#Mzee
Вставка
- Опубліковано 22 лис 2020
- JUMAPILI HII USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA DUA SALA NA MAOMBEZI LITAKALO AMBATANA NA VIFUNGO KUTAKUWA NA MAJI YA UPAKO NA MAFUTA YA UPAKO KWA UTIMILIFU UTAKAYO MALIZA UCHAWI NA MASHETANI MIKOSI NUKSI NA BALAA MAJI YA UPAKO HAYA YANA UWEZO WA AJABU NA PIA MAFUTA YA UPAKO YA UWEZO WA AJABU UKIAMINI KUSAIDIKA NI LAZIMA .KUFUNGULIWA NA MIUJIZA TELE. TUTAKURUHUSU UJE NA TATIZO AMBALO UTATOKA NALO USIOFU CHIEFMWANTEMBE AMEKUWA BARAKA KWA WENGI KATIKA ARDHIZI YA TANZANIA KWA MIAKA 37 SASA KUPITIA YEYE MUNGU AMEKUSA WENGI NI MZEE WA UPAKO CHIEF MWANTEMBE BISHOP ANTONY LUSEKELO HAYAA SHIME KANYANGA TWENDE WAKATI WAKO NI SASA. HATASHUGHULIKA NA MATATIZO YAKO BILA KUCHUKUA DINI YAKO. KWA MAWASILIANO 0754606082 KABLA YA KUPIGA ANDIKA SMS UTAJIBIWA KWA WAKATI. Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
Mzee karibu sana Kigoma ufungue huduma huku, mm nakutamani sana. Mungu amekujaria misuri ya ukweli.
Hili la kukurupuka tu nakujiita bila kusubiri kazi ikutambulishe ,kutokutambuliwa na serikali, Mzee Wa Upako umenena vyema ubarikiwe Sana.
Hongera sana Mzee wa Upako kwa kuisema kweli yote nimekuelewa sana
this servant of God has preached the truth of God, may God's blessings be upon him and his children
Lusekelo hongera sana. Naona umerudi sasa! Maana awali ulianza kuhubiri vitu vya ajabu. Hizi ndizo jumbe za wakati. Mungu akuwezeshe udumu katika njia sahihi.
Mzee wa upako Mungu wa binguni akubariki sana. Watanzania wanayo bahati sana wewe kuzaliwa Tanzania. Tunaomba sana usambaze umeme hadi Kenya.
Lusekelo rudi kwa yesu tu freemasoni achana nao
Upo sawa Anton
Nakupenda baba Wakati wa Mungu umefika sasa
Baba ubarikiwe sana sasa unahubiri injili ya kweli hakika umebadikika sana kwa sababu nilikua nakufuatilia hakika unaipiga lnjili ya kweli na MUNGU AKUPE NGUVU UENDELEE KUHUBIRI IJILI YA KWELI.
Ubarikiwe sana Transformer.
Safisana Pastor Hakika Umenifanya niwe nakufatilia Hizi ndizo jumbe Zinazo Paswa kuhubiriwa Za kuwa Ambia wana Wa Mungu Ukweli .Safi Sana,, Hapo Nime kuelewa Vyema
Hakika Mtu wa MUNGU
Nakukukubari SANA mzee wa upako,yaani mi kwa upande wangu tangu zamani namkubar pekes mzee wa upako
Jamani hamuoni hata kusikia hamsikiii manabii wa uwongo wamejaa African na Tanzania amkeni mzee kaamua kuwafunulia maneno yenye ushahidi ubarikiwe inshalaaah
SWADAKTA!!!! 😂
Barikiwe mtumishi wa Bwana.
❤❤❤❤ mm nakupendaga sana Mungu akutunze❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakukubali sana mungu akupe mwisho mzuri maana mwanga unauona
Asante kwa kusema ukweli
Ubarikiwe kwaa kuigeukia njia ya Bwana halisi maana uliteleza kunakipindi
Mungu Akubariki
Barikiwa sana mchungaji kwa kusema ukwel
Amina mwantembe
Hongera sana Mtumishi kwa kusema kweli hakika itakuweka huru
Amen from Kenya
Hakika Mungu akutie nguvu mtumishi,Endelea kuihubiri injili ya kweli ya Mungu aliye hai.
Mzee wa upako unaongea kwelikweli tupu, naomba unifafanulie maana ya hiyo alama hapo ukutani
Huu ni uponyaji wa kifikra mkubwa sana kwa kweli ubarikiwe sana.
Umetisha
Amina 🙏🏿
Love you so much❤ Baba
Umeongea ukweli kabisa mzee mungu akubariki mimi binafisi sijaona mtume wala nabii hukuna kabisa angalao moses kulora angalau hawa wote matapeli watupu
kwa kipimo gani
Naipenda Sana huduma yako
Kweli Kabisa Yesu Alisema. Atakuja Nabii Lakini Sasa Siku Izi Manabii Kila Kanisa Cha Ajabu Wanamuubili Yesu Wakati Wao Manabii Siku Izi Vituko
Ipo siku ya Mungu utakuja shahadia na kubadili dini ,kwani nishakufatilia clip zako kama7 nahisi uko ukweli unaujua ,,zaidi Mungu akufanyie wepesi inshallah 🙏
Unafikilia uo ugaga wako aufanyi kazi kwa jina la yesu
Nakuelewa pastor
Amina amina chief
Unateseka sana nahuduma zawenzako mbona wewe unamadudumengi wenzio hawakusemi umejaribu kujiita nabii umechemka uliuza mifagio na miti umeiwwekea upako umechemka kweri Dunia inamambo.
Ww shetani mungu anakuona unavyofanya maigizo
Amen 🙏🙏🙏🙏
Sasaivi nakuelewa ila huko nyuma ulikuwa umepotea njia
Ubarikiwe sana
Ww ndio unayeijua dini wengine wezi tu
🙏🙏 Amen
Amina
Amen
BIG UP MZEE WANGU ANTHONY
Hakika mtumishi Mungu amekutumia kuwaokoa Wakristo wanaopotea Mungu akupe kusema vyema kila wakati
Usijichanganye huyu mtu anaye mwita Paulo kua nabii naye amepotea pia
@@abeidkhamis6130 Aya nabii khamis
Huyu jamaa alivyo anza ufreemason wake alikua anatembea n Mabodiga kibao saizi sijui kakosea Masharti hakuna Bordigard wala upako aliojifanya kaupata na hawa waumini sijui wametoka vijiji gani kwani hata mimi nilisha ingia chaka
sound awa
naona uamsho umekufikia sasa barikiwa
Nawepi
The had master
Balikiwa mtumishi
Ameni
Moja Kati ya hotuba Bora zaidi. Amina. Naongezea
Matendo ya mitume 1 tunaona watu 120 waliitwa Katika interview ya kumpata mbadala wa Yuda iskariot na wakapatikana 2 yaani Yusto na Mathia Kisha Mathia kua mshidi.
Kama Katika kipindi kile walipatikana 2 wenye sifa, vipi Sasa????? Tusome biblia
We mwenyew nabii wa uongo
Wewe kama kimya bwana, kwanza kujiita Mzee WA upako ni kunifananaisha na Mungu. Kufuru wewe
Mwenyezi mungu akubariki mzee wa upako unasemaga ukweli
Ameeni 🙏 Mungu akutunze mchungaji Roho mtakatifu asidikukuwapaka mafuta yake.maana manabii wengi niwaongo.wanatafuta pesa manabii niwanganga wa kinyeji wanamizimu ya utambuzi .maana makanisa Yao wanatabili.
Ameeni 🙏 Mungu akutunze mchungaji Roho mtakatifu asidikukuwapaka mafuta yake.maana manabii wengi niwaongo.wanatafuta pesa manabii niwanganga wa kinyeji wanamizimu ya utambuzi .maana makanisa Yao wanatabili.
Ameeni 🙏 Mungu akutunze mchungaji Roho mtakatifu asidikukuwapaka mafuta yake.maana manabii wengi niwaongo.wanatafuta pesa manabii niwanganga wa kinyeji wanamizimu ya utambuzi .maana makanisa Yao wanatabili.
Nikweli mtumishi wa Mungu saiz waongo wengi wana jiita mitume na nabii
Mzee wa upako Tabia ya kungalia pesa ukipewa mathabauni waca
Unabi
🙏🙏🙏
Kuna ukweli fulani umeongea, ubarikiwe kwa hilo.
Kumbuka rusekerwa wasingeku manambii husingehishi mungu anakuona
Uko sahihi mkuu
Sauti ya MTU aliaye nyikani...itengenezeni njia ya Mungu yanyoosheni Maputo yake
You are one of them.
Mnajua jaman maneno yasiwafanye mkatekewa tatizo lawatanzania tunapenda kuangalia hapa hatuangalii nyuma huyu mzee anamaneno matam lakini life style yake ndo inatia mashakaa
Kila kitu kina feki na original, kikubwa watu wa mungu kila kitu tukipime kwa neno la mungu
Msipokuwa waislam hamtaamini mtakachoenda kuona
Acheni kudanganya watu manabii wengi ni wa uongo hunena mambo ya duniani wa kweli hunena maneno ya ufalme wa mbinguni. Alisema Yesu watatokea wengi hao wote ni wa dunia hunena mambo ya duniani hayo ndio matunda yao.
Manabii WA uongo wako wengi Sana, mtawatambua Kwa matendo Yao. Hata Lusekelo akisema Yesu SIYO Mwana WA Mungu yaani Mungu mwana, jua na yeye atakuwa Nabii wa Uongo.
Maana imeandikwa kila roho isiyokiri kuwa Yesu NI Mwana WA Mungu NI ya uongo.
Hata akisema Yesu SIYO Kristo na wafuasi wake NI WA Kristo atakuwa Nabii wa Uongo na mpinga Kristo.
Wakristo tuwe makini Sana, Bwana Yesu alitutahadharisha Sana.
lusekelo anaongea kupitia biblia, biblia inasema yesu ni mwana wa mungu na sio kama wachungaji wanavyotudanganya eti yesu ni mungu, je mungu alitahiliwa? mungu alikuwa na ndevu?
Lusekero kwa mjibu wa maandiko ni mkweli
Nimeupenda ujumbe niujumbe mzur maana unafundisha
HAMMA KITU HAPA...NJIA UNAYOTUMIA KUKOSOA WENGINE ILI UONEKANE MZURI WAKATI NIWALEWALE....NI NJIA ZURI YA KUJIPATIA WAUMINI WENGI NA KUJISAFISHA KWA JAMII...TUBU RUDI KATIKA NJIA YA KWELI
Huna lolote mzee wa bapa konyagi KUUBWA!!
Unasema wewe ndo muhubili mwenye nguvu kiliko wote !!!😂😂😂😂!!!mungu atusaidie,lkn mm nawaeshim watumishi wote nawapenda nawaeshim
Uchief mwantebe umeupata wapi
Tuache wivu tupige kazi ya Mungu.
Kwani mzee wewe uko juu ya Bibilia inayotambua fivefold ministries in Ephesians 4:11 kama kuna feki manake ilianza kuwepo original.
Ktk Siku umeongea basi ni leo
Neno la Mungu niukweli huyo ndo MUNGU
Hata we mchungaji wa uwongo tu
SILIMUNI MJE KWENYE UISLAM
kuslim ni kufanya nn
Kuna ukweli mkubwa alichoongea no matter what!
Mzewaupako maubiriyako nimatam yanaraza tumbua majipu kuuza maji yamia 500 Hadi 10000 mwaipopo Hadi udingo kijiko 500
Sioni sababu ya kulumbana, fundisheni neno acheni kulumbana. Mbona hata wewe ulipiga wengi tu.
Upo sawa mzee wa upako mitume yote ni ya uongo hakuna mitume sasahivi mtume wa mwisho alikuwa mtume muhamad s.a .w
Alifanya muujiza gani.
Muhamad alifanya muujiza gani.
Muhammad hakujua kusoma
Saa mbovu kuna kipindi inasema ukweli big up Mzee wa upako
Mohamad tena, alikuwa malaya yule jamaaaaa
Ni kweli tumtegemee Mungu mwenyewe
Iyo peramidi vp
Nikelu transifoma
Nakuelewa unatoa mafundisho unaelewesha kupitia maandiko matakatifu wengine ni kelele tuu
Umemaliza mzee huna deni tena, na maneno yako, watu wenye akili yataishi mioyoni mwao daima.
MITUME NA MANABII, WATA JIJU!
😂😂😂😂
Wivu unatesa Kanisa la Bwana la Bwana.
Wakristo waweje waislamu wakati wanamfuata na kumwamini Yesu Kristo kuwa yeye ndo njia na kweli na uzima mtu hawezi kwenda Kwa Baba bila kupitia njia yake?
Mwaminini Yesu kuwa Bwana na mwokozi WA Maisha yenu ili na nyie mje mfike mbinguni Kwa Mungu Baba.
Ubarikiwe
Amina
muchungaji nilikuwa ckupendi lakini sasa nakupenda sana nanitakuja kanisani kwako kusali
@@MzeewaupakoTz nilikuwa ckupendi lakini sasa nakupenda sana nanitakuja kanisani kwako kusali.🙏🙏🙏🙏
Tunahitaji injili kama hizi
Waambie wapuuzi hao
KWANI MBONA MITUME TU NA MANABII WANAOTENDA MIUJIZA NA ISHARA JE HAO WA VINYAGO NA NYOTA NA MWEZI WAKO JE
Ubalikiwe mzeee
Asante sana.
Anton amegudua jambo
Mhuuuu labda?
Leo umetubu
Sasa umeokoka endelea kujishusha utainuliwa kuliko mwamposa na nabii geordevi wa arusha yule muhuni wa freemason
Hakika kwa maneno yako pekeee tunabalikiwa
Tatizo unakunywa pombe
Hahahaa nabii masanja unasikia
Umeongea vizuri ila na wewe ni mmoja wao
Huyu mlevi wa gongo
@@gillbertmapesa179 🤣🤣🤣😅🤣🤣
Hivyo ni vijembe sio upako.Penda neni,acheni, Mwamposa ni nabii na mtume,na mungira.,Na wengine wengi,anaye juwa,,nabii au mtume ni mungu wewe huwezi kujuwa.Huwezi kujuwa mungu kamchaguwa nani? Muache mungu ndiyo atajuwa.
Kama mungu kamchaguwa utajuwaje?
Hao sio mitume wala sio manabii
Hawa wahubiri wa siku hizi vurugu tupu! Wengi wao ni wa mchongo.
Yaani mzee waupako wewe ningekua Dar ningekupa zawadinabii mwingine anasema watu wauze vitu.mkemee huyo
Umeanza kueleweka