''ALIPIGWA RISASI MBELE YETU'':ASIMULIA USIKU WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR/INATISHA,S01EP35.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 302

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 роки тому +18

    Moja kati ya sababu za nakama zinazoikumba Zanzibar ni hizi sherehe za Mauaji ya 12/01/1964.
    Siku hiyo waliuliwa maelfu ya Wazanzibari kwa kisingizio cha kutoiunga mkono ASP.
    Wazee wetu walioshuhudia wametupa historia kwa urefu, na mpaka walishiriki katika mauaji hayo wanajulikana.
    Ili waweze kuyahalalisha mauaji hayo, wametunga historia nyingi sana za uongo ambazo hazipatikani isipokuwa ndani ya CCM tu.
    Ndio maana mpaka leo, bado Mapinduzi Daima, masikini wanazidi kumasikinika, wanyonge wanazidi kunyongeka, mwenye haki hunyang'anywa.
    Hapa tunasherehekea kitu gani!?
    Kwa manufaa ya nani!?
    Ili iwe nini!?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому +1

      Historia ya Zanzibar imebadilika na kuvurugwa kwa makusudi na dhamira mbaya za wenye uchu wa mamlaka,history imevurugwa ilimradi kizazi cha juzi jana na leo na hata kizazi cha mbele kije kirithi story isiyo kweli, history imebadilishwa kwa dhamira ya chuki za dini rangi na Kabila!mapinduzi 1964 yalipangwa kwa makusudi kwa dhamira mbaya!hata isiyo na manufaa hata kwa wazanzibari wenyewe! Warabu wakabebeshwa msalaba na lawama!na ajabu walio kufa wengi ni wazanzibari na waislam Sio hao mabeberu!kiongozi wa ASP akitumika kuimaliza Zanzibar yake mwenyewe bila kujijua yeye ni chambo kwa maslahi ya watu wengine! Nasio maslahi ya wanzanzibar,wakulaumiwa leo ni kiongozi alie leta mapinduzi! Leo wanatukuzwa na kukumbukwa kama mashujaa!tuseme ukweli leo hii Taifa gani ktk mataifa ya lioikalia Zanzibar yakiitakia Zanzibar mafanikio na mazuri kati ya Warabu waingereza, warembo German na Ufaranca?

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 Рік тому

      Abubakar unàposema hivo alafu husahihishi tutakuelewaje? Kama unasema ni uongo maana yake ulikuepo wkt ule sema sasa ilikwaje

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому

      @@ibrahimgwasma1223
      Wewe ndie muongo.
      Wapi nilisema kama nilikuwepo!?

    • @MichaelKellya
      @MichaelKellya Рік тому

      Nkwl huyu mzee anaongea history ya kale ambapo yeye pia alikuwepo

    • @mohammedbinjumaabinaweisal9188
      @mohammedbinjumaabinaweisal9188 Рік тому +1

      Waongo wakubwa ,mbona Babu yetu hakuwa muarabu lakini aliteswa na dhalilishwa na hao wanaojiita wanamapinduzi,mpaka zikamvuka nguo mbele ya watoto wake wa like.

  • @nasmsamaa6045
    @nasmsamaa6045 2 роки тому +7

    Haiwezekani MTU Aliezaliwa 1940 Aseme Anamjua muanzilishi wa Zanzibar wakati yeye Na karume mkubwa karume ,Karume mwenyewe Anazaliwa Warabu wapo mika mingi sana huyo Mzee mungo sana sana

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому +1

      Kabisa

    • @JohnCatherine-f1z
      @JohnCatherine-f1z 8 місяців тому

      Kahadisiwa na babayke au babu yake unachotaka wewe aseme uongo afate historia za wanafiki wa kiarabu wanao wapotosha wazanzibari wengi angefuata historia ya kinafik usingesema hivyo

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 5 місяців тому

      Karume kaja znz sio kazaluwa

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 4 дні тому

      Zanzibar inahustoria zaidi ya miaka elfu mbili, uislamu umeingingi baina ya mwaka 650 mpaka 700 , msikiti mkongwe upo kizimkazi umejengwa mwaka 900 ad , Babu yake kazaliwa miaka elfu mia mbili nyuma alikua hai kumuhadithia?

    • @msafirindiyembuke5168
      @msafirindiyembuke5168 День тому

      Karume Hajazaliwa Znz bali Amekuja Zanzibar akitokea Malawi.
      Alafu kwanini mapinduzi yaongozwe na Okelo mkiristo toka Uganda alafu waliouliwa zaidi ni waislam wenye Asili ya kiarabu

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 роки тому +14

    Uongo wa CCM unamwisho wake.
    Insha Allah

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      Sultan harudi tena Zanzibar!!

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 2 роки тому +3

      @@jumakapilima7295
      Sultani ni Mzanzibari aliezaliwa Zanzibar yeye na mababu zake wote tokea 1700s.
      Tatizo na madhila yanayotufika Wazanzibari ni Mkoloni Tanganyika anaeikaliza Zanzibar kimabavu. Ndio maana tunapigania mamlaka kamili.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@abubakarmuhammadsaid3244 Hahahaha,,,,, sultan kurudi tena Zanzibar Hilo sahau!!!

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 2 роки тому +3

      @@jumakapilima7295
      Huo ni uamuzi wetu sisi Wazanzibari, nyie Watanganyika Zanzibar haikuhusuni ndewe wala sikio

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@abubakarmuhammadsaid3244 Hahahaha,,,,,Nani aliyekudanganya kuwa eti Una uamuzi wa kumrudisha sultan? ,,,,2025 ndio utajua kama Mimi mtanganyika au mzanzibar,,,

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 роки тому +7

    Kumbe utumwa umeletwa na Mtanganyika ikisha nasema ni Waarabu munawachukia tu
    Muna chuki nafsi za toka zamani Baniani mbaya kiatu chake dawa hamwapendi lakini misaada mnapokea mino mbio Bilal ya haya

  • @RIGHTWAYRLC
    @RIGHTWAYRLC 2 роки тому +4

    Historia ya mkereketwa hii

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 Рік тому +3

    Siyo kweli tiptip mzaliwa wa tabora nasiyo kutoka iran huyu muongo na karafuu ilitoka wapi muongo wagunduzi wa kisiwa cha zanzibar na pemba waraabu ndio walivigungua

  • @jamesmoses354
    @jamesmoses354 2 роки тому +8

    huyu mzee hajui kitu,na pengine katumwa na kalipwa,anasema tafauti kabisa na hali ilivyo..na uvamizi wa 64,haukuwa ukombozi kabisa,ila ndio uvamizi wenyewe,na ndio unoiath'thir Zanzibar na watu wake mpaka leo.Lakini In Shaa Allah,ikiwa si sisi basi wanawetu,nchi yetu tutaipata.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Рік тому +2

    Hii hadithi kali sana,anasema Sultani alihifadhiwa na waengereza huko Kenya mpaka akafariki.Sultani mpaka leo yuko hai hajafa.Okelo si Mkenya bali ni Mganda.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      OKELO KAFA KAMPALA AKIWA OMBA OMBA MTAANI NA KIKOPO CHAKE LAANA YA KUUWA WATU WASIOKUWA NA SILAHA.

  • @abdoulhaithman2362
    @abdoulhaithman2362 3 роки тому +4

    Huyu Bw anasema ovio, ati Mfalme kafia Uingereza ! Wakati Mfalme yuhayi pakaleo ! Ati John Okelo nimkenya ! Wakati katoka Uganda. Yeye mweyewe kasema kazaliwa mwaka 1946 alafu siku ya Upinduzi (12 01 1964 ya serikali halali ya wanainchi wa zanzibari) anasema anaumri wa miaka 14 !!!! Duh ! Maskini mwenyewe hajitambui alafu kweli anaweza kuzungumza historia ya nchi ya historia kama Zanzibar ! Kweli Mambo ya kuchekesha..

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 9 місяців тому +1

    Huyu Mzee umuulize kitabu kimoja tu Cha historia ya Zanzibar hajui hakusoma halafu huoni aibu hao mlio wapindua wanamaisha mazuri lkn waliopindua maskini kweli

  • @amiraliy3920
    @amiraliy3920 2 роки тому +1

    Huyu mzee ni mungo sana hayo mapinduzi hakupinduliwa mwarabu bali aliye pinduliwa alikuwa mzanzibari bakar shamte ndiye aliyekuwa mtawala mwaka 1963 diyo uhuru mungereza alitowa tarehe 9- disemba mwaka huwo tarehe 12 -January-1964 ndipo walimpinduwa mzanzibari kwanini hawa wazee hawapendi kusema ule ukweli? History ya zanzibar yote imewekwa kwenye vitabu wala hawaoni haya kusema uwongo.

  • @seifsaid4164
    @seifsaid4164 2 роки тому +2

    Kumbe Mzee ameshiriki kutia Wamanga visimani duh!!

  • @nasseralismaily8762
    @nasseralismaily8762 Рік тому +1

    Mzee Muuwaji huyu na Mwongo lakini atapata lake kwa Mungu

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 3 роки тому +4

    Unafik mtupu na uzandik wa waziwazi. Hawa masheha fitna tupu...badala ya kuijenga jamii wao kila leo wanatafuta njia za kuigawa. Mtihani mkubwa huu huyu mzee anasema uongo mchana kweupe wala hamuogopi Mungu

    • @111dudi
      @111dudi 3 роки тому +2

      Kweli,tena muongo bila haya

    • @it-vw4zj
      @it-vw4zj 3 роки тому +2

      @@111dudi Wanajisahau hawa jamaa kua kuna siku watakwenda kuulizwa juu ya huu ubaya na dhulma wanazofanya

    • @zahoralmsulhy9732
      @zahoralmsulhy9732 Рік тому +2

      nawaonea huruma hao watangazaji kupoteza mda wao na kugharamika kuja kudanganywa na kupumbazwa na kurudi
      story km za katuni
      kaja na watumwa wake 14 ndio tu ndio ikawa walienea znz nzima 😂😂 mpk hao waarab wakawafata kuomba ushirikiano ktk kutawala halafu kapewa sumu akajua kesho atakufa na akafa kweli hadithi hizi za juha na abunuasi

  • @zahormohd
    @zahormohd 9 місяців тому

    Huyu mzee ni baba wa mkuu wa mkoa wa mjini ungunja (idrissa kitwana mustafa) ameendelea kwenye kiti cha usheha mpaka akawa mgonjwa sana na hawezi tena chochote ila hakuachishwa usheha akaendelea kulipwa mshahara akiwa hoi bin taaban kwa vile mwanawe ni mkuu wa mkoa na masheha wanachaguliwa na mkuu wa mkoa

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 роки тому +7

    Allah ndio hakimu wa haki kila anaetetea mauwaji atakuashahid

  • @Ali-po9nf
    @Ali-po9nf 2 роки тому +1

    Wewe mzee mzushi kweli, huna unalojua , ni porojo la vibaoni. Sema kama umeuwa na utubie ama kabla kifo chako ama sivyo nawe utaisoma namba. Na nyie Dar 24 hamna kazi , mnajifurahisha na kufurahisha na kukera na blah blah za vijiweni

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому +1

    Zanzibari haijapata uhuru usiongope si afathali wa oman mara mia moja walingitengeneza vizuri sana waaslamu hao

  • @bas2823
    @bas2823 Місяць тому

    YEAH"! CHUKI ZAO KWA WAARABU NI KUBWA HAWA WATU" HUKU MISAADA YA WARABU WANAITAKA NA WANACHUKUWA HUKU WARAARABU WABAYA"? HASBIYA LLAHU WANEEMA AL WAKEEL. AMEEN🤲AMIIN🙏

  • @malickngalinda7757
    @malickngalinda7757 Рік тому

    Safi sana na hiro jambo ni heshima kubwa sana kwa

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Рік тому

    Historia imewekwa tayari TANZANIA
    Sijui mnayatafuta kujichanganya .
    Historia imeshawekwa tayari.
    Hiyo ndiyo muende nayo.
    Utauliza watu 1,000 utakuwa kama unaidharau historia iliyowekwa na kuandikwa na mashujaa kwa upana na uelewa .
    Kuweni walinzi na muilinde historia mustache wengine kuizungumza kiuchache au alipo mtu.
    Kuna mengine hubakia siri .

  • @aoamor612
    @aoamor612 2 роки тому +1

    Mtu mzima kuambiwa Muongo haifai lkn hutu Mzee ni MUONGO tena MUONGO wa kupingua ya juu utaweka chini na ya chini anawekajuu... Mfano anasema Mfalme aliyepinduliwa wamepewa habari kuwa alokufa!!!(NI UONGO ) MFALME wetu yupo hai hadi leo . 2 ni kuhusu John Okello anasema ni Mkenya!!! jamani tuache kusema UONGO

  • @salimsaid8348
    @salimsaid8348 26 днів тому

    Acha uwongo mzee Dunga ni Neno la Kireno. Mijitu mengine bhana waongo kweli kweli

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Рік тому +1

    Insikitisha habari ya zanzibari nchi ambayo ilikuwa NA utamaduni wake na tarehe yake watu mchanganiko ya watu walikuja kabla miyaka mia tano iliyopita kwa hiyo ni wazanzibari walizaliwa hapo hapo basi rangi yake ni mweupe hiyo thambi yake wengine hata hawajui kwao kwanini wanaonewa. Ni ndugu kwa uslaam wengine wanasema. Hapa ni nyumbani hata hao waarbu wenye asili ya oman ni wazanzibari ukuta mtu kazaliwa yeye NA baba yake NA babu yake hapo zanzibari sasa unakuja kumfukuza au kumua bila ya hatia hopo mungu kiyama utamwambia nini roho ya watu NA yeye haielewi kwanini wanauliwa ama ukitaka kufanya mapinduzi fanya tu si neno wala hamna mtu atakuzuwia basi roho za watu sasa nchi nzima imefutwa katika ramani ya dunia hiyo sio hasara hayo yote kwa ajili ya muongano ambayo emepoteza NA vibaraka ya wazanzibari wenyewe kwa ajili ya madaraka huko kiyama tutaulizwa kumpindua serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe baada ya uhuru wao ama jamshid alikua sura tu aliyetawala ni mwengerza ndio maana kawapa uhuru kama alivyo wapate wa tanganika uhuru wao pia NA mpaka sasa wazanzibari wameshtuka kwa kudanganwa wakawa wanataka uhuru wao peke yao nchi ilivyokua NA na kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua NA amani sasa hivi zanzibari ingelikua wapi singapor ya pili duniani

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 9 місяців тому

      Unatakiwa ujiulize maswali yafuatayo -: Waengereza walipokuja Zanzibar walikuta ikitawaliwa na nani ? na kama ukoo wa BinSaid ulikuwa bado unaongoza au la? Na walipoondoka waengereza Shamte alikuwa ni mkuu wa nchi au mkuu wa serikali.? Je ukoo wa BinSaid ulifikajefikaje Zanzibar na kivipi wawe wafalme ? Je unajua kama Said bin Sultan Zanzibar akitokea Oman? Vipi awe yeye ndie mfalme na je hakumkuta mkuu wa nchi?

  • @zanziboysaid952
    @zanziboysaid952 2 роки тому +7

    Watu wengi wanajaribu kugeuza ukweli n kuweka uongo usio n tija n wao,kwn ukisema hujui wapata dhambi mtu mpk unafikia kusema uongo kwenye kitu ambacho vinying'nya vyako vitakuja kushuhudia ama kweli sisi wazanzibari tunazidi kupewa historia potofu tukizidi kusikiliza wapuuzi km hawa wasiopenda kueleza ukweli lkn akina Sheikh Abdullah Saleh al farsi,Amani Thany n Sheikh Ally Muhsin wameelezea kwa kina juu y historia y dhati n yenye uchungu ndani yke n sio hawa makada wa vyama

  • @bas2823
    @bas2823 Місяць тому

    LONG LIFE TO LIVE DR. HASSAN MWINNYI NA RAIS SAMIYA SULUH👍AMEEN🤲 AMIIN🙏

  • @aghaamohamed4654
    @aghaamohamed4654 2 роки тому +5

    huyu mzee muongo sana, ameeleza uwongo mwingi, huyo mfalme hakufa yuhai mpaka leo na anaishi Oman 🇴🇲 na nyie mliofanya mahojiano ni wapumbavu wa mwisho

  • @abdifaraji2883
    @abdifaraji2883 Рік тому

    Huyu mzee hajui chochote. Kenya ilikataa kumhifadhi Jemshid. Tanganyika chini ya Nyerere ilikubali kumhifadhi mpaka meli ya Waingereza ilipokwenda kumchukua na kwenda nae Uingereza. Huyu mzee ni mzushi, mengi aliyoyasema ni uongo.

  • @AlbadawiyHaji
    @AlbadawiyHaji 9 місяців тому

    Siku yoyote Wazanzibar watapo acha kusherekea Mapinduzi na kurudi kwa Allah Zanzibar itaweza kujitawala bila hiyo Kitasimana Qiyama Zanzibar haitosimama na kuwa huru kwa kila mwaka Munasherehekea Mauwaji ya Waislamu vipi Allah ataifanya Zanzibar kuwa huru na hali tunasherehekea Dhambi na Dhulma za Mauwaji astaghfurullah

  • @AlbadawiyHaji
    @AlbadawiyHaji 9 місяців тому

    Waaaarabu ndio waliotuletea sisi uislamu na ukizingatia Uislamu unapiga vita utumwa vipi Waarabu wawafanye watu watu Dah mtihani kweli tuzungumzeni ukweli ulivo tusiangalie Maslahi binafsi

  • @AlbadawiyHaji
    @AlbadawiyHaji 9 місяців тому

    Historia sio ya kweli hii

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d Рік тому

    Wewe mzee maneno yako yote unayo sema ni ya uwongo ujue akhera haiko mbali Allah ata kuuliza moja moja unayo sema

  • @nasseralismaily8762
    @nasseralismaily8762 Рік тому

    Mzee Muongo sana

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 2 роки тому +2

    Wee Mzee ukiwa na miaka 14 ulikuwa na uwezo na kushirikiana na Okello kuwasomba waarabu?!!!

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 Рік тому +1

    Wewe uliponaje hizo risasi hufanani na maneno hayo

  • @shekhmohd6457
    @shekhmohd6457 Рік тому

    😮

  • @nasmsamaa6045
    @nasmsamaa6045 2 роки тому +3

    Mtizameni huyo Mzee Na historia yake anatafuta umarufu tu

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 Рік тому +1

    Yaani huyu mzee uhadithia wake una gati gati. Yaani mpaka leo hii anasema John Okelo ni Mkenya? Hatari hii.

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 3 місяці тому

    Huyo mzee hajui kitu kwanza ana miaka mingapi , historia haijui huyo ,

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 5 місяців тому

    MUONGO MNAFIKI
    HATA OKELO HAMJUI
    MAPINDUZI YALIHUSISHWA NA MUENGEREZA NA YEYE NDIO ALIYOYASIMAMIA NA JESHI ALOLIACHA MUENGERAZA LA WANAJESHI KUTOKA TANGANYIKA, UGANDA NA KENYA..
    NA WEWE MZEE PENGINE MNYAMWEZI
    MUONGO KWA HISTORIA YAKO HATUITAKI TUMEKUSIKIZA TU UONGO WAKO

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 роки тому +2

    KAUWA MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA. HUKUMU KIDOGO KIDOGO IN SHAA ALLAH.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 11 місяців тому

    Mzee simrongo Bali history inamchanganya

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Рік тому +1

    Wacheni unafiki kupotosha jamii hichi kisiwa wabara hawajakihusu pumbavu

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Рік тому +1

    We mtangazaji wacha ubwege huyu mzee anakudangaya we hata hushtuki anakwambia mapinduzi yeye alikuwa ana miaka kumi na tatu halafu wewe unamuuliza kama kufanya kazi na okele.khadithi ya uongo hiii.

  • @suleimanpandu8955
    @suleimanpandu8955 5 місяців тому

    Huyu mzee muongo ajabu na hiyo historia haijui hasa

  • @haji-ig5ln
    @haji-ig5ln Рік тому

    Huijui histori ya Zanzibar kuzaliwa 49 wachakuseme historiazauongo muogope Allwah

  • @pastorgideontruzindaminist8746

    Huwezi kudanganya wtu kua hi generation aki wa Tanzania muko no uongo na upunzi muingi😅😅😅😅John Gideon Okello was a painter from uganda but he was working in kenya divio akuje Zanzibar 😅

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Рік тому +1

    Mzee mvuta bangi huyu hiii khadisi za bangi za baraza kahawa uongo mtupu bangi hiyo. Hata haina ukweli usituletee wavuta bangi kupotosha kizazi kipya

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 Рік тому

    John okello ni Mkenya au Mganda?

  • @111dudi
    @111dudi 3 роки тому +7

    Huyu hajui historia ya Zanzibar. Hiyo uliyoandika "SLAVE CHAMBER", ilikuwa inachukuwa watu wangapi? Na mbona hakuna madirisha, hao watumwa si wangekufa? Ukweli nikwamba hiyo ilikuwa ni ghala , na ndio inayoingia akilini. Huyu hajui lolote

    • @majidzahor3058
      @majidzahor3058 2 роки тому +2

      ni muongo vipaya sanaaa

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому +3

      Huyo anatetea uccm wake mzushi tu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому

      ​@@majidzahor3058 kabisa muongo mkubwa!yeye niwa 1956,history inatuambia kutoka 182... na huko, anasema mwinyi mkuu kutoka Bara ndo mtu wa kwanza kufika ktk kisiwa cha Zanzibar hapo kabla mbona haongei! Hajui kabisa, masultani walio tangulia ukiona picha zao ni half half waafrika na warabu, warabu waliwaoa w/wake waafrika na masuulia,na warabu waliufuta utumwa na watoto wao kuwa ndo watawala,utumwa ulishamiri Bara machifu wali wauza waafrika wenzao kwa tamaa zao, na njia ya kuwapitisha ilikuwa Zanzibar

  • @hafihajumoneworld7884
    @hafihajumoneworld7884 2 роки тому +1

    Mtwana umesoma wapi Mzee Baba

  • @nasmsamaa6045
    @nasmsamaa6045 2 роки тому +1

    Tena muongo babu yake hajazaliwa Zanzibar IPO Huyo mwinyi Mkuu in mdogo sana babu yake hajazaliwa Zanzibar IPO zamani

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 7 місяців тому

    Unazuwa na umri huo, muogope Allah

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 роки тому +1

    Km weye ulikua mdogo vipi umewachukua warabu ukawapeleka rahaleo?

  • @xingho3990
    @xingho3990 2 роки тому +1

    Vp ndege ya marekani?

  • @abdullahalbalushi3856
    @abdullahalbalushi3856 2 роки тому +1

    Ili zee pumbavu tena ni juha pia.hajui chochote kuhusu dunia

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      JUHA LAKINI NA YEYE SI KESHA ONEKANA KATIKA MTANDAO NA KITU KIDOGO KAPATA 😂😂😂😂😂😂

  • @nasmsamaa6045
    @nasmsamaa6045 2 роки тому +1

    Haijui historia huyo

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 роки тому +1

    ATI revlation

  • @AsaadAhmed-p7o
    @AsaadAhmed-p7o 10 днів тому

    Huyo babu hajui historia atafuta mshahara tu

  • @salimali9935
    @salimali9935 2 роки тому +3

    Tena huyu mzee ni muongo kweli kweli

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d Рік тому

    Sikiliza mzee alivyo kua haji tambui okelo anasema kazaliwa wapi?

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 2 роки тому +2

    Huyu mzee muongo na hana hata aibu mwinyi mkuu ni katika kizazi cha masharifu na alipo fika hapo alikuja kwa kufundisha elimu ya dini na hakuwa na nia ya utawala

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 2 роки тому +3

    Jitu linaitwa mtwana mpaka leo bado halijaacha uongo Mungu anawahukumu mmoja mmoja hapa hapa duniani akhera mutaenda kukiona kilichomtoa kanga manyoya mnawauwa watu halafu mnashingizia waarabu chuki za kijinga tu ndio maana baada ya hayo mapinduzi mnayoyahalisha kuwa matukufu utukufu upo bara ndio kwenye nchi nyote mlioshirki mapinduzi ya kuuwa watu Zanzibar inshallah Mungu atawalipa wote wauwaji nyie siokuwa na fadhila

  • @kidaumtumbwi1128
    @kidaumtumbwi1128 2 роки тому +1

    Maana hii story anayoitowa huyu mzee ni uongo mtupu!!! Hebu kwanza ncheke

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 3 роки тому +3

    Typically CCM dirty propagandas Subhanallah... huyu mzee anazungumza kama keshachezea gongo na huyu anaejiita reporter zuzu linashadidia as if anajua anything to do with history ya Zanzibar. Ndio matunda ya mavamizi haya kukhanithiwa na kila aina ya wajinga

    • @it-vw4zj
      @it-vw4zj 3 роки тому +1

      Mnafik mkubwa huyu mzee

    • @suleimanali5677
      @suleimanali5677 3 роки тому

      @@it-vw4zj kwakua mamako ana kunywa gongo unahisi kila mtu anakunywa

  • @broshbrosh9269
    @broshbrosh9269 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣 mzee kashapiga mtungi uyo anaporoja tu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Рік тому +1

    HUYU MZEE HANA TOFAUTI NA WAZUNGU DUNIA IME UMBWA MIAKA MAMILIO HALAFU YESU WA JUZI 2 WANASEMA YEYE NDIO MUNGU 😂😂😂😂😂😂

  • @hajihaji6701
    @hajihaji6701 2 роки тому +2

    Uongo mtupuuuuuu na uzushi

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 роки тому +4

    Ww mzee acha kutupa matango pori mshenz na nyinyi waandishi sio kila mzee anajua history ya znz wengine wapo tu hao kazi yao ni fitna na uchawi basi

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому +1

      👊👊👊

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      ANA UZEE GANI HUYO MTOTO WA JUZI 2 HATA HUYO BABU YAKE KWA HISTORIA YA ZANZIBAR NI MTOTO HIVO HIVO

  • @salimali9935
    @salimali9935 2 роки тому +1

    Inaonesha wewe na huyu mzee nyote hamuijui historia ya zanzibar kwanza mwinyi hakuuliwa hakuuliwa,pili mwinyi mkuu hili ni jina la cheo tu ni km ukisema, mfalme au sultan au seyyid, jina lake hassa ni ahmed bin muhamned al alawi kwa hivyo ni mwarabu huyu jamaa ni anavuruga histrory tu

  • @mozaal-mazrui9614
    @mozaal-mazrui9614 3 роки тому +12

    Mnafanya vipindi hivi kutuaminisha uongo mtupu na kupandikiza chuki. Zama za kutulisha propaganda zimekwisha.

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 Місяць тому

    Indonesia watumwa walikuwepo kabla ya kuingia mwarabu

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 3 роки тому +2

    Mfalme wa Zanzibar yuko Oman make hivi sasa walk hajafa

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 роки тому +1

    Muongo mfalme Yuko hai Yuko oman

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому +2

    Zanzibari lmemezwa kutoka zamani emetekwa

    • @alijumes3580
      @alijumes3580 3 місяці тому

      Muongo huyo mzee apuuzwe

    • @alijumes3580
      @alijumes3580 3 місяці тому

      Wapashia ndo wàtu wa mwanzo tena waliletwa na waingerezaa

    • @alijumes3580
      @alijumes3580 3 місяці тому

      Anasema yy ndo mtu wa mwanzo kisha akauliza watu nani ss mpuuzi wa historia

  • @kassimnyuni4340
    @kassimnyuni4340 Рік тому +1

    Is it really or fiction? Duuu nga ! Nchanga mweupe na mwekundu the old man goes crazy?!! You can't fool the youths of today . Story telling story listening.

  • @aalamri5899
    @aalamri5899 2 роки тому +1

    UONGO NA UNAIFIKI MTUPU MWINYI MKUU ALIKUWA ZAIDI YA MIAKA 500 ILIOPITA SAID SULTAN MIAKA 80 NYUMBA WARENO MIAKA ZAIDI YA 300 ,,,HUYU BABU MUONGO SANA BILA YA KIASI NA ANAPOTOA WATU.

  • @alijuma7882
    @alijuma7882 2 роки тому +1

    Mzee usidanganye watu
    Watu wameshaamka hivi sasa
    Mwisho utamwambia mwandishi kuwa belt Al ajaib kila nguzo kawekwa MTU mweusi

  • @nasmsamaa6045
    @nasmsamaa6045 2 роки тому +1

    Muongo huyo anaeleza historia haijui

  • @abdulhalimjuma7786
    @abdulhalimjuma7786 2 роки тому +2

    Wewe mzee fisadi muongo hiyo historia yote ni uongo mtupu

  • @ahmedmselem9493
    @ahmedmselem9493 3 місяці тому

    Mkereketetwa na historia yake chuki na mmanga zipo wazi kabisa

  • @shekhmohd6457
    @shekhmohd6457 Рік тому

    Kizimkazi namkumbuupemba itakusomesha hitoriya yakweli waliyobakiyahao wote mm

  • @bm635csi
    @bm635csi 3 роки тому +8

    Huu uongo mtupu. You are trying to change the real history. Dhuluma ilio tendeka haito fichika! Ile Slave chamber ni pahali wanapoweka vyakula pamo na tende. Waarabu (Omanis) walikua wanasafiri kwenda kila pahala duniani kutafuta biashara. Walifika mpaka China ( you can find this in History books of the east). Hawakufukuzwa na wareno. The Arabs arrived on the east coast of Africa approximately 300 years before the native Africans arrived from central Africa. Even the African historians will tell you that !!!

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      Do you want to tell us that the Arabs came before the Africans (blacks) in Zanzibar?

    • @abdulrahimnassor1904
      @abdulrahimnassor1904 2 роки тому

      Not Arabs. Persians.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому +1

      ​@@jumakapilima7295 mzee anatueleza story kutoka 1956,yaonesha haijui vizuri story ya mwanzo warabu kuja Zanzibar,tuna ambiwa nitangu 18....huko warabu wali ingia na waliwakuta waafrika waswahili wapo Zanzibar miaka hiyo!hata kuwaoa w/wake waafrika na masuliya na kuzaa nao, watoto walikua wana uafrika na uarabu half half ndo wakaja kuwa masultan enzi hizo baada ya wao warabu kufariki waliwarithisha usultani watoto wa kimasuulia na mama zao niwa Africa! Kizazi kikawa kinarithi, hata ukiona picha zao hao masultani niweusi, sasa huyu anatuaminisha Zanzibar niya mtu kutoka Bara mwinyi mkuu, na mwinyi mkuu ndo kaanzisha utumwa!nani mkweli huyu wa 1956 au wale wa 1826 hukoooo

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому +2

      @@aairraahseif5648 exactly

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому

      @@jumakapilima7295 hujanijibu bado!history inatueleza toka miaka ya 18...walitawala watoto wa warabu ambao ni watoto wa w/wake wa kiafrika!na usultani umekuwako kwa vipindi 11 kabla ya mapinduzi,sultani hao walikuwa na damu ya kiafrika!nivipi huyu mmakua atuambie ati mtu kutoka Bara mwinyi mkuu ndo mtu wa kwanza kuingia Zanzibar!huoni hii story ni uongo?zanzibar niya wazanzibar toka enzi na enzi ila hakukua na uongozi ulio julikana,ndo warabu wakaja kuweka uongozi wao wakisultani!watoto walio tawala ni wa kiafrika,hata ukiona hawakuwa wa manga pure, ni mchanganyiko wa mwarabu na mwafrica! Shida ilikua nini?kuondoa uisilamu na asili ya wazanzibari halisi, leo Zanzibar hujui nani ninani nimeingilia kiasili na mengineyo

  • @AlbadawiyHaji
    @AlbadawiyHaji 9 місяців тому

    Hii historia anayotoa huyu Mzee Kuna kitu kimefichwa ndani yake naona kma sio historia sio sahihi Kuna kufichqa uhalishia ulivo

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 3 місяці тому

    😂😂Kumbe utumwa umeletwa na mwi yi Mkuu

  • @bas2823
    @bas2823 Рік тому

    Let him talk all the truth if! He talk the truth! He was not his country also he came from Bara bara mean out of the country. N all were wageni huyo bw. Mwinyi mgeni Waarabu wageni wa irani wageni wareno wageni wazungu wageni nchi ilikuwa haina mwenyewe khasa aliezaliwa hapo Zanzibar Karume alikuwa mgeni ni mtu wa Bara pia yeye na wazee wake walikuwa wabara sio wa Zanzibari iko histry za ukweli wote kuhusu Zanzibar mtu wa mwanzo kwenda huko Zanzibar alikuwa mu iran na mhindi! Ndio akafuatia mwarabu na mzugu. Na aloi develope Zanzibar ni Mwaraabu mfalme wa Omani na mzungu kind of London. Sio mwengine yoyyote yule hao wakuta vyote tayari na wamechukuwa kwa nguvu tuu na dhulma only. Ukweli MUNGU NDIE ANAEUJUWA NA WATU WALIYOYAFIKA MAAFA YA KUULIWA NA KUNYANGANYWA HAKI ZAO BILA YA SABABU YOYOTE ILE. WALIULIWA KAMA SIO BINAADAMU HATA MNYAMA UTAMUONEA HURUMA NA BILA YA MAKOSA YOYOTE YALE NA NYERERE NDIE ALIYALETA MAPINZUNDUZI YA ZANZIBAR KWA KUMTUMILIYA KARUME. KWA SABABU NYERERE NI.MKRISTO ANAWACHUYA WAISLAM ALIKUWA HATI WAWEPO HATA HAPA DUNIYANI KABISAA

  • @eddieross2581
    @eddieross2581 Рік тому

    😂😂😂😂 hii historia ya kilevi

  • @hafihajumoneworld7884
    @hafihajumoneworld7884 2 роки тому +1

    Mtwana kama Baba na Babu yako
    kisha ww bila mwarabu ungekosa nguvu za kusema

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому

    Uongo ni mwingi kuliko ukweli!

  • @broshbrosh9269
    @broshbrosh9269 2 роки тому +1

    We mzee nahisi mzee wako na wewe mlikuwa watumwa wa wareno enzi izo mlikuwa mnaburuza machera lao mana unayoongea yote ni uongo

  • @shekhmohd6457
    @shekhmohd6457 Рік тому

    Sisahihi nihisitori hiyo yaubabaishaji

  • @kidaumtumbwi1128
    @kidaumtumbwi1128 2 роки тому +1

    Maana ile sura yake tu inaadhihirisha kama muongo. Na yote hayo unayoyapanga ndio yatakupeleka motoni

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 7 місяців тому

    Muongo hujui story haina kichwa wala miguu,

  • @nassorali4564
    @nassorali4564 2 роки тому +1

    Uwonqo mtupu na uzushi tu mtumzima kutoa historia ya unafiki tu

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 роки тому

    Inaonekana ni hadithi za paukwa pakawa, mzaliwa wa 1949 anauwezo gani wa kueleza yaliyo mtangulia? Anasema waarabu kutoka Iran vp Iran ni nchi ya kiarabu? Kwa kiwango kikubwa ni historia ya kubambanyabambanya tu hainogi si kweli hakuna uhalisia, kimsingi ni uchocheaji wa chuki tu

  • @zamzamsuleiman6824
    @zamzamsuleiman6824 Рік тому +1

    Huu ni uongo mtupu, wenyewe tunaijua hiyo...

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 2 роки тому +1

    Hamjui hata okelo kama ni mganda.
    Huyu ni mwanamapinduzi muongo. Maelezo yake tu yanajitosheleza
    Allah kamsainisha na uongo. Sio huyu mmakonde

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 3 місяці тому

    Tafuteni mwenye kuijua historia wacheni kutafuta watu wasio jua kitu

  • @abdullahalbalushi3856
    @abdullahalbalushi3856 2 роки тому +1

    Kwa maelezo ya huyu mzee itakua mwinyi mkuu kafa kwa corona kile kikohoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii