MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 578

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 4 місяці тому +16

    Kiufupi nakupenda sna Muhammad bachu kwa ajili ya Allah,Allah akuzidishie elmu uzidi kuutoa Ummat muhammad kwnye Giza hata km watu wanakuchukia ila chuki zao zisikufanye ukarud nyuma katka kuuelimsha umma wa Kiislamu,Allah ndie anaejua yaliomo Moyoni mwako.

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 4 місяці тому +40

    Aise yafaa masheikh wamuunge mkono Zaid huyu bachu maan anafany kazi kubwa saaan

    • @UlamaaWaUlamaa
      @UlamaaWaUlamaa 4 місяці тому +1

      Mm namba moja nitamuuunga mkono

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n 22 години тому

      Mimi namuunga mkono baba aliye mzaa yeye Allah amrehemu shekhe Nassoro Abdallah Bachu alikuwa mwenye msimamo sana pia hakuwa na ugomvi na watu ila mwanae huyu Allah amuongoze anafanya vizuri ila ugomvi sio mzuri baba yake hakuwa ivyo nimemsikiliza sana shekhe Nassoro bachu lakini sijaona mambo ya hivi sasa

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 4 місяці тому +13

    Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
    Kwa kumrekebisha uyo aliye taka kuhalalisha ushirikina na
    Uchawi baba kirwasha

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 4 місяці тому

      Baba kirwasha ndiyo nani

    • @aswabikimaro3033
      @aswabikimaro3033 4 місяці тому +1

      ​@@Catherine-mh8swyule shekhe kwny kpnd cha wanandoa tv imani....

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 4 місяці тому

      @@aswabikimaro3033 asante

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 місяці тому

      ​@@aswabikimaro3033suluhu la yote hayo ni kujisalimisha kwa Yesu Kristo pekee. Kwa jina lake kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni BWANA (Mungu). ..wanaopinga hili ipo siku wataungama

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 4 місяці тому +1

      ​@@celestinshayo7295
      Uislam una sheria zake muhimu kusoma Quran na kuifuata,na nyie huko kanisani kumejaa mapepo kila siku yanatolewa mbona hayeshi? Majini pia kanisani yamejaa na nguvu za kiza zimejaa muhimu ni kuslimu na kusoma Quran tu na kufata sheria zote.

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 4 місяці тому +12

    Maaashaaallah sheikh mhammadi bachu Allah akuhifadhi saaan

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 4 місяці тому +18

    Ndugu yangu Abdul Abeid unafikiri kuna dhambi kubwa kuliko shirki usimlaumu bachu msikilize hata kama humkubali utapata faida hata ndogo

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 4 місяці тому +8

    MAA SHAA ALLAAH..Atakaekusikiliza hadi mwisho lazima akuelewe kwa idhni ya ALLAAH.. **ALLAAH Akujaalie mwisho mwema**

  • @UmarMasudi-so2hi
    @UmarMasudi-so2hi 3 місяці тому +1

    Allah akulipe kila la kheri sheikh wangu kwa kunitoa kwenye ujinga...uku kwetu drc watu hao ni wengi sana piya dini imedhalilishwa sana na watu hao...

  • @GoodluckPaul-wf9gn
    @GoodluckPaul-wf9gn 4 місяці тому +1

    Muhammad Bachu ALLAH azidi kukuongoza katika uadilifu na akujaalie kheri Duniani na Akhera.
    Nimejifunza mengi sana kupitia darasa zako tofauti tofauti.

  • @bomikassim4528
    @bomikassim4528 4 місяці тому +5

    Sheikh Muhammad Allah akulipe malipo mema kwa kutuelimisha katika jambo hili. Naomba nitoe ushauri. Kama itawezekana, angalia uwezekano wa kuandika kitabu kitakacho husu suala hili. Kitabu hicho kitumie lugha nyepesi pamoja na mifano iliyo hai ili Muislamu wa kawaida aweze kunufaika. Kwa uwezo wa Allah, huenda jambo hilo likatoa manufaa makubwa zaidi kwa vizazi vijavyo. Nasema hivyo kwa sababu, ikiwa hata Baba Kiruwasha anahalalisha kutumia Majinn, ujuwe kuwa hali si nzuri kwa Waislamu wengi ambao hawana ufahamu na elimu kama alivyo jaaliwa Baba Kiruwasha.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 4 місяці тому

      Baba kirwasha ndiyo nani

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 4 місяці тому +1

      ​@@Catherine-mh8swww umeangalia hiyo video kuanzia mwnzo?

    • @abuuharuni
      @abuuharuni 2 місяці тому

      ​@@Catherine-mh8swrejea mwanzo utamuona

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 місяці тому

      @@abuuharuni anha sawa ahsante. Ila nisha mgoogle nimemuona.

  • @Mfui-m5g
    @Mfui-m5g 3 місяці тому +1

    Allah atupe mwisho mwema
    Allah amuifadhi shekh nassoro bachu kwakutuachia mwalimu

  • @kimeajuma3267
    @kimeajuma3267 4 місяці тому +1

    Jazakallah khaira Sheikh Bachu, Kila jambo lina kheri Dr, sule asingesema elimu hii tusingeipata.

  • @omarhamad4757
    @omarhamad4757 4 місяці тому +3

    Mashallah Allah akujaalie her kwa kuelimisha umma

  • @AbuuAhmed-d4n
    @AbuuAhmed-d4n 4 місяці тому +2

    Allah akuhifadhi shk wetu uzidi kutuelimisha katika misingi ya dini yetu Allah akujaalie wewe na familia yako khery hapa duniani na kesho akhera

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 2 місяці тому

    MAASHAA ALLAH shukran sheik wetu kwakutuelimisha ALLAH akuhifadhi

  • @ibrahimmbaji-j2p
    @ibrahimmbaji-j2p 4 місяці тому +1

    MashaAllah shekh umefafanua vizuri na itakuwa bora zaidi ikimfikia Dr Sule

  • @ShaibMussa
    @ShaibMussa 4 місяці тому +7

    Maashaallah shekh wetu

  • @ShaibMohammed-lg5sk
    @ShaibMohammed-lg5sk 4 місяці тому

    Sh Muhammad Bachu Allah akulinde naakuondolee kibr Mashallah

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 4 місяці тому +44

    Mwalimu kabisa huyu Ana ufasaha wa kuelekeza anaongea moja kwa moja .Allah amuhifadhi aaamiin

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 4 місяці тому +5

    Allah akupe umri mrefu wenye faida

  • @AliMuhiddin-bj3dp
    @AliMuhiddin-bj3dp 3 місяці тому +1

    Allah akuzidishie kutoa Elimu kwa jamiii

  • @binhussein4411
    @binhussein4411 4 місяці тому +1

    MashaAllah Allah akuhifadhi sheikh Mohammad Bachu simba wa Tanzania na Kenya

  • @MudathilHussen
    @MudathilHussen 4 місяці тому

    Mashallah ALLAH akuhihifadhi shekh wetu tunakupenda sana uyo sule ni freemason sio shekh uyo mbwa ni shekhehena mpumbavu mkubwa uyo

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 місяці тому +12

    Mimi jamani huwa sitegemei nipate shida aina yoyote niende kwa mtu anisaidie tumtegemee allah kwa kila kitu

    • @shaniisack1153
      @shaniisack1153 4 місяці тому

      Allah amuifadhi Yuko imara Kama Baba yake

  • @abdoulrahmanahmed5802
    @abdoulrahmanahmed5802 4 місяці тому +4

    Mleberali Mashaallah Wachape Masufii

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 4 місяці тому +1

    Antes de começar deixa ti dar oseu gosto irmao Allah ti abençoe ❤❤❤

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 місяці тому +1

    Hata kwa mtu hajasoma experience tu ya maisha ......ukisha likubali jini litakupa shartiiiii itabidii utiiiiii .....wakati wakkumtiii ni Mola wetu pekeee yaa Rab tuepushe na shirk ndogo ndogo na kubwa kubwa

  • @IkraamMohamed-gf9xj
    @IkraamMohamed-gf9xj 4 місяці тому +2

    زادك الله علما وفهما يا شيخنا متعك الله بالصحة والعافية

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 4 місяці тому +1

    Wallah sheikh huko mwisho nimekuelewa vzr sana tena mno ila je kw mtu wa kisalafii ambae anafata sunna je huyo anaweza kupata jini mwema akamsaidia bila ya mafungamano yyte kw hofu ya kumuogopa mungu?

  • @aslamswalah7852
    @aslamswalah7852 4 місяці тому

    Tabaraka Allah ya sheikh Mohammed bachu.big up sana

  • @MaezeWaziri
    @MaezeWaziri 3 місяці тому

    Asalam alekum bin Bachu... Allah akulipe kheri akuhifadhi akulipe mema duniani na kesho akhera ..Allah atukubali/aturidhirie sote atupe mwisho mema

  • @bakarisalim4763
    @bakarisalim4763 4 місяці тому +1

    atleast leo umekua na busara za hali ya juu sna,alkua nakuchukia sna ila kwa hii,mashaAllah Wallah Allah akulipe inshaAllah

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 4 місяці тому +12

    Ndugu yngu bachu haraka rud Zanzibar kama bado uko kenya tunahtaj darsa zako ..... Njoo tuone uyo mtu akusumbue

  • @rashidabdulkadir7042
    @rashidabdulkadir7042 3 місяці тому

    Mashaallah Allah akubarik
    Unatupa vitu na box

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 4 місяці тому +2

    Mashallah nimepata faida kuubwa

  • @hasnakid
    @hasnakid 4 місяці тому +1

    Isitoshe tu kukwambia,,,#Tunakupenda kwa ajil ya #Allah bal ww ni kioo cha jamii unayefaa kuigwa na Masheikh wengin.
    Allah #akuhifadh na akupe umri mrefu wenye manufaa.

  • @TisaMkenda-oj5uj
    @TisaMkenda-oj5uj 4 місяці тому

    Alhamdulillah,,jazaakallahu khayra

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 місяці тому

    Allah akubariki ewebachu

  • @feisalkhalid7225
    @feisalkhalid7225 4 місяці тому

    Bachu you are on fire 🔥 big brain 🧠

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h Місяць тому

    Shekhe mimi nakudhania khayri

  • @JaydenAbdullah-rw7gd
    @JaydenAbdullah-rw7gd 3 місяці тому

    Ni meamini kweli Mohammed sws alisema kweli,aliomba Dua Kwa Allah Dua tatu mbili zikakubaliwa Ila hii Allah alikata kuwa vita baina ya waslam Kwa waslam,Dio hii Ndung'u zangu tuombeni tomba Kwa Allah Ni al Rahman rahmu

  • @hajifundi4996
    @hajifundi4996 4 місяці тому

    Jazzak Allah

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 місяці тому

    Mbaya zaidi midahalo ya Dr sule nawa. Christo .......halafu hilo ndo tusi lawa christo kwa sisi wa islam ........mumpige vita kabisa Sule onesheni ukweliii

  • @tamimshakim184
    @tamimshakim184 3 місяці тому

    Bachu anajua mashallah

  • @idrisamnyamisikhalifa4348
    @idrisamnyamisikhalifa4348 3 місяці тому

    Ustadh bachu xa mbona umekusanya vitabu vingi mno hapo😂😂

  • @SalimuHassani-xt3og
    @SalimuHassani-xt3og 4 місяці тому

    Aloooo...Atari sana mungu akubariki..Mim nimekuelewa mufti....Sheikh Massawe alitanguliza Jazba mbele sikumuelewa😅😅

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 місяці тому +1

    bachu anawabomoa tu😊,,,,ila jamani ngumu sana kumuaminisha mtu kitu ambacho hajakiamini.....we shika uliposhikilia ukiwafatisha ao unaeza kuwa mwehu

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 3 місяці тому

    Tumenufaika wengi kama ni wabishi tutawageuza ubao wa kusomea wao wabaki na misimamo yao kama wataamua kufuata matamanio ya nafsi zao. haki imekuja batil imejitenga.

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 4 місяці тому

    Mimi biafsi nimetokea sana kumkubali bachu kwa sababu ya kuwa muwazi ktka dini hamumunyi maneno huwa ananyooka tu.

  • @rashadjuma7039
    @rashadjuma7039 3 місяці тому

    Sheikh sifa nyingi

  • @xhilingiibra3571
    @xhilingiibra3571 Місяць тому

    Mashaallah

  • @RamadhaniMaarifa
    @RamadhaniMaarifa 4 місяці тому +1

    Kwanza mi naona ajabu mtu anajinadi ana majjini lakini bado yupo na mabodigadi je hayo majjini hayatoshi kumlinda ???

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 4 місяці тому

    Alhamdulillah exactly irmao até ai já percebi tudo 😂😂😂😂😂

  • @UlamaaWaUlamaa
    @UlamaaWaUlamaa 4 місяці тому

    Huyu mwamba anajuwa sana ila tunyoooshe kwa kutufundisha shekh. Ila usitoe aneno makal kama yule mty

  • @Amina-yc1nb
    @Amina-yc1nb 3 місяці тому

    Dk sule wacha kuwadanganya waislam kutumia majini sisi tunaogompa mola wetu.

  • @karimmveyange2558
    @karimmveyange2558 3 місяці тому

    HIVI HAPO KALE HAKUKUWA NA HOSPITALI ZA MUHIMBILI/ MLOGANZIRA/ MNAZI MMOJA NK. WALE MANABII NA UMMA ZAO WALIITIBIANA VIPI KWA MARADHI

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 4 місяці тому

    Mm nna jiuliza hv maana halisi ya uhsirikiana ni nn swali la kwanza swali la pili ikiwa sisi binadam tuna ajiri na kuajiriwa ktk makazi ya watu na kupata pesa yani mishahara ss je uharamu wa mtu kumtumia au kumtuma jini ktk kazi zake huo uharam ni upi??

  • @MwanaidMagasa
    @MwanaidMagasa 3 місяці тому

    Wanasababisha uislam unaonekana ni dini ya majini.

  • @KibibySaide
    @KibibySaide 3 місяці тому

    ata mimi sijuwi kusoma lakini ninajua jini awezi kumpa ntu utajiri mpaji wa utajiri ni mumungu tu

  • @ibrahimalmazruy8765
    @ibrahimalmazruy8765 4 місяці тому

    Sasa hivo vitabu hapo vyote mezani vinafanya nini maaana au kuna munakasha au mana tablet haitoshi

  • @KhamisDaud-nz3rc
    @KhamisDaud-nz3rc 4 місяці тому

    Aamiin

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 4 місяці тому

    yes❤

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 4 місяці тому

    😂😂😂Unaweka vitabu Kisha hufungui wew vip Sasa mbona una riyaa

    • @SuedyAbdallah-jt6jw
      @SuedyAbdallah-jt6jw 3 місяці тому +1

      We mbumbu Nini usichokijua hapo,we unafikiri anasoma vitabu Gani kama siyo Hilo rundo la vitabu?

    • @OmarKhamis-ky2it
      @OmarKhamis-ky2it 3 місяці тому

      Vitabu anavyosoma nd hivy hivy isipokuwa vipo soft copy tu katika laptop lengo aonesh wa2 waone

  • @Jonas-t9h
    @Jonas-t9h 4 місяці тому

    Haya bishaneni tu mi kazi yangu kuskiliza maadam mnabishana wenyewe sio mbaya

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 4 місяці тому

    Hiyi nihatari kweri tena wanasema waislam wote waenda peponi 😂😂😂😂

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 4 місяці тому

    Saf saaana piga vita ayo masheteni wafanya biashara

  • @CKMO
    @CKMO 4 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅vipanki na majini yake vipanki vilevile

  • @MohamedAfdhal-xq3jh
    @MohamedAfdhal-xq3jh 4 місяці тому

    Hili fala hata alieleweki et shekh nae,,,thibitisha hayo madhara tuyaone kenge wee unazunguks jibu huna njoo usomeshwe huna elimu ya mungu wala humjui mungu

    • @Muharram-c5n
      @Muharram-c5n 4 місяці тому

      M'mungu atajua cha kukulipa Insha'Allah

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 4 місяці тому

      Sasa unatumia lugha kali ya nini kiongozi

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 4 місяці тому +41

    Simba mkali sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi sheikh wetu sheikh msomi

    • @UlamaaWaUlamaa
      @UlamaaWaUlamaa 4 місяці тому +2

      Mwanzo nilikuwa simuelew ila kwa sasa naaaanza kumuelewa. Allah amhifadhi

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 4 місяці тому +29

    Shekhe nasoro bachu hapa katuachia mtu

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 4 місяці тому +28

    حفظك الله يا ابن باشوا وأطال عمرك في خير ورزقك الإخلاص في القول والعمل وأسأل الله برحمته الواسعة أن يجمعنا في فردوس الأعلى مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا

  • @Munatiyahilwa
    @Munatiyahilwa 4 місяці тому +14

    Wallahi yametoka machozi May Allah reward you...awaongoze na Mashekhe wetu wote.

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому +8

    Nani amegundua kua ukimsiliza muhammad bachu akiwa anaachambua kitu unataman asimaliize kuonge yani saa limojaa unaona kama katumia dakak 15 tu...

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 4 місяці тому

      Kweli broo, ila kuna sheikh anaitwa Golo haeleweki dakika 5 zake utazani ni masaa mawili 2

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

      @@KhalfanMassoud pale hamna sheikh ni mshenzi2

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 4 місяці тому

      @@Hamis-ks1sy mmmmh. Mm mwenyewe huaga nasema yule kasoma kweli au pangu pakavu. Naona haeleweki, anachosha. Golooooooo njooo uku usome comments.

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 4 місяці тому +1

      Wa kwnz mm natamani asimalize yaani kw jinsi anavowez kuchambua mambo

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 4 місяці тому +1

      Allah amzidishie elim❤

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 4 місяці тому +34

    Allah anasema " jisaidieni katika mambo yenu kwa kusubiri na kuswali hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri. Sio kutaka msaada kwa majini . Swala na subira

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po 4 місяці тому

      Sasa mie sie kuraishi... Bachu namuona WA kawaida Tu.. haswa kwenye elimu ya dini

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 місяці тому +2

      ​@@AbdulAbeldi-km4poww umefanya nn kwenye iyo elimu yko ya dini

    • @abuuaidh6500
      @abuuaidh6500 4 місяці тому

      ​@@AbdulAbeldi-km4poinawezekana Akhiy Bachu kwako hana elimu ww upo Juu Ila Jee hili analosema nikweli au sio kweli

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po 4 місяці тому

      SINA elim ya kumfikia bachu na wewe pia siiufikii sijasoma Mimi hata kidogo wabillah tawfiq

    • @abdillahsleyyum2768
      @abdillahsleyyum2768 3 місяці тому

      Wewe ni nani na jitihadi gan umefanya?​@@AbdulAbeldi-km4po

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 4 місяці тому +11

    Nimeelewa na nimefahamu vzr unavyoomaanisha, Allah akulinde akuhifadh na azid kutuongoza ktk wema InshaAllah...

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 4 місяці тому +8

    Nimekuelewa mia fil mia shehe. Nafurahia kuongozwa na Allah nikaingia kwenye dini ya haki. Kwenye ukristo hakuna mijadala,huko ni imani potofu. Allah atuzidishie ufahamu na Insha Allah umauti utupate tukiwa waislamu.

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 4 місяці тому +14

    Shekh bachu anafanya kazi kubwa ya kuelimisha

  • @barakoibrahim
    @barakoibrahim 4 місяці тому +13

    Hii shida yoooooote imeletwa na Dr. Sule. Anafaa amrudie Allah ili kumuomba msamaha....Allah atuongoze🤲

    • @UlamaaWaUlamaa
      @UlamaaWaUlamaa 4 місяці тому +1

      Nlikuwa namkubal sana sule ila alnitoka moyon baaada ya kusema kuwa huwez kwenda pepon kwa kuswal swali tu

    • @barakoibrahim
      @barakoibrahim 4 місяці тому

      Haya nami nlimkubali sanatu yaani...nlidhani utamu was ulimi waki inaambatana na moyo wake kumbe wapi!!!!!

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 4 місяці тому

      Naam swadakta, Dr. Sulke amreje Mola wake kwa toba vinginevyo ATASUJUDU MOTONI. hivyo hasara ni kubwa kwake kuliko faida.

    • @LuqmanAndrew-nu9rx
      @LuqmanAndrew-nu9rx 3 місяці тому

      Swadakta, na tatzo sio kukosea tatizo n kukosea alafu Kwa ule ukubwa/umaarufu unaozan unao unalazimisha lile ulilokosea liwe sahihi, inabid akubal makosa arud nyuma.

    • @FatmaRashid-v1z
      @FatmaRashid-v1z 15 днів тому

      Hata mm. #ukimuomba Allah muombe mwanzo mwema na mwisho mwema​@@UlamaaWaUlamaa

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 4 місяці тому +11

    Nakuelewa sheikh Muhammad Shukran

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 4 місяці тому +7

    Nimekupenda sana kama enzi za utoto wangu nilivyokuwa nampenda Marehem Baba yako Allah s.w amuhifadhi. Ahsante sana kwa kutumia hivyo vitabu kuvunja hoja yao, lakini mimi Binafsi nilishalikataa hilo na kuwa kinyume na Witch Dr. Sule mapemaaaaaaa kwa aya tu za Quran na ufahamu wa jumla lakini pia hii inaonesha wengi katika wale wanaoitwa mashekh hawaijui Dini na ni hatari sana hawa kwa Mustakbali wa Uislam na Waislam na jamii kwa ujumla maana sio tu ushirikina wao lakini pia wanasambaza mafunzo yasiyo sawasawa katika dini yetu

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 4 місяці тому

      Allah atakufufua pamoja na uwapendao❤

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 4 місяці тому

      @@saadasaleh3177 Aamin ajalie sote tufufuliwe na wema wote tuwapendao

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 4 місяці тому +6

    Bachu anakimbiza washirikina kimya kimya Docter sule na wenzake wameyakanyaga mbona moto utawaka wikihii

  • @mohammedjabir6128
    @mohammedjabir6128 4 місяці тому +8

    Huyu ndio Simba Mashallah hayumbishwi. Allah amlinde, Amzidishie elimu ma ampe umri mrefu!

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 місяці тому +11

    Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 4 місяці тому +13

    MAJINI HAYANA MAHUSIANO YENYE FAIDA KIVYOVYOTE KWA MUISLAM-JAZAKHALLAHU KHAIRAN

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 місяці тому

      Ki vp ww na majini mumeumbwa kuja duniani kufanya nn

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 місяці тому +1

      ​@@saba-gv3mjkumuabudu Allah

    • @abuuaidh6500
      @abuuaidh6500 4 місяці тому

      Kumuabudu Allah tu na Sio kushirikiana kumkufuru Allah

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 місяці тому

      Sasa kama kumuabudu Allah na majini wako wanao muabudu Allah ambao ni waisilamu kama ww na wale wanao mshirikisha Allah niwale majini wabaya na hata binadamu kunao wema na wabaya utapata binadamu anamroga mwenzake atamtua huyo huyo jini na utapa binadamu mwengine anamtibu huyo aliyerogwa kupitia quran na pia aweza mtuma jini yule mwema kuchukua madawa msituni ambapo ww binadamu ukitumwa huwezi zipata dawa zengine

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 4 місяці тому

      @@saba-gv3mj UNAJIKIA UNAVYOSEMa

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 4 місяці тому +27

    Ukiskiya back to back sasa ndohii yaani raha juu ya raha mashekh acheni kujifungiya navitabu tu vyumbani mwenu amkeni muje kuelimisha jamii,jamii inateketeya mashekh zangu .pwent yao kubwa utaskiya Nabii suleiman alitumiya majini nisawa ilakumbuka suleiman tumeambiwa tumuamini hatujaambiwa tumfuate. jaman hili ni balaaa shekh bachu Allah akubarik

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po 4 місяці тому +2

      Ndio zake huyo bachu Hana cha maana. Ukimswalia mtume kwake bidaa. Ukimpiga maulidi kwake bidaa kusoma wasilatu shafii kakwe NI bidaa sasa anataka tumfuate yeye

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 місяці тому

      @@AbdulAbeldi-km4po wapi alisema kumswaliya mtume ni bidaaa sasa ww wapi kuna dalili maulidi ni ibada, hapa tuko kwenye darsa za majini ww unakuja na maulid mbona kimekuumeni sana bachu kuisema maulidi basi ww kaa hadharani funguwa vitabu uwaambiye watu maulidi ni ibada kwadalili hii nahii nahii kama yeye bachu anavyo kuonesha kitabu andiko hadi andiko usilalamike upenuni njoo hadharani. halafu muache kurukiya mada hapa tuko na darsa za majini maulidi sisehem yake mjomba

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 4 місяці тому +1

      Kasome huko

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po 4 місяці тому +2

      Nikasome Kwa bachu ili niwe m bishi na mimi

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 місяці тому

      @@AbdulAbeldi-km4po Hata mfalme namrudha alibisha na nabii Ibrahim nahaki ikapatikana sasa ww ikiwa hautaki kubishana basi umtupu ktk dini jee utaweza kubishana na mkiristo kimaandiko ww ikiwa ww mwenyew unajiogopa

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 4 місяці тому +43

    Hii wiki na enjoy sana alhamdullilah 😂😂...jamani tuanzisheni kampeni ya kumchangia sheikh mnaonaje wadau.. toeni mawazo yenu wenye comment section hapa...ili waje na ubunifu mpya wakuboresha da'wa isongembele

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 4 місяці тому +8

      Ni kweli kabisa...Sheikh anafanya kazi ya ziada...maana ivo vitabu anavovisoma utafkiria kazaliwa navyo😂😂
      Kama tupo tayari kuchanga pesa kwa ajili yake tujuulishane... au kila mtu amtumie kwenye namba zake?

    • @saidmuhama9846
      @saidmuhama9846 4 місяці тому +5

      Naam ni jambo zuri. Liwe na utaratibu mzuri tuu.

    • @mhandokusaga4875
      @mhandokusaga4875 4 місяці тому +4

      Mi niko tayali kuchangia kwa kweli najifunza mambo mengi sana kwa shekh

    • @Issah-kh2dn
      @Issah-kh2dn 4 місяці тому +4

      Wazo Zuri, ebu lianzishwe haraka iwezekanavyo

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm 4 місяці тому +4

      Litakuwa jambo zuri anatuelimisha kuhusu dini yetu allah ambaliki muhammad bachu

  • @KingPrince1917
    @KingPrince1917 4 місяці тому +10

    Allah atusamehe kwakweli

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 4 місяці тому +5

    Mashallah leo nimependa hii Raddi ya kielimu na umeeleza kwa heshima sana...this is how it should always be...hataa kama ni kwa wale ambao hamuwafikiani nao.

  • @user412
    @user412 4 місяці тому +7

    Masha Allah! Bachu Allah amekupa ufasaha wa kuongea. Hapo nakuunga mkono

  • @shijasagali5161
    @shijasagali5161 4 місяці тому +5

    Jazakhallah khaira sheikhe Muhammad, elimu tumepata na faida kubwa tumepata, Allah akuhifadhi

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 4 місяці тому +5

    MaashaaAllah jazaakumullahu khaira nimekuelewa sheikh wangu maana ya kukuelewa

  • @abuhamissi9082
    @abuhamissi9082 4 місяці тому +5

    MashaAllah. Allah akupe umri mrefu. Uzidi kuelimisha wa limwengu.

  • @HalimaAdow-wl6sp
    @HalimaAdow-wl6sp 4 місяці тому +6

    Shukran kwa mda na maelezo bora,jazakaAllahu kher.

  • @omarussi7316
    @omarussi7316 4 місяці тому +5

    Mashaallah yaa Muhammad

  • @biangwatv.1223
    @biangwatv.1223 3 місяці тому +2

    ALLAAH AKUHIFADHI NDUGU NA KAKA YETU .... NIMESTAFIDI KUTOKANA NA WEWE NIKIWA SAFARINI HAPA NA NIMEKUSIKILIZA KWA MAKINI ..
    Maana Mzee na baba yetu Kiruwasha alitaka kuingia kwenye Hilo wimbi.
    ALLAAH AKUHIFADHI NA AKUZIDISHIE ELIMU NA WATU WAENDELEE KUFAIDIKA NA WEWE

  • @momadesuales
    @momadesuales 3 місяці тому +1

    W.salaam shaikh Muhammad Bachu ni mwepesi sana wa kufafanua mambo

  • @saidaamourali8590
    @saidaamourali8590 3 місяці тому +1

    Huyu mwamba namkubali katumia mda mdogo refrensi za kutosha na ufasaha wa kutosha. Shukranii sana

  • @MohdAli-cn2cs
    @MohdAli-cn2cs 3 місяці тому +1

    Mm nakuombea tu ujitaahidi kufikisha kwa njia nzuri na maneno mazuri kama hivi au zadi shukran akhy

  • @KhamisHaroub-uj5ci
    @KhamisHaroub-uj5ci 4 місяці тому +5

    Simba wa Allah pekeee anaeweza kuwek haki na kuondowa batil kwa uwezo wa Allah

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 місяці тому +7

    Wallah,nataman siku1 Sheikh Muhaammad na Sheikh Qassim Mafuta wakae wawili waondoe tofauti zao kwa hoja za kielimu kisha wakaungana katika kusema hakki huwa nikiwasikiliza nafaidika sana na elimu wanayotoa na Allah amewajaalia ufasaha.

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu 4 місяці тому

      Amiin

    • @ShekhKhamisi
      @ShekhKhamisi 4 місяці тому

      آمين

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому

      Amin

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому

      Wanatofautiana kijuujuu tu ktk baadhi ya vijijambo havina nafasi ktk Dini wala Da'wah, lkn kiundani na ukweli uko hivi wako pamoja na kazi yao nimoja

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

      @@OmarAlly-iz8ot Allah afanye wepes

  • @FahamuAI
    @FahamuAI 4 місяці тому +3

    Elimu hii ni pana sana shukrani sheikh kwa ufahamu huu, ninachokiona kuna mstari mwembamba sana kati ya imani na ushirikina ALLAH atuepushe na ushirikina.