@@RamazaniMulongecaamekwambia kwa kipindi hicho na kwa wakati uliokuwepo alikuwa anafaa,ila kwasasa hafai maana ameshawekwa KWENYE mzani na wamemwona kama anapelea parefu mno, maana umaarufu umemzidi nguvu
Ningekua mimi ni Freeman Mbowe, Ningemwambia Wenje atafute kura zake, yeye ni mgombea ila amejisahau muda mwingi anamzungumzi Lissu na Mbowe. Jamaa sio smart kabisa, anatoa majibu rahisi sana kwa maswali ya mtego.
Unajua nimeangalia hii mijadala kwa makini ninacho jua hapa chadema wametengeneza kitu cha kuifufua chadema kwenye masikio ya watanzania huu ni mpango masubuti sababu chadema ilipita kwenye msukosuko sasa imerudishwa kwa mtindo kama hamjui
@@georgehaule7022 Kama nakuelewa hivi!! Na hii itajidhihirisha pindi uchaguzi utakapomalizika, Ukiona Mboye na LISU wana shake hands na kuwa kitu kimoja, basi tujue mission completed.
Katika wajinga inchi hii lisu nimjinga wa kwanza alisema akichukua uraisi ndege zote anaziuza uliona wapi inchi inohitsji maendeleo Haina ndege mjinga huyo anaupumbavu akawakejeri waajiriwa hususa porice hanajipya
@@haggaikinyau1395 haujui kitu lisu nizaidi ya kichwa ategemei kubebwa na mtu kufika Sehemu anaiyo itaji anamzidi magu kujenga hoja kufikiria madhara yatakayo tukuta mbeleni lisu ni zaidi ya jitu
Mheshimiwa nilimdharau pale alipobanwa kuhusu urafiki wake na mtoto wa rais . Japo kuwa hakuna ubaya wowote ila jibu lake lilikuwa very contradicting with his line of duty
Kote kajibu kisamjosamjo😢.... hakuna ukweli. Ndo maana jimbo la Mwanza hawakumrudisha second term ya ubunge baada ya kumshtukia aliwadanganya sana. Mpk leo hajathubutu kugombea tena.....
Cha kushangaza ni hiki, Wenje anagombea umakamu, hata siku moja sijamsikia akisema ataifanyia nini CHADEMA akipata hiyo nafasi, badala yake yeye kiutwa kucha ni Lisu. Hajawahi zungumizia mtu anaegombea nae nafasi ya umakamu ila agenda ni Lisu. Hii inaonesha ametumwa na Mbowe
Inahitaji moyo sana kumsikiliza Wenje dakika 20 akimuongelea Lisu 😂😂😂😂. Anaongelea matusi ambayo hutapata tafsiri yake, halafu yeye anafananisha akili za mtu huyo na mtu wanamshambulia kila siku kwenye majukwaa yao, na haoni kuwa hilo ni tusi 😂😂😂😂
Nikweli umagufuli hata mm nasadki nauona ndani yalisu kwa sehemu na watu wa tabia hiiz wakiwa viongozi wa juu wanaonufaika nao ni watu wa hali ya chini lisu is the best
Hapo nimeelewa kumbe wenje na mbowe mko pamoja na ccm maana umesema mwenyewe hapa kuwa mnakubaliana na maridhiano yasiyokuwa na matokeo, sasa dawa yenu imepatikana ni lisu tu , wajumbe mpeni kura lisu kwa afya ya chadema
Wenje oku SAHIHI kabisa kuzikumbuka ranging za Magufuli na kumlinganisha Lisu na Magufuli, hivyo Lisu anafaa kuwa Mweenyekiti na hata kuweza kugombea urais.
Huyu ni mchambuzi wa maswala ya kisiasa kwa wanahabari pale wasafi ndio maana ishu zote za SIASA pale wasafi utamuona yuko front Yani hata ndio mambo yake
Mbona wanatumia nguvu nyingi sana kumdhibiti LISU? Yaani hadi wanasema hakuna kupita uenyekiti hata akipita tunamtoa kwa maandamano loooh.... atakuwa ndo mtu mwema sana pale chadema, hoja za huyu jamaa ni kama wenyewe ndo wana shida kubwa
Ule uchaguzi wa 2010 wenje alipita tu kwa sababu wananchi hawakutaka chama cha CCM walitaka CHADEMA ivo alipita kwa sababu ya chiki za kichama tofauti na apo uyo chizi asingepita
Mbona Edward Lowasa na Fredirick Sumaye walijiunga CHADEMA na baadaye vikwazo kwao kwenye shughuli zao kiuchumi kuhujumiwa ilibidi warudi CCM si kwamba wanaipenda CCM bali wasifilisiwe hizi ni Hujuma za Chama Tawala
Nimejaribu kujiuliza tu, why Wenje amuulize Abdul kuwa "kwanini serikali haimlipi Lissu pesa yake? swali la msingi alimuuliza ABDUL kama kiongozi wa ngazi gani serekalini? pili uswahiba wake na Wenje na huyo jamaa ulianzaje ikiwa wao CHADEMA wanajiterm kama wakosoaji wa government?
Ivi sms za madai hazipo ziwe kama solution ya swali hilo Mwandishi i salute and appreciate your interagency uko vyema mno na yule jamaa wa BBC mnafanya kazi poua mno
😂😂😂 inasikitisha lissu kila mtu anasema nimemsaidia ndio hoja zao watakazo enda kukibadilisha Chama mbona hamnadi sera zenu mwenzenu Lissu kasema akishinda hatua yakwanza ni kuifanyia malekebisho katiba na nyie je?
Samahani Ndugu muandishi Nilikuwa nakuchukulia Poa sana nisamehe saana hii interview 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 salut
Chaz willium n msumari hafai uliza UDSM kipindi anasoma
Maswali ya muandoshi nimakubwa kuliko anae hojiwa kama unaona kama mimi Like hapa
😂😂😂😂😂
Yan mjibu maswali ni mswahili tu😂😂
True fact kabisa👍👍👍
Nimeyakubali maswali
Magifuli forever no like Kwa hiyo kama lisu Ana element za magufuli yeye ndiye mwenyekiti anayefaaa
Fact
@@atotark3889
Wenje amekilipua.. hajuwi kama wana inchi wanaitaji Magu😂😂😂😂
Kweliblisuu🎉🎉❤ magufli Element
@@RamazaniMulongecaamekwambia kwa kipindi hicho na kwa wakati uliokuwepo alikuwa anafaa,ila kwasasa hafai maana ameshawekwa KWENYE mzani na wamemwona kama anapelea parefu mno, maana umaarufu umemzidi nguvu
Aisee mtangazaji uko professional sana, naomba namba yako.... we need people like you
Aongezewe mshahara 🙌🏾🙌🏾
maua Yako mtangazaji kwakwakwa*3 nipeni like zangi umejua kumuhoji
Sana
Huwa yuko active sana
Sana, yuko vizuri sana. I was about to comment the same nikaona comment yako.big up kaka
Huyu muongoza kipindi anahitaji mshahara mkubwa zaidi ya kitenge. ... bravoo brodah
😂😂😂😂😂❤
Kitenge mhuni tu wa Kkoo
@@CharlesLeoMgayamsheeenziiii weee😂😂😂😂
Ukitaka usieleke kwa wengi sema kweli ila ukitaka kuwafurahisha wengi ongea uwongo. Nakiuliza hii inasabanishwa na nini.....!
Kabisa aongezewe mshahara
I don't comment oftenly but I have to acknowledge the presenter's professionalism. Keep doing it right💯
Yes, he is brilliant. Well done to Wasafi for hiring young professionals
Hii interview ina positive impact sana kwa mtagazaji, amejipanga vzr sana,very smart!
BBC au DW kabisa!
Hongera sana!
Jamaa anapigwa maswali hd anaona AIBU na kushika kidevu kwa AIBU.... Asante mtangazaji
Tundu Lissu atashinda kwa kishindo kikubwa, na asiposhiinda Chadema inakufa kifo Cha mende
Itakua kama TLP TU.
Shikamoo Tundu antipas Lisuu
Mtangazaji upo vzr 👏👏👏💐💐❤️ unampiga Wenje ngumi za uso safi sn
Basi Lissu anafaa sana. Wenje umelikoroga lazima ulinywe asipoondolewa Mbowe CHADEMA imefika mwisho.
Mtangazaji uko smart sanaa.....
Congratulations 👏🎉
Yaani kila Wenje akitaka kusawazisha, anajifunga mwenyewe 😊😊
hyu ni dalali tu
😅😅
😂😂😂😂😂 Yani hatari kweli
Hahahahahahaha kwakweli kabisaaa
Yani 😂😂😂😂
Ningekua mimi ni Freeman Mbowe, Ningemwambia Wenje atafute kura zake, yeye ni mgombea ila amejisahau muda mwingi anamzungumzi Lissu na Mbowe. Jamaa sio smart kabisa, anatoa majibu rahisi sana kwa maswali ya mtego.
Unajua nimeangalia hii mijadala kwa makini ninacho jua hapa chadema wametengeneza kitu cha kuifufua chadema kwenye masikio ya watanzania huu ni mpango masubuti sababu chadema ilipita kwenye msukosuko sasa imerudishwa kwa mtindo kama hamjui
@@georgehaule7022
Kama nakuelewa hivi!!
Na hii itajidhihirisha pindi uchaguzi utakapomalizika,
Ukiona Mboye na LISU wana shake hands na kuwa kitu kimoja, basi tujue mission completed.
Yani mtangazaji anamshangaa anaemuhoji , nadhani anajiuliza ikiwa thinking capacity iko connected na maneno yake.
Mtangazaji Uko very smart, hongera sana
Muandishi ndio mwanasiasa na Wenje ndo mwandishi😂😂
@@DrForexTz 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Vice versa is true 👍
😂😂😂😂 Ume ufanya nicheke bro Kwa sauti kumbe sio mim tu nilieona hiki
😂😂😂😂😂😂
Chama sio ya mtu mmoja lisu ni the best for this time
This now is lisu
Katika wajinga inchi hii lisu nimjinga wa kwanza alisema akichukua uraisi ndege zote anaziuza uliona wapi inchi inohitsji maendeleo Haina ndege mjinga huyo anaupumbavu akawakejeri waajiriwa hususa porice hanajipya
@@abrahmanmussa1384Wewe mwerevu gombea upite ili uzinunue nyingi
Ndege na shirika lake linaendeshwa kwa hasara, AU Hilo ndiko mahalo Mnakula.
Mbowe hajawai kusimama na kiongozi mwwnye nguvu kama Lisu ila sasa mbowe amechanganyikiwa kwa lisu
Wenje kila kitu kina mwiisho wake.mwooogope Mungu.acha uongo lissu,anafiichua rushwa unasema ana tukana.
Huyu aongezewe mshahara kwa hii script ya maswali aliyoiandaa....salute bro
Always yuko vizuri.
Yuko vizuri always huyu Mtangazaji, kwa mchambuzi wa siasa za ndani jamaa hana mpinzani kabisa.
Magufuli alikuwa hayumbishwi,msema ukweli mtendaji .we need new magu, ambaye ni LISSU
Huyu Lisu unayemfananisha na Magu ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjaro
@@haggaikinyau1395 haujui kitu lisu nizaidi ya kichwa ategemei kubebwa na mtu kufika Sehemu anaiyo itaji anamzidi magu kujenga hoja kufikiria madhara yatakayo tukuta mbeleni lisu ni zaidi ya jitu
We usitufananishie Lisu na Magufuli never
MAGUFURI alikuwa mzarendo sio huyu chokoraa
@@haggaikinyau1395Magu alishika wajinga na masikini akili(Maoni).
Charle genius journalist William 🔥🔥🔥🔥🔥,, please naomba hiki kipindi kiwe Cha kudumu@wasafi tv🙏🙏🙏🙏🙏
Best interview I have ever seen in Tanzania big up sana
Ikitokewa wanahojiwa wagombea uraisi apewe kipaumbele
Yeah, mtangazaji uko vizuri sana kwenye interview, keep it up Charles William
Sana mimi nimemuelewa sana mtangazaji
Wenje umekutana na mtangazaji smart sana, anakuuliza maswali 🔥
Wasafi huyu ndio mtangazaji. Keep the fire burning brother. Tumekubali maswali yote muhimu umeuliza
Mtangazaji ni team Lissu, He is very smart.
Mbowe bora angemtoa Wenje kwenye kampeni zake naona anamuharibia tu yani haongei uzuri wa Mbowe yeye ni kumuattack Lisu yaani anafeli kabisa
😂😂😅😅😂😂
Akili finyuu,, hivi alisoma kweli huyu?
Uwezo wa akili wa Wenje umeshuka sana,amebakiza kuongea kiingeleza chake kibou.Bogust politician
LISSU ✅✅✅
Magufuli atawatesa sana vibaraka
Hapa naona mtangazaji yupo pekeake 😂😂😂😂, yaani mtangazaji ana madini kuliko Guest 😂😂
Aha ha ha sure, charles is very critical....
😂😂😂
@@gaspernkhangaa1331 😂😂
Muondoe Magufuli kwenye domo lako.
Kwa Kwel Anatuaibisha..
Wenje pole Sana ndugu yangu Chadema sio mali ya familia Lisu anafaa kua Mwenyekiti wetu Mambo safi Lisu MUNGU Akubariki
Wenje Kabakwa vibaya kwenye hii interview… ni aibu kubwa😢😢
Mheshimiwa nilimdharau pale alipobanwa kuhusu urafiki wake na mtoto wa rais .
Japo kuwa hakuna ubaya wowote ila jibu lake lilikuwa very contradicting with his line of duty
Kote kajibu kisamjosamjo😢.... hakuna ukweli. Ndo maana jimbo la Mwanza hawakumrudisha second term ya ubunge baada ya kumshtukia aliwadanganya sana. Mpk leo hajathubutu kugombea tena.....
Hii interview ilikua inakatwa au mbona swali la kwanza tu anachojibu ni tofauti na swali 🫨🤔
Hii interview ilikua inakatwa au mbona swali la kwanza tu anachojibu ni tofauti na swali 🫨🤔
Wenje huna hoja zaid ya chuki tu kwa Lissu. Unaongea kwa mihemko zaidi kuliko uhalisia.
Huyu Dalali
Lissu anashida sana!!! tena sana, na ulemavu wake tena ndo umezidi sasa mfanya hawe mwenye matatizo, mtu asie na hekima...
Mtangazaji shikamoo wasafi wakuongeze mshahara wewe no 1
Maswali ya mwandishi nimeyakubali sana Big sana Charles 👍👍
Cha kushangaza ni hiki, Wenje anagombea umakamu, hata siku moja sijamsikia akisema ataifanyia nini CHADEMA akipata hiyo nafasi, badala yake yeye kiutwa kucha ni Lisu. Hajawahi zungumizia mtu anaegombea nae nafasi ya umakamu ila agenda ni Lisu. Hii inaonesha ametumwa na Mbowe
Nasema hivi Mtangazaji kambaka sana Wenje😅😅😅
Kweli wenje kama sio kamera angeingia mitini
😂😂😂
Charles upo vizuri,,,muhoji na lissu tupate madini
Mtangazaji aongezwe mshahara❤
😂😂😂duuuh huyu mtangazaji noma sana apewe maua yake
Lissu for life
Inahitaji moyo sana kumsikiliza Wenje dakika 20 akimuongelea Lisu 😂😂😂😂. Anaongelea matusi ambayo hutapata tafsiri yake, halafu yeye anafananisha akili za mtu huyo na mtu wanamshambulia kila siku kwenye majukwaa yao, na haoni kuwa hilo ni tusi 😂😂😂😂
Huyu wenje bado hajui kujenga hoja na kujitetea...huyu sio mwanasiasa arudi kijijini kwao avue samaki
Mtangazaji very smart
Mimi natamani mbowe apumzike tuone changamoto ingine i like chadema
Wenje ni nyumbu jinga jinga tu
Hongera sana mwandishi wa habari kwa uwezo mzuri sana na unayemhoji unamzidi uwezo sana.
charles willium🙌👏 akili kubwa......respect bro
Kama Lissu alikuwa na element za umagufuli,basi Mbowe ni mama 😂😂
😂😂
Wenje muongo sana😂
Wenje mpuuzi sana, mimi nimemjua lissu toka amekuwa mbunge na amekuwa maarufu kitambo
Sasa si ndo cha kushangaza sasa wakati lissu umaarufu wake na kariba yake ya hoja mchecheto ndo ulifanya apigwe risasi
Upo vizuri ndugu mtangazaji kwa kumueeka sawa Dalali
Thank you,, so far your my Best interviewed. Best Question good job ❤
Sasa kama lissu ana akili kama za maghufuli Kwa nn asipewe uwenyekiti?
Mtangazaji anatakiwa Aende Crown KASRI LA KIKEKE SASA
Wewe mtangazaji una bright future. Yaani umemuexpose huyo wenje vibaya sana. Yaani sio wa level yako kabisa.
All the best for❤❤❤ tundu lissu
Kwa nn wenje iwe sawa kwake kugombea nafasi ya m.mwenyekiti na lisu iwe shida kugombea nafasi ya mwenyekiti
Mtangazaj uko sure big up my brother
Nyie wasafi hamuoni hiyo mike inachosha lisaa zima mtu mbamuhoji na mike ya kushika😢😢
Nikweli umagufuli hata mm nasadki nauona ndani yalisu kwa sehemu na watu wa tabia hiiz wakiwa viongozi wa juu wanaonufaika nao ni watu wa hali ya chini lisu is the best
Hapo nimeelewa kumbe wenje na mbowe mko pamoja na ccm maana umesema mwenyewe hapa kuwa mnakubaliana na maridhiano yasiyokuwa na matokeo, sasa dawa yenu imepatikana ni lisu tu , wajumbe mpeni kura lisu kwa afya ya chadema
@charles william safi sana kweli wewe shaidi wa jamhuri bonge ya interview
Lissu anafaa sana wengine hao na majambalika
Wenje acha kumchafua Lisu ww na Mbowe mnataka kuigeuza chadema kuwa chama cha familia Kwa manufaa yenu binafsi!
Asante sana unamhoji vizuri sana kuliko Asante kweli hiyo ni taaluma yako
Wenje oku SAHIHI kabisa kuzikumbuka ranging za Magufuli na kumlinganisha Lisu na Magufuli, hivyo Lisu anafaa kuwa Mweenyekiti na hata kuweza kugombea urais.
Hakikà kuna cha kujifunza kwa huyu mwandishi ana maswali ya msngi sana
Wenje unakua m/kit waka anda ,ukiwa umeua chama Rorya unakotoka!
Kumbe wasafi mnawatu makini hivi🎉 mwanahabari mzuri sana wewe safi
Charles yupo vzr snaaaa....alikuwapo kipindi cha good morning lkn siku hizi hayupo huko....anakuja mara moja moja
@slimmuhabesh2400 huku kwa sasa ndo kunamfaa yupo vizuri sana
Huyu ni mchambuzi wa maswala ya kisiasa kwa wanahabari pale wasafi ndio maana ishu zote za SIASA pale wasafi utamuona yuko front Yani hata ndio mambo yake
Kaka Charles umetisha sana!
Mbona wanatumia nguvu nyingi sana kumdhibiti LISU? Yaani hadi wanasema hakuna kupita uenyekiti hata akipita tunamtoa kwa maandamano loooh.... atakuwa ndo mtu mwema sana pale chadema, hoja za huyu jamaa ni kama wenyewe ndo wana shida kubwa
mtangazaji congraturation well done
Nimeipenda hii interview hata mazingira tu yanavutia, maswali yamepangiliwa kiufupi ipo so professional hongera sana kaka charles
Huko vizuri mwenyekiti kiti wa kanda ya ziwa kujibu na kujieleza.
Kwa vyovyote vile itavokuwa au itakavyotokea I love you the HOST wa kipindi na mahojiano hayo👏👏👏
Hongera sana mwandishi the best interviews made 2025
As a former Principal school of journalism at MSJ this interview meets all the standards and will be stored in our library
Ule uchaguzi wa 2010 wenje alipita tu kwa sababu wananchi hawakutaka chama cha CCM walitaka CHADEMA ivo alipita kwa sababu ya chiki za kichama tofauti na apo uyo chizi asingepita
Mbona Edward Lowasa na Fredirick Sumaye walijiunga CHADEMA na baadaye vikwazo kwao kwenye shughuli zao kiuchumi kuhujumiwa ilibidi warudi CCM si kwamba wanaipenda CCM bali wasifilisiwe hizi ni Hujuma za Chama Tawala
Tena Enzi za Mwendazake hizo, kufilisi watu kisa tu walimpinga au wanaompinga kiufupi utawala ule daah.
Mie huyo wenje hata simuelewi,we hujampa fursa lissu,we ndo umetokea nyuma ya lissu sisi lisu tunamtaka
Huyu mtangazaji yupo vizuri anajua kuhoji maswali ya akili, huyu myangazaji inabidi alipwe mshahara mkubwa kuriko watangazaji wote wa media ya wasafi
Daaah.
DW na BBC wasije kumchukua Charles
Kati ya anayesema mtu mlopokaji na mtu anayesema rushwa ndani ya chama anayetukana ni nani apo.
Hii story ya Abdul bado sijaridhika wenje hebu tuambie mbona private meetings
Aloo wenje😂😂😂😂😂 ungekaa kwenye mkeka sijui mana hutulii hapo na mwandishi tu sijui ungekutana na mwenyewe ingekuaje
😂😂😂😂
Mtangazaj yupo vizur sana aisee akili nyingi sana aisee hongera chaz william
Maswali ya akili majibu dhaifu mno hayana tija
Domo lako linanuka wenje toka pepo mtoe magufuli kwenye domo lako kwa jina la yesu
Amina
Kwanini amtoe?
Nimejaribu kujiuliza tu, why Wenje amuulize Abdul kuwa "kwanini serikali haimlipi Lissu pesa yake? swali la msingi alimuuliza ABDUL kama kiongozi wa ngazi gani serekalini? pili uswahiba wake na Wenje na huyo jamaa ulianzaje ikiwa wao CHADEMA wanajiterm kama wakosoaji wa government?
Mbona CCM Wana viwanja na majengo!, lissu ni pure leader, baado huyu jamaa Weje hana uwezo
Ivi sms za madai hazipo ziwe kama solution ya swali hilo
Mwandishi i salute and appreciate your interagency uko vyema mno na yule jamaa wa BBC mnafanya kazi poua mno
Mimi. Ni jirani ila Kenya ukweli uyo mwanasiasa wenje umetumwa na boss wako naomba ujitath mini upia na uwache ujinga
😂😂😂 inasikitisha lissu kila mtu anasema nimemsaidia ndio hoja zao watakazo enda kukibadilisha Chama mbona hamnadi sera zenu mwenzenu Lissu kasema akishinda hatua yakwanza ni kuifanyia malekebisho katiba na nyie je?
Wenje kila swali analoulizwa jibu lake ni Lissu. Akili kubwa inahoji akili ndogo. Good work Mr presenter umekua neutral sana
Mtangazaji upo full package hongera Sana yani. Nakuona mbali
Wenje akili ndogo sana hata aibu huoni brather ww ni wakujilinganisha lissu hata mara 10 hufikiiiiiii kwa lissuuu😂😂😂