Kaka Eric nakukubali sana ktk masuala haya! niliwahi kuhudhuria ofisini kwako miaka ya nyuma, nikafuata ushauri ulionipa.!! hakika nilifanikiwa saaaana!! lakini baada ya hiyo kasi yangu kuonekana live!! Eric nilipigwa! jamani Kaka nimepigwa nikapigika!! nimepigwa haswa...mwisho nilihama jiji LA Dar, Niko Nairobi, najaribu kwa kuumia sana, nione nitatokaje tena kimaisha.

January Peter Kufilisika kunatofautiana kaka MTU mwenye milioni 150 akiwa na Milioni 2 Huyo kafulisika ila hawezi kukosa kukodi gari ya laki ila hawezi kumiliki gari ya miliini 10 sasa ataigiza kwa kukodi ili aonekane kama bado yupo vizuri.Kufilisika kunatofautiana kutokana na mtaji(utajiri) uliokuwa nao na lazima mtofautiane.
Asante san kiongozi wetu kwa muongozo wako mwema kwetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
Asante san baba yetu shigongo mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
Asante san heliki shingongo kwa muongozo wako kwetu mwenyez MUNGU endelee kukuongoza vyema
So inspired shigongo.keep it up.
Uko vizuri kaka kwa hayo masomo yako,
Hebu shuka mpaka mikoani mkuu!
Nimejifunza mengi Kupitia mafundisho haya, Asante sana mungu akizidishie
uko vizur kaka napenda sana unavyofundisha!!!!
Asante sana kaka mungu Azidi kuku fungulia naukazidi kutu Elimisha Ilinasi Tufunguke maishani
Safi sana Mkubwa jitaidi ukifika Mwanza umtembelee Dave
Thanks my mentor
Mwl nimekuelewa vzr mno nachukua hatua mara ,Mungu akukumbuke
Kaka Eric nakukubali sana ktk masuala haya! niliwahi kuhudhuria ofisini kwako miaka ya nyuma, nikafuata ushauri ulionipa.!! hakika nilifanikiwa saaaana!! lakini baada ya hiyo kasi yangu kuonekana live!! Eric nilipigwa! jamani Kaka nimepigwa nikapigika!! nimepigwa haswa...mwisho nilihama jiji LA Dar, Niko Nairobi, najaribu kwa kuumia sana, nione nitatokaje tena kimaisha.
Your so good brother
Nakupenda sana kaka maana kila nikusikilizapo naona akili yangu inakua love you much brother Mungu akupe miaka mingi ili tujifunze mengi zaidi
Kaka Eric nakukubali sana ktk masuala haya! niliwahi kuhudhuria ofisini kwako miaka ya nyuma, nikafuata ushauri ulionipa.!! hakika nilifanikiwa saaaana!! lakini baada ya hiyo kasi yangu kuonekana live!! Eric nilipigwa! jamani Kaka nimepigwa nikapigika!! nimepigwa haswa...mwisho nilihama jiji LA Dar, Niko Nairobi, najaribu kwa kuumia sana, nione nitatokaje tena kimaisha.
excellent!
Thank you for the lesson....May God Bless
Asante sana
kaka nimengi nimejifunza kupitia wew pia nimefanya mambo makubwa sana kupitia wewe
Thank you brother
My coach
Eric i accept you
endelea kutufundisha mazuri sana
Thax more
Ameen
Kwakweli bora kupoteza muda kuangalia Eric kuliko page ya mange nafaidi mengi humu nakujipa moyo wakuongeza juhudi
kaka ongera Hakka umenipata,keep it on
Edison Mpangala kaz nzur
Asante sana kaka
Nakuelewa mkuu kweli inawezekana
Kaka.asilimi.85.nimefanikiwa.kpia.hamasa.zako.hasa.katka.istor.yamaisha.yako.maisha.nikama.yang.lakini.nimekuwa.nafata.sana.maneno.ubalikiwe.sana.hakika.nimebadil.maisha.yafamily.yang..
When I grow up I will to be educator in street University ,good help me (a,c,c)
Kweli baba
Kweli Adam alijificha swali la kujiuliza ni ntatokaje take responsibility
Glory to God!
Inawezekana. Asate. Kaka. Shigongo
mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
mwalimu nko pamaja nawe ila naomba utoe mifano halisi ya mtu aliye filisika mtu anaye weza kutoa laki kwa siku kukodi gari huyo bado ana uwezo
January Peter Kufilisika kunatofautiana kaka MTU mwenye milioni 150 akiwa na Milioni 2 Huyo kafulisika ila hawezi kukosa kukodi gari ya laki ila hawezi kumiliki gari ya miliini 10 sasa ataigiza kwa kukodi ili aonekane kama bado yupo vizuri.Kufilisika kunatofautiana kutokana na mtaji(utajiri) uliokuwa nao na lazima mtofautiane.
unahisi alifilisika vipi? je, kama alikuwa anatumia Million 2 kwa siku harafu mwisho wa siku aanze kutumia laki 1. mfano Mo Dewji.
HAPA LAZIMA TUTOKE TUU KAKA
Ntanyanyukaje
yes
poa
Hadithi za shigongo bwana, km za Abunuasi, nonsense tupu
Hamna ulihujumu fedha za ccm kwa kuchapisha tshirt na kofia kwa gharama ya kununulia gari
@@andrewfamilyandrew2470 si kosa lako ni uwezo wako
Shigogo nimekufatilia Toka 2019mpaka Sasa na kampuni mbili bigerup bro
Asante sana