KIBARAKA WA DR SULE APELEKWA SHULE //Ust SHAFI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 тра 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 133

  • @Dearm-ome2in1huba
    @Dearm-ome2in1huba Місяць тому +6

    Mashalah ustdh shafi you are right I am from Kenya

  • @abuuzunayrah3029
    @abuuzunayrah3029 Місяць тому +4

    Ustadh Shafii Allaah akulipe firdaws

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому +3

    Uislam haina unafiq
    ukiwa mnafiq hata kama mnafanya kaz pamojaa unaaambiwa umekosea
    hawa n waadhir wawili lkn kama unaleta uganga ktk Dini unaambiwa
    Mbogo
    ukae kimyaaa usilete urafiki ktk Dini
    Allah akuhifadh Shifiii

  • @hafizmubarakmussa1780
    @hafizmubarakmussa1780 22 дні тому

    Ustaadh shafii Allah akuhifadhi

  • @fundimorisho8230
    @fundimorisho8230 Місяць тому +2

    Kaka yangu ALLAH akuzidishiye rehma zake uyo sule amesha pinda juyanja nitapeli hata miyipopo aliyaongeya ayo

  • @augustomariosama1542
    @augustomariosama1542 7 днів тому

    Sawa kabisa shaikh shafiim wafikishie ujumbe hao wasiejitambua

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 28 днів тому

    Enyi ndugu zangu katika imani swali la msingi majini wapo au akuna dunian kwa mujibu wa qruan mwenyezi anasema nimewaumba majini na binadamu ili wapate kunianudu naam kumbe majini wanajukum la kumuabudu mwenyez mungu kama ss na wanaishi dunian katika mazingira gani wengine wanakwenda mbali zaid wanasema tunaishi nao katika majumba yetu jamani inawezekana kipo anacho kisema dr sule katika muda ujao

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Місяць тому

    Yaaani umeswadikisha sheikh shafiiii mashaAllah

  • @user-xw5tf6xi4z
    @user-xw5tf6xi4z Місяць тому

    Allah akujaze kheri Shekh wangu Shafii

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 Місяць тому +2

    Sheikh shafii pga kazi ,huyo DR Sule hafai hata kidogo

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 Місяць тому +3

    Wafundishe sheikh shafi

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 26 днів тому

    Sikiliza kusema jini inat uh miwa na kila mtu hiyo sikweli from 254 kenya

  • @tanihsayyd8524
    @tanihsayyd8524 Місяць тому +2

    Assalam alaykum warahmah tullah wabarakatuh.
    Alhamdulillah, masheikh zetu Allah kawajaalia elimu kubwa sana katika dini yetu ya uislamu na tunawaombea kwa Allah azidi kuwapa upeo mkubwa zaidi na zaidi, ili tupate kufaidika na sisi ambao elimu yetu ya chini. Ila tunawaomba mnapofahamishana kuhusu mambo flani ya kielimu katika dini basi tujitahidi tusiwe wenye kudharauliana na sikusudii kumtaja sheikh flani au nani bali nazungumzia kwa wote wale ambao tutakua tunafahamishana juu ya mambo ya kidini na kielimu zaidi. Tutumieni njia sahihi kwani nyinyi ndio viongozi katika dini yetu, tunakutazameni tunakusikilizeni ili tupate miongozo sahihi ya dini yetu. Sasa mnapodharauliana au kupeana maneno yasio na busara sisi tunaokusikilizeni mnatupeleka wapi?! Hakika huu ni mtihani mkubwa hekma ya mambo iko wapi?
    Kila sehemu unayoangalia ya masheikh sasahivi unakuta mambo ya kuaibishana, huyu kakojoa kwenye kitu, mara huyu hajui kusoma , mara yule hana elimu…
    Waislamu tunaelekea wapi mtu anapokosea mfundishe katika misingi ya hekma ili akuelewe na wengine wapate kuelewa. Shukran

    • @NM-rq9dr
      @NM-rq9dr Місяць тому

      Kweli kabisa

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +2

    Hapa Sheikh Mbugila Mbugila na Sheikh Boxiiii kabisaaa😂😂😂😂

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 Місяць тому +9

    Uzuri wa uislam ukileta vitu visivyoeleweka unaambiwa peupe sio kanisa. Uislam ni utoe dalili sio ujanja ujanja

    • @richardmshiu5118
      @richardmshiu5118 Місяць тому +2

      Washirikina,, Hamna lolote.Hatusali na majini sisi.

    • @williamgabrielmassawe3654
      @williamgabrielmassawe3654 Місяць тому +1

      Mohamedi alitoa dalili gani?

    • @pascalvirgilio7208
      @pascalvirgilio7208 Місяць тому +2

      Sasa kanisa linaingiliaje hapo nyie majini😂

    • @pascalvirgilio7208
      @pascalvirgilio7208 Місяць тому +2

      Nyie mashekhe ubwabwa si mnaumoja kwann msifanye mdaharo kazi kubishana mitandaoni mnasikitisha kbsa

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Місяць тому

      Hawa nahis. Wamekorifishana mihadhara hakuna​@@pascalvirgilio7208

  • @user-zm6kz8mx5v
    @user-zm6kz8mx5v 28 днів тому

    Ma sha Allah shafi ww kiboko

  • @MassoudHamad
    @MassoudHamad Місяць тому +2

    Mkae mutathmini uislam mnavyouendea, kila mmoja anajua yeye mwenzake hajui, kueni makini msijemkajikuta mnamuabudia shetani

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂Hapa ni mwendo wa kujaza bando na kuchaji simu na kutembelea timu zote tupate madini waliyoyaficha siku nyingi😂😂 nasubiri party 2😅

  • @SmilingCondorBird-wo3wk
    @SmilingCondorBird-wo3wk Місяць тому +1

    Ndio sheikh shafii waambie ukweli huyo sule asipoteze watu.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +1

    Shafii mwambie mwambie Mbogo atakuitaje Sheikh Mbugila Mbugila bhana😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbedRamadhan
    @AbedRamadhan 19 днів тому

    shafii ww jeshi sn

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 29 днів тому +1

    Kwa hiyo sheikh shafii umeamua kumkana rafiki yako role model wako, yote kwa yote dokta suke namuona kama anapotea njia amefsnya kiburi kidg ndugu yetu

  • @user-zm8nq6xv8o
    @user-zm8nq6xv8o Місяць тому +1

    Ule sio Dr kuanzia leo

  • @kassimomari7505
    @kassimomari7505 28 днів тому

    Shafi mi nakukubali,uko na hoja za msingi

  • @SolomomAdams-pf5zy
    @SolomomAdams-pf5zy 6 днів тому

    Wapuuzi hao hawajui Dini vizuri..
    Dini siyo kuparuana na kujionyesha kuwa unajua kuliko wengine.
    Masuala ya kukaa chini na Kuya maliza mwajifanya kuongea hadharani

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +1

    Waislamu mnanipa rahaaaaaaaa!!! Timu kutumia majini na timu kutotumia majini😂😂😂 acheni mabishano Majini ni ndugu zenu Waislamu Sule yuko sahihi😂😂

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 29 днів тому

    Uongo siku zote huzihirika
    Subhuna Allaah

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 29 днів тому

    Sure ni mshirikina tu tubia kwa Allah aache itikadi za kishirikina

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Місяць тому

    Huwezi kutumia kitu bila ya masharti mana majini wa kishetani nguvu hizo wanazo wa kukupa kitu unachotaka laki ujuwe kama moto unao mana utawaamini hao mazimwi bila ya mungu

  • @bekatng1006
    @bekatng1006 19 днів тому

    Acheni kiki za Wana muziki

  • @shabanimadobe972
    @shabanimadobe972 Місяць тому

    Saizi tumefikia waislam kuzozana na wengine uganga ndyo maana sitaki dini ila na imani mungu yupo ctaki kupitia uislam mm yani waadhiri wakubwa lkn uganga majini mtupu

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f Місяць тому +1

    Naam Sheikh Shafi tupe vitu

  • @user-ry8bx1fr7v
    @user-ry8bx1fr7v Місяць тому +1

    Acheni kulumbana nyinyi dini haitak hvyo mbona Kila sku mitandao

  • @user-hd3pi3bc9v
    @user-hd3pi3bc9v Місяць тому

    Huyu mbogo ni bix box box tupu kweli katika dini✓

  • @ismailally3219
    @ismailally3219 Місяць тому

    mbn ck hz mumekuwa mukikosoana live kwny social media. Je hamuon kuwa kuna poin munapoteza maan mda uwo mulokuwa mukikosoana kuna mwenqn hajuw ata kdq s mulikuwa mukawafundish awo

  • @19ddr
    @19ddr Місяць тому +1

    Kweli shee

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 26 днів тому +1

    mrongo kofia ina dalili kwa quran Allah asema chukueni pambo lenu pindi munaenda msikitini
    خدوا زینتکم عند کل مسجد

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 Місяць тому +1

    Kuweka mabodigadi wa kibinadamu ni uamuzi

  • @jefwabaya2637
    @jefwabaya2637 Місяць тому

    Hii ya mashehe kuchakrizana wenyewe kwa wenyewe , kila mtu abebe msalaba wake

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw Місяць тому

    Najua Kuna watu watapinga ila huu ndio ukweli shafii na sule shafii anaelimu ya dini kuliko sule na mbongo shafii Yuko vizuli kiasi chake

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi7388 Місяць тому

    Huyu mtetea wa sule masikini hajui kitu anatia huruma

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 Місяць тому

    Jamani mashekhe wazuri sikizaneni nyiyni muhimu wacheni kufata anawakorofisha sheitani anawahusudu sheitani wacheni kulipuwana kwa kitandawo jayeni face toface mujadiliyane makosa niwapi mitandawo mwafurahisha mahasidi wakisilamu tafadhaliqacgeni kupigana kwamitandawo

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 Місяць тому

    Tusimtetee Dr Sule bali tumsuse hata kusikiliza mawaidha yake

  • @uongohaunanafasi8572
    @uongohaunanafasi8572 Місяць тому

    Kumbuka kwa mujibu wa sheria zetu za Nchi za makosa yakimtandao kumuatack mtu kwa kumtaja jina hali yakuwa uliye mshambulia haja kutaja jina ni makosa makubwa sana unaweza kwenda Jela ama kutozwa faini kubwa ili iwe funzo kwa chombo kilicho tumika na muhusika. Tunafatilia jambo hili

    • @MoBortion
      @MoBortion 26 днів тому

      Kwan huyo alotajwa hapo dunia nzima yupo peke ake tu!

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 29 днів тому

    Mpambe wa sure hajielewi anajigonga gonga tu ndivyo walivyo waovu kujigonga gonga tu acheni ushirikina

  • @emmanuelomary1725
    @emmanuelomary1725 Місяць тому +1

    MUNGU AWAPIGE HIVYO HIVYO WAPINGA KRISTO NYINYI MNAANZA KUPISHANA SASA NYINYI KWA NYINYI PUMBAAAVU

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Місяць тому

    Wahadhir nyote wapigaji tunawajua

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 Місяць тому

    Sule agongolewe misumari kwakweli

  • @user-pg4qx1sv5x
    @user-pg4qx1sv5x Місяць тому +1

    Tatizo Dr.Sule yuwaishi maisha ya juu ndo jealous zote hizo. Mnawafaidisha makafiri2

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 Місяць тому

    Mzee Sule anajua ...unaongea uongo

  • @EmilyKamoto
    @EmilyKamoto Місяць тому

    Kimeumana

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 20 днів тому

    Ao utaokumban nao Kwa sili nikina nani

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd Місяць тому

    Sheikh shaf huyu kaka yako sule na kundi lake wote ni wapuuzi tu

  • @user-bo1ew3xq6w
    @user-bo1ew3xq6w Місяць тому

    Tulikua tunaomba mashekhe musichambane na kulaaniana kubwa zaidi tuombe kila mmoja wetu awe na mwisho mwema alafu haya mambo nibora mukayakalie faragha kuliko kuchambana kwa mitandao haya mambo yanaonekana hayataisha isipo kuwa mutatufuruga sisi waumini wadogo.

    • @richardmshiu5118
      @richardmshiu5118 Місяць тому

      Timu majini na timu isio tumia majini,, nyie ni washirikina.majini ni ndugu zenuu

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 26 днів тому

    Wewe mrongio ogopa uhai unayo sasa kesho huna

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 Місяць тому

    QURAN NA MASHEKHE WAKUBWA KIPI BORA HEBU TUANGALIE KTI QURAN SURATUL JINNI ALLAH ANASEMAJE.
    AYAH YA 6 ALLAH AMETUKATAZA SISI KUTAFUTA ULINZI KWA WANAUME WA KIJINI TENA WALA HAJAZUNGUMZWA SHETANI ILA IMEZUNGUMZWA JINNI MOJA KWA MOJA
    وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا
    Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 28 днів тому

    Sule ni mganga wa miti shamba ameuacha udini mbona aongelei malaika? Mlinzi wetu ni allah

  • @abdallaabdalla998
    @abdallaabdalla998 Місяць тому

    Duh sauti ndio sna

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому

    Bora mwisho mwema tu

  • @SALUMCHALO
    @SALUMCHALO Місяць тому

    Ww shafi box. Kama kuna malaika wanakulinda pande zote inakuwaje mtu unakumbwa namatatizo namalaika wapo

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 Місяць тому

    Huu ndo uislam.

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 Місяць тому +1

    Munaangaika kuutetea kwa sababu hauwezi ukajitetea mwenyewe.uzuri wa ukristo unaambiwa kwamba hiyo njia siyo ukishupaza shingo mwenyewe anamiliki roho anamngojea siku ya mwisho.hajatwambia tupambane na mtu anayeamua kufanya anachotaka.

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 Місяць тому

    Hawa watu lakini hawajalipwa??? Mnajua qiyama inakaribia na maaadui wa waislamu ni wengi hata wanajificha kwa uislamu, Quran iliwataja. " Munafiqeen" musimuamini kila mtu eti ni muislamu.

  • @MukulasiKapela
    @MukulasiKapela Місяць тому

    Shee shafii pambana nawewe ununuwe v8

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Місяць тому +1

    Na ikija RAMADHAN mnafungaga ivi ivi na mnachukiana 😢astaghifilullah

  • @Del_busi5
    @Del_busi5 Місяць тому

    Nikisema maalim sha’afi hanaga unafki mnazani natania 😂😂😂😂

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Місяць тому

      Wew. Nae tunayajua yakwake ila tustiriane

  • @fundimorisho8230
    @fundimorisho8230 Місяць тому

    Unafiki washafi ni kumteteya ALLAH usicoki kakayangu pambana kwajili ya ALLAH wajinga wapo sikuzote

  • @ismailally3219
    @ismailally3219 Місяць тому

    maaan elim ni kina kiref so ww una uhakk gan km unavosem ni sahihi km nini mtfut uyo doctor uonqe nae ikiw wewe unaona kuwa amekosea s ndy am v

  • @edwardbenard4578
    @edwardbenard4578 Місяць тому

    Ndo ujue waislam hawataki Mambo yaajabu kwenye din

    • @edwardbenard4578
      @edwardbenard4578 Місяць тому

      Hata uwe shekh waaina gan ukiongea porojo kwenye din lazima uambiwe sio Kama wakristo kilasiku kunamitume na manabii lakin hawambiwi wanakosea

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 Місяць тому

    Acheni upumbav buana km kuna mtu kakosea si kaeni chini muelimishane ili yaishe ya nn mashekh wazima kutwa kusemana kwnye mitandao hii dini mnaipeleka wapi? waislam tunapogombana wenyew makafiri wanafurah na kuzid kupata nafas ya kutubomoa

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому

    Yaani Sule kaamua2 kuichafua dini sio kama hajui

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Місяць тому

    kiukweli majini wema inafaa kutumia vitabu vya maimamu wakubwa wana sema ivyo

    • @aljalilatiba9873
      @aljalilatiba9873 Місяць тому

      QURAN NA MASHEKHE WAKUBWA KIPI BORA HEBU TUANGALIE KTI QURAN SURATUL JINNI ALLAH ANASEMAJE.
      AYAH YA 6 ALLAH AMETUKATAZA SISI KUTAFUTA ULINZI KWA WANAUME WA KIJINI TENA WALA HAJAZUNGUMZWA SHETANI ILA IMEZUNGUMZWA JINNI MOJA KWA MOJA
      وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا
      Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi

    • @suleim505
      @suleim505 Місяць тому

      inapendezazaaidi ukatutajia kitabu ambacbo kinaeleza kuruhusu matumizi ya majini

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Місяць тому +1

    Mashekh watanzania mnatuaibisha kila siku mnachambana mitandaoni amna mnachofundisha

    • @peteramollo5329
      @peteramollo5329 Місяць тому +1

      Jamani mimi si Muislam lakini nachukizwa na huu mjadala baina ya hawa Mashekh hadharani kwenye media.
      Haya mnayofanya si mafunzo bali mnaonyeshana ubabe na kiume.
      Tafadhali sana kaeni faraga muelimishane ili mkitoka nje muwaelimishe mahamuma. Wacheni kujiaibisha mashekh.
      Jaluo kutoka Kenya

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 Місяць тому

      @@peteramollo5329
      Ndio maana mm napendaga kufatilia mawaidha ya akina shekh OTHMAN MAALM na SHEKH HAMZA MANSOUR hawaongeagi yasiyo na maana mitandaoni ila hawa akina shafi wanaitana adi mabox

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg Місяць тому

    Acha unafiki wewe shafii elimu yako ni ya unafiki tu,acha kumletea dk sure majungu yako.

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b Місяць тому +1

    Shafii umevurunda kuhusu suleimani na pete hapo elim yako imeishia hapo

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg Місяць тому +1

    sheh shafii wewe ni mnafiki tu huna lolote

  • @user-ry8bx1fr7v
    @user-ry8bx1fr7v Місяць тому +1

    sasa hayo mambo mabodigad yanatoka wapi ww shafii chuki za wazir hizo

    • @alidingongo443
      @alidingongo443 Місяць тому

      Anajibu hoja kua mpole

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      Wewe ni mshirikina na ni mfuasi wa doctor wa mchongo sule

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 Місяць тому

    Shameful

  • @EmmanuelJulius-vw2dl
    @EmmanuelJulius-vw2dl Місяць тому +2

    Wafuasi wa mwokozi wetu Yesu tunaenjoy tu kuwaona marafiki za majinn wakibishana na kutoana akil😂😂😂😂

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 Місяць тому

      Endelea kujidanganya

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 Місяць тому

      Sawa si majini nyinyi ni mashetwani kabisa ayakuusu imanuel nyinyi ndo mnayafuga mpaka kanisani kila siku pepo toka na haya toki

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 Місяць тому

      Endelea kujidanganya

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂 Hapo lazima timu tumia majini lazima ishinde maana majini ni ndugu zao wa kiimani 😅😅😅

    • @haidarsaid6800
      @haidarsaid6800 Місяць тому

      Uwo ndo uislamu hauangalii mtu yyte ataenda upande basi atapinduliwa so nyinyi mnaambiwa uoneni na papa wenu fateni😂

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 Місяць тому +1

    Shafii Muislamu yeyote anatakiwa awe muadilifu kwa kukubali makosa pale anapokosea mbona wewe unajifanya hukosei?
    Tulikuuliza swali kuhusu fatwa uliyoitoa kuhusu kadhia ya Harmonize.
    Jee! Kati ya fatwa uliyoitoa wewe na ile iliyotolewa ma BAKWATA kuhusu kadhia ya Harmonize, ni ipi fatwa sahihi?
    Tunaomba majibu.
    Mbona unakwepa kujibu hili swali?

  • @user-id1gz3ng3k
    @user-id1gz3ng3k 29 днів тому

    Sule ni kafiri akuna mwisilam na majini

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 23 дні тому

    Dkt sule nimsaniii Kwa sasa sio shekhe tena ane tembea na bodigad sio shekhe nimsanihi