Msukuma awavaa mawaziri aikataa taarifa ya Kunambi" hii ni aibu, madudu mengi"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma akichangia maoni yake kwenye taarifa ya kamati kuhusu ripoti za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2022

КОМЕНТАРІ • 74

  • @VumiliaMwakamisa
    @VumiliaMwakamisa Рік тому +1

    Huyu anaeitwa hasunga yupo bungeni kweli? Inamaana huku ,kwenyejimbo lake hakuna matatizo🙆???¿ Hiiiiii jaman

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 Рік тому +1

    Tunaeishi mbagala msukuma umetukosea chaurembo mbunge huyo msukuma analala na ng'ombe mbona Yuko bungeni?

  • @davidchungu6598
    @davidchungu6598 Рік тому +3

    KWA SERIKALI HII YA AWAMU YA 6 NA KWA LICHAMA HILI LA CCM MAJIZI MATUPU MSITUPIGIE MAKELELE HAPO

  • @DaudiMwanyombole-tm6hm
    @DaudiMwanyombole-tm6hm Рік тому +1

    Musukuma unayo yaongea nikweli kabisa wasomi wanatuangusha sana ukiangalia kazi zingine unakuta yamefanyika madudu tupu

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 Рік тому +2

    Mama yupo China anatafuta pesa hakuna shida ataziba mapengo ya pesa zilizoibiwa na mafisadi.

  • @abelvita7298
    @abelvita7298 Місяць тому

    Mungu akutunze , ww NDIYE Raisi wa awamu ijayo

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 2 місяці тому

    Hahahaha huyu jamaa kunambi nakumbuka hata chuo LLB 2011 darasani alikua hivo 😢😢

  • @sifathyunusu871
    @sifathyunusu871 Рік тому +4

    Msukuma sisi watanzania ndugu zako kaka zako TUNAKUPENDA kwa sababu ubunge unautendea haki sio kama wabunge wengine wanakaa bungeni bila kututetea lolote hii sio dili unafaa KTK nafasi hiyo mimi natoka KAGERA Muleba usiogope na usirudi nyuma unapokua unatenda haki ya kututetea Asante sana Mungu akubariki

    • @kabulukimati
      @kabulukimati Рік тому +1

      Wabadilishe. Wote.unda.baraza.jipya

  • @stevumgaya6543
    @stevumgaya6543 Рік тому +1

    Tanzania tunajuwa kusema lakini hatuchukui hatua

  • @madattarcharles1114
    @madattarcharles1114 Рік тому +2

    Comrade unajua kweli kabisa,huwa nafatilia speeches zako yaani unaongelea Ukweli, nakupenda Sana Msukuma%%%%%%%......

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Рік тому +1

    Kwa Tanzania tulipofika tunaka kiongozi kama magufuli. Magufuli alikuwa haangalia mtu. Usoni. Uwe kiongozi wa kigogo alikuwa anasumbuliwa. Tumechoka na wizi serikari

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Рік тому +1

    Musukuma hajui kitu, talk talk talk hajui hata katiba ya nchi!

  • @IpyanaMwangonda
    @IpyanaMwangonda 4 місяці тому

    Mzee nakuelewa sana ila msaidieni ata ally mlagila mbuge wa kyela Yani atetei ata wilaya yake mungu akubaliki

  • @deusmtewele1599
    @deusmtewele1599 Рік тому +1

    C A G mwizi anakagua wezi Msukuma hiyo nimeipenda

  • @deusmtewele1599
    @deusmtewele1599 Рік тому

    Msukuma wasukume wajinga hao

  • @mikesalii8568
    @mikesalii8568 3 місяці тому

    Katiba mpya ndiyo itungwe

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому +2

    msukuma kwa nn usiwe rais tu aaah

  • @JacksonMichael-c6b
    @JacksonMichael-c6b 14 днів тому

    Mungu akulinde maana we ni nyota ijayo kwetu watanzania

  • @JacksonMichael-c6b
    @JacksonMichael-c6b 14 днів тому

    Mungu akulinde maana we ni nyota ijayo kwetu watanzania

  • @JacksonMichael-c6b
    @JacksonMichael-c6b 14 днів тому

    Mungu akulinde maana we ni nyota ijayo kwetu watanzania

  • @JacksonMichael-c6b
    @JacksonMichael-c6b 14 днів тому

    Mungu akulinde maana we ni nyota ijayo kwetu watanzania

  • @GraceMkandawile-j5w
    @GraceMkandawile-j5w 7 місяців тому

    Mama mpe uwaziri wa nishati mh msukuma

  • @paulmhelwa8403
    @paulmhelwa8403 Рік тому +1

    Uko sasa mbele ya mawaziri

  • @deusmtewele1599
    @deusmtewele1599 Рік тому

    Msukuma CAG aanzie ukaguzi bungeni humo ataona jinsi Covid 19 wanavyo kula hela zetu bila chama na nyinyi mmefumba macho

  • @jasonkalekezi1191
    @jasonkalekezi1191 Рік тому +1

    Achieni madaraka amuwezi kuongoza nchi ao wanaokura hela za watanzania wametokana na sera zenu ccm na wabunge hamna haki ya kukemea ubadhilifu huu ikiwa wengi wenu mko bungeni Kwa wizi wa kura me binafsi naona munajikosha tu wote ni wezi mumetengeneza mifumo ya wizi wenyewe,na wanaoiba hela za watanzania ndo wale wale mnawatumiaga kuiba kura .ndani ya ccm akuna msafi wote hati zenu ni chafu mno.

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 Рік тому +1

    Ewe msukuma nakuamini hata msomi hawezi kukupinga uko sawa

  • @SiwemaSelemani-iq9oh
    @SiwemaSelemani-iq9oh Рік тому

    Mung akulide

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Рік тому +1

    Dah kwahiyo watu wa cag wanawazunguka wabunge na wabunge wanawazunguka dah Mungu tuokoe

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 Рік тому

    Sasa munaelekea kwenye sera za chadema mutajenga nchi kila mtu ana cheyo et aah achen ujinga magavana ndyo kila kitu

  • @lameckPhilemon-d9b
    @lameckPhilemon-d9b Місяць тому

    At mm naona ivo

  • @JacksonMichael-c6b
    @JacksonMichael-c6b 14 днів тому

    Nikweli baba

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 Рік тому

    Ccm mnatakiwa muwe pembeni mmeshinda kutuongoza

  • @mussasadick770
    @mussasadick770 Рік тому

    Kila mfanyakazi kwenye anakiwa kuwajibika Ili kutimiza malengo ya serikali

  • @mabugamussa2860
    @mabugamussa2860 Рік тому +1

    Katiba mpya muhimu

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Рік тому

    Wote wezi nyie acheni kutudanganya nyinyi wajinga!

  • @majurandaro1408
    @majurandaro1408 Рік тому

    wabunge wote wangekuwa kama msukuma bunge lingewa safi nawananchi wasinge kuwa na shida

  • @naomijoram4622
    @naomijoram4622 Рік тому

    Safi sana Boniphase kapongezwa harafu akapewa yake mazingira machafu hahahaha wewe kama Mheshimiwa onyesha mfano usafi Boniphase

  • @salehehussein5560
    @salehehussein5560 Рік тому

    Msukuma baba mwaka 2025 njo ugombee pangani Mana atuna mbunge wa kuisemea pangani tuna mbunge kapata bahat akapewa nafasi awe wazili wa maji lkini pangani bado tunashida ya mji

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza Рік тому

    Msukuma angalia sana CCM itakukolimba angalia sana wenye nchi yao toka awamu ya kwanza wanakuona

  • @NaaminiNgwatu
    @NaaminiNgwatu Рік тому

    Unaongea ukweli baba lakini haupat sapot

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 Рік тому

    Tunakupenda msukuma MUNGU azidi kukutunza

  • @SaidSiria
    @SaidSiria 6 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @JumaMnana-bf6bf
    @JumaMnana-bf6bf Рік тому

    No

  • @IpyanaMwangonda
    @IpyanaMwangonda 4 місяці тому

    🎉🎉❤❤

  • @IpyanaMwangonda
    @IpyanaMwangonda 4 місяці тому

    🎉🎉❤❤

  • @IpyanaMwangonda
    @IpyanaMwangonda 4 місяці тому

    🎉🎉❤❤

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 Рік тому

    Msukuma kichwa kweli hoteli ile inahitai eneo

  • @fellisianholle9431
    @fellisianholle9431 Рік тому +1

    Uko sawa sana mbuge msukuma kwa kulishauli bunge

  • @shabirumsagati9369
    @shabirumsagati9369 Рік тому

    Msukuma cyo tu mbunge ni mbunge pekee!!

  • @frankilunga1447
    @frankilunga1447 Рік тому +3

    Mungu akupe maisha marefu ipo siku utaongoza Tanzania kwa uwezo wa Mungu kwa mbalii namuona mwendazake anafurai kumuona kijana wake anavyosema ukweli

  • @RehemaNchimbi-ji9jq
    @RehemaNchimbi-ji9jq 4 місяці тому

    Namkubali sana msukuma👍👍👍

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 Рік тому

    😂😂😂😂😂msukuma nakupenda

  • @andrew29468
    @andrew29468 Рік тому

    Msukuma una hoja nimependa,ile hotel ilijengwa bila akili nyingi hata eneo la parking lilipatikana bdae,ni kutokufikiria

  • @ChristianMduda
    @ChristianMduda Рік тому

    Upo vizuri sana Msukuma

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 Рік тому

    Musukuma unaupiga mwingi

  • @chrislwali5660
    @chrislwali5660 Рік тому

    Yani hii Tz cjui kwa nn nimekuja huku Bola ningebk hukohko

  • @tekelosangala2278
    @tekelosangala2278 Рік тому

    Sema bwana nimekuelewa

  • @joachimgolola1086
    @joachimgolola1086 Рік тому

    SEMA msukima

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 Рік тому

    Hongera sn bro we n Kat ya wazalendo wa Nchi hii.

  • @BarakaNestol-qw4bn
    @BarakaNestol-qw4bn Рік тому

    Kazi endlee

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 Рік тому +1

    Safi king

  • @fabianshibai3623
    @fabianshibai3623 Рік тому

    Good akiri kubwa

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Рік тому +1

    Tunaupiga mwingi jamani, sifa kila cku zinamiminwa! Mie nadhan tusilaumu!
    Tuendeleeni tu kusifia!

  • @KuruthumMichael-gh1vv
    @KuruthumMichael-gh1vv Рік тому

    Kenya

  • @josephsengule3039
    @josephsengule3039 Рік тому

    Uko vizuri

  • @kongatulia6231
    @kongatulia6231 Рік тому

    Wapinzani walikuwa wanasaidia ila sasa mmm

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Рік тому

    sasa wote wa mama mmoja hakuna kudhuriana ! Hakuna jipya hapo !!

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 Рік тому

      Kwan wakiwepo wapinzani wanaongeza nn sasa ?

    • @jacksonsawe2301
      @jacksonsawe2301 Рік тому

      Ukweli kuvunja Paradaiz Cinema Jengo alama ya mji mkongwe wenzetumajengo yanakuwa kumbukumbu sisi tunabomoa