    Walidi ni hazina ya koa wa darsalama na Tanzania angalia tafakkuri hiyo

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk Місяць тому +1

    itolewe namba ya kuchangia

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 Місяць тому

    mashekh hayo ndio yanafanya kupindisha haqqi

  • @majaliwahassan2555
    @majaliwahassan2555 Місяць тому

    Masha allha mungu awasimamie kwenye mawazo hayo hakuna kinacho shindikana kwenye maamuzi

  • @Sajotommy-w1l
    @Sajotommy-w1l Місяць тому

    Mashaallah

  • @AffectionateFood-rz5sv
    @AffectionateFood-rz5sv Місяць тому

    Mashaallah