MUSUKUMA - "TUKIWAITA VILAZA MNATUZOMEA, HECHE UNAKIMBIA UNAENDA WAPI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 132

  • @gilbertluwe8161
    @gilbertluwe8161 5 років тому +11

    Professor Musukuma, kweli akili ziko kwenye maziwa ya mama, sio darasani, huyu jamaa ana point za maana, wasomi kazi yao utasikia tu taarifa mwenyekiti, taarifa zenyewe hazina mvuto. Muacheni Musukuma mrithi wa Zitto aongee maana Zitto siku hizi amezima. Musukuma piga kazi utakua raisi, darasa la saba wenzako tupo nawe. Kama unamkubali like hapo

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 5 років тому +16

    Yes Msukuma uko SAHIHI sana, hakuna soko la ghorofa ambalo limeleta tija, ushauri wako uzingatiwe

    • @jofreyotieno2431
      @jofreyotieno2431 5 років тому

      Plujori Lugano mskuma mimi na kubali unawambia waoga wa ccm wanao lala bungeni ni waoga wakiongea wanajua watafukuzwa wanachama

  • @FrancisAMligo
    @FrancisAMligo 5 років тому

    Safi sana J Msukuma fichua yale yaliyosahaulika na wasomi ili nchi ikajengeke na watu wakaifaidi nchi yao.

  • @Malaikalaizer-d2q
    @Malaikalaizer-d2q 8 місяців тому

    Nikweli tutaachwa na mabasi kusavir uko God 🙏 blessing

  • @cheddykipingu8087
    @cheddykipingu8087 5 років тому +12

    Dah!! Namkubali asee huyu Musukuma mtaniiii

  • @MaseniFabian-t7z
    @MaseniFabian-t7z 8 днів тому

    Akili nyingi sana mungu kakujalia

  • @TonnyJunior-cc2bt
    @TonnyJunior-cc2bt 6 місяців тому

    Msukuma Mungu anakuona

  • @abubakharmasaimasai9592
    @abubakharmasaimasai9592 5 років тому

    msukuma saf sana kidogo unauelewa hongera sana ndugu

  • @paulowilliam1851
    @paulowilliam1851 5 років тому

    Asante mbunge msukuma tunakuelewa watanzania

  • @godfreynefary9635
    @godfreynefary9635 5 років тому +1

    Kwahakika ww ni msomi sio darasa la saba ningekuwa na namba yako ningekutumia hela kidogo ununue maji unywe maana bando langu umelitendea haki big up msukuma

  • @bahatimseche2637
    @bahatimseche2637 5 років тому +10

    Msukuma Hong era sana kwa kuwa semea wambunge wa do doma bandari kavu maana wameanza kimya hasa mbunge wa kibakwe maana hakuna hata kiwanda cha a lizeti ja aman tuna omba,kibakwe ikumbukwe hata barabaraya ramituuu

  • @linkomagembe3425
    @linkomagembe3425 5 років тому +10

    Nakuelewa Sana jamaa yangu

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 5 років тому +1

    Kaka uko vizuri ,kweli ukilala gorofani utaachwa na bus point taken

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 5 років тому

    Hongera Mheshimiwa Msukuma kwa ukweli wako.

  • @denissilunde3211
    @denissilunde3211 5 років тому +3

    Upo vizuri xna msukuma waelimishe pole pole tu watakuelewa tu.

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 5 років тому +4

    Gud saana msukuma

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 5 років тому +11

    Huyu kweli darasa la 7 alighushi ila yy ni professor. 😂😂😂😂😂😂

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 5 років тому +1

    Umejitaidi leo musukuma safi sana

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 5 років тому +4

    "Ameshamaliza sasa unampiga nani taatifa" teh hahaaa nimeipenda hiyo mama mwenyekiti.hahaaa

  • @hildamjema284
    @hildamjema284 5 років тому +7

    Msukumo jembeee mungu akujalie pamoja na elimu yako lakini uko juuuuuuu waziri mtarajiwa tunakuombea

  • @man.lule.585
    @man.lule.585 5 років тому +1

    konk master musukuma we ni.shidaaaa. kweli wapinzani wakikusikia sauti yako wanakosa mwelekeo.

    • @suedmyonga7183
      @suedmyonga7183 5 років тому +1

      Hizo ndizo akili za kuzaliwa sioza kusoma zimejaa ubola. Msukuma sikilaza amejaliwa akili akili za kuzaliwa,

  • @deojohn1413
    @deojohn1413 5 років тому +3

    Safi msukuma

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 5 років тому +1

    Huyu jamaa clever saaana

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 5 років тому +3

    Safi sana mbunge msukuma were no msomi kuliko wasomi

  • @hoseasebastian4346
    @hoseasebastian4346 4 роки тому

    much respect

  • @OmaryMdoe-fs4hj
    @OmaryMdoe-fs4hj 8 місяців тому

    Huyo ana PHD yakuzliwa hongela msukuma

  • @serengetiamb636
    @serengetiamb636 5 років тому +2

    pamoja sana

  • @majaliwagibson7295
    @majaliwagibson7295 5 років тому +6

    Keep it Up Msukuma.
    Mbunge unapoongea ujue unawakilisha Wananchi Sasa unapowawakilisha wananchi kwa kusema Maneno ya Kashfa. tunakua na mashaka na Akili yako. Unamwitaje Mwenzio Mhuni

    • @gililwise
      @gililwise 5 років тому

      Wewe msukuma hiyondege sisi watu wa hali ya chini inatusaidia nini wakati hata kula kwetu ni shida

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому +4

      @@gililwise ndege inakusaidia wewe sio kupanda wanapopata fedha kupitia nauli za ndege ndio inayonunua madawa kujenga hospital kutengeneza barabara madalaja reli kulipa wafanyakazi walimau madaktari kukuletea maji umeme kuleta maendeleo ya nchi ndiomaana unavyoziona ndege ata za uingereza ufaransa Kenya ujerumani Mozambique marekani Italian china Japan kwa kazi iyo ya uchumi wa nchi kokote duniani pale ndiomaana yake

    • @dicksonnmeipendaacvnzrjack1521
      @dicksonnmeipendaacvnzrjack1521 5 років тому +1

      king musukumaa ww nikibokooo

    • @gililwise
      @gililwise 5 років тому

      @@anuaryally6177 asante kwa kunielewesha mwananguMungu akubariki

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому

      @@gililwise shukrani jemedari wangu na wewe pia mungu akuzidishie wahaai na afya njema

  • @isayapaul7869
    @isayapaul7869 5 років тому

    Mbunge wangu ukosafi sana

  • @shabankiwesi6727
    @shabankiwesi6727 5 років тому +15

    Huyu msukuma plus lusinde mnanikosha sana

    • @shukurunzenzule5963
      @shukurunzenzule5963 5 років тому

      wewe shabani kiwes inaonekana ni mfaas wa nzi wa kijani

    • @shabankiwesi6727
      @shabankiwesi6727 5 років тому +2

      @@shukurunzenzule5963 hadi tukupe mimba ndo utawakubali wabunge wetu Wa ccm ,unga mkono upinzan kwetu hatuitaj mafara

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 5 років тому +1

    Faida ya msukuma bungeni ni kubwa sana! Huyu jamaa anajua kabisa tena ni mfano tosha kwamba jamaa mzalendo aisee

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 5 років тому +3

    THOMAS ALVA aliwahi sema, education is what remain after forgetting all what you learned in class. Msukuma wewe ni noma, nakukubali kwa hoja.

  • @johnjoseph9745
    @johnjoseph9745 5 років тому +1

    Bunge halina umoja kabisa...na Hakuna Upendo kabisa For Sure..

  • @meshackmarwa9
    @meshackmarwa9 5 років тому +2

    Musukuma hoyee

  • @michaelmwaluko2882
    @michaelmwaluko2882 5 років тому +11

    Msukuma hapo umeongea kuhusu bandari dodoma

  • @gosaizaka1495
    @gosaizaka1495 5 років тому +1

    Habahabaha msukuma upo juuu

  • @hassanmakoye38
    @hassanmakoye38 5 років тому

    Msukuma noma

  • @fnnyanda5993
    @fnnyanda5993 5 років тому +19

    Anapozungumza Mhe. Msukuma acheni kabisa kumpiga "Taarifa" ataendelea kuwaaibisha. Huyu ni Kiumbe kingine kabisa.

  • @stiveehmayero8163
    @stiveehmayero8163 3 роки тому

    Tunataka kama awaaa

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 5 років тому

    Yaani wasukuma tupo sawa siku zote

  • @tangayetu2178
    @tangayetu2178 5 років тому +5

    Hao wabunge wawili hapo juu wanataka waonekane kwenye TV, it's sad.

    • @muganyiziemmanuel4897
      @muganyiziemmanuel4897 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @eloiemmanuel8690
      @eloiemmanuel8690 5 років тому

      😂😂😂umeona eeeh yani wameng'ang'ana kuonekana

    • @tangayetu2178
      @tangayetu2178 5 років тому

      @@eloiemmanuel8690Yaani wanatia aibu, wanaleta ushabiki. Sijawahi kuwaona wakiongea hata siku moja. 🤣🤣🤣🤣

  • @eliahedward7490
    @eliahedward7490 5 років тому +27

    Ww ni professor lkn umegushi chet cha darasa la7

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 5 років тому +5

    Mhe Msukuma ninawasiwasi na Elimu yako maana sio kwa upeohuo !!!!

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 5 років тому +8

    Tungepata wabunge 20 kama huyu

  • @wambihaji4297
    @wambihaji4297 5 років тому +4

    Wangekuwepo wanne tu kama Msukuma huyu tungefahamu vizuri hoja na na majibu ya wabunge

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 5 років тому +1

    😂😂😂😂 PhD Msukuma, waziri usimpige taarifa, muache PhD wetu aongee.

  • @fredshija856
    @fredshija856 5 років тому

    Nakukubal msukuma

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 років тому +1

    Wale waliofoji vyeti vikubwa kuliko uwezo wao tumeona adhabu yao. Hawa waliofoji vyeti vidogo kuliko walivyo adhabu yao nini? Msukuma ni Profesa.

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 років тому +4

    Nimetambua wasomi wengi sanaa hawatumii Comonsense,.. Ila mtu ukikosa elimu unatumia akili ya kuzaliwa.

  • @michaelmbise3874
    @michaelmbise3874 5 років тому +4

    Da! Msukuma uko making Baba

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 5 років тому +2

    Natamani Msukuma angekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana kuliko aliyepo sasa.

  • @suleimamatola3362
    @suleimamatola3362 5 років тому +1

    Kaka ongera sana kwa mawazo mqzuri

  • @AllyAyoub-hz3wj
    @AllyAyoub-hz3wj 7 місяців тому

    King msukuma amefanya nilipende bungu anajenga hoja zenye ukweli na nimuhimu kwenye nchii yetu

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 5 років тому

    Msukuma we ni next level natamani JPM aukupe uwaziri kimvuli unafaa

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 4 роки тому

    Watu wanakomaa taarifa taarifa alafu wanayokuja kuyatoa niujinga

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 5 років тому

    Huwezi kuzunguka gorofani utaachwa na basi hiyo kali

  • @fadhili2293
    @fadhili2293 5 років тому +8

    Huyu msukuma cheti cha lasaba nichaudanganyifu, hii sio akili ya rasaba

    • @MaseniFabian-t7z
      @MaseniFabian-t7z 8 днів тому

      Huyu ni kweli Tena hata la saba ni bahati sema ana akili ya kujaliwa na mungu

  • @benardjuma7143
    @benardjuma7143 5 років тому +4

    Duuh ni moto

    • @nassoroseleman60
      @nassoroseleman60 5 років тому

      Washamoto baba

    • @iddytamba1907
      @iddytamba1907 5 років тому +1

      mskuma nomaa sana

    • @iddytamba1907
      @iddytamba1907 5 років тому +2

      hivi ww darasa la saba au ww ni profesa

    • @charlesotwalo9335
      @charlesotwalo9335 5 років тому +1

      Musuku uko vizuri Mungu akuongoze ktk harakati zote

    • @josephmallyah9832
      @josephmallyah9832 5 років тому

      Msukuma hiyo 2 much wanakudharau sana hawa jamaa ni nyema ufuate sheria haiwezekani wakuite kichaa hadharani mbunge kama wewe

  • @peacevalerian4299
    @peacevalerian4299 5 років тому

    Pokea taarifa

  • @pantaleokulaya5308
    @pantaleokulaya5308 5 років тому +1

    msukuma uko vizuri lakini mbona huzungumzii Malipo ya pamba ambayo hayajalipwa

  • @eliudmwakamela187
    @eliudmwakamela187 5 років тому

    Kwa nini taarifa haisikilizwi

  • @mussamohd3276
    @mussamohd3276 4 роки тому

    Aiseeee uyuuu mbngeee ni nowma kbsaa duuuuuhhhhhhh atr

  • @abdulrahmanhassan3825
    @abdulrahmanhassan3825 5 років тому +6

    Joseph msukuma unafaa kuwa raisi kabisa kwasababu unaupeoo mkubwa

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda7347 5 років тому +1

    iki kijamaa kingebahatika kufika ata form two ingekua balaa,kanauelewa mkubwa xana ingawa sikapendi

  • @salmaoriginaloriginal6478
    @salmaoriginaloriginal6478 5 років тому +4

    Uja wai kuniangusha

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 5 років тому +5

    Nani kazkia taalifa muuni yule

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому +3

    Hahahaahahahhahahahaaaaaaaa had rahaaa

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 5 років тому +1

    Viwanda twavi taka ila na madhara ya viwanda mtuelimishe

  • @samwelijalalya9608
    @samwelijalalya9608 5 років тому

    Lasaba kweli? 🤔🤔🤔 mbona PHD kichwan king msukuma

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 5 років тому

    Kweli ameongea vizuri kwenye masoko

  • @yohanandalu2022
    @yohanandalu2022 3 роки тому

    Tanzania hakuna wasomi

  • @mfirajihalisitanzania5208
    @mfirajihalisitanzania5208 3 роки тому

    Hahahahaaa taarifa mhuni yulee

  • @boniphacetabu2903
    @boniphacetabu2903 5 років тому +1

    Kama na wewe umesikia utaachwa na basi gongalike tumsukume musukuma

  • @urunyaraurunyara8220
    @urunyaraurunyara8220 5 років тому +1

    We mwenyew kilaza alfu tena unaongelea ukilaza wako

  • @leonardjohnson2058
    @leonardjohnson2058 5 років тому

    Ndege nne faida hainunui hta ndege moja nwy sawa mpo vizuri

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 років тому +1

    Sasa msukuma unataka stand zisijengwe unataka zikaage ivo ivo

  • @boniphacejonas4109
    @boniphacejonas4109 5 років тому

    Mnafurahia nyinyi wanaficiemu

  • @nyarinkya6102
    @nyarinkya6102 5 років тому +1

    Kwenye uchaguzi ndio umeharibu kabisa. CHADEMA ndio chama kilichotoa vijana wengi zaidi zaidi wagombea, leo ukiniambia hawajui kusoma na kuandika sikubaliani na wewe

  • @masotamakeja3568
    @masotamakeja3568 5 років тому

    Huyu mbunge sidhani kama kweli ni darasa la saba ninawasiwasi na elimu yake sio la saba huyu ndugu itakua labda PhD kabisa maana anamawazo mazuri kweli.

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 5 років тому

      @masota makeja..elewa ya kwamba usomi siyo sababu ya kua akili ndugu,fatilia utajua

    • @masotamakeja3568
      @masotamakeja3568 5 років тому

      @@georgemassebu2083 ni kweli ndugu yangu, itakuwa naona maana hapana.

  • @azizihamoudi8318
    @azizihamoudi8318 5 років тому

    Nchi hii bila haya majitu manafiki kama hili bwebwenye sijui kama tutafika.

    • @charlesngusa2749
      @charlesngusa2749 5 років тому

      We we ndio kiazi kabisa na sijui kwann ulizaliwa boya kweli unamtukana mtu mhimu Kama kaka yetu nenda zako

  • @mpoyokapictures1405
    @mpoyokapictures1405 5 років тому +2

    Kati ya eche na msukuma nani kilaza!?????
    Nikushauri ndugu msukuma changia kulingana uwezo wako wa akili, ukianza kujilinganisha na watu walio kuzidi akili tutakudharau bure.

    • @cyrilmmasi5070
      @cyrilmmasi5070 5 років тому +1

      Bora Msukuma

    • @cyrilmmasi5070
      @cyrilmmasi5070 5 років тому +1

      Tena bora msukuma Mara mia kaaa utafakari utaelewa

    • @temkezatv4381
      @temkezatv4381 5 років тому +2

      Bora msukuma maana ukiwa msomi alafu ukiwa huna akili ni zaidi ya kilaza

    • @lucywilliam3559
      @lucywilliam3559 5 років тому +3

      Msukuma humo bungeni hakuna anaemzidi. ana upeo mkubwa sana wa mawazo, ukibahatika kukaa na kuongea nae utaelewa zaidi

    • @patrickmadiwa3845
      @patrickmadiwa3845 5 років тому +1

      MPOYOKA TV .Msukuma ana ufahamu asilia usihtaji reference kama akina hao wansojiita wasomi halafu michango yao au HOJA zao ni kupiga mtu anaefanya vizuri. Msukuma piga kazi

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 5 років тому +1

    Eti faida dola milioni 14 dola na gharama iliyo kuwa haijalipwa ni bei gani uwongo mtupu mimi nachalange hakuna pesa hata moja ilio patikana kwenye ndege isipokua madeni ebu amkane watanzania hakuna shisika la mdege linalo fanya faida yoyote ile

  • @mkomwamkomwa8774
    @mkomwamkomwa8774 5 років тому +1

    Rudi shule chenga wewe

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 5 років тому

    kuna ccm mwenye akili?nyote mazimwi hamna lolote isipokua ushenzi