Mzee wa upako huwa nakuelewa sana kuliko mtumishi yoyote niliewahi kumsikiliza na mtu anaeelewa vzr ht km atapinga kwa vile ni wivu wa kiutumishi ila rohoni lazima anakukubali na kusema hii ndio injili mana wivu upo popote duniani
Antony Lusekelo..mafundisho yako hua nayaelewa sanaaaa,kuliko wengine wafikiriavyo na kusema maneno yasiyo stahili. Tunaona watumishi wengi leo wanaanza kuhubiri mipasho kwa watu mala wanawake ni bajaji sijui nini,lakini wewe nakuona unahubiri BIBLIA takatifu na kuichambua watu wapate kuelewa Barikiwa mno mno
Mungu akupe Neema nyingi Kwa Jina la Yesu
Amen baba❤
Asante baba mchungaji kwa mafundisho yako mazuri
Mzee wa upako nakukubali sana kwa mafundisho yko
ubalikiwe sana mtumishi hapo nimejifunza kitu ubalikiwe sana
Mzee wa upako huwa nakuelewa sana kuliko mtumishi yoyote niliewahi kumsikiliza na mtu anaeelewa vzr ht km atapinga kwa vile ni wivu wa kiutumishi ila rohoni lazima anakukubali na kusema hii ndio injili mana wivu upo popote duniani
Antony Lusekelo..mafundisho yako hua nayaelewa sanaaaa,kuliko wengine wafikiriavyo na kusema maneno yasiyo stahili. Tunaona watumishi wengi leo wanaanza kuhubiri mipasho kwa watu mala wanawake ni bajaji sijui nini,lakini wewe nakuona unahubiri BIBLIA takatifu na kuichambua watu wapate kuelewa
Barikiwa mno mno
Amina
Ameeen
Allah akulaani zee la upako
Utalaani ww na allah wako
@@mwassamwassa7264 umepotea wewe na zee lako la upako kafiri mwenziwo..motoni milele
Mohammed mtume wa majini.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aliyozungumza mzee wa upako kunak kisa cha nabii yusuf Kur,an imeweka Waz zaidi na hakuna ispokuwa ya tofaut ni machache tu
Nabii yusuf wamezaliwa wawili tu kwa mama Yao waliowatumbukiza kwenye kisima ni watoto wa mke mkubwa
Amen mtumishi , sehemu hii uliosema kua farao aliota ndoto na kuisaau sijui kweli alisaau? 😊
Sasa Kumbe hata hujui siukasome Biblia!!? Ila Ukweli ndio huo aliota Ndoto na akaisahau
Yooooooooo!
Huyu Mzee anaongea ukweli ndiyomaana wengi hawamkubali
Mtumishi w bwana mi nahitaji maombi yk
Kwanini kuna bendera na alama ya nyota kwenye madhabahu yake
Pmj
Siri za yusuf na ndugu zake ni kujitajirisha na sadaka za kanisani
Kwani kuna mtu analazimishwa kumpelekea sadaka?
Mohamed mtume wa majini 😂😂😂😂😂😂🙏🏿
Amen 🙏
Amen 🙏