Sawa ana uelewa lakin mshirikina anatumia majini na hauwez kutumia majini bila kutimisha mashart yao hapo kwenye kutimiza mashart ndipo huusika sana na ushirikina
@@MISHIRAJAB-cx3zp hata km sijasoma san dini kwakwel hawez nipotosha “HAPANA MOLA APASWAE KUABUDIWA KWA HAKHI ILA ALLAH NA HANA MSHIRIKI “sasa nitafute tena majini ya nini mie 🙌
@@MISHIRAJAB-cx3zp me ninavyo odi dunia inaenda mwisho kwasababu waislamu hatushuhuliki na mipango ya kuitengeneza dini ila tumezid kutipia maneno wenyewekwawenyewe
@@massudidadi679 kama uislam ulianza kipindi cha Adam nitajie mtu aliye msilimisha Muhammad.., Nb:Halafu nionyeshe Aya Moja Toka kwenye Biblia inayo onyesha Yesu Aliingia msikitini na sio kwenye sinagogi.
Kuraan inasema nimeumba majini na binadaam ila waniabudu ,tafadhalini sana fikirieni siku ya mwisho msiwapeleke watu kwenye shirki,hizo elmu zipo ila kwa mujibu wa kurani tunaenda kwenye shirki huwezi kutegemea majini wakati mungu yupo shirk.maisha ya mpito ila msidanganye watu kwenye imani.
Subhana Allah ,kumbe Sim pia zina connect na Majin ,,, na si M/Mungu ndie anaewapa il-hamu viumbe vyake,ili kuweza kutengeneza haya yote ya duniya ,،mmmh Jaman,, mbona mitihan hii
Sijasoma ki hivo ,,,ila nafaham kuwa jini yyte anaekaa ktk mwili wa mwanadam uyo C jini mzr anamuasi Allah Tabbarak Rahman. Majini wamepewa sehem zao za kuishi C ktk mwili wa mwanadam ,,, Tumuombe Allah atuongozee njia ya khaki na Khushi khatma
Wewe huwajui vizuri hao hawawezi kuku acha salama hatakidogo. nilazima wakutoe kwenye neema ya mungu kifupi. jini hana wema hata. Jiulize yeye anafaidika na nini kwako.
Daah! Dr Sule anapotea hata aya anayosoma ni kinyume na maana yake, namwomba Allah amrejeshe dunia isimbebe. Masheikh msaidieni kwa hekima, juhudi zake bado tunaziitaji.
ilisemekana wakati wa nyuma wa Mtume kuwa kutakuja vyuma vinaongea sasa hilo sio lakushangaza.. ni elimu Allah amempatia binadamu na binadamu atakuja kumkufuru...usidanganye watu bwana binadamu na majini mbali mbali usitie watu kwenye ushirikina..Allah akujaalie mwisho mwema Ameen...
Soma boss wacha kuropokwa nabii suleiman alikua akiwatuma majini na wakipija mbizi ardhin wakija madini hata ww waeza tumia majini ila kwa njia ya sawa
Mpuuzi huyu anasingizia mpaka simu zinatumia majini , hivi mkonge wa internet ukikatika majini nayo yanazima? Utawakamata wajinga washirikina wenzako wasokuwa na elimi
Swali kwa Dr sule kila siku iterview zake kuelezea maisha yake kila kitu ambacho anamiliki Ila hili ni la kifamilia zaidi .vipi kuhusu watoto ,kulingana na kwamba unawake wanne Ila sijawahi kusikia ukiongea kuhusu watoto unao wangapi .
SHAFII HAUNAELEMU YAKUMZIDI SULE SULE YUPOSAHIHI AMESEMA JINI UNAWEZAKUMTUMIA KWAWEMA NA AMETOAHADISI MBALI MBALI WEWE KAMA UNAZIKATA IZOHADISI BASI WEWE UTAKUA UMEJITOA
Wee Dr Sule kimemramba !!!!Niko Kenya makini atuna masheikh wa majini Alhamdulilah.kuweni makini mtakufuru jini simu sumsung😂😂😂😂huyu n mfuasi wa shetani.
MTUME MUHAHAMMAD SWALAAHU ALAAHI WASALAAM ALIKATAA ULINZI KUTOKA KWA MAJINI ALIWAAMBIA HAKUNA HATA MMOJA KATI YENU AMBAE ATANILINDA NISIMUWEPUKE ALLAH HII HAPA AYAH قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.
Mzee hio hadith gani?? Wakat mtume alikiri ana jinn tena sheytan, linamuongoza kwenye mema, soma hiyo, Sahih Muslim 2814 a Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said: There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good. حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ " . قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ " . Reference : Sahih Muslim 2814a In-book reference : Book 52, Hadith 62 USC-MSA web (English) reference : Book 39, Hadith 6757 (deprecated numbering scheme)
Mtume alimshika mtoto Jini katika maeneo ya msikitiki akataka kumfunga katika kiguzo. Swali kwako sule ni nn alikisema kisha akamuachilia. Wewe na mtume yupi Bora?
Tupo sahihi ata mtume nae alikiri kuwa ana jini tena sheytan, lkn Allah anamasaidia Hilo jinn linaomuongoza Kwa mema, hadith kutoka sahihi Muslim,Sahih Muslim 2814 a Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said: There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good. حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ " . قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ " . Reference : Sahih Muslim 2814a In-book reference : Book 52, Hadith 62 USC-MSA web (English) reference : Book 39, Hadith 6757 (deprecated numbering scheme)
Huyu jamaa namjibu elmu yote imetoka afrika wazungu sayansi imetoka afrika ,wazungu walituibia mafuvu yaashujaa ,dah kuna kuna historia ndefu ,ila sitaki upotoshaji............
Mwambie huyo jini na pete akupe uzima na akwambie utakufa lini.dunia tunapiata achaneni na hao vichwa vibovu wafuasi wa kibwetere,kizazi changu wafuasi hahki .bongo ..................dah
Unajuwa huyu jamaa anapenda kujichanganya, sisi hatukatai kma majini wapo, majini wapo na wanaish kma sisi tunavoish, shida ipo ni kuwatumia mshirikina mkubwa ww
Hivo vitu anavongea ni mitandaoo ndio anataka ajifanye kama Nyerere kipindi cha mababu anangalia tv peke yake halafu anasema ameota, sisi waislam hatuhitaji wanafki.......
Uyu tayar Allah kaanza kumuumbua taratibu iki anachokisema ni uongo wa hali ya juu sana ....hakuna ushirikiano Kati ya majini na binadamu iyoo haipo Quran nzima yenye sura 114 iyo kitu haipo yeyote anaye shirikiana na majini ni mchawi km mchawi mwingine ko wazungu hao nao ni wachaw tuu hakuna inshu
Kwakweli dr sule ni mtu mwenye uelewa wa hali ya juuu, one love
Sawa ana uelewa lakin mshirikina anatumia majini na hauwez kutumia majini bila kutimisha mashart yao hapo kwenye kutimiza mashart ndipo huusika sana na ushirikina
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Pesa mbaya sana Jamani tusome dini yetu ili tusiburuzwe # Allah atufanyie wepesi juu ya hili ln Shaa Allah
Mjue tu Mungu,din s chochote ndg!
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Othman Michael
Othman maalimu
Mashekhe wangu pendwa Allah awajaalie umri mrefu 🤲🏻
Huyu bwana amevuka mipaka anapotosha umma wa kiislam tuweni makini nae na tusome dini tuielewe
@@MISHIRAJAB-cx3zp hata km sijasoma san dini kwakwel hawez nipotosha “HAPANA MOLA APASWAE KUABUDIWA KWA HAKHI ILA ALLAH NA HANA MSHIRIKI “sasa nitafute tena majini ya nini mie 🙌
Othuman michael ni rafik sana wa dr sulle mnafiqi tu
@@MISHIRAJAB-cx3zp me ninavyo odi dunia inaenda mwisho kwasababu waislamu hatushuhuliki na mipango ya kuitengeneza dini ila tumezid kutipia maneno wenyewekwawenyewe
Yohana 14
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Asante doctor Sulle tatizo Eliiiim
Yohana 8
12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Ungefuata huyo yesu wako ungekua muislamu
@@ismailyusuf3755 mpendwa uislam umeanza lini ?
Na Yesu Amefariki Lini..?
@@robertgeofrey4118 Kwanza mm Sina mpendwa kafiri
Pili uislamu ndio Dini ya mitume wote toka nabii Adam
Tatu yesu hajakufa Bali MUNGU alimpaisha juu
Uislam ulianza tangia Baba yetu Adam ndo maana yesu aliingia Mskitini na sio kanisani
@@massudidadi679 kama uislam ulianza kipindi cha Adam nitajie mtu aliye msilimisha Muhammad..,
Nb:Halafu nionyeshe Aya Moja Toka kwenye Biblia inayo onyesha Yesu Aliingia msikitini na sio kwenye sinagogi.
Kuraan inasema nimeumba majini na binadaam ila waniabudu ,tafadhalini sana fikirieni siku ya mwisho msiwapeleke watu kwenye shirki,hizo elmu zipo ila kwa mujibu wa kurani tunaenda kwenye shirki huwezi kutegemea majini wakati mungu yupo shirk.maisha ya mpito ila msidanganye watu kwenye imani.
Ustadh plz acha kujishasha na neema alizokupa mungu huzda
Hila Sheh Shafim yuko saiih, Dr Sulle Aongei kweli
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Sule pole sana kk, Allah akuongoze. Doo shida kwahali ulionayo mbaya sana!!
Soma
Asome nn mgaga huyo tumamjua
Subhana Allah ,kumbe Sim pia zina connect na Majin ,,, na si M/Mungu ndie anaewapa il-hamu viumbe vyake,ili kuweza kutengeneza haya yote ya duniya ,،mmmh Jaman,, mbona mitihan hii
Masheikh msimfananishe nabii Suleiman na sule anacho kisema sule co sahihi kwenye dini yetu
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Hivi huyo Suleiman wenu alikuwa nchi gani maana wengine wanasema ni yule mwana wa David, wakati shlomon hakuwahi kufanya uchafu huo
Doctor Sule acha njaa, muogope Allah, wewe umekuwa unapenda sana hela kuliko dini.
Dr sule Mungu akubariki sheh wang hii yote kwa sababu ni muafrika ,lakini ungekuwa mzungu ata wasinge kupinga
Sawa
Kama naanza kumwerewa Dr Sule 😂😂😂😂❤
Dr sule hebu tuelezee vizuri bado hatujakupata msimamo wako
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Sijasoma ki hivo ,,,ila nafaham kuwa jini yyte anaekaa ktk mwili wa mwanadam uyo C jini mzr anamuasi Allah Tabbarak Rahman. Majini wamepewa sehem zao za kuishi C ktk mwili wa mwanadam ,,, Tumuombe Allah atuongozee njia ya khaki na Khushi khatma
Yaani nyie watu ni wachawi mliojificha kwenye kivuli cha dini
Wewe huwajui vizuri hao hawawezi kuku acha salama hatakidogo. nilazima wakutoe kwenye neema ya mungu kifupi. jini hana wema hata. Jiulize yeye anafaidika na nini kwako.
Shirki kubwa Sana hii, subhanallah
Daah! Dr Sule anapotea hata aya anayosoma ni kinyume na maana yake, namwomba Allah amrejeshe dunia isimbebe. Masheikh msaidieni kwa hekima, juhudi zake bado tunaziitaji.
ilisemekana wakati wa nyuma wa Mtume kuwa kutakuja vyuma vinaongea sasa hilo sio lakushangaza.. ni elimu Allah amempatia binadamu na binadamu atakuja kumkufuru...usidanganye watu bwana binadamu na majini mbali mbali usitie watu kwenye ushirikina..Allah akujaalie mwisho mwema Ameen...
Subuhanalwah umekufuru
Itunze hii coment SULE KUNA JAMBO ALLAH ANATAKA KUZIHIRISHA JUU YAKO MIM SILIJUI ILA NAHISI NIFEDHEA
Ushirikina Sheikh Unakutawala Kimyakimya😢
Njaa Ishahamia Kichwani Hatari Tupu......Nafsi Mali Mungu Amuongoze Sheikh Sule😢
Dah hadihuruma sule umepoteya vibaya sana eti usome white magic na black magic subhana Allah mganga sule umeumiya rudi kwa Allah
Kiukewli nakukubali sana dkt sule
Mimi Binafsi.
Mimi Binafsi.
Mimi Binafsi.... Nakubaliana Kwa 100% na Dr Sule.
Elimu ni Pana Saaana... Tusikae upande mmoja.
Simu ni Majjini???
Majini Ni fallen angle
HATUTAKI KUSIKIA MZUNGU KASEMAJE ILA TUNATAKA KUSIKIA ALLAH KARUHUSU KUTUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI NA ULINZI
Soma boss wacha kuropokwa nabii suleiman alikua akiwatuma majini na wakipija mbizi ardhin wakija madini hata ww waeza tumia majini ila kwa njia ya sawa
Kwa hiyo wew ni nabii Suleiman, kama nabii Suleiman alitumia mtume Muhammad hakutumia, wew na mtume Muhammad nan anaejua zaidi@@saba-gv3mj
Kasome Wewe Na Akili Yako Yakuchotwa @@saba-gv3mj
Mwenyezimungu ameshasema niombeni nikupeni kwa nini tuategemee majini badala Allah acha ushirikina
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Subhanallah 😢
😢 Dini imeuzwa 😢😢, Ee mungu tupe mwisho mwema
Muogope ALLAH WEWE
Tatizo la sule ujifanya mjuaji sanaa...ila hili la majini amefeli pakubwa .....muogope Allah sule ww .....
Hiii ni fact kabisa yani sema watu wamepumbazwa na maandiko na kua na ukomo wa maarifa ndio mana wanajibu kwa mihemko
Dr ubaya unatumia mambo kinyume kwakutetea mambo yako
Nivyema kutubia ukarejea ku haki
Dr suley nimtu namkubali sana kifui
Kweli shaikh huwo ni mtihani
Mpuuzi huyu anasingizia mpaka simu zinatumia majini , hivi mkonge wa internet ukikatika majini nayo yanazima? Utawakamata wajinga washirikina wenzako wasokuwa na elimi
Kwa hiyo mamlaka ya TCRA ina majini? Huyu zombie kweli!
Yaani bora aendelee na biashara zake za majini. Sio tena analeta upuuzi wake kwenye mambo ambayo yako wazi kabisa. Ujinga ujinga tu.
Dr. Sule nakuogopea siku yako mbele ya Mola wako.
Swali kwa Dr sule kila siku iterview zake kuelezea maisha yake kila kitu ambacho anamiliki Ila hili ni la kifamilia zaidi .vipi kuhusu watoto ,kulingana na kwamba unawake wanne Ila sijawahi kusikia ukiongea kuhusu watoto unao wangapi .
Huo upande wa pili unaousemea ni upi? Telecommunications usiihusishe na black & white magic zako.
Hakuna means za kichawi kwenye communications
snswapoteza uma astafirullah from 254 kenya
Niwe mkweli kabisa huyu sheikh namkubaligi sana ila sio dr sule heeee😂😂
SHAFII HAUNAELEMU YAKUMZIDI SULE SULE YUPOSAHIHI AMESEMA JINI UNAWEZAKUMTUMIA KWAWEMA NA AMETOAHADISI MBALI MBALI WEWE KAMA UNAZIKATA IZOHADISI BASI WEWE UTAKUA UMEJITOA
hhhhhhha mimi ntatafuta kichwa chako nione iyo bangi unovuta
😂😂😂😂😂😂😂
Wee Dr Sule kimemramba !!!!Niko Kenya makini atuna masheikh wa majini Alhamdulilah.kuweni makini mtakufuru jini simu sumsung😂😂😂😂huyu n mfuasi wa shetani.
Doctor Sule muda si mrefu utaungana na Ndacha wa Kenya
Mpaka aokoke kwanza ndio tumpokee sisi hatu Amini na kuyatuma majini
Mm nyoaji wake tu unatosha kusema huyu sio shekh
Yaani huyu ameuchafuwa uisilamu kilazima na kijahili
MTUME MUHAHAMMAD SWALAAHU ALAAHI WASALAAM ALIKATAA ULINZI KUTOKA KWA MAJINI ALIWAAMBIA HAKUNA HATA MMOJA KATI YENU AMBAE ATANILINDA NISIMUWEPUKE ALLAH HII HAPA AYAH
قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا
Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.
Mzee hio hadith gani?? Wakat mtume alikiri ana jinn tena sheytan, linamuongoza kwenye mema, soma hiyo, Sahih Muslim 2814 a
Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:
There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good.
حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ " . قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ " .
Reference : Sahih Muslim 2814a
In-book reference : Book 52, Hadith 62
USC-MSA web (English) reference : Book 39, Hadith 6757
(deprecated numbering scheme)
Nilichokiona kw huyu Dct.Sule ana kiburi pia huyu baba!!
Wewe utakua kama firauny wa mistry,lakiny yatatimia,isha allaah.
Watu wanaopigana vijembe zaidi ya miaka 1400 ni nani hao
Mimi mkristo lakini kama uwislam mna amini majini sitaki kuingia uwislam mimi napenda uwislam usio amini majini nataka wanao muamini Mungu tu
Alikomboooo so alhajiiii huyu kendaaa hajaaaaaaaa tuuu so hijaa😅😅😅
Mtume alimshika mtoto Jini katika maeneo ya msikitiki akataka kumfunga katika kiguzo. Swali kwako sule ni nn alikisema kisha akamuachilia. Wewe na mtume yupi Bora?
Chagua upande ndugu, ushirikina au uislam
Riyyaa Hyoo Na Mtume Amekataza😢
Au ndio sheikh wa bara?
DR SULE MNATUANGUAHA MASHEE WETU HATAR
Njaa hizi...
Mnajikita sana mihadhara kuliko kusoma sasa hii ni miongoni matokeo yake.
Sasa tafsiri iyo Neno Magic (uchawi)
Dah kielimu sule saluti lkn tyr ushakosea sheikh unapotea lkn naic ttizo njaa kisirani na ww pengne njaa na Tamaa imekpeleka pabaya
Yohana 8
12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Hadi nuru ya uso imepotea, huyu wakuhurumiwa na kumuomba Allah amuongoze
Allah akuongoze umepotoka
Apo gumepigwa kwenye sm
kwanza unyoaji wake niwakijinga
Shekhe ameshakuwa wa mitandaoni na hata anavyojiweka unaweza usimjue kama ni shekhe,😂
Yupo sahihi sana
hadi leo dr sule unasema wakat utaongea,hivi ni kipi kinaweka wazi zaid kati wakat unaousubir uongee na hii quran?
Wewe sure mshirikina
Koo mtandao ukisumbua jin linakuwa limechoka
Uongo wa waziwazi kwahyo majini ndo wanatusambazia sauti kwenye simu...
Hatari kweli😂
Kweli Shekha Huyu dr suli mjanja
huna elim shaffi ndo maan hufiki popote.....acha kubisha vtu usivyovijua.....pia kuongezea maneno sio vzr
Huyyuu kumbee badoo sanaa sule kichwaa kimevurigikaa sio mchezoo
Huyu deval warship
Tupo sahihi ata mtume nae alikiri kuwa ana jini tena sheytan, lkn Allah anamasaidia Hilo jinn linaomuongoza Kwa mema, hadith kutoka sahihi Muslim,Sahih Muslim 2814 a
Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:
There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good.
حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ " . قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ " وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ " .
Reference : Sahih Muslim 2814a
In-book reference : Book 52, Hadith 62
USC-MSA web (English) reference : Book 39, Hadith 6757
(deprecated numbering scheme)
Huyu jamaa namjibu elmu yote imetoka afrika wazungu sayansi imetoka afrika ,wazungu walituibia mafuvu yaashujaa ,dah kuna kuna historia ndefu ,ila sitaki upotoshaji............
Huyu na mzee wa uako ni ndugu
ANGALIA ANAVYO NYOA HALAFU ET ANATAKA AWE SHEKHE SALAAAAALAAAH
Dr. Sule sisi niwafuas wako kwamuda mref sas, ila kwasas tunamashaka kuwa wew nikatika matawi yakifree masson. Kwaiy iwapo hutojirekebisha hatutakuw pa1 naww
Mwambie huyo jini na pete akupe uzima na akwambie utakufa lini.dunia tunapiata achaneni na hao vichwa vibovu wafuasi wa kibwetere,kizazi changu wafuasi hahki .bongo ..................dah
Yani waamin sulle ana akili uislamu wenyewe sulle haujui hata juzu amma tu hajui kusoma
Twataja debate sule na shaffi ili quran na hadith itusaidie sio black na white majic
Unajuwa huyu jamaa anapenda kujichanganya, sisi hatukatai kma majini wapo, majini wapo na wanaish kma sisi tunavoish, shida ipo ni kuwatumia mshirikina mkubwa ww
huyu sheikh gani anapenda kuacha kichwa wazi halafu ananyoa kihuni
uislam na uchaw dam dam
Huyu sule anaabudu majini ndonama unakuta muda wote anayasifia majini
Hivo vitu anavongea ni mitandaoo ndio anataka ajifanye kama Nyerere kipindi cha mababu anangalia tv peke yake halafu anasema ameota, sisi waislam hatuhitaji wanafki.......
Huyuuu hanaa ushehee wowote muhuni tuuu kwanza shehe gan unanyoaa pank na kuekaa o ndevuuu mbuzii mkubwaa tftaa darasaa
Uyu tayar Allah kaanza kumuumbua taratibu iki anachokisema ni uongo wa hali ya juu sana ....hakuna ushirikiano Kati ya majini na binadamu iyoo haipo Quran nzima yenye sura 114 iyo kitu haipo yeyote anaye shirikiana na majini ni mchawi km mchawi mwingine ko wazungu hao nao ni wachaw tuu hakuna inshu
Sio aya imekutoka apana hunafanya sivio ndio mahana Allah anakusaulisha Qur an
Yohana 8
12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Uyo mngu umempa nn mpk kila siku akupe wew ach unafk wee
La uyo mfano wa simu umekoseya kabisa hayo ni mambo ya satellite siyo majini acha kudanganya watu