Dr SULE KIKAANGONI KAMA UNAMILIKI MAJINI MBONA BODYGUARD WAKO SIO MAJINI ? Ust SHAFI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 тра 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 244

  • @BakarM-es1zd
    @BakarM-es1zd 16 днів тому +1

    sheikhe Shafi shomar mawaidha yako nimazuri sana wengi unatutoa kwenye ujinga maana kuna baadhi ya masheikh wanapotosha bila kukemea mapema itafikia muda watu wataamin uchawi kuliko kumuomba mungu

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Місяць тому +8

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh Shafi

  • @Munatiyahilwa
    @Munatiyahilwa Місяць тому +6

    Namuomba Allah s.w.t ampe uongofu shekhe wetu Dr.Sule.

  • @user-id1gz3ng3k
    @user-id1gz3ng3k Місяць тому +9

    Sheikh Allah akurehem uko naakili. Sule ni mwizi

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 Місяць тому +3

    Alhamdulillah shekhe shafii anasafisha

  • @bagalucha
    @bagalucha Місяць тому +7

    Ustadh Shafi leo umesema kutoka moyoni,Allah atakupa kila la heir,wavute jamaa zetu wa kissufi,wenye kupoteza mamilioni kwa ajili ya maulidi,mfungo sita huo,mpaka rajab,michango mtaa kwa mtaa,ushindani Ndo tuliouweka mbele,kwamba sisi wa maulidi tupo,tena wengi ,hayo si mabilioni tena,mtanisamehe kama nimemkwaza mtu,lakini huo ni ukweli.waislamu wanajua maulidi kuliko Quran/Sunna na ibada zake.

  • @user-gx5oh7wj4q
    @user-gx5oh7wj4q Місяць тому +6

    Shee mungu akupe huai mlefu

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i Місяць тому +3

    Subhana Allah,,,lnna lillah wainna illaih Rajiuun ni msiba huu,,

  • @user-jk1mm3fq6l
    @user-jk1mm3fq6l 17 днів тому

    Mwenyezi mungu akibariki shehe kwa mawaidha yako mazuri

  • @IddiNkupe
    @IddiNkupe Місяць тому +4

    Mashaallah sijawahi kukuona ukikosea Allah azidi kukupa umri mrefu shekh hakika miongon mwa watu wenyekuipigania dini ya Allah wew ni mmoja wapo Allah atakulipa kher shekh

  • @YusufOmar-tk8yf
    @YusufOmar-tk8yf Місяць тому +4

    Allah akbar

  • @user-dj9mm8ew1k
    @user-dj9mm8ew1k Місяць тому +4

    Shekh nakupenda maneno yako ni kweli kabisa

    • @user-go1rl6bb1z
      @user-go1rl6bb1z Місяць тому

      Lakini ni dunguzeni kwa mujibu wa Quran 72,1•14 mbone hungusi hio aya.

  • @FizzoumemeFizzoumeme
    @FizzoumemeFizzoumeme 21 день тому

    Mungu.akulinde.kwa.kila.baya

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i Місяць тому +4

    Allah amuongoe kila mmoja ktk uislam,tusizid kupoteya ,,,hali ni mbaya Jaman

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Місяць тому +4

    Shukran shekhe shaafi.

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 Місяць тому +2

    Allah akuhifadh

  • @princekassimtz5848
    @princekassimtz5848 24 дні тому

    4:09 Allah Akbar ❤

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Місяць тому +2

    Kweli sheikh upo sahihi

  • @xenioribra3765
    @xenioribra3765 Місяць тому +5

    Mungu ampe maisha maref Dr sule......sule ajasema anamiliki majini...alikuwa anatoa elim kuhusu majini.....kaongelea majini n nn...wanatokana na nn na aina za majini.....achen kumsema vibaya vibaya mjaribu kumuelewa...........au kuliko kumbishia Bora uombe akupe elim....msiwe mnabisha vitu msivyovijua.......ili ujue sule Yuko sahihi wasomi wote wanayajua hayo ndo maan huwez kuwaona wanabwabwaja kama masheikh wadogodgo Kam hawa...hawajui chchte

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Місяць тому

      Hujafuatilia video za sulle ndo maana unasem hivyo. Sulle anatumia majini yamletee pesa.

    • @xenioribra3765
      @xenioribra3765 Місяць тому +1

      @@RamadanPaul hapana.... video zote ninazo na namftilia Kila hatua... kipind anatoa elim ya majini pia akaelezea na kazi zake....cc Binadam kwa majini tunacpacity ya uwez wa kutumia majini...cc Binadam n kama utawala wa dunia..... Na ND maan majini wanwez wakakitiii.....majini wanatumika kweny mambo mbalimbal....Kam jinc tulivyo sis binadam.....sule amesem anawez kutumia majini elewa neno kutumia...pia hcho n kipawa.... kweny kazi zake.....sem tu nakushaur kufatilia bila Kam kujua au kujifunza Kam ukiona huelew unaachana nayo

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Місяць тому

      @xenioribra3765 sasa tumfuate sulle au qur'an
      Qur'an inakataza kushirikiana na majini eidha kwa manufaa, ili kh'ari unashirikiana nayo.
      Al Quran: Al-An'am/6:128
      ---
      وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
      Translations:
      ---
      Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
      --

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene Місяць тому +2

      Wewe ni Mshirikina kama huyo Dr wako mpumbavu
      Elimu hiyo ingekuwepo wangekuwa nayo maswahaba
      Huo ni mpango wa Dr Sule kupiga pesa kwa kuwauzia watu Pete hizo kwa bei ghali

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 Місяць тому

      ​@@xenioribra3765 wewe mwenye ilmu, tutolee aya na hadithi nambari ngapi unaruhusiwa kutumia majinni?

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b Місяць тому +6

    😮huu ndo uislamu mtu akizingua haijalishi nani anaambiwa laaaaaivu

    • @OthmaniMasele-tn5gm
      @OthmaniMasele-tn5gm 18 днів тому

      Hao wote ni wale wale mbona yeye shafi alipo sema atampa tabu malaika siku ya kiama mbona watu hawakumradi au hukumsikia

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i Місяць тому +1

    Allah akuhifadh sheikh wetu,

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому +7

    Umeamua kumbomoa mwanao sule leo😊

  • @katemboyamotomoto420
    @katemboyamotomoto420 15 днів тому

    Safi Sana shafi

  • @SultanAshah-fm7un
    @SultanAshah-fm7un Місяць тому +1

    Shukran sheikh kwa mawaidha nzuri.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Місяць тому +6

    Leo sheikh SHAFI kaongea wazi kabisa bila kisita kwa hili MUNGU amuongeze

  • @user-jq2lk5tm3t
    @user-jq2lk5tm3t Місяць тому +1

    nimekukubali shekh shaffii

  • @user-bo7rb9ls6y
    @user-bo7rb9ls6y Місяць тому +1

    Shukuran shekhe kwa kutukumbusha

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 Місяць тому

    Allah akupe umri afya na hekima,Dr sule analeta sokomoko.

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Місяць тому +1

    Masha Allah

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 28 днів тому

    Obrigado irmao muito obrigado pelo tudo irmao Allah ti abençoe ❤❤❤❤

  • @JumaSultanSultan
    @JumaSultanSultan Місяць тому +5

    Sulle anafanya biashala ila nimchoyo wakutoa helmu ili iendembele yeye anatangaza dawa zanguvu zakiume ajui kama atawanawake awana nguvu zakike unamkuta mwanamke atakuoga ajui ananuka mpaka mwanaume uume unalala alafu unawaambia watu uwongo akuna dawa yanguvu zakiume maishamagumu wanawake wachafu wanatembea mchanakutwa navisuluali wanaume awali wakashiba mawazo yakodi watoto majukumu yamewazidi izonguvu zinatoka wp sulle waelimishe watu usiwapoteze

    • @ogenylaurent7961
      @ogenylaurent7961 Місяць тому

      Sasa wewe ulitaka Sule awaogeshe hao wanawake zenu? au ulitaka awatafutie rizki yeye kwenye Harakati zenu? Hoja dhaifu sana hii

  • @geey7893
    @geey7893 29 днів тому +2

    Mimi ni Mkiristo lakini huyu Shekhe ana make sense. Sio wale wengine Mwanzo- Mwisho kudiscuss Wakristo😅. Kumbe wachawi wakubwa

  • @user13375
    @user13375 Місяць тому +1

    Tangu zamani tunasikia mashe..wanafuga majini, Asante Dr Sulle ameyawwka hazarani.

  • @Kingtz898
    @Kingtz898 Місяць тому +1

    Shafii.
    Kitabu bado.

  • @zaidechafim2613
    @zaidechafim2613 Місяць тому

    كلام الذهب

  • @MfalmeYusufu-tq6nn
    @MfalmeYusufu-tq6nn Місяць тому

    MAshaallah

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin6878 Місяць тому +2

    Ndacha alimshauri Dr sule atangaze majini ni waislamu na hilo ndilo anafanya

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 Місяць тому +1

    Mtihani huu yaarabi

  • @GoodluckLameck-nh9tq
    @GoodluckLameck-nh9tq 27 днів тому

    Ni kweli unachosema

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn Місяць тому +2

    Hiyo compation hata huku kenya iko mpaka waislamu wanapeleka watoto wao

  • @khalidahmed6961
    @khalidahmed6961 Місяць тому

    shekh maashaallah unajitahid sana lkn baadhi ya mambo unayoongea sio sawa
    suala la kusema ukiwakuta baadhi ya watu peponi utakua hukubali utalenga mawe na utajiuliza hapa mungu kufanya vipi !!!! hili ni hatari sana kana kwamba anasema Mungu itakua hakufanya uadilifu labda
    pia kusema kwamba baadhi ya wakati umuombe Mungu kwa kukandamiza !!!
    sheikh Mungu hakandamizwi
    Mungu anaombwa kwa unyenyekevu wa hali yajuu
    Allah atuongoze sote ktk njia iliyonyooka

  • @user-bd5hq2kb4h
    @user-bd5hq2kb4h 28 днів тому

    TARATIBU ND YNG,(KWANI MAJINI WEPI ANAOSHIRIKIANA NAO?)KM WAKIISLAMU NI KHEIR(KM SIO HIO NI SHARI)INSHAA ALLA KHEIR

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 Місяць тому

    Msiba inna lillah wainna ilayhi raj'un

  • @allyway999
    @allyway999 29 днів тому

    Shekhe nakukubali sana yule mtoza ushuru nilikuwa namkubali lakini sasaiv hapana

  • @user-ft9dk7eo6g
    @user-ft9dk7eo6g Місяць тому +1

    Na ktk Hao wanao Hama Hama Wasio Jitambua Ni NURDIN KISHKI Mmnae Muona Shekhe Mkuu.

  • @NassoroSalum-fv4eu
    @NassoroSalum-fv4eu 22 дні тому

    Waislam wote ni ndugu shekh kama kuna mapungufu kaa na doctor Sule muelimishane vizur the tuepushe mvutano

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Місяць тому

    SALAAM ALEIK SH.SHAFI..TUONGEE NAKUOMBA

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 Місяць тому +8

    Sule njaa ya majini inamsumbua😢

    • @PauloBarton
      @PauloBarton Місяць тому

      Waislamu wote mnapaswa kubatizwa na kuwa wakristo mmeanza kutombana wenyewe Kwa wenyewe no atali sana Ila Sisi wakristo tunaandaa maji ya ubatizo mtakapo kuwa tayali Sisi tunawasubili kalibuni Sana tunawapenda sana

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 Місяць тому

      @@PauloBarton nanani tubatizwe tutolee maneno yako ya uongo

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 20 днів тому

      @@PauloBarton kama mama yako na babayako walivo tombola wenyewe kwa wenyewe wakakupata wewe maluuni

    • @PauloBarton
      @PauloBarton 20 днів тому

      @@aishaarusha894 kalibu kwenye njia ya ukweli na uzima matusi ya nini au umelaanika Dada yesu Kristo alimwaga damu msalabani Kwa maondoleo ya zambi zetu Sisi wanadamu hivyo basi waislamu wote mnapaswa kubatizwa mpaswi kufuga majini kwani majini ni malaika walio ASI na ndio maana linapo tajwa jina la yesu huwa yanatoka na kukimbia mbali namalizia na kusema waislamu wote mnapaswa kumfuata yesu Kristo mtakuwa mmebalikiwa Sana

  • @MussaKigoo
    @MussaKigoo 28 днів тому

    Assalaamu Alaykum
    Allah kasema katika Qur'an tusihitilifiane baina yetu na wala tusijitakase tukajiona bora kuliko wengine kwani mbora baina yetu ni yule mchamungu.
    Tujifunze kutoa da'wa kama Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa akilingania kwa hikma sana kuliko sisi tunalinganiana kuingia katika madh'habu zaidi kuliko kuingia katika uislamu ذَلِكَ مَبْلَغَهُم مِّنَ الْعِلْمِ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ، وَهُوَ أَعْلَمُ بِمَنِ اهْتَدَى

  • @JumaLugendo-rk3rp
    @JumaLugendo-rk3rp Місяць тому +1

    Umekuwa jasili mkubwa kusema ukweli kwaajili ya Allah tunajua Dr. Sule ni mwalimu wako ila Leo umesema ukweli bila kupepesa macho

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 26 днів тому

    Allah Akbar

  • @jamilakhamisshaaban4752
    @jamilakhamisshaaban4752 27 днів тому

    Tatizo ufahamu upo tofauti

  • @hassanalikombozanzibar1192
    @hassanalikombozanzibar1192 26 днів тому

    Jamani mbona tena munaanza kutoleana maneno mumaacha kufanya mihazara munatoleana maneno ah!

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 Місяць тому +2

    Mtasema tu na bado hamjasema

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Місяць тому +2

    Sule ni mganga tu..sio shekhe hakuna uhusiano wa majini na mwanadamu

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Місяць тому +3

    Dr, Sule anawashinda ELIMU mtatafunana ninyi kwa ninyi shida nini,

  • @DenisFute
    @DenisFute 21 день тому

    luka 4:16 yesu aliingia kwenye sinagogi na akajitambulisha mkamkataa mkamtolea nje kabisa

  • @MujuniKamugisha
    @MujuniKamugisha 29 днів тому

    Waisilamu majini

  • @ABDIKASIM-qe4lc
    @ABDIKASIM-qe4lc Місяць тому +1

    Shehe ukosahihi

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 Місяць тому +1

    Sheikh pesa zipo bakwata ndani ya uislamu kuna njaaa

  • @feisaldesign4156
    @feisaldesign4156 Місяць тому +1

    Lakin firauni dah kiumbe Cha ajabu sana Kuna mazingatio makubwa sana ktk hiki kisa

  • @amaroo1220
    @amaroo1220 Місяць тому +1

    Pa sawa mtu na apongezwe. Na penue makosa pakosolewe, kwa dalili lakini.

  • @MahamuduJuma-jj9vo
    @MahamuduJuma-jj9vo Місяць тому

    Shekh tatizo uerewa aina aja kama yeye anatumia kwa ubaya bs muombee dua ila ata ww unamajini shk akuna binadama aliokosa jini kama mwema basi unamaJin tena ata wew shafii unapewa power pia nahao majini ila wema,we unailimu ya viumbe shekh tumia khekm.

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina Місяць тому

      Majini yapo lakini hatujapewa ruksa ya kushirikiana nayo,elewa maana kutoshirikina nao

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 Місяць тому

    Hawaja kukosea shafii kuna kitu umepewa na Allah ,wewe na kitatoke huko mbele tunategemea uje ihifadhi dini ,Allah akuweke

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 Місяць тому +1

    Shafii una darsisha vizuri ila mautani utani yasiwe Mengi yanaleta ukakasi kwenye waadhi zako punguza utani unaomuhusisha Allah fanya tani zakawaida tu

  • @canamass5205
    @canamass5205 27 днів тому

    Yalisimiswa Sasa sindugu Leo unakataa ndungu majini duh

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 Місяць тому

    Tusikilize mawaidha ya Sheikh Nassoro Abdallah Bachu, mada KUIPA MGONGO DUNIA Sehemu ya 1 -4

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 22 дні тому

    Shekhe umeongea

  • @Werema3760
    @Werema3760 Місяць тому +2

    HUWEZI UKAAMINI MASHETANI(MAJINI) UKABAKI SALAMA.
    ■YESU KRISTO NDIE NJIA KWELI NA UZIMA. FULL STOP.

  • @SleepyHat-qu2io
    @SleepyHat-qu2io Місяць тому

    mashaallah shekh shukra mungu akupe kila kheri

  • @user-ft9dk7eo6g
    @user-ft9dk7eo6g Місяць тому +1

    Ni Kweli Hamna Kushirikiana kati ya majini na binadamu
    Ndio Maana Mtume Hajayaita Majini Wamsaidie Ktk Vita Badri (Jihadi) Pamoja Na Uchache Wa Wapiganaji ktk Safu Yake.

    • @user-hw3wn8ms6j
      @user-hw3wn8ms6j Місяць тому

      Kwani si waislam wezetu? Kwa taalifa yako inaswii kutumia majini.

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c 27 днів тому

    Ukusawa shehe mklisto mie umesema kweli

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 Місяць тому +1

    We nawe njaa inakusumbua baada ya kuona mtu ulie hangaika nae kutangaza dini amekuacha mbali kimaisha

  • @MussaJuma-nf3vg
    @MussaJuma-nf3vg Місяць тому +2

    SHEIKH UNAKOSEA NA WW NDIO MIONGONI MWA WAHARIBIFU WA DINI WW USHAMFATA DR SULE UKAMWAMBIA KWA HEKIMA
    HALAFU SIJUI MAREJEO YAKO YA ELIMU NI KITABU GANI HEBU ISOME VIZURI QURAN SHEIKH WACHA USHABIKI WA SIMBA NA YANGA.
    MUNAMUONEA CHOYO DR SULE.

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 Місяць тому

      Aonewe choyo ya hiyo mijini??labda wew , huy asemwe hata miaka yote tu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Місяць тому

      Mwenyezi Mungu sw anasema kwenye Qur-an, FANYENI istighfari mtapata mvua, mali NA watoto. Lakini huyu shafi anasema, ukisema astaghfirulah haupati kitu mpaka utoke. Hio mpaka utoke kaipata wapi?.

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 29 днів тому

      Kuna sehemu kamtaja sulle?

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p Місяць тому

    DR Tule

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y Місяць тому +1

    Umegundua ndipo wewe uko sahihi aslimia mia Dr Sule apoteza watu.

  • @jamilakhamisshaaban4752
    @jamilakhamisshaaban4752 27 днів тому

    Zanzibar watoto wetu bado wanaenda madrasa labda uko kwenu bara

  • @dengepandu9734
    @dengepandu9734 Місяць тому +1

    Huo ndio uislam wa sasa kupigana bijembe kilamoja najuwa yeye hukonyuma hayakuepo haya wanawekeana Hadi midahalo hadharani inalilahi

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw Місяць тому +1

    Juzi tu walikuwa wanamsifia sule leo wana mpenda kwakweli hamueleweak

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e 29 днів тому

    Swadakta

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 Місяць тому

    Struth

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 28 днів тому

    Je Manabii Wote na Mitume Wote Walikuwa na Mabodi Gard ,?

  • @AbdalahMsaga-wf6zl
    @AbdalahMsaga-wf6zl Місяць тому

    SEMA baba kiukweli ostadh shafii Sasa iv tuko kibiashara nikwanin tunashindwa hata kuiga njia za Othman maalim au ostadh mbonde jamni

  • @user-vk4iy2is7n
    @user-vk4iy2is7n Місяць тому

    Shekhe mwambie sule Tena aelewe vizuri na ajue kwamba anapotosha uma uslamu umeweka kilakitu kipo wazi sasa awapiteze wasio jitambua

    • @user-vk4iy2is7n
      @user-vk4iy2is7n Місяць тому

      Tujihadhari na masheikhe kama akina sule kwanza wanadhalilisha uislamu yeye kapita shotkati kutafuta Mali anataka kuinginza na wengine Allaah tunusuru na watu kama hawa

  • @xenioribra3765
    @xenioribra3765 Місяць тому +2

    Tatizo elim.....Dunia ni Pana sana mwacheni sule apige kazi tunaomwelewa wachache

  • @alminzilmohd9662
    @alminzilmohd9662 Місяць тому +2

    HAHAHAHA HAKUNA KIZAZI KINAZO CHALIWA. HAHAHAH

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Місяць тому

    Alaf hii nchi jirani sijui iko na balaa gani kila siku Kuna mapya,mara nyoka mara Pete mara majini...🤔🤔

  • @ramasefu9719
    @ramasefu9719 Місяць тому +1

    Assalamu alaikum
    Sheikh shafi kwani kisima kina cukuwa gharama ya ngapi?

  • @user-jy9gh8zo3j
    @user-jy9gh8zo3j Місяць тому +1

    Sule tatizo amelewa sifa na kujiona ana akili sana kumbe mpuuzi

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku Місяць тому +1

    Mtume salallahu alayhi wasalam alisema uislamu ulikuja mgeni na utarudi mgeni zama hizi sasa tutafakari tuko wapi

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Місяць тому

      Mbn wanasema Islam upo tokea Adam kumbe mgeni

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Місяць тому

    Kwani mungu akimtia mtu peponi yy ndio ajuae zaidi waeza kumuona mtu mbaya na akatubia na mungu akamsamehe na akamyanyua daraja na mungu yuwajua zaidi sasa ww utarusha vp mawe ukiona mtu peponi

    • @user-ft9dk7eo6g
      @user-ft9dk7eo6g Місяць тому

      Muelewe tu akhy wala usishangae ...watu Ni Akili Zake Na Mawazo ya KIDEMOKRASIA Akili Za MAANDAMANO zime Mgubika ,
      Alafu Pia Watu Wa Bidaa(makhurafa) Hawajui Adabu Za Kuzungumza kuhusu Allwah
      Hawajui Adabu Za Kisheria Mtu Anapo Taka Kuzungumzia
      1- Allwah au 2 Mtume au 3- Masahaba au
      4- Dini ya Uislamu kwa Jumla
      Wao Huongea Wanavyo Jisikia Hawa Chuji Kauli Zao...HUROPOKA TUU.
      HALAFU PI Ujinga Nao Ni Tatizo Hawafahamu Dini Ya Uislamu Kwa Uhalisia Wake.
      Na Kibaya Zaidi Hupena Daraja Za Kielimu Bila Kusoma Hugawana Daraja za Elimu Pasi Mtu Kustahiki
      Utasikia :Shekhe Fulani, Allaamh, Doctor Fulani , Professor Fulani ....ilhali mtu Hajafika Hata Darasa la 6 Madrasa wala Haja Hifadhi Qurani Hata Juzu Moja , Hadithi za Mtume Ndio Kabsaa Hata hajui nikitu gani na kiko rangi gani.....ila Mwenyewe Ni Shekhe Aridhika kabisa na Kufurahi Akiitwa Shekhe ....!!?
      AJABU KABISA .

    • @user-go1rl6bb1z
      @user-go1rl6bb1z Місяць тому

      Msiba wa kujitakia hauna kilio..ushirikiane n majini den uede peponi du!

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Місяць тому

      @@user-go1rl6bb1z kwani ww na majini mumeumbwa muje duniani kufanya nn kama ww una ilimu kweli

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 25 днів тому

    Mpaka myasema tu

  • @myself4128
    @myself4128 Місяць тому

    Mtume Muhammad pia alikuwa na majini na Aliyasilimisha majini nyie hamuwezi kukwepa imani za Majini

  • @user13375
    @user13375 11 днів тому

    Na hiyo pete yako ni ya nini mbona kubwa sana😮😮😮😮

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 Місяць тому

    Vita ya wenyewe kwa wenyewe😂

  • @user-lk9em2lo3t
    @user-lk9em2lo3t Місяць тому

    Machen sulle na majini wake,maana majini pia ni waislamu. Ni ndugu zake,maana waislam wote ni ndugu

  • @user-te5jr1rz7w
    @user-te5jr1rz7w 27 днів тому

    Na nyie hamna TNA la kuongea kila siku mada izi izo

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Місяць тому +1

    shaffii kwani sule kasema anamiliki majini au anaweza kuwaita

    • @xenioribra3765
      @xenioribra3765 Місяць тому

      me binafs nmesikitika sana....sule katoa elim ya majini....pia katolea mfano wa Suleiman lakn Wana muaatack....masheikh wetu hawana elim aiseee juz huyu shaff alikuw anamsifia sule et Leo anamponda....

  • @user-hj5zd4qs3t
    @user-hj5zd4qs3t Місяць тому

    Asalam alayki shehe shafi Sasa kwanini musimuite na mkamwambia mbona amonaizi mlimwambia Sasa nae mwambieni kutaneni mashed mwiteni kueni siriasi hi ndie mwisilam

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Місяць тому +2

    Kenya 🇰🇪 ❤ tayari mara 3 kupeleka chakula gaza Palestinians vp Tz Ama adi mumalize kuchambana ndio kazi mnayojua mlimaluza tafteni paybill umma uchagie chakula kwenda gaza