Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia bungeni amejikuta akiwafurahisha wabunge wengi mara baada ya kuhoji kwanini polisi wamekuwa wakisimamia mitihani akihoji kwamba akili ya mtu siyo bando hivyo akiitaka serikali kuwa inaangalia wale ambao hawana akili wakifaulu mtihani wa mwisho ndio wachukuliwe hatua

КОМЕНТАРІ • 34

  • @MuhibuChaka
    @MuhibuChaka 4 місяці тому +2

    Una mawazo super mheshimiwa

  • @MuhibuChaka
    @MuhibuChaka 4 місяці тому +2

    Kishimba una akili nyimgi sana hongera

  • @victormwakidunda3694
    @victormwakidunda3694 2 роки тому +6

    Mawazo yako ni ya ki profesa yadumu

  • @carloscasmir2363
    @carloscasmir2363 Рік тому +3

    Huyu mzee anaonekana wa kawaida ila amesheheni elimu ya maisha! Shortly speech zake nyingi anakuwa na logic sana

  • @mathayomkumbuchile1569
    @mathayomkumbuchile1569 2 роки тому +5

    Huyu mzee ana akili sanaaaaa

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 Рік тому +3

    Uko vizuri sana watu kama nyinyi nd'o munafaa kua viongozi

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 2 роки тому +4

    Huyu mwamba ni Profesa

  • @sephania8085
    @sephania8085 2 роки тому +2

    Kuna wabunge wanajichekesha tuhapo Hawana kitu kichwan uyu mzeee yupo vzr

  • @kenethmwangoka4590
    @kenethmwangoka4590 4 місяці тому

    huyu kishimba ingekua Mimi ndie na nachagua viongozi kishimba angekua makamu wa laisi yupo vizuli mama raisi Samia tuwekee huyu mtu ikulu

  • @AnjelinaMwamahonje
    @AnjelinaMwamahonje Місяць тому

    Huyu ndiye mbunge anayeoongea vitu vya kujenga nchi tuuu!!!

  • @KulwaEdwardKatan
    @KulwaEdwardKatan 18 днів тому

    Kichwa chako mzee kinamadin ya kila aina

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 4 місяці тому

    Viongozi ngekuwa kama kishimba tungekuwa mbali

  • @hamisimbatyan5875
    @hamisimbatyan5875 Рік тому

    Sjajuwa michango ya mawazo ya wabunge huwa wanatumiya kigezo gani kuyaingiza kwenye utekelezaji.

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 Місяць тому

    The big kishimba

  • @edwinnzigo4670
    @edwinnzigo4670 Рік тому

    Yani hao wanajiita wasomi inaonekana ndio km hawajasoma kabisa maana hakuna kitu kabisa

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 4 місяці тому

    🙏🙏🙏👍👍👍👍💪💪💪💪💅💅💅 Mzee umenipiga panapoumaaaaa!

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 2 роки тому +1

    Huyo anaakili mia

  • @sifamanyori-kf9vq
    @sifamanyori-kf9vq Рік тому

    Kaka unauwa uchawi kifikira nakushuru sana umaongea ya moyoni

  • @stephanomwandule
    @stephanomwandule Рік тому

    Mhe mbunge ninakuelewa na ninatamani siku moja nionane nawe ana kwa ana

  • @stephanomwandule
    @stephanomwandule Рік тому

    Mhe naomba namba yako ya simu japo nikusalimu tu

  • @Razkenya001
    @Razkenya001 2 роки тому

    Nimependa hoja lake 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv Рік тому

    Kishimba hongera baba

  • @ElibarikiBee-vr6jg
    @ElibarikiBee-vr6jg Рік тому

    Kishimba bomba

  • @adriankiponda7308
    @adriankiponda7308 2 роки тому

    Unaakili sana kishimba

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 2 роки тому

    Safi upo na wana nch

  • @Bill_afrika
    @Bill_afrika 2 роки тому

    Waoh

  • @joachimgolola1086
    @joachimgolola1086 Рік тому

    Big up

  • @paulinaswalehe5298
    @paulinaswalehe5298 2 роки тому

    Professor

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 2 роки тому +3

    Ameongea vizuri sana lkn Polisi kazi yao sio kulinda wanafunzi ni kwa ajili ya usalama wa mitihani. Siku za nyuma mitihani ilikuwa inaporwa na majambazi au sijui tuwaiteje....kama tuna hakika wasimamizi watakuwa salama, waondolewe lkn sidhani

    • @mathayomkumbuchile1569
      @mathayomkumbuchile1569 2 роки тому

      Siyo kweli, ni mwaka gani jambazi alipora mitihani? Mzee ana logic

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 2 роки тому

      @@mathayomkumbuchile1569 inaonesha wewe ni mdogo kwa umri, hujui mambo, mfano 2006, askari mmoja alipigwa risasi ya paja na watu waliotaka kuiba mitihani