Yaani Tanzania tungekuwa na Msukuma wanne tuu na wa tano wakutekeleza ,tungekuwa mbali mmno.ila janjajanja nyinngi ,wakusikia na kutekeleza hawapo kabisa inauma mno.Msukuma Mungu akujaze hekima ,utamshangaa Mungu pale atakapokupa ukuu wa nchi.amina.
Yani ukimsikiliza huyu jamaa utatamani kulia machozi jinsi Watanzania maskini wanavyoibiwa! Ni kama wapiga dili sasa wameamka wote kutoka mafichoni kila kona ni dili tu , haya mama kazi kwako
Bw. Napoleon Bornapathe aliwahi kutuambia “"Never interrupt your enemy when he is making a mistake.” “Usimshtue/usimuingilie adui yako pindi anapofanya makosa”
Wasomi hao wanaojiita Ma Doctor ndio wenzi na wapumbavu sana na Msukuma ana akili nyingi sana siyo za kusomea ana akili za kuzaliwa toka kwa Mungu hivyo hao wasomi wa madarasani ni kuiba mitihani na kujipa Degree wakisema wamesoma kumbe hovyo kabisa. Tanzania tungekuwa na Watu 20 km Msukuma Tanzania tungekuwa mbali sana.
Darasa la Saba oyeee wasomi asilimia 79 hovyooooo uhalisia wa maisha yetu waafrka,unahitaji maamuzi tu,nchi ina mitaji ya kutosha,tunawakodolea mataifa ya watu weupe macho? wapeni hawa watu nafasi kubwa,tuangalie utendaji wao nao
Mbali na Dr wa heshima,msukuma wewe ni Mzalendo kweli kweli na wazalendo ktk taifa ili ni wachache mno Yn km nusu ya viongozi wadizaini ya msukuma tungekuwa nao taifa ili lingekuwa mbali kiuchumi na watanzania tungekuwa tunajinadi Sasa yamebaki majizi tu 😢😢
Kusamehe wakwepa Kodi ni kosa kubwa. Marekani wakwepa wanafungwa na wanafirisiwa hawasamehewi serikari nyingi duniani zinaendeshwa na kodi. Kwahiyo mnasamehe kodi alafu mnaenda kukopa. Mnasamehe watu madeni alafu serikari inakopa kujiongezea madeni. Hayo ndio mambo ya kuvuja nyama mchuzi unabaki. Tunatiwa changa la macho. Msukuma ni mdaiwa ndio maana anataka tra wasamehe madeni. Na tozo msitoze zinawaibia wananchi wana lipa kodi mara nyingi kwa mshahara mmoja.
Khaaa!! Mbona hi taaarifa ni kama ugomvi jamani!!!
Hapana anasema ukweli ndo maaaana mpka anaskia hasila
Hii nchi Ina watu wa ajabu sana? Wabunge wote wangekuwa kama msukuma tungefika mbali sana. Big up Msukuma.
Ww noma sana
Daaih ih nnchi ila. mungu yupo
Msukuma unapiga pabaya hapa hatutumi akiri kuongoza tunatumia nguvu madaraka sio uongozi bari wanafanya wanavyo jisikia
Jamaa apewe maua😂
Huyu jamaa ni muhimu sana kwenye taifa letu la Tanzania. Mungu akubariki sana msukuma
Wewe muone hivyo sio mtu huyo
Msukuma n mtu muhimu sana bungeni maana hafichi kitu yeye anaongeya ukweli mtu Allah amfanyie wepec na amlinde maana dah!!!
Hongera sana mh Msukuma
Namuona kama magufuli ajaye miaka ya mbeleni hapo Congratulations 👏👏 👏
Kuna Mhe Msukuma na Mhe Kishimba huwa nawakubali sana
Uko vizuri sana Msukuma
Yaani Tanzania tungekuwa na Msukuma wanne tuu na wa tano wakutekeleza ,tungekuwa mbali mmno.ila janjajanja nyinngi ,wakusikia na kutekeleza hawapo kabisa inauma mno.Msukuma Mungu akujaze hekima ,utamshangaa Mungu pale atakapokupa ukuu wa nchi.amina.
I love Msukuma kwa kweli, huyu wala sio degree ya kheshima hii ni ya darasani kabisa, hao waliokalia degree za shule hawana kitu
Uko vizuri sana Dr musukuma
Upo vizuri Dr
Mtani wangu mungu akulinde maaana hawapendi ukweli
Msukumaaaa uko vizuri sanaaaaa😂❤
Hongera Mh Joseph Kasheku,unawapita kwa hoja Madoctor Uchwara...
Hongera sana mbunge msukuma upo sawa kabisaa. Hapa chato nyamirembe
Unafaa kuwa RAIS WETU MSUKUMAA
Msukuma umeongea facts kweli,big up.
Lasaba wako vizuri kuliko wenye digrii
Sema msukuma dili ziko chalinze kwa wauza madawa ya kulevya tumewachoka kweli kweli timu msoga tunaomba na wao wafe kama walivyomuua magufuli
100% Nakupa Musukuma kweli jimboni kwako wanajembe inatakiwa tuwe na wambuge kama wewe Hongera sana MH
Huyu jamaa..mwenyezi mungu amuweke sanaa
Musukuma Mungu akuweke miaka buku100
Ila Mh. Msukuma wewe ni zaidi ya Dr.
Hongera sana msukuma,huyu ni mzalendo wa kweli
Hongera kwa kupiga kelele ila hovyo ndivyo Nchi hii inavyo kwenda, nation cake inaliwa na watu wa chache,,
Muheshimiwa msukuma, wewe ni magufuri, Yani ukisimama wewe namuona magufuri kasimama, dah! Mpaka machozi🤔🤔😭😭😭
Asatee Bab yangu msukuma❤❤❤
Msukuma anatemaga facts sana 😅
Msukuma uko vzr sana sema wanatumia usomi wao kukukwepa kijanja.
Uyu kweli Dr wa heshima
Fact mr dokt msukuma
Nampenda xana msukuma anauchungu xana na wanachi WA Tanzania
Yani ukimsikiliza huyu jamaa utatamani kulia machozi jinsi Watanzania maskini wanavyoibiwa! Ni kama wapiga dili sasa wameamka wote kutoka mafichoni kila kona ni dili tu , haya mama kazi kwako
Namkubali sana mungu amlinde
Dr. Msukuma ni ana akili sana sema hawa majamaa ni wanaiba bila hata kutumia akili
Dr. Endelea kuwanyoosha
SAFI SANA LY DALASALA SABA MH KING MSUKUMA
Safi sana msukuma wewe kweli ni Docta.
Namkubali sana msukuma
2025 amkeni Watanganyika muikombowe nchi yenu kutoka kwenye mikono ya raisi. wa sanamu na walaji wanao muwezesha
Bw. Napoleon Bornapathe aliwahi kutuambia “"Never interrupt your enemy when he is making a mistake.” “Usimshtue/usimuingilie adui yako pindi anapofanya makosa”
Msukuma Mungu akubariki
Huyo ndiyo msukuma anayesema ukweli mtupu
Sitaki taarifa 😂😂😂😂❤
Ni mmoja ya wabunge mashujaa
PhD ya heshima
Ff4
Halafu eti wanawapiga vita darasa la 7 !!!loh 😢
Good 👍
Musukuma nakuerewa sana kuna mambo ukweli ayaitaji erim
Msukuma ni mwamba sana
Hakika hii nchi kunabaazi yaviongoz Wana tiahasira sana, ila ipo cku mtatapika namlichomeza endeleen nakujiaminisha kuwa hii nchi niyenu😮😮😮
Kama nikupigwa,watanzania tunapigwa,Mungu tuhurumie,ccm mko wapi?
Hii sehemu ya Taarifa inapoteza mda haina maaana
sema msukuma
super talent ,,,,,bigup mr kagasheki
P
Mkiambiwa mtu anapotunukiwa u dr kama huo wat wamemfatilia sana nawakagundua kna kit anacho akilin
Upo ok
Hahaaaaaa shikamoo msukumaaa
Wasomi hao wanaojiita Ma Doctor ndio wenzi na wapumbavu sana na Msukuma ana akili nyingi sana siyo za kusomea ana akili za kuzaliwa toka kwa Mungu hivyo hao wasomi wa madarasani ni kuiba mitihani na kujipa Degree wakisema wamesoma kumbe hovyo kabisa. Tanzania tungekuwa na Watu 20 km Msukuma Tanzania tungekuwa mbali sana.
Darasa la Saba oyeee
wasomi asilimia 79 hovyooooo
uhalisia wa maisha yetu waafrka,unahitaji maamuzi tu,nchi ina mitaji ya kutosha,tunawakodolea mataifa ya watu weupe macho?
wapeni hawa watu nafasi kubwa,tuangalie utendaji wao nao
Kanda ya ziwa Ina watu vichwaaa
Hii nchi bora tuwa wasukuma waitawale milele na jamaa wapo vizuri kabisa
Safi ndio inatakiwa uzalendo kama huu
Ila wasukuma wanauwezo na hawana woga wako vzr raisi mwingne atokee uko uko
Sana
Kutoka kwa wasukuma Kuna watu vichwa sana mm nawakabali sana
Aaahhh imeelewa
Shida sionii Watuu waku support jamaaan what's wrong kila siku msukuma yupo mbele wengine mwaogopa or
TRA ndo kikwazo kuliko kitu chochotea kwa nchi hii wanasumbua Sana wafanyabiashara
Hii ni akili za ya kuzaliwa sio ya shuleni, big up Msukuma ,
Vamoos! Kasheku!!
Tatizo wasomi wanaogopa kusema ukweli wakiamini watakosa sifa za uteuzi kuwa mawaziri.
Big Up La 7B
Hicho kiwanda ni ni msoga si ndo . wenye nchi. Wimbo wa roma mkatoliki.
Kwani apo msukuma alimpaa nini uyo mwenzake apo🤔🤔🤔 au nime ona mimi tu
Simu iliwaka ni kama imeita ndo akampa
Msukuma uko vizuri lakini kwenye bandari umelambishwa asali
Nakupenda masukuma gombea urais utatutetea we ni kama JPM
Pamoja sana
SAFI MSUKUMAAAA
Good
Mbali na Dr wa heshima,msukuma wewe ni Mzalendo kweli kweli na wazalendo ktk taifa ili ni wachache mno
Yn km nusu ya viongozi wadizaini ya msukuma tungekuwa nao taifa ili lingekuwa mbali kiuchumi na watanzania tungekuwa tunajinadi
Sasa yamebaki majizi tu 😢😢
Asande musukuma mjane🇹🇿✋
Huyu ni zaidi ya wasomi
Mambo ni💰💰💰
Safi
Unakili sana jamaaaa
Hii Inchi ni tatizo kubwa sana ya cha juu. Hapa ni cha juu ambacho kinaenda kwa mtu.
Unafaa Sana Baba,nayo kweli itawaweka huru
Sema ukweli msukuma
Kusamehe wakwepa Kodi ni kosa kubwa. Marekani wakwepa wanafungwa na wanafirisiwa hawasamehewi serikari nyingi duniani zinaendeshwa na kodi. Kwahiyo mnasamehe kodi alafu mnaenda kukopa. Mnasamehe watu madeni alafu serikari inakopa kujiongezea madeni. Hayo ndio mambo ya kuvuja nyama mchuzi unabaki. Tunatiwa changa la macho. Msukuma ni mdaiwa ndio maana anataka tra wasamehe madeni. Na tozo msitoze zinawaibia wananchi wana lipa kodi mara nyingi kwa mshahara mmoja.
Hapo mtu kati watu wa maokoto wako wengi .wanatengeneza madiri kutuibia wananchi
Tunachekechwa 🤣🤣🤣
Huyu jamaa angesoma sijuw ingekuwaje
Angekuwa kama wasomi wetu walivyo tu ndiyo shida hapo
Angeharibika
Asingekuwa na akili kama waliosoma
Kazi iendeleee wabunge teteeni haki za watanzania.
Uelewa sio kusoma mpaka upate dngrii mnamuona msukuma. MUNGU atupe nani zaidi ya huyu mtetezi .
Daraasa la saba is dispensing knowledge than a university😂
Wewe ni Rais ajaye
Shida ni kwamba haya yanazungumzwa yanaishia uko bungeni mwakani atakuja tena kuyauliza yaleyale ovyo kabisa
Do world
Kwann Usigombee Uraisi 2025?
Facts
TRA leo wamekula 20,000 ki nguvu
Wanakula urefu wa kamba yao sawa sawa na maagizo