MBUNGE SHIGONGO AELEZA MAKOSA ALIYOFANYA KWENYE UJANA, MARAFIKI WALIVYOMRUDISHA KWENYE UMASKINI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • MBUNGE SHIGONGO AELEZA MAKOSA ALIYOFANYA KWENYE UJANA, MARAFIKI WALIVYOMRUDISHA KWENYE UMASKINI..
    Mbunge Wa Buchosa Eric Shigongo May 14 amezungumza na wanafunzi wa chuo cha biashara (CBE) campas ya Dodoma.
    Akizungumza na wanafunzi hao Shigongo amewaeleza kuwa kama wanataka kutumiza ndoto zao wachague marafiki wema maana yeye wakati anatafuta maisha aliwai kushindwa kufikia malengo kwa sababu akuchagua marafiki bora.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 19

  • @mavumbiwawa-ws7jj
    @mavumbiwawa-ws7jj Рік тому +4

    Ninamshukuru Santa Mungu kukuumba mheshimiwa Shigongo kwani maneno Yako yamenitia moto na ninaamini kupitia maneno Yako BWANA atanifikisha Mahalia pa kuwatia moto wengine nilikuea nimekata tamaa.Mungu akupe maisha marefu zaidi

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 роки тому +1

    Asante sana, japo bungeni hawakuelewi but nondo zako zinanikomboa always

  • @user-od9cf7lp9v
    @user-od9cf7lp9v 11 місяців тому

    Eric your very bright na unaiona future na kwel indeep kutoka moyon unazungumzaa,,, nataman kufanikiwa kama ilivyo kwako na MUNGU ATUSAIDIE VIJANA NA WATANZANIA WENZANGU. UBARIKIWE SANA KIONGOZI

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 2 роки тому +1

    Safi sana Eric kwa kuelimisha vijana.

  • @shigongojulius1494
    @shigongojulius1494 Рік тому +1

    Nice brother

  • @SechySeche-hm6bd
    @SechySeche-hm6bd Місяць тому

    Our country, our home, our brothers and sisters, our Loved ones.

  • @user-kz8ds1qf7h
    @user-kz8ds1qf7h 19 днів тому

    Huyu jamaa Anatisha kama mvua Sijui kama mnanielewa, narudia huyu jamaa ametoka kwa Mungu

  • @JoyceNdunguru-lg1ug
    @JoyceNdunguru-lg1ug Місяць тому

    Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri.🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @nasmahjustine6471
    @nasmahjustine6471 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 роки тому +1

    Wewe ni mbunge sio motivation speker ,, fanya kazi yako ya ubunge jomba

  • @nasmahjustine6471
    @nasmahjustine6471 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥