Umenikonga sana Mh Shigongo. Navutiwa sana na watu wanaoweza kupeleka mambo ya msingi kama hayo bungeni. Watu wamekuwa rigid sana na ndio maana hatuendelei nchi hii.
Kwakweli Shigongo ni kati ya wabunge waelewa Sana, na kwaakili hii unafaa kuwa waziri. Hapo kwenye lugha ya kufundishia tulisha washauri sana , naomba Sana lisimamie hili kwa nguvu zote.
Jaribu kufikiriya wewe huyo ni pumba tupu mchango wake umeoza !!anataka kuharibu wabunge wenzie wasiyo jitambuwa hata lugha yenu munayichukia kumbe wajinga sana
Kwa ujumla inauma sana wengine wakati wa uanzilishi shule za sekonda kuyumba tulipangiwa kufyatua tofali kwa wk Mara 2 ili ukiingia kidato cha 3 na 4 usikose darasa wakat huo wazazi wenye uwezo walihamisha watoto wait wengine walobaki wakaendelea kufyatua tofali wakat huo walimu hawatosh unasoma baadhi ya masomo mengine husomi unafanya mtihani unafeli mzazi anajitahidi walao upate taaluma nakwakua mungu anakusaidia unafaulu alafu unatolewa eti huna chet cha kidato cha 4 wakati ukiajiriwa unaulizwa taaluma gani unayo inauma sana nyie mnasomesha watoto wenu shule nzur alafu mtihani tunafanya pamoja mtu anaechorewa test tube kwenye ubao hata hajaiona usawa uko api profesa dhalichako tunalia na ww kwann walao hata mngeruhusu watu wafanye kazi mwape muda warudie QT kua na huruma na familia maskini nawao wanategemez
Shigongo umenena kwa hoja. Umepiga nondo za ukweli. Be blessed though lugha ya kufundishia itachukua miaka mingi mno kufanyia maamuzi yake yenye kuwafaa watoto zetu na Taifa letu kutokana na kwamba mjadala wake hauna umoja wa kifikra kwa wahe. Wabunge wetu pamoja, wasomi wetu na michango ya Tafiti za kitaaluma juu ya Hilo. In deeply advise, English should be blessed to be used as a medium of instructions from kindergarten, primary schools to infinity just to meet the world of science and technology plus globalization.
Wanaohitaji kiswahili kitumike kufundisha la kwanza hadi chuo ni wale wanaotaka tuwe na watawaliwa wa milele kingereza kitafungua milango ya mawasiliano kati ya mtu na mtu asante shigongo
Kabisa. Form four is just a primary stage, lakini si vema kuwanyima watu fursa ikiwa wametahiniwa kwa ngazi zingine nanwakafaulu. Kama wanataka kuwapima watu wafanye interview kujua uwezo wao. Sheria zibadilike now dunia imekuwa.
Shigongo, kuna majitu Tanzania yalisoma kwa kupelekwa na sasa ndiyo yanayokuwa kwenye nafasi za juu yakijua kuwa yamekuwa ndiyo yanang'ang'ania cheti cha form 4. Shigongo uko sawa kabisa.
Mh Mbunge umechangia hoja nzuri, lakini kuhusu lugha ya kufundishia nawaomba sana mtumie busara + tafiti kwa upande wangu lugha ya kufundishia napendekeza iwe kingereza kuanzia elimu ya msingi, mpaka elimu ya juu kulingana na namna mambo mengi ulimwenguni yalivyotawaliwa na kingereza, mfano maelewano ya kuuziana bidhaa katika mataifa mengi yanafanyika kwa kiingereza, masomo katika mataifa ya nje kiingereza na vitu vingine kibao.
Sasa mbona mchina anakuja africa na anakulazimisha uongee lugha yake ili akupe kazi na hatuliongei hili, Tatizo ni msimamo, Urusi imesema usipolipa kwa hela yao hakuna gas au mafuta nukta, sasa uamue kusuka au kunyoa, Sisi africa tumeshazoea kupelekwa ndo maana unaona hoja ya kingereza ndio kipaumbele, Kinachotakiwa ni msimamo, na hakikisha uchumi wako uko vizuri, hata ukiongea kisambaa, wakija watajifunza kisambaa.
Tatizo sio ata lugha ya kufundishia ila Ni mtaala wa elimu urekebishwe umeegemea sana katika nadharia, hadithi na sio vitendo.wanafunzi waanze kujifunza fani mbali mbali tokea shule ya msingi.inawezakanaje mwalimu abezi kuna somo moja afu mwanafunzi asome tisa, matatu advance haya aliyoyaacha mwengine alikuwa anasom ya nn?.kwanin asisome kilimo,engineering, udaktar au, phamacia tokea elimu ya awali.Tukifanya hivo hatutakuwa tunasubiri chanjo toka kwa wanzungu.🏋️🏋️🏋️
You are, right tell them the truth becourse most of they kids a failing today becourse they don't know English, & the world of today everything is speed of light the should put a system Which will help our kids in the upcoming future, course most of us, Tanzanians we are, smart & not S******d we are, living in they world of speed of light ( Make the way for the children than see the results & Out-Come than revaluet than improvise ) Tanzania is my birth home & my country we want to see the leaders we have chosen to act according what they sign for & to stand for they nation & to take their responsibility ) LIFE IS NOT REMOTE CONTROL WAKE UP & LET'S CHANGE IT TOGETHER AS ONE thanks...
Lugha iwe kingereza kuanzia darasa la kwanza, wengi wetu tunajua sana ila ikifika kwenye kuwasilisha lugha gongana. Tuanze kingereza ili tupambane na wenzetu
Haina tofauti na mtu ana Diploma/Advance Diploma ya clinical Medicine.. bado akitaka Degree basi inabidi aanze upyaaaa..5years + 1year Internship!!... Hii haijakaa sawa
@@musakhalid1274 mtu ku comment haimaanishi ndio kasomea hayo mambo, halafu nikuulize hao wekundu au weusi wamezuia vifo huko mahospitalini.. wajawazito, watoto, vifo vimeisha vya kizembe?.. acha kujibu PUMBA WEWE
Nashangaa Sana watanzania tunavowachukia wazungu ila ukipita mashuleni walim masomo yote wanasomesha kwa luga hiohio yakizungu sijui hiiii nchi ipoje ifikie pahal Kama nikuwachukia hao wazungu ata kiengereza ibaki kua luga yakawaida nachaajabu Kama mtu hajui kiengereza anachekwa. Kiufup nchi hiiii mzungu hakwepeki
Sawa lakini lazima ujue kingereza ,hiyo ni lugha ya dunia nzima mzee ,kwahiyo ukiacha kujifunza sio kwamba ndio mmeendelea saaàna ,no ,pengine unajidanganya maana sikuukienda huko Marekani kiswahili haikusaidi chochote mzee
Kiingereza no lugha ya dunia sijui kwa mini watu wanataka kiswahili kitimike ...hivi mtoto asome la Kwanza mpaka chip kikuu kwa kiswahili alafu akipata nafasi kusoma nje itakuwaje? Dunia huko tunakokwenda itakuwa Kijiji kimoja kupitia digital...Sasa watoto wetu tusipokuwa Malini tukajifanya wazalendo wataachwa nyima Sana. Leo baba zao tumeachwa nyuma na wakenya na waganda sababu ya lugha tu. Ndani ya mitandao Kuna Mambo mengi Sana Sana ya maana wenzetu wanatumia sababu wanajua lugha. Sisi tumebaki na tiktok mpaka maofisini... Kiswahi tunazungumza na ndio maisha yetu libaki SoMo tu la kiswahili lakini kiingereza Liwe SoMo la kufundishia kuanzia la Kwanza mpaka chip kikuu. Ili ukiwa engineer na ukikutana na engineer wa marekani mnzungumza kitu kimojA.
Lugha ya kufundishia kwa nchi yetu kulingana na uchumi wetu iendelee kuwa kingereza.Hatuwezi kujilinganisha na China ama Urusi kwani wwnzetu wanajimudu kimaamuzi kutokana na uchumi wao. Hapa shida Ni matabaka,tunaposema iwe kingereza iwe kwa mdarasa yote kuanzia darasa la kwanza na kwa shule zote.Hii itasaidia kutoa matabaka kwani kwa Sasa binafsi wanafundishwa kingereza huku kwaingine kiswahili,wakikutana kidato Cha kwanza wote kingereza.
@@victorjustus9258 Hapa wote hamjanielewa,sijasema lugha ndio itakuza uchumi.Bali wwnzetu Wana nguvu ya kutumia lugha yao kufundishia kutokana na uchumi wao.Sisi hatuwezi kutokana na utegemezi. Mia
Huyu ndo hamnazo kabisa watoto wanasoma Mambo simple kabisa na wanashindwa kufaulu la Saba leo uanze kuwafundisha coding primary ndo tatizo la wasomi wa mchongo
Huu upuuzi wa kufikiri kwmb kubadilisha lugha kutapelekea mafanikio ktk elimu ni ndoto ya abunuasi. Tatizo c lugha tatizo ni mfumo wenu na mipango icyo na kichwa wala miguu.
@@sijalikifunyo912 Ni kweli kbsa uwezo wa kufikiri unakuwa hafifu nakubaliana na ww ukiangalia wachina uwezo wao umekuwa mkubwa sana kwa sababu wanatumia lugha yao binafsi
Kweli ila isiwe lugha Baba kwenye Nchi ambayo Kiswshi ndio lughs ya Taifa ila Sheria Nyingi Kingereza,Shuleni kingereza Huo ni utumwaa tuu tunahitaji kubadilikaa..TZ utopolo Mwingii saaanaaa
I was in China 3years ago for studying masters of MBA bt the mediam of instruction in every institutes there they uses Chinese language,and people from there show prestigious to their language...................Why Tz we don't use Kiswahili as a mediam of instruction?
Uwezi tumia kiswahili wakati huna uchumi Wala technolojia...wachina Wana kila kitu...Wana uwezo wakufanya lolote kwa lugha yao...Kuna wapumbavu wanataka dunia ituache ... Ebu ingia internet alafu ifanye kwa kiswahili uone ugumu wake
@@mbwanakiting7180 Usichokijua ni ivi haiwez kuwa rahisi kama hujazoea kufnya jambo hilo kwan wapo watu waliosevu kiswahili katk simu zao na wanatumia. Alafu usichokijua ni ivi kiswahili kinahadhi kubwa sana kuliko kichani thus why kichina iz not a international language interms of clossing the boundaries though has big number of users lakn kiswahil ni international lg bcause several countries spoken kiswahili brooooo YOU CAN'T ACHIEVE SOMETHING WITHOUT DOING SOMETHING............Let us put and use swahili into techonoligical equipments
Cha ajabu mawila ata uandishi wako no wa kiingereza zaidi. Comment ya Kwanza umeandika kiingereza kitupu Comment ya pili ulijitaidi kuandika kiswahili ukaishia kiingereza. Hakina nayedharau lugha yake ninachosema kiswahili liwepo SoMo na kiingereza kitumike kufundishia Masonic mengine. Afrika mashariki tunaelekea kuwanchi zaidi ya sita zote zinafundisha kwa kiingereza alafu sisi tunataka kukitenga na kiswahili chetu. Ata husipofundishwa utakijua tu...shida kinasaidia nini ktk mafanikio Dunia nzima inapigana kujua kiingereza sisi tunataka kukitenga..eti.. wazalendo Mafanikio yako ndani mkono wako uko tunakokwenda...Nina maana yako ktk simu yako...humu utapata elimu...interview za kazi...biashara nk Nani ataangaika na wewe mtanzania Lisa unajua kiswahili Nyie mnadanganya watu alafu mnakwenda nje kusoma..msitutie ujinga
@@mbwanakiting7180 sawa kaka hoja yako imaraa sana na nimielewa..We need such kind of people in our country like you who think beyond than what others think🙏🙏🙏
Leo nmeckia kitu muhim xana kuona kiongoz tz anazungumzia coding,, coding nimuhim xana kupewa kipaumbele kufundishwa kwan znaweza kusaidia vijana wengi kuanzisha startup zao wenyewe na kuzalisha watu km mark zuckerberg
Vyuo vyetu vinashangaza cheti cha mwisho kina maana. Haiwezekani mtu ana 1st degree halafu anataka kusoma Masters unamuambia alete cheti cha form four. Alipataje 1st degree. Tuache uzamani
Sasa watoto si hawatasoma sekondari? Itakuwaje? Mi naona hii elimu yeti ipo sawa sana wabunge wanapiga tu makofi kwani lazima kupiga makofi kama hojahaina maana?
😂😂😂😂uyu jamaaaa aende zake yaani tumehangaika vibaya sanaaaaaaaaaaa ilimradi tupate ata cheti cha form for na ndo cheti very important kwa TANZANIA 😂😂😂 hatukupi sisi so wajinga km hukutaka KUSOMA tuliaaa naona mpk utakufa nakinyongo ndugu lkn hatukupi me naona kwenye SEREKALI hiii utauziwa nchi utatoa rushwa utapewa kila kitu lkn cheti cha form for ata km mtoto warais hupewi hupewi apo tu ndo wamepatia😂🙏🇹🇿
Tatizo hujaelewa , msikilize vizuri. Ukitoka Tanzania na uende kusoma China italazimika ujifunze lugha mwaka mzima ndio uanze kusoma ulichoende kusoma. Je vp kwa huyu mtoto katoka la Saba anaenda form 1 lugha imebadilika, inakua kazi sana kwake
Wow. TuNang'ang'ania Kiswahili Kwa mantiki ya Uzalendo fake. Tukitumia Kiingereza hatuwezi kusahau Kisw. Mbona hatusahau lugha za makabila yetu,japo hazitumiki kufundishia?
Umenikonga sana Mh Shigongo. Navutiwa sana na watu wanaoweza kupeleka mambo ya msingi kama hayo bungeni. Watu wamekuwa rigid sana na ndio maana hatuendelei nchi hii.
Kwakweli Shigongo ni kati ya wabunge waelewa Sana, na kwaakili hii unafaa kuwa waziri. Hapo kwenye lugha ya kufundishia tulisha washauri sana , naomba Sana lisimamie hili kwa nguvu zote.
Jaribu kufikiriya wewe huyo ni pumba tupu mchango wake umeoza !!anataka kuharibu wabunge wenzie wasiyo jitambuwa hata lugha yenu munayichukia kumbe wajinga sana
Kwa ujumla inauma sana wengine wakati wa uanzilishi shule za sekonda kuyumba tulipangiwa kufyatua tofali kwa wk Mara 2 ili ukiingia kidato cha 3 na 4 usikose darasa wakat huo wazazi wenye uwezo walihamisha watoto wait wengine walobaki wakaendelea kufyatua tofali wakat huo walimu hawatosh unasoma baadhi ya masomo mengine husomi unafanya mtihani unafeli mzazi anajitahidi walao upate taaluma nakwakua mungu anakusaidia unafaulu alafu unatolewa eti huna chet cha kidato cha 4 wakati ukiajiriwa unaulizwa taaluma gani unayo inauma sana nyie mnasomesha watoto wenu shule nzur alafu mtihani tunafanya pamoja mtu anaechorewa test tube kwenye ubao hata hajaiona usawa uko api profesa dhalichako tunalia na ww kwann walao hata mngeruhusu watu wafanye kazi mwape muda warudie QT kua na huruma na familia maskini nawao wanategemez
Shigongo umenena kwa hoja. Umepiga nondo za ukweli. Be blessed though lugha ya kufundishia itachukua miaka mingi mno kufanyia maamuzi yake yenye kuwafaa watoto zetu na Taifa letu kutokana na kwamba mjadala wake hauna umoja wa kifikra kwa wahe. Wabunge wetu pamoja, wasomi wetu na michango ya Tafiti za kitaaluma juu ya Hilo. In deeply advise, English should be blessed to be used as a medium of instructions from kindergarten, primary schools to infinity just to meet the world of science and technology plus globalization.
Umenena sana
Wanaohitaji kiswahili kitumike kufundisha la kwanza hadi chuo ni wale wanaotaka tuwe na watawaliwa wa milele kingereza kitafungua milango ya mawasiliano kati ya mtu na mtu asante shigongo
Elimu yetu itathininiwe sana wanawarudisha Watoto nyuma Kenya wanatushinda sana wao wakija nje wanafanikiwa sana katika Sekta ya Elimu!!
That's it's bro, you are so brave and intelligent man
Big up Mr Shigongo
Safi sana Eric Shigongo.
nzuri hy Mh. Erick Shigongo
Nakukubali sasa kaka tupo wengi kaka
Kabisa. Form four is just a primary stage, lakini si vema kuwanyima watu fursa ikiwa wametahiniwa kwa ngazi zingine nanwakafaulu. Kama wanataka kuwapima watu wafanye interview kujua uwezo wao. Sheria zibadilike now dunia imekuwa.
Jaamaaaa ni nondo hoja ni nondo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥ovyo ovyo aniii
Sijawahi kusikia hoja zenye mashiko kwako kama leo.
Am going to download this
Dude spoke crystal clear point
Safi sana hawa ndio wabunge tunawahitaji
Nimeipenda hii sana
Nakuunga mkono Mh, all you spoke it's very sensitive
Iweje uruke stage ya elimu broo😅😅😅😅😅afuu unataka masters hata ukienda kuomba kazi unaulizwa cheti Cha form 4
Woow this guy is genius
Shigongo, kuna majitu Tanzania yalisoma kwa kupelekwa na sasa ndiyo yanayokuwa kwenye nafasi za juu yakijua kuwa yamekuwa ndiyo yanang'ang'ania cheti cha form 4. Shigongo uko sawa kabisa.
@Charles Musiba hata mimi namuunga asilimia 200 Bwana Shigongo👏🏾👏🏾
That is truth Bora kiingereza kuliko kiswahili
Nimemkubali shigogo
Safi sanaaa
Baba unajua
Mh Mbunge umechangia hoja nzuri, lakini kuhusu lugha ya kufundishia nawaomba sana mtumie busara + tafiti kwa upande wangu lugha ya kufundishia napendekeza iwe kingereza kuanzia elimu ya msingi, mpaka elimu ya juu kulingana na namna mambo mengi ulimwenguni yalivyotawaliwa na kingereza, mfano maelewano ya kuuziana bidhaa katika mataifa mengi yanafanyika kwa kiingereza, masomo katika mataifa ya nje kiingereza na vitu vingine kibao.
Kingereza iwe somo la Lugha ukiishaijua Lugha kwisha habar
Sasa mbona mchina anakuja africa na anakulazimisha uongee lugha yake ili akupe kazi na hatuliongei hili, Tatizo ni msimamo, Urusi imesema usipolipa kwa hela yao hakuna gas au mafuta nukta, sasa uamue kusuka au kunyoa, Sisi africa tumeshazoea kupelekwa ndo maana unaona hoja ya kingereza ndio kipaumbele, Kinachotakiwa ni msimamo, na hakikisha uchumi wako uko vizuri, hata ukiongea kisambaa, wakija watajifunza kisambaa.
Naona tukiamua kiingereza, iwe kuanzia ngazi ya awali hadi elimu ya juu. Kinyume chake ni sahihi pia.
Nimekukubali
English it's best language
GREAT MIND
Ni kweli kabisa
kachukue Masters kwenye Vyuo Vingine UDSM Hawawezi kukubali Hiyo kitu...
Unaakili sana
Innovative skills ndo kitu kila nchi iliyoendelea ilikizingatia. Serikali haipaswi kupuuza nafasi ya watu kama hawa
Tatizo sio ata lugha ya kufundishia ila Ni mtaala wa elimu urekebishwe umeegemea sana katika nadharia, hadithi na sio vitendo.wanafunzi waanze kujifunza fani mbali mbali tokea shule ya msingi.inawezakanaje mwalimu abezi kuna somo moja afu mwanafunzi asome tisa, matatu advance haya aliyoyaacha mwengine alikuwa anasom ya nn?.kwanin asisome kilimo,engineering, udaktar au, phamacia tokea elimu ya awali.Tukifanya hivo hatutakuwa tunasubiri chanjo toka kwa wanzungu.🏋️🏋️🏋️
yes yes, nondo za moto.
Kwenye lugha uko sawa kabisa
Longa baba
QT hutoboiiiiii hivyo vya chuoni simnakopiana tu coz work😂😂
Point 👏
👏👏👏👏👏
You are, right tell them the truth becourse most of they kids a failing today becourse they don't know
English, & the world of today everything is speed of light the should put a system Which will help our kids in the upcoming future, course most of us, Tanzanians we are, smart & not S******d we are, living in they world of speed of light ( Make the way for the children than see the results & Out-Come than revaluet than improvise ) Tanzania is my birth home & my country we want to see the leaders we have chosen to act according what they sign for & to stand for they nation & to take their responsibility ) LIFE IS NOT REMOTE CONTROL WAKE UP & LET'S CHANGE IT TOGETHER AS ONE thanks...
well said
Wabadili Sheria kwa ajili yako Shigongo wewe Soma QT
Waambie Mkuu😅😮😮
Lugha iwe kingereza kuanzia darasa la kwanza, wengi wetu tunajua sana ila ikifika kwenye kuwasilisha lugha gongana.
Tuanze kingereza ili tupambane na wenzetu
SHIGONGO!!
Haina tofauti na mtu ana Diploma/Advance Diploma ya clinical Medicine.. bado akitaka Degree basi inabidi aanze upyaaaa..5years + 1year Internship!!... Hii haijakaa sawa
Yan degree ya medicine usome usome miaka 3 umetoka diploma ya clinical medicine aiaee utakua mweupe sana
@@musakhalid1274 mtu ku comment haimaanishi ndio kasomea hayo mambo, halafu nikuulize hao wekundu au weusi wamezuia vifo huko mahospitalini.. wajawazito, watoto, vifo vimeisha vya kizembe?.. acha kujibu PUMBA WEWE
Tanzania wazee wa kubaniana...
Nchi la.kisenge hili
Nashangaa Sana watanzania tunavowachukia wazungu ila ukipita mashuleni walim masomo yote wanasomesha kwa luga hiohio yakizungu sijui hiiii nchi ipoje ifikie pahal Kama nikuwachukia hao wazungu ata kiengereza ibaki kua luga yakawaida nachaajabu Kama mtu hajui kiengereza anachekwa. Kiufup nchi hiiii mzungu hakwepeki
Kiingereza ni lugha ya dunia na mzungu ni nguruwe tu
@@lamlanyava6153 kwaiyo kila taifa linatumia kiengereza kufundishia au
Sawa lakini lazima ujue kingereza ,hiyo ni lugha ya dunia nzima mzee ,kwahiyo ukiacha kujifunza sio kwamba ndio mmeendelea saaàna ,no ,pengine unajidanganya maana sikuukienda huko Marekani kiswahili haikusaidi chochote mzee
Kiingereza no lugha ya dunia sijui kwa mini watu wanataka kiswahili kitimike ...hivi mtoto asome la Kwanza mpaka chip kikuu kwa kiswahili alafu akipata nafasi kusoma nje itakuwaje? Dunia huko tunakokwenda itakuwa Kijiji kimoja kupitia digital...Sasa watoto wetu tusipokuwa Malini tukajifanya wazalendo wataachwa nyima Sana.
Leo baba zao tumeachwa nyuma na wakenya na waganda sababu ya lugha tu.
Ndani ya mitandao Kuna Mambo mengi Sana Sana ya maana wenzetu wanatumia sababu wanajua lugha.
Sisi tumebaki na tiktok mpaka maofisini...
Kiswahi tunazungumza na ndio maisha yetu libaki SoMo tu la kiswahili lakini kiingereza
Liwe SoMo la kufundishia kuanzia la Kwanza mpaka chip kikuu.
Ili ukiwa engineer na ukikutana na engineer wa marekani mnzungumza kitu kimojA.
@@mbwanakiting7180 umeongea pointi
Lugha ya kufundishia kwa nchi yetu kulingana na uchumi wetu iendelee kuwa kingereza.Hatuwezi kujilinganisha na China ama Urusi kwani wwnzetu wanajimudu kimaamuzi kutokana na uchumi wao.
Hapa shida Ni matabaka,tunaposema iwe kingereza iwe kwa mdarasa yote kuanzia darasa la kwanza na kwa shule zote.Hii itasaidia kutoa matabaka kwani kwa Sasa binafsi wanafundishwa kingereza huku kwaingine kiswahili,wakikutana kidato Cha kwanza wote kingereza.
Nani aliye kudanganya kwamba kingereza ndo kitakuza uchumi wa nchi hii? Mataifa mangapi wanatumia kingereza halafu ni masikin?
Kinachokuza uchumi sio lugha, ila ubunifu wa watu wanaoishi humo
@@victorjustus9258 Hapa wote hamjanielewa,sijasema lugha ndio itakuza uchumi.Bali wwnzetu Wana nguvu ya kutumia lugha yao kufundishia kutokana na uchumi wao.Sisi hatuwezi kutokana na utegemezi.
Mia
Unaki2 Chief
Shigongo umeongea vyema lakn system inatakiwa kw watu wote sio kw ajil ya mtu mmoja. Kasome QT
Masomo kueleweka kufundisha kwa lugha ya kila siku ndio mpango mzima.
Bila cheti cha Form 4 maana yake huna uwezo kwenye very basic things! Endelea kwingine kwenye elimu wewe ni mbabaishaji tu
Kwahiyo akienda kutafuta cheti, anakua na basic?
Acha ubabaishaji
We Bado hujaelewa lugha ya mama ndo huleta wepes wa kufikiri, then lugha zingine sio English tu, hata chines hindi na zingine si vibaya kujua
Huyu ndo hamnazo kabisa watoto wanasoma Mambo simple kabisa na wanashindwa kufaulu la Saba leo uanze kuwafundisha coding primary ndo tatizo la wasomi wa mchongo
Huu upuuzi wa kufikiri kwmb kubadilisha lugha kutapelekea mafanikio ktk elimu ni ndoto ya abunuasi. Tatizo c lugha tatizo ni mfumo wenu na mipango icyo na kichwa wala miguu.
Huja dhaifu hii.
Lugha inatumika kufikiri, we mswahili huwezi fikiri kwa kingereza.
@@sijalikifunyo912 Ni kweli kbsa uwezo wa kufikiri unakuwa hafifu nakubaliana na ww ukiangalia wachina uwezo wao umekuwa mkubwa sana kwa sababu wanatumia lugha yao binafsi
Apo kwenye lugha nakuunga mkono ila kwenye Cheti nenda tu Qt 🤣hakuna msaada
👏
Pumbaaa
Kaxom ujue uchungu wa mtihan wa form four
Kiswahili libaki kama somo peke yake but kiingereza kiwe kipaumbele masomo yote kuanzia shule ya msingi
Pongezi sana kaka but English is enter national language we need it
International NOT enter national
Kweli ila isiwe lugha Baba kwenye Nchi ambayo Kiswshi ndio lughs ya Taifa ila Sheria Nyingi Kingereza,Shuleni kingereza Huo ni utumwaa tuu tunahitaji kubadilikaa..TZ utopolo Mwingii saaanaaa
😂😂@@rubenprince8990
hataa Mimi ni fundii welding , lako lasabaa zeloo niukweli twakataliwa etii hatunaa cheti Cha for
I was in China 3years ago for studying masters of MBA bt the mediam of instruction in every institutes there they uses Chinese language,and people from there show prestigious to their language...................Why Tz we don't use Kiswahili as a mediam of instruction?
Uwezi tumia kiswahili wakati huna uchumi Wala technolojia...wachina Wana kila kitu...Wana uwezo wakufanya lolote kwa lugha yao...Kuna wapumbavu wanataka dunia ituache ... Ebu ingia internet alafu ifanye kwa kiswahili uone ugumu wake
@@mbwanakiting7180 Usichokijua ni ivi haiwez kuwa rahisi kama hujazoea kufnya jambo hilo kwan wapo watu waliosevu kiswahili katk simu zao na wanatumia. Alafu usichokijua ni ivi kiswahili kinahadhi kubwa sana kuliko kichani thus why kichina iz not a international language interms of clossing the boundaries though has big number of users lakn kiswahil ni international lg bcause several countries spoken kiswahili brooooo YOU CAN'T ACHIEVE SOMETHING WITHOUT DOING SOMETHING............Let us put and use swahili into techonoligical equipments
Cha ajabu mawila ata uandishi wako no wa kiingereza zaidi.
Comment ya Kwanza umeandika kiingereza kitupu
Comment ya pili ulijitaidi kuandika kiswahili ukaishia kiingereza.
Hakina nayedharau lugha yake ninachosema kiswahili liwepo SoMo na kiingereza kitumike kufundishia Masonic mengine.
Afrika mashariki tunaelekea kuwanchi zaidi ya sita zote zinafundisha kwa kiingereza alafu sisi tunataka kukitenga na kiswahili chetu. Ata husipofundishwa utakijua tu...shida kinasaidia nini ktk mafanikio
Dunia nzima inapigana kujua kiingereza sisi tunataka kukitenga..eti.. wazalendo
Mafanikio yako ndani mkono wako uko tunakokwenda...Nina maana yako ktk simu yako...humu utapata elimu...interview za kazi...biashara nk
Nani ataangaika na wewe mtanzania Lisa unajua kiswahili
Nyie mnadanganya watu alafu mnakwenda nje kusoma..msitutie ujinga
@@mbwanakiting7180 sawa kaka hoja yako imaraa sana na nimielewa..We need such kind of people in our country like you who think beyond than what others think🙏🙏🙏
But China also uses French na English as medium of instruction
Tupo wengi tumekosa kaz kisa chet na taaluma tunazo na tumefaulu vyuo
Duuuuuu
Form four ni two years, nenda shule tu...
Lugha zote ni muhimu
Really? How did you get to university without form 4
Fundisheni lugha zote wazielewe
Kwa heshima nauliza, Kwa nini wabunge waitwao “academic dwarfs “ wanatoa michango mizuri sana kuliko hao “wasomi “?
Kwa nini?
Watakao kuja kukujibu ni hao hao wasomi wanaojifanya wanajua na kumbe ni mbumbumbuu
Sasa njia rahisi nenda Qt kaka
Leo nmeckia kitu muhim xana kuona kiongoz tz anazungumzia coding,, coding nimuhim xana kupewa kipaumbele kufundishwa kwan znaweza kusaidia vijana wengi kuanzisha startup zao wenyewe na kuzalisha watu km mark zuckerberg
Sasa kama mwenzako alisoma QT kwa nini isishindikane kwako.
Vyuo vyetu vinashangaza cheti cha mwisho kina maana. Haiwezekani mtu ana 1st degree halafu anataka kusoma Masters unamuambia alete cheti cha form four. Alipataje 1st degree. Tuache uzamani
Utanunua na kufoji vyet vyote Ila sio Cha form four lazima upite hapo hamna jins
Pointi hizi huwezi kuzipata kwa watu wengi
Si akasome tu qt jmn kwan tatizo nini jamaa
Huyu mtu hua Ana uzoefu na mengi, alishapitia mengi!!!
Sasa watoto si hawatasoma sekondari? Itakuwaje? Mi naona hii elimu yeti ipo sawa sana wabunge wanapiga tu makofi kwani lazima kupiga makofi kama hojahaina maana?
Hivi huyu naibu spika ameshindwa kumpa sekunde nne kumaliza hoja muhimu namna hii. Kweli akili ni nywele.
Katiba mpya mkiambiwa mnakataa
hakikaa niukweli nihuo
Kwenye luga ukonsawa kabisa
Hata kwenye utabibu mtu amakatazwa kuchukua bacholar kisa hakufaulu physics
Yani ukweli mtupu yafanyiwe kazi wengi wanafeli sababu ya lugha kubadilika
Hujasoma acha uzezeta!
Kasome bwana kama uataki usisome
Elimu yetu inaitaji mabadiliko
Sasa utalukaje vidato ufike degree hata hapo uchunguzwe umepewaje iyo degree
😂😂😂😂uyu jamaaaa aende zake yaani tumehangaika vibaya sanaaaaaaaaaaa ilimradi tupate ata cheti cha form for na ndo cheti very important kwa TANZANIA 😂😂😂 hatukupi sisi so wajinga km hukutaka KUSOMA tuliaaa naona mpk utakufa nakinyongo ndugu lkn hatukupi me naona kwenye SEREKALI hiii utauziwa nchi utatoa rushwa utapewa kila kitu lkn cheti cha form for ata km mtoto warais hupewi hupewi apo tu ndo wamepatia😂🙏🇹🇿
Form four NOT form for😂
Degrees are overrated in Tanzania. They are basically useless
Eleza utatuzi wa wananchi wako jimboni
Usiwe mubinafsi kaka anaongea hoja ya kitaifa sio ya kijimbo
Akili huna sa unadhan hilo atalisemea nan au hujui kaz za mbunge
Wa TZ hawapendagi English kwanini?
Shida ni lugha? Narrow thinking capacity ya aina yake hii! Fundisha hata Kisukuma uone matokeo yake sasa
Tatizo hujaelewa , msikilize vizuri. Ukitoka Tanzania na uende kusoma China italazimika ujifunze lugha mwaka mzima ndio uanze kusoma ulichoende kusoma. Je vp kwa huyu mtoto katoka la Saba anaenda form 1 lugha imebadilika, inakua kazi sana kwake
Wow.
TuNang'ang'ania Kiswahili Kwa mantiki ya Uzalendo fake. Tukitumia Kiingereza hatuwezi kusahau Kisw.
Mbona hatusahau lugha za makabila yetu,japo hazitumiki kufundishia?
ua-cam.com/video/cUMIfQQOumc/v-deo.html gusa link kusikiliza wimbo wa faraja ya pekee
Hata manara Ana degree ya kuropoka
Utanganyika
Kumbe wewe darasa lasaba ndiyomaana bwana unapiganiya tutumie kiswahili wakati watoto wakounapeleka engirsh midum jaman