Mashaallah shekhe mazinge anampenda sana mnoo shekhe othaman Michael bila kificho hadi napenda aisee Allah awazidishie upendo hekma na maarifa mashekhe wetu❤❤❤❤❤
MashAllah tabarakallah!! Wallahy nampenda sana sheikh wetu mazinge..tangu utotoni namsikia na kumuona anavyofanya daawa katika kuulingania Uislam na kusilimisha ma elfu na maelfu ya watu.Allah akupe umbri mrefu wenye barka tele sheikh mazinge!
Mashallah shekh Mazinge ALLAH akupe mwisho mwema pamoja na sisi
Mashaallah shekhe mazinge anampenda sana mnoo shekhe othaman Michael bila kificho hadi napenda aisee Allah awazidishie upendo hekma na maarifa mashekhe wetu❤❤❤❤❤
❤❤❤jazzakallaw khair ya shiekh Allah akwihifazi shukran
Mashaallah Othman machael na mazinge kenya tunawatambua ALLAH awalipe duniani na akhera
Mashallah
Allah atupe mwisho mwema in sha allah
MashaAllah Jazakhallahu kheiri MaSheikh wetu,Allah awape mwisho mwema InshaAllah.🙏🙏🙏🙏
M
Shukrani Sheh
Amina
Professa tunaomba Allah akupe mwisho mwema
MWENYEZI MUNGU insha'Allah panapomajaliwa yake atubaliki mazinge na Othman
Mashallah Allauakbar ALAHUMA SWALI ALAA SAYYIDINA MUHAMMAD WA ALA ALIHI WA AS-HABIHI WABARIK WASALIM .
Allah awajalie mwisho mwema insha Allah
Mashallah tabaarakallah Allah autie nuru uislam
Allah akupe mwisho mwema Insha'Allah sheikh, ila umenipendeza Sana, yaani nilikuwa na stress zimeisha, ahsante
Masha Allah Akbar mawaidha mazuri shekh
Mashallha mashe wetu Allha awalinde awape umri mrefu
ALLAH akulipe kila lakheri sheikh wetu
Allah awalipe malipo mema na ss pia tunaoskiliza amiin
MashaaAllah xhekh wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah
MashAllah tabarakallah!! Wallahy nampenda sana sheikh wetu mazinge..tangu utotoni namsikia na kumuona anavyofanya daawa katika kuulingania Uislam na kusilimisha ma elfu na maelfu ya watu.Allah akupe umbri mrefu wenye barka tele sheikh mazinge!
Allah awape umri mrefu wenye manufaa mzidi kutuelimisha
Mashallah Allah akulipe nawapenda waote inshalla
Mashaallah 💓💓 Allah akbar Allah akbar Allah akbar
Jazakallahu khaira
Mashallah tabaraqallah❤
mashaAllah ❤❤❤
Shekha mazinge anachekesha ila anaelimisha jazakallahulkheir
Amin
Ila mazinge mashallaha
Mungu awalipee kwakweli awalipe mnafanya kazikweli tuna onaàaa
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda baba yetu sheikh wetu Mazinge 😅
MashaAlla MashaAlla✨💫Amiin 🤲 ❤
Shekh mungu akupe mwisho mwema
Masha Allah
Maashaallah
ماشاءالله تبارك الله
Mashaalla
Ameen ya Rabi
😂😂😂 sheikh huyu mashaallah
Maana Shekhe anahimiza sana kutowa nakuomba Shekhe maiko niyambie tena ka kuzungumza ni kuwandika
Maashaallah maashaallah
mashaallah ♥️
MASHA-ALLAH
Mazinge unachekesha some time😂😂😂
Mashaallaah.
uyu jamaa mjanja sana tena mwiz kama kina Mwamposa
Hi go
Mazinge mara mpiga picha mara alikuwa railway ipi kwel sasa
Sukran 🙏
MashaAllah
Asante mazinge mzee wa michango ya lazima😀
Asalama aleykum nisaidie namba za shekhe yoyete ile
😂😂😂😂😂 eti wati watu wanatoka roho kuna kuwowana hapo
Jamani mm nataka kuliza hizi sadaqa zinatolewa kisha zinapelekwa wapi
Kwani hamuoni hizo débat n'a wakeosto ni pesa kuandaaa kuna kulipa maji moto kununuvifao vya msikitini
Sio mkate watakuenga kwenye jumuiya
wewe unaubili pesa na sio mungu mungu ayupo msikitini wala kabisani acha wizi mazinge tafuta kaz
Huyu pepo yake IPO hewanii
😆😆 sheikh mazinge bana eti kaja mazinge atachangisha yuakimbia 😆,
uwongo huuu alianza Muhammad ndo ikaja Quran acha uwongo mazinge
Uongo gani
Umeangamiaa Sana kaka soma Kwanzaa uwe na elimu ndo uanze kukadhibisha watu
Masha Allah
Maashaallah
MASHA-ALLAH
Mashallha
Masha Allah