Mwamposa NI MTUME wa kwanza kuvaa Bukta, Watu wa Kinondoni Fanyeni sana Toba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 сер 2024
  • Prof Mazinge Amuwashia Moto mwamposa "Mtume wa Kwanza Kuvaa Bukta"

КОМЕНТАРІ • 542

  • @khairiyyahsultan-vm1fk
    @khairiyyahsultan-vm1fk 4 місяці тому +11

    Ustadh mazinge Allah akujaalie kila la kher unafanya kazi nzur sana . Achana na watu wanaokukashifu kiukweli unafanya kazi nzur sanaa Allah akulipe kher❤

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      Huyo Mzee moto jehanam unamhusu,

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      Vikundi vya ukaidi,ndio picha halisi anayoongea huyu mzee,Mbona sisi wakristo tuna aman sana,hatuna chuki na wakristo,nenda Zanzibar asilimia 90 ya wanawake Wana majini,shuleni na vyuo ,wanapandisha majini kelele shule nzima

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      MDA WOTE WAKRISTO MAKAFIRI WAKRISTO HAWANA HAKI YA KUISHI ,MWISLAM NDIO ANA HAKI YA KUISHI,MMEKUA MUNGU KILA MTU AHESHIMU DINI YAKE,

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 4 місяці тому

      @@savinosalamba9174 Sawa inawezekana wakawa na majini ni kweli hayo maneno ni ya Mtume wetu Mohammad S.A.W alisema majini yanawashambulia wanawake na watoto kwa kiasi kikubwa sana kuliko wanaume hata upande wenu kwa Mwamposa wanawake wenye mapepo ni wengi sana na watoto ukilingalisha na wanaume,mapepo wa chafu kwa lugha nyingine ni majini waasi yaani masheitani,sasa point yako imerenga nini?

    • @Daidizz01chinga
      @Daidizz01chinga 16 днів тому

      Muslim respect ❤❤❤❤

  • @alimasiallyalimasially5202
    @alimasiallyalimasially5202 Місяць тому +1

    Nakkubali sana mazinge mungu akujalie mwisho mwema

  • @mwljoshuajgahuha808
    @mwljoshuajgahuha808 6 місяців тому +16

    Naaam!!!! wewe ni mtumishi wa Mungu mzurii lakini okoka leo ili ujiepushe na moto wa milele maana umejaa CHUKI, FITINA NA DHARAU lakini sisi tunakupenda Sanaa wakristo wote 💕

    • @MathiasKunnanga
      @MathiasKunnanga 5 місяців тому +1

      Lakini mimi nawaambia waombeeni wanaowaudhi

    • @user-pt6bh1jj1k
      @user-pt6bh1jj1k 3 місяці тому

      Ww tatizo ujui maana ya kuokoka nenda ukatafute kamusi utafute ni nini maana ya kuokoka maana ya kuoka ni mtu ambaye yupo kwenye moto unamunguza ndio anatoa neno hilo kwamba nitoeni nimeokoka na moto yaan nitoeni naumia lkn wakriato wanaona kuoka ndio kupona akili zenu bure sana

    • @alimasiallyalimasially5202
      @alimasiallyalimasially5202 Місяць тому

      Acha usenge ww ukirsto ni dini?

    • @mussasebatiano4787
      @mussasebatiano4787 Місяць тому

      Umerogwa au umetumwa sikuhizi mnapenda uongo mkiambiwa ukweri munaanza visa yani rugha ambao imekutoka sio nzuri

    • @Daidizz01chinga
      @Daidizz01chinga 16 днів тому

      😂😂😂😂😂 mazinge iyo baba

  • @daudifesto5592
    @daudifesto5592 7 місяців тому +6

    Hubiri habari za Mungu... Watu waache maovu watende mema....

  • @NASRAKHALFAN
    @NASRAKHALFAN 6 місяців тому +3

    inashangaza sana kukashifu dini zawenzao ivinabi anajua atauona ufalume wamungu dinizote kwasasa zinatuacha njiapanda walimwengu tusimame wenyewe kukuomba mungu hizi niskuzamwisho tuwemakini sana

  • @HusseinMwazani-ct9qk
    @HusseinMwazani-ct9qk 3 місяці тому

    Wonderfully, mazinge.mungu akuzidishie maisha na akuĺipe mema dunia na akhera .

  • @olivyechambikwa425
    @olivyechambikwa425 4 місяці тому +1

    Nyinyi mnamtukanashehe nyinyi washenzi acheni ujinga shehe mazinge hongerasana wambie makafiri wazidi kuumwa presha haowajinga

  • @husseinfaringo3068
    @husseinfaringo3068 Місяць тому

    Allah akufanyie wepesi Kwa kila Jambo lako ostadh mazinge

  • @user-vy8jt2pd2e
    @user-vy8jt2pd2e 5 місяців тому +1

    Mazinge mungu anakuona achahivo

  • @user-io8hn1jb4d
    @user-io8hn1jb4d 4 місяці тому +1

    Mungu hamjaribu hasiye wake

  • @davidmaisely7487
    @davidmaisely7487 6 місяців тому +1

    Bwana akurehemu sheikh wetu

  • @user-rs8qg4ch8l
    @user-rs8qg4ch8l 5 місяців тому +1

    Mungu akuongoze❤❤❤❤

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 7 місяців тому +8

    FANYA DHARAU,KEJELI,ONA WIVU MAENDELEO YA WATU,MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @leonarmkaka
    @leonarmkaka 4 місяці тому

    Tuache kuingiria kazi ya Mungu wakuhukumu ni mungu pekeyake tufanye yakwetu mwenyezimungu atujalie mwisho mwema hakuna binadamu aliyekamilika

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 4 місяці тому

    mazinge we Wachane achana na wanao kukashifuu na tunakuombea Kwa allha akupe maisha marefu ili uendelee kutoka dawa

  • @nasramohamed6973
    @nasramohamed6973 4 місяці тому

    Sema professor 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dorcusnsajigwa7499
    @dorcusnsajigwa7499 4 місяці тому

    Nampenda San mwamposa n nitaendelea kumuamin kwa maombi yake amen 🙏

  • @user-kd4qr9wm2k
    @user-kd4qr9wm2k 6 місяців тому

    We mzee Mungu anakuona.fitina 2

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 місяців тому

    Amna kazi ninyi. Bora mngetafuta kazi ya kufanya..

  • @fikirimachela4778
    @fikirimachela4778 5 місяців тому +5

    Allah akulinde inshaallah

  • @AidaMosha-nl6ix
    @AidaMosha-nl6ix 6 місяців тому +2

    Waambie watu habari za ufalmme Mungu watakuelewa habari za Mwamposa ziache

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому

      Ahaaaaa au sio kumbe inawagusa nyie mnaojiita mitume hv ata we ndgu yangu unakuwa tunakuona unahtaj uje uwe na mtume kama huyu mnyakyusa mwenzako au unahtaj uje uwasameh wazazi wako dhambi zao

  • @GerardMarco
    @GerardMarco 7 місяців тому +7

    Mazinge mpokee yesu acha ukafili

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 7 місяців тому +1

      Uyo ndo profesa.hakika usilam ni dini ya haki.siyo makafiri

    • @user-yn4di1lj7f
      @user-yn4di1lj7f 5 місяців тому

      Wee ujuw ila kunasiku utajuwa atakama ushakufa

  • @iwenikigodi5419
    @iwenikigodi5419 7 місяців тому +3

    Tena we unaejifanya mtu mwema sana ndio mchawi mkubwa mbwa wewe fanya maisha yako wew wivu utakuua

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 6 місяців тому

      Mungu Akusameh makosa Yko,Mnyama Kumfananshia Mwanadam,Allah atamlnda Shekhe Wet2 Maznge,Allahu Akbar,Mnaambuwa Kwel Mnaumia

  • @PauloLwena-ec2vi
    @PauloLwena-ec2vi 4 місяці тому

    Yani kweriii safiii sana wachungaji wamchongo

  • @alexkatana5037
    @alexkatana5037 3 місяці тому

    Ujumbe mzito sana.

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 5 місяців тому +1

    Kiukweli watu wengi sana wanahubiri kwa masilah yao wenyewe ila shehe nataman sana umihubiri Yesu kristo ndio Mfalme wa wafalme hakuna na wala hata kuwepo wakimzidi yeye kwa mamlaka aliye pewa na Mungu karibu sana umpokee Yesu akae ndani yako

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому

      We nd hujui ata dunia inaendaj hvi nabii issa anaweza akawa mfalume wa ulimwengu wte zaid Allah?

  • @joshuayounam
    @joshuayounam 7 місяців тому +10

    Kumsema mtuuu alafu ye akujibu kama unajibiza. Najiwe vile inamaana kakupuuza

  • @gracepaul4071
    @gracepaul4071 4 місяці тому

    Mungu ni mwema

  • @nehemiamwasile8696
    @nehemiamwasile8696 5 місяців тому +1

    Acha kuhukumu watu fanya kazi uliyo tumwa na mungu hiyo Kaz ya kuhukumu siyo Kazi Yako ni KAZI ya mungu ,kemea watu waache maovu kama huwa uwezo waachie wenye uwezo

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 3 місяці тому

    Pesa zina nguvu sana

  • @user-us1kr7lc5n
    @user-us1kr7lc5n 6 місяців тому

    Uwo niwiv mungu amemubalik

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 7 місяців тому

    Ustaze Mazinge Mungu Akubariki Masha Allah 🤗🤗

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 4 місяці тому

    Mimi ni mkristo Ila huyu comedian nampenda sana

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 5 місяців тому +1

    Bado wengi hamjui maana ya nabii nabii ni mtu yeyote anaye peleka ujumbe wa Mungu kokote wa kuhubiri habari ya toba na juu yakurud kwa Mara ya pili Bwana Yesu kristo

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 7 місяців тому +1

    Hakuna cha Mtume wala nabii kwa sasa hivi ni vyeo mwenyezi Mungu aliwapa waja wake kwa kazi maalumu.
    Acheni kujiita Nabi wala Mtume labda kama mtume wa kutumwa na shetani

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      Endeleeni ugaidi duniani na kuua watu,kulipua maeneo ya mikusanyiko ya watu,na kudharau wakristo,MUNGU WENU HUYO ATAWAPELEKA MOTONI MOJA KWA MOJA

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      Jihad jihad,motoni Moja kwa moja

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 4 місяці тому

    usimseme mtumishi mwezio na kuwashawishi watu tofauti

  • @MariamShagata
    @MariamShagata 4 місяці тому

    Hakika 🙏🏾 allah atupe mwisho mwema 🤲

  • @user-oy4ve4xp4u
    @user-oy4ve4xp4u 5 місяців тому

    Mungu ni mmoja acha zarau,, kuzarau imani za wengine

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому

      We huna iman yeyot we ungekuwa na iman usingekubali kudanganywa na mwamposa hv hjiulzi toka umezaliwa mpak unafika umri huo ulishawah kuskia au kumuona mtume katika taifa lako na tz? Mitume wte waliishi uarabuni huyu mtume huyu mtume anayeish tz tena mnyakyusa katokea wapi? Ukinijibu hilo swali kw ufasah nitaamin unaiman na huko ulipo walokpoteza

  • @user-xw5pb9md2m
    @user-xw5pb9md2m 4 місяці тому

    Dhahir shekhe

  • @michaelmbeti5040
    @michaelmbeti5040 5 місяців тому +1

    Shehe masikini sana wewe rohombaya unalana unachuki na wakristo Anza nawewe na huna roho mungu

    • @salehsuleiman1218
      @salehsuleiman1218 5 місяців тому

      Hawachukii ila nyinyi ndio mnamchukia yeye kutokan na ukwel anaowaambia

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому

      Si kanakwmba mazinge anachukia apan wakristo apan bali anaeapenda nd maan anawapigania ili ata nyie muingie kweny dini ya haki na dini ya kweli

  • @barakasimonmarandu
    @barakasimonmarandu 2 місяці тому

    she mungu akusamehe mana huwo ni usengenyejaji shee na chuki

  • @JustineKashililika-tc8sx
    @JustineKashililika-tc8sx 7 місяців тому

    Yesu akuponye mazinge

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 6 місяців тому +6

    Nampenda mtumishi mwamposa na nitaenderea kumpenda kwa muumini wake

    • @hancekarma1623
      @hancekarma1623 4 місяці тому

      badilika ndugu yangu tuliza akili Yako Ili umjue m/mungu

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 3 місяці тому

      tuliza akili utamjua mungu wa kweli.mungu ni mmoja tu jamaniiiiiiiiiiiiiii

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 8 місяців тому +5

    DAH imewatach sana iyo

  • @feliciankimario2747
    @feliciankimario2747 5 місяців тому

    Mazinge n tapeli

  • @KHALIDAKIDA-vh4ru
    @KHALIDAKIDA-vh4ru 6 місяців тому +3

    Mwanadamu mwenzio anakwambia yesu mungu ,hivi akili huna maarifa pia ,unakubali ,mungu ulimuona wapi ,yesu kaonekana yesu ni mtume wa mungu c mungu

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 5 місяців тому

    Kuhusu mwamposa bado hamjasema mtasena sana alfu acheni uongo udogo hauuzwi hata siku moja

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 7 місяців тому +6

    Una mawaidha mazuri ila sio vizuri kuponda dini za watu

  • @bibielroybibielroy8710
    @bibielroybibielroy8710 7 місяців тому +2

    Toa mawaidha ya kuacha mabaya na kufuata mema achana na maisha ya watu na kutaja majina ya watu na cashfa

  • @user-hz1cz6lm9b
    @user-hz1cz6lm9b 6 місяців тому

    Mazinge na ndio maama Wakrto hawakupendi kwakuwaunasema kweli kwakuwana wewe ulitokea kwenye ukristo unayajuwa mengi Yao nanakuombea Duwa Waslaam wote Duniani uishii Maisha malefu sana

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 7 місяців тому +5

    Hizo kejeri zako subiri moto mungu atakavyokuchooma

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 7 місяців тому

      Sasa nawewe kweli kwaakili zako kuna mtume mnyakyusa

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 7 місяців тому

      @@faridfrefre35 simkafatilie vyadini yenu ya kislamu? Kila siku nikuwafatilia wakristo.mlishaona mkirsto anamfatilia muislamu? Alafu mashehe wengi ndio waganga wakienyeji Ila hakuna mkiristo anausemea uganga wa masheshe kwakua kila mtu anadini yake nakila mwanadamu atakufa nakuhukumiwa. Namungu kwamungu hatuendi nadini tunaenda. Na roho tu.

    • @AnthonyVitalis-iy5su
      @AnthonyVitalis-iy5su 5 місяців тому

      Mimi ni mkirsto Hila kwa Sasa hivi akuna nabii ni wapigaji tu

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому

      Duh unaongea kama vle karb na Allah mnaambiwa ukwel hamtaki kuelewa hakuna mtume mtamzani tena mnyakyusa

  • @user-mg2fb1to9j
    @user-mg2fb1to9j 5 місяців тому

    Unauniri au unagobana. Ubiri a watu neno la mungu acha uduanzi

  • @noelimafwele602
    @noelimafwele602 7 місяців тому +1

    wivu mbaya sanaaaa

  • @imachembele7043
    @imachembele7043 2 місяці тому

    Comedian huyu daa ana chekeshaa sanaaa ndaro 😂😂😂😂

  • @user-ir4jc5tb2l
    @user-ir4jc5tb2l 4 місяці тому

    Wewe unaesema ostadhi kaongea uwongo sema wewe hauna unaro lijua muombe mungu sana akupe ufahamu

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      Ostadhi wenu,umaskini,roho mbaya,life ngumu,watoto 15,lazima awe na roho mbaya,

  • @GILBERTMUSIBA
    @GILBERTMUSIBA 4 місяці тому

    Hacha wivu Fanya mambo yako tangaza Imani yako

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 6 місяців тому +1

    Hayo ndiyo mawaidha toka msikitini au vijembe

  • @richimuniko3578
    @richimuniko3578 4 місяці тому

    Mazige acha unsfiki Mtume Mwamposa hauzi udogo Wewe ni poropagada tu.

  • @mikerutto8164
    @mikerutto8164 7 місяців тому +5

    You're just a comedian. Wewe ni muigizaji tu

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi 4 місяці тому +1

    Tatz Lako umezaliwa kuwasem wakristo na huwezi kubadili chcht kw wakrsto

  • @mottoTv1
    @mottoTv1 7 місяців тому +7

    Mtume wenu Muhammad kawapoteza sana mungu awasaidie muijue kweli ya kristo

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 7 місяців тому

      Mathayo 19:23-24 BHN
      Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu
      Hii ni bibilia ndio imesema Ivo sisi tunanukuu tu

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 7 місяців тому +1

      Angalia mathayo iyo kwanza Kisha ndio useme mtume muhammad

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 7 місяців тому

      .

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 7 місяців тому

      Mathayo 19:23-24 BHN
      Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 7 місяців тому

      barikiwa sana mpendwa umenena vyema kbs Mungu azidi kukulinda,wenzetu awa wamepotezwa kitambo kazi wamebakiza ni kelele mtupu!

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 4 місяці тому

    Sisi sote hatujui lolote Mungu atusamehe tu maana hakuna tujualo sisi ni wadhambi tu sisi sote hakuna mtakatifu ata Yesu alikataa kuitwa Mwema tulikumbuke Hilo Mimi ni Nabii wenu Nabii Coco

  • @yassinisuleimani
    @yassinisuleimani 6 місяців тому +1

    Hapa umekoseaa ndugu

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 6 місяців тому

    Kwani kuna watu kila siku wanasema dini za watu wengine wao hawana dini au sio nzuri

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 6 місяців тому +2

    Shekhe mazinge sikujui hunijui lakini kuhusu mtume mwamposa ule sio mkono wa mwanadamu ni mkono wa Mungu ♥ kibaya zaidi wanao Amini na kuponywa na kufunguliwa na wanawake wanopokea ujauzito wengi wao ni waslam zaidi ya 75% wanao swali kwa mwamposa ni waslam ,kwahiyo Shekhe mazinge acha Mungu aitwe Mungu.,wachawi waganga nk nk wanarudisha na kuacha uchawi .Acha kubeza Shekhe

  • @user-kn8wc7oc7e
    @user-kn8wc7oc7e 5 місяців тому +1

    Allahumma amin

  • @user-jk6we5qu2x
    @user-jk6we5qu2x 4 місяці тому

    Waslam mmezid majungu

  • @emanuelmaya4667
    @emanuelmaya4667 7 місяців тому +7

    HUYU SHEKHE HANA AKILI HAJUI ANACHOKIONGEA AMEKOSA MANENO HUYOO, MTU AKIKOSA CHA KUSEMA NI KAWAIDA KUSEMA WATU.

    • @HamzaMiraji-oe9cv
      @HamzaMiraji-oe9cv 7 місяців тому

      Wee unazoo?

    • @user-iq9dt6lc7l
      @user-iq9dt6lc7l 6 місяців тому

      Ww akilihuna atahaufikirii nn anachomaanisha

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 4 місяці тому

      Kweli Hana akili hotuba zake nyingi ,kudharau wakristo,anatuita makafiri

  • @HezromSwai-bt7ez
    @HezromSwai-bt7ez 7 місяців тому +1

    Pole sana ,chukii tuu zinakuendesha

    • @MBAmir-bl9sd
      @MBAmir-bl9sd 5 місяців тому

      Hii video haikuhusu wewe

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 4 місяці тому

    we unatamaa sana

  • @mudidachi8616
    @mudidachi8616 4 місяці тому

    😂😂😂 jazaqallah khair

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 7 місяців тому +4

    mnapenda kuwahukum binadam wenzenu mtadhani nyie ni wakamilifu sana

  • @user-mg2fb1to9j
    @user-mg2fb1to9j 5 місяців тому

    Wewe naye mmoja wapo

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 5 місяців тому

    Wivu wako juu ya ukristo ni mkubwa sana,na hapo ndiyo unajua kabisa ukristo ndiyo njia ya kweli na uzima

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 7 місяців тому +1

    Mtume wa mungu amechaguliwa na mungu kwa sasa hakuna mtume labda katumwa shetani

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 5 місяців тому

      Hata mhammad hakuwa mtume wa Mungu alijitangaza tu kuwa mtume kama alivyo jitangaza mwamposa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 6 місяців тому

    Kweri kabisa wakristo
    Wanamtania sana #nabii issa
    Hila watapata zambi sana

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 7 місяців тому +7

    Hebu kila mtu azungumzie kile chake tuachane na mambo ya wengine

  • @donaldelias2267
    @donaldelias2267 7 місяців тому +5

    Uyu mzee Hua anawivu wa kijingajingaaaa

    • @NasraMudy-ik1vj
      @NasraMudy-ik1vj 7 місяців тому +1

      Kwer sanaaaa

    • @donaldelias2267
      @donaldelias2267 7 місяців тому

      @@NasraMudy-ik1vj yaan mpaka anaacha kutoa mawaidha anabaki kuwasema watu.na Mungu hapendi wasengenyaji

  • @user-di8qj5tp4n
    @user-di8qj5tp4n 4 місяці тому

    Eti yesu kakanyaga udongu nasi tuununue kauze na wew

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 7 місяців тому +7

    Waislam MTACHELEWA SANAAAA TENA SIO KIDOGO kwanza kaa ukijua pepo yenu na yetu ni tofauti kabisa na mungu wenu na wetu ni tofauti pia .polen sana

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому +2

      Unaweza kuona mtu mzima kama huyu mzee mzima kama huyu mrefu mnene lkn anaongea mambo ya kipumbavu ya umbea kutukana imani za watu wengine za kikiristo kila siku kila siku asimamapo misikitini ndo ujue kuna wazee wa hovyo sana tanzania. Mazinge ni mzee wa hovyo sana na anawivu wa kimaendeleo kuona viongozi wa dini ya kikiristo tena wenye umli mdogo wamempita maendeleo ya kidunia na ahela. maana yeye na waislamu wote wanajua dini yao ya uislamu ni watu wa motoni na waKiristo ni watu kwenda kwenye uzima wa milele. Kwaiyo ana tapatapa mzee wawatu anajuta kwanini alizaliwa kwenye uislamu dini ya shetwani ndomana kila siku anawaonea wivu wakiristo anajua wakiristo ndio watakao kwenda kulithi uzima wa milele

    • @mahdisaid9764
      @mahdisaid9764 7 місяців тому

      Astakafilullah hujielew ww mungu ni mmoja Allah na unadiliki kuiita dini yetu dini ya shetan hakika umepotoka pia nyinyi ndo hamjielew mnapelekwa pelekwa tuu

    • @HamzaMiraji-oe9cv
      @HamzaMiraji-oe9cv 7 місяців тому

      😊

    • @NasraMudy-ik1vj
      @NasraMudy-ik1vj 7 місяців тому

      Waislam hawajielew kabsaa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому +1

      @@NasraMudy-ik1vj kweli dada hawa waislamu wana laana ya Mungu. kitendo cha kumkataa mwokozi wa ulimwengu Yesu kristo na kumfuata mhammad wamesha laaniwa na Mungu moja kwa moja na moto wa jehannam una wangoja

  • @user-jr2xl8yc6y
    @user-jr2xl8yc6y 4 місяці тому

    Jamani kweli kaburini hakuna amani

  • @user-ij7yh6gr6h
    @user-ij7yh6gr6h 6 місяців тому +2

    Ukiona unamwongelea mwezio sana jua kuna kitu kakuzid

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому

      Ni kwel mwamposa kamzid mazinge uongo tyu hicho nd alichomzid kw7b anawadanya san lakn nyie hamtaki kuambiwa ukwel

  • @saumuyusufu
    @saumuyusufu 5 місяців тому

    Jamani, jamani

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 4 місяці тому

    Yesu ni njia sahihi uwezi kumpangia MUNGU maamuzi yake fundisha hizo Hadith zako

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 5 місяців тому +1

    We mzee achakujihesabia haki hata we Ni mkosefu

  • @SebastianJugle-lb7ob
    @SebastianJugle-lb7ob 7 місяців тому +1

    Mazinge ni shoga

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k 7 місяців тому +1

    Waambie mazinge

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 7 місяців тому +17

    LAKINI brother,unachuki sana na wakristo, MUNGU anakuona,

  • @JoshuaDavid-gl7hv
    @JoshuaDavid-gl7hv 4 місяці тому

    We shehe soma ISAYA 47:10-15 then uokoke, uijue kweli na umpokee BWANA YESU uwe huru

  • @amiryhassan202
    @amiryhassan202 5 місяців тому

    wallah kuna watu kweli ni inalilah wainaa ileyh rajiuna mtu unamwambia shekh Mazinge aende isio kuwa pepo kwanza unajua shekh kabla hajasem Mungu nisameh anasemehewa madhambi arobaini wewe na mimi jeee

  • @adammwandambo4143
    @adammwandambo4143 7 місяців тому +1

    We mzee sikia mwache mwamposa afanye yake na wew hubiria watu wako kwa staili yako ili waende mbinguni

  • @JaphetEmmanuel-yx5kb
    @JaphetEmmanuel-yx5kb 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @user-dr2cs2zw4p
    @user-dr2cs2zw4p 3 місяці тому

    We mzee ongea kwa hekima acha izo maneno

  • @dnxvi
    @dnxvi 7 місяців тому +1

    Hubiri dini yako ya shetani usichafue dini za watu Mzee... Wewe !wenyewe huna uhakika na unachokiabudu

  • @user-jt8gt9jf9q
    @user-jt8gt9jf9q 7 місяців тому

    ALLAH NISAMAHE MADHAMBI YANGU YAAH ALLAH

  • @denisngowi2955
    @denisngowi2955 7 місяців тому +3

    Yani anvyo ongea utazani anamjua mwamposa kweli acha sisi tunao mjua tukae kmy

  • @josephmgeni3997
    @josephmgeni3997 7 місяців тому +1

    Ni vema mkajikita kufundisha juu ya Mungu na rehema zake,lkn kuzungumzia watu eti walivaa kaptura sasa inahusu nini juu ya imani yenu kwa mwenyezi Mungu?
    Haya tunakubali alivaa kaptura ni ilikuwa lini? Na ni nani ambaye hakuvaa kaptura huko siku za nyuma?
    Jingine,eti aliuza udongo akapata milioni 900 wewe ndiye ulikuwa mweka hazina wake hata ukajua mapato?

  • @user-mg2fb1to9j
    @user-mg2fb1to9j 3 місяці тому

    Wivu umemzidi mazinge na ndio maana aachi kumzungumzia mwamposa na mwenzie anasonga mbali yeye asubiri contena la tende

  • @user-jj3yw2jm2g
    @user-jj3yw2jm2g 7 місяців тому +1

    Maandiko wanayema watakuja nabii wa uongo ndo ayooo wakina mwamposa

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 5 місяців тому +1

    Unachuki sana na wakristo