SHIA GOLO AINGIA WAZIMU BAADA YA KUBAINISHWA UONGO WAKE || Muhammad Bachu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 144

  • @aminayusuf3051
    @aminayusuf3051 4 місяці тому +5

    May Allah bless sheikh bachu

  • @jumamaulid9462
    @jumamaulid9462 4 місяці тому +1

    DUU!
    Asante sana shehe.
    Leo nimeelewa rasmi,
    KUMBE HAWA MASHIA NI WAONGO HIVI, WANAKATA HATA MAANDIKO ILI KUDANGANYA WATU.
    Kuanzia leo sitawasikiliza tena.

  • @salimuiddi3607
    @salimuiddi3607 4 місяці тому

    Hakika mashia ni wa kuwapinga mana wana uchafuu mwingii na wana uchafua uislam ndugu zetuu wa maulidi ndio wana wakaribisha hawa watuu ili wazidi kupotosha watuu ilaa chuma kipo kwaajili ya kufungu macho ya wasio jua na ata wanao jua wajue zaid Allah akulipe kwa kazi kubwa unayo ifanye ili kutokomezaa awa mashia na waweze kuslimu na kuifata njia ya hakii Inshallah

  • @hawa6052
    @hawa6052 4 місяці тому

    Shukran kwa kutuelimisha mtoto wa Bachu Allah akuongezee Elimu na Afya njema

  • @abdullahiiddi4109
    @abdullahiiddi4109 4 місяці тому +12

    Shukran sheikh wetu Bachu kwa kutueli isha, Allah akuhifathi tuzidi kuelimika Kama Ummah. Akupe Afya nzuri na akupanulie Elimu yenye manufaa kwa Ummah. Akupe subra katika kila Hali. Na soteni Jamil Islam.
    Amin Amin

  • @lubuva708
    @lubuva708 4 місяці тому +1

    حياك الله أطال الله عمرك

  • @MasoudChoum-pp1ob
    @MasoudChoum-pp1ob 4 місяці тому

    Allah akabar

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 4 місяці тому

    Naomba shartti za hutba zikonnga na je mwenyekuacha shartti ibadayake huaje naombajibu

  • @abdallahmakule-bj9pn
    @abdallahmakule-bj9pn 4 місяці тому

    Shekhe Bachi mi binafsi nimekuelewa na nimegundua Kya naishia waongo Saidi ya ibilisi na nawaomba waislam wajihazar na mashia kwani hawana ukweli hata kidogo

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 місяці тому

    SHIA NI MASHETANI KULIKO SHETANI MWENYEWE WORSE THAN MAYAHUDI 😢😢😢

  • @abdulmajidabdulqadir2004
    @abdulmajidabdulqadir2004 4 місяці тому

    Kasomeee angalia amali zako acha kuhangaika na masala huna ilmu nazo kafanye yalio kuleta duniani wewe huwez kutuelimisha sisi huna unacho wewe niulimi unakusumbua na ndo utakuchoma

  • @ramadhansaid778
    @ramadhansaid778 4 місяці тому

    Uongo ni miongoni (TAQIA) mwa msingi ya dini ya USHIA

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 4 місяці тому

    UZURI WA MAMBO HUKUMCHEREWESHEA BAADA YA KUSHUKA YEYE TU UMEPANDA INAONESHA UKO VZR BACHU MUNGU AKUEKE

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 4 місяці тому

    Shkh naomba hutba ya kiswahili bidaabau so bidaa je mtumekahutubu kwalugha ganii je wewe unahutubu Kwa lughagani

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 4 місяці тому

    na huenda huu shia hakujua na hakuelewa kitabu hiki, shia bana

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 4 місяці тому

    Mashekhe wamizozo Hawa😂😂

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 4 місяці тому +16

    Hawa mashiya wanajuwa kilakitu kuhusu Ibn Taymiya sema wanapimdishi ukweli kuhusu Ibn Taymiya bila shaka wanaajenda zao binafsi lakini biidhini llah hawatofanikiwa shekh Muhammad bachu Allah akuweke summa uzidi kunufaika naww

    • @ndombabaraka6498
      @ndombabaraka6498 4 місяці тому

      Huyu ndugu yangu namjuwa vzr wala sikutegema kama angekuwa hivi

    • @ndombabaraka6498
      @ndombabaraka6498 4 місяці тому

      Yaan Mpka sheikh wake anashangaa

    • @suleimanadim6522
      @suleimanadim6522 4 місяці тому

      Tatizo kua hamna ukweli juu ya MTUME SWA AMESEMA KUA AMEMUONA ALLAH IWE USINGIZINI AU KWENYE NDOTO HAPO NDIO SUALI SABABU QUR_AN INAKATAA KWAIYO BACHU HUNA DALILI KUMUONA ALLAH IWE KWA NDOTO SASA AKIONA KWA NDOTO ATAKUA KAONA KWA KICHOGO AU WACHA KUJIZONGA MSIMSINGIZIE MTUME SWA

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 місяці тому

      @@ndombabaraka6498 Innallillahi wainnailaykhirajiu

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 місяці тому

      @@suleimanadim6522 yaani nduguyangu ww hauna hata maarifa ivi bachu aje nadalili kiasi gani unavyotaka ww amerejea vitabu nahuku unaona au alikuwa anasoma hewa ww unamacho au una matunguli yamacho hii kesi haikuhusu ww Sufi hii kesi inawahusu mashiya, mashiya wenyew wamekaa kimya kinakuwasha ww ajabu hii kesi ya Ibn Taymiya mutakoment ishu za maulidi very soon mzee kama huoni hautokaa uwone nakama huelewi hautokaa uwelewe acha ushabik tafta haqi ya Akhyyy

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому +6

    Kwakweli Shekh Muhammad unastahiki Mashaayikh wakupe zawadi nono kwa kazi njema ulio ifanya ya kumvua kilemba huyu zindiiq shafii muongo alie bobea kwenye kupanga urongo na kuwazulia Maulamaa wema maovu wasio husika nayo.

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 4 місяці тому +8

    Sheikh Bachu Allah akuhifadhi ili utujibie hawa makafiri.

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 4 місяці тому +8

    Mimi kama kuna kiumbe ninacho kichukia hivi sasa baada ya iblis na firaun ni huyo Shaffii Basalim Dajjal mkubwa sana huyo.

  • @abuuyunusnassor446
    @abuuyunusnassor446 4 місяці тому +1

    Mtu akisoma vitabu vya Ibnu Taymiyyah lazima awe makini kwasababu anataja mambo mengi katika mada moja pamoja na kunukuu kauli za wanachuon wengine.

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому +3

    Hapa lazima shia apate wazimu maana hizo hoja zake unavyo zivunja sio mchezo.. Cjui kama atarud tena

  • @mubaarakellofiy
    @mubaarakellofiy 4 місяці тому +1

    Bachu ekeni munadhara , nikashi

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 4 місяці тому +5

    Siraha ya waumini ni dua,tuombe dua Allah amuadhibu shafii na wote wenye upotofu kama huo.

    • @massoudkhamis-k3h
      @massoudkhamis-k3h 4 місяці тому

      Ww mbona kichwa chako kina wadudu

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 4 місяці тому

      @@massoudkhamis-k3h chako kina mawe!

    • @BradothAdm
      @BradothAdm 4 місяці тому

      Na doct sule

    • @hawa6052
      @hawa6052 4 місяці тому

      Wewe Nani kakupa hiki cheo cha kuhukumu WATU ? Katubu haraka kwa ushauri Wangu

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 4 місяці тому

      Anae hukumu ni Allah,na Mimi nawahukumu wale ambao walisha hukumiwa na Allah kwa mujibu Quran na suna.

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z 4 місяці тому

    Hoja ikiwa ibnuttaimiyah anasema km mtume kamuona Allah akiwa na sura ya kijana sasa ikiwa mtume alimuona Allah kwa hali yeyote ile ndotoni au kawaida basi juwa huo ni wahyi sasa je ni kweli km mtume alimuona Allah akiwa na sura ya mwanadam????? Je iyo hadithi ni sahihi kwa mujibu wa mawahabi kutoka kwa padri wao ibnuttaimiyah?

  • @CheniShauri
    @CheniShauri 4 місяці тому +2

    Ahllwa awahifadhi mashehe wetu hakika uko sahihi na Ahlwa akupe nguvu ya kulingania Umah!

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 4 місяці тому +3

    Mashia alo kuja kuwadanganya wainuwe kichwa nani?😢

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 4 місяці тому +2

    Shia golo safari hii amekutana nacho ahahaha mbona atakoma

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому +4

    Umeingia ktk uwanja wa mapambano ukiwa tayari una ujuzi na mazoezi ya kutisha, na ume pambana kwa nguvu na akili kubwa mnoooo Maashaa Allaah.
    Wazushi weka pembeni na uvundo wao wa kuwazulia urongo Maulamaa wakweli walio simama kuinusuru Dini ya Allaah kwa Taufeeq ya Allaah Azza Wajalla...

  • @jaaffarabuu6750
    @jaaffarabuu6750 4 місяці тому +7

    Asante sheikh bachu Allah ukupe afya na swiha

  • @xxl5239
    @xxl5239 4 місяці тому

    Sheikh Bachu nataka kuuliza kidogo.
    Hadithi isemayo نور أنى أراه illa hapo ya kutoonekana Allah ni kwamba yeye ni NURU.
    Sasa inapothibitishwa kuonekana Allah siku ya kiama hile sifa ya kuwa yeye ni NURU itaondoka ili aonekane?????

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 4 місяці тому +1

    Maa Shaa Allah.
    Shkh MOHAMED BACHOU NI KIBOKO YA MAKAFIRI NA MIISLAM MINAFIKI.
    NA HII MIJADALA NDIO INA MPAISHA SHKH BACHOU maana anaitumia fursa hii kutafuta vyanzo mbali mbali vya elimu

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 місяці тому

    Mkishamaliza michambo hya kenya wameweka paybill mara 3 na kufanikisha kupeka chakula gaza je tanzania 🇹🇿 nzima na visiwani mumeshapeleka food ama ndio uhodari wa kuchambana na kutafta views yutube ndio myajuayo🙄😪nonsense

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 4 місяці тому +2

    Hao viongozi wa bakwata wanaodai wapo kwa ajiri ya kuusimamia uislaamu na waislaamu wako wapi? Hivi hawamuoni huyo mpotoshaji shafii? Na ni ipi haswa kazi ya bakwata? Huyo shafii si wakuachwa aendee na huo upotoshaji wake wa makusudi,kwasababu iwapo ataachwa aendelee na huo upotoshaji wake,atawapotosha waislaamu wengi. Bakwata mko wapi? Hivi kweli nyie bakwata mpo kwa ajiri ya uislaamu au kwaajiri ya kuuhami ushia? Kwasababu mashia kila uchao wanaipinga quran na suna na ilihali bakwata mmenyamaza kana kwamba hamsikii! Na kibaya zaidi bado bakwata mnatuhamasisha waislaamu kua mashia ni waislaamu wenzetu!! Bakwata acheni kutuhamasisha waislaamu na umoja wa mashia,bakwata muogopeni Allah kwanza,kwa sababu ukafiri wa kishia uko wazi kwa kila muislaamu anaeamini quran na suna, na kila muislaamu anaesoma vitabu vya mashia.nyie bakwata kumbukeni kua mtaenda kuulizwa nivip mliusimamia uislaamu na waislaamu!

    • @AbuabdillahUthmaan
      @AbuabdillahUthmaan 4 місяці тому

      Ahsante alhiy hizi rududi ni muhimu sana lakini lakushangaza. Baadh ya watu wasio elewa wanaona sio dini. Lakini nijihadi kubwa . Allah anaipenda kumrudi dharim anaye dhulumu waja wa. Allah. Kwa kuwazushia tusichoke pamoja. Na tumuunge mkono. Kila mwenye kusimama katika jihad hii

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 4 місяці тому

      @@AbuabdillahUthmaan inshaalakheli

  • @aminuddinwacate
    @aminuddinwacate 4 місяці тому

    Nadhani tatizo kubwa baina ya mashekh kwenye mambo wanayotofautiana ni kuchukua maneno ya mwenzie anavyofikiri mwenzie alisema kumbe sivyo.
    Hata hawa mashekhe wa Kisalafi na Wahabi wanayachukulia maneno ya Kisufi kwa maana ambayo wengine hawakusema kubishana hoja zao.

  • @abdulmajidabdulqadir2004
    @abdulmajidabdulqadir2004 4 місяці тому

    Wewe unasoma kitabu hapo unatumia nini kuona usizunguke mfano unao hapo Mtume ni mtukufu Mungu muweza wa kila jambo hakuna lisilo wezekana kwa wao Mungu na kipenz acha wivu

  • @PrinceSindayigaya
    @PrinceSindayigaya 2 місяці тому

    Mna shambuliyaga kwa mawulidi ivi hata mumsha mbuliye aje kwa kweli hapa mme kwama shiriki yina one kana wazi wazi

  • @hawa6052
    @hawa6052 4 місяці тому

    Shia badilikeni halafu naona mnasujudu kwenye kijiwe kidogo hiyo nayo ni nini We Shia utuelimishe ebu

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 4 місяці тому +1

    MNAPINGA MAULID KWASABABU HAKUNA USHAHIDI WA AYA ILA MNAKUBALI MAMBO YA AQIDA MAKUBWA KAMA HAYA BILA YA USHAHIDI WA AYA.

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому

      Lete maulid kweny hadith yoyote or swahaba wowote or karne 3 bora ili tujue kama yapo kwenye dini... Emu niambe asa ndugu maulid asili yake yametoka wapi?

    • @idrisaabdallah1680
      @idrisaabdallah1680 Місяць тому

      Lakn mm napitia comment ila comment zingine inaonyesha Hawajafahamu MADA

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 4 місяці тому +6

    Shia koko😂😂😂😂😂

  • @abdulmajidabdulqadir2004
    @abdulmajidabdulqadir2004 4 місяці тому

    Kipi kinacho ona katika kiungo cha binadamu kama sio jicho mm najua kila kiungo kina kazi yake😅

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 4 місяці тому

    MAASHALLAH sheikh muhammad bachu.

  • @hawa6052
    @hawa6052 4 місяці тому

    Mimi toka nione klipu Shia anamtukana Mama Wa waumini Aysha nawachukia

  • @abdulmajidabdulqadir2004
    @abdulmajidabdulqadir2004 4 місяці тому

    Wewe huwez kuwahukumu watu jihukumu wewe mwenyewe na balaaa yako

  • @hawa6052
    @hawa6052 4 місяці тому

    Kwani Washia mbona mnalazimisha kupotosha watu?

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 4 місяці тому

    Mawahabi Makelele mmeshindwa kuilinda Palestine Shia ndo anapambana Mwenye eyy alafu nyie ndo waislamu wenzenu makafiri na sisi Masunni ety tumejaa bidaa nyie ni Ubwaaa tena Manguruwe wasenge wakubwa

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq 4 місяці тому

      Guruwe mamayako, na wasenge ni babayako. Pmj na wewe kenge wee

  • @MahamuduMdoe
    @MahamuduMdoe 4 місяці тому

    Allah yahfadhka

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 4 місяці тому +1

    Sijaona elimu yeyote kwa Bachu zaidi ya kuongeza mparaganyiko wa hadithi kwa hadithi zinapingana na quran na hadithi zinapingana.Hapo unazidi kumpa kumpa point na ushindi Shia Shafi

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 4 місяці тому

      kwa hiyo unatakaje

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 4 місяці тому

      @@Nuru_ya_sunnah.official naona anajivua nguo Kwa kutoa hadithi zinazopingana zenyewe Kwa zenyewe na Quran inapingana na hadithi.hii inaonyesha uchache wa elimu.hakuna kiumbe yeyote Kwa mujibu wa Quran aliyewahi kumuona Allah iwe ndotoni au kwa macho ya dhahiri.

    • @OmayAlly
      @OmayAlly 4 місяці тому

      Allah akujalie na akuongoze ktk hak

    • @suleimanadim6522
      @suleimanadim6522 4 місяці тому

      Yaani ww muelewa naona anajizonga tu

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 4 місяці тому

      ​@@ashachitemo7816
      Ushindi UPI unaouzungumzia kwa Shia inaonekana unasikiliza na miguu. Unajua mzozo ulipoanzia lakini.

  • @massoudkhamis-k3h
    @massoudkhamis-k3h 4 місяці тому +1

    Ww bachu hueleweki mwanzo ulipotoa hadith ya ibn h
    Abbas ulisema amemuona vip tena

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 4 місяці тому

      Hujamsikiliza vzr au upo kiubishani

    • @engraita5059
      @engraita5059 4 місяці тому

      Kaa usikilize vizuri.. Msikilize vizuri.. Acha kuyumbisha akili yako..

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 4 місяці тому +1

    Kweli wewe ni mjukuu wa sheikh ABDALLA Saleh Alafasy.

  • @thelaoban6236
    @thelaoban6236 4 місяці тому +1

    Mashia Golo wana shidaa sana hawa

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 4 місяці тому

    HUYO SHIA HATA AJE TENA HATUMSIKILIZI NA TUTAMUONA NI MWEHU TU ILA MSHIKE MPAKA AOMBE RADHI

  • @king-uw8ju
    @king-uw8ju 4 місяці тому

    Shia Golòòooo😅

  • @kaidiSaid-ot9nl
    @kaidiSaid-ot9nl 4 місяці тому

    Tufaidishe. Shekh nikweli alimuona ktk sura ya kijana au umbilegani? Nikweli madai ya huyu shia au uwongo kuhusu sura, kwakua hukutaka kufasiri hio sehemu ya tatu kama yeye alivyo acha hizo mbili za nyuma,

  • @engraita5059
    @engraita5059 4 місяці тому

    Hawa Mashia wamezoea talbiis.. Wamezoea ubabaishaji.. Wanapokutana na watu wasiojua elimu kwa undani wanawachota kama maji.

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 4 місяці тому

    Aya za Quran zipo wazi, bado mashekh wanazunguka zungumka
    Allah haonekani

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 4 місяці тому +3

    Wallahi tumekuelewa sheikh.Jazaakallahu khairan.

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 4 місяці тому

    😂😂😂huyu shafi sjui haelewi nini. dah yan ni mnafiki mpaka anakera

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 4 місяці тому

    Ostadhi hojaiyo ishafahamika na sisi tushapta ukweli sasa itafute hoja yke nyngine alomsingizia sheikh utueleweahe.

  • @abdallahshabani710
    @abdallahshabani710 4 місяці тому

    MashaaAllah Tabarakallah m ni mtu wa Maulid but nimefurah kwa elimu ila mashiiiia 😂

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 4 місяці тому +1

    Shia golo kasema Muhammad Bachu bado mtoto ktk elim anatambaa kisha yy anapindisha maneno haogop 😅😅😅 ulidhan icho kitab atakisom km ulivyovurunda ww. mvue vilemba ivo sasa haviwafai

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 4 місяці тому

      Ni maneno yaki siasa za kibunuasi yeye mbona hasemi amesoma wapi na kwa nani.

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 4 місяці тому

      ​@@MB-yq3tyama kweli nyinyi mmefungwa masikio na macho icho kitabu alosema Shia golo ndo anokisoma Muhammad kisha mnapewa nn uko kwenye ushia Mpaka mnakataa haqq mana c bure 😅😅 tamaa mbele maut nyuma

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 4 місяці тому

      ​@@MB-yq3tykasema km kitabu anokisoma ni kitabu cha Ibnu taymia

    • @Cherehanitanzania
      @Cherehanitanzania 4 місяці тому

      𝗦𝗵𝗶𝗮 𝗞𝗼𝗹𝗼𝗯𝗼𝘆

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 4 місяці тому

      @@saadasaleh3177
      Nimesema maneno ya kisiasa Shia kusema Bachu Mtoto mdogo kielimu unaninukuu vibaya futa hiyo SMS mm sio shia

  • @fatmasuleiman2710
    @fatmasuleiman2710 4 місяці тому +2

    MashaaAllah Allah akuhifadhi.

  • @khairatsaid-zu3hd
    @khairatsaid-zu3hd 4 місяці тому

    Mm bado sjaelewa malengo yenu naomba mnieleweshe mna malengo gani

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 місяці тому

      Wewe hujamuelewa muda wote huo anaofafanua na kuelezea jambo ,hukua na lengo la kujifunza na kuelewa .

    • @hawa6052
      @hawa6052 4 місяці тому

      Kwa masaada shia anasema Mtume kamuona Allah kwa macho na mtoto wa Bachu anatolea maelezo

  • @shabanikibene344
    @shabanikibene344 4 місяці тому +2

    Mashaallah allah akuzidishie elimu ili umma unufaike

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 4 місяці тому

    Walisomea mabishano2 ila mashekhe wenye hekma zao naelimu zajuu wako kimyaa navinywa vyao vikitamka2 maneno huwaathiri watu sio porojo

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 4 місяці тому

    ASTAGHFIRULLAH mm sio shia wala siangalii ushia wake wala simuangalii mtu sura yake naamgalia anachosema BACHU HAPO KACHEMKA SABABU MWENYEWE ANASEMA KUA ALLAH ANAKANUSHA KATIKA QUR_AN NA MAMA AISHA AMEKATAAA KUMUONA NI KUMUONA TU IKIWA NDOTO AU SASA WW UNAUHURU WAKO KAMA UNATIZAMA SURA HIO NI WW

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 4 місяці тому +1

      Sio lazima uelewe leo maana hata IQ Zinayofautiana mithili ya mwendo wa Magari. Na suala la kusema wewe sio shia kuna mtu alikuuliza au umeamua ukitunuku taabu tu.

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq 4 місяці тому

      @mb, u r right

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 4 місяці тому

    Ndugu zangu tukiacha udhaifu wa huyu shia tukumbuke kumchangia shekh wetu Muhammad. Kama si kwa kumtumia pesa bc tuskilize haya matangazo hadi mwisho ili apate kulipwa na youtube.

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому +2

      Hapa kwel hili wazo zur hata mm nimelifikiria tuanzishen hii kampen mwisho wa mwiz huu mpatie chochote kitu kila mmoja atoe kadri ya uwezo wake.

    • @dullahmihuri
      @dullahmihuri 4 місяці тому

      @@YahyaYahya-vp2pp Inshallah tujitahidi kufanya hivyo

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 4 місяці тому

      ​@@dullahmihurikweli kabisa

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 4 місяці тому

    Shartti za ijumaa

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 4 місяці тому

    Hapo Bachu umechemka tupe aya ya QUR-AN INGEKUWA AMEMUONA ALLAH TUNGEELEZWA KATIKA QUR-AN

    • @dullahmihuri
      @dullahmihuri 4 місяці тому

      Yaani mtu kama ww usishagae sio shia... ila chuki zako tu maskin zinakufanya umsapoti shia

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 4 місяці тому

      Basi na yote aliyofanya na aliosimulia Mtume yangeliingizwa kwnye Qur'an ili muamini.

    • @husnajuma-md2uj
      @husnajuma-md2uj 4 місяці тому

      Wataka Aya sikiliza maudhui

    • @suleimanadim6522
      @suleimanadim6522 4 місяці тому

      Misiba mkubwa uliokuwepo nikua hatutaki kusoma tunataka tu kuburuzwa soma ALLAH SURA YA MWANZO AMETUAMRISHA TUSOME ILI TUSIWE WAJINGA SASA QUR_AN INAKATAA WW UNANIAMBIA NISIKILIZE MAUDHUI MM SIANGALII NANI KASEMA ILA NN KASEMA MADHEHEBU MM HAYANIHUSU MADHEHEBU YANGU NI LAILALA HAILLAH MUHAMMAD RASULU ALLAH QUR_AN NA SUNATUL RASULU ALLAH SAW NDIO TUNAFUATA HUO UPOTOFU WA MADHEHEBU NI MAMBO YA MAYAHUDI NA MANASARA

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 3 місяці тому

      SIKILIZA VIZURI HAYO MAWAIDHA NDIPO UONGEE. anachopinga bachu kwamba ALLAH hajawahi kuonekana kwa macho.. sasa ww unaongea nn

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 4 місяці тому

    DUH LEO SHIA KAVULIWA KILEMBA

  • @AbuuKiweru
    @AbuuKiweru 4 місяці тому +2

    Inapokuja haki bac batul inakaaa kando

  • @hawa6052
    @hawa6052 4 місяці тому

    Tabarakallah

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 4 місяці тому

    Sasa ikiwa hakumuona kwa mcho kamuona vp bachu umechemka hunadalili unajizonga tu

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 4 місяці тому

      Unasikiliza na Miguu eti

    • @shahidumaulidi9721
      @shahidumaulidi9721 4 місяці тому

      huyu nadhani anasikiliza na miguu kabisa " katika dunia hii kuna watu hua hawaelewi hata wakiambia ukweli hawataki " nikama huyu "
      Allah atuhifadhi na atujalie mwisho mwema katika haqqi biidhnillah ​@@MB-yq3ty

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 4 місяці тому +1

    Assalaam alaikum ustadh wape dawa Hawa mashia inshaallah na Allah mjuzi kwa haya unayoyafanya ni kwa iklas na wakikosa majibu wasilimu na wafanye tawba kwa Allah kwa kumzulia yy na mtume wake

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 4 місяці тому

    Kiukweli Mawahabi ni Makafiri tu hawana jipiya

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z 4 місяці тому

    Mashia ni waislam bali mawahabi ndio makafiri sasa wewe unamwambia Shafii aje aslimu sasa je Shia na wahabi nani yupo kwenye kufru? Jamhuril ulamaa wamesema ibnuttaimiyah km ibnuttaimiyah ni kafiri na maulamaa hawajawakufurisha mashia

    • @hudhaifahsadru-xr2gg
      @hudhaifahsadru-xr2gg 4 місяці тому +1

      Tumekuzoea na wew kwa uongo, mada nying huwa unacomment utumbo, Allah akuongoze

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z 4 місяці тому

      @@hudhaifahsadru-xr2gg...
      Waongo ni mawahabi (wakristo no 2) vitabu vyao vimejaa uongo na itikadi za kikristo za kumfananisha Allah na mwanadam

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 4 місяці тому

      ​@@OmarShela-p2zwapi kafananishwa Allah na mwanadamu?

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z 4 місяці тому

      @@dulividuli5237... Hujasoma vitabu vyenu vya kiwahabi na ndio maana ukasema ivo! Anasema ibnul kayyim. Allah ana mikino 2 miguu 2 na kila mmoja una vidole 5 pia Allah amekaa kitako juu ya arshi na miguu yake ameeka juu ya kursiyyu na pia amebebwa na malaika mzega zega nk je wewe unayaamini hayo? Je huko si ndio kumfananisha Allah na mwanadam?

    • @hudhaifahsadru-xr2gg
      @hudhaifahsadru-xr2gg 4 місяці тому

      Fahamu yako huenda Ni ndogo, ndo maana huelewi

  • @MussaMohamedMohamed
    @MussaMohamedMohamed 4 місяці тому

    Wallah sheikh wangu nimekuelewa, tena sana,Alhamdulillah Allah akulipe ziada,,,ya wema