UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO KATISHA ZAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2023
  • WAISILAMU HAWAKUDHANI KAMA NDACHA NI MCHUNGU KIASI HICHI KWA MASWALI MAJIBU NA HOJA ZENYE NGUVU MUNGU AENDELEE KUMLINDA NA KUMVUSHA KATIKA YOTE #Pastor Francis Ndacha #islamic center #Dr Sulue

КОМЕНТАРІ • 163

  • @charlesmwangi5834
    @charlesmwangi5834 6 місяців тому +15

    Ndacha umepewa uwezo huo na roho mtakatifu

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 3 місяці тому +7

    Waislmu haiwez hii mada

  • @user-yp3eo4up3l
    @user-yp3eo4up3l 3 місяці тому +7

    Tayari mchungaji ubalikiwe. Bwana yesu asifiwe.

  • @user-ct7pc9xw8e
    @user-ct7pc9xw8e 6 місяців тому +11

    Ndacha niko msumbiji jimbo la caboDelgado nakupenda,napenda na kazi mungu amekupa ubarkiwe

  • @esthersawiga9979
    @esthersawiga9979 6 місяців тому +12

    Nakuombea sana Ndacha Mungu aendelee kukupa OPOLE, HEKIMA, BUSARA NA MAARIFA na kuepuka dhihaka zinazofanywa na watu hapa duniani juu ya Mungu. AMINA🙏🙏

  • @user-nw1uk1vr2q
    @user-nw1uk1vr2q 7 місяців тому +13

    Ndaaaaaachaaaaaa amazing teacher!!!

  • @georgeobegi3687
    @georgeobegi3687 21 день тому +1

    Ndacha ubarikiwe na mungu kwa kunena neno la mungu

  • @McharoMshana-lc8zr
    @McharoMshana-lc8zr 6 місяців тому +6

    Wakirsto ndacha abarikiwe sana

  • @user-to8on2pj9x
    @user-to8on2pj9x 5 місяців тому +8

    Kwanza unahoja nzito hakuna anaewez kuvunja hoja zako nahakuna swali ambalo unashindwa kujibu

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 7 місяців тому +10

    Ubarikiwe sana Mwalimu Ndacha! Unafaa kupewa Honorary PhD ya Theology. Kitu ambacho nimejifunza hapa Mwalimu Ndacha anawaweza kwasababu anasoma pia vitabu vyao hivyo hoja zao kwa mwalimu zinakuwa nyepesi tu.

  • @TheodomileNdizeye
    @TheodomileNdizeye 6 днів тому

    Ndacha mungu akuongeze nguvu n'a elimi Pia ugongane na hao waislam

  • @under848
    @under848 7 місяців тому +9

    Thats. Why they hate him for he knows the truth ndacha tufundishe kabisa

  • @user-cf6yw1rn9i
    @user-cf6yw1rn9i 5 місяців тому +2

    Pastor Ndacha, você é melhor, Dr. sule e Mazinge e outros nunca vão t conseguir.

  • @daniellourencojaime
    @daniellourencojaime 21 день тому

    Ndasha ni kali sana🇲🇿

  • @WillyAlfred-n4t
    @WillyAlfred-n4t 10 днів тому

    Hatari saana Waislam

  • @peteremanuel8022
    @peteremanuel8022 6 місяців тому +4

    Swali rahisi sana kwa mwalimu wangu ndacha

  • @joabmogusu9708
    @joabmogusu9708 21 день тому

    Mungu aendelee kukuelimisha

  • @user-xf8ge2uk5w
    @user-xf8ge2uk5w 2 місяці тому +1

    Hongera sana past ndacha

  • @user-ky1rl8mb8s
    @user-ky1rl8mb8s 7 місяців тому +5

    Wewe ndacha nakuerewa sana

  • @barakafondo8090
    @barakafondo8090 7 місяців тому +5

    Ndacha be blessed

  • @FranklineRioba-ek8wp
    @FranklineRioba-ek8wp 5 місяців тому +1

    May God bless you ndacha

  • @masubukopita7201
    @masubukopita7201 6 місяців тому +3

    Yesu hoyeeee

  • @user-wg2ht8uo5y
    @user-wg2ht8uo5y Місяць тому

    Mdacha yesu akulinde sana

  • @FrankOsward
    @FrankOsward 2 місяці тому +1

    Siku zote mti wenye matunda ndio unao pigwa mawe,wengi wanaushamburia ukristo na Shetani ameuingilia ukristo ili kuhuaribu mungu atusaidie sana wakristo.

  • @user-wg2ht8uo5y
    @user-wg2ht8uo5y 5 місяців тому +1

    Ndacha Mungu akubatiki sana mtumishi 🙏

  • @user-ht2dl4ft6n
    @user-ht2dl4ft6n 7 місяців тому +18

    Ndacha ubarikiwe wewe nimpambanaji kabisa Mungu akubariki n'a akuzidishiye baraka na elimu bora

  • @ss-bw9ef
    @ss-bw9ef 5 місяців тому +1

    ❤ubarikiwe ndacha

  • @raphaelmuhia8985
    @raphaelmuhia8985 Місяць тому

    Ndacha pongezi🙏

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 11 днів тому

    MUNGU akubariki mutumishi ndacha

  • @dickson1820
    @dickson1820 7 місяців тому +11

    Hakuna siku muislamu atashinda mkristo aliye wa rohoni.

  • @user-wg2ht8uo5y
    @user-wg2ht8uo5y 6 місяців тому +1

    Ubarikie sana mtumishi ndacha

  • @Fedrick-jb8xb
    @Fedrick-jb8xb Місяць тому

    Mwalimu ndacha mungo akubariki

  • @salimkondo3354
    @salimkondo3354 Місяць тому

    Ndacha aiseee upo vizuri saana yani daar tukupe tuu uwe professor

  • @user-jl8cy8nc7u
    @user-jl8cy8nc7u 4 місяці тому

    Nampenda sana huu mtu wa Mungu Hakika Mungu akutie nguvu.

  • @victorgasper7563
    @victorgasper7563 6 місяців тому +5

    ukweli ushajurikana toctor sule hana elimu ya kupambana na ndacha

  • @emmyndunge6406
    @emmyndunge6406 6 місяців тому +2

    Ndacha do mwalimu wao

  • @janepherjackson9693
    @janepherjackson9693 7 місяців тому +4

    Pastor nimekupa kidole,bwana yesu asifiwe

  • @albertkatuga2434
    @albertkatuga2434 7 місяців тому +2

    Mlicho haribu ni kutuwekea mziki kwenye haya mawaidha, 😢😢😢 hatusikii vizuri tunasikia maneno na makelele

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 6 місяців тому +2

    Kubishana na watu kama hawa nisawa na kubishana na Shetani anaepingana na Mungu siku zote

  • @Fedrick-jb8xb
    @Fedrick-jb8xb Місяць тому

    Mwalim ndacha ubarikiwe

  • @user-nc3ho5zc2b
    @user-nc3ho5zc2b 4 місяці тому

    Ndacha ni mkamilifu kabisa katika neno la Mungu shetani hamuezi

  • @georgemwarogo9254
    @georgemwarogo9254 2 місяці тому

    Ndacha MUNGU Akubariki sana

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 7 місяців тому +4

    Kuruani zipo tofauti wewe!!

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 7 місяців тому +3

    Ndacha ubarikiwe,unauhakika na unaye mtumikia,huwezi babaishwa Wala kukokotwa

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 7 місяців тому

      Ndacha nishetani. Anaepoteza watu

    • @martoo539
      @martoo539 2 місяці тому

      Kumbali ukwl broo Uislam.n dini ya Mohammed fuata MUNGU ​@@abuuhassani497

  • @mwatimampagama1779
    @mwatimampagama1779 7 місяців тому +4

    Alafu mbona Awana utulivu .

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 7 днів тому

    Unayesema Qur'uan kwa kiarabh ni moja umepitwa sana na wakati. Kuna zaidi ya Qur'uan 26 tafautitafauti za kiarabu.

  • @npiperito19
    @npiperito19 7 місяців тому

    Ndacha ana jibu, bibilia inamgongano sana😮😮😮

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 17 днів тому

    Waslam ni majini

  • @BensonMasai-cd6fv
    @BensonMasai-cd6fv 5 місяців тому +2

    Pastor Ndacha ako sawa kabisa.naulliza Ndacha anashiriki kanisa gani?Please mtu anijibu

  • @user-vo3ni9so7e
    @user-vo3ni9so7e 6 місяців тому +1

    The truth is the 2 books used the 2 different calendars. One uses Julien calendar that's 25 and the other is Gregorian calender that is eastern calender .

  • @ChaburumaMkude
    @ChaburumaMkude 15 днів тому

    Uwislamu nimzigo wamavi tu

  • @fumugora7596
    @fumugora7596 7 місяців тому +2

    Alhamdullilah najivunia kuuwa Muislamu ni neema kubwa ambyo Allah amewakosesha wegne

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому +1

      Allah amewakosesha....nani mbaya

    • @JosephMauki
      @JosephMauki 7 місяців тому

      Allah sio mungu

    • @jackienico3833
      @jackienico3833 7 місяців тому

      Na wewe kelele

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 6 місяців тому

      ​@@hirammbugua7593😅😅Allah amemkoseasha nani? Kwahiyo unataka kuniambia huyo huyo Allah aliyekupa wewe ndo kakosesha wengine ..... hebu tusiongee upuuzi kumuhusu Mungu jamani ......

    • @DINIYAWAMASIHI.
      @DINIYAWAMASIHI. 6 місяців тому

      duh kwahiyo alla anaupendeleo?

  • @user-ih7gv4us4u
    @user-ih7gv4us4u 15 днів тому

    Umeulizwa tu umesoma aya gani unakuja na pressure sana

  • @user-to8on2pj9x
    @user-to8on2pj9x 5 місяців тому

    Ndacha unafichua ukweli w kuruan wakina mwaipopo tanzania waliwonea wachungaji ilala mwaipopo akikutana na wew kwa hizo hoja zako lazima akimbie

  • @user-fu3cg3gv9g
    @user-fu3cg3gv9g Місяць тому

    Ndacha kwani kanisa lako liko wapi nije kuanzia leo mi msabato tena wa zaman sio hawa wapya

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 7 місяців тому +1

    Hakuna swali wa waislamu mwalimu Ndacha anawezashindwa kujibu swali nyepesi sana. Jameni bibilia ina vitabu 66 sasa utaulizaje swali kwenye vitabu hatuvitambui kama andiko rasmi ilhali Ndacha anawasomea quaran.

    • @twahahamisi9924
      @twahahamisi9924 7 місяців тому

      Acha uongo

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Ata Mimi nashindwa, eti pastor mkorofi, ni wao wakorofi ama ni huyo pastor Tena anajiita mkorofi???😂😂😂😂

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo 7 місяців тому

      @@hirammbugua7593 😩🤣🤣 labda alikua modi ..huyo pastor mkorofi..🤣

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 7 місяців тому +3

    Wakatoliki na wakristo Ni vtu viwl tofaut

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 3 дні тому

    Sio yesu ni nabii issa kwn nyny wkristo mungu wenu anaitwa nani? Na huyu yesu ni yupi?

  • @peteremanuel8022
    @peteremanuel8022 6 місяців тому +1

    Hiyo ni dalili ya kushindwa waislam mnapokuwa mnapiga kelele

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 6 місяців тому

    Kwanza hakuna kitabu cha mungu usituongopee

  • @user-cp6my5qq3u
    @user-cp6my5qq3u 6 місяців тому +1

    Mauwa ni ya kwako ndacha unatisha.

  • @myself4128
    @myself4128 6 місяців тому +2

    Shetani anawachezea waislamu!
    wanakwambia hawaamini Biblia halafu kutwa kucha wanaisoma😂😂 na Hapo ndio wanazidi Kuvurugwa sababu wanakula faida...siku ya hukumu watajikuta wana ushahidi kama wote

  • @Linkythebox
    @Linkythebox 7 місяців тому +1

    Huyo muhuni tu

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 7 місяців тому +1

    Tatizo watunzi wa biblia ni wengi sana

  • @nestarnestar4520
    @nestarnestar4520 6 місяців тому

    Mm niwe muislam mm huyuuu, hata mganga aniroge ninavyouchukia muislam hta dawa za mganga zitaniogopa, hta majini wanishawishi siwezi kua muislam aixeee uislam ni ⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 7 місяців тому +1

    Allahu Akbar najivuniya kuwa n'a neemah ya uislam

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory 7 місяців тому +2

    Uislam ndo ulivyo yaani bila maswali ya uongo huwez jibu

  • @abuuhassani497
    @abuuhassani497 7 місяців тому +1

    Ukristo nikupoteza mudatu

  • @BarazilLwezaula
    @BarazilLwezaula 6 місяців тому +1

    Siku zote waisalim ni wavurugaji ona wanavwo piga kelele

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 6 місяців тому

    😂😂😂 utasikia Quran ni mojaaaaa

  • @gabrielkabato9909
    @gabrielkabato9909 6 місяців тому +2

    Sasa mbona jamaa anauliza kama ugomvi, hii ndio shida ya waislam wao ni vurugu tu

  • @salummbuleti6047
    @salummbuleti6047 7 місяців тому

    Ndacha Huwa Hana hojo, kitabu anacho kikataa ndicho baadae anakitumia kujenga hoja zake

    • @LovelyComputerChip-cj4wz
      @LovelyComputerChip-cj4wz 7 місяців тому

      Sasa Kitabu cha mungu kinasura ya majini mungu ana uhusiano gani na majini na shetani🤣🤣

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Eeeh wakati sulle anasoma pastor mkorofi unaiona hoja ya msingi saana Hadi unachapa takbir😂😂😂😂

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      ​@@LovelyComputerChip-cj4wzwee unasema hivo na wanafuga majini,enda mombasa uone, hata Mimi hushangaa Tena shetwani alisilimishwa na mhmd na wanajivunia hiyo😂😂😂😂

    • @user-qh9ei6qi8b
      @user-qh9ei6qi8b 6 місяців тому

      Mbona quran yenyewe chenga😂😂😂😂😂😂

  • @deepestmathematics1888
    @deepestmathematics1888 7 місяців тому +1

    Huwa nina sema siku zote. Usione watu wamekunyamazia ukazani uko salama ni vile tu hawatak kuangaika na wew. Quran yenyewe inajichanganya hiyo moja hahahaha haha Quran 2:2 zote ziko tofauti

  • @user-pl8pn7qb9e
    @user-pl8pn7qb9e 7 місяців тому +1

    ndacha hoi kujibu swali ameshindwa kati ya 15 na 25 ipi sahihi

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Sasa nyinyi mnasoma vitabu zenye wakristo hawaamini eti ni hoja ,mpaka pastor mkorofi?? Wee unaona ni pastor alijiita hivo??????mmetunga kītabu mnaandika yesu alirogwa saabu tunasoma Quran mhmd alirogwa eti ni tit for tat,jinga za mwisho,soma vitabu tunavyokumbaliana navyo,, aaaiiii 😢😢😢😢

    • @victorgasper7563
      @victorgasper7563 6 місяців тому

      ww umelewa nn mbona ueleweki

    • @user-qh9ei6qi8b
      @user-qh9ei6qi8b 6 місяців тому

      Ndacha kajibu swali kitambo,nyie mbona kuna quran zilichomwa na hiyo yenye mwatumia pia haieleweki,quran 2:2 kuna utashi kwaio quran pia ni chenga tu😂😂😂😂😂😂

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 7 місяців тому +1

    Ila hao ndugu zetu hao wavaa kobasi maarifa madogo kabisa... Mwalimu ndacha anajibu... Wao takbiiiiriii!! 😅😂 Sasa sijui takbiri ya nini sijui....

    • @callennyabonyi5580
      @callennyabonyi5580 7 місяців тому +1

      Hao waislamu ni ushabiki tu😊

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 6 місяців тому +2

      Ndo kawaida yao makelele .... hata ukiwakuta kwenye mashuhuri hadi wanaume wanakata mauno ndani ya kanzu na kucheza taarabu vidole juu ..... tuwazoee tu kiukweli wengi wao hawajaumbiwa utulivu

  • @clewis520
    @clewis520 18 днів тому


    Waizilamu waliandika Quran kutoka kwa biblia.

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 7 місяців тому +2

    Biblia takatifu haina kitabu kama makabayo...waka tobit...haya ni makala ya wakatoliki...si biblia.

  • @maxgerad5083
    @maxgerad5083 7 місяців тому

    Hakuna haka ya malumbano hebu ubilini Mungu mmoja swala huyu dini furani na anatumia kitabu furani sizani kama lina maana sana, mmtoka kwenye kutoa mafundisho yenye tija katika jamii mmbaki kutuchanganya na mmekuwa kama wana siasa kila mtu anavutia kwake mwisho tutawaona woote wababaishaji

    • @salummbuleti6047
      @salummbuleti6047 7 місяців тому

      Ndugu haya Yana msingi sana ,haiwezekani mmoja aende mashariki mwengine magharibi alafu useme wanaenda sehemu moja.

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 7 місяців тому

      Kuna maelezo yanayotubabaisha halafu hawafundishi ipasavyo ila ni mabishano tu,kwa mfano waislamu wanasema nabii issa as ndio yesu lkn wakiristo wanakataa issa na yesu ni tofauti,waislamu wanasema nabii issa amezaliwa na Mariam,wakiristo wanasema,mariamu wa kwenye biblia sie wa kwenye koran na wakitaka kuweka hoja wanatoa kwenye suratul Mariam,jee hapa tuelewe vp sisi tunaotaka kujifunza?

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Toka Kwa hii page uhubiri kikwako boss

  • @user-ou5pp9yw4k
    @user-ou5pp9yw4k 6 місяців тому +1

    Ukiwa na uhakka na unachokiamin lazma ufurah nyie

  • @albertkatuga2434
    @albertkatuga2434 7 місяців тому +1

    Uzuri tuliambiwa wao wana dini yao na sisi tuna dini yetu, ivyo uislam ume yatangulia yoteeeeee, watu hata hawajielewi yani dini moja ila vitabu kibao

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 7 місяців тому

      Samahani naomba nikuulize,mbona jina lako limekuja la kikiristo au jina ni alama tu

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 6 місяців тому

      Huna akili Kwan waislam wao wanavitabu vingap? Au unaandika tu hata hujui unachoandika

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 6 місяців тому

      😂😂😂 UISILAM UMEYATANGULIA MADINI YOTE WAKATITI QURAN IMEANDIKA HAPO MWANZO POMBE/ HAUKUWA HARAMU ALAFU MKASEMA ADAMU ALIKUWA MUISILAMU SASA KABLA YA ADAMU ALIYEKUWA MUISILAMU NA MLEVI ALIKUWA NANI ? WEWE AU?😂😂😂😂

  • @Linkythebox
    @Linkythebox 7 місяців тому +1

    Huyo kijana ndacha hajui kujibu hujajibu hilo swali mbona unazungusha tu

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому +1

      Hawezi jibu utakavyo anajibu kulingana na hoja.

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo 7 місяців тому +1

      Hasa si anajibu kutumia vitabu. 🤣🤣 ama wamngoja profesa na dokta ..wa kuuza samaki hapo buza...waje waongee..ndo utoe pamba maskioni..😩🤣

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 6 місяців тому

      😅😅Mlipoulizwa kwamba kama ulevi ulikuwa sio harama kabla ya uisilamu kama Quran ilivyoandikwa na mkasema adamu alikuwa muisilamu ..... mmeulizwa kuwa kabla ya Adamu hao walevi kabla yake walikuwa wakinanani ...... hamjajibu mpaka leo/ Mpaka mnakufa Mnajichekesha tu😂😂

  • @twahahamisi9924
    @twahahamisi9924 7 місяців тому +1

    Ukiona mhubiri anaikataa biblia ujuemada hawezi itabidi midahalo mingine muwe mnachagua vitabu kabisa tuwe tunajua madahii hamtumii agano jipya au lakale

    • @deepestmathematics1888
      @deepestmathematics1888 7 місяців тому

      Hapana wakistro wote ukiwatoa romani katoriki wanatumia yenye vitabu 66 tu hiyo ya makabayo siyo ya wakristo bali ni wakatoriki

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Sasa wewe pastor mkorofi ni biblia??? Acheni upastor mkorofi alafu mnatusomea makabayo aiseee hizo hutuzijui, tafuteni hoja Kwa 66 books bible buana😂😂😂

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 7 місяців тому

    Ndacha atakwepa ukweli mpaka?

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 6 місяців тому

      Mpaka Mungu atakapompa taji ya kutetea imani yake❤❤❤

    • @user-qh9ei6qi8b
      @user-qh9ei6qi8b 6 місяців тому

      Na wewe jibu mbona quran yenu pia kumbe chenga😂😂😂😂😂😂

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 6 місяців тому +1

    Ndacha is just a liar quran ni moja wewe unasoma tasfiri tu anawalisha tango pori wasiojua biblia zipo nyingi hakuna nabii aliepewa biblia biblia mara 78 mara 66 mara 72 ndio nini sasa

  • @user-tt3bq7no4t
    @user-tt3bq7no4t 7 місяців тому

    Ndacha Hana Uwezo Mtoto Mdogo Anajibu Pumba Tu

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 місяців тому

      Mwenye mchele ni yupi ? Ipo tofauti ya mwezi wa 12 na mwezi uitwao Desemba.

  • @alexanderhaule7667
    @alexanderhaule7667 7 місяців тому +2

    Makabayo? Ndo kitabu kipi 😂

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Ni waislamu wanajua

    • @abednegokimeu7100
      @abednegokimeu7100 7 місяців тому

      Maccabees..kwenye bibilia ya katoliki

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo 7 місяців тому +1

      Makabayo...😩🤣🤣🤣😒 Duuuh balaa ...mara pastor mkorofi..🤣

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 6 місяців тому

      Wanatumia vitabu vya kumdhihaki Mungu sijui pastor mkorofi na wanajuwa kabisa kuwa hivyo vitabu sio sahihi ..... hakika wanamkosea sana Mungu tena wanafurahi kwa hilo kifupi hawajamuheshimu Mungu bado .... wanavuka mipaka

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 7 місяців тому +2

    Ndacha Ana akili sana kuruka maswali, Ila kajibu kwa usahihi zipo bibilia katika ukristo hazitambiliki
    Qur'an Iko moja tu haina tofauti.

    • @LovelyComputerChip-cj4wz
      @LovelyComputerChip-cj4wz 7 місяців тому

      Majini pia Wana akili Sana siku ya hukumu mtakuwa nao motoni Imani moja

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 місяців тому

      @@LovelyComputerChip-cj4wz kama moto umeumbwa ajili ya wanao muabudu Mungu wa kweli basi hakuna atakaye ingia katika bustani za milele, sabab wachungaji wa wakristu wanakubali kuwa bibilia zipo ambazo hazitambuliki halaf zote ni za wakristu wakiamin ni za Mungu huoni kuwa hii sio dini ya kweli?
      Majini n VIUMBE kama wew na mm wanaabudu kama sisi Wana damu ispokua wapo walio muasi Mungu kama wew unaye jion uko kwenye dini ya kweli.
      Unapo fatilia mambo ya midahalo wacha ushabiki mbembeni kisha elewa nini kinajadiliwa halaf jitahid kuelewa hoja.

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 7 місяців тому

      ​@@ibnayub2374mkuu Biblia ni moja tu, yenye vitabu 66, hivyo vitabu vyote alivyosoma muuliza swali ni vitabu vya maelezo tu, na ndio maana bado vinakopi kwenye Biblia takatifu. Wanachokifanya hao waalimu ni kupotosha tu ili washangiliwe, lakini kama kila mtu angesema ukweli tungepata dini nzuri ya kuifuata

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      Shinda sio Quran mbili shinda ni zenye mlichapa moto.

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 7 місяців тому

      ​@@ibnayub2374majini ni roho chafu za shetani na ni malaika waliofuata shetani,hakuna jini mzuri acha kutufundisha mapya soma yaliyokuwa kabla ya quran

  • @TheodomileNdizeye
    @TheodomileNdizeye 6 днів тому

    Ndacha mungu akuongeze nguvu n'a elimi Pia ugongane na hao waislam

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 7 місяців тому +3

    Waislam hamna Mungu ndo maana mnatafuta tafuta hamna uhakika