⚫️

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 тра 2020
  • ⚫️#LIVE: HIZI NDIZO TABIA ZA WEWE KUFANIKIWA, SHUGHULIKA NAZO | SHIGONGO DARASA
    Ni katika kipindi cha Darasa na Mtangazaji Lucas Masungwa pamoja na Mkurugenzi wa Global Group Erick Shigongo akizungumzia namna ambavyo mtu anatakiwa Pambana ili kubadili tabia inayoweza kumkwamisha kuelekea mafanikio yake na kuwafanya watu wakuamini
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 33

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 8 днів тому +1

    Asante kwa kipindi. Nimesoma vitabu vyako, the president love my wife. Wife alikuwa Ana kifafa. Na nilivutiwa na kitabu nikampa aliyekuwa na kifafa, anakula dawa hadi leo ni mhasibu Ana watoto 3 lkn mmoja wao Ana kifafa ilishangaza Familia hadi Muda huu. Nisaidie Mh shigongo. Barikiwa.

  • @JLXNINEJNINE
    @JLXNINEJNINE 26 днів тому +2

    ❤nimefurahi kuku tana na huyu father Eric mazingila niliyo pitia yamefanana na yangu wakati utoto wangu nimejua habari ya Eric kwenye kitabu cha umasikini hadi MAFANIKIO kazi nzuri sana uandishi wa TOFAUTI

  • @user-of1bd5vg9j
    @user-of1bd5vg9j 8 днів тому

    Allah Akulipe mie niko oman

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 роки тому +4

    Shigongo nakukubali sana kaka asante sana kaka na ubarikiwe sana kaka

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +4

    Kipindi kizuri, kwakweli hata mimi nimejifunza kitu hasa hapo katika matumizi ktk vitu muhimu tu,asante sana Eric shigongo we l❤ you.

  • @NeemaNjile9
    @NeemaNjile9 12 днів тому

    Nzuri sana ubarikiwe sana

  • @NeemaNjile9
    @NeemaNjile9 12 днів тому

    Nimempenda sana Kwa madundisho yake dah amazing sana

  • @richardsaston3285
    @richardsaston3285 14 днів тому

    Amina, naanza sasa kuchukua hatua.

  • @Vitusseleman
    @Vitusseleman 16 днів тому

    Napenda mafundisho yako

  • @katondaonlinetv9900
    @katondaonlinetv9900 Рік тому +1

    Nakufatilia sana kiongozi wangu Eric Shigongo.

  • @davidkisale5215
    @davidkisale5215 9 днів тому

    Perfect said

  • @mkamikimelo9268
    @mkamikimelo9268 3 роки тому +1

    Nakuombea uzima Kaka,tuendelee kupata madini

  • @user-vq3vh4jt3z
    @user-vq3vh4jt3z 9 місяців тому

    Ahsante sana Mr.shigongo from grobal Tv

  • @mcchillo3145
    @mcchillo3145 3 роки тому

    Nakukubali sana kaka shigongo

  • @user-qu6bv7dm3c
    @user-qu6bv7dm3c 9 місяців тому

    Asante kwa Elimu nzuri

  • @JLXNINEJNINE
    @JLXNINEJNINE 26 днів тому +1

    Kuhusu tabia niliipenda tabia YANGU yakupenda kusoma wakati nipo na umri wa miaka 8 MALIFA na ujuzi niliwasumbua walezi na baba yangu

  • @user-lz4mq3qo7x
    @user-lz4mq3qo7x 25 днів тому

    Nakukubali brother

  • @habeshaqameyu8555
    @habeshaqameyu8555 4 роки тому +1

    Hongera kaka

  • @samwelaloyce54
    @samwelaloyce54 3 роки тому

    pamija san bwana shigongo nakukubali kiongozi

  • @goodluckrichard6476
    @goodluckrichard6476 2 роки тому +1

    Kweli natamani sana nipunguze asira ila inanimate shida kuacha

  • @habeshaqameyu8555
    @habeshaqameyu8555 4 роки тому +1

    Nimekuelewa xana

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t 18 днів тому

    Ubarikiwe sana kaka Shigongo

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 4 роки тому +1

    Kuanzia leo nitajitahidi nisikose kipindi chako

  • @erickpasence5837
    @erickpasence5837 2 роки тому +1

    helo..this is erick patience...... napenda masomo ya erick shigongo....its my wishes to meet you Sir

  • @JLXNINEJNINE
    @JLXNINEJNINE 26 днів тому

    Vitabu urinyo vionesha vya Eric shigongo nime vipenda TAYARI nasoma VIZURI sana

  • @PetyJonas
    @PetyJonas 26 днів тому

    Nilikuwa mlaji wa pemba ( udongi) nikawa nakula adi najichukia nimeamua kwa sku moja nikajizuia nikafunga adi sas yapata miez miwil hata nikijarb kula naisi kutapika nashukuru imenisaidia japo ni ngumu ila maamzi tu

  • @user-je9lf6ny6d
    @user-je9lf6ny6d 10 місяців тому

    Nimekupata

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 4 роки тому

    Hichi kipindi kipo kila au vp

  • @filberthendry8519
    @filberthendry8519 3 роки тому +2

    Kwel Kaka Erick n ukwel mtupu na ambaye anakufuatilia akiamua anabadilika ukwel na kupata mafanikio

  • @Vitusseleman
    @Vitusseleman 16 днів тому

    Napenda mafundisho yako

  • @Vitusseleman
    @Vitusseleman 16 днів тому

    Napenda mafundisho yako